AfyaKona: Mwarobaini wa magonjwa yasiyoambukiza || Epuka kufanya haya

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 26 сен 2024
  • Unazijua hatua za kufuata ili kujikinga na magonjwa yasiyoambukiza? Kitaalamu mtu mzima anatakiwa kutembea hatua 10,000 kwa siku ambayo ni sawa na kilomita 6 hadi 7 kulingana na hatua zake.
    Ili kufahamu hayo na mengine mengi, usikose kuangalia #AfyaKona kesho Septemba 12, 2022 kupitia #MwananchiDigital ambapo Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Profesa Mohamed Janabi ataeleza kwa kina akitoa angalizo kwa umma namna ya kujikinga.
    Usikose kusoma nakala ya Gazeti la Mwananchi na mitandao yake ya kijamii

Комментарии • 34

  • @vayaulashedrack5994
    @vayaulashedrack5994 7 месяцев назад +7

    Kuna watu najua wanachukia hizi seminer za profesa. Ila mimi zinaninariki sanaaa. Mungu aendelee kukutunza dr wangu

  • @irenebarakelimnene4895
    @irenebarakelimnene4895 7 месяцев назад +1

    Asante Dr kwa elimu nzuri 6:18 ni Mungu afungue bongo za watz na kuacha masihara

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 Год назад +1

    Congrats Professor Janabi.Great
    Thank you very much for taking care of our Nation ❤️.Remain blessed ❤

  • @esthersissamo1120
    @esthersissamo1120 11 месяцев назад +2

    Tunakushukuru sana prof.Janabi Mungu akubariki sana

  • @rosehaule6765
    @rosehaule6765 6 месяцев назад +1

    Asante sana Dr kwa upendo

  • @aboubakaromar652
    @aboubakaromar652 Год назад +1

    Mashallah prof. unachambua vzuri sana

  • @hildambati6876
    @hildambati6876 7 месяцев назад +1

    Tuanks prof for your guidance

  • @niriacatering172
    @niriacatering172 5 месяцев назад

    Shukrani sana Dr

  • @LeonilaJoseph
    @LeonilaJoseph 6 месяцев назад

    Nashukuru sana kwa kutuelewesha

  • @JoyceHaule-o7b
    @JoyceHaule-o7b 6 месяцев назад

    Ahsante somo zuri sana

  • @HamidaJuma-v9o
    @HamidaJuma-v9o Месяц назад

    Mashaallah ❤

  • @JonattyComedy
    @JonattyComedy 29 дней назад

    asante 🙏 kumafunzo

  • @davidlelo6192
    @davidlelo6192 Год назад

    Asante sn kk mungu akubark

  • @radhiambwana3353
    @radhiambwana3353 Год назад

    Asante sana kwakujal

  • @khalifaally6836
    @khalifaally6836 День назад

    Ahsante sana Profesa darasa lako ni zuri sana nitoe USHUHUDA kwamba mimi umesaidia sana sana . Nilikuwa na tatizo la kisukari na presha. Baada ya kufatilia mafunzo yako namshukuru Allah naendelea vizuri. Nashauri utunge kitabu wizara ya Afya igharamie gharama zote ili kiuzwe kwa bei ambayo ni affordable kwa watanzania wengi na ikibidi kitumike mashuleni itasaidia kuokoa watoto wetu ambao ndio nguvu kazi ya kesho. Bahati mm nina simu janja lakini naamini watanzania wengi hawana simu hizi hususan wanaoishi vijijini. Asante

  • @zamzamMaulidi-q8s
    @zamzamMaulidi-q8s 10 месяцев назад +5

    Tueke tu pesa za kuhangaika nazo hao wanokula health juzi katibiwa moyo na kuvutwa mishapa baadhi sasa dam inatembea na mishipa ya palaslki na gm kila kona ya nyumba zipo ba saaa ako na miaka 90 ila mda ukifika umwfika kuchoka magonjwa kibao tujitahidi yasitupate hapa ujanani tu ila kama hai kwa sasa hatutoboi matunda yenyewe wataalam washatutilia sum tayari yasioze mradi mungu tu tulie nae

    • @wahidakisingo3588
      @wahidakisingo3588 7 месяцев назад

      Mungu atusaidie

    • @Hamy1109
      @Hamy1109 5 месяцев назад

      Acha ku-comment pumba ili uchekeshe watu. Huyo daktari anaongelea mambo ta msingi yanayohusu maisha.

    • @BonnyMwajombe-iu7hb
      @BonnyMwajombe-iu7hb 5 месяцев назад

      Hujui chochote zaidi sana karudie somo la kiswahili.

  • @SeraphinYanuOkoko
    @SeraphinYanuOkoko 6 месяцев назад +1

    Tafsiri ya wanga

  • @ReinfridaVuluwa
    @ReinfridaVuluwa 7 месяцев назад

    Congrats doctor

  • @kabilamalasy9964
    @kabilamalasy9964 Год назад

    Safi sana

  • @HamadiBwakame
    @HamadiBwakame 5 месяцев назад

    Professor Professor tueleze nadallili zamagonjwa yafigo

  • @kurthummohamed6290
    @kurthummohamed6290 5 месяцев назад

    Pro hongera sana juice hata kama hujaweka sukari ni mbaya?

    • @sadamiddy168
      @sadamiddy168 4 месяца назад

      Tia asali badala ya sukari

    • @IddiNduka-fe6bw
      @IddiNduka-fe6bw 3 месяца назад

      ​@@sadamiddy168 asali nayo ni sukari.. acha

    • @BonnyMwajombe-iu7hb
      @BonnyMwajombe-iu7hb 5 дней назад

      Hiyo kuwa ila inategemeana kama juce ya tango na na palachichi kunywa hata nyingi ila nanas kunywa bilauri 1 tu kwakuwa inasukar nyingi

  • @EstherKemba-hr2zr
    @EstherKemba-hr2zr 6 месяцев назад

    Maelezo yako dr.yaandike ili wayasome wasio na sm janja

  • @moahmed7588
    @moahmed7588 6 месяцев назад

    Kwa wiki 1m, kwa mwezi 16m????

  • @sophiakimaro5174
    @sophiakimaro5174 Месяц назад

    Milioni 32 na bado mtu anaweza akafariki.Mungu atusaidie jaman

  • @HusseinHaule-pr5ov
    @HusseinHaule-pr5ov Месяц назад

    Upo sahihi sana dr mm nitakufatilia na kufanyia kazi mawazo yako nashukuru kwa hivi vipindi

    • @johnbosco448
      @johnbosco448 6 дней назад

      DR NASHUKURU KWA USHAURI WAKO.