Mchumi Digital
Mchumi Digital
  • Видео 82
  • Просмотров 124 309

Видео

MAKOSA MANNE(4) AMBAYO MFANYABIASHARA INATAKIWA UJIEPUSHE NAYO-MCHUMI
Просмотров 3914 дней назад
Haya ndio makosa manne(4) ambayo wafanyabiashara wengi hufanya: 1.Kutaka wateja wakufuate badala ya wewe kuwafuata 👇👇 Wafanyabiashara wengi wanadhani kuwa bidhaa au huduma zao ni bora kiasi kwamba wateja watakuja wenyewe. Hata hivyo, ni muhimu kujitokeza na kuwafikia wateja kwa njia mbalimbali kama vile matangazo, mitandao ya kijamii, na maonyesho ya biashara. 2.Kuuza kwa bei kubwa wakati huna ...
TUKUSAIDIE KUPATA WATEJA WENGI KUPITIA MITANDAO YA KIJAMII -MCHUMI CONSULTING
Просмотров 424 месяца назад
Mfanyabiashara je umechoka kupoteza pesa za kulipia matangazo mtandaoni? Au akaunti yako imefungwa kwa sababu ambazo huzifahamu? Sisi ni wataalamu wa masoko mtandaoni na tunasaidia mambo haya 👇👇 🟠Kufungua akaunti za matangazo za Instagram au Facebook zilizozuiwa kutangaza 🟠Kukupa mbinu za namna ya kufanya biashara mtandaoni 🟠Kukusetia akaunti ili ziweze kurusha matangazo ya kulipia mtandaoni 🟠K...
KWANINI NI LAZIMA KUFANYA MATANGAZO YA BIASHARA YAKO MUDA WOTE-PAUL MCHUMI
Просмотров 925 месяцев назад
Moja ya jambo la msingi ambalo hutakiwi kupuuza kwenye biashara. Ni pamoja na nguvu ya kuitangaza biashara yako mara kwa mara Zipo njia nyingi za kuitangaza biashara yako Unaweza kuitangaza kawaida,au kutumia msaada wa teknolojia kama vile mitandao ya kijamii au njia nyingine rahisi. Anza sasa kufikiria kutenga bajeti kidogo kujifunza au kulipia njia za masoko zitazofanya biashara yako ijulikan...
PATA TANGAZO KAMA HILI LA KUITANGAZA BIASHARA YAKO MTANDAONI
Просмотров 375 месяцев назад
Matangazo ya kuiashara yako mtandaoni
PATA TANGAZO LA VIDEO KAMA HILI ILI KUITANGAZA BIASHARA YAKO MTANDAONI
Просмотров 735 месяцев назад
Tangazo la video la kuitangaza biashara mtandaoni
JE UNAHITAJI KUPATA WATEJA WENGI WA BIASHARA YAKO MTANDAONI?-ZINGATIA HAYA
Просмотров 536 месяцев назад
Mfanyabiashara je umechoka kupoteza pesa za kulipia matangazo mtandaoni? Au akaunti yako imefungwa kwa sababu ambazo huzifahamu? Sisi ni wataalamu wa masoko mtandaoni na tunasaidia mambo haya 👇👇 🟠Kufungua akaunti za matangazo za Instagram au Facebook zilizozuiwa kutangaza 🟠Kukupa mbinu za namna ya kufanya biashara mtandaoni 🟠Kukusetia akaunti ili ziweze kurusha matangazo ya kulipia mtandaoni 🟠K...
AFYA: SABABU 10 ZITAKAZOFANYA FIGO ZAKO KUFA-JANABI
Просмотров 64 тыс.7 месяцев назад
Hizi ni sababu kumi ambazo zimeainishwa na mtaalamu wa Afya wa Hospitali ya Muhimbili Professor Janabi ambazo zinaweza sababisha figo zako kufa. #afya #figo #janabi #afyayako
NJIA ZA KUONGEZA MAUZO YA KILE UNACHOUZA-MCHUMI
Просмотров 1667 месяцев назад
#mauzo #biashara #soko
USIKATISHWE TAMAA NA MWENZIO ALIEANZA HATUA ZA MAFANIKIO KABLA YAKO-MCHUMI
Просмотров 347 месяцев назад
#mafanikio #juhudi #biashara
JIFUNZE KUTAFUTA PESA NYINGI ILI UPATE HESHIMA-DENIS MPAGAZE
Просмотров 1177 месяцев назад
#pesa #mpagaze #fedha
MAMBO 6 (SITA) MUHIMU YA KUYAFAHAMU KWENYE BIASHARA YAKO-MCHUMI CONSULTING
Просмотров 1067 месяцев назад
Kuna mambo kadhaa kama 6 unatakiwa ujifunze na uyafahamu hasa ukiwa mfanyabiashara. 1. JUA NAMNA YA KUTAFUTA MASOKO Ujuzi wa kutafuta masoko ni muhimu sana,kwani biashara huwa inahitaji wateja ili iendelee. Kuna kipindi hutakuwa na wateja na itakulazimu utafute wateja wengine wapya. Jua mbinu mbalimbali za kufanya masoko,kumbuka wateja ndio chakula cha biashara yako. 2. JUA NAMNA YA KULINDA MTA...
