ROMA: "BAKHRESA MWENYEWE HANA BAUNSA, NATAMANI NIMNASE VIBAO, FID Q, BAUNSA ANALINDA NINI?" - PT 2

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 фев 2025

Комментарии • 183

  • @bosskubwa2727
    @bosskubwa2727 5 лет назад +9

    Hawa jamaa yaani kwa interview zote wanaongea sense sana, kama unakubaliana na mimi gonga like toka KENYA

  • @issackchalahani1235
    @issackchalahani1235 5 лет назад

    Safi sana, Artist anatakiwa kuwa makini kujibu maswali pindi aulizwapo media, sio kukurupuka na kujibujibu sio vizuri. Of course Rostam mpo vizuri pia ktk uwasilishaji wenu ujumbe kwa Jamaa yenu inayo wazunguka, so binafsi nawaombea kwa Jah awatangulie katika kazi zenu mzitumazo kwa Hadhira.

  • @ambaranguathuman4446
    @ambaranguathuman4446 5 лет назад +1

    Nyie watu hatar sana yani mtu akijifanya kuwafuatilia atakula mweleka hongeren sana mko active sana big up nyingiiii

  • @BiornProductions
    @BiornProductions 5 лет назад +1

    Millardayo unachagua sana aina ya watu wa kuwapa interviews na kuwa support na hili umelifanya kwa kipindi kirefu sana.
    Binafsi nakubali na kuheshimu kwa ukubwa ulionao kwenye industry ya media but in professionalism huwa sikusomi kivile sababu umechagua upande haupo balanced.
    Wapo wasanii wengineo pia wanahitaji uwepo wako wape nafasi pia kiroho safi.
    Kuna mtu anaitwa Lillommy pale times anafanya kazi na wasanii karibu wote wa Tz..yaani yupo very balanced na hana ukubwa ulionao
    🙏 ukweli umuweka mtu huru
    Sorry kama nitakukwaza.

  • @aganomgata8680
    @aganomgata8680 Год назад

    Nmewaelewa sanaaaa mazeeeee 👍

  • @mohamedmlundi5637
    @mohamedmlundi5637 5 лет назад +22

    Stamina unaznguaga interview sijui kwann...hujibugi maswali vizur........mambo ya no comment ya wanawake ayoo acha umama

    • @Zanzibar_quiztv
      @Zanzibar_quiztv 5 лет назад +1

      Muddy show
      ruclips.net/video/E2iUxMvJbEc/видео.html

  • @martinngwembe9903
    @martinngwembe9903 5 лет назад +6

    Roma na stamina kunakitu nataka niwajuze nynyi niwasanii wakubwa sana na mnauwezo wa kuandaa show na mkapga pesa ila sijui mnakwama wapi yaan naona kamamnarud nyuma hv tena roma umesoma hvyo jarbu kufanya music business na usifanye kama unatafuta tu ela ya mboga tu no usifanye hvyo

  • @bosslilyg4390
    @bosslilyg4390 5 лет назад +10

    Jamani Roma....me i love you so much wallah

  • @Jimmy-q4i2i
    @Jimmy-q4i2i Год назад

    Braza hawa jamaa n zaidi ya genius yani unatamani uzidi kuwackiliza muda wote wakiwaga kwa interview..

  • @sumaussi7764
    @sumaussi7764 5 лет назад +1

    Nakukubali sana kaka Milad Ayo

  • @amosdaniel5907
    @amosdaniel5907 5 лет назад +2

    Napendaga sana Interview za Roma!!

  • @laizersikoyan4157
    @laizersikoyan4157 5 лет назад

    Rostam nawapenda sana

  • @samoy5481
    @samoy5481 5 лет назад +21

    Asa jaman mnataka mabaunsa tusipate riziki??!!! Ifikie mahara tupeane mchongo tu jaman maana ata sisi mabaunsa tunasaka hella kwahiyo sio poa kupondea ajira.
    Baada ya mziki/baunsa kuna maisha mengine yanafata.

