Hao watu wana mental health issues my dear wanakua na tabia za kubadikika badilika anaeza akalia balaa ukiondoka akat alikua ana ku treat vibaya analia utajua sio yule. Maskini ni ugonjwa sema ndo unaku affect sometimes anaeza sababisha upate hadi anxiety maana mda wote wanakua hawaridhiki hawana shukran na wana ma hasira m😢 but I love you Khadija, I'm hugging you from another country 🫂
Asante sana Khadija kwa historia yako. Ushauri wangu URAFIKI AULAZIMISHWI Usije kujitafutia matatizo mengine. Pata muda wa kutengeneza na mungu kwasababu watu wengine wapo kwaajili ya kutuvusha sehemu moja ili tukue na tuenderehe na maisha. Nachojua ni kwamba Marafiki hatutakiwi kuwa na wivu wa maenderea baina yetu ,umeisha ona redflag unatakiwa utafakari. Historia yako ya utafutaji, pamoja na kukua kwako ni ngumu sana ndio maana ukipata magumu unalia sana . Ni maoni yangu tu nimeguswa sana na historia yako namipia najifunza . Uwe na wakati mwema Khadija usiache kuangalia fursa zingine za Australia na uje utujuze. Thanks shena.❤
Hongera sana Hadija na afadhal umeongea ukwel na hao wanaosema usiseme ukwel kisa boss kakugharamia ndo miongon mwa maboss wa hovyo wanaowatumia naul wafanyakaz then wanaenda kuwanyanyasa
Pole sna na hongera huyo boss ametaka kufanana na boss wang wa kwanza kabisa omani alinikua anabagua waz wazi bika kujal najisikiaje alinipa presha presha yaan nikimuona mapigo ya moyo juu juu ad nilikonda ila siku naondoka alilia jmn😂 kama mchawi😂😂😂😂🙌🏾 aiseee kuna watu wana hela ila wana matizo ya akili kabisa.............
soma mkataba wako umendikwa nini lini off yako masa yako mangap ya kazi kwa siku je ulivyo kuja kufanya kazi mkataba wako umepitishwa na serikal je umejua unalipwa kiasi gani kwa mwezi tare ngap unatakiwa tare ngap ulipwe kama umepita njia za panya uwezi jua haki zako utapiga kazi sana sababu makosa yapo kwa sponsa wako asha kula pesa kabla amjaenda kufanya kazi nchi za watu saini mikataba sahihi yenye sheria ya kweli usilaum Oman dunia nzima ndo ivyo
Asante dada sheina kwa kutuletea hadija ndoto zangu kufanya kazi nchi za ulaya mimi pia nafanya kama yeye nipo Comoros changamoto ndio njia za mafanikio tunafanana kidogo na yeye lifestyle mungu ni mwema na atusaidie
Huyo mama alikuwaa hataki uende kwa daktari sababu ungepata yellow card na hutakiwi kufanya kazi kwa muda flani, kama wiki moja au mbili kulingana na tatizo ambalo wangekukuta nalo. Sijajua kwa sheria za Austria ila ujerumani hutakiwi kufanya kazi zaidi ya masaa 10. Na ukifanya over time unatakiwa ulipwe zaidi pia. Huyo mama ana matatizo kweli
chamzungu kama Cha mchawi au shetan akikutendea wema jua amekukopesha ipo siku utalipa tu watu watushangilie tu mke wa mzungu lakini tunachokipitia😢😢😢😢😊😅😅
Kipengele cha kuibiwa kinauma sana mm.Mr wangu aliibiwa milioni 21 niliumia nililia yaan sitasahau na nilikuwa nategemea kufanyia jambo usiombe nililia tena nililia tena
Aya matatizo nayasikia kwa watu wanao Fanya kazi za nyumbani katika Uharabuni shida kama hizo watu wanashida za vichwa. Poleni Sana kumbe na huku Kuna shida kama watu wa UAE . Dhu.
