KUA MAKINI NA URAFIKI WA WATANZANIA ULAYA |KILA NIKIPATA MZUNGU ANANIKIMBIA KUMBE RAFIKI ANAHARIBU

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 янв 2025

Комментарии • 375

  • @paulabelleghe451
    @paulabelleghe451 10 месяцев назад +32

    Nampenda Sana Dear Lucy nimpole anaongea kwa unyenyekevu tangu yupo kwenye tasnia ya uigizaji,much respect to you Beautiful Lady💞💞💞😘

    • @polloz77
      @polloz77 8 месяцев назад +1

      Nimempenda ssn she’s beautiful inside and out yupo real no fake
      Humesema ni muhigizaji wapi ? Tanzania or Denmark? Mara ya kwanza kumsikia
      Tanzania kuna wadada wazuri sana na warlewa vizuri sana

    • @theclanyoni4438
      @theclanyoni4438 7 месяцев назад

      Dada Lucy alikuwa na pacha mwenzake kama sikosei kwenye mchezo mmoja sijui ni kweli

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 9 месяцев назад +5

    Asante sanaa, na siyo Marafiki wa KiTanzania tuu , mama , Waafrica wote tuu kwa ujumla.

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 6 месяцев назад +1

    Hongera Lucy Komba, nakukumbusha ule msemo wetu enzi zile "Kazi ya Maji" tumetoka mbali, najua utacheka sana. Wishing u best of luck!!

  • @Marthamkilema
    @Marthamkilema 9 месяцев назад +6

    Hongera sana sana Lucy msanii wetu wa Kgss. Nimefurahi mno kukuona na kukusikia tena ukiwa na furaha tele...All the best dear by MAPISHA

  • @QueenNgai
    @QueenNgai 9 месяцев назад +5

    Mashallaah ❤️ kipenzi changu nakupenda Sana allaah akuzidishie inshallaah 🤲

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 7 месяцев назад

    Asante sana Lucy mpole sana na anaongea kwa kunyenyekevu aswaaa mie kama mtanzania siwez kukalibisha mtanzania nyumban kwangu nawajua vizul. Acha nipambane na hali yangu

  • @loulumony8519
    @loulumony8519 9 месяцев назад +3

    Lucy kitambo kwli nikuaga Napendag gisi ulikua unajua kuigiz san👌👌🥰🥰🇴🇲🇧🇮

    • @NasraSaid-qc5hf
      @NasraSaid-qc5hf 9 месяцев назад

      Mimi nilizaniamefarikijamanii heee nimefurahisana

  • @travelingfromwithintanzani8005
    @travelingfromwithintanzani8005 4 месяца назад

    I loving this videos, i will keep watching more

  • @francksylvester7844
    @francksylvester7844 9 месяцев назад +1

    Nakupendaga sana Lucy asa uigizaji wako wakutusha unajuwa sana

  • @Alice-Gyunda
    @Alice-Gyunda 10 месяцев назад +6

    So sweet jamani. Roho nzuri inakipa jaamani tupendane tu😂😂😂😂❤❤❤

  • @ngendachubwa3457
    @ngendachubwa3457 10 месяцев назад +1

    Habari ndiyo hiyo. Na huo ni ukweli. Wawake tujikubali tulvyo.Asante sa LUCY. ❤

  • @mohamedismail2662
    @mohamedismail2662 10 месяцев назад +22

    Interview nzuri sana nmefurahi kumuona dada Lucy moja ya waigiza bora Mungu ambariki sana yuko na roho safi

  • @ImeldaIsdory
    @ImeldaIsdory 10 месяцев назад +15

    Hongera sana Lucy kwa kutimiza maisha ya Ndoto zako!
    Bado madeko yako yapo pale pale!
    Nilimisi sana Uigizaji wako!