    • @geofreymsengi9971
      @geofreymsengi9971 5 лет назад +1

      Kweli bhana

    • @Zanzibar_quiztv
      @Zanzibar_quiztv 5 лет назад

      Sam ßoy
      ruclips.net/video/E2iUxMvJbEc/видео.html

    • @machdizzo6519
      @machdizzo6519 5 лет назад

      Sam ßoy hakumaanisha kama wasiwepo but uonekane utouti kat ya fulan na fulan

    • @BiornProductions
      @BiornProductions 5 лет назад +1

      Binafsi nimekuelewa mno mwisho wa siku baunsa nayo ni kazi lazima wapate riziki

    • @salimmkambila3542
      @salimmkambila3542 5 лет назад

      Amini

  • @katarinawilliam9960
    @katarinawilliam9960 5 лет назад +11

    Bhareksa ana cha moto anatembea nacho haitaji baunsa.Wasanii mnajilinda na vibaka waporaji wa mikufu yenu .Kama weee huna ,huitaji baunsa.Wanini????Hata kiatu cha maana huna.

    • @alijuma6502
      @alijuma6502 5 лет назад

      Jamani kua namabaunsa. Nimoja ya ajira. Hao baunsa wote walikua mtaani hawana ajira. Sasa dimond kawa mbunifu. Na ameacha ubinafsi wakula pekeake. Kawaita anawalipa hapo tatizo liko wapi. Wabongo mbona hamna jema..lakin pia ni usalama kwake. Kumbuken pia wasani wanakufaka wakati mwingine kwakukosa msaada wakiulinzi..mfano albat mangwea. Steven kanumba..nakuna bondia anaitwa tomac mashali. Nawengine wengi tu. Shida yawabongo mnasahau kwaharaka sana. Waacheni baunsa nao wapate ajira jaman

  • @oscarkaingu4559
    @oscarkaingu4559 5 лет назад +2

    Mwanaume kujiamini baunsa si ni mwanadamu Kama wwe usiamini mwanadamu mwenzako weee👉👉👉

  • @humphreyharold9501
    @humphreyharold9501 5 лет назад +1

    Nyie mnazingua watu tunapeana michongo ayo majungu tu ata ao baunsaa niwatu mtu kuwa na baunsa wengii usijajii xana kimpango wake na wew kua na wengi alafu pia msifananishe watu

  • @abamotv532
    @abamotv532 5 лет назад +12

    tulokuwa tukisubir kwa hamu naomba like

    • @Zanzibar_quiztv
      @Zanzibar_quiztv 5 лет назад

      Abamo Tv
      ruclips.net/video/E2iUxMvJbEc/видео.html

  • @frankmaria6717
    @frankmaria6717 5 лет назад +5

    Bakhressa ushamuona kwenye mikusanyiko ya watu,wafanyakazi wake tu wengi hawamjui kwa sura
    Mabaunsa wanafanyakazi wanalipwa mishahara wanaendesha familia zao
    Kuna nyie mnaimba kuna wanaocheza shoo kuna wanaokusanya mapato getini kuna wanaobeba vyombo nk au Roma zote unafanya mwenyewe?

    • @mahmoudkhamis8638
      @mahmoudkhamis8638 5 лет назад

      Humjuw ww ni mtu kawaida sana Bakhresa anatoa airport kawaida to peke yake hanaa makuuu tafuta jengne lakn c Bakhresa

    • @frankmaria6717
      @frankmaria6717 5 лет назад

      @@mahmoudkhamis8638 ni kawaida sana? Umetumia bando lako vibaya

    • @mahmoudkhamis8638
      @mahmoudkhamis8638 5 лет назад +1

      @@frankmaria6717ni sawa ila angalia vzr utumikaj wao ni sahihi au maana me naona km fation to kwa waliowachukua
      Angalia na kiundan zaid usieke ni ushabik kaka wakat ata ww umgelua stej iyo usingefanya

    • @frankmaria6717
      @frankmaria6717 5 лет назад +2

      Hakuna mahali nimezungumzia ushabiki kwenye andiko langu,
      Kuna watu wanatushangaa tunavyoweka bando kwenye simu wanatamani hizo pesa wangepewa wanunue unga wa ugali kwamba tunatumia pesa vibaya
      Ni sawa na kijana anapambana anatafuta pesa yake anatumia kwa starehe zake hasaidiwi na mtu kuwalipa hao walinzi sisi tunatukanana na kukashifiana mitandaoni
      Ni mtazamo wangu pesa zinatafutwa na mtafutaji akizipata namna ya kutumia mradi havunji sheria ni haki yake,