Ila wanawake unaanzaje kumuonea wivu mwenzako kisa kapata kazi sawa na wewe 😢wasichan Mungu atusimamie hatupendani san... Kwenye B1 Tanzania labda kama kakosea alooo yule mwalim mkuu labda umuhonge upate hiyo B1 bila kujua kuongea but hongera mwaya you did your best sana 👏
@@OfficialDatingAssistanceshena siku uje utoe somo kuhusu watu kujifunza sheria kabla ya kuingia ulaya maana naona ni kosa wengi wanalifanya sana wengi achana na background ila kujua haki zako binafsi ukifika ulaya😊
Pole kwa yote khadija ila kikubwa subra hayo unayoyapitia ndiyo ninayoyapitia mimi kila kitu cha mtoto unafanya na uruhusiwi ata kumfokea kikubwa ni kuwa mvumilivu
Nimemsikiliza huyu dada maelezo yake ni jambo la ajabu .yeye hakuelewa mkataba wa kazi yake. Kama aliletwa kama Aupair hakutakiwa hata kidogo kufanya huo usafi wq kampuni ya bosi ni kosa kubwa sana kwa kuwa hana kibali cha kazi mpaka huko wangempata ingekuwa fine kubwa sana bosi na yeye mwenyewe. Gharama za kuishi kama chakula kujitegemea ni sawa ila running cost zingine za kuishi pale hatakiwi kulipa chochote
Kuna dada mmoja mwanza alipelekwa uingereza ila aliporudi hakuwa na hamu tena ya kurudi alirudi amekonda vibaya sana ,akawa anatuambia kuwa yule boss wake alivyomgeuka na kuanza kumtesa
Mwanadamu nimtu wa ajabu sana yani mtu haangalii jema yeye yupo busy na mabaya tu mtu kakuhangaikia katupa pesa zake kakupeleka hadi kwao leo hii shukurani yake unamzalilisha mtandaoni hatakama yeye haoni unavyomzalilisha ila sio poa yani wabongo
Wewe hayajakukuta eeeeh......Bora aseme ukweli wengine wasaidike kifikra sio rahisi kuishi ulaya haswa kuishi kwa watu........ngoma usioijua huwezi kuielewa mpaka uingie kuicheza.....i am talking out of experience.
Pole sana Dada pia hongera kwa uvumilivu iyo ni sehemu ya changamoto za kimaisha usikate tamaa songa mbele
Da Shena tunashukuru sana maana watu wanasema warabu wabaya ulaya watu wana roho nzuri Jaman tuelewe watu wabaya wapo dunian kote
Kweli kabisa
❤❤❤❤😅 12:19
Wazungu washenzi sana kwenye mawazo yao wanadhani sisi ni watumwa huwezi amini mpaka yakukute
Nimempenda sana Hadija Mungu akufanyie wepesi ndoto zako zitimiee hongera sana
She is amazing ❤
Nataman nipate fursa ila elimu npo oman 😢mitihani napitia mafanikio sin mwaka 7 nina miak 27@@OfficialDatingAssistance
pesa unawatumia familia yako au??@@swaumuabdallah6886
Una moyo mzuri na wa uvumilivu aisee❤hongera sana
She's beautiful na anaongea vizuriii,namtakia kila la kheri Mungu ampe kila hitaji la moyo wake ❤
@@upendokihunrwa3427 ich auch
Ameen
She is amazing ❤
M niulize hivii mbona uwa tukiomba no za watoa testimony
Kakutana na Mzaramo wa Bagamoyo😊 safi kabisa
Hao watu wana mental health issues my dear wanakua na tabia za kubadikika badilika anaeza akalia balaa ukiondoka akat alikua ana ku treat vibaya analia utajua sio yule. Maskini ni ugonjwa sema ndo unaku affect sometimes anaeza sababisha upate hadi anxiety maana mda wote wanakua hawaridhiki hawana shukran na wana ma hasira m😢 but I love you Khadija, I'm hugging you from another country 🫂
Very true nami napitia haya yote
@@marriethommie3070poleni jmnii mkichoka mrudi tu tzd
Maisha ya story wee acha watu wanakudharau mungu hatakuwacha kbs ❤👏👏tupo oman mwaka wa saba ss heshima IPO ss
Kweli ndugu tupambane tuliokuepo omani
🥰✌️
Tunaongelea ulaya wewe unaleta habari za oman 😅😅😅
My hongera kwakipindi kizuri Sana hua nakufuatilia sana.naomba namba yahuyo dada my
Asante sana Khadija kwa historia yako.
Ushauri wangu URAFIKI AULAZIMISHWI Usije kujitafutia matatizo mengine.
Pata muda wa kutengeneza na mungu kwasababu watu wengine wapo kwaajili ya kutuvusha sehemu moja ili tukue na tuenderehe na maisha.
Nachojua ni kwamba Marafiki hatutakiwi kuwa na wivu wa maenderea baina yetu ,umeisha ona redflag unatakiwa utafakari.
Historia yako ya utafutaji, pamoja na kukua kwako ni ngumu sana ndio maana ukipata magumu unalia sana .