  • @pendojeremia7068
    @pendojeremia7068 8 месяцев назад

    Jimejifunzaa mengi sanaa kwenu asante sana❤❤❤❤🎉❤🎉❤🎉🎉🎉🎉❤❤❤

  • @MarryKimaro-m9k
    @MarryKimaro-m9k 4 месяца назад

    Aisee dada Lusi komba una upendo Sana Wala huringi.❤

  • @NiceWatson-y7e
    @NiceWatson-y7e 10 месяцев назад +5

    Asant da shena na Mungu akubarik🙏🙏 kwa hivi vipindi maana napata kujua experience ya maisha ya nje hata nikifika huko meng takua nishayajua maana nipo kweny kusubir visa ya marriage

  • @angelmashauri6961
    @angelmashauri6961 9 месяцев назад +1

    Ahsante sana Lucy kwa mazungumzo mazuuri sana yenye manufaa kwetu waafrica🙏🏻

  • @StellaA-n4i
    @StellaA-n4i 9 месяцев назад +5

    Da Lucy mrembo sana jaman

  • @annamussa185
    @annamussa185 10 месяцев назад +7

    Ahsante Lucy niliwahi kumwambia shena wadada wasijichubue Yani plz wadada

    • @salmabasil385
      @salmabasil385 10 месяцев назад

      Kuhusu kujichubua bhana hata wazungu kibao wako na mademu walio jichubua yani kama bongo tu kuna wanaume hawapendi mwanamke alie jichubua na kuna ambao hawana shida na hilo sisi tunao fanya kazi mahoteli ya kitalii Zanzibar tunaelewa mzungu akikupenda kakupenda uwe umejibua au laa

    • @annamussa185
      @annamussa185 10 месяцев назад

      @@salmabasil385 sawa endeleeni kujicgubua wewe unafanya kazi hotel unakutana na hao wa hotel ndo unawajuwa wewe,siye tunaishi na hao wazungu so tunaelewa zaidi ya wewe unayewaona hotelni

    • @vanessalaizer4363
      @vanessalaizer4363 9 месяцев назад +1

      @@salmabasil385 unatetea wanaojichubua sababu nawewe umejichubua. Kifupi mzungu hawezi kujua kama unajichubua. Na akijua atakuuliza why are you doing that? Then atakuona unanyenyeekea ngozi nyeupe mwisho wa siku atakuona mtumwa. So stop bleaching yaselvs ok!

    • @annamussa185
      @annamussa185 9 месяцев назад

      @@salmabasil385 wewe unafanyanao kazi siye tunaishi nao huwajuwi vzr wazungu sasa endelea kujichubua na uendelee kushairi wenzako pia wajichubue kazana kabisa kwa nguvu zote na Akili zote

  • @ladymacollection
    @ladymacollection 10 месяцев назад +1

    🔥🔥🔥 kwakweli maisha ya ulaya yapo tofauti mno ni ku hustle uku

  • @salomemkilima5732
    @salomemkilima5732 6 месяцев назад

    sikujuaga huyu ndugu yangu wa kunyumba kumbe yupo majuu hongera sana.

  • @kokushababenjamini
    @kokushababenjamini 10 месяцев назад +3

    Lucy I miss you, msanii wangu pendwa ulipotea. Nimefurahi Shena nimemuona Lucy wangu. 💪

  • @jonfredkewe3451
    @jonfredkewe3451 8 месяцев назад +1

    Hongera da Lucy mngon from Songea.Tunaoishi Songea tujuane hapa

  • @ImeldaIsdory
    @ImeldaIsdory 10 месяцев назад +2

    Hongera sana Lucy kwa kukumbuka Tasnia yako! Keep it up! Naisubiri kwa hamu sana! Kupambana ni mhimu sana!

  • @rosestigeneriksson8387
    @rosestigeneriksson8387 10 месяцев назад +20

    Huyu ndio mtanzania wa kwanza kusema ukweli kuhusu maisha ya Skandinavien

  • @rosemery3017
    @rosemery3017 10 месяцев назад +10

    Shena mtafute lulu kamanga nae tunataka kusikia history yake nawapenda sana wadada wa kingoni wanahekma sana na niwapambanaji mno❤🙏

    • @idrisssaissa4322
      @idrisssaissa4322 10 месяцев назад +1

      Jamani hata Mimi natamani ya Lulu nampenda sana huyo mdada

  • @angelalyimo2862
    @angelalyimo2862 10 месяцев назад +10

    Da Lucy shikamoo Huzeeki ❤nakukumbuka tulikutana ndege mmoja 😊

  • @MackrinaNdegani
    @MackrinaNdegani 9 месяцев назад +4

    Miaka 9 naanaongea kawaida kiswaili waooooh! Nakupendasana Lucy ,wengine wakienda mwezi tu akija Tanzania anajifanya ajuikiswaili

