HII NDIYO SABABU YA KUFUTWA BAADHI YA NOTI “WATU WANADAI SIYO FEDHA HALALI”

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 янв 2025

Комментарии •

  • @AgnessJohn-v8p
    @AgnessJohn-v8p 2 месяца назад +24

    Wekeni picha ya hayati magufuli alifanyia mema

  • @EdiltrudesMbonde
    @EdiltrudesMbonde 2 месяца назад +34

    Msiweke kichwa ya MTU yoyote zaidi ya Baba wa Taifa,nawaombeni Sana.

    • @goodteam7890
      @goodteam7890 2 месяца назад +4

      Hata yeye asiekwe waweke wanyama

    • @EdiltrudesMbonde
      @EdiltrudesMbonde 2 месяца назад +4

      @goodteam7890 Mnyama anawakilisha nini? Dunia nzima wapo kila Aina,Nyerere ni kumbukumbu isoyosahaulika,kazi aliyoifanya hadi Nchi hii kupata Uhuru sidhani Kama Leo wangeweza!!!

    • @rajabukipara3008
      @rajabukipara3008 2 месяца назад +1

      Nyerere ndo Nan😂

    • @sameraakhf5605
      @sameraakhf5605 2 месяца назад

      ​@@rajabukipara3008nyumbu

    • @EdiltrudesMbonde
      @EdiltrudesMbonde 2 месяца назад

      @rajabukipara3008 Kaulize babu zako😄

  • @MohadiTv
    @MohadiTv 2 месяца назад +18

    Hawa wapigaji tu mana kila siku mnabadili mbona marekana ipo pale pale😅

    • @mosesnyelo1380
      @mosesnyelo1380 2 месяца назад

      Nani kakudanganya, sema skualaumu mana hujawah zitumia

    • @PendoMarco-x3u
      @PendoMarco-x3u 2 месяца назад

      @@mosesnyelo1380 kweli

  • @hassanmpwepwe3826
    @hassanmpwepwe3826 2 месяца назад +5

    Inna lilahy wainna illahy rajiuun 😢😢😢😢😢😢😢😢mnazidi kuuiuwa inchi inazidi mudidimia kiuchumi😮😮😮😮😮😮😮

    • @mosesnyelo1380
      @mosesnyelo1380 2 месяца назад

      Unaelewa hata alicho kiongea au ndo kukurupuka hahahahaaa

  • @nbasonelo
    @nbasonelo 2 месяца назад +1

    kama umemuona lecturer amelewa na usingzi juu gonga like

  • @philemonbenjamin4225
    @philemonbenjamin4225 2 месяца назад +26

    Watu hawajazipokea kivipi? Nimiaka mingapi zimetumika?hii nidili msitudanganye

  • @gigoyrn4394
    @gigoyrn4394 2 месяца назад +4

    Kasongo asikose kwenye noti

  • @IsakaSikalumbi
    @IsakaSikalumbi 5 дней назад +1

    SI TUNACHO ZIDI KUOMBA MUNGU TU MABADILIKO HAYA YAWE NA TIJA NA MCHANGO CHANYA KTK MAISHA YA MTANZANIA

  • @chrissnyello9490
    @chrissnyello9490 Месяц назад

    Ivi kumbe tuna elfu tano yenye Twiga me sinawahi kuiona mbona Wakuu❤

  • @dullahkalanjedullahkalanje1422
    @dullahkalanjedullahkalanje1422 Месяц назад +2

    Miaka mnnetu mnabadilisha noti acheni ujinga

  • @NeemaDainess
    @NeemaDainess 19 дней назад

    😭😭😭😭😭😭😭😭😭 nch inazd kudidimia jmn

  • @mnyetikulwa4510
    @mnyetikulwa4510 2 месяца назад +4

    Yaan watu huwa wagumu sana kuelewa,, mmeambiwa Noti zile z zaman ambazo zilishaacha kutumiwa, kw mfano ile miambili y Noti ambayo ilikuwa ina picha ya watu wawili wamebeba sama Sangara, na Ile mia tano ambayo ilikuwa na watu wanavuna Kahawa

    • @isaya9613
      @isaya9613 17 дней назад

      Ahaa kumbe umenielewesha

  • @mbwanarajab7238
    @mbwanarajab7238 2 месяца назад +9

    KWANI MKAACHA ZIKAPOTEA ZENYEWE KUNA SHIDA GAN?