TUNZA TAARIFA ZA KAZI/BIASHARA YAKO KIURAHISI KWA KUTUMIA APP HII YA GOOGLE
Просмотров 667 месяцев назад
TUNZA TAARIFA ZA KAZI/BIASHARA YAKO KIURAHISI KWA KUTUMIA APP HII YA GOOGLE
TUKUDIZAINIE TANGAZO KAMA HILI ILI UPATE WATEJA WA BIASHARA YAKO MTANDAONI KIURAHISI -MCHUMI
Просмотров 527 месяцев назад
TUKUDIZAINIE TANGAZO KAMA HILI ILI UPATE WATEJA WA BIASHARA YAKO MTANDAONI KIURAHISI -MCHUMI
FANYA HAYA ILI UNASE WATEJA WENGI MTANDAONI NA JIFUNZE MBINU MPYA ZA KUUZA
Просмотров 1507 месяцев назад
FANYA HAYA ILI UNASE WATEJA WENGI MTANDAONI NA JIFUNZE MBINU MPYA ZA KUUZA
PATA MATANGAZO YA PICHA KAMA HAYA ILI UWE UNATANGAZIA BIASHARA YAKO MTANDAONI
Просмотров 698 месяцев назад
PATA MATANGAZO YA PICHA KAMA HAYA ILI UWE UNATANGAZIA BIASHARA YAKO MTANDAONI
TUMIA TANGAZO LA VIDEO KAMA HILI ILI KUITANGAZA BIASHARA YAKO MTANDAONI-Mcchumi
Просмотров 1138 месяцев назад
TUMIA TANGAZO LA VIDEO KAMA HILI ILI KUITANGAZA BIASHARA YAKO MTANDAONI-Mcchumi
PATA TANGAZO LA VIDEO KAMA HILI TULILOMDIZAINIA MTEJA WETU ILI UITANGAZE BIASHARA YAKO MTANDAONI
Просмотров 838 месяцев назад
PATA TANGAZO LA VIDEO KAMA HILI TULILOMDIZAINIA MTEJA WETU ILI UITANGAZE BIASHARA YAKO MTANDAONI
MAMBO MANNE(4) YANAYOFANYA MTEJA ASINUNUE BIDHAA AU HUDUMA YAKO-MCHUMI
Просмотров 848 месяцев назад
MAMBO MANNE(4) YANAYOFANYA MTEJA ASINUNUE BIDHAA AU HUDUMA YAKO-MCHUMI
TAZAMA TANGAZO LA VIDEO LENYE MVUTO LA KUITANGAZA BIASHARA YAKO MTANDAONI-MCHUMI
Просмотров 1828 месяцев назад
TAZAMA TANGAZO LA VIDEO LENYE MVUTO LA KUITANGAZA BIASHARA YAKO MTANDAONI-MCHUMI
FAHAMU ELIMU YA UWEKEZAJI ILI UFANYE UWEKEZAJI WENYE FAIDA-Mchumi
Просмотров 2068 месяцев назад
FAHAMU ELIMU YA UWEKEZAJI ILI UFANYE UWEKEZAJI WENYE FAIDA-Mchumi
PAMBANA UWE BORA ZAIDI YA ULIVYOKUA JANA ILA USIPAMBANE KUSHINDANA NA MWENZAKO-MCHUMI
Просмотров 798 месяцев назад
PAMBANA UWE BORA ZAIDI YA ULIVYOKUA JANA ILA USIPAMBANE KUSHINDANA NA MWENZAKO-MCHUMI
LIFAHAMU KOSA HILI MOJA LINALOFANYA USHINDWE KUPATA WATEJA WENGI MTANDAONI
Просмотров 498 месяцев назад
LIFAHAMU KOSA HILI MOJA LINALOFANYA USHINDWE KUPATA WATEJA WENGI MTANDAONI
MAMBO SITA(6) UNAYOTAKIWA UWE NAYO SIRIAZ KWENYE MAISHA YAKO-MCHUMI
Просмотров 1948 месяцев назад
MAMBO SITA(6) UNAYOTAKIWA UWE NAYO SIRIAZ KWENYE MAISHA YAKO-MCHUMI
ZIJUE SIRI TATU(3) ILI KUFANYA BIASHARA YAKO IFANIKIWE ZAIDI-MCHUMI
Просмотров 2309 месяцев назад
ZIJUE SIRI TATU(3) ILI KUFANYA BIASHARA YAKO IFANIKIWE ZAIDI-MCHUMI
KUWA MAKINI-INSTAGRAM YAKO ITAIBWA NA WADUKUZI KAMA USIPOFANYA MAMBO HAYA MUHIMU-MCHUMI
Просмотров 1159 месяцев назад
KUWA MAKINI-INSTAGRAM YAKO ITAIBWA NA WADUKUZI KAMA USIPOFANYA MAMBO HAYA MUHIMU-MCHUMI
ZUIA MATAPELI-FANYA HIVI ILI USITUMIWE PICHA CHAFU AU WASIIBE(WASIHAKI) AKAUNTI YAKO YA FACEBOOK
Просмотров 1419 месяцев назад
ZUIA MATAPELI-FANYA HIVI ILI USITUMIWE PICHA CHAFU AU WASIIBE(WASIHAKI) AKAUNTI YAKO YA FACEBOOK
IJUE SIRI HII MOJA (1) ITAKAYO FANYA UUZE ZAIDI BIDHAA ZAKO UKIWA UNAUZA MTANDAONI-MCHUMI
Просмотров 1659 месяцев назад
IJUE SIRI HII MOJA (1) ITAKAYO FANYA UUZE ZAIDI BIDHAA ZAKO UKIWA UNAUZA MTANDAONI-MCHUMI
NAMNA YA KUFANYA MATANGAZO YA KULIPIA (SPONSA) KUPITIA FACEBOOK -SEHEMU YA 3
Просмотров 1229 месяцев назад
NAMNA YA KUFANYA MATANGAZO YA KULIPIA (SPONSA) KUPITIA FACEBOOK -SEHEMU YA 3
NAMNA YA KUFANYA MATANGAZO YA KULIPIA (SPONSA) KUPITIA FACEBOOK ILI UPATE WATEJA WENGI-SEHEMU YA 2
Просмотров 1199 месяцев назад
NAMNA YA KUFANYA MATANGAZO YA KULIPIA (SPONSA) KUPITIA FACEBOOK ILI UPATE WATEJA WENGI-SEHEMU YA 2

