Mimi naishi Marekani lakini kwa mtazamo wangu wanaume wa kiafrica hapa marekani ni shida.Wadada wako vizuri sana wako smart hata kimaendeleo wakaka hawajitambui kabisaaa na ulimbukeni pia.Kingine wanaleta mambo ya afrika hapa yaani ni tatizo kubwa janga.Alafu eti mtu ajiingize kwenye kuzaa .?,hapana aisee unazaa na mtu ambaye hanagoma kulipa kodi na hawezi kuosha hata kikombe chake alichonywea chai.Mm mpaka nasema bora kuwa single ukabeba box zako maisha yakaendelea kuliko kujiletea mastress.
Ebm ,wape ukweli hao , ulaya ,canada ,usa , hakuna anayelipa rent , maisha ni 50/50 . Watu tunaishi as a one team . Ndio maisha yanakwenda bila hivyo talaka inakuhusu
@@timothymagutu4560 😂😂 kaka Timoth Kumbulak huku Nje halına Mai Hana wa kazi wala mama mkwe ikitokea labda mkeo kajifungua au anaumwa, achana na hayo yote kaka Amish’s ya Uhamiaji saa nyingine macunu tuu unaweza kujikuta labda mume umepoteza kazi au mke ana kazı ambayo yuko busy kuliko mwanaume anatoka mapema anariudi giza tayari mwanaume labda kazi yako inaanza saa Tatu inaisha saa kumi na moja Şidhani km itasubiri mpaka mke arudi saa moja aje apike au aoshe vyombo na vyombo vyenyewe kuweka tuu kwenye dish washer Alafu naimba tuu kuuliza hivi kabla hujaoa ulikuwa huoshi vyombo?
Halafu sisi tumekulia na system ya ujamaa Wazungu wao wamekulia na mfumo wa capitalism = ubepari. Hizi nyanja mbili ni tafauti kimtazamo, kiutendaji na maisha halisi. Ubepari hauna unyenyekevu kama ujamaa na ndiomana ukifika Ulaya au Marekani automatically utabadilika tu utake usitake huu ndio ukweli. Jirani yangu anaweza kufa na usijue na hata maziko pia usipate taarifa. Hizi nchi zina faida na hasara zake ila, always look on your bright side. Angalia sehemu yenye maslahi nawe sio kila kitu poa. Asante kwa mchango wako MBM.
My humble opinion kaka EBM ni kuwa ni kweli hapa ughaibuni mke na mume tunashikiriana majukumu kadha kadha lakini hii isibadilishe nafasi aliyo nayo mwanamke as a home maker na mwanaume as a home provider
Kama mwanaume as a provider basi mwanamke asiende kufanya kazi. It’s very hard mkiwa wote ni lazima kufanya kazi ili mlipe bills. Wote mnakwenda kazini, mmerudi mmechoka na hakuna mfanyakazi ndani na kama mna watoto mwanamke ndio akimbie kwa babysitter au daycare kumchukua na nyumbani utegemee awe a homemaker mwenyewe tu? Hamtaweza kuishi… si ni bora akaishi mwenyewe tu kuliko kuishi na mtu mzima asiye na msaada wowote?
@@Hapi-Awa unachosema uko sahihi , kwa uzoefu wangu mdogo mimi na mke wangu tunafanya wote kazi , majukumu ya nyumbani yote nafanya mm yeye ana deal na mtoto , ili kubalance , kelele zinakuwepogi lakini Mungu ni mwema tunaendelea , but hii hai dissmiss the fact kuwa natakiwa nitoe fedha nying zaidi kwenye bills kama ambavyo yeye naye kuna mda anafanya yake ya nyumbani
Exactly, hata sisi tulipanga hivyo hivyo. Tuliona hela yote inaenda kwa daycare na stresses za kuitwa ukachukue mtoto akiwa na high temperature kidogo tu. Kila siku una call sick inakuwa ni usumbufu. Na pamoja nilipokaa nyumbani ila bado hubby akija nyumbani anasaidia pia kazi za ndani pale akiona sijaweza kufanya. Ukitegea na kufikiria mwanamke hachoki na tunabadilika sio kweli ni kuwa mama zetu waliteseka sana. Sasa hatutaki kuteseka kama mama zetu ila sio kubadilika.
