Nimekupenda sana mama Jesca umeeleza in a general view yaani hujapersonalize mazungumzo. Huwa sipendi wale watu wanaenda into personal details e.g mtu anasema mimi huyu wangu hajatairi😢....Oohh mara mimi huyu wangu so and so, daah mimi huwa sipendi kwakweli😢 Thanks mama Jesca thank you Shena
You said it all sissy, very educational. Umefika UK 2001 wakati ninapata my baby, una 22yrs now hongera sana. Karibu London bado tupo sio kubaya kiviiile inategemea unakaa wapi pia.
Mama Jesca amemaliza kutoa maelezo yote ya msingi ambayo mtu yeyote muelewa ameweza kuyapata , kwamba 'maisha ni popote ' Utakavyoyaishi ndivyo yatakavyokupeleka .
Huyu dada kapokelewa vzr sana n family y mumewe mpaka babu n bibi yake mmewe wamempenda .na huku TZ kila siku majanga ktk family sio wazungu tu acha roho mbaya👺👹
Mimi ni Mtanzania ila kiukweli hii ya kujua mtu yupo mpaka lini ni haki kabisa. Siyo unaenda kwa mtu unasimamisha shughuli za wenyeji wako bila utaratibu.
Umaskini hauishi sababu ya hayo. Kipato hakiongexeki sababu ya desturi. Na ukiangalia hata walifanikiwa afrika wamekupa na misimamo. Japo ndo wanaonekana wabaya
Mimi pia marafiki sasaiv nimewaweka huko ndugu wanatosha hawaniombi pesa ovyo hapo kwenye 50 /50 utake usitake inakusu tena kuna muda inabidi mwanamke usave la sivyo maji umeme utakatwa 😂😂 nyie ulaya kuzuri kama utapanulia
@@shifaaal-baity4503 kwani ulaya ndio hakuna ukatili Kwa watoto na mama zao!!!??? Tembea duniani uone majanga mama . Shukuru mungu kama amekupatia mume mwema , sisi sote ni bin adam .
@@marykennedymarwa1641ndio nashkuru mungu..niko salama. Lkn wewe ndie uliesema ķua huyu dada aolewe na mwafrika amtunze unakusudia mwafrika ni bora zaidi??? Kila jamii duniani kuna wema na wabaya
Sometimes naregret kuolewa na mzungu 😅😅nishazoea makelele yangu nimekutana na mtu Sometimes unaambiwa baby I don't wanna talk now I need my time yaani wazungu wana vichaa kwa mbali😂😂
Na wanachoona kwa filamu wanadhani ndio ivo,mwisho wa siku kuna maisha,tena maisha Ulaya yataka moyo hata na mapesa kama huna moyo unapaondoka haiwi tu weather ukifatia mambo mengine.
Huyu wa leo ametoa bonge la Darasa...Kazi nzuri kwenu nyote na Mungu awabariki sana🙏🏾
Weee dada wa ZOZO tafuta kazi ya Terapi advaisor ur the best advisor.......hii kazi itakufaa 👍
Sio dada nimke
Kweli kabisa,watoto na wanawake Uk wanasikilizwa azidi ya wanaume,na single mothers ndo wamejaa,well said mama J
Ma Jesca uko vizuri sana hongera.
Hongera dada nakukubali kabisaa
Nimekupenda sana mama Jesca umeeleza in a general view yaani hujapersonalize mazungumzo. Huwa sipendi wale watu wanaenda into personal details e.g mtu anasema mimi huyu wangu hajatairi😢....Oohh mara mimi huyu wangu so and so, daah mimi huwa sipendi kwakweli😢 Thanks mama Jesca thank you Shena
nashukuru kwa elimu haina mwisho nimefurahi kupata madin💕❣mama Jesca asante kwa madini nimefurahi
Asante mama bongo zozo hongera sana kwa kuwazungumzisha kiswahili nakupongeza sana
Napenda mwanamke mpole kwa mumewe
Mama jesca 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
So glad to finally meet Mama Jessica! You are so sweet with lots of wisdom! I love you😍
Asante sana Shena kwa kutuletea Mama Bongozozo!
Wazungu bhana wapo ambao wana Utu ndani Yao wanaume kwa wanawake, sema sasa kuna wengine wanakuchekea Mdomoni unafiki wanao sanaa
Watanzania wote malaika????au ww ndie mnafiki
😂😂jibu bora@@shifaaal-baity4503
maisha mepesi Africa wambieni hapa mimi na savaivu kwa buku 😜😜😜
Kweli kabisa umeongea vizuri my dear,majority kwetu Afrika hawapati picha ya huku ulaya,wanadhani tumeoleka na mzungu then hatuna neno.
