WANAWALETA WASICHANA KUFANYA UKAHABA | HAKUNA HAKI ZA BINADAMU | MATUMIZI YA DAWA ZA AKILI UTOTONI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 янв 2025

Комментарии • 342

  • @annamussa185
    @annamussa185 8 месяцев назад +4

    Wagiriki,waturuki,wahind,warabu, waitaliano,warusi kaeni nao mbali ni moto🔥

  • @Juke995
    @Juke995 Год назад +3

    Winny ni mpambanaji sana hongera n pole kwa changamoto. Kingine mturuki sio mwarabu ni mchanganyiko wa mzungu na Asia. Pia tusiwakatishe mataa watu kutokuingia katika mahusiano na waturuki kikubwa tu kuwa waangalifu sana. Katika nchi yoyote dunia ni kujifunza lugha basi. Hata bongo ni yale yale yan mabaya ya waturuki na bongo hakun tofauti

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  Год назад +1

      Waturuki ni wa Turk
      Ni jamii yao inaitwa Turk
      Sio waarabu wala sio wazungu

    • @NashalyJoseph
      @NashalyJoseph 7 месяцев назад

      @officialdatingAassistance sikuona hii kabla imenifanya nilie anachoongea huyu dada ni kweli mtupuuuu...Niliolewa na mturuki na nimezaa nae jamanii niliona nakaribia kifo...Ila wanyakyusa hatupendi kunyanyaswa wala dharau

  • @rayfissoo6477
    @rayfissoo6477 Год назад +8

    Wee dada Shena Mungu akuweke bana kiukweli umetutoa matongotongo we go🙏🙏🙏🙏

  • @AyseKarakas-e1i
    @AyseKarakas-e1i Год назад +48

    Kila nchi ina watu wazuri na watu wabaya kwaiyo hata kwa waturuki sio wote wana roho mbaya kuna wazuri pia tena wenye roho nzuri na ubinadamu...mimi nimeolewa na mturuki na nina watoto wawili na ninaishi uturuki huu mwaka mwaka wa 6 sijawahi kupata manynanyaso yeyote na nina amani na furaha ninatembea popote bila wasiwasi na familia ya mume wangu wananipenda sana I'm lucky to have them.

    • @jimooglong6876
      @jimooglong6876 Год назад

      Hi

    • @jimooglong6876
      @jimooglong6876 Год назад

      Vp maisha uko

    • @AyseKarakas-e1i
      @AyseKarakas-e1i Год назад

      ​@@jimooglong6876maisha ya huku sio mabaya nina ishi mji wa Izmir ni mji mzuri sana na kuna watu wastaarabu ila sijabahatika kukutana na watanzania wenzangu nimekutana na wakenya kadhaa na wa Senegal wameolewa huku wengine wanafanya kazi ila Mimi kazi bado sijaanza kufanya kwasasa nasoma lugha kwanza.

    • @dayana5513story
      @dayana5513story Год назад

      Kweli kabisaaaa 👏

    • @noelakataraiha6692
      @noelakataraiha6692 Год назад +2

      Hata kwa tunao angalia tamthilia mfumo dume tunauona mnoo!

  • @MrSaidi57
    @MrSaidi57 Год назад +10

    Mimi ninashi Ujerumani miaka 42 waturuki waliletwa hapa kufanya kazi kama vibarua, tabia zao sio wastaarabu. Unachoeleza dada yangu ni kweli kabisa hapa watu weusi tunapata heshima zaidi ya waturuki

    • @NR-ll4sr
      @NR-ll4sr Год назад +2

      Uongo watu weusi hatupati heshima km waTuruki usidanganye,,,kwanza waTuruki hawajaletwa Germany kiholela tu,,soma history ya Germany na Uturuki,,,,,waTuruki Ottoman aliwasaidia Germany ww1

    • @MrSaidi57
      @MrSaidi57 11 месяцев назад

      Naijua historia nzima. Mimi ninaishi hapa miaka 42 nafikiri ukitaka kujua vizuri uwe na uhusiano wa karibu na waturuki na wajerumani. Utawala wa Osman na Keiser wa Ujerumani kwa nini walikuwa na ushikilikiano wa karibu? soma historia utajua. Waturuki wengi walioko hapa wanatoka eneo la Anatoria, Anatoria ni sehemu isiokuwa na maendeleo makubwa.