Mie nataka kufaham mtu anaweza kuja huko hatakama ameishia darasa la saba kwajili ya kuomba kazi zandani au bustani au kufangia maofisini au kwenyemashamba mbogambaoga
Aje😮 kwamba namruhusu mume wangu aoshe vyombo wkt nipo! Yan si swala la kumruhusu, ni hivi tupo bongo na wanaosha na kufua pia! Uyo aliishi bongo ipi io!!!
Wakaka wa ughaibuni acheni kuwa wakakasi ivyo.Helahela hela mbona maisha sio complicated ivyo jamani!!alafu wanakwama yaani na ubahili wote lkn unakuta hana pesa.😂😂😂😂😂
Tofauti za Kimalezi ndio zinaleta tofuti, Mwanaume ukiwa umelelewa na kutambua majukumu yako hupati shida, Mfano Nivigumu kuona mwanaume Tz akiwa amebeba mtoto mgongoni ila kwa sasa utaona watoto wamebebwa na Mabebeo ya Kisasa (Baby Carrier )
Mswahili aliyedekezwa,kwani kuoa umeleta mfanyakazi,we ukiosha unakatika mikono,ukiosha unakufa,ana mfumo dume,kuwa flexible kubadilika kutokana na mazingira
Lakini mbona wenzetu Wahindi wakihamia ughaibuni tamaduni zao hawaziachi, Kama ni kuzaa wanazaa sana popote pale. Kwanini sisi Waafrika tunajibadilisha ndio maana tunadharaulika maana mtu unayesahau values zako popote pale utadharaulika. Sisapoti mfumo dume lakini we need to change Kwakweli
Kuna watu hawajawahi kupigika bongo mambo yanawanyokea system ya Tanzania Kwao ina work ukiwaambia umuhimu wa vibali vya nchi nyingine ni kutafuta fursa wengine Tz tulikuwa hatuwezi ht kupata kazi lakini Canada fursa kibao yani kazi unazikataa mwenyewe alafu mtu anakwambia ulaya njaa tuu,
@@Globalsportschannel-ca Hapana sidhani labda use unachagua kazi wa bongo tunachagua sana kazi, Tuna taka km Tz nilikuwa boşI na huku unataka uanzie kısa bosi kuna watu wane kuka Canada km ma Doctor lakini hawezi Kusnza tuu kuwa Dr utaendesha Uber wee mpka upate leseni ya certification ya ku practice km Dr na mitihani yenyewe ni very expensive
Wadau shida sio ujamaa au ubepari bali ni zile agenda za kibepari kuharibu familia na tamaduni kwa kuwa wanaamini ktk material resources na mashine. Hawa walikoexterminate blacks mfano Australia,Latin America wanaamini wao kuendelea kubaki superior lazima kuwe na women empowerment hujawahi boy child empowerment. Hii style inafanya mwanamke asizae mapema akiamini atazaa wakati atakao. Wazungu wengi huja Afrika kupata mapenzi loyal.Mfano wanoenda Gambia,TZ etc
Maisha ya nje ni kitu cha kawaida sana kusaidiana kazı sababu wote mnafanya kazı tema wakati mwingine mke anafanya kazi masaa 12 7am-7pm mume masaa 8 alafu nirudi nyumbani nimpepee mume kweli?
Waafrica sasa hivi ni wachawi mnoo wanafikili iliwafikilii kama unaweza fanikiwa bila kufanya uchawi waafrica nomaa sanaa tena tunatakiwa kuwa makini mnoo
EBM mkiwa waafrica mnatakiwa muishi kiafrika popote pale bila kuiga umagharibi, Mila na desturi zetu zifuatwe popote, hakuna haki sawa hata biblia haijasema Hilo, tuache kufuata na kumezwa na taratibu za kizungu, desturi za kizungu zinaharibu familia,.
kuwa submissive haina maana kwamba mwanaume husaidii chochote kile. Mfano mtu una mashine ya kufua nguo, kwahiyo to utrn it on tu huwezi kisa ni kazi ya mwanamke? Kuna dish water kuweka vyombo kwenye mashine huku mke wako anamsaidia mtoto ni kosa?
