WAJERUMANI WABAHILI | NILILIPIA MTANDAO MARA NNE LAKINI WAPI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 5 янв 2025

Комментарии • 431

  • @BarakaTheImmigrant
    @BarakaTheImmigrant 9 месяцев назад +1

    Naoenda anavyoelezea na inafurahisha na kukufabya uendelee kusikiliza. Very engagingkwa kweli. Asante, @simamiatv

  • @NiceWatson-y7e
    @NiceWatson-y7e Год назад +5

    Namshukuru Mungu kwakwel kwa kunitoa gizani maaa nilipata chance nying za wazungu nikakataa kuolewa na wazungu wenye pesa zao na watu wanataka chance kama nilizopata na hawapat au wanapata kwa shida sana ila nishapata mume wa kijeruman nikiwa na mtot mchanga Mungu ni mwema kwakwel

  • @skithaskitha3902
    @skithaskitha3902 9 месяцев назад +3

    Tupe😀chuma kimeingia ulaya, nimejifunza sana kupitia tupe, shena Mungu akutunze kwakweli nimecheka mpaka mbavu zimeniuma

  • @maria_mutondioriginal5
    @maria_mutondioriginal5 Год назад +7

    Dada the straggle was really for you 😂 ila asante Yesu ndoto zako zimetimia 👏👏👏 wishing you all the best in your life ❤

  • @mamaharry15
    @mamaharry15 9 месяцев назад +3

    Yaani nimempenda sana huyu Mnyakyusa mwenzangu. Yaani Kanichekesha hadi machozi yametoka alivyokuwa anawafuata watu wanaokimbilia ndege zao. Yaani huyu unakaa nae siku nzima huchoki story zake. Mungu azidi kumpigania katika maisha yake. Nampenda sana ❤❤

  • @aromaofzanzibar
    @aromaofzanzibar Год назад +8

    Mungu wangu leo ni.echeka sina mbavu lakini Prisca nimempenda sana

  • @zidadumbepo1486
    @zidadumbepo1486 Год назад +41

    Nafatilia Sana vipindi vyako Ila Cha huyu mdada namba 1 kawa open Sana Na Kaja ulaya hata mwaka ajamaliza kajua vitu vingi Kwa mda mchache Sana mwenyewezi mungu amjalie ndoto zake

    • @femidayahaya4882
      @femidayahaya4882 Год назад +4

      Amen! Kusema kweli me pia kanifurahisha sana..Msema kweli mpenzi wa Munhu na atafanikiwa sana.

    • @Judy-dy4zt
      @Judy-dy4zt Год назад +1

      Umehonae hadi raha mungu amtangulie

    • @myself4128
      @myself4128 Год назад

      ndoto zipi za kujiuza???

    • @marthatito3510
      @marthatito3510 Год назад +2

      Yupo vizuri sana kaongea kwa wazi

    • @SuzanaSuzana-u3j
      @SuzanaSuzana-u3j Год назад

      @@myself4128 we ni x wa Tupi wa Kiswahili kaja na hasira 😂 bado hujasema Toka hapa na kichogo chako😂😂😂

  • @ruthiemacharia5152
    @ruthiemacharia5152 Месяц назад

    I like her work ethic.. she's phenomenal

  • @betsyjimmy231
    @betsyjimmy231 Год назад +6

    Nimependa sana huyu dada very charming very open, the best interview, congrats da Shena your the best

  • @MissKaliz
    @MissKaliz Год назад +24

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Mbavu zangu Mimi, I love her level of naked truth 😍.The struggle of searching is real so patience is the major key wapendwa LAKINI pia kila mtu na Baraka yake kuna wanao pata ndani ya muda mchache waki join dating apps or kwenda sehemu za wazungu.
    Mwenye kuji funza na aji funze “ no matter how much you hustle kufikia ndoto/malengo yako …. Usi Kate tamaa , Yani ipo Siku tu Mungu ata kubariki “.

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  Год назад +4

      Yani amejua kutuongezea siku za kuishi
      She is amazing 🥰

    • @priscambwambo1030
      @priscambwambo1030 Год назад +2

      Waambie ukwweli nimekupenda sana mkweli. Kizuri Ujerumany kuna oputunite ya kazi. Aach Nina miaka 6 mashalaah Mungu mkuu ameniwezesha . Ulaya mume wako ni kazi hawa warme unawatumia kutengeneza maisha yako tu

    • @LucyKapinga-fg4dk
      @LucyKapinga-fg4dk Год назад

      ​@@priscambwambo1030safiiiiii kazi ndio kila kitu Dear

    • @Zuu673
      @Zuu673 8 месяцев назад

      ​@@OfficialDatingAssistanceanatumia jina gani kwa mtandaoni?

