FAHAMU KUHUSU WATU AMBAO HAWAWEZI KUAMBUKIZWA UKIMWI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 29 авг 2020
  • Kuna watu hawawezi kupata maambukizi ya UKIMWI (VVU) na hawawezi kuona dalili za UKIMWI hata virusi vya UKIMWI vikiingia mwilini mwao.
    Tazama video kufahamu zaidi

Комментарии • 148

  • @robisonikadogo7371
    @robisonikadogo7371 День назад +2

    Siku ya kufa ikifika utakufa tu,Ata ukae ndani ya chupa, nikumuachia mungu tu

  • @IreneWanyonyi-ul5yd
    @IreneWanyonyi-ul5yd 20 дней назад +8

    Ukweli kabisaa Mimi pia Mme wangu aliaga miaka kumi na mbili iliyopita but nimepimwa mara kwa mara sina huyu mungu ni mtetesi kwa wanyonge

  • @user-lt1bi5nr1x
    @user-lt1bi5nr1x 15 дней назад +3

    Ugonjwa ulitengenezwa na binadamu. Mungu pia kaweka kinga yake kwa amtakae ndo ivyo amna ajabu tungeishaisha wote afrika

  • @beatricekitapk2265
    @beatricekitapk2265 4 месяца назад +3

    Nakubalii saana mi niko Tanzania, ila huyu Mungu aitwe Mungu tuu😢🙏🙏 mi niling'atwaa na pia nilishea mara mbili na mtu na pia kuna mifano ya watu pia wawili

  • @user-gq7ys5yh2y
    @user-gq7ys5yh2y 4 месяца назад +7

    Ukikadiriwa kuwa utaupata haijalishi upo Sweden au Zimbabwe utaupata hayo ni makadirio ya muumba kondom haizuii wa huna ujanja wa kukwepa ikiwa umekadiriwa kuupata. Tumuombe msaada wa ulinzi muumba wetu

  • @marryafam2842
    @marryafam2842 3 года назад +12

    Nakubaliana na wewe 100%

  • @happynescostat7420
    @happynescostat7420 2 года назад +6

    Asante,Ila ata hapa wapo,Kuna mwanaume ameishi na mwanamke mweny virus zaidi ya miaka 13 na ajaambukizwa

  • @lutandulabahati4159
    @lutandulabahati4159 Год назад +9

    Inachukua mda ngan kuonyesha kuaunamaabukiz baadaya kutoka kushiliki na muasilika

  • @JamilaMbau
    @JamilaMbau 28 дней назад +1

    Ni kweli kabisa

  • @malelabmalela5016
    @malelabmalela5016 3 года назад +1

    jaman

  • @user-fe8tx5bo2f
    @user-fe8tx5bo2f День назад

    Doctor mm nimekwisha tembea na wanawake zaid ya watatu na Kila napo Pima sina

  • @CatherineCatjoh
    @CatherineCatjoh Месяц назад +2

    Mm navidonda mdomoni na kimoja kinauma sna km mito ni kipele na vidonda vipo vingine juu ya ulimi lkn nishapima km mara 2 sna kitu sna maambukizi yoyote na nasumbuliwa na madonda niliumwa mda mrefu sna vidonda vya tumbo km mwezi je vidonda ni vya homa au

  • @olivaluseno9057
    @olivaluseno9057 4 месяца назад +4

    Ukitumia condom alafu ipasuke ,Na ukuwe umemwaka spams utapata kwa huyo mtu mwenye ako Na viruses

  • @erastoonesmo6109
    @erastoonesmo6109 3 года назад +7

    🤔🤔

  • @saidmatikti2783
    @saidmatikti2783 2 года назад +3

    Nishawahi kabisaaa kuckia Habari hiiii

  • @emwanuelmapalala8099
    @emwanuelmapalala8099 2 года назад +3

    Nakubaliana na wewe

  • @peterrobinson7093
    @peterrobinson7093 21 час назад

    Tunaomba reference + evidence ya hao watu kwenye hizo nchi ulizotaja plz?

  • @user-ig1ch4gy7s
    @user-ig1ch4gy7s 2 месяца назад

    No substances! But well spoken

  • @Boaz-hr9pf
    @Boaz-hr9pf 19 часов назад

    Hao watu ambao hawana izo sehemu za kutunza virus ili baadae waende kushambulia cells wao wameumbweje au nin kipo hadi wawe tofauti na wale ambao wana izo sehemu za virus kujihifadhi before kushambulia cells?