Asante mama jesca mi kwenye break nimepaelewa
Kweli kabisa
I really enjoy nimejifunza vingi ASante sana
Rent na bills ndo killer ya ulaya
Kafanana na Monalisa❤ actress
You said it all sissy, very educational. Umefika UK 2001 wakati ninapata my baby, una 22yrs now hongera sana. Karibu London bado tupo sio kubaya kiviiile inategemea unakaa wapi pia.
I LIKE HER🎉🎉🎉🎉
Wooow hatimaye umempata mama jesca....shena you are spreading you wings so good my dear keep it up ..unatuelimisha,kuburudisha na kujifunza kwakweli
Ahsante sana
Nashukuru
Mama jesca uko vizur Sana mungu awalinde kwenye ndoa zenu
Wanaosumbuwa maranyingi ni marafiki , kuliko hata ndugu. Maana ndugu unakuwa umeshawaekewesha. Kwa kweli wanasumbuwa sanaa.
Hongera binti Materu. Umeongea vizuri. Na unajitunza vizuri sana
We work so hard for our money!
Kumbe ndiyo wewe mama jesca, hongera sana
What a Milestone my nyau 🙌👏👏 Najivunia kuwa rafiki yako ❤️❤️❤️
Nakupenda sana mama jeska.Ndo maana unazid kuwa mrembo hutak stress
Nakupenda mama jecka ❤
Nimkupenda sana mama bongo zozo umeleza ukweli
Shena umetisha sana,tunazidi kujifunza
Umeongea ukweli sana mama jesca ahsant kwa ushauli wako
Sio ushauli sema ushauri kiswahili fasaha
Asante nimejifuza kitu
Nakupenda
Kweli kabisa maneno yako dada
Mama Jessica 👍👍👍👍👏👏👏💪💪💪💜
Yani mama jesca hadi raha anaonekana mtu wa masihara😂wameendana Tunawapenda❤
Mama Jessssaica unatoa siri za chumbani - eti mgeni ataondoka saa ngapi! 😂😂😂😂
🤣
😂
👏🏾👏🏾
Woww inapendeza sana naipenda sana hii familia
Nawapenda sana wewe na mumeo
Nimefurahi kutuletea mama jesca hapa
Mama jeska jamani alikuwa mrembo huyu dada na bado mrembo hongera mmedumu Sana na mumeo
Mchaga org❤
😂😂😂mama Jessica usisemee hivo ndoskina sisi hapa tupo miaka hiyo 29 hongera
My dear younger sister mm nimeolewa na mdutch miaka nane sasa Ira kipindi chenu kimenifumbua mengi sana na shukuru kwamdaa wenu make mnasaidia sana
Ahsante sana Neema, kama hutojali diku moja utupatie experience ya miaka nane 🙏
Usisahau lugha yko...nini maana ya ira???
Nikwer Sana watoto wakizungu hawana adabu kabisa,,hawana hofu ya mungu kabisa
Nikwer????????😂
Mama Jesca amemaliza kutoa maelezo yote ya msingi ambayo mtu yeyote muelewa ameweza kuyapata , kwamba 'maisha ni popote ' Utakavyoyaishi ndivyo yatakavyokupeleka .
My sister 👏🥰
Kabisa nami nimehacha kabisa
Mzungu ni Binadamu Kama binadamu wengine tuu Sema tu desturi na mila zao ni ngumu
unakumbuka nilikwambia wazungu ni wanyanyasaji haswa ukiwa kwao leo dada kaeleza uwazi wanachukuliana mpaka wanaume nikama huku
Huyu dada kapokelewa vzr sana n family y mumewe mpaka babu n bibi yake mmewe wamempenda .na huku TZ kila siku majanga ktk family sio wazungu tu acha roho mbaya👺👹
Mwambie hawa wasiotoka nje wabajua watu wa nje usipotumia pesa anakuona mbaya daa 😢
napenda sana hii family ya mm jesca na bongo zozo
Nampenda sana mama jessica
Nimemsikiliza mama jesca hadi hamu ya kuja ulaya imekata
Hata mimi aisee
Fanya interview nae nyingine
Wewe mama jess uko peponi!
Bongozozo naomba Interview na wewe 🙏 tujifunze ya wazungu sasa 😁
Familia Yao Inavituko sana muda wote wanaznguana😅familia Ina furaha hasa bongo zozo anamambo mengi😂
Kweli dada hapaa uk maishaa maguu sana kweli kabisa
Mama jeska jamani umetueleza vizuri nno
Mamaaaaa bongo zozoooooo😂
Mimi ni Mtanzania ila kiukweli hii ya kujua mtu yupo mpaka lini ni haki kabisa. Siyo unaenda kwa mtu unasimamisha shughuli za wenyeji wako bila utaratibu.