  • @hellenmwasalwiba6555
    @hellenmwasalwiba6555 Год назад +2

    Tuppy you are so sincere, may God bless you so much. Unaweza kujielezea sana kwa kiwango cha juu. Na pia ni muwazi sana.

  • @mohamedmwavuguto8276
    @mohamedmwavuguto8276 Год назад +6

    Nimempenda sana Prisca . Nimcheshi mno.

  • @sporastica7174
    @sporastica7174 Год назад +9

    Wajeruman wabahil au bwana unaempata ndo mbahili wako na mahesabu taxes ni kubwa kwao😢kila mtu na experience yake sawa Ila haifanyi ujumlishe nchi nzima ........ Yuko vizuri she's a fighter interview nzuri welcome to Germany 🤗 mengi bado hujayaona hope you keep the same energy 🥰

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  Год назад +5

      Naomba interview Kwa Experience yako, watu wengi watajifunza

    • @sporastica7174
      @sporastica7174 Год назад

      @@Tupilike niko ujeruman miaka sita sasa mpenzi na usome hiyo comment kwa ufasahau sio kukurupuka tu kujibu tupilike hajasema kama mume wake mbahili Ila aliambiwa nazan hilo jibu linakufaa ahsante 🤗una lingine nikujibu hata sijui unatesekea wapi 😂

    • @rose_Winchester86
      @rose_Winchester86 Год назад +1

      Huyo kakutana na mwanaume ambae hajampenda. Wagerman sio wabahili

    • @leahzuu6468
      @leahzuu6468 Год назад +1

      Sio kweli wa Germany sio wabahili nahisi kakutana na kishuka wangu hayuko ivyo😊

    • @sporastica7174
      @sporastica7174 Год назад +1

      @@leahzuu6468 hajakutana na traditional men huyu wakijeruman kutoka Bayern🤭

  • @ummyabubakary685
    @ummyabubakary685 26 дней назад

    Leo nimecheka sana,nimekupenda bure wemdada

  • @annakailembo6063
    @annakailembo6063 Год назад +2

    Thanks my for this interview nimejifunza kitu, mwambie nampenda sana

  • @femidayahaya4882
    @femidayahaya4882 Год назад +1

    Tuppy msema kweli mpenzi wa mungu ....ww mkweli sana mungu akuwrke juu zaidi. Me nimekupenda sana Vibe lako liko juu❤❤❤

  • @nureyna629
    @nureyna629 9 месяцев назад +3

    Jamani nimempenda huyu dada, mcheshi sana na msema ukweli, aisee ntairudia rudia sana hii interview sichoki kumsikiliza😊

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  9 месяцев назад +3

      She is amazing 🥰

    • @Zuu673
      @Zuu673 8 месяцев назад

      ​@@OfficialDatingAssistanceanatumia jina gani kwenye mitandao ya kijamii?

  • @Alice_Kazaura
    @Alice_Kazaura 4 месяца назад

    Huyu dada anafurahisha, interview nzima naishia kucheka tuu😂😂😅.
    İla hongera mwaya❤.
    Napenda kufuatilia vipindi vyako 💕

  • @leahmwalubalile12
    @leahmwalubalile12 Год назад +14

    This lady aisee, she is such a vibe, '' chuma kimeingia ulaya'' 😆🤣🤣🤣

  • @godfreyshirima9123
    @godfreyshirima9123 Год назад +5

    Hii interview nimeipenda sana.Mungu awabariki !

  • @janethmanene1446
    @janethmanene1446 Год назад +9

    Best interview ever 🎉🥰

  • @tusekilemwambona842
    @tusekilemwambona842 Год назад +3

    Tuppy umeongea vitu vizuri sana, i hope wasichana wakibongo au wanaoishi bongo watajifunza sana life sio easy hivyoo ulaya umenifurahisha sana.