  • @KennedyOwinyo
    @KennedyOwinyo День назад

    Je kati ya vikundi vya seli za Damu O,A,AB, B Kuna isiyo weza kuambukizwa kwa uraisi?

  • @AnnaJeremia-pz7ux
    @AnnaJeremia-pz7ux 11 дней назад +1

    Danganya watu sasa

  • @sufianially8497
    @sufianially8497 Год назад +4

    Ni kweli

  • @erickkagisa833
    @erickkagisa833 Месяц назад

    Nilifkr binadam wote ni sawa kumbe hamna!!

  • @andreamkono8028
    @andreamkono8028 2 года назад +2

    Hiii

  • @elizasulle775
    @elizasulle775 2 года назад +1

    Mmmmmh 🤔🤔🤔🤭

  • @abuuselemani6043
    @abuuselemani6043 Год назад +3

    Hivi xax unaweza kujijua vip kama wewe cell zako azishiki maambukizi

  • @user-lx3zm3cq3n
    @user-lx3zm3cq3n Месяц назад

    mm nakauka koo

  • @ufugajiwetu7782
    @ufugajiwetu7782 2 года назад +3

    Mboni ueleweki

  • @arcadomalik54
    @arcadomalik54 Месяц назад +1

    Wanotumia dawa wanaweza kuambukiza

  • @happynelson1180
    @happynelson1180 Год назад +2

    Ni kweli kuna watu hawawezi kuambukizwa ukimwi lakini hao watu hawawezi kujijua na kuwa baadhi ya hao watu wako nchi za scandnavia inaweza kuwa kweli maana kwenye hizo nchi hazina maambukizi mengi kama Sweden wenye ukimwi hata 10 000 hawafiki

    • @VeronicaMacha-pl3xt
      @VeronicaMacha-pl3xt 2 месяца назад

      Hakuna maambukizi mengi kwa sababu ni watu wastaarabu mambo ya ngono hawana muda nayo.

  • @jgjf701
    @jgjf701 3 года назад +15

    Niko na swali mm kama nilipima na mpenzi wangu nikapata tuko sawa kumbe yy alikuwa na mwengine ambae ana virusi je mm Niko hatarini ama coz nilimpima nikampata yuko sawa

  • @topaviator
    @topaviator 2 года назад +1

    Dfh

  • @hellaskarras1567
    @hellaskarras1567 Месяц назад

    sio nchi z ulaya tu hata duani kote wapo nikulingana na group ya damu aliyonayo huyo mtu wapo wote duani sio ulaya tu acha kudanganya watu

  • @ErickMollely-kp6jq
    @ErickMollely-kp6jq 8 дней назад

    Atari zana mungu awalinde watoto wake hakuna jis?

  • @chantalndayishimiye9233
    @chantalndayishimiye9233 Месяц назад

    Nimekuunga mkono nina ushuhuda

  • @SalumPius-xw4dr
    @SalumPius-xw4dr Год назад +1

    Kuna uwezekano wa kukakua mwili wangu una receptors au hauna

  • @sashah_ace8598
    @sashah_ace8598 7 месяцев назад

    kuna watu hawawezi kuaota ukimwi. mfano watu wa group la damu O- HAWA NIWACHACHE PIA DUNIANI yani. ningumu wana damu kali

  • @happyjimmy7361
    @happyjimmy7361 2 года назад +3

    Nikweli Tanzania tupo

  • @user-hy7sy5fo7l
    @user-hy7sy5fo7l 7 месяцев назад +3

    Je kama mtu amepata maambukizi ya vvu japo vipimo havijaonesha kuwa mtu ana vvu ,akijamiana na mtu mwingine anaweza kumwambukiza vvu?

    • @dadollary
      @dadollary Месяц назад

      Hapana mpka awe na copies 50 ndo anaweza

  • @monicerz
    @monicerz 3 года назад +6

    🤒🤒

  • @wilbatnyato4679
    @wilbatnyato4679 11 месяцев назад +1

    Najuaje mtu ana hizo seli

  • @fatihiyadossa375
    @fatihiyadossa375 9 месяцев назад +3

    Jee ukingwatwa mtu mwenye ukimwi unaweza kupata

  • @milkakeya5993
    @milkakeya5993 3 года назад +4

    Na mtu akiwa na ugonjwa wa ukimwi ni lazima atambukiza mtu ana kuna wale hawawezi ambukiza mtu

    • @afyatips
      @afyatips  3 года назад +5

      Mtu ambaye hawezi kuambukiza UKIMWI ni yule ambaye ametumia dawa vizuri na kufanya virusi vipungue kiasi kwamba hata akienda kupima virusi vinakuwa havionekani kwenye damu

    • @joyceimani539
      @joyceimani539 3 года назад +1

      Vipimo vyote havionekan??? Au kipimo Cha pili ndio hauonekan???