  • @Kisigino
    @Kisigino 2 месяца назад +6

    Mwanasiasa,,,mwizi,,,na kufanya kazi serikalini hakika mbinguni mtaishia kukata kona kuelekea huko penye kilio cha kusaga meno

    • @huyu1993
      @huyu1993 2 месяца назад +1

      Kwa jina lako ilo la Piter huna tofauti nao nyinyi nyote njia moja na wao

    • @huyu1993
      @huyu1993 2 месяца назад +1

      Uliwai kusikia mtu anaeitwa Peter akenda peponi? Na upande uo ulio my friend sahau kuhusu pepo 😂😂😂😂😂😂

    • @Kisigino
      @Kisigino 2 месяца назад +1

      @huyu1993 ukitaka maanisha kuwa uislam Ndio njia sahihi au maana yako nn

    • @jamesmassawe4888
      @jamesmassawe4888 2 месяца назад

      ​@@huyu1993wewe ni Nguruwe pori

    • @Kisigino
      @Kisigino 2 месяца назад

      Sasa Kama mtume wenu alikufa na hata hamjui alipo ila YESU kristo alikufa na alifufuka yu hai na hata huyo mtume wenu yeye mwenyewe anamtegemea Yesu kristo akija amhukumu sasa huoni nyie mmepotea??

  • @allychengula3511
    @allychengula3511 2 месяца назад +7

    Jaman ujambaz huu hamna, pepo kwel

  • @AllyHassan-e2m
    @AllyHassan-e2m 2 месяца назад +7

    Minoti minqi hazina thamani Kwa kuteqemea dola ya marekani iqeni Kenya kutumia pesa Yao ndio na Sisi pesa zetu ziwe na thanini unajuwa pesa za zamani ni nzuri kuliko sasa

    • @florencemeza6540
      @florencemeza6540 2 месяца назад +2

      Kwa magufuli alipiga stop na pesa yetu ilipanda thamani sasa hivi yamerudi tena ya kulipa kwa dola yaani kichefuchefu hadi kukata ticket ya ndege imepabda wanakwambia kabisa tunatoza kwa dolla

  • @mpondaonetv95tanzania
    @mpondaonetv95tanzania 2 месяца назад +4

    NAOMBA KURA ZENU AISEE MWAKAN NAGOMBEA URAIS NAOMBEN KURA ZENU!!

  • @MariamSaidy
    @MariamSaidy Месяц назад

    Kwaiyo na yy siku akiacha kuwa rais samiya atakae ingia naye mtabadilisha noti nyingine

  • @StephanoMoses
    @StephanoMoses 2 месяца назад

    Hakuna asiyejua biashara ya pesa za kale ni dili kubwa maana zilitengenezwa na madini ambayo kwa sasa ni big dil . Nyie wekeni bayana mnanunua kwa bei gani mletewe mzigo 4:25

  • @adkajisi4536
    @adkajisi4536 2 месяца назад +14

    Tuchape noti ya Laki 1 ili kutupunguzia mzigo wa fedha make elfu 10 Siku Hizi ni pesa ya mboga tu!