  • @Theunitedeastafrica
    @Theunitedeastafrica 5 лет назад +1

    kuwa na bodyguard mara nyingine ni kuiweka brand yako iwe expensive na vilevile una protection as huwezi jua nani mbaya nani mzuri. Ila bodyguard 10 au zaidi ya wa5 duh hapo sasa utata

  • @amindadi24
    @amindadi24 5 лет назад +3

    Nimeipenda hii interview iko very entertained

  • @alibulush6200
    @alibulush6200 5 лет назад

    Roma nakubalii sanaa unaongeya pont

  • @ikizakubuntuf2591
    @ikizakubuntuf2591 2 года назад

    nice audience I like it lakin tuna kumiss kinoma bro

  • @maidafrancis45
    @maidafrancis45 5 лет назад +4

    Hahaa Roma umejieleza vzr sana

  • @kitolano1
    @kitolano1 5 лет назад +4

    Guys don’t be so stupid, Bill gate does not have baunsa but 50 cent does. There is richness and famous, Tanzanien don’t understand it. Don’t hate someone who has Baunsa, it part of creating works. That why you America there is a lot of jobs and Africa always suffer

  • @binomarkheir3367
    @binomarkheir3367 5 лет назад +1

    Nyie wabanapua tulieni tu hao Rostam balaa pendeni hao hao wakata viuno wenu kina diamond Rayvan

  • @abdallahkitwana8471
    @abdallahkitwana8471 5 лет назад +2

    Maneno ya mkosaji hayo...mawazo finyu Kabisa... popularity ya bakharesa tofaut na hao wasanii Daimond,Harmonize nk.
    Mkifikia level Yao mtaelewa.

    • @mussamussa9174
      @mussamussa9174 5 лет назад

      Acha upumbavu ww

    • @abdallahkitwana8471
      @abdallahkitwana8471 5 лет назад

      @@mussamussa9174 jenga hoja kijana

    • @japhetkavishe2347
      @japhetkavishe2347 5 лет назад

      Et popularity kwahiyo diamond ni popular kuliko bakhresa 😂😂

    • @abdallahkitwana8471
      @abdallahkitwana8471 5 лет назад +1

      @@japhetkavishe2347 bila shaka kama ukijua maana ya popularity...leo hii bakharesa atembee nan anaemjua na kumzonga?
      Bakhera ana pesa kuliko Daimond ila diamond ana fans'base kubwa kuliko bakharesa...ukibisha bisha

    • @afterfull-time1348
      @afterfull-time1348 5 лет назад

      Abdallah kitwana, unaelewa🙏🙏

  • @oxtinho159
    @oxtinho159 5 лет назад +8

    Hahahahhaha BAKHRESA MWENYEWE HANA BAUNSA hahahahah

    • @oxtinho159
      @oxtinho159 5 лет назад

      @@platnumzlyrics9928 Mtu anotekwa unamjua auuu

  • @ikombebusisi9017
    @ikombebusisi9017 5 лет назад +2

    Bakhresa anavaaa ndara na shati LA mtba suruali kauka nkuvaee hana Pete wala chochotr cha samani ...alindwee nn ila usijidanganye kubwa halindwii analindwaa jaribu uone....kumbka Mo.

    • @hassansalum5362
      @hassansalum5362 5 лет назад

      Ayo mambo ya bounsa mbwembwe tuu na kukuza brand

  • @juliusjulius2080
    @juliusjulius2080 5 лет назад +10

    Afu hao baunsa wanaingiza ela kuliko nyie mnaedhulumiwa na clouds

  • @MKobe_254
    @MKobe_254 5 лет назад

    Stamina kama konyagi ilishika mid interview, kwanza baada ya kuulizwa ya ndoma.. kaka kama alishikwa depression... tafathali bro Roma acha dogo home ukienda interview asije jiwekea kamba shingoni ateleze tumsahau bure... izo dude zicome come despite all

  • @denisngalo3555
    @denisngalo3555 5 лет назад +8

    Watu atali sana ROSTAM

  • @jaydon3361
    @jaydon3361 5 лет назад +8

    Sasa wew Roma utamlipa nin baunsa Kama wew mwenyewe unatembelea gar la million 3

    • @Mwalimu_seleman
      @Mwalimu_seleman 5 лет назад

      Son P kwani gharama ya kumlipa baunsa ni tsh ngapi???