  • @janethngowi1058
    @janethngowi1058 10 месяцев назад +5

    Una roho nzuri lucy toka Kitambo marangu sec

    • @kevinmary7129
      @kevinmary7129 10 месяцев назад

      Lucy Komba mtoto wa Iringa huko sio mchanga

    • @janethngowi1058
      @janethngowi1058 10 месяцев назад

      @@kevinmary7129 c mchaga nilisoma naye marangu secondary enzi hizoo

    • @veronicasarita8422
      @veronicasarita8422 10 месяцев назад

      ​@@kevinmary7129alisoma Marangu sec

    • @allthingdranabeauty
      @allthingdranabeauty 10 месяцев назад

      @@kevinmary7129shule aliyosoma kamanisha

    • @hellendaniel3809
      @hellendaniel3809 9 месяцев назад

      ​@@kevinmary7129kwani mtu wa Iringa hawezi soma Moshi😂😂😂😂😂aiseee mbona sisi tulienda Machame girls

  • @stellajoseph6212
    @stellajoseph6212 9 месяцев назад +1

    Nakupenda sana❤❤❤❤

  • @t.jsaidia2047
    @t.jsaidia2047 10 месяцев назад +3

    Dada Lucy pole sana Kwanza. Mimi Naishi Holland ivi sasa sitamani Rafiki WA TZ NI Wachawi sana.hapa Holland kuna wachawi wengi mno.kwa kweli eur himeharibika. Naitwa Tunzamali

  • @GilbertMasukila
    @GilbertMasukila 10 месяцев назад +8

    Tunashukuru Dada kwa kuwafungua macho vijana,kwenda nje ujipange na waTanzania tujenge umoja wa kitaifa aliyotuachia mwalimu Nyerere.

  • @Devota_life
    @Devota_life 10 месяцев назад +2

    Wow jamani nimejufunzaa asante dada Shena kwa hii channel inamafundisho saanaaa duu❤❤❤ big love

  • @EdinaSiphaely
    @EdinaSiphaely 10 месяцев назад +22

    Da Lucy komba alikuwa anaigiza vizur sana

  • @ImeldaIsdory
    @ImeldaIsdory 10 месяцев назад +4

    Pole sana Lucy. Wewe siyo takataka, ni Malkina wetu (wangu) wa Nguvu.

  • @MaryMichaelMaryMichael-i7o
    @MaryMichaelMaryMichael-i7o 10 месяцев назад +6

    Jamni da luc nilimpenda sana kwnye muvi zake at nkawa najiuliza kwa ni alienda wapi ama❤❤❤ nampenda

  • @everosemausa1436
    @everosemausa1436 10 месяцев назад +2

    Asante sana dd anaye kuleta uko nikutulia nakusaidiana majukumu

  • @SalamaNauthar
    @SalamaNauthar 8 месяцев назад

    Nakupendaga sana da Lucy❤️

  • @EdinaSiphaely
    @EdinaSiphaely 10 месяцев назад +11

    Da Lucy alikuwa anaigiza vizuri sana

  • @hafsalucky1088
    @hafsalucky1088 10 месяцев назад +1

    Interview nzuri sn, Napata kujifunza Kwakweli, Asante ❤🙏.

  • @Zakiya-z8c
    @Zakiya-z8c 8 месяцев назад +3

    Nilimpenda sana huyu mwanamke uingizaji wake

  • @naomipetro6325
    @naomipetro6325 8 месяцев назад

    nimeipenda sana ...jamni tumeelewa sio wale wanatoa story juujuu

  • @olympiamtenga8761
    @olympiamtenga8761 10 месяцев назад +5

    ❤❤ the actress nilikuwa na mpenda..Ansanteni kwa Interview nzuri sana

  • @homeandaway2811
    @homeandaway2811 10 месяцев назад +51

    Wabongo Ughaibuni ni wa kuogopa kama ugonjwa wa ukoma. Mwenye masikio na asikie.

    • @CiscaRecaps2015
      @CiscaRecaps2015 10 месяцев назад +9

      Bora wabongo,wakenya ndio hatari zaid

    • @Globalsportschannel-ca
      @Globalsportschannel-ca 10 месяцев назад +1

      ​@CiscaRecaps2015 west African nao sio watu wazuri

    • @homeandaway2811
      @homeandaway2811 10 месяцев назад

      Nadhani ni kila mtu na taifa alilotoka mana hata waFilipino nao wanalalamika watu wa kwao noma ughaibuni ​@@CiscaRecaps2015

    • @homeandaway2811
      @homeandaway2811 10 месяцев назад +5

      ​​@@Globalsportschannel-cahao waWest Africa na uchawi wanabeba kuleta nje 😂😂😂😂 full unafiki