  • @sinzannenmisquee1425
    @sinzannenmisquee1425 Год назад +1

    Nimekupenda sana Tuppy unahadisia vizuri mwaya

  • @janethmafie7721
    @janethmafie7721 Год назад

    Wow naangalia sana interview zako napenda Ila hii y’a huyu dadaI LOVE HER. Very funnyyyy😅😅😅😅😅

  • @sophiakassim6784
    @sophiakassim6784 Год назад +12

    This is the best interview ever Shena yani dada amejua kunifurahisha sana sanaaa nlikua na mawazo yameisha yoteeee unajua yoteeee🤣🤣🤣 dada kachangamka sana sanaaa

  • @roseeuphrase3853
    @roseeuphrase3853 Год назад

    Ninapenda vipindi vyako kwa sababu vinaburudisha. Hiki cha leo ni kizuri sana kwa sababu amekuwa muwazi na mkweli. ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @loicekoster3901
    @loicekoster3901 10 месяцев назад

    Hi, thank you so much. I really love you that interview with her. It was so good. Good luck for her.

  • @ipyanaangetile38
    @ipyanaangetile38 Год назад +1

    Tupilike ! Mma nsekile jamani. 😂😂😂😂😂😂 uko muwazi sana .Barikiwa

  • @tupilikeallan8990
    @tupilikeallan8990 10 месяцев назад +1

    hongera sana wa jina( Tupilike

  • @salminasalim5630
    @salminasalim5630 Год назад

    Jamani Prisca Yaani Mungu akujalie sana umetufundishs mengi and i loved you for your transparency may Hod bless you bless you abundantly

  • @elizabethkilango9180
    @elizabethkilango9180 7 месяцев назад

    Hongera sana Prisca. Nimekuwa interested na story yako, kweli ukiwa na ndoto yako usikate tamaa.

  • @doreenniver6643
    @doreenniver6643 Год назад +1

    Daah Dada nimejifunza vingi sana da p❤❤❤❤❤❤❤

  • @rithersospeterkati3355
    @rithersospeterkati3355 Год назад +3

    Ni mzuri, hapa watu wa Afrika wamepata elimu. Maana walikuwa wanatulaumu sana sisi ambao tuko kuwa hatuwasaidii. Asante. ❤❤❤❤.

  • @ElizabethYudda
    @ElizabethYudda 8 месяцев назад

    Aki nimecheka pia nimefulai sana nakupenda sana mpenzi

  • @asiaa6573
    @asiaa6573 Год назад +1

    Jmn nimempenda huyu dada, nimejifunza kutokukata tamaa kwenye maisha

  • @dianamatungwa
    @dianamatungwa Год назад +1

    She spoke so well and truly, the best interview, I laugh because she was saying the truth..

  • @zainabufeka87
    @zainabufeka87 9 месяцев назад

    😂😂😂😂😂yaan tupy nakupenda bure we dada😅😅😅❤❤❤❤❤

  • @BasilEMongi
    @BasilEMongi Год назад +1

    Jamani Uwiiii huyu dada, kwa mara nyingine nakuona huku. From Badoo - WhatsApp - now RUclips Interview 😊😊👍😘. Prisca miss you so much

  • @SteshAties
    @SteshAties Год назад

    Waah nimefuraiii hajabu Asante sanaaa

  • @EpiphaniaMallya
    @EpiphaniaMallya Год назад

    Mnyakyusa uko vizuri hongera sana unafunguka hadi raha

  • @Yolanda-n3x
    @Yolanda-n3x Год назад +7

    Leo sijalala nimeishia kulia😢😢 kucheka 😅😅😅mbaka nimejip moyo nami ipo siku nitapata

  • @joslinchuwa1298
    @joslinchuwa1298 Год назад +8

    Nimempenda huyu Dada ni mkweli muazi sana nimejifunza kitu kwake

  • @halimateuwissen8619
    @halimateuwissen8619 Год назад +2

    Very charming lady nimempenda sana, yuko very open 😁

  • @florakaria3793
    @florakaria3793 Месяц назад

    Barikiwa mamiii

  • @joyce55727
    @joyce55727 Год назад +1

    Dd Shena unafanana na yule dd Joyce kiria mwanaharakati wa tz ❤❤ sana

  • @jessicagervas4075
    @jessicagervas4075 Год назад +8

    She's so funny mecheka mpaka, hakuna kukata tamaa kwakel

  • @stellaprotazibashaijaban-gq4mb
    @stellaprotazibashaijaban-gq4mb Год назад +1

    Nimekupenda sana uko muwazi 🤩👍

  • @sabrinakamikazi2142
    @sabrinakamikazi2142 7 месяцев назад +1

    Nimecheka sanaa wakati alipo fika Holland .Storry nzuri kwakweli alafu muvumilivu sanaa.