Mimi naishi Marekani lakini kwa mtazamo wangu wanaume wa kiafrica hapa marekani ni shida.Wadada wako vizuri sana wako smart hata kimaendeleo wakaka hawajitambui kabisaaa na ulimbukeni pia.Kingine wanaleta mambo ya afrika hapa yaani ni tatizo kubwa janga.Alafu eti mtu ajiingize kwenye kuzaa .?,hapana aisee unazaa na mtu ambaye hanagoma kulipa kodi na hawezi kuosha hata kikombe chake alichonywea chai.Mm mpaka nasema bora kuwa single ukabeba box zako maisha yakaendelea kuliko kujiletea mastress.
Very right, Haina maana yeyote zaid ya kuongeza stress hapo,why should we?
EBM pamoja na uongeaji wake wakufoka, kwa kumsikiliza,ni mwanaume very humble na muelewa katika maswala ya wanawake na ndoa na famila kwa ujumla
Wacha wako hivyo katika kuongea,utafikiri anagombana,ni nature
❤
EBM ni bonge la mtu anayejitambua, family yake inafurahia mno kuwa nae ata ukiwaona pamoja
Ebm ,wape ukweli hao , ulaya ,canada ,usa , hakuna anayelipa rent , maisha ni 50/50 . Watu tunaishi as a one team . Ndio maisha yanakwenda bila hivyo talaka inakuhusu
EBM yupo sawa
Hüyo kaka ni mkoloni sana yaani kalne hii anaona shida kuosha vyombo Tena anaishi Canada
Mi mwenyewe nimeshangaa 😮
Ndio maana ya mjadala ili unoge lazima wawepo wa kupinga. Kuna cha kujifunza pia kwenye wanaopinga.
Mimi ikifika nioshe vyombo sioni maana yako afadhali tuachane kabisa
@@timothymagutu4560 😂😂 kaka Timoth Kumbulak huku Nje halına Mai Hana wa kazi wala mama mkwe ikitokea labda mkeo kajifungua au anaumwa, achana na hayo yote kaka Amish’s ya Uhamiaji saa nyingine macunu tuu unaweza kujikuta labda mume umepoteza kazi au mke ana kazı ambayo yuko busy kuliko mwanaume anatoka mapema anariudi giza tayari mwanaume labda kazi yako inaanza saa Tatu inaisha saa kumi na moja Şidhani km itasubiri mpaka mke arudi saa moja aje apike au aoshe vyombo na vyombo vyenyewe kuweka tuu kwenye dish washer
Alafu naimba tuu kuuliza hivi kabla hujaoa ulikuwa huoshi vyombo?
Hamna uyu ananogesha tu kauvaa uafrica ila ukichek video zake Insta anaosha fresh ana anaongelea ulaya tofaut na leo.
Hi shem. A good topic for discussion. Congrats.
EBM hili somo lako liko vizuri
EBM mungu awabariki sana mnatusaidia kifikra binafsi nataman sana san mwongoz juu ya safar
Asante kaka EBM kwa kutufahamisha mambo mengi.
Hakika ebm
Huwezi kuishi Ulaya na ukafuata sheria za Africa.(Bongo).
Napenda kipindi chako .I wish one day yes.
😅😅😅😅 I love the topic I wish to live in USA in process to learn more before I make it there ❤
Apo shida ni moja kaka ebm kama umezoea kutomsaidia mke wako huku bongo bas ukifika huko utapata shida sana
My friend kaka mungu akubariki
Hongera ebm,ila huyo jamaa anaharibu mazungumzo.hakupi time ya kuongea n thats anatunyima maarfa zaid.
Halafu sisi tumekulia na system ya ujamaa Wazungu wao wamekulia na mfumo wa capitalism = ubepari. Hizi nyanja mbili ni tafauti kimtazamo, kiutendaji na maisha halisi. Ubepari hauna unyenyekevu kama ujamaa na ndiomana ukifika Ulaya au Marekani automatically utabadilika tu utake usitake huu ndio ukweli. Jirani yangu anaweza kufa na usijue na hata maziko pia usipate taarifa. Hizi nchi zina faida na hasara zake ila, always look on your bright side. Angalia sehemu yenye maslahi nawe sio kila kitu poa. Asante kwa mchango wako MBM.
umekosea sisi tumekulia mfumo wa socialism/communist system (ujamaa) na wao ndio wamekulia mfumo wa capitalism au (ubepari)
Napenda sana hiki kipindi,Mimi nilimuamini ndugu yangu nikawa natuma hela za kujenga,kachukuwa kampa kaka awe anamaliziya nyumba ake kwanza.
