WAMAREKANI WAISLAM WANAOA AFRIKA WANAFICHA WAKE ZAO WA USA | TULIKUTANA ONLINE | WENGI HAWANA UTU

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 22 янв 2025

Комментарии • 479

  • @muniraahmed8208
    @muniraahmed8208 9 месяцев назад +17

    Finally tumemuona, she is so humble n she replies to all questions. Mashallah.

  • @aromaofzanzibar
    @aromaofzanzibar 10 месяцев назад +60

    Ahsante sana Shena kwa kunipa fursa kwenye platform yako. Ubarikiwe sana❤

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  10 месяцев назад +2

      Shukran sana Sister, nimefurahi sana kukaribia na kutoa darasa zuri 🥰

    • @dynesdaud564
      @dynesdaud564 10 месяцев назад +1

      Aroma of za Zanzibar

    • @mayatione6
      @mayatione6 10 месяцев назад +3

      Thanks so much dada fatya nimejifunza pakubwa sana umeongea kwa wazo sana barikiwa mno na mwenyezi mungu akupe heri wewe na familia yako .ameen

    • @mayatione6
      @mayatione6 10 месяцев назад +3

      Dada shena thank sana unaleta watu wenye hekima barikiwa

    • @mapishiyetumazuri2312
      @mapishiyetumazuri2312 10 месяцев назад +2

      Mm pia nilikufalia sana

  • @ZubedaOmar-v2e
    @ZubedaOmar-v2e 3 месяца назад +3

    MashaAllah mashaAllah hasbiaAllah barakaAllah fihkum.....yaani imenifurshisha sanaaaaa ♥️♥️♥️

  • @rahmamussa6787
    @rahmamussa6787 10 месяцев назад +12

    Nimeipenda interview na nimejifunza mengi. Asante dada mhoji na mhojiwa, mungu awabariki sana

  • @nafisamohammed9064
    @nafisamohammed9064 10 месяцев назад +6

    She is a lovely kind hearted woman.. Mash Allah. Am subscribed to her channel.. Thank you for being honest about your life experiences...

  • @lucyabraham2995
    @lucyabraham2995 9 месяцев назад +4

    Sauti tuu nimemjua Aroma Zanzibar. Nimejifunza Sana from her videos.

  • @shahnazwillis3931
    @shahnazwillis3931 4 месяца назад +1

    Alhamdulillahi kwa kuwahamisha vijana wetu ambao wanapenda kuolewa na watu wa majuu.
    Bi idhini Laahi.
    Allah awazidishie kuwa wapo maelekezo mazuri ambao wanaolewa na wagani ambao tabia hazifanani.

  • @LUTFIAAHMADA
    @LUTFIAAHMADA 10 месяцев назад +11

    Maa Shaa Allah nimefurahiii saaaana maana ndio mdau wa kwanza kumpenda katika kufuatilia mapishi online na yy ndo alinivutia ila dada Shena umependezaaa saana na mtandio

  • @sakinavora7830
    @sakinavora7830 8 месяцев назад +2

    What a wonderful story mashaAllah. I'm one of your fans and subscribers of aroma of zanzibar for many years. Maisha ya Marekani inafanana tu kama ya Nairobi maoni yangu. This is a good platform.

  • @dinakipingo1905
    @dinakipingo1905 9 месяцев назад +6

    Masha Allah sauti Tu nimekujua ❤ kipenz changu nimejua mapishi kupitia wewe,Allah akuhifadhi Madam Fathia

  • @ImaniNcheve
    @ImaniNcheve 10 месяцев назад +6

    Mashaallah Dada aroma zanzibar nilijua kupika kupitia ww haswa birian Allah akupe umri mrefu ❤

  • @bintalmasi2393
    @bintalmasi2393 10 месяцев назад +8

    Your interviewing skills are superb, journalism in your veins, Congrats Shena.
    Thanks to your guests also

  • @dollymogosi6899
    @dollymogosi6899 8 месяцев назад +1

    Wow wow thank you so much Shena kwa kuniletea my childhood sister and am loving your channel so much! Keep up the good job. This channel is so informative!