  • @enjoybenjamini4713
    @enjoybenjamini4713 Год назад +6

    Leo nimeona hii interview imenitia moyo balaa, hongera Tumpilike

  • @ashakassanga1
    @ashakassanga1 9 месяцев назад +1

    I just like this girl nimechekaaa sanaa😂😂😂😂

  • @trueone_tz
    @trueone_tz 10 месяцев назад

    Best interview ever ❤❤❤

  • @rhodajackson2213
    @rhodajackson2213 Год назад

    Jamani mnanifurahisha sana , Tupilike umetisheer

  • @annatemu4488
    @annatemu4488 Год назад

    Tuppy nimempenda sana,yupo really

  • @ramlaomar147
    @ramlaomar147 8 месяцев назад +2

    NIMEKUPENDA SANA MDADA UPO MCHESHI NA HISTORIA YAKO INAFURAHISHA

  • @HanifaJuma-i4z
    @HanifaJuma-i4z Год назад +1

    😂😂😂😂😂😂😂😂 amejua kunifurahisha hadi raha muongeaji sana anafurahisha sana❤

  • @shejamy06
    @shejamy06 8 месяцев назад +1

    Shena ubarikiwe na hii platform ikue zaid ya hapa😂😂😂😂 tuppy katuvnja mbavu i manifest someday i’ll share my story❤❤❤

  • @EpiphaniaMallya
    @EpiphaniaMallya Год назад

    Hongera Dada P. Kwa kuwa muwazi story ya maisha yako nimeioenda saana

  • @olivianiwagila3109
    @olivianiwagila3109 Год назад +14

    Mcheshi sana huyu dada, story nzuri inatia sana moyo

  • @nicekweba9920
    @nicekweba9920 Год назад +3

    Amenifurahisha anajua kusimulia 🤣🤣😍

  • @estersaul8180
    @estersaul8180 Год назад +3

    Nice story..

  • @jamlaashiri372
    @jamlaashiri372 8 месяцев назад

    Hongeza Sana mungu Skype wepesi ufunge ndoa

  • @WinfridaJuma-vm2wp
    @WinfridaJuma-vm2wp Год назад +3

    The Best interview da shena 🇹🇿😊

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 Год назад +5

    Nimempenda sana uyu Dada, anafunguka vizur 😅😂 yani leo stress zimeisha 😅😅na uyu Dada 😂

  • @roseeuphrase3853
    @roseeuphrase3853 Год назад +1

    Leo nimecheka kweli kweli 😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤

  • @marielulu2439
    @marielulu2439 Год назад

    Hongela zako bana tatamani ningekuona uwanja wandege ningegucheka namimi nirichekwa😂😂❤❤❤

  • @muhammedjuma8966
    @muhammedjuma8966 8 месяцев назад +1

    Tunakushukuru tunajifunza mambo mengi wanayo pitia wenzetu kwenye maisha

  • @lucysampa3325
    @lucysampa3325 Год назад +1

    TULY nimekupenda sana❤❤❤❤

  • @IrynFrancis
    @IrynFrancis Год назад +10

    Ila sisi wanyakyusa tuna vibe sana jamani😂😂😂yani tunaongea balaa

  • @MadinaMalk-yd6kp
    @MadinaMalk-yd6kp Год назад +1

    Nice interview 😘😘😘

  • @WitnessSutta
    @WitnessSutta Год назад +1

    Best interview ever.. nilikua nimechoka nusu nikate tamaa now nainuka tena

  • @vickyedo2127
    @vickyedo2127 8 дней назад

    Prisca uwiiiii umenifurahisha kweliii unamoyo mzuri uliwahi kunisaidia kutafuta mzungu ila mie sijui ndio vipi..uliniuliza mpaka leo hujapata mzungu 😢😢nitakuja kukupa shuhuda Prisca wng

  • @issackoxley3939
    @issackoxley3939 Год назад +1

    Karibu sana Berlin

  • @MariamShagata
    @MariamShagata 8 месяцев назад

    Nimempenda bure kaongea ukweli ❤

  • @WinWilly4162
    @WinWilly4162 Год назад

    Super interview ❤Ahsanteni sana

  • @SaidKiganga-i1q
    @SaidKiganga-i1q 11 месяцев назад

    Hongera sn Robi wewe nimarikia wa nguvu

  • @NeemaGwasma
    @NeemaGwasma Год назад

    Dada nimchechi jamani nimekupenda bure🥰🥰🥰

  • @mimiinvestments8406
    @mimiinvestments8406 Год назад

    Duh! Huku sasa ndiko kutafuta! Kweli atafutaye hachoki! Hongera sana, at the end of day........ it was done!