My humble opinion kaka EBM ni kuwa ni kweli hapa ughaibuni mke na mume tunashikiriana majukumu kadha kadha lakini hii isibadilishe nafasi aliyo nayo mwanamke as a home maker na mwanaume as a home provider
Kama mwanaume as a provider basi mwanamke asiende kufanya kazi. It’s very hard mkiwa wote ni lazima kufanya kazi ili mlipe bills. Wote mnakwenda kazini, mmerudi mmechoka na hakuna mfanyakazi ndani na kama mna watoto mwanamke ndio akimbie kwa babysitter au daycare kumchukua na nyumbani utegemee awe a homemaker mwenyewe tu? Hamtaweza kuishi… si ni bora akaishi mwenyewe tu kuliko kuishi na mtu mzima asiye na msaada wowote?
@@Hapi-Awa unachosema uko sahihi , kwa uzoefu wangu mdogo mimi na mke wangu tunafanya wote kazi , majukumu ya nyumbani yote nafanya mm yeye ana deal na mtoto , ili kubalance , kelele zinakuwepogi lakini Mungu ni mwema tunaendelea , but hii hai dissmiss the fact kuwa natakiwa nitoe fedha nying zaidi kwenye bills kama ambavyo yeye naye kuna mda anafanya yake ya nyumbani
Haki gani we mwanaume, unafanya kazi na mke anafanya kazi , na 50/50 kodi mnalipa sawasawa na kila kitu.
Kaka Bien tuambien maswali Ili tuandike tujue Kwajili yakujifunza Ili tujiandae tuje huko Ili twende marekan
Habari yako kaka EBM zile Aptimenent kw ajili Green Card Winner mara hii itakuwa zipo tyr mkuu wa kazi
😊 mfumo dume umetuathiri sana wanaume wa Africa,soo tukiingia nchi za watu tunaona kama tunadhalaurika sana
IVYO NDIVYO MWANAUME ANAPASA KUWA NA SIO VINGINEVYO
Bora umesema wanaume wanajiona kama miungu
Hapo kwenye haki ya wanaume sasa. ety box masaa 16 utakumbuka mapenzi. Ndio game lazma ichezwe
Tunakupata vizuri kaka
Imeongea maneno ya Hekima sana kaka Ebm❤
Huyo kaka has old mentality ya mfumo dume hafanani nayo kukaa huko...wanaume wa siku hizi wameelimika hawako hivyo hata huku Tanzania 50/50 .
Nakuona wamekata mti kuelekea akili yako ilikoelekes
Exactly, hata sisi tulipanga hivyo hivyo. Tuliona hela yote inaenda kwa daycare na stresses za kuitwa ukachukue mtoto akiwa na high temperature kidogo tu. Kila siku una call sick inakuwa ni usumbufu.
Na pamoja nilipokaa nyumbani ila bado hubby akija nyumbani anasaidia pia kazi za ndani pale akiona sijaweza kufanya.
Ukitegea na kufikiria mwanamke hachoki na tunabadilika sio kweli ni kuwa mama zetu waliteseka sana. Sasa hatutaki kuteseka kama mama zetu ila sio kubadilika.
Ebm iko iv mm Niko kwenye ndoa 25yrs mke ni njinsi unavyo mshel
Thata true facts
Ila mada ya leo tamu sanaaa😂😂
Mie nataka kufaham mtu anaweza kuja huko hatakama ameishia darasa la saba kwajili ya kuomba kazi zandani au bustani au kufangia maofisini au kwenyemashamba mbogambaoga
Aje😮 kwamba namruhusu mume wangu aoshe vyombo wkt nipo! Yan si swala la kumruhusu, ni hivi tupo bongo na wanaosha na kufua pia! Uyo aliishi bongo ipi io!!!
Huyo jamaa ana ukoloni wa kutosha, labda aishi na yale madoli wachina wanatengeneza.