Комментарии

  • @mirnababy5012
    @mirnababy5012 2 часа назад

    Kuekeza kwenye kampuni imaanziaga sh ngapi Kwa ww ujuzi wako

  • @josephmatinde5051
    @josephmatinde5051 4 часа назад

    Mbna hizi sifa zote jamaa angu anazo

  • @yohanambilinyi5856
    @yohanambilinyi5856 8 часов назад

    Ubarikiwe doctor. Tunakuombea utendaji mwema na uliotukuka.

  • @SehaHospital
    @SehaHospital 17 часов назад

    Hapo kwenye nyumba za kupangisha safi

  • @gulistanepanjetani2736
    @gulistanepanjetani2736 День назад

    Thank you. Dr. We appreciate your lectures❤

  • @SHANELMBWALE
    @SHANELMBWALE День назад

    Kinyau

  • @fredyjhosephkapesula7267
    @fredyjhosephkapesula7267 День назад

    Nashkuru sana Dr,janabi

  • @JumaJuma-h3x
    @JumaJuma-h3x 2 дня назад

    Asante sana kwa ushauri wako

  • @annaniasamuelmgawe1698
    @annaniasamuelmgawe1698 2 дня назад

    Elimu unayoitoa Dr. Janabi ni ya muhimu kwa umma kwa sababu itapunguza cases za haya magonjwa. Mungu akulinde akupe maisha marefu professor wetu.

  • @bahatimwakalukwa5445
    @bahatimwakalukwa5445 2 дня назад

    Asante sana

  • @farajanmwambasi4164
    @farajanmwambasi4164 3 дня назад

    Hapo namba 4 changamoto😅

  • @joakimkindole
    @joakimkindole 3 дня назад

    Kuweka pesa na kusubiri interest ni ufinyu wa mawazo na kutokuwa risk taker yaan pesa yako unakuwa huna kazi nayo alakini kama wee ni risk taker kila siku utaona pesa haitoshi na unahitaji zaidi katika uwekezaji au Ndoto imara ipo

  • @LinusKyando
    @LinusKyando 3 дня назад

    USHAURI WA REAL ESTATE HUO NI SAWA

  • @LinusKyando
    @LinusKyando 3 дня назад

    Kuweka FEDHA KWENYE Makampuni ya kifedha ni HASARA KWA KUWA Interest rate ni NDOGO SANA,na WAO wakikupa mkopo WAO wanachukua interest kubwa,

  • @robbyman6213
    @robbyman6213 3 дня назад

    Ulaji wa nyama tuwaachie basi WAHADZABE.