    • @milkakeya5993
      @milkakeya5993 3 года назад +6

      @@afyatips Asante sana coz mm nko nazo but huwa siambukizi mtu na ni muda tuko wote Kwani sasa hata tuko na mtoto naye but Jamaa anajua mm nko nayo

    • @suleimansalym7537
      @suleimansalym7537 Год назад

      @@milkakeya5993 Kweli????

  • @ambassadorkatemeambassador2840
    @ambassadorkatemeambassador2840 2 года назад

    🤥

  • @HellenMdogo-yj6bq
    @HellenMdogo-yj6bq 5 дней назад

    In boxx nikwambie

  • @TheePwaniFamily
    @TheePwaniFamily Год назад +3

    Huu urongo mtupu... Ukipatikana kuwa wewe huwezi kupata ukimwi inamanisha wewe ni carrier

  • @is-hakayussuf9981
    @is-hakayussuf9981 3 года назад +7

    Asee sijapata kuona jitu jiongo km ili da

    • @zuriathdasilver810
      @zuriathdasilver810 2 года назад +2

      Hahahahaha

    • @rukaiyamkiwa7865
      @rukaiyamkiwa7865 2 года назад +1

      😄

    • @celinejustine3930
      @celinejustine3930 Год назад

      Huu ni ukweli moja wapo ni mimi.... ila naona si kisayansi. Nahisi kuna nguvu ya mungu hapo. Kma ni ukimwi ningeshapata ila ni nguvu kubwa ya mungu nipo nayo.
      Siamini kma kisayansi uchomwe sindano ya mtu wa ukimwi na usipate. Ninachoamin ni nguvu ya mungu

  • @elizasulle775
    @elizasulle775 2 года назад +4

    Mbn Kama sikuamini vile na somo lako silielwi

  • @suleimanabdallah5088
    @suleimanabdallah5088 2 года назад +2

    Uwongo acheni

  • @deeneejm5846
    @deeneejm5846 Год назад +2

    Na wale weny group 0 wanawwza pata

    • @afyatips
      @afyatips  Год назад +1

      Ndio anaweza kupata

  • @faridasallum9572
    @faridasallum9572 Год назад +1

    Je ukigusa dam ya mwasirika unaweza kupata

  • @gracejonh4022
    @gracejonh4022 2 года назад +2

    Utajuaje km auwezi kuambikizwa vvu

    • @user-is2vr2xo6m
      @user-is2vr2xo6m 2 месяца назад

      Unabidi ujaribu na mutu mwenye ukimwi

    • @gracejonh4022
      @gracejonh4022 2 месяца назад

      @@user-is2vr2xo6m jaribu na wewe

  • @herminachrispas888
    @herminachrispas888 2 года назад +2

    Ukilomance na muathilika Kuna uwezekano asilimia ngapi kuambukiza? Vvu?

    • @youngmoneyyoungmoney3487
      @youngmoneyyoungmoney3487 Год назад

      Kuna asilimia chache kwa sbb inategemea kama wote hamna michubuko mdomoni ambayo inatoa damu

  • @user-oz7fm3ss5r
    @user-oz7fm3ss5r 7 дней назад

    Mimi nikona swali,ukilala na mtu mwenye akona ukimwi,na akose kukumwagia,ni lazima upate ama

    • @JumaAlly-zl1ze
      @JumaAlly-zl1ze 6 дней назад

      Ukimwi haupat kwa kumwagiwa una upata mchubuko pale mnapo kuwa mnajamiana au kushea vitu vyenye incha kali na mtu alie hasirika

  • @mfilipinomshana2405
    @mfilipinomshana2405 3 года назад +5

    Hivi kweli kondom inazuiya ukimwi?

    • @afyatips
      @afyatips  3 года назад +3

      Mfilipino Mshana ndio ikitumika kwa usahihi huwa inazuia

  • @scolaodeyo8110
    @scolaodeyo8110 Год назад +1

    Je, kuna kipimo cha kujua kama una receptance au huna???

    • @VeronicaMacha-pl3xt
      @VeronicaMacha-pl3xt 2 месяца назад

      Kwani hao wa Scandinavia waliwatambuaje Ina maana Kuna vipimo vilifanyika.