Yaani mmenikosha.Waafrika kwa waafrika ni noma ughaibuni.Lkn wanaume wanasumbua .Wanachoka kwa sababu wote mnakuwa busy mko kazini
Kweli bro, kwenye mgogoro, mara nyingi huonekana mwanamke ndie mkosa
Wakaka wa ughaibuni acheni kuwa wakakasi ivyo.Helahela hela mbona maisha sio complicated ivyo jamani!!alafu wanakwama yaani na ubahili wote lkn unakuta hana pesa.😂😂😂😂😂
Mbona wanaosha vyombo wanaume huku acheni, mfumo dume, kufua kusafisha nyumba nk
Siyo ulaya tu hata bongo watu wanasaidiana, kila binadamu anatakiwa ajue kuwa jukumu la ndoa ni la watu 2 na siyo mwanamke pekee
Huyu home boy wangu ninamheshimu sana🎉🎉❤
Tamadumu zote zina badirika utake usitake. Mataifa yote wanapika.
Tofauti za Kimalezi ndio zinaleta tofuti, Mwanaume ukiwa umelelewa na kutambua majukumu yako hupati shida, Mfano Nivigumu kuona mwanaume Tz akiwa amebeba mtoto mgongoni ila kwa sasa utaona watoto wamebebwa na Mabebeo ya Kisasa (Baby Carrier )
Mswahili aliyedekezwa,kwani kuoa umeleta mfanyakazi,we ukiosha unakatika mikono,ukiosha unakufa,ana mfumo dume,kuwa flexible kubadilika kutokana na mazingira
Unafoka jamani
EBM uko poa.naweza pata contact bro nina Jambo langu
wanawake wanao ishi kwandoa africa wanathaminika sana kuliko uraya
Kwanza watanzania tubadilishe perception ya kusema kazamia kazami it doesn't sound good for the hustling.
Lakini mbona wenzetu Wahindi wakihamia ughaibuni tamaduni zao hawaziachi, Kama ni kuzaa wanazaa sana popote pale. Kwanini sisi Waafrika tunajibadilisha ndio maana tunadharaulika maana mtu unayesahau values zako popote pale utadharaulika. Sisapoti mfumo dume lakini we need to change Kwakweli
Sasa ww unataka wasibadlike unataka umcontrol mtu muda wote come no man
Moja ya vitu napenda ninamna unawachanaga watu ukweli
Kuna watu hawajawahi kupigika bongo mambo yanawanyokea system ya Tanzania Kwao ina work ukiwaambia umuhimu wa vibali vya nchi nyingine ni kutafuta fursa wengine Tz tulikuwa hatuwezi ht kupata kazi lakini Canada fursa kibao yani kazi unazikataa mwenyewe alafu mtu anakwambia ulaya njaa tuu,
Niunganishe ndugu.
Canada imebadilika sana,kazi zimekuwa za shida kuna wimbi kubwa la immigrants nchini canada kwenda nchi nyingine kutafuta fursa
@@Globalsportschannel-ca Hapana sidhani labda use unachagua kazi wa bongo tunachagua sana kazi, Tuna taka km Tz nilikuwa boşI na huku unataka uanzie kısa bosi kuna watu wane kuka Canada km ma Doctor lakini hawezi Kusnza tuu kuwa Dr utaendesha Uber wee mpka upate leseni ya certification ya ku practice km Dr na mitihani yenyewe ni very expensive
Huyo mwanamke aliyeolewa na eli anakazi sana.
Bora tuu abadilike😂
Wadau shida sio ujamaa au ubepari bali ni zile agenda za kibepari kuharibu familia na tamaduni kwa kuwa wanaamini ktk material resources na mashine.
Hawa walikoexterminate blacks mfano Australia,Latin America wanaamini wao kuendelea kubaki superior lazima kuwe na women empowerment hujawahi boy child empowerment.
Hii style inafanya mwanamke asizae mapema akiamini atazaa wakati atakao.
Wazungu wengi huja Afrika kupata mapenzi loyal.Mfano wanoenda Gambia,TZ etc
Wanaume wa kibongo wakioa anamanisha kaleta mfanyakazi tena mfanyakazi mpaka wa familia yake me huo ujinga nilisha ukataa Yani haitakaa itokee😢
Nkifika nitabadilika ndiyo ila stowavimbia wanangu washikaji zangu wa damu
Usiwaambie watu kuwa umepata viza ya kwenda nje😢
Maisha ya nje ni kitu cha kawaida sana kusaidiana kazı sababu wote mnafanya kazı tema wakati mwingine mke anafanya kazi masaa 12 7am-7pm mume masaa 8 alafu nirudi nyumbani nimpepee mume kweli?