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar 8 месяцев назад

      Thanks dear nani kakuleta huku😂

  • @nasmasaiid8472
    @nasmasaiid8472 9 месяцев назад +5

    Mashalah aroma zanziber allah akuhifadhi nakupenda sana kwa ajili ya allah na pia napenda mapishi yako nimejifunza mengi sana

  • @gra8098
    @gra8098 7 месяцев назад +1

    Aaaaaaawwwww, Leo nimemuona.... okay.... in her voice. Aki I love da Fathiya... yani Saudi yake ile ile..... love you a lot

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar 5 месяцев назад

      Shukran love you back ⚘️⚘️

  • @fathiyahmuzney7367
    @fathiyahmuzney7367 9 месяцев назад +1

    Waoo MashaAllah wajina majina ya Fathiyah ni wachesh na wakarimu sana nakupenda sana wajina❤

  • @fatmaallyabdul1732
    @fatmaallyabdul1732 9 месяцев назад +3

    MashaaAllah, mimi ni mmoja wapo wa subscribers wa aroma of Zanzibar,napenda mafundisho yake huyu dada Fathiyah najisikia raha na sichoki kumsikiliza...Allah akujaalie heri nyingi zaidi @aroma of zanzibar🎉❤

  • @IddMpinga
    @IddMpinga 10 месяцев назад +7

    Mashaallah may allah akujaze kheri mama zanzibar oroma

  • @Hamad10Salafi
    @Hamad10Salafi 9 месяцев назад +2

    MashaAllah Shena wallah endelea kuvaa Hijab unapendeza MashaAllah Watching from UAE

  • @maryanomar119
    @maryanomar119 9 месяцев назад +4

    Mashallah aroma mrembo sana mungu akupe maisha marefu inshallah

  • @bilalomar1185
    @bilalomar1185 9 месяцев назад +2

    MashaAllah. madada zangu. Nafurahi Sana kuona Umoja wenu🎉🎉🎉.

  • @nacreahali9670
    @nacreahali9670 10 месяцев назад +15

    Mashaallah shena unapendeza sana uvae hivyo siku zote hata ikiisha Ramadhan,kwani nikiskiliza interviews zako namskiliza mhojiwa ila nakuangalia ww kwa ulivyopendeza😊

  • @sekikigosi8265
    @sekikigosi8265 10 месяцев назад +5

    Waooo nafatiliaga mapishi na sauti yako ya kipekee hongera leo nimekuona live asante Shena big up.😊

  • @zahirallyzorro3940
    @zahirallyzorro3940 9 месяцев назад +3

    Ahsante Dada naitwa Zahir Ally ibn Zorro. Nimeihifadhi Aroma of Zanzibar. Ahsante Pole misuko suko ya Ndia

  • @homeandaway2811
    @homeandaway2811 10 месяцев назад +9

    Interview nzuri, napenda umekuwa muwazi, kazi kwetu kujifunza.

  • @fatmahussein1238
    @fatmahussein1238 9 месяцев назад +1

    MashaAllah sauti yake nimeijua tu alipoanza kuzungumza,Allah kamjaalia ucheshi na tabasamu na pia ufasaha wa kuzungumza habani maneno yake... Hongera sana Aroma of Zanzibar ooooh Fathiyyah❤

  • @emmyjimmyK
    @emmyjimmyK 9 месяцев назад +4

    Nakupenda sana Fathiya, ua the best dia

  • @samiasalim8322
    @samiasalim8322 8 месяцев назад +1

    Mashalla tabaraka rahman tumejifunza dadaetu shuuukraaaan mungu akujaze yarabbb

  • @firdausmukhtar5684
    @firdausmukhtar5684 8 месяцев назад +1

    MashaAllah tabarakallah fathiya nakupenda sana ndugu yng

  • @tausilifestyle795
    @tausilifestyle795 10 месяцев назад +12

    Wawoo mie naonaga mapishi na leo nimemuona mpishi ❤❤❤ masha Allah ❤❤❤ Asante sana shena.

  • @Hemeddymeddy
    @Hemeddymeddy 10 месяцев назад +2

    Woooooow aroma of Zanzibar nimefurahi saaana kukuona sauti yako haiba yako MashaAllah ❤❤❤❤🎉🎉

  • @KarimaJuma-wy6vi
    @KarimaJuma-wy6vi 9 месяцев назад +3

    Mashallah dada nimekupenda bure kwa subra yako na upambanaji wako

  • @namsihussein6511
    @namsihussein6511 9 месяцев назад +1

    Very rich interview, experience. Hakika nimewapenda both. Aroma of znz kitambo nilikua nafuatilia nimekufurahia sana historia yako.

  • @NassoroMohammed-nv3dj
    @NassoroMohammed-nv3dj 9 месяцев назад +1

    aroma of Zanzibar ni mama hazina katika maisha ALLAH amzidishie umri na afya njema na amuhifadhie kizazi chake inshaaa ALLAH...