    • @dondallas6683
      @dondallas6683 7 дней назад

      Unataka kujua upige Tako bila stress

  • @satwanthoogan6746
    @satwanthoogan6746 3 года назад +20

    Wanasema ukimwi unapata kwa mchubuko, mfano ukiwa unafanya mapenzi... Sasa ukipaka mafuta wakati wa Kufanya mapenzi huwezi kupata ukimwi?!

    • @smarty1064
      @smarty1064 2 года назад +15

      we jichanganye tu uone balaa lake

    • @zuriathdasilver810
      @zuriathdasilver810 2 года назад +3

      @@smarty1064 hhahahahaha

    • @smarty1064
      @smarty1064 2 года назад +7

      @@zuriathdasilver810 anajitoa ufahamu ngoja ajichanganye tumpelekee matunda hosp

    • @GodfreyByamungu
      @GodfreyByamungu 2 года назад +4

      @@smarty1064 mwambie 😂😂😂

    • @sulainanamkasa165
      @sulainanamkasa165 2 года назад +2

      Mmh

  • @abuuaiman9575
    @abuuaiman9575 2 года назад

    ungeelezea inatokana na nini mpaka asipate huku ukilinganisha na group yake ya damu au uongeze maelezo kindani zaidi kwani baada ya kusikia hii audio yako ndo mtu anazid kuwa na maswali meng

    • @scolaodeyo8110
      @scolaodeyo8110 Год назад

      Haitegemeani na group la damu! Kutokuwa na hyo receptance ni uumbaji wa Mungu tu

  • @SaidimaulidiMaulidi-lf9de
    @SaidimaulidiMaulidi-lf9de 10 месяцев назад +1

    Je kwetu africa hao watu hawapo??

    • @sarabura8933
      @sarabura8933 2 месяца назад

      Na zani ni MUNGU anatulindaga jamani mm niliishi na mgonjwa tena alikuwa anakoowa sana nimeishi naye miaka mitano na tulikuwa tunajubuana ila na mshukuru MUNGU sikupata nikaja nikaanza mausiano na mwengine tena na yeye alikuwa umekolea sana lakini MUNGU alinilinda jamani tena yule wa mala ya kwanza nilimpenda sana ataakawa anajisikia vibaya yeye anao mm sina nikaanza kufanya makusudi ili niupate na yeye alizike ikashindikana mpka badaye nilipo safili ndio tukaachana kwaiyo iyo ipo jamani MUNGU wetu ni mkubwa sana mm amenilinda kama ni yamini tulikula lakini wapi namshukuru MUNGU kwa kunilinda

  • @andreamkono8028
    @andreamkono8028 2 года назад +3

    Hv ukifanya namtu mapenzi hujavaa condomu utatumia mda gani upate ukimwi

    • @velejilyomhongole1641
      @velejilyomhongole1641 2 года назад

      Kama unae fanya nae ameathilika wewe ukichubuka tu na kugusa Yale majimaji au Damu basi itakuwa umeathirika Cha kukuokoa ukiona una wasiwasi na ngono mliyoifanya na humwamini uliye fanya nae wahi hosipitali kabla ya massa 72 hayajapita.

    • @Hunchotreez
      @Hunchotreez Год назад

      Asa utajuaje kama umechubuka?

    • @FuraziaPaul
      @FuraziaPaul 6 месяцев назад

      Ivi kupata siadi ote mchubuane au

    • @mwinyimadk.longwa6327
      @mwinyimadk.longwa6327 2 месяца назад

      Wiki tatu tu

  • @angelurioh5383
    @angelurioh5383 2 года назад +2

    Mume wangu ana ukimw na kumuacha cwez nifanyeje

    • @rastafare878
      @rastafare878 2 года назад +1

      Watu wengine bwana akili zenu zimeingia unga wa muhogo! 😛

    • @sherabomar6681
      @sherabomar6681 2 года назад

      We endelea kumpa mzigo tu mtafanana haitaleta shida

    • @neemaegnatio7725
      @neemaegnatio7725 Год назад

      Usimiache mume wako kisa muathirika , maana aujui kesho yako awo wanaokushauri cjui kama Afya zao wanazijua jinsi zilivyo

    • @jamilatamba2877
      @jamilatamba2877 Год назад

      Usimuache fuata maelekezo tu mtaishi

  • @miurenokomol6172
    @miurenokomol6172 Год назад +6

    Je unaweza pata ukimwi ata kama mwanaume yeye hakumwaga ndani🤔🤔

  • @omarijuma4115
    @omarijuma4115 3 года назад +2

    Doctor Mimi huwa nawahi kuis njaaa afu mwili wangu unachemka chemka Sana yaani yaani takuwa na na dalili zipi

    • @sherabomar6681
      @sherabomar6681 2 года назад

      Hahahahaa ww sasa unatak kujitisha, some time mwili unakua hivyo pale unapotaka kunenepa inatokeaga sana hivyo na kaucngz flan iv.