  • @zawadidoddy
    @zawadidoddy 9 месяцев назад +2

    Kwanza kwayote na shukuru iyi channel. na uyu dada Mungu amubariki kwakutufungula masikiyo
    Mimi ni mu congo napenda sana iyi channel

  • @zayumar2955
    @zayumar2955 Год назад +2

    Jmniiiiiiiiii we mdada ubarikiwe mnooo unamoyo mzuri MashaAllah ❤️💖 ❤ natamani kupata no yako tuongee jambo flan iviii 😊😊😊

  • @gladiesgtv2473
    @gladiesgtv2473 Год назад +14

    Tatizo kubwa sana Watanzania ushirikiano kwa kweli hawana UBINAFSI sijui shida ni nini alafu tumetoka kwenye mfumo wa ujamaa ujinga mtupu tubadilike kwa kweli 🇹🇿🇹🇿

    • @mmarycalvin6395
      @mmarycalvin6395 7 месяцев назад

      Kabisa , ila mm nipo tayar tusaidiane

  • @homeandaway2811
    @homeandaway2811 Год назад +2

    Hongera sana Winni umeongea vizuri sana kulingana na experience zako, mwenye mawazo tofauti aje aeleze ajuavyo yeye kulingana na experience zake sio kuja kukukosoa tu. Hongera you are so smart, ni mchakarikaji na hukubali kunyanyasika kizembe.

  • @jeanpaulnishimwe6300
    @jeanpaulnishimwe6300 Год назад +2

    Nimeipenda iyi channel,ningefurahia kupata rafiki kutoka apa especially ikiwa anaishi USA ndo makao yangu.asante

  • @zuhuramaige5729
    @zuhuramaige5729 9 месяцев назад +1

    Dada shena hongera sanaa kwa kutumia muda wako vizuri kuwafaidisha ndugu zako. M/mungu akutunze.

  • @fatmakombo9793
    @fatmakombo9793 Год назад +3

    Umejia kujielezea vizur sana na kufunzaa jamiii my dear shukran

  • @CeciliaKapinga-f2x
    @CeciliaKapinga-f2x Год назад +6

    Asante sana shena unatuletea watu muhimu unatufundisha

  • @leilaachmed9271
    @leilaachmed9271 Год назад +28

    Amesema ukweli waturuki hata wanaoishi uholanzi na ujerumani ni wabaya sana

    • @sarahmsuya5416
      @sarahmsuya5416 Год назад +2

      Ni kweli kabisa. Nimeishi nao almost 8 years aisee siwawezi hahah.

    • @EliceEliuter
      @EliceEliuter 10 месяцев назад

      Uku uholanzi wanajiona wao ndo wenye nchi ni wabaguzi Sana

    • @marthakejo8892
      @marthakejo8892 8 месяцев назад

      Na uholanzi ni wezi sana CO’s kuna soko Lao liko The Hague acha tu wa sina vitu kwenye mall halafu wanauza sokoni kwao

  • @elipidhugotesha1909
    @elipidhugotesha1909 8 месяцев назад

    wini nimekupenda bure umeelimisha sana jamii
    Nipo nyumban Tz arusha utakuwa mwanangu nina mtoto anaitwa Win kama wewe
    Umeeleza ukweli wote mtu aamue kufua au kuanika bila kufua
    Kwenye kila maongez kazima kuwe na opposers ila mliotembea mna elimu ya kuona na mmetuelimisha kweli
    Asante sana

  • @twahaissack7887
    @twahaissack7887 8 месяцев назад

    kupitiaa ww ,naona watanzania wengi wakiamka kusambaa dunia kwa ajiri ya vizazi vyaoooo big up

  • @paulinenicholaus4135
    @paulinenicholaus4135 8 месяцев назад

    Nimefurahi kuona mate wangu👏👏👏 Nina ndoto one itatimia

  • @shibalubela6500
    @shibalubela6500 Год назад +8

    Wanamapepo hao na wamelaaniwa hiyo nchi
    Hiyo issue ya u-turkey ni spiritual😢😢😢😢😢

  • @agnesgodsaviour5968
    @agnesgodsaviour5968 9 месяцев назад

    Wine hongera sana wew ni jasiri

  • @laurnyandwi-sb1gu
    @laurnyandwi-sb1gu Год назад +2

    Waturuki ndo tabia zao wanawapeleka sana dad zetu buza kwa mpalange.,

    • @utaani1
      @utaani1 Год назад

      Hiyo kali waturuki wanakula kote kote sio

  • @kwandudaud
    @kwandudaud 6 месяцев назад +1

    Hata Alpasiran ana roho mbaya jamani😢

  • @damariszuckschwert9489
    @damariszuckschwert9489 Год назад +8

    Mdada wa leo ni big brain, wengi hawatamuelewa. Waturuki ni maskini kama sisi. Kwanza wanaume wao wavivu balaa kazi kucheza bao na karata wanawake ndio wanahenyeka.

