Una hakika gani kuwa elimu hiyo inatoka kwake? Maana yawezekana anatafsiri toka mitandaoni tuu??? Na uwaziri sio maelezo tuu, ni utendaji kazi hasa, sio blaablaa za kina Riziwani!!!
@@josephmasanja8584 chuki itakuuwa wewe. Huyo sio dokta wako Ndodi wa tiba za asili anayegoogle au mpiga ramli na manyanga wa pale kijijini kwenu, huyo ni profesa wa afya ya mwanadamu. Ni daktari bingwa na ameshahudumu kama daktari binafsi wa raisi. Kwa sasa ndiye anayesimamia uangalizi wa afya za watanzania wote kama mkurugenzi mtendaji wa hospitali ya taifa ya Muhimbili. afya za watanzania zipo chini yake... uprofesa wake sio wa kupachikwa, kakaa darasani akasoma, bwege wewe!!
@@josephmasanja8584Madaktari wote Duniani kama yeye ndio wanasema hayo hayo hata Madaktari wa China, India na Wazungu kwa jumla na hata wa Africa 😂😂😂 lakini nyiye wa Bongo lazima muwaponde Viongozi wenu wote. Sababu ya upungufu wa Elimu. Mambo ya ajabu kweli.
Magonjwa mengi kwa binadamu karibu asilimia 80 hutokana na mfumo wa vyakula. Kwa maana hii 1. Kula vyakula au vitu ambavyo havifai ktk mwili. 2. Kula vitu ambavyo si vyakula au vinywaji halisi. m.f. soda na juice bandia. 3. Tabia mbaya ya kula chakula wakati hauna njaa, yaani kula kwa kufuata saa. Kula chakula wakati mwili hauhitaji kula. Huu mfumo wa tabia hii ndio vyanzo vya magonjwa mengi ktk mwili wa mwanadamu.
Dr Janabi Heri na Christmass na Mwaka mpya. Tunashukuru sana kwa hii Elimu kwa Umma ni nadra kuipata na unaokoa watu wengi Tunaomba uendelee kutoa Elimu "Kuzuia ni Bora kuliko tiba MUNGU akubariki"❤
Hapa ndipo wabongo tunapokosea, hawa ma professor, hawatakiwi kuwa wanasiasa wabaki kuwa wataalamu na washauri, bahati mbaya sana hatuwatumii kwa sababu tunadhani watakwamisha deal zetu, ukimpeleka kwenye siasa huyu utamchukia hawezi sema kitaalamu tena, wako ma professor wengi wameangamia baada kupewa uwaziri
Ndio Mjue.Rais wetu anaakii nyingi na ana shaurika na washauri wake amempa nafasi yakuwa mshauti wake wa Afya Nchini na pia anampeleka kugombania nafasi ya Ukurugenzi wa.WHO Africa
Dokta sema unywaji wa pombe haufai kabisa waambie kweli iwe kidog owe nyingi .anaetaka achukue asietaka aendelee kunywa tu atakuona mbele huko alichokitafuta..
I wish to understand if alcohol consumption is inherently likely to lead to kidney failure or if it's the resultant dehydration that leads to kidney disease? If the latter is the case, can we consume alcohol safely by consuming water too?
YAANI ANAFAA SANA, WATU WANAFANIKIWA SANA KUPITIA VIDEO HIZI KAMA MAONI YA WATU WENGINE ANATAKIWA APEWE KIPINDI MAALUM KILA WIKI KWENYE CHANNEL ZOTE TZ KWA MUDA TOFAUTI ITASAIDIA SANA...

Elimu unayoitoa Dr. Janabi ni ya muhimu kwa umma kwa sababu itapunguza cases za haya magonjwa. Mungu akulinde akupe maisha marefu professor wetu.