  • @SamSPROStudio
    @SamSPROStudio Год назад +4

    😂😂 tupilike kiboko. Nipatie instagram yake aisee, naona kama mimi na yeye tuna kitu in common....she is a comedian just like I am.😂

  • @GetudaLutabana
    @GetudaLutabana 9 месяцев назад +1

    Yani uyu dada yuko smart sana jmn nimependa hii

  • @PureSoul-rf4xd
    @PureSoul-rf4xd Год назад

    Very nice moshi siyo wewe tu hata mimi nimekuwa natafuta japo sikuwa serious ila napenda kuwa na mzungu tokea kitambo sana ,hata mimi niko na miaka 33 hiyolkabda shena atupemuongozo tuendele kufight for our dreams ,naomba ushauri tu shena

  • @tinamwasekaga9571
    @tinamwasekaga9571 Год назад

    Mnyakyusa mwenzangu kafika ulaya ipo siku ntaenda🛫🛫🛫🛫🛫🛫

  • @zainabufeka87
    @zainabufeka87 9 месяцев назад

    ,😂😂😂tupy I love you somuch sister 😅😅😅😅😅😅😅😅😊

  • @ImaniOlpa
    @ImaniOlpa Год назад

    Nimekupenda sana dada

  • @elizabethkilango9180
    @elizabethkilango9180 7 месяцев назад

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂we dada nimecheka sanaa, story yako inafurahisha sana na nimejifunza kitu

  • @KhadijaBella-r4e
    @KhadijaBella-r4e Год назад

    Duh umenifurahisha sana

  • @DorethMselem
    @DorethMselem 6 месяцев назад

    Tupilike kama jina lako kula mbalaga nakuletea juice ya kakata pela😂❤❤

  • @joslinchuwa1298
    @joslinchuwa1298 Год назад +1

    Dada umenifurahisha sanaa

  • @billhankhassim2048
    @billhankhassim2048 Год назад +1

    Vry nice interview i realy like it😅

  • @NiceWatson-y7e
    @NiceWatson-y7e Год назад

    😂😂😂😂😂hhhhh huyu Dada ni comedy 😂😂😂

  • @RebecaIsdory
    @RebecaIsdory 4 месяца назад

    😂😂😂😂😂 haki wewe dada ni comedy

  • @CiscaRecaps2015
    @CiscaRecaps2015 Год назад +1

    Dah hii interview nimecheka sana

  • @dorahmcharo3083
    @dorahmcharo3083 Год назад

    Tuppy nimekupenda sana

  • @FahimhAlbadri
    @FahimhAlbadri 7 дней назад

    Nimcheka 😅😅huyu mdada amenifrahisha sana na ameonge vizur sana

  • @AnnaMwailenge-hy3xg
    @AnnaMwailenge-hy3xg Год назад +1

    Hongera sana kwakujiamini mnyakyusa mwenzangu mungu akupiganie

  • @zaimponda8730
    @zaimponda8730 Год назад

    Nafurahia Sana vipindi vyako shena

  • @tinanicholasligwile6972
    @tinanicholasligwile6972 Год назад

    Nimeipenda sanaa ihii

  • @eshu-tanzania2791
    @eshu-tanzania2791 Год назад

    Duh yaani nimecheka kwa nguvu, 😅😅😅😅😅😅😅😅😅 stori nzuri dada, wa tz wengi hawajui tabia za wazungu, kupitia hiki kipindi watajifunza kitu

  • @marielulu2439
    @marielulu2439 Год назад

    Da shena umegusa mwoyo wangu ndomana hujanijibu whatsapp urikua unanitaftia majibu😂❤ asante leo nimefulai❤❤😂

  • @loicekoster3901
    @loicekoster3901 10 месяцев назад

    I really enjoyed that interview. Please stay in Germany one day we'll meet.

  • @YustinaPascal-e3y
    @YustinaPascal-e3y Год назад

    Mungu akulinde cha cha msingi kuwa Mungu unaishi popote kwani dunia na vyote ni mali ya Bwana