    • @evanjelcamelkizedeck1356
      @evanjelcamelkizedeck1356 Год назад +2

      Yaani ni wavivu mno wote wanawake na wanaume, aisee ndo maana wanaajiri waafrika sana kwa sababu ni wachapakazi

    • @hasfaastore929
      @hasfaastore929 Год назад

      Wanawake zao wengi hawafanyi kazi dear wanaume ndio wanafanya kazi

    • @MrSaidi57
      @MrSaidi57 Год назад +1

      Mengi yaliyoelezwa ni kweli. Picha kamili ya hawa watu ni sawa na dunia ya tatu, umaskini pia kwao umejaa. Mturuki ana ngozi nyeupe lakini sio mzungu, ukisoma historia yao utaona walivyoishi wakati walipotawala nchi nyingi za Ulaya na Uarabuni "Osaman Empire" mpaka leo bado wana ndoto hizo. Uchumi wa Uturuki umejengwa kwa madeni na nchi nyingi zimesimamisha uwekezaji na hata kufunga makampuni yao. Hali hiyo imesababishwa na uchanguzi wa rais alioko madarakani na chama chake, ambaye anazidi kuwa dikteta kunyima watu uhuru wa maoni na matumizi mabaya ya fedha za serikali. Wana uchumi wanaashiria uchumi utaendelea kuporomoka.

    • @damariszuckschwert9489
      @damariszuckschwert9489 Год назад

      @@MrSaidi57 Wewe ulishajiongeza, wengine wamebakia kungojea bahati kuna walioolewa na wanaume wa huko na wako vizuri. Utaishi kwa kungojea bahati? Wabongo kaazi kweli kweli.

  • @AshleyMasudy
    @AshleyMasudy Год назад

    Asant kwa somo zur jaman kiukwel mm niko mtwar na kazi zangu nikama uyu dada ila tofaut mm nafanya usafi aina zot uku kwetu kunakuwa na msimu wa korosho iko kipind mm uwa nawapiki wahindi vyakula my dear nataman nipat kaz ambaz zitaninyanyua mana unatumia siku zot za wiki bila kuchok kazi zausafi ni noma namuelewa san

  • @immaculatakadyanji5927
    @immaculatakadyanji5927 8 месяцев назад

    Mahojiani mazuri sana.

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 Год назад

    Hongerasanaaa, UMEZALIWA Bongo amini tu

  • @Mariam-w9s3b
    @Mariam-w9s3b 9 месяцев назад +1

    Waturuki awaelewan na waarabu kwasababu tabia zao zinaendana sana

  • @marykatunzi2613
    @marykatunzi2613 10 месяцев назад

    Umesema yote mdogo wangu mwenye sikio na asikie. Ila kama ilivyo ada,wahenga walisema, 'Sikio la kufa halisikii dawa' Timiza wajibu wako wa kutuelimisha na asante sana nimekupenda mno.

  • @Jamila-cz5ge
    @Jamila-cz5ge Год назад +2

    Waturuki wanajiona sana hawana utu

  • @AshaMawazo-i1j
    @AshaMawazo-i1j Год назад

    Dada mungu ukupe maisha marefu Asante

  • @evancykashaga6576
    @evancykashaga6576 Год назад

    Nimefuraiya sana namna anavyo pambana Mungu akuzidishe sana sana

  • @evanjelcamelkizedeck1356
    @evanjelcamelkizedeck1356 Год назад +2

    Ni kweli kabisa, asilimia kubwa ya waturuki wana ubaguzi mno, wanawatesa sana waafrica, tunafanya kazi nao, usipokuwa ngangari utanyewa kichwani. Yaani wewe umebahatika kupata huyo mwanaume mwema, ila 80% ni wenye hila na ubaya sana, hizo kazi za nanny, factory jobs, utafanywa kma mtumwa, hupumziki, kama usipikuwa na msimamo wako

    • @Kikungwi
      @Kikungwi Год назад

      Nadhani binadamu yeyote yule anaweza kukunyea kichwani utakapompa fursa hiyo haijalishi rangi.

  • @awatifalghanim1106
    @awatifalghanim1106 Год назад +5

    Sister maisha lazima uwe na subira ukifanya kazi kwenye Nchi za watu usitizame mwenzako anapata mshahara kiasi gani. Ama utahangaika sana kwenye maisha yako. Na Tanzania maisha huyawezi. Huna moyo wa kufanya kazi mvivu.

    • @miye2215
      @miye2215 Год назад +1

      Hana akili huyu na ni mvivu angebakia kwenye ualimu hapa Tanzania, maisha ni katili sana na yanataka hard people who can get hits and raise again bila kuchoka. Yes kuna sehemu kuna unyanyasaji ila kwa sababu zake za kusema kuna sehemu aliacha kisa tofauti za salary, hapo ameonesha yeye ndo tatizo.

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 Год назад

      @@miye2215 very true

    • @amanimlengwa9202
      @amanimlengwa9202 Год назад +2

      Anajitambua, na anajua anacho kitaka.
      Wewe ni mmoja wa watu wale wanaochukua chochote kutokana na jinsi thamani yako ilivyo.

    • @amanimlengwa9202
      @amanimlengwa9202 Год назад

      Kikubwa usikubali mtu, taifa au kiumbe chochote na hali yoyote kubadili mtazamo wako juu ya uhalisia wako mwenyewe.
      Mimi pia Niko radhi kuacha kazi yoyote mradi kuilinda hadhi yangu...
      Najiamini, najikubali na ninajua ninachotaka.
      Ukweli ni kwamba waturuki ni wabaguzi isipokuwa mmoja tu ambaye ni tajiri yangu Kwa Sasa.
      Ila naye akinionesha tabia hiyo namwacha tu.