  • @shillamwinyi1630
    @shillamwinyi1630 9 месяцев назад +1

    Nice to meet you aroma of zanzibar. Iam one of your subscribers from mombasa

  • @Monika-cp2gk
    @Monika-cp2gk 10 месяцев назад +7

    Lots of love from Kenya 🇰🇪.... aroma zanzibar

  • @Mayuwe27
    @Mayuwe27 10 месяцев назад +5

    Mashallah...dada umeelimisha wengi kwa hii interview ❤

  • @halimahalima1488
    @halimahalima1488 10 месяцев назад +10

    MashaaAllah aroma Zanzibar nimekuona leo❤❤❤❤

  • @yasminjuma9146
    @yasminjuma9146 9 месяцев назад +3

    Pole oroma of zanzibar . Una moyo mzr ma sha Allah. Lkn kwa kweli tumejifunza.. kama mimi nadhani ningerudi nyumbani kwetu Dubai .nisingeweza kustahamili..mhh

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar 8 месяцев назад

      Sikufikiria kurudi lakinj sio nyumbani nilikua nakaa kwa viza ya kazi ambayo nilikua nimesha cancel

    • @halbusaid
      @halbusaid 8 месяцев назад +1

      Tumejifunza sana shukran sana Abla @aromaof zanzibar God bless you

  • @sheillamwinyi7349
    @sheillamwinyi7349 10 месяцев назад +5

    So beautiful and funny story awwww Aunty Fathiya😅❤

  • @amneally4135
    @amneally4135 9 месяцев назад +1

    MaashaaAllah nakupenda sana dada aroma au dada mapishi❤

  • @fredykaiza2416
    @fredykaiza2416 10 месяцев назад +4

    Dada kwa kweli umetufungilia mengi tusiyoyajua. Asante sana kwa ushauri. Mwenye masikio na asikie.

  • @MohamedOmary-s9n
    @MohamedOmary-s9n 10 месяцев назад +6

    MaashaAllah. Ninashukuru kukufahamu dada aroma of Zanzibar. Pia Ninashukuru kwa uzofu wako pia historia ya maisha yako mungu akubariki sana dada Insha'Allah Aamiin yaa rabbi 💯🤝🙏​@aromaofzanzibar

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar 10 месяцев назад +1

      Shukran Amin kwetu sote 🎉

    • @hajjisanga789
      @hajjisanga789 10 месяцев назад +1

      Allah akupe maisha marefu utujuze mambo mazuri ktk maisha yetu

  • @FatumaSaidi-u9x
    @FatumaSaidi-u9x 9 месяцев назад +1

    Jazzak llahu khayra ❤❤❤❤

  • @ASILAKHAMIS
    @ASILAKHAMIS 10 месяцев назад +3

    Aroma of Zanzibar jamanu leo nimekuon ❤nilikua nafatilia mapishi yako tu leo nimekuona

  • @aminahamad3428
    @aminahamad3428 10 месяцев назад +7

    Masha allah aroma mama wa mapishi

  • @KalundeMalembeka
    @KalundeMalembeka 10 месяцев назад +5

    Jamani nimemfollow anajua kupika sana sana,nilivyokuwa namsikiliza nilidhani ni mtu mzimaaa sana kumbe ni mdada manshallah mzuri sana sana ❤

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar 10 месяцев назад +1

      Shukran kwa support,

    • @RitbayRitbay
      @RitbayRitbay 10 месяцев назад +1

      Yaani mm mapishi yko napenda hauna mambo mengi unapika mwenyeo vzr .

  • @siriyangu4724
    @siriyangu4724 10 месяцев назад +3

    Mashallah mam aroma ukiona kimegara ujuwe kimegaramikiwa umetufunza

  • @clevermngao7565
    @clevermngao7565 10 месяцев назад +6

    Interview nzuri sana na ina mengi ya kujifunza!

  • @ndinzeissa4778
    @ndinzeissa4778 10 месяцев назад +4

    Aroma nimependa historia yako upo vizuri kwani wewe haswa nimwanamke shupavu hongera sana kwa majalibu yaliyo kukuta nahiyo ndio maisha na hiyo ilikuwa ni shule kwako nimependa sana kwa dababu umeweza kuji simamia hongera mimi niko mwanza tanzania endelea kupambana nandowa inayo dum ni ile yenye mikwa luzo kwani hupata kuelekezana asante