    • @MomEvance
      @MomEvance 8 месяцев назад

      Kapimw

    • @prettyfetty3731
      @prettyfetty3731 5 месяцев назад

      ​@@sherabomar66814:20

    • @manchidomungik9865
      @manchidomungik9865 8 дней назад

      Nenda pima sukari ingawa sio dalili pekee ya sukari lakini kuna watu wamewah gundulika kwa dalili kama ya kwako

  • @getrudemsacky2083
    @getrudemsacky2083 Год назад +1

    MMI natembeaga nao tena kavu kavu mpaka leo sina nanina watoto

  • @luckynoel6347
    @luckynoel6347 2 года назад +2

    Je mtu mwenye ukimwi akitumia kinywaji Cha baridi alafu akapima Kwa mda huohuo virus havitaonekana Kwa wakati huo

    • @afyatips
      @afyatips  2 года назад +2

      Ndio vitaonekana. Vinywaji vya baridi haviathiri uonekanaji wa virusi

    • @luckynoel6347
      @luckynoel6347 2 года назад

      @@afyatips sawa asante nimeelewa

    • @adelinamaiko9272
      @adelinamaiko9272 Год назад

      Mh

    • @adelinamaiko9272
      @adelinamaiko9272 Год назад

      Mimi nadeti na mtu nimemkuta anakunywa vidonge vya ukimwi na tumeenda kupima yuko vizuri je akinywa vile akipima aonekani?

  • @rashidielocho4914
    @rashidielocho4914 2 года назад +1

    Mimi nina swali nini siri ya kuishi maisha marefu

  • @donahmkasi8935
    @donahmkasi8935 2 года назад +1

    Kwa mfano ulale na mtu wa mshuku kma ana ukimwi alafu amwage nje waeza pata ukimwi

    • @afyatips
      @afyatips  2 года назад +1

      Ndio uwezekano upo. Kinachoambukiza UKIMWI sio mbegu za mwanaume.

    • @donahmkasi8935
      @donahmkasi8935 2 года назад

      Ohhhh Kwa mfano labda haku furk na yey sana ama hukuhisi dalili za kukatika labda pia unaweza kupata ivo ivo najaribu kutafuta namba yako watsup lakini haiko nikueleze zaidi

    • @donahmkasi8935
      @donahmkasi8935 2 года назад

      Vipi kuhusu sifa za blood group O ni O plain and haipati magonjwa ama ni O yoyote

  • @ashleystarqueen8780
    @ashleystarqueen8780 Год назад

    Mume wang ananiambia anawashwa na koo namuona akona homa namuona pia yuwaumwaumwa mtu mm simuelew maana naota anachepuka pia je naez enda kupimwa nikipatikana sina naez chukua prep yaez nisaidia tafadhali maana mm sion dalili kwang nisaidie doctor nijiokoa😥😥😥maana nataka nimuache ananifnya nishtuke

    • @ashleystarqueen8780
      @ashleystarqueen8780 Год назад

      Hajawahi kubali tukapimwe ukimwi na tumeoana hivi majuzi alfu anafnya kazi ya usku sijajua mbn yuko hvo

    • @davidsaibu2930
      @davidsaibu2930 Год назад

      si umshauli mkapime

    • @davidsaibu2930
      @davidsaibu2930 Год назад

      @@ashleystarqueen8780 sasa siukapime ww ukikuta upo salama uchukue tahathari

  • @marryafam2842
    @marryafam2842 3 года назад +3

    Nakubaliana na wewe 100%

    • @afyatips
      @afyatips  3 года назад +2

      Thanks 🙏🏾🙏🏾

  • @happyjimmy7361
    @happyjimmy7361 2 года назад +3

    Nikweli Tanzania tupo

    • @mudymnazalet3229
      @mudymnazalet3229 Год назад

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @ElizaPetro-fy2rm
      @ElizaPetro-fy2rm Месяц назад

      Samahan naweza kupata no yako kunajambo nataka unishauli please