Hongera doctor nashauri zile TV pale hospitali hasa muhimbili sehemu ya kusubiri huduma,ziwe zinaonyesha vipindi hivi mara kwa mara kuelimisha jamii
Mh. Rais uyu Prof. Janab anatakiwa ikikupendeza awe Waziri wa Afya atatusaidia Sana kwakua anauwezo mkubwa.
Una hakika gani kuwa elimu hiyo inatoka kwake?
Maana yawezekana anatafsiri toka mitandaoni tuu???
Una hakika gani kuwa elimu hiyo inatoka kwake?
Maana yawezekana anatafsiri toka mitandaoni tuu??? Na uwaziri sio maelezo tuu, ni utendaji kazi hasa, sio blaablaa za kina Riziwani!!!
@@josephmasanja8584😂😂😂
@@josephmasanja8584 chuki itakuuwa wewe. Huyo sio dokta wako Ndodi wa tiba za asili anayegoogle au mpiga ramli na manyanga wa pale kijijini kwenu, huyo ni profesa wa afya ya mwanadamu. Ni daktari bingwa na ameshahudumu kama daktari binafsi wa raisi. Kwa sasa ndiye anayesimamia uangalizi wa afya za watanzania wote kama mkurugenzi mtendaji wa hospitali ya taifa ya Muhimbili. afya za watanzania zipo chini yake... uprofesa wake sio wa kupachikwa, kakaa darasani akasoma, bwege wewe!!
@@josephmasanja8584Madaktari wote Duniani kama yeye ndio wanasema hayo hayo hata Madaktari wa China, India na Wazungu kwa jumla na hata wa Africa 😂😂😂 lakini nyiye wa Bongo lazima muwaponde Viongozi wenu wote. Sababu ya upungufu wa Elimu. Mambo ya ajabu kweli.
Kweli kabisa akiwa waziri atapoteza ufanisi wake.
Magonjwa mengi kwa binadamu karibu asilimia 80 hutokana na mfumo wa vyakula. Kwa maana hii 1. Kula vyakula au vitu ambavyo havifai ktk mwili. 2. Kula vitu ambavyo si vyakula au vinywaji halisi. m.f. soda na juice bandia. 3. Tabia mbaya ya kula chakula wakati hauna njaa, yaani kula kwa kufuata saa. Kula chakula wakati mwili hauhitaji kula. Huu mfumo wa tabia hii ndio vyanzo vya magonjwa mengi ktk mwili wa mwanadamu.
Kazi nzuri Prof ,acha kuwasikiliza akina Msukuma wasiojua hata kuchora picha ya moyo.
Uwaziri ni nafasi ya kiutwala,yy anafaa kuwa kwenye uwanja wa mapambano kama hivi anavyofanya.
Dr Janabi Heri na Christmass na Mwaka mpya. Tunashukuru sana kwa hii Elimu kwa Umma ni nadra kuipata na unaokoa watu wengi Tunaomba uendelee kutoa Elimu "Kuzuia ni Bora kuliko tiba MUNGU akubariki"❤
Wslevi wanted pombe na vilivi vyote ni wabishi mno.Tumsikilize sana Pr.Nyanabi.elimu anayoitoa tukiifuata ni uponyaji
Prof Mungu akusaidie uishi miaka mingi unatuelimisha sana
Nimeanza kunywa maji kwa wingi. Thanks doctor
👍 Maji ni muhimu kwenye kila kitu kilichokuwa hai.
Lakini ukizidisha kuliko mahitaji ya mwili wako italeta shida pia
Asante sana Dr.M/Mungu akupe maisha marefu,endelea kuelimisha watu kwa karama uliyojaliwa na Mungu.
Asante sana, Prof. Janabi.
Subuhanallah. Mtihani haya maladhi
Asante sana
allah bless you prof. Janabi
Nimekuelewa msomo Mungu akubariki sana bila nyie tuta kwama
Asante kwa kumsupport Doctor wenu. Dr. Anakutakiyeni afya nzuri.