    • @homeandaway2811
      @homeandaway2811 Год назад

      ​@@miye2215usiseme mtu hana akili kisa umemkuta tu mtandaoni, humjui hujawahi kuishi maisha yake. Kazi ya kuhukumu muachie Mungu.

  • @MajutoElliasi
    @MajutoElliasi 7 месяцев назад

    Tz wanawivuu sana

  • @joelirunde2823
    @joelirunde2823 9 месяцев назад

    Hayo life style ni changamoto sana.
    Maisha magumu
    Mfumo huo ni hatari sana kulelea watoto wa kiafrika.

  • @Zepequeno-ln1ot
    @Zepequeno-ln1ot Год назад

    hao wapopo mungu awaweke kwa ushenzi wanao pia na kwa uzuli pia wanao ukii bahatika unajua kila nnchi inamambo yake ynaai unapo amua kutafuta kunamenguuu 😊

  • @osmanmucheke2792
    @osmanmucheke2792 Год назад

    Thanx for that educative program.

  • @azizirania400
    @azizirania400 Год назад +3

    Kuna documentary niliona waturuk wanaogoza kuua wake zao familia za walio uliwa na waume zao walikua wanaambia walete viatu pair moja ya wanawake walio uliwa na waume zao viatu vilijaa mpaka kukawa hakuna tena nafasi ya viatu tangu hiyo siku memory hizo azijawai toka kwa kichwa niliogopa sana kuolewa😢😢😢

    • @utaani1
      @utaani1 Год назад

      Waturuki wakorofi usije ukamuozesha sister wako hata kwa bahati mbaya

    • @janetmwikali5477
      @janetmwikali5477 8 месяцев назад

      Ukweli mtupu,waume wakituruki ni abusive sana

  • @AihmAli-d8x
    @AihmAli-d8x Год назад +1

    Nashukuru mungu Mimi Niko na wa tu,ruki Nina watu wazuri sana👏👏

    • @MuhammadHassan-xp6dc
      @MuhammadHassan-xp6dc Год назад

      kama tanzania kuna watu wazuri na wabaya basi uturuki pia hivyo hivyo ndugu yangu,ongera kwa kutoa usibitisho.

    • @hasfaastore929
      @hasfaastore929 Год назад

      Kabisa dear pia mimi niko nao wanautu mno kuliko ata watanzania nina mwaka nao wa4 sasa

  • @evanjelcamelkizedeck1356
    @evanjelcamelkizedeck1356 Год назад +1

    Huyo dada anayoongea ni kweli kabisa, tunaishi hapa miaka tunawajua vzuri sana😢😢😢wana manyanyaso mno,

    • @twiseghekisilu8845
      @twiseghekisilu8845 Год назад +1

      Mbona bado mnaishi huko na mnaendele!¡!yaani Bora waturuki roho mbaya yao inaonekana kuliko huku kwetu mtu unacheka nae mnafanya mioango vizuri anakugeuka!wakwetu huku ndo roho mbaya kuliko waturuki!

  • @jessicamwasandube944
    @jessicamwasandube944 Год назад +3

    Mmh hiyo nchi ngumu kuishi🙌

  • @DevotaBagambe
    @DevotaBagambe 6 месяцев назад

    Jamani kila kabila lina watu wazuri na pia kuna watu wazuri mimi nina muitaliano tunaishi vz sana na anapenda wanangu nafamilia yangu ki ujumla

  • @bajagihaji8923
    @bajagihaji8923 Год назад

    Pole sana kila sehemu kuna yake uliza wasichana kutoka mikowani wakifika dar mishike shike wanayopata

  • @mwanaidikingazi4222
    @mwanaidikingazi4222 Год назад +4

    Shena asante kwahili maana mm nina rafiki yangu amesema uturuki kuna kazi zaviwandani unafanya Kazi kwamasaa kumbe unasimama siku mzima pia mwingine Akasema uturuki kazi zao sio nyingi jmn tumefunguka kiukweli mungu akuweke