    • @Jungle-r2j
      @Jungle-r2j 2 месяца назад +3

      Ukiipoteza ndio utajua ubaya wake

    • @adkajisi4536
      @adkajisi4536 2 месяца назад +1

      @@Jungle-r2j Ni kawaida tu Kwani wakati noti ya elfu kumi imechapwa kwa Mara ya kwanza ilikuwa Vipi,

    • @fadhili_masoi
      @fadhili_masoi 2 месяца назад +3

      umeongea jambo la maana sana,inatakiwa pawepo na noti ya 20k,50k na 100k

    • @gadiyemarciano1750
      @gadiyemarciano1750 Месяц назад +1

      Kwenye change tutasumbuana sanaa😅😅😅

    • @SANGTINAGODETRUDMAKONYOLA
      @SANGTINAGODETRUDMAKONYOLA Месяц назад

      😂😂😂​@@Jungle-r2j

  • @philibertmpinzile.6090
    @philibertmpinzile.6090 2 месяца назад +1

    Usiseme noti za jero tu, mheshimiwa unataka kuniambia she kumi na she is hiring kiofisi zinatambulika kuwa ziko katika mzunguko swali je? Ni kweli physically ziko mikononi mwa wananchi jibu lake hapa nini?kama ndiyo are u sure ?kama hapana are u sure?na kwanini hatrudishiwi checking kuendana na hizo sarafu zetu bali ikibakia she is hiring basi muuzaji atakwambia potezea sirudishii kwani na help ndogo are sure?kamahesabu ni help ndogo are u sure?

  • @gilbertshirima2684
    @gilbertshirima2684 2 месяца назад

    Huu ni udhaifu mkubwa sana.
    Sio salama sana kwa uchumi wa nchi. Wataalamu wetu mnatuamgusha sana sana.
    Tangu nizaliwe mmebadilisha sana fedha zetu. Ni uzembe na hila

  • @mangashajunior242
    @mangashajunior242 5 дней назад

    Majanga....

  • @tumpaleakim825
    @tumpaleakim825 3 дня назад

    Hizo elfu 2, elfu 5 za zamani tutazujuaje

  • @nkengimasanja1899
    @nkengimasanja1899 2 месяца назад +1

    Leteni noti za zamani tuendelee nazo maana kubadilibadili mzizishusha thamani tulikuwa na noti za 5,10,20,100,

  • @JAMBOBoy-v3k
    @JAMBOBoy-v3k 2 месяца назад +21

    SASA MNATULETEA KICHWA CHA MTU MWINGN SISI TUNATAKA KICHWA CHA BABA WA TAIFA NA KARUME NA MWINYI BASIII😂

    • @ayshasaid1547
      @ayshasaid1547 2 месяца назад

      Itapendeza zaid

    • @MhinaKulewa
      @MhinaKulewa 2 месяца назад

      Umeona wapi kuwa wanaleta nyingine?

    • @walidmgonja3644
      @walidmgonja3644 2 месяца назад +2

      Unataka kichwa kikusaidie nini?

    • @YaziduIddy-u7p
      @YaziduIddy-u7p 2 месяца назад +1

      Huyu Nyerere . wenyewe unamjua ukiona picha yake unafaidika nanini

    • @vincentcharles4385
      @vincentcharles4385 2 месяца назад

      @@YaziduIddy-u7pBasi tuweke picha ya babaako akiwa amepakatwa bila mafuta

  • @LifeAbout_Hustler
    @LifeAbout_Hustler Месяц назад

    Wanataka kuwakataa watakatishaji fedha

  • @meckcp1650
    @meckcp1650 2 месяца назад +1

    kwan elf 5 ina picha ya twiga au mimi njaa zangu ndio namuona kifaru

  • @Mpanda_boy_Tv
    @Mpanda_boy_Tv Месяц назад

    5000 ina twiga😂😂😂😂😂

  • @BarakaMwakalinga-sn5sp
    @BarakaMwakalinga-sn5sp 28 дней назад

    Badala mpambane uchumi qa nchi uinuke mnahangaika na kubadirisha sura za watu kwenye pesa.