  • @geofreymsengi9971
    @geofreymsengi9971 5 лет назад +5

    Kuwa na bodgadi Ni Pesa ile waache vijana watanue Ni Wakat wao

    • @ziadasalumu1176
      @ziadasalumu1176 5 лет назад +2

      Si hivyo tu pia ni moja ya ajira kwa wale Baunsa sababu wanalipwa nao wanapata riziki au wanataka wale jamaa wakakabe tuache ukuda ni ajira moja wapo vijana wanajipatia we huna uwezo wa kufanya hayo piga kimya roma

    • @geofreymsengi9971
      @geofreymsengi9971 5 лет назад +1

      @@ziadasalumu1176 kweli mtaalamu hyo Ni ajira inatambulika na wamepata mafunzo ya ziada

  • @pacifiquerema2347
    @pacifiquerema2347 5 лет назад +4

    Awa bidamu wawili nawapenda sana

  • @stevemwakisimba5986
    @stevemwakisimba5986 5 лет назад +6

    Roma acha bangi mnavyozidi kuwasema watu wenye mabaunsa mnajitengenezea uwadui na hao watu maana wanapata ajira tosha mkisema bakharesa yeye ni utashi wake!nyie hamna pesa zakuwalipa!

    • @henrysobrill386
      @henrysobrill386 5 лет назад

      Stev we fala eti hana pesa maviii kweli ww

  • @abdulparesh4899
    @abdulparesh4899 5 лет назад +2

    Wanangu mm nawakabali sana

  • @georgemwidima3851
    @georgemwidima3851 5 лет назад

    Kama biashara yako ni kuuza maandazi hauhitaji BodyGuard. Sisi tunaita Bodyguard ninyi mnaita Baunsa kwa lugha yenu. Lakini kwa mwanasiasa, mcheza sinema, mwanamuziki ushindani na maadui ni wengi kuliko wafanyabiashara wa kawaida. Hata hivyo Baunsa si kwa ajili ya kulinda fedha za wafanyabiashara bali mwili wa watu maarufu.

  • @tanzaniamycountry9308
    @tanzaniamycountry9308 5 лет назад +1

    Pamoja @roma

  • @SLTN4503
    @SLTN4503 5 лет назад +3

    Yani hawa jamaa diamond anawasumbua sana..wanateseka sana na wanakosa gis watamtaja wanaona bora wazungumzie habar za mabaunsa..

  • @simbarajabu4157
    @simbarajabu4157 5 лет назад +8

    Mm nashangaa eti konde boy baunsa 8 na diamond baunsa 12 eheeee kweli balaaa

  • @camposomsasani3894
    @camposomsasani3894 5 лет назад +9

    jamaa mm siwaelewi kabisa wanaimba hiphop au taarabu maana mambo yao kama waimba taarabu atamziki wao sasaiv umbea ndio mwingi wanakwama wapi hawa

    • @theodorycharles6384
      @theodorycharles6384 5 лет назад

      Haunaucho elewa mjinga hawezi kuelewa vituvixuri ila kwanyimbo zamatusi ndomnaxielewa wabongo

    • @brendaulomi6482
      @brendaulomi6482 5 лет назад

      Imbaa wew achaa ushambaa wew wanaimbaa Vilvyopo kwenyee jamnii
      Kama unaqaskilza wnasem hipop ni mazngiraa yaliyopo Achaa kulurupukaa wew

  • @salomemphela878
    @salomemphela878 5 лет назад +4

    Roma nimekuelewa unajua kujielezea #ualimubadoumekujaakwenyedamu#

  • @hassansawasawa1941
    @hassansawasawa1941 5 лет назад +3

    Roma anamchimba stamina iliaseme ilabado jamaa kakomaa kweny pwent yk

  • @arnoldmbuya1579
    @arnoldmbuya1579 5 лет назад

    Roma anatafuna BIg G interview nzima.. Usivae Earphones aise..