Ni maoni yangu tu nimeguswa sana na historia yako namipia najifunza .
Uwe na wakati mwema Khadija usiache kuangalia fursa zingine za Australia na uje utujuze.
Thanks shena.❤
Shena ubarikiwe sana
Tunafijunza kila siku ❤
Darasa kubwa
Mungu azidi kumbariki Hadija
Waah utapumzika siku ya kufa? Oh my God. Pole sana kha
Chena uliku wapi ❤
Hadija mpeleke mtoto boarding school likizo akae kwa sister
Nice interview. Jamani mlike videos maana views 6k likes 200 kweli. Bonyeza kitufe cha like hakuna ugumu guys
Shukran kaka ❤
Asante tuko pamoja ❤❤❤
Hongera sana Hadija na afadhal umeongea ukwel na hao wanaosema usiseme ukwel kisa boss kakugharamia ndo miongon mwa maboss wa hovyo wanaowatumia naul wafanyakaz then wanaenda kuwanyanyasa
📌📌📌
😂😂😂😂Nimecheka sana hakiwewe dada asante
Da shena nimekumbuka na mimi sana hila ujumbe kwa wote 🙏🙏duniani akuna cha bure
Kweli usemayo kabisa
Mwenyenzi Mungu huwainua wanyonge na kuinua juu hongeraa sana hadija
Pole my na hongera
Dada Khadija hongera kwa kuendelea kupambana
All the best Khadija,pambanaa
Pampanga tuu
Pole sna na hongera huyo boss ametaka kufanana na boss wang wa kwanza kabisa omani alinikua anabagua waz wazi bika kujal najisikiaje alinipa presha presha yaan nikimuona mapigo ya moyo juu juu ad nilikonda ila siku naondoka alilia jmn😂 kama mchawi😂😂😂😂🙌🏾 aiseee kuna watu wana hela ila wana matizo ya akili kabisa.............
Umenifanya nichekeee.uku nakupa poleeee uyo atakuwa mchaw
Pole sana Yani hayo unayoyapitia nikama huku omani Kuna watu wanafanya kazi mpaka kuchoka hakuna ofu njamani 😭😭 shida shikamoo
soma mkataba wako umendikwa nini lini off yako masa yako mangap ya kazi kwa siku je ulivyo kuja kufanya kazi mkataba wako umepitishwa na serikal je umejua unalipwa kiasi gani kwa mwezi tare ngap unatakiwa tare ngap ulipwe kama umepita njia za panya uwezi jua haki zako utapiga kazi sana sababu makosa yapo kwa sponsa wako asha kula pesa kabla amjaenda kufanya kazi nchi za watu saini mikataba sahihi yenye sheria ya kweli usilaum Oman dunia nzima ndo ivyo
Asante dada sheina kwa kutuletea hadija ndoto zangu kufanya kazi nchi za ulaya mimi pia nafanya kama yeye nipo Comoros changamoto ndio njia za mafanikio tunafanana kidogo na yeye lifestyle mungu ni mwema na atusaidie
Me pia jmn natamani Sana siku1 nifny kz nje ya nchi
Comoro unafanya kazi ya hotel nami uje uniongoze nifanye
@@TausShaban-t1dpambania ndoto yako
Pole na karibu sana kwa kipindi +4367764790884
Pole sanaa my young sister .tunaomba no ako basi
GOD IS A PROTOCOL BREAKER…… akimua ufanikiwe utafanikiwa
Pole sana khadija umepitia changamoto lkn mungu hamtupi mja wake
She is so natural beautiful
She got a pure heart!
...pole dada wazumgu kama warabu tu...lakni hao warabu ni mbaya zaidi kuliko hao wazumgu.