  • @adelinaMacha
    @adelinaMacha 3 дня назад

    Asante

  • @EstermsuyaMsuya
    @EstermsuyaMsuya 3 дня назад

  • @patrinraura1397
    @patrinraura1397 4 дня назад

    Dr Janabi Heri na Christmass na Mwaka mpya. Tunashukuru sana kwa hii Elimu kwa Umma ni nadra kuipata na unaokoa watu wengi Tunaomba uendelee kutoa Elimu "Kuzuia ni Bora kuliko tiba MUNGU akubariki"❤

  • @abuumuhammad7133
    @abuumuhammad7133 4 дня назад

    Ndio Mjue.Rais wetu anaakii nyingi na ana shaurika na washauri wake amempa nafasi yakuwa mshauti wake wa Afya Nchini na pia anampeleka kugombania nafasi ya Ukurugenzi wa.WHO Africa

  • @karimambosanga4290
    @karimambosanga4290 4 дня назад

    Hongera doctor nashauri zile TV pale hospitali hasa muhimbili sehemu ya kusubiri huduma,ziwe zinaonyesha vipindi hivi mara kwa mara kuelimisha jamii

  • @chrismassawe2939
    @chrismassawe2939 4 дня назад

    Nyama ndo tunakula mpaka mbichi na maisha yanaendelea

  • @justicebridge
    @justicebridge 5 дней назад

    Thanks Dr.

  • @pettermollel2531
    @pettermollel2531 5 дней назад

    Crear lesson doctor.., thanks 🙏

  • @mariamagdalena-bulegi4630
    @mariamagdalena-bulegi4630 5 дней назад

    Asante sana Dr.M/Mungu akupe maisha marefu,endelea kuelimisha watu kwa karama uliyojaliwa na Mungu.

  • @MussaMmaeda
    @MussaMmaeda 5 дней назад

    Cc tunafaidika nae,,wewe kama humuelew achana nae ,nendeni kwa madokta wenu uchwara

  • @medisonburianraismakufurip7591
    @medisonburianraismakufurip7591 5 дней назад

    mungu akujarie

  • @FredrickBusanya
    @FredrickBusanya 5 дней назад

    Uko sawa kamanda hii imeenda

  • @BashirubakariSalala-b1g
    @BashirubakariSalala-b1g 6 дней назад

    Doctor 💊💊 upo vizuri sana

  • @AsiaAa-w5m
    @AsiaAa-w5m 6 дней назад

    Tunatakiwa ile kipande cha nyama kwa week maramoja

  • @Winfridankalupia-t8d
    @Winfridankalupia-t8d 6 дней назад

    Asante sana

  • @ACLESSJABRINE
    @ACLESSJABRINE 6 дней назад

    Ulaji wa nyama kupitiliza ni kilo ngapi kwa siku

  • @nicodemshello163
    @nicodemshello163 9 дней назад

    Safi ni kweli biashara nyingi zinakufa sana

  • @JoyceHaule-o8c
    @JoyceHaule-o8c 14 дней назад

    Ahsante sana

  • @IdrisaTuppa
    @IdrisaTuppa 15 дней назад

    Na Wale Wanaokunywa Cret Zima La Bia Itakuwaje Sasa😱

  • @KilotildaJustineKilotildaJusti
    @KilotildaJustineKilotildaJusti 15 дней назад

    😂Nikweli baba

  • @AsungaSteven
    @AsungaSteven 15 дней назад

    Kweli kabisa

  • @OlivaMponda
    @OlivaMponda 25 дней назад

    Siyo hivyo mtu anaona faida yake ni ndogo, ndio maana hamna comment , hiyo inawafaa matajiri.

  • @EmanuelSimon-eh8mr
    @EmanuelSimon-eh8mr 25 дней назад

    Elimu nzuri hii

  • @PeterMtui
    @PeterMtui Месяц назад

    Tunahitaji elimu kama hizi

  • @bonaventurekisoka8063
    @bonaventurekisoka8063 2 месяца назад

    Tupe somo la kufanya malipo kupitia wasap business

  • @Mark-y6j4l
    @Mark-y6j4l 2 месяца назад

    mimi ni mark kutoka kenya itakuwaje?

  • @MasterTulo
    @MasterTulo 2 месяца назад

    Kwahy content zote hzo viewers ni 500 tu duh ni clip ina mwaka mmoja sasa nenda kwenye video za hovyohovyo ndani ya saa moja tu viewes zaidi ya milioni hii ndo afrika

  • @sheilamrogoro8641
    @sheilamrogoro8641 4 месяца назад

    Asante Kwa elimu nzuri

  • @sebastiageofrey1377
    @sebastiageofrey1377 4 месяца назад

    ❤❤