  • @saniakhalfan1325
    @saniakhalfan1325 Месяц назад +1

    Fathiyaaa❤

  • @shamimhayat7637
    @shamimhayat7637 Месяц назад

    ❤❤ Asante sana Shena na Fatihiya

  • @SaadaSaid-d4k
    @SaadaSaid-d4k 10 месяцев назад +5

    Baraka Llah ...FAT-HIA

  • @HadijaRehanshaban
    @HadijaRehanshaban 10 месяцев назад +5

    Mansha 'Allah mmependeza sana dada zangu mnatakiwa kuwa hivyo hivyo mnavaa stara

  • @imanmohamed2215
    @imanmohamed2215 9 месяцев назад +1

    MashaAllah TabarakkahAllah

  • @hilalmohd8941
    @hilalmohd8941 9 месяцев назад +2

    🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤ndoa ngumu

  • @salmafaraj6544
    @salmafaraj6544 9 месяцев назад +4

    Subhanallah maskini fathiya ulipata tabu mpk nimeona huruma lkn kitu kikubwa kimekusaidia Allah alikujaalia ulisoma mashallah unamaarifa na kikubwa zaidi una dini na utu pia ndio mana umefika ulipofika Hamdilah Allah azidi kukustiri na sote inshallah

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar 9 месяцев назад

      Alhamdulilah❤

    • @salmafaraj6544
      @salmafaraj6544 9 месяцев назад

      Wallahi yani ingekua mtu hana mbele wala nyuma angepata tabu sana kwanza tu pale airport km kakako hakuja na ndo hujui kitu pengine hata lugha huijui lkn alhamdilah mungu alikuletea kakako

    • @aromaofzanzibar
      @aromaofzanzibar 9 месяцев назад

      @@salmafaraj6544alhamulilah laugha najua ningepsnda taxi lakini Mungu mwenyewe alipanga

  • @mariamkikula1614
    @mariamkikula1614 9 месяцев назад +1

    Dada Aroma nimejifunza na nimekupenda Sana.

  • @hanifaally4694
    @hanifaally4694 9 месяцев назад +1

    Story yangu unajifungua unapambana nchi za watu hizi ahsante kwa interview nzuri sana

  • @salyali7807
    @salyali7807 9 месяцев назад +2

    Aroma very brave girl .... 👍

  • @mariammgomba6635
    @mariammgomba6635 9 месяцев назад +1

    @aroma of Zanzibar,hongera sana ubarikiwe sana nimejfunza na nimechekaa sana leo

  • @iddmdanku2306
    @iddmdanku2306 9 месяцев назад +2

    Ndugu na dada yetu umeonesha ukarimu na utu usiomithilika. Hongera sana kwa kuishi kama wewe na utanzania wako!

  • @rizikially9535
    @rizikially9535 10 месяцев назад +5

    Hii story nzur sana mashaallh twaomba nyingine

  • @hollaramadhani1354
    @hollaramadhani1354 9 месяцев назад +2

    Nice story

  • @nasrasheikh1020
    @nasrasheikh1020 10 месяцев назад +6

    Nimefurahi kumuona Fat hiya Aroma of Zanzibar

  • @SinaHafidhi
    @SinaHafidhi 10 месяцев назад +5

    Ma shaallah shena
    Umependeza

  • @Hawamoshi-j7r
    @Hawamoshi-j7r 4 месяца назад +1

    Dada nimekupenda sana❤❤❤❤❤

  • @DeoAmos
    @DeoAmos 9 месяцев назад +4

    We mdada mungu akujalie niipenda story yako Kuna SoMo nimejifunza

  • @LinahRwambali
    @LinahRwambali 2 месяца назад +2

    Hatimaye nimeona sura yake kwa shena

  • @SoilhatAbdallah
    @SoilhatAbdallah 9 месяцев назад +1

    Aroma Mashallah nimeyipenda histoire yako Mungu akupe umri mrefu

  • @twahasuleiman-lo9vl
    @twahasuleiman-lo9vl 10 месяцев назад +2

    MashaAllah story nzur sana ❤❤❤🎉

  • @MiriamMlele-j8p
    @MiriamMlele-j8p 5 месяцев назад +1

    Hiyo ni kweli wanatabia hizo watoto mungu hawa rehemu mungu hakupe wepesi

  • @aidaalmaskry2728
    @aidaalmaskry2728 9 месяцев назад +1

    Mashaa llah habibty

  • @florakadee5082
    @florakadee5082 9 месяцев назад +4

    Interview nzuri sana.mafunzo mazuri.