Pole sana sis
Hadija Pole ila nimekupenda bure mdogo wangu
Hakika hadija una moyo mzuri sana Mungu hatakukumbuka,wenye masikio wamesikia akuna kitu raisi
Nimeipenda, pia
Vumilia yatapita
Dah nimempenda bure
Yaani km hyo mwanamke ana matatizo ya afya ya akili basi na waarabu wana matatizo ya akili pia 😂😂maana hzo n tabia zao.😅😅
Wakati wa Mungu ni sahihi zaidi,hongera sana
Wallah mahiii wakat wa mungu ni sahihiii
Wazungu washenzi sana hao kwenye mawazo yao wanadhani sisi ni watumwa huwezi amini mpaka yakukute
Yaani huyo boss wako Hana tofauti na boss wng wa zaman
Pole sana
Huyo mama alikuwaa hataki uende kwa daktari sababu ungepata yellow card na hutakiwi kufanya kazi kwa muda flani, kama wiki moja au mbili kulingana na tatizo ambalo wangekukuta nalo. Sijajua kwa sheria za Austria ila ujerumani hutakiwi kufanya kazi zaidi ya masaa 10. Na ukifanya over time unatakiwa ulipwe zaidi pia. Huyo mama ana matatizo kweli
Da Hadija unaangalia juu sana 😂 muonekano na sura ya pwani wala huulizi 😂
pole sana 😔❤❤
chamzungu kama Cha mchawi au shetan akikutendea wema jua amekukopesha ipo siku utalipa tu watu watushangilie tu mke wa mzungu lakini tunachokipitia😢😢😢😢😊😅😅
Pole sana Furaha na uko sahihi usemayo
@OfficialDatingAssistance asante dada shena
Duuuuu! Kumbe!😢
@@lorahsalim4985vile nataka muzungu aki😢
@@FurahaNgatenayooo vile ninahamu ya muzungu duuuh
Asante dada hadija Asante dada shena kwa darasa tamu nakupenda saana da hadija😍
Save your money
Kipengele cha kuibiwa kinauma sana mm.Mr wangu aliibiwa milioni 21 niliumia nililia yaan sitasahau na nilikuwa nategemea kufanyia jambo usiombe nililia tena nililia tena
Aya matatizo nayasikia kwa watu wanao Fanya kazi za nyumbani katika Uharabuni shida kama hizo watu wanashida za vichwa. Poleni Sana kumbe na huku Kuna shida kama watu wa UAE . Dhu.
Of course but not LIKE arabs
tulikuwa tunawaita kishuka zanzibar😂😂😂😂
❤❤❤🎉🎉
Wazungu mmmm changamoto
Kikubwa tuwe tunajua sheria na mikataba yetu yan TUJUE HAKI ZETU
Hayo ndo maisha tunayo eshi uwarabuni maisha ya kuzalilika umaskini ulaaniwe
Analipa bei gani?
❤
Naomba namba ya adija my
Pole kipenzi duu😢
Ila wanawake unaanzaje kumuonea wivu mwenzako kisa kapata kazi sawa na wewe 😢wasichan Mungu atusimamie hatupendani san... Kwenye B1 Tanzania labda kama kakosea alooo yule mwalim mkuu labda umuhonge upate hiyo B1 bila kujua kuongea but hongera mwaya you did your best sana 👏
Alimaamisha A1
Alikosema
@@OfficialDatingAssistanceshena siku uje utoe somo kuhusu watu kujifunza sheria kabla ya kuingia ulaya maana naona ni kosa wengi wanalifanya sana wengi achana na background ila kujua haki zako binafsi ukifika ulaya😊
@@Juke995Ameen nitafanya hivyo
Shukran
Pole kwa yote khadija ila kikubwa subra hayo unayoyapitia ndiyo ninayoyapitia mimi kila kitu cha mtoto unafanya na uruhusiwi ata kumfokea kikubwa ni kuwa mvumilivu
Jaani napajua njia ya kwenda paje na bwejuu
Aisee dont Eat😢😢😢 hawa ni the same people walimpa 300 usd akanunua simu???aiseeee binadam wanabadilika sana
Khadija naswali,Unaenda kupanga lini?
Nimemsikiliza huyu dada maelezo yake ni jambo la ajabu .yeye hakuelewa mkataba wa kazi yake. Kama aliletwa kama Aupair hakutakiwa hata kidogo kufanya huo usafi wq kampuni ya bosi ni kosa kubwa sana kwa kuwa hana kibali cha kazi mpaka huko wangempata ingekuwa fine kubwa sana bosi na yeye mwenyewe. Gharama za kuishi kama chakula kujitegemea ni sawa ila running cost zingine za kuishi pale hatakiwi kulipa chochote
Ndiomana kaja ku share ili vijana wengine wasifanye kosa alilofanya yeye kwani at that time yeye alikua anaona ni anaenda Ulaya kufanya kazi tu
Yes umeongea vema. Alikuwa hajui namna ya ku negotiate mkataba kabla ya ku sign mkataba.
Au pair Tz hamna Agency ndio shida kuu hiyo.
Dija vingine umetupiga 😅😅😅 ila story nzur
Dadashena kwema??