  • @GoodluckNjau-km3ym
    @GoodluckNjau-km3ym Месяц назад

    Kwa upeo wangu mdogo hiii kubadili fedha apo lazima tupigwe na kitu kizito hii ni mipango tu ngoja tuone

  • @hilalisaidseif8483
    @hilalisaidseif8483 2 месяца назад +2

    Uchaguzi oyeee

  • @arafasalim9948
    @arafasalim9948 2 месяца назад +2

    Tunaomba shilingi na pesa ndogo ndogo zirudi ili kuipandisha thamani pesa yetu ya tanzania

    • @taflamohsin2195
      @taflamohsin2195 Месяц назад

      Ukiona zinabadilishwa basi ujue thamani yake inashuka,😢,na hizo pesa ndogo zote zitakua hakuna,zitaanza jero ndo ya kwanza,hakuna tena mia2.😢

  • @MariamSaidy
    @MariamSaidy Месяц назад

    Kwann msiweke wanyama kama hivyo ilivyo

  • @MailesSezero-l4c
    @MailesSezero-l4c 2 месяца назад +12

    Mnapobadili mwonekano wa noti au shilingi inabd mtupe na sababu kwasababu mnatumia kodi zetu kuchapisha, n vizur muangalie jinsi ya kupandisha thaman ya pesa kuliko kuchapisha na kufuta noti kila baada ya miaka 15

    • @huyu1993
      @huyu1993 2 месяца назад +1

      Wewe kama nani ata upewe sababu? Kwa kodi Gani unayolipa ?

    • @alexvenas2699
      @alexvenas2699 2 месяца назад +5

      ​​@@huyu1993yeye kama mtanzania unataka nani ahoji ? Mzungu? Acha chuki ndugu funguka akiri.

    • @shaviercharvinho18
      @shaviercharvinho18 2 месяца назад +1

      Sio nchi hii wenyewe wanaamuwa tu

    • @shaviercharvinho18
      @shaviercharvinho18 2 месяца назад +1

      Wanatafuta sababu ya kuingiza pesa feki saivi ujuwe kwa miaka hii 10 sijasikiapo pesa feki ikizungumzwa asa subiri zije mpya uone

    • @mvullamanase
      @mvullamanase 2 месяца назад +1

      ​@@huyu1993Una Akili fupi sana...!😢

  • @RenaldaZeramula
    @RenaldaZeramula 2 месяца назад +3

    Mnazubaisha wananchi badilisheni zote, wazee vijijini watapata hasara

  • @EmmanuelNyinyigwa-m1o
    @EmmanuelNyinyigwa-m1o 2 месяца назад +1

    Sawa

  • @khamsjabdullah691
    @khamsjabdullah691 2 месяца назад +5

    Mungefanya lamaana na 1000 na 2000 zikabadilishwa

  • @aminattai2676
    @aminattai2676 2 месяца назад

    Atakaezikataa aniletee Mimi hapa nitazipokea kwa mikono miwili,tena waambie na familia yako mzima nipo nazisubiria

  • @OmarSalum-y9c
    @OmarSalum-y9c Месяц назад

    Mimi naona katika pesa za kufanyiwa mabadiliko na hizi sh mia 100 jamani zinaharibika mara 1 nawaomba hawa bot pia na hizi wazitizame maana hawazizungumzii

  • @OmarSalum-y9c
    @OmarSalum-y9c Месяц назад

    Sh 100 za chuma zinachakaa upesi sana

  • @nsodyaphilimon9153
    @nsodyaphilimon9153 2 месяца назад

    Uchapaji fedha ni gharama. Hapa najua kuna wanufaika. Fedha halali msitudanganye mnaweka picha ya Samia mnatoa picha ya Mwinyi wala sababu hakuna

  • @nicaswaziri
    @nicaswaziri 2 месяца назад +4

    Mnabadilisha pesa kila siku mbona wenzetu not zao ni zile zile za za zamani? Ushawah skia wap marekani au china wanabadilisha fedha zao?