  • @kondegangfans7368
    @kondegangfans7368 5 лет назад +2

    💥 uno to the world

  • @dhungu_one4331
    @dhungu_one4331 5 лет назад +1

    tumapenda tusikie mziki ukiongea na si maisha ya wanamziki anae fanya vizuli apogezwe

  • @chobastian-chobo5759
    @chobastian-chobo5759 5 лет назад

    Imekuaje stamina ametoa siri za ndoa yake sasahv sasa, kweli maisha yanaenda kasi

  • @kdloon2030
    @kdloon2030 5 лет назад

    Upo sahihi stamina,mambo yako ya ndoa usiyajadili mitandaoni.Wabongo sijui twakwama wapi,yaani private life twaidhihirisha na hao hao tena baadae wanaanza tena kukucheka.

  • @raymondcyprian168
    @raymondcyprian168 5 лет назад +1

    uwepo wa mabaunsa pia ni fursa ya ajira.. wananyanyua vyuma wakale wapi?

  • @dastunluswaga5182
    @dastunluswaga5182 5 лет назад

    Ungekuwa na ulinzi kile kipindi wangesaidia....C unaona sasa Mo anaulinzi baada ya lile sakata..

  • @yeftafilmproduction4214
    @yeftafilmproduction4214 5 лет назад +1

    Haki leo nimeipenda sana hii

  • @joshuamweta6551
    @joshuamweta6551 5 лет назад +1

    Roma kitambo sana aseh very mature majamaa

  • @rajabramadhan1508
    @rajabramadhan1508 5 лет назад +3

    Maneno ya mkosaji

  • @donatusswai1574
    @donatusswai1574 5 лет назад +4

    Hahahhahaha nimecheka hatari

  • @sulendidu1838
    @sulendidu1838 5 лет назад +1

    Roma unajitetea hatari

  • @silverman6930
    @silverman6930 5 лет назад +7

    Instead of talking about serious issues

    • @jumjumanderson9715
      @jumjumanderson9715 5 лет назад

      What do u mean?

    • @silverman6930
      @silverman6930 5 лет назад

      maundu andersonjum what do I mean ,? Are you for really ? Or daft ? 🤔🤔🤔

  • @mohamedfogo8820
    @mohamedfogo8820 5 лет назад +4

    Acheni wivu
    Mziki wenu haulipi
    Mtabaki kuambiwa
    Dah!!! Nyie wakali lkn mfukoni njaa.show moja tu mpaka fiesta

  • @chuggabeatmurderstreetfree2685
    @chuggabeatmurderstreetfree2685 5 лет назад +2

    HUYU JAMAA #ROMA BAADA YA KUTEKWA sijui walimfanya nini... Karudi hajui kingine zaidi ya kuimba tarabu.

  • @juliusjulius2080
    @juliusjulius2080 5 лет назад +2

    Majungu meeengiii

  • @jaypili9955
    @jaypili9955 5 лет назад +3

    mbona umeludia kupost hii interview

  • @athumanyusuph1099
    @athumanyusuph1099 5 лет назад +3

    ujanja ukizidi sana mwishowe huwa ujinga

  • @gadsonmanchester475
    @gadsonmanchester475 5 лет назад +2

    ivi kuna malaia hawapendi muziki

  • @isayakilangi8200
    @isayakilangi8200 5 лет назад +6

    Mmmh stamina hueleweki kaka nakukubali ila apo umezingua

  • @mubofuthegreat4955
    @mubofuthegreat4955 5 лет назад +2

    Stamina umeboa kwenye interview bro

    • @henrysobrill386
      @henrysobrill386 5 лет назад

      Bx kajibu ww ayo maswali

    • @hasanjuma1111
      @hasanjuma1111 5 лет назад

      @@henrysobrill386 roma mshamba stamina kuna ubaya gani kutembea na mabaunsa amnaga vitu vya samani

  • @kachaladouble8593
    @kachaladouble8593 5 лет назад +2

    Muogope mungu hao wasenge wanatumia mabaunsa wanataka tu.kiki nakuogopwa wakiti sio mungu

  • @wilfredmbussa4930
    @wilfredmbussa4930 5 лет назад +5

    Wabongo bhana kwani mnateseka mtu akiweka bodyguards? Inaonesha nyie ni wabinafsi wa maendeleo maana hao bodyguards wanaolipwa na wao wanafamilia zao na kazi yao ni hiyo.. Mlitaka hao bodyguards wale kwenu