mimi mbona sijawahi kuishi ulaya nipo Tanzania lakini sijawahi kuishi kwa kutumia mfumo dume
Watu wengi wanao abuse sheria za ulaya ni wanawake au wanaume wageni ulaya
YAn EBM akianza kuongea anaanza taratiiibu ukishampa sikio anaanza kugombana sasa
Waafrica sasa hivi ni wachawi mnoo wanafikili iliwafikilii kama unaweza fanikiwa bila kufanya uchawi waafrica nomaa sanaa tena tunatakiwa kuwa makini mnoo
Kuchoka ndani ya ndoa hakupo
Tena kitu ambacho sikifanyi hata siku moja nihicho ,kutuma hela eti nijengewe
Wanawake tunaoishi huku ulaya tuna uhuru.Mambo ya mwaka 47 huku hakuna.😊😁
Kwa Ivo uraya ni vizuri mwanaume aishi peke yake mambo ya mwanamke asahau kabisa kwa sababu hauna maana
Kama BM Naomba kujua utararibu nahitaji kuja kufundisha Kiswahili
Yaani huyu ndio Ely wa us?
Huyu mzee anatuaibisha sisi wanaume
Kwanza mimi nitauliza kuwa huyo mwanamke anabadilika kivipi kimapenzi au kimajukumu ya nyumba?
dude you need to regulate food intake otherwise you don’t eat health
EBM kupiga box ni kufanyaje?
Mpatie mtu ndoano na siyo samaki😮
Hakisawa kwa Wanawake hasa wa Kiafrica haipo kwenye fedha!
Kaka mshauli uyo elly aache kuwafanyia watanzania wenzake uyo jamaa kaisha watapeli watu wengi sana na mimi pia nimiongoni mwalio tapeliwa mshauli
mr Ebm habari, nitawezaje kuagiza ile electric shavers , mana kila nikiweka order Amazon inanikatalia
Nitafute China zinapatikana, andika namba yako ya WhatsApp tuwasiliane
hahaha ati picha kwenye passort si yeye heeee
EBM iyo mbinu ya kivita umeitoa iyo. ety ukipigiwa simu ulaya ww ndio uanze kulia. Sasa kama hamtak kutusaidia c mngebaki tu hapa bongo
KWa Elly mke ni mtumishi wake sio rafiki very bad mentality
Acha ujinga bata wew, toa maoni yako wewe kama wewe, hayo ni maoni yake elly.
Toa yako.
Ongea akili yako.
Somo tosha ukweli mtupu watu wa jifunze
🇹🇿🇹🇿🇹🇿👊.
EBM mkiwa waafrica mnatakiwa muishi kiafrika popote pale bila kuiga umagharibi, Mila na desturi zetu zifuatwe popote, hakuna haki sawa hata biblia haijasema Hilo, tuache kufuata na kumezwa na taratibu za kizungu, desturi za kizungu zinaharibu familia,.
Mpumbavu wewe,
@@sleeprelaxation8431 unaweza kuchangia bila kutukana na ukaeleweka. Acha kutukana watu.
Ukweli kabisa desturi za ulaya si Ya mwanaume kuwa na Bibi nikila mtu aishi kivi yake
Hizi negative mindset tuziache
Kipindi kizuri
Huyu jamaa anauliza kuosha vyombo yupo nchi gani?
Canada
EBM anasema ukweli mtupu
😂😂😂😂😂😂
Kwa nini usioshe vyombo wewe mwanamme? basi japo kwa huruma na mapenzi tu, hasa mkiwa na watoto tena wadogo
😂😂
EBM Wacha kudanganya wanawake, a woman must submit to her husband. Dini zote zinasema hivyo
Huku kila mtu anafanya na kila mtu amechoka, wote tufanye kazi.
kuwa submissive haina maana kwamba mwanaume husaidii chochote kile. Mfano mtu una mashine ya kufua nguo, kwahiyo to utrn it on tu huwezi kisa ni kazi ya mwanamke? Kuna dish water kuweka vyombo kwenye mashine huku mke wako anamsaidia mtoto ni kosa?
@@EBMSWAHILI kweli kabisa
Aise hii mada ilikuwa mzuri sana tena ilikua very hot
😂😂😂😂
😂😂😂😂