    • @fidodido9578
      @fidodido9578 2 месяца назад +1

      Haujuwi kitu wewe hata marekani walibadilisha Dora za zamani

    • @JosephEpimack-y4l
      @JosephEpimack-y4l 2 месяца назад +1

      Dola zinabadilishwa na sio mwonekano ila zinaenda kwa series na mwaka, ukipewa dola ya mwaka 1995 ni sawa na ya 2014 ila hiy ya 1995 inawezekana ishafutwa

    • @mnyetikulwa4510
      @mnyetikulwa4510 2 месяца назад

      Muwe mnaelewa basi, mmeambiwa zile z zaman , sio zile zile mnazotumia hv sasa

    • @fidodido9578
      @fidodido9578 2 месяца назад

      @@JosephEpimack-y4l yes mwonekano ni ule ule ila mabadiliko kimtindo yapo kwa mfano Dora za zamani hazina mstali katikati ndani yake

    • @tinnahagustinolyelu4247
      @tinnahagustinolyelu4247 Месяц назад

      Wewe hata oman wameshatangaza miezi miwili Kuna noti mwisho kutumia wanabadilisha usiwe mbishi Tena oman wanabadilisha noti tatu
      Shilingi mia lialy kumi na lily Tano kitu kama hicho

  • @NgukiJulius
    @NgukiJulius Месяц назад

    Twenden tuu kwenye Sarafu za kidigitali

  • @bakarikisuda4948
    @bakarikisuda4948 2 месяца назад +1

    Tusishangae kuona picha yamtu fulani kuja kuwepo kwenye not

  • @RoseJohn-sg2gx
    @RoseJohn-sg2gx Месяц назад

    Bora tu muiache hivyo hivyo jamani

  • @bahatimussa-l7n
    @bahatimussa-l7n 2 месяца назад

    Next time uwe unaonesha mifano halisi ya hizo fedha, i mean ungekua upo nazo hapo. Hii ingekua rahisi kujua hzo fedha, wengine ni watoto wa 2000 apa.

  • @faustinluambano2958
    @faustinluambano2958 2 месяца назад +4

    Msiweke picha ya muarabu

  • @dinarchy4863
    @dinarchy4863 Месяц назад

    nisawa 😂😂😂

  • @mwanabucheyeki226
    @mwanabucheyeki226 2 месяца назад +1

    GHARAMA ZA TAIFA LA TANZANIA 2024/2025. 1)Uchaguzi Serikali za Mitaa 2) Kuchapisha Noti Mpya & Uchaguzi Mkuu. Kwa kumudu Gharama zile, TAIFA TAJIRI KWELI.

  • @MasiringiMgeta
    @MasiringiMgeta Месяц назад

    NIJAMBO JEMA. KUBADILI NOTI LAKINI ZIWE NA UBORA

  • @rithaurassa
    @rithaurassa 2 месяца назад

    Hivi serekali ikiamwua kunaanae kataaa

  • @HamisKwaswahili
    @HamisKwaswahili Месяц назад

    Wekeni picha ya John magufuli ili kukumbuka mchango wake mkubwa katika taifa letu

  • @mwabulambomoses9871
    @mwabulambomoses9871 2 месяца назад +12

    Chonde chonde msijaribu kuweka picha ya Samia au mtu yeyote watu watazikataa. Pili acheni pesa mpya na za zamani zitumike pamoja huku mkiziondoa za zamani polepole ili kuepusha wananchi kupata hasara. Siku 90 ni muda mfupi sana.

    • @mosesnyelo1380
      @mosesnyelo1380 2 месяца назад +1

      Kwani wapi wamekuambia wana leta noti mpya

    • @walidmgonja3644
      @walidmgonja3644 2 месяца назад +1

      Hata akili huna,badala ya kufikiria njia halali za kupata fedha wewe upo kisiasa unafikiria watu,kweli mafala ni wengi TZ

    • @yakobokuzenza6837
      @yakobokuzenza6837 2 месяца назад +1

      Kwenye msafara kenge huwa hawakosekani

    • @PhilipoMwita-b2x
      @PhilipoMwita-b2x 2 месяца назад

      Tutazitumia Sasa tutakataa Hela ila wasiweke sura ya Samia itakata utam

    • @Happy-be8hh
      @Happy-be8hh 2 месяца назад

      Pesa za zamani yaani ni nzuri sana

  • @florencemeza6540
    @florencemeza6540 2 месяца назад +3

    Kuna kitu

  • @ahamadiyusuphu6011
    @ahamadiyusuphu6011 2 месяца назад

    Daaahhh kuna watu ni shida hapa duniania...wekeni wa China sasa.