    • @gamc773
      @gamc773 5 лет назад

      Sasa wewe una banusa alafu unaendesha gari ulisha ona puffy dady anaendesha gari

  • @paulbinezekiel8225
    @paulbinezekiel8225 5 лет назад +10

    Hawa jamaa wanajielewaga sanaa

  • @damianmachilutv1167
    @damianmachilutv1167 5 лет назад +2

    Majungu tu na wivu,

  • @alijuma6502
    @alijuma6502 5 лет назад +3

    Hamna hela nyie rostam. Hamkeni wcb imekuja kuwaamsha. Badiliken

    • @itongwamtebwa7255
      @itongwamtebwa7255 5 лет назад

      Hacha ujinga umesha kuwa kijana

    • @alijuma6502
      @alijuma6502 5 лет назад +1

      @@itongwamtebwa7255 wanazingua. Wenzao wanatoa ajira. Baunsa wanaenda chooni. Tatizo wasani wabongo wabinafsi sana. Ndio mana mond anawanyoosha. Na wcb media ndio itawaonyesha njia media zakubaniabania wasani

    • @issackchalahani1235
      @issackchalahani1235 5 лет назад +1

      Sio kweli, wcb wamekuja kuwaamsha! Mmh! It's true coz Rastam is the strongly songs but wcb is the softly songs, so this is different music.

    • @alijuma6502
      @alijuma6502 5 лет назад

      @@issackchalahani1235hata chid benzi. Dudu baya nawasani wengi tuu. Wana nyimbo nzuri sana. Zaidi za hao wakina rostam. Lakini wanaelewa na wameheshim nawanakubali kama WCB imeleta mabadiliko makubwa..hapa tatizo sio uzuli wanyimbo hapa tunazungumzia biashara yamusic kwa ujumla

    • @brendaulomi6482
      @brendaulomi6482 5 лет назад +1

      Achaa upuuuziii wew Unamlinganisha wcb na Rostaminaa Achaa ukoroo

  • @idrissajuma1187
    @idrissajuma1187 5 лет назад +2

    Lifestyle....

  • @kazungusostenes6422
    @kazungusostenes6422 5 лет назад

    woo

  • @iddyprod3187
    @iddyprod3187 5 лет назад +11

    Wenzenu wamening'iniza Prado tatu shingoni nyie mabaunsa mna nini?

    • @zumbeshauri8114
      @zumbeshauri8114 5 лет назад +3

      iddy prod hahahahaaa kabisa ndugu yangu iddy prid watu wamehifadhi hela shingoni sasa wewe hata Pete ya laki huna

  • @godfreysebastian2260
    @godfreysebastian2260 5 лет назад

    stamina nae

  • @mariyamdotto2245
    @mariyamdotto2245 5 лет назад +1

    Napenda Roma akicheka jamani

    • @salmashaban2373
      @salmashaban2373 Год назад

      Kitu najuwaga nikukupenda tu Roma ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @mbotwambotwa8136
    @mbotwambotwa8136 5 лет назад

    Ukweli bila baunsa huwezi kufanya show naikaisha salama kwa sababu shabiki wapo wa damu kwa mhusika pia maaduwi

  • @alexmsemwa9130
    @alexmsemwa9130 5 лет назад +3

    Muna mambo ya kike sana wivu mtupu.

  • @stopper4141
    @stopper4141 5 лет назад

    I don't surport msanii kua na bodyguards kibao ila pia tukiangalia positive side wamecreat jobs to alot of bouncers mtaani so big up.

  • @mangalilikilawe6788
    @mangalilikilawe6788 5 лет назад +5

    Roma mshamba kama kweli kaongea hayo maneno yalio andikwa hapo , mana siwezi kuangalia intview za wakuda

  • @juliusjulius2080
    @juliusjulius2080 5 лет назад +1

    Wanasema km hauna hela unaona mwenye hela anatumia hela zake vibaya

  • @hassanjomaa2313
    @hassanjomaa2313 5 лет назад +3

    Kama wewe roma ulivo tekwa si ulitolewa marinda au unataka tutagaze yaliyo kukuta kwa watu wasio julikana