Changamoto za maisha hizo
Huyo ni bwanaa wa kizungu bwanaa usitudanyeee
Uyu dada anapend kulia 😅😅
Yaani 😂😂😂😂
It's okay
It is ok kuonyesha feeling zake kwa kulia aisee...Tena ukilia ndio unspunguza hasira
Interview Iko poa lkn huyo boss mbn anaasil ya kiarab mana kwa waarab ndo tunayoyapitia
Nishajua kwanini raia wengi wakigeni wakija Tanzania kwakazi maalumu wanawazalisha wa dada wa huku na baadae wanawapeleka kwao
unajua wanawake mna choyo saaana kwa wananawake wenzenu
NDIO MAANA ALIKUWA ANAKULIPIA KILA KITU AKIJUA ANAKUJA KUKUFANYA SLAVE..... Ni waarabuuu Au wazungu.... Bado akili zake ziko enzi za UTUMWA.... 🤕
Muogope sana mtu anaetumia pesa kununua aiseee
Please hadija nitafufe please
Km waarabu walivyo wanaume hawana kauli .wao na cm ila ww ukishika cm muda sio wakazi wananuna😂
😂😂😂 wapi team shaghalaaa
Kwani hujui km n haramu
😅😅😅😅@@ZuleykhaIsmail-rc5ly
Dada MB on a devota chuwa akaunti take nimemfolw lakini message haziendi
Niko Australia. Wanaume Hawana usemi. Hata fedha mwanamke ndio mwenyewe.
Karibu sana kwa kipindi tupate kujifunza +4367764790884
Wewe upo Australia, lakini mwenzako yupo Austria, mpo mabara tofauti na tamaduni tofauti.
Yani unasema ukweli kabisa
Yaani watz ukiwa mchapakazi unachukiwa😢😢😢Tunapenda uvuvi na majungu😮😮
Baridi ni balaa huku ulaya
Apana niko New jersey
Kama wa mtoto wakiarabu wako ivo
huyo dada ako na depression
Stop*
Shena , huyu dada amekuja na contract ya Au Pair ?
Umeskiza story????
@ mpaka mwisho . Amesema full time
Ila hapo kwenye kaz bila vyeti mmmmhhh
Zanzibar kazi nyingi za Hotel haziitaji vyeti ndo maana kuna izo Training
@arushagirl6078 nataman nikujib ila enjoy your day
Maisha ya ulaya yanaka uvumilivu sana au unaweza kupata depression
Pole sana kwa uliyopitia
Kuna dada mmoja mwanza alipelekwa uingereza ila aliporudi hakuwa na hamu tena ya kurudi alirudi amekonda vibaya sana ,akawa anatuambia kuwa yule boss wake alivyomgeuka na kuanza kumtesa
Da shena Naomba unisaidie namba ya da khadija plz 😢
nilikuwa nalia siku nzima but story yako nimejikuta nimerudi kwenye mudi
Furaha nataman useme umepitia nini tujifunze
@tifundinzeberi1379 nipatieni muda I wish so jamani ntamwomba da shn siku Moja
@FurahaNgatena naomba uniandikie email tuwasiliane
@@FurahaNgatena naomba muchongo dada
Shana naomba unitumie namba yako nilipoteza
Mwanadamu nimtu wa ajabu sana yani mtu haangalii jema yeye yupo busy na mabaya tu mtu kakuhangaikia katupa pesa zake kakupeleka hadi kwao leo hii shukurani yake unamzalilisha mtandaoni hatakama yeye haoni unavyomzalilisha ila sio poa yani wabongo
Wewe hayajakukuta eeeeh......Bora aseme ukweli wengine wasaidike kifikra sio rahisi kuishi ulaya haswa kuishi kwa watu........ngoma usioijua huwezi kuielewa mpaka uingie kuicheza.....i am talking out of experience.
Kama mtu ametupia pesa nyingi kwaajili yako, je anahaki ya kukutesa na kukunyima haki zako za msingi ?
Tena huyu ndo miongon mwa boss wa hovyo yaan unamnyanyasa mtu then unategemea asiseme kisa ulimgharimia acha ufala wew @lydiaevod
Anatoa mafunzo makubwa sana. Hakuna udhalilishaji hapo anaongea facts.
Hichi kipindi chako watu wanaongea mambo yauongo sana noses ninyingi sana
Nenda wewe ukaongee ya ukweli
Kwan umeitwa humuu
Acha kuweweseka
Tunza sana afya yako ya akili, ni muhimu sana 🙏
Wewe @lydia kapimwe akili, sasa kama ya uongo mbona wayafwata huku.Acha kuhukumu watu wewe sio Mungu.