  • @haarunsaidabdillahi4082
    @haarunsaidabdillahi4082 9 месяцев назад +1

    Huyu dada anasema kweli.Hapa ujerumani namjuwa mtuuki anazo tabia alozitaja

  • @masomekitwala3758
    @masomekitwala3758 8 месяцев назад

    Huyu dada Yuko vizuri sn kichwani

  • @awatifalghanim1106
    @awatifalghanim1106 Год назад

    Mungu akusaidiye

  • @MariamMarco-z7r
    @MariamMarco-z7r Год назад +5

    Waturuki sio watu wazuri hata kidogo waturuki siooo Wana roho mbaya washenzi

  • @amanimlengwa9202
    @amanimlengwa9202 Год назад +9

    Kuna gari tulipanda na waturuki, tukaenda mjini... Wajati wa kurudi, tulikuwa tunaongea waswahili wachache mara kakijana kadogo tu kakatufokea, kakasema tunyamaze... Eti tunapiga kelele, tulidhani labda kweli tunapiga kelele huku huenda wanahitaji utivu, lakini kumbe ilikuwa ni kiswahili ndo kero.
    Tulipobyamaza tu, waliosalia kwenye mazungumzo ni wao tu na kituruki chao, tena walikuwa louder kweli kweli..!
    Nikagundua hatukuwa na haki ya kuzungumza kwa uhuru tukiwa tumepanda gari moja na wao. Toka siku hiyo nikapiga break kushirikiana na mturuki tofauti na jambo lililo ndani ya kazi yangu tu.

    • @sarahmsuya5416
      @sarahmsuya5416 Год назад +5

      Hii ilishawahi kunitokea na rafiki yangu. Ni ukweli mtupu

    • @samiahsamihah8047
      @samiahsamihah8047 Год назад +1

      Waturuki wengi ni Alibaba Qatar na mapoko chapati wa wenye nchi.

  • @BerthaKihanga-qd5hy
    @BerthaKihanga-qd5hy Год назад +8

    Nondo hizi zimemwagwa na zikamwagika, ahsanten sana kwa sasa tumepata kuifahamu uturuki ::::Mbarikiwe mnooo.

  • @arthurdonnietello9691
    @arthurdonnietello9691 Год назад +1

    Nasikia no wachawi Sana pia

  • @florakibona8042
    @florakibona8042 Год назад +1

    Dada win 🥰

  • @MuhammadHassan-xp6dc
    @MuhammadHassan-xp6dc Год назад +2

    mm nimemskiza huyu dada na kupitia commenti nyingi,baadhi ya watu wanajibu uku ndani yake wanaweka udini wengi wanajua kua waturuki ni waarabu kumbe sivyo kabisa,pili hivi kuna mturuki anaekuja tanzania na kuwalazimisha dada zetu wakafanyae ukahaba uturuki? tatu sikatai kama uturuki kuna ubaguzi ila swala hili lipo duniani kote inchini kwetu pia ubaguzi upo kwa hiyo kama uturuki kuna watu wabaya lazima tufahamu kuwa pia watu wazuri wapo.

  • @tinanicholasligwile6972
    @tinanicholasligwile6972 Год назад +1

    Ni kweli haswaa

  • @hasfaastore929
    @hasfaastore929 Год назад +1

    Nakweli ukiwa mpole utakoma wanahasira mno ila sio wote wanaroho mbaya

  • @rahelfanuel1880
    @rahelfanuel1880 Год назад +1

    Wini nimefurahi kukuona❤

  • @Kikungwi
    @Kikungwi Год назад +3

    Turkey is the only country in the world with the first, second and third world.

  • @solomonadams6337
    @solomonadams6337 Год назад

    Bora wewe una thamani kwa wanaume kuliko wanawake wanaouza kuma...thanks

  • @AzharluqmanHema
    @AzharluqmanHema Год назад +6

    Hawana tofauti na wahindi ila bora mturuki muhindi ankuchekea akijua anapata faida kwako..pia hawaamini kama mtu mweusi ana damu kama wao nyekundu ..haya maisha kwakweli

    • @Globalsportschannel-ca
      @Globalsportschannel-ca Год назад +1

      Mfilipino ndio mbaguzi balaa

    • @utaani1
      @utaani1 Год назад

      Wafilipino wabaguzi wanaume ila wanawake wao poa tu mtu yoyote wanawakubali

    • @Globalsportschannel-ca
      @Globalsportschannel-ca Год назад +1

      @@utaani1 ukifanya nao kazi huwa wanafitina sana,kujipendekeza kwa boss

    • @utaani1
      @utaani1 Год назад

      @@Globalsportschannel-ca wanaume zao wafilipino ndio wana tabia ya fitna na kujipendekeza kwa mabosi kazini. Ila wanawake wako poa rahisi kuwala mzigo

  • @immaculateakilimali7220
    @immaculateakilimali7220 Год назад +2

    Kumbe ndo mana hawa waturuki wanakuwaga washenzi washenzi hawaelewekagi,wanawafanyia vibaya ndugu zetu,huku bongo wamejaa wana tabia chafu.

  • @AbdallahIddy-i8f
    @AbdallahIddy-i8f День назад

    Sasa dada ninafanyaje kupata cm za biashara kutoka huko?

  • @taturamadhan5940
    @taturamadhan5940 Год назад

    Anachosema ni sawa watu wanatpfautiana kulingana na kule wanakotoka hata hapa tanzania tumetofautiana tabia kulingana na maeneo tunayotoka mitizamo ya watu wa jamii moja inatofautiana na watu wengine ingawa huwezi kuwakuta asilimia mia wanafata taratibu na mila za kwao ameeleza hali jumla si ya mtu mmoja mmoja

  • @joelirunde2823
    @joelirunde2823 9 месяцев назад

    Umemchambua Mturuki kweli kweli.