  • @allynanyundo2020
    @allynanyundo2020 5 лет назад +1

    Milaid ongeza kamera tuwaonewote

  • @nestoryjackson5516
    @nestoryjackson5516 5 лет назад +4

    Stamina hueleweki kaka

  • @thebestplatformz8282
    @thebestplatformz8282 5 лет назад

    Sasa bakharesa hana pesa lkn hana mashabik wa kumfuta futa mtaan

  • @mataamiry6720
    @mataamiry6720 5 лет назад +4

    Awa ni maskini sana wakifedha kwaiyo wapunguze taarabu

    • @theodorycharles6384
      @theodorycharles6384 5 лет назад

      Wewe tajili sana unaonaje kibanxi kilichoko kwenye jicho la mwenxako wakati boliti lililopo ndan ya jicho lako

    • @endruwguzula5993
      @endruwguzula5993 5 лет назад

      wewe wzazi wako wananini?

  • @erickmushi4952
    @erickmushi4952 5 лет назад +2

    hahahaa.

  • @davidmlyuka9398
    @davidmlyuka9398 5 лет назад +2

    kijiwe nogwa...

  • @singanomichael6818
    @singanomichael6818 5 лет назад +1

    sio kwamba eti roma hataki mabaunsa, atawalipa nini??? wenzio wana uwezo na wanayoyafanya broo..!! Wake up!!!

  • @faisalwaafrica7478
    @faisalwaafrica7478 5 лет назад +3

    Wacha usenge roma wasomal una maanisha wote ni magaidi sio futa kauli yako pumbav

  • @fubanjenjele521
    @fubanjenjele521 5 лет назад +3

    Entertainments kweny industry
    Nawaelewa jamaa

  • @Burner_Acc
    @Burner_Acc 5 лет назад +2

    Roma unaongea sana

  • @witneymathy4058
    @witneymathy4058 5 лет назад +1

    Ila Rostam wanatumia akili ktk kujibu maswali na ktk show zao ni za kibabe

  • @stanleygeorge6638
    @stanleygeorge6638 5 лет назад +2

    Rostamu ujinga ujinga tu

  • @justinakaronge5270
    @justinakaronge5270 5 лет назад

    Roma Mkatoliki jina lake halisi Ni Nani?

  • @salumchande2702
    @salumchande2702 5 лет назад +1

    Baresa anao bodyguard

  • @makulazomorice3766
    @makulazomorice3766 5 лет назад +5

    Sasa roma ww una gar moja tena passo unadhan hao baunsa unawapata wap

    • @makulazomorice3766
      @makulazomorice3766 5 лет назад +1

      @Abubakar Omary shida ni kwamba roma anaongea kinafiki anasahau kama alishawai kutekwa ila kama angekuwa na mabaunsa labda angesaidiwa kabla

    • @makulazomorice3766
      @makulazomorice3766 5 лет назад +1

      @Abubakar Omary harafu huyo roma anaongea kuwalenga kund fulan haelew kama halingani nao

    • @frankgervas357
      @frankgervas357 5 лет назад +1

      Hamna era nyie wachawi tu

    • @frankgervas357
      @frankgervas357 5 лет назад

      Mashariti ya maganga mmeyakosea mziki wenu majungu itanviw zenu majungu wanangojera haoooooo ngwea ashawambia kuna wengine kwenye gem ndo kifupi wameshapotea ushaambiwa usiyaguse maji kama hujui kuogelea sa cheki
      Mnavyo tapatapa hawana pakutokea kutwa kumdisi pultinumuz simba na kumroga asiekuroga utafisilika tu

  • @emmanuellucas
    @emmanuellucas 5 лет назад +2

    Roma nimekuelewa jomba uko deep jiniaz Dingili

  • @andersonchibule4761
    @andersonchibule4761 5 лет назад +3

    Interview ni zaidi ya kijiwe nongwa

  • @machintangachibwena5922
    @machintangachibwena5922 5 лет назад +5

    Si ulitekwa wewe mbona hukuongea tena kuhusu ile ishu

  • @siwemamichael690
    @siwemamichael690 5 лет назад +1

    Demu kasepa kuwa mkweli wew unazani atujui

  • @hassanjomaa2313
    @hassanjomaa2313 5 лет назад +3

    Hawa jamaa awana marinda usiponde kazi ya mtu bonsa ile riziki yake kama wewe roma unavo imba acheniukandia kuma nyinyi