WAZUNGU WANATABIA ZA AJABU| MAHUSIANO YA KUCHANGANYA TAMADUNI YANA CHANGAMOTO NYINGI
HTML-код
- Опубликовано: 7 фев 2025
- Natalie ameeleza alivyokua anawachukulia Wazungu na vitu vilivyomshangaza sana baada ya kufika Switzerland
Amewaasa vijana kuangalia kutafuta maisha kwa pamoja na sio kuwaza kutumia pesa za mtu mwingine tu
Maisha sio marahisi Ulaya ila ni kujituma kwa pamoja na kupunguza matumizi yasiyo ya lazima.
Pia ameeleza kwanini amechagua kua child free na upendo wake kwa watoto.
Thank you Natalie for allowing this to be online
www.oda.international
Great interview! Anajielewa na ni mkweli kuhusu experience zake! Kuwa mama sio jambo kila mtu anaweza au anataka. Big up kwa kufikia maamuzi mapema😊
🥰❤️
Yaani kuwa mama si kila mama anaweza au anataka halafu unampa hongera, Is itTrue!!!???? Kwani mbona yeye kazaliwa makubwa!!!
Shena, please pray for me one day and I will come to your live to give a testimony
Amen 🙏
😂😂😂 every single ....haha we dada hapana. Asante Shena na interviewee wako, you made my day.
Mi Nimefanya job ya NGO Na wanorway for 10yrs and now Im in Sweden for 15yrs kiswahili cha kichagga kimekataa kutoka😅😂😂 mdada ana english Mbovuu mambo ya X cousin nimezimia mara 2
😅yani kulazimisha kitu ambacho hujui mwisho unahalibu
Ameboa Sana
Basi siendelei Tena .ote mae
Nachukia mashauzi jamani.
😂😂😂
Ni kawaida kwa wazungu, train ni fast! Mentality ya kiafrika kwelikweli. Gari ulaya sio luxury, ni kawaida tu.
True sis. Nchi za huku public transportation ipo very well developed no needs ya cars
Ni kweli kabisa, sio kila mtu anafaa kuwa mzazi, ni vizuri kuheshimu maamuzi ya mtu maana kuwa mzazi ni jukumu lisilokwisha na linahitaji commitment ya hali ya juu mno.
Well said 📌
Ulaya Ukiwa na Amani, furaha na ukipata mtu sahihi basi inatosha sana Siyo Lazima Upate mtu tajiri Au nyumba kuubwa.
Ni kweli kabisa. Watu watafute mume unaempenda na yeye anakumpenda then Ulaya uta enjoy sana
Wapenzi mnaokuja kuhojiwa mjitahid kuongea kiswahili mwee😢sio watu wote wanaojua lugha ya kingereza mengine tunashindwa kuelewa😢😢ila yote kwa yote interview nzuri na tunafurahia kuwaona wageni wetu mkihojiwa na shena wetu😊😊
Ila shena hili jina lako sijui kama huwa naliandika sahihi au nalikosea?😢 nirekebishe mwaya😊
Ni sahihi dear
Mbona ansonge kiswahili jamani??@@nicekweba9920
Sister mwambie aongee Swahili .anatuboa sana
Inabidi dada umjue Mungu,nini kusudi la Mungu kukuleta duniani na ufanye mapenzi yake,Mwamini Yesu ni jawabu la kila mambo.
Watoto hawaondoi lonlyness kwenye uzee, ni bahati , ukipata watoto wenye kujali , cha muhimu ni kuombeana mungu.
Sasa si bora wawepo kama hawapo no shida zaidi
Shena upo vizuri
Tafadhali Dada Ongea Kiswahili
Vumilia Nathali luggage itakuja na mimi nilianza kama wewe sasa nina miaka minne na niko vizuri mume ndio company yangu ndio rafiki ndio kila kitu yaani wala sihitaji rafiki niko Germany naomba mawasiliano niko Vijijini kidogo ki mji fulani hivi Schwarzwald
Nadhani unamaisha ya kujibana kwa vile huna kazi, ukiwa na kazi hakunaga mzungu anayependa kupika jumata tu mpaka jumapili yaki week nzima unless hana hela, wazungu wengi wanapenda kula nje hasa dinner na siku za weekend, kadri na marafiki wa kizungu ni wengi tu utawapata hata majirani wapo wazuri na wa kukusaidia, ukijifanya niaje uko busy na wao huwa hivyo ...if ur friendly they do the same for my experience.
Nimeipenda hii ni kweli kabisa sio lazima kuzaa na Mungu pekee ndio mpangaji
anaogea sana kigereza ogea kiswahili
Jamani mbona kiingereza kinatumika hata Tanzania? Hivi Dunia hii ya Leo ya utandawazi hamjifunzi kiingereza.
Hemu mjiongeze kujifunza hata hii simple English mwee
sijui nani kamwambia kwamba ukiwa na hela hauwezi kuwa mpweke, kama kuna shule aende akajisajili ili aelewe vizuri.
Dada Jitahidi kuongea Lugha ya Kiswahili itakua jambo jema.
Lugha gongana,kiswahili kidogo basi Dada Shena
🤭🤭🙈🤣
Kama hajui kizungu niyeye mungu Kam jalia kafanikiwa. Je wewe mwenzangu unaye mcheka mwenzio unajujua nini?