  • @verynicemoshi9959
    @verynicemoshi9959 Год назад

    Uyu Dada nampenda anaongea ukweli Mungu zaidi kumbariki.

  • @HappyYange
    @HappyYange 9 месяцев назад

    Winni kama nakufananisha tumesoma wote

  • @zuhuramaige5729
    @zuhuramaige5729 9 месяцев назад

    Umenifurahisha sanaa mdogo wangu, mwenye masikio na asikie.mimi ninampango muda fulani natamani nije kununua mzigo. Naomba tuwasiliane kwa whatsap ili nitakapo kuja nikutafute. Shukran sanaa🙏

  • @khatibabass3106
    @khatibabass3106 Год назад +4

    Ila inaonekana wewe mdada unatatizo la (too much know )unajihisi kama uko special ivi ndio mana unatangatanga. Mtu kama huyu hata kwenye ndoa hawakaagi

    • @rose_Winchester86
      @rose_Winchester86 11 месяцев назад

      So ww unataka binadamu wote wawe kama wewe😂

  • @awatifalghanim1106
    @awatifalghanim1106 Год назад +2

    Sister wa Sirya ni watu weupe lakini walikupenda na huo weusi wako . Siyo kila mweupe anachukiya watu weusi na siyo kila mtu mweusi anapenda watu weupe. Wacha chuki za rangi. Turkey upande ni Asia na upande Europe.

    • @emmanuelchiza7733
      @emmanuelchiza7733 Год назад

      We pimbi acha kuabudu waarabu,akili za kizenji nyingi ni matope kabisa😊

    • @djalasaleh
      @djalasaleh Год назад +2

      Waturiki sio Warabu. Hawapatanagi na waarubu Ata kidogo.

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 Год назад

      @@djalasaleh waambiye wosojuwa haaa haaa wengine wanaona kila mweupe ni MuArabu kumbe wamejaa WaArabu weusi pia😀

  • @nataemsuya
    @nataemsuya Год назад +2

    Duh..ngoja tufie tu nyumbani 🇳🇴 Unaweza vuka mkojo ukadondokea mavi.

  • @SylviaMagoda
    @SylviaMagoda Год назад +9

    Aiseee huyu dada nimempenda ukitulia kumsikiliza ni anamadini ya hatari sana tunaomba Instagram yake tumfollow

  • @themagahuras1108
    @themagahuras1108 Год назад +4

    Nikweli dada waturuki waongo watapeli wali nitapeli $35.000 eti wana niuzia biashara biashara yenyewe sijapata kabisa awo kunawezi kweli

  • @BarakaTheImmigrant
    @BarakaTheImmigrant 9 месяцев назад

    Ila hili la watz kukimbia wenzao ni tatizo sana. Yaani hata marekani, wageni hukimbiwa ila pia ni kajitabia ka kidanganya danganya pale wanapokuja. Unakuta mgeni anakwambia anakiasi fulani ila anapofika kwako ajakwambia hana pesa ama yeye hajajiweka Sawa anaanza harakati za kuleta nduguze huku hata yeye bado hajawa stable. So nahisi mtz kutokua na uwezo wa kufikiria na kujishusha, basi wote wanaona ni bora wakimbiane tuu. Inasikitisha ila ndio hali halisi.

  • @nahyialetomia9284
    @nahyialetomia9284 Год назад +17

    Walikataliwa European Union kwa sababu za human rights abuses

  • @myself4128
    @myself4128 Год назад

    Ndio watanzania Mkome kujifanya Wema sana mnajikuta Mnajali mijitu migeni Kisa dini zenu walizowaletea ili wawatawale kiakili,mweusi akiona mzungu,mwarabu au Mturuki anambabaikia sijui ni umasikini wa akili au wa mifukoni sielewi weusi Tunajiona hatuna Thamani yoyote na hatujitambui!

  • @saysophyfarm1780
    @saysophyfarm1780 Год назад

    Natamani hii post ningeiona when I was in my 20's

  • @LailaTwalibu
    @LailaTwalibu Год назад +5

    Umeongea vizuri sana dada

  • @suzanetilito8194
    @suzanetilito8194 Год назад +4

    Hapo kuhusu waturuki nina ushuhuda nimetoka ku break up na nina miezi sasa kwanza sio watu wakujali kabisaaa nilikuwa napenda kwend huko ila sasa hivi sina hata wazo😂😂 1:01:58

    • @danamickle9739
      @danamickle9739 Год назад +1

      Mie ninae mwaka wa4 sasa sa cielewi kwakwel ila nackia wanasifa mbaya japo kwa huyu cjaona labda kama ananfcha

    • @DramaDiveApp
      @DramaDiveApp Год назад

      pole

    • @DramaDiveApp
      @DramaDiveApp Год назад

      sio wote dear Mungu akulinde @@danamickle9739

    • @AyseKarakas-e1i
      @AyseKarakas-e1i Год назад

      ​@@danamickle9739sio wote wabaya na kama kwa miaka yote hiyo hajakuonesha tabia yeyote mbaya basi hana tabia mbaya tabia hua haijifichi lakuambiwa changanya na akili yako.