Umaskini hauishi sababu ya hayo. Kipato hakiongexeki sababu ya desturi. Na ukiangalia hata walifanikiwa afrika wamekupa na misimamo. Japo ndo wanaonekana wabaya
50/50 Naitoa bila kinyongo maisha huku sio rahisi kabisa.tabia za Kitanzania Achana nazo airport n’a tabia y’a kupenda kupewa Sahau
Eti hukutaka kunibadilisha, misuto yote ya nini? 😅😅😅😅
Ila nyinyi 😁😁
Mimi pia marafiki sasaiv nimewaweka huko ndugu wanatosha hawaniombi pesa ovyo hapo kwenye 50 /50 utake usitake inakusu tena kuna muda inabidi mwanamke usave la sivyo maji umeme utakatwa 😂😂 nyie ulaya kuzuri kama utapanulia
❤❤❤❤
😂😂😂jmn hadi raha
Shena msichana mzuri ,ulitakiwa kuolewa na mwafrika mwenye pesa akutunze mama , 😂 wazungu watakuzeesha bure na stress .
Mwafrika ni malaika? Hapa east Africa upo ukatili mwingi mno kwa wtt na mama zao
@@shifaaal-baity4503 kwani ulaya ndio hakuna ukatili Kwa watoto na mama zao!!!??? Tembea duniani uone majanga mama . Shukuru mungu kama amekupatia mume mwema , sisi sote ni bin adam .
@@marykennedymarwa1641ndio nashkuru mungu..niko salama. Lkn wewe ndie uliesema ķua huyu dada aolewe na mwafrika amtunze unakusudia mwafrika ni bora zaidi??? Kila jamii duniani kuna wema na wabaya
Safi sana Mama Jesca Kwa story nzuri tumekuelewa
Mama jesca ondoa mtako wako hapa😂😂😂😂
Akili mingi ma J
Hela watafute. Pia ni jukumu la kila mtu kutumia mbinu kupata hela
Mpaka umetaja zawadi! Tai ama?
kuna mtu yuko marekan akija tuna mchangia nauri ya kurudi😜😜😜
Ni kweli yote ameongea kisha dada ni mtu mzuri na ni mrembo kabisa
Safl sn dada earo nondo nzur ieo tupige kaz
Lkn situmii dating ya tinder ni dating zingine lkn pia malipo yanafanana ni vile vile kama tinder ila haitaki kufanya muamala
unakondaje uso mama zozo kwa uchovu!!?!
Dd kila nikijaribu kulipia online dating inakataa mimi nipo uarabuni na kadi yanga ni Tanzania mastercard lkn hitaki kufanya muamala tatizo ni nn
Kadi yako haina Access ya kulipia online itakua
Nieleweshe kvp yaan au nifanye nn ili niweze kulipia online maana kama pesa ipo ktk bank ambayo inaweza kulipa ma ikabaki ni NBM MASTERCARD
Yaan pesa iliyopo naweza kulipa hata mara 20 sasa nipe maelezo kamili
Wakorofi kama wanawake wa machame
Da shena naomba nifunfishe kujiunga online dating yako
Bonge moja ya darasa from mama jesca
Sometimes naregret kuolewa na mzungu 😅😅nishazoea makelele yangu nimekutana na mtu Sometimes unaambiwa baby I don't wanna talk now I need my time yaani wazungu wana vichaa kwa mbali😂😂
That is so rude!!!!
@@aggiemarley5742 very rude
😂😂😅😅 aisee ngumu
@@fettyrashid9042 shidaaa
😆
Kama ulaya nipagumu mbona mkienda hamrudi
Nauli
Hapo sasa😅😅😅...usiamini maneno ya kila mtu, wenginr hawataki twende huko
@@Annie_944nenda ukaishi milele huko
Nani kakuzuia usiende kule ??? Au uhasidi TU
@@ilakozasembumende1975 acheni wivu
Budget 😂
Da shena online dating yako inaitwaje
Can I get yr email plz ???
Filamu ni propaganda kubwa sanaaa waafrika hawajuwi
Na wanachoona kwa filamu wanadhani ndio ivo,mwisho wa siku kuna maisha,tena maisha Ulaya yataka moyo hata na mapesa kama huna moyo unapaondoka haiwi tu weather ukifatia mambo mengine.
Si wanasemaga wameachana hawa? Confused
Muhusika ndio huyo
Wanaigizaga Hawa siunamjua baba jesca mambo yake😂
Hata U.S gharama za harusi ni wazazi wa mwanamke
Interview nzuri. Lakini mzungu mswahili kama bongo zozo Mungu usinipe😂😂😂😂😂
😂
😂😂😂😂😂
@@berthatzmrembo
❤❤❤❤❤❤❤
Ni kweli yote ameongea kisha dada ni mtu mzuri na ni mrembo kabisa
Da shena online dating yako inaitwaje
❤❤❤❤❤