  • @pillyseleman8090
    @pillyseleman8090 10 месяцев назад +3

    Masha Allah tabaraq Rahman

  • @emmymossesngaswaga
    @emmymossesngaswaga 8 месяцев назад +1

    nimekupenda sana yaani unajielewa sana ❤

  • @MadinaMalk-yd6kp
    @MadinaMalk-yd6kp 10 месяцев назад +4

    Nice interview 💐

  • @kashindesalha8107
    @kashindesalha8107 10 месяцев назад +5

    Shukurani sana mmy kasimulizi zuri

  • @KinanaZagar-pv6qc
    @KinanaZagar-pv6qc 10 месяцев назад +4

    Nimekupenda sana

  • @emmatryphone6921
    @emmatryphone6921 10 месяцев назад +1

    Aroma nakupenda sana nafuatilia sana mapishi yako. Unapika vzr sanaaa

  • @salimsaidi5535
    @salimsaidi5535 9 месяцев назад +2

    Manshaa Allah ❤

  • @suleimanabdillah7490
    @suleimanabdillah7490 10 месяцев назад +4

    Atakaeoa mwanaye aweza kuwa kapata mke mwema kulingana na uvumilivu wa mama yake.nimempenda sana.

  • @DavidDanken-uf7kp
    @DavidDanken-uf7kp 10 месяцев назад +7

    Yaan huyu dada ana inspire ❤❤

  • @rahmasalim1989
    @rahmasalim1989 10 месяцев назад +3

    Masha'allah Tabarakallah, mpishi wetu wa mwezi wa ramadhani huyo.

  • @lbanaty1aliy873
    @lbanaty1aliy873 9 месяцев назад +1

    Nakupenda fathya nice ❤

  • @shamzone388
    @shamzone388 10 месяцев назад +7

    Karibu fathiya….au aroma zanzibar nimefurahi sana kukuona

  • @AshaMohamed-ib4le
    @AshaMohamed-ib4le 10 месяцев назад +6

    Shena umependeza sana ukivaa ushungi unakuw vizuri Zaid mashallah

    • @ezekieljacob5795
      @ezekieljacob5795 10 месяцев назад +1

      Acha udini

    • @SalmaBinyaga
      @SalmaBinyaga 8 месяцев назад

      Ss udini gani kapendeza kweli Kwan nyie mmeambiwa msijistiri tutokee hapa

  • @NassoroSipemba
    @NassoroSipemba 10 месяцев назад +4

    Safi dada nimeipenda hiyo ya kuupeleka uswahili ndani ya USA.

  • @sharpsand548
    @sharpsand548 10 месяцев назад +2

    Here for Aroma of Zanzibar❤️❤️❤️

  • @zassyhushy4640
    @zassyhushy4640 10 месяцев назад +3

    Aslm alkm. Shukran Ukhthy Fathiya kwa maelezo. Bora ni baki kwetu Kenya Mombasa/Malindi. Sovial life iko juu. Unaeza kula kwa jirani leave alone relative

  • @dayana5513story
    @dayana5513story 10 месяцев назад +7

    Kila siku najifunza vitu vipya God bless you shena ❤

  • @mchaguwenjaffer9432
    @mchaguwenjaffer9432 9 месяцев назад +2

    Nimependa sana interview yenu Hadi Raha nimependa ulivyoishi katika uvumilivu.Npo Tanzania Cost region,Rufiji

  • @Samtimes_
    @Samtimes_ 8 месяцев назад +1

    Hongeraa sana interview was really nice 👍

  • @mohamedismail2662
    @mohamedismail2662 10 месяцев назад +6

    Mashaa Allah mmependeza dada zangu
    lugha yake inavutia sana
    iz elim wanazotowa watu hapa ni kubwa sana Mungu awabariki maana wengi ni wakweli na wawazi sana

  • @zahramohammed2337
    @zahramohammed2337 9 месяцев назад +1

    Daaa shena umependeza na ushungi jaman😘😘

  • @hamisikumila1561
    @hamisikumila1561 10 месяцев назад +5

    Masha Allah aroma of zanzibar Zanzibar nakumbuka somo la bilian ya kuku we

  • @hamidasaid2544
    @hamidasaid2544 9 месяцев назад +2

    Ma Shaa Allah nimependa Vedeo yako na it's 1st time, Subhana Allah I really enjoyed to listen to you

  • @MagretSalheart
    @MagretSalheart 6 месяцев назад +1

    Mashallha, afu anatumia mafuta gani jaman ana glow

  • @Zeddyliciousbestbites
    @Zeddyliciousbestbites 10 месяцев назад +4

    Nimefurahi sana leo kumuona Aromaofzanzibar nimekua nikimfuatilia sana katika chanel yake. Ahsante sana Shena. ❤❤

  • @aidaanatory9330
    @aidaanatory9330 8 месяцев назад +2

    Hadi rahaa jamanii hongera sanaa