    • @AyşeKeklik-b8m
      @AyşeKeklik-b8m Год назад

      ​@@DramaDiveAppmm ninae mwaka wa 6 huu 😂😂 lakini kimbembe wallah ngumi vita mala anataka kuji rusha gorofani😂😂

  • @shamzone388
    @shamzone388 Год назад +2

    Shena sauti ndogo sana

  • @FaridaFarida4
    @FaridaFarida4 Год назад

    Ila hawa watu wako tofauti sio wote

  • @valenakomba9218
    @valenakomba9218 Год назад +2

    NA UTURUKI SIYO ULAYA..

  • @zuhurazabiir3769
    @zuhurazabiir3769 11 месяцев назад

    Kweli kabisa mimi naishi huku ukienda supermarkt zao wakikuona mtu mweusi wana kufata nyuma kama mwizi 😢

  • @kiswahiliswahili9489
    @kiswahiliswahili9489 Год назад

    ​@Winifridastivin nimesikiliza story yako congratulations sis,mi pia ni mwalim nimechoka na hii kazi ila nikiwaza kazi na ndani nje ya nchi moyo unaniambia"we maria embu tulia kwanza😂😂

    • @gra8098
      @gra8098 6 месяцев назад

      😂😂😂😂 eti we Maria hebu tulia...

  • @nahyialetomia9284
    @nahyialetomia9284 Год назад +3

    Waturuki wa London wana tabia fulani wakikutana na wanawake weusi, ‘can I come to your flat or let’s go somewhere?’ 😂 😂

    • @DramaDiveApp
      @DramaDiveApp Год назад +2

      Wanaamini kila mwanamke mweusi ni easy going kwa kila kitu Yaan wewe ni masikini upo tayari kwa lolote Kama sex so unaweza fanya chochote kwa pesa

    • @arthurdonnietello9691
      @arthurdonnietello9691 Год назад

      Kwasabab Wanawake wakiAfrica wengi wanajiuza uturuki, kwahiyo wanaona wanawake wote weusi ni malaya

  • @evanjelcamelkizedeck1356
    @evanjelcamelkizedeck1356 Год назад +2

    Mturuki akikutabasamia ni kwa sababu anajua nn atanufaika kutoka kwako

  • @Zepequeno-ln1ot
    @Zepequeno-ln1ot Год назад +2

    hizi nchi za watu weupe wanamatatizo sana bola mtu uende ulaya tu ndio nchi yenye afazali kimaisha na kila kila kitu lakin hili bala laleshia hakuna ishuu zozote loho mbaya ndivo walivo

    • @NR-ll4sr
      @NR-ll4sr Год назад

      Kuandika hujui, utajua history za watu

    • @sumiegeeb2111
      @sumiegeeb2111 9 месяцев назад

      😅😅 bola laleshia

    • @abdulnaseermrisho4342
      @abdulnaseermrisho4342 9 месяцев назад +1

      Turkey ipo Ulaya haipo Asia,ila haipo tuu kwenye European Union

  • @damariszuckschwert9489
    @damariszuckschwert9489 Год назад +3

    Jamani suluhisho siyo kufunga ndoa na mturuki Tanzania hiyo haitakusimamia ukija nae utiruki kwa chochote. Akiwa uturuki atakutesa na humfanyi chochote. Na akiitwa tanzania haji na nchi zao zinawatetea. Wanaakili kama za rais wao.

    • @NR-ll4sr
      @NR-ll4sr Год назад

      Kuna wengi wameolewa na wako poa

  • @Amani-l7d
    @Amani-l7d 10 месяцев назад

    Hata hapa ujeremani watoto wao hawana heshima ni wabaya mno

  • @valenakomba9218
    @valenakomba9218 Год назад

    LAZIMA UPADISINFECT.

  • @peterpaschal4522
    @peterpaschal4522 6 месяцев назад

    Huyu dada ni mvivu😂

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 Год назад +3

    Apo nimeelewa Sasa ndomana mwenyezimungu aliwapa azabu la tetemeko la ardhi Kwa maana wamelaanika Kwa tabia zao,,poo kumbe waturuki washenzi ivyo,,Asante Kwa elimu

    • @shabbymakapane
      @shabbymakapane Год назад

      Mmmh Hiyo Si Kauli Nzuri , Tuseme na huku Kwetu HANANG Mkoani MANYARA Limetokea hivyo hivyo Inamaana nao Wamelaaniwa ??? Usiseme Hivyo Sababu Majanga Mangine Ni ya Mwenyezi MUNGU Sio Sababu eti Wamelaaniwa ,