  • @JohnsonMichael-c2x
    @JohnsonMichael-c2x 2 месяца назад +1

    Uchaguzi Mambo ya meanza

  • @haroungwiyamabuzohera-jk3vl
    @haroungwiyamabuzohera-jk3vl Месяц назад

    Hivi noti ya shillings 20 au 50 hata100 thamani yake ni kiasi gani? Nani anaweza kupata na kusumbuka kuiweka BENKI wakati nauli analipa 3000.

  • @MwakaHappy
    @MwakaHappy 11 дней назад

    Mbona magufuli hajabadirisha

  • @FREDYKALENGA-db8ip
    @FREDYKALENGA-db8ip Месяц назад

    Hapo kuna kichwa cha mama kizimukazi kinatafuta nafasi

    • @aishamsemwa-zu3eo
      @aishamsemwa-zu3eo Месяц назад

      Ninge sema kitu ila Kwa hasira nisije jikuta Niko ,,

  • @AlliMohamed-q2y
    @AlliMohamed-q2y 2 месяца назад +1

    Door rip jpm😢

  • @hollymore4904
    @hollymore4904 2 месяца назад

    aibu naona mie

  • @bwagizoselemani8434
    @bwagizoselemani8434 2 месяца назад

    Yaan sisi wa Africa bado shida iko pale pale kikubwa uzima tu

  • @yudatadeimdoe9215
    @yudatadeimdoe9215 2 месяца назад +11

    Leteni noti ya laki, acheni ubabaishaji,, mtu unabeba begi la Hela kubwaaa akati ingelahisisha tuu

    • @mudighurayra
      @mudighurayra 2 месяца назад +2

      Ndio umejiona umeongea, pesa kila namba ikiwa kubwa ndio inazidi kushuka thamani

    • @jamaldaud-e4d
      @jamaldaud-e4d 2 месяца назад +1

      😂😂😂😂

    • @BONGOINMOTION
      @BONGOINMOTION 2 месяца назад +2

      Marekani noti kubwa ni Dola mia.

    • @samueldavid8853
      @samueldavid8853 2 месяца назад

      Ili iweje, emb waulize Waganda

    • @RoseMichael-oz7cy
      @RoseMichael-oz7cy 2 месяца назад

      Uko sahih mkuu kwan kuna maamuz mangp yashafanyikaga afu tukaja kugundua kua tumepgwa??

  • @bonbea6463
    @bonbea6463 2 месяца назад

    Nimesikia elfu tano inapicha ya Twiga

  • @latifa7358
    @latifa7358 2 месяца назад

    Tunataka picha ya hayati Magufuli kwenye hizo noti mpya lasivyo msiweke kitu chochote

  • @kambamazig02024
    @kambamazig02024 2 месяца назад +1

    Hizo gharama za kuchapisha pesa ni kiasi gani kimetumika?

    • @AleiHadji-js3ed
      @AleiHadji-js3ed 2 месяца назад

      😂😂😂😂

    • @leahnjinge7136
      @leahnjinge7136 2 месяца назад

      Muwe mnasikiliza kwa umakini mbuzi nyie,sio kutumia mihemko

  • @FocusmachumuMwizarubi
    @FocusmachumuMwizarubi 2 месяца назад

    Na hizi ndizo zilikuwa pesa ya makaratasi ngumu hata kuchakaa ila hii nchi hatari

  • @SalumMmaka-o6w
    @SalumMmaka-o6w 2 месяца назад

    Falawe😂kazi kututia njaatu

  • @Mpanda_boy_Tv
    @Mpanda_boy_Tv Месяц назад

    Fedha ya tanzania ni danga

  • @anesiusrobert5555
    @anesiusrobert5555 2 месяца назад

    Ef 5 yenye twiga iko wapii

  • @bahatimakenzi
    @bahatimakenzi 2 месяца назад +3

    NOTI ZA ZAMANI NI NZUR NA BORA KULIKO HIZI ZA 2010 BWANA NYINYI

    • @RosemaryMalya
      @RosemaryMalya 2 месяца назад +1

      Tena zilikua haziishi haraka unanunua vitu vingi na hela inabaki hizi za Sasa hivi elfu kumi unaumiza kichwa jinsi ya kutumia

    • @adkajisi4536
      @adkajisi4536 2 месяца назад +2

      @@RosemaryMalya shida sio noti shida ni thamani ya noti.