Asante kwa Somo zuri
ALIPWE MSHAHARA MZURI 🎉❤
Nakuba
Crear lesson doctor.., thanks 🙏
Doctor 💊💊 upo vizuri sana
Mashaaalah,janabi
Asante professor
Prof wakupe tu wizara ya afya iliudhibiti vizuri eneolote la afya
Hapa ndipo wabongo tunapokosea, hawa ma professor, hawatakiwi kuwa wanasiasa wabaki kuwa wataalamu na washauri, bahati mbaya sana hatuwatumii kwa sababu tunadhani watakwamisha deal zetu, ukimpeleka kwenye siasa huyu utamchukia hawezi sema kitaalamu tena, wako ma professor wengi wameangamia baada kupewa uwaziri
@@kheriakida3309Lakini kuna wana wa Siasa ni Wachochezi wa BAYA.
Unaijua hii nnchi wewe akiamua raisi kuvunja balaza anakuwa waziri wamifugo au tamadun
Thanks Dr.
Kazi nzuri Dr. Kwa elimu❤❤❤🎉🎉
mungu akujarie
Mungu akulaliki
❤❤❤Muñgu akubariki nakula Sana udongo nifanyaje ili niache
Ahsante sana
Ilitakiwa achaguliwe ndio awe waziri wa afya atatusaidia sana.
Msukuma anafikiri kila kitu ni siasa.pia .Tuliotayari kusikiliza tufuate maelekezo
Nyama ndo tunakula mpaka mbichi na maisha yanaendelea
Endelea
Tunatakiwa ile kipande cha nyama kwa week maramoja
Ndio Mjue.Rais wetu anaakii nyingi na ana shaurika na washauri wake amempa nafasi yakuwa mshauti wake wa Afya Nchini na pia anampeleka kugombania nafasi ya Ukurugenzi wa.WHO Africa
Dah somo zuri, ili niweze kuepukana na matatizo! Hapo kwenye maji mimi inaweza pita hata wiki sijanywa maji
Kunywa pombe sio dhambi, dhambi ni matendo yako baada ya kunywa pombe, sio wote wana matendo mabaya baada ya kunywa pombe

Zambi. Kunywa pombe@@josephmasanja8584
Hunwick maji wee inaonyesha ni hammada chapombe
Hapo namba 4 changamoto😅
Dokta sema unywaji wa pombe haufai kabisa waambie kweli iwe kidog owe nyingi .anaetaka achukue asietaka aendelee kunywa tu atakuona mbele huko alichokitafuta..
Hahaha kweli kabisa mkojo wa ibilisi haufai uwe mdogo uwe mwingi
Ni kweli kabisa pombe haifai, naona professor kaogopa kuharibu biashara za watu.
❤
Na Wale Wanaokunywa Cret Zima La Bia Itakuwaje Sasa😱
I wish to understand if alcohol consumption is inherently likely to lead to kidney failure or if it's the resultant dehydration that leads to kidney disease? If the latter is the case, can we consume alcohol safely by consuming water too?
Why not leave alcohol altogether, it's not food but a drug.If it risks your kidinies then it is poisonous and worth avoiding .
Ulaji wa nyama tuwaachie basi WAHADZABE.
YAANI ANAFAA SANA, WATU WANAFANIKIWA SANA KUPITIA VIDEO HIZI KAMA MAONI YA WATU WENGINE ANATAKIWA APEWE KIPINDI MAALUM KILA WIKI KWENYE CHANNEL ZOTE TZ KWA MUDA TOFAUTI ITASAIDIA SANA...
Ulaji wa nyama kupitiliza ni kilo ngapi kwa siku
Kwa ma saa 24 mtu anatakiwa alale ma saa ma ngapi
Masaa 8
Cc tunafaidika nae,,wewe kama humuelew achana nae ,nendeni kwa madokta wenu uchwara
Kusafisha figa ni kias ndugu
900k per week kaka
Kwa mwezi ni mil 3.6