Yaani hiyo ya hela ni hivyo kabisa wakiona umeolewa na mzungu wanaomba balaa na bila shukrani solution ni kuwablock haswaa
Mtihani mzito
Mimi Wala sija wa block...nawambia tu kwamba hata mimi sina pesa...
Acha watu wa funnge ndoa wapate fursa ya kuja Ulaya . Mimi kama siyo ndoa nisingekuja ulaya na mwanaume tayari tumeachana.
Karibu sana kwa kipindi Brigita tupate kujifunza kupitia wewe +4367764790884
Watu wa hapa nyumbani ni sahihi kabisa kudhania na hata kuamini kwamba Wazungu wana hela kwa kuwa hata hao Wazungu wenyewe hasa wale wanaowawakilisha katika Serikali zao na nyanja mbali mbali ndivyo wanavyosema na kuwaambia watu hasa wa Afrika pamoja na viongozi wao wa Afrika kwamba wao wana fedha. (For this how precisely they do portray themselves before the majority of Africans countries. Thus it is fair for the young Africans to believe so; besides the Whites themselves wants Africans to think and believe so.)
Kwa hiyo ni sahihi watu wa hapa nyumbani kufikiria hivyo. Huenda nyie ambao mmeolewa na hao Wazungu muwaambie hili ili waambie wale wawakilishi wao waache kuwa wanawaaminisha watu hasa wa Afrika kuwa wao wana fedha na matajiri wa dunia.
Otherwise, it is true they are one who got the money.
Ongea lugha ya taifa mkataa kwao ni mtumwa
Jamani mbona kiingereza kinatumika hata Tanzania? Hivi Dunia hii ya Leo ya utandawazi hamjifunzi kiingereza.
Hemu mjiongeze kujifunza hata hii simple English mwee
Jmn ndo mana dura maqabila qaimba niiije ama nsije mtoto qabananishwa na mpira uwo jmn mqiwa waja wzto vaeni nguo za nafas hee
Kajifunze kuandika dada😂
Jamani Leo mbavu zangu 😝🤭🙊
@@Joliegal834uqijua ww yatosha😂😂
Uuuuuwi unajua mwenzenu nlijua uyu dada mjamzto 😂😂😂😂😂😂
Jamani hebu muongeagi kiswahili vizuri maana mjue mnatwambia sisi na sikama mnasimuliana wenyewe,mbona hiyo dada anaehiji hajidai?
Hata Shena hana hamu tena.
Ongea ruga enyekilamtu anaelea mzuri acha uzunguuzungu hata waleambao wanaliza miakamingi wanaongea swahili
😢
Mmh namshangaaa, hata waliozaliwa ulaya. Wanaongea kiswahili, yeye miaka kidogo tu anajifanya kasahau Kiswahili..
Sio kujifanya,nazani a naongea zaidi kinge na mumewe,ikiwa muda mrefu na unataka kuongea kiswahili maneno yanapotea,imenikuta ht mimi..kila mtu ni tofauti.karibu,nakoment toka Bern.
Huyu anambiwa azungumze kiswahili kuna watu wengine hawajui kiswahili
Tanzania hatukuwa na lockdown hata kidogo unayosema,
Sasa Dada www Nimtamzania lakini unajifanya kama hujui kiswahili
Umeona ee
Yeye anafikiri wote wasomi humu wengine tumesomea miembeni
Acha chuki ndugu kujua lugha yoyote sio kama umesoma...kuna watu wanaongea kijerumani na Wala hawajaenda shule
Mtu ana maringo mengi jamani 😂
Maringo yapi jamani na umemuona hapa hata lisaa halijaisha
Mwe 🤦🏾♀️
Wala hana
Anaringa vipi tena wakati wewe haumjui?
Watanzania acheni chuki kwa mtu ambae anaongea kiingereza kidogo tu povu jingiii.
Dada angu Ninashida nitafutie kazihuko
Njoo kwangu
Jamani mjue kuna watu wanakuwaga wanaadapt mapema and in another way somehow ni furaha as well
Adapt fyuuuuuu
Adaptation pia ni mtoto wako… aina tofauti tuu na kuzaa
True
Ni maamuzi tu na kukubali kua mzazi
Jirani huwezi ku adopt ?
@@OfficialDatingAssistance
Kuadapt kiingereza Zurich aisee? Hahahaaa. Hata yule ukatiletea aliyekaa Uingereza zaidi ya miaka 30 bado alikuwa hajaadapt.
Ya kufungua zawadi hapo hapo ni kawaida kabisa ipo Europe
Ndio yeye amekuja ku Share Experience yake kwamba ilikua kitu kigeni kwake
Dada hapa anaongelea experience yake...kwa nchi za huko ni kawaida sana..kwa mtu anayetoka TZ na kuja huku huwa wanashangaa
😂
Natalie hio kwa kufungua zawadi hapo hapo ni kawaida kwa Europe kote hata huku Italy ni hivyo hivyo
Inasaidia mtu ununue kitu cha maana: nikikumbuka kipaimara watu wanakufungia mkate jamani😂😂😂😊 au kidaftari kimoja
🤣
😂
Vumilia Nathali luggage itakuja na mimi nilianza kama wewe sasa nina miaka minne na niko vizuri mume ndio company yangu ndio rafiki ndio kila kitu yaani wala sihitaji rafiki niko Germany naomba mawasiliano niko Vijijini kidogo ki mji fulani hivi Schwarzwald
Kweli kabisa