    • @bahatimakenzi
      @bahatimakenzi 2 месяца назад

      @@RosemaryMalya kabisa 10000 kama 1000

  • @PendoMarco-x3u
    @PendoMarco-x3u 2 месяца назад +2

    Mmenenepeana tu hakuna jipya apo ninyi ndo mwafaidi nchi hii secta zote

    • @walidmgonja3644
      @walidmgonja3644 2 месяца назад

      @@PendoMarco-x3u ulikimbia umande,Acha waliovumilia shule wafaidi,wewe endelea kulalamika mitandaoni na kuuza hicho ulicho nacho

  • @edwardkitenana1335
    @edwardkitenana1335 2 месяца назад

    Shilingi elfu tano yenye twiga imeshatoka nn, hapa gavana kachapia kidogo

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 2 месяца назад

    Mtaletewa yenye picha ya Mama Kizimkazi noja tuone ujio mpya😂😂

  • @ElinahStephano
    @ElinahStephano 2 месяца назад +1

    Me naona fedha za tz thamani ziongezeke kama inawezekana

    • @edmundhenrykagimbo9776
      @edmundhenrykagimbo9776 2 месяца назад

      "Hao wote hawana uwezo wa kupandisha thamani ya Sarafu ya Nchi!" Bongo lala wote!

  • @jacklinelyimo7407
    @jacklinelyimo7407 2 месяца назад +1

    Wewekwe tu baba wa Taifa hatutaki marais waliopota au wanaokuja na kuondoka Nyerere na Karume inatosha

  • @mosule9262
    @mosule9262 2 месяца назад +1

    Nacho jiuliza kwann hatukuambia tokea mwanzo kwamba shilingi 20,na mia tano ya noti bado zinatumika pamoja na hela zingine tulikuwa tukienda kununua na hizo hela hazikubaliki iweje leo tena mnazihalalisha alafu baada ya miezi kadhaa mnazinatilisha ?

    • @emilianchibinda82
      @emilianchibinda82 2 месяца назад

      Maelezo mengi yanaChanganya. Kwani mkizibadilisha kimyakimya kuna shida gani? Wekeni kwenye benki vinginevyo mtaleta usumbufu

  • @Todn7
    @Todn7 2 месяца назад

    😅😅😅

  • @dicksonkilupa2258
    @dicksonkilupa2258 2 месяца назад

    SIJAWAHI KUMWONA MTU ANAYEZIKATAA PESA , HAPO KUNA DILL YA WATU. ILA MSIWEKE KICHWA CHA MTU ZAIDI YA NYERERE NA WANYAMA TU.

  • @balozimkali1337
    @balozimkali1337 2 месяца назад

    Mbona wengine hatujaelewa kinachobadilishwa ninini?

  • @GideonLenard
    @GideonLenard 2 месяца назад

    Hii nchi ya ajabu sana kila kitu ni siasa eti kunawatu wamezikataa pesa za zamani waanasema sio halali hamna nyie semetu tuu mnataka kuweka mapicha za watu wengine ijulikane tu

  • @jaynationtz2100
    @jaynationtz2100 2 месяца назад

    Mtatuuwa wengi mkiweka sura ya mtu humoo tunajua hakikizenu

  • @AnoldTwisa
    @AnoldTwisa 2 месяца назад

    Tatizo watangulizi wako walizingua note zenu mbovu zinachakaa haraka huku kwetu coin ya shilling 50 haitumiki watu wanagoma

  • @gracethomas683
    @gracethomas683 2 месяца назад +1

    Mtu wa BOT hajui 5000 ina kifaru ila nyie…..