  • @aminaali3507
    @aminaali3507 6 месяцев назад

    Samahani kwa ukweli sio kila pahali kuna watu wabaya

  • @NR-ll4sr
    @NR-ll4sr Год назад +1

    Mmetoka middle east,sasa mnaingia kulaumu waTuruki,,,,,,kila sehemu kuna watu wabaya na wazuri,,hata huko Tanzania ni hivyohivyo,,,,,ubaya wa baadhi ya WaTanzania ni wavivu na wanapenda complain tu

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  Год назад +1

      Watu wanaongea experience zao, hiki sio kipindi cha kutoa lawama.
      Karibu na wewe uje uongee experience yako ya mazuri 🙏

    • @erycah
      @erycah 9 месяцев назад

      I think yuko sawa kuelezea experience yake ili watu wasiende huko wakijua wanaenda pata mazuri tu na wawe makini zaidi

  • @aminakawawa5800
    @aminakawawa5800 Год назад +2

    Huyu dada kaongea ukweli mtupu nasikia waturuki wa instambul ndio wazuri wako na tabia kama wazungu ila mm siwapendi mungu anisamehe 😂😂😂

  • @evanjelcamelkizedeck1356
    @evanjelcamelkizedeck1356 Год назад

    Aisee hta kwenye mabasi, matreni hta umguse bahati mbaya anaona kma umempaka mavi😢, aiseeeeee,

  • @1961nungwi
    @1961nungwi Год назад

    Sweden ukinunua online mzigo unakuja kwa posta unaukuta mlangoni. Mambo ya hovyo hakuna huko. Uturuki bado sana!

    • @fidodido9578
      @fidodido9578 Год назад

      Anazungumzia mzigo kumnunulia Mtu na kumtumia Mtu bongo

  • @evanjelcamelkizedeck1356
    @evanjelcamelkizedeck1356 Год назад +1

    Mshahara wanakulipa kwa mwezi na si kwa lisaa, mshahara wa mwezi uturuki ni mshahara wa wiki kwenye nchi za ulaya kma UK, Finland n. k

  • @mohamedismail2662
    @mohamedismail2662 Год назад +4

    Nilichojifunza hapa waturuki ni sawa na watu wa mara ongea yao hata mambo ya sheria hawazingatii sana kama uko Tarime

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 Год назад

      Jamani basi Dunia nzima watu wa baya??? Sasa kwa nini mnapenda kutoka Tanzania kwenda Nchi za watu kwenda kujitesa tuu.

    • @MrSaidi57
      @MrSaidi57 Год назад +1

      Mohamed mimi nimezaliwa Mara na Tarime napafahamu. Wakati nikiwa likizoni makazi ni Arusha, karibu twende Mara nikuonyeshe uzuri wa Mara, Mara yapo makabila mengi, utastarehe! Kkkk....😂

    • @MrSaidi57
      @MrSaidi57 Год назад

      @@awatifalghanim1106 Mimi nimefika huku Ujerumani kwa sababu ya ndoa pia nilkuwa hapa chuo kikuu kwa miaka minne kabla ya ndoa. Kwenye miaka ya 80 maisha yalikuwa tofauti na sasa. Sasa hivi kuna wakimbizi wengi wenye tabia na mila tofauti mpaka kushiriki kwenye mauaji, madawa ya kulevya na biashara za ngono, hiyo imeletea wageni kuanza kuchukiwa. Kila mtu na bahati yake lakini siwezi kumshauri mtu kuja huku. Mimi nimestaafu nina makazi hapa na Tanzania, lakini Tanzania kuzuri ili mradi serikali ijipange vizuri raia wawe huru kujiendeleza

    • @mohamedismail2662
      @mohamedismail2662 Год назад

      @@MrSaidi57 sawa nmefika mara mar moja tu hata sikulala sema ni pazur sana ule ukanda ni mzur sana

    • @JulianaJackson-lz6vq
      @JulianaJackson-lz6vq 9 месяцев назад

      ​@@mohamedismail2662Jaman sio wote.Wengine tuna moyo Safi

  • @MariahMnjeja
    @MariahMnjeja 9 месяцев назад

    Kweli yani nilidate nae anaanzisha tuu ugomvi mpaka damu zinamvujaa yani kesi siyo kesi khaaa

  • @HamidaJuma-z4d
    @HamidaJuma-z4d 9 месяцев назад

    Dada shena naomba namba yako Nina maongezi na we

  • @evanjelcamelkizedeck1356
    @evanjelcamelkizedeck1356 Год назад

    Huku sigara ni must, yaani watoto wa miaka 10 anavuta sigara balaa

  • @deeruta9894
    @deeruta9894 Год назад

    Wapopo wametupa watoto wao wengine sana uswiss coz niko na majirani wengi wameachiwa watoto wanalea peke yao na wapopo wameshasepa zao inchi nyengine