  • @aishafrancis7714
    @aishafrancis7714 2 месяца назад

    Nchi inaenda resi hatari daah.

  • @NardhisMhagama-sy3eq
    @NardhisMhagama-sy3eq 2 месяца назад

    Gavana unakuwa mwongo ndio Kwa maana hao unao wa ambia wanakucheka

  • @shaviercharvinho18
    @shaviercharvinho18 2 месяца назад

    Nyie munatafuta sababu ya kuingiza pesa feki saivi

  • @MichaelMaro-hj7yo
    @MichaelMaro-hj7yo 2 месяца назад

    PESA HU CHAPISHWA KWA GARAMA VIJIJINI ITAKUWAJE ?

  • @abuusaid3297
    @abuusaid3297 2 месяца назад

    Bora mziache msibadili chochote

  • @deusmtiri6341
    @deusmtiri6341 2 месяца назад

    wezi watupu

  • @lovenesshadracklove4350
    @lovenesshadracklove4350 2 месяца назад

    CBDC kupitia pi network,mind control mwisho wasiku nisarafu ya mtandaoni,ndo inatafutwa, SDA kueweni makin tunaelekea kwenye kutouza Wala kununua ufunuo 23:15

    • @ShakilaAbdallah-s8h
      @ShakilaAbdallah-s8h 2 месяца назад

      Cache you much

    • @tuzonyava8306
      @tuzonyava8306 2 месяца назад

      Wewe utakua upo Dunia ya peke Ako kuamini visivyo aminika

    • @lovenesshadracklove4350
      @lovenesshadracklove4350 2 месяца назад

      @tuzonyava8306 wakati nishahidi mwaminifu,wakati ukifika ndipo mtakapo amini ila angalia google barua ya Gavana wa bank ya tarehe 26october nadhan inayozungumzia kuhusu watu wote kurudisha pesa zote bank kuu na bank za biashara Ili wapewe pesa mpya,ushajua hyo pesa mpya ni ipi???zoezi Hilo limetolewa kuanzia tarehe 6/1/2025had tarehe6/4/2025 pesa zote zinatakiwa kuwa zimerudiahwa bank kuu,angalia pia CBDC kwa mara ya kwanza ilivyokua kwa Nigeria ,ingia ata you tube uangalie ndo utajua kama Nina Dunia yangu au ndo papa anaandaa watu wote Dunia I kua na mfumo wa dini moja na serikali moja na fedha moja na kitamburisho kimoja,fatilia mambo yasikukute ukiwa gizan,

  • @BONGOINMOTION
    @BONGOINMOTION 2 месяца назад

    Sawa Mlambo

  • @IbrahimMussa-b9k
    @IbrahimMussa-b9k 2 месяца назад +3

    Itapendeza mkieka picha ya mjomba magu

  • @jerome3143
    @jerome3143 2 месяца назад

    mzizitoe sasa ili watu wajuwe

  • @ayshasaid1547
    @ayshasaid1547 2 месяца назад

    Iwe mwaka mzima sio mnaweka siku au mwezi

    • @tinnahagustinolyelu4247
      @tinnahagustinolyelu4247 Месяц назад

      Mwaka wewe oman wametangaza miezi miwili ila watanzania ni wabishi saana

  • @alfredbee7967
    @alfredbee7967 2 месяца назад

    Huyu mama anataka picha yake iwekwe kwenye noti mpya huo ni mpango wake eti kana kwamba anakubalika hmna lolote wamekosa sera hawa

  • @jamalsamma560
    @jamalsamma560 2 месяца назад

    Pi network

  • @VicentySina
    @VicentySina 2 месяца назад

    Zile peswa zinatafutwa na ni utajiri so,, if u have it keep it and wait kuna something special an' worth

  • @MadamAli-qd4se
    @MadamAli-qd4se 2 месяца назад +1

    BORA MUZIINDOSHE MANA NOTI KARATASI YAKE HAZINA UBORA ZINACHAKAA HARAKA ANGALIENI NOTI BORA WALIZOTOA EMARATI HATA ZIKIINGIA MAJI BASI HAZIROWI