    • @vailethmbulule8339
      @vailethmbulule8339 10 месяцев назад +1

      Basi nikajua wanaushirikiano

  • @foodbasiccourt2028
    @foodbasiccourt2028 10 месяцев назад +4

    Mumw wangu ni mwafrica. Wote tunatoka tz ila ni half half hadi huwa nawaza tukirudi bongo wwnaweza hisi nimempa limbwata kumbe ni maisha ya huku yametufikisha hapa

  • @ivankadaudi8161
    @ivankadaudi8161 10 месяцев назад +1

    Waooo leo umejua kutuletea kipenzi chetu aise❤❤

  • @judithawadhi3510
    @judithawadhi3510 10 месяцев назад +2

    Ahsante sana kwa elimu,kuomba omba ni hapa Tanzania

  • @hildajoel5
    @hildajoel5 10 месяцев назад +13

    Jamani mm sina rafiki wa rohoni kabisaaa. Sijawahi kumwamini mtu kindakindaki wallah. Hakuna watu nawaogopa kama wale wanaoitana mabff😂😂

    • @Serenawilson11
      @Serenawilson11 10 месяцев назад +1

      Kama mm sina kabsaa niponipo tuu

  • @nusrathmanyawa4501
    @nusrathmanyawa4501 10 месяцев назад +1

    Lucy wangu wa mideko❤❤❤❤❤❤

  • @MM-bu4ir
    @MM-bu4ir 9 месяцев назад

    Eeh Lucy Umenichekesha sana. it was a good interview

  • @bintalmasi2393
    @bintalmasi2393 10 месяцев назад +8

    Kitu kimoja nimejifunza hawa ladies wake za wazungu wana determination

  • @surusuru1994
    @surusuru1994 9 месяцев назад +2

    Masha Allah jamn kumbe umevuka boda

  • @anniafredrick8925
    @anniafredrick8925 10 месяцев назад +2

    Lucy you made my day😂😂😂😂😂

  • @HASSANBAKARI-q9c
    @HASSANBAKARI-q9c 10 месяцев назад +5

    DADA ANAYEHOJIWA ANA KIPAJI CHA KUIGIZA,,JINA LIMENITOKA...MALEGEND MTANIELEWA,,,AMEIGIZA SANA NA YULE JAMAA MNAESEMA KILA MOVI ANAENDA ULAYA😊

  • @mamadida6100
    @mamadida6100 9 месяцев назад +1

    My daughter god bless you

  • @MsNajma-e6e
    @MsNajma-e6e 9 месяцев назад

    Pole sana dda kwa changamoto iyo, hata uku Oman hakuna urafiki my ivyo ivyo kuaribiana na kuchukuriana wanaume usirogwe ukamwambia rafki yako aisee atakuaribia unajua umepaata ndgu kumbe ni shetani na kutangaziana vibaya,na kila kitu kinasababu mpez usijal ssi watz wivu unatusum

  • @RizikiVincent
    @RizikiVincent 8 месяцев назад +1

    Nimependa bure ❤

  • @zeranchimbi2808
    @zeranchimbi2808 10 месяцев назад +1

    hongera Shena kwa kupambana❤❤❤

  • @hassankhamis344
    @hassankhamis344 10 месяцев назад +6

    Duu habari dada hiyo kweli nakubaliyana na wewe sisi watanzaniyani tuishiyao nje hatupendani kumi kwa mmoja mimi nimeliona hilo kwasababu nipo ulaya miaka mingi sana kama 29

  • @jasminmdimi6059
    @jasminmdimi6059 10 месяцев назад +1

    Jamani Lucy mi nampendaga uyu❤❤❤q

  • @consolataconsolata1250
    @consolataconsolata1250 10 месяцев назад +2

    Great interview

  • @lilianwaflotina1288
    @lilianwaflotina1288 10 месяцев назад +2

    Wow nakupenda sana dada lucy

  • @PriscaJoseph-u3p
    @PriscaJoseph-u3p 8 месяцев назад

    Lucy ushawai kutongoza mzungu mtandaoni

  • @dayana5513story
    @dayana5513story 10 месяцев назад +1

    Lucy I can't wait your new project,ubarikiwe sana na family yako

  • @ReginaErnest-cf6ji
    @ReginaErnest-cf6ji 10 месяцев назад +5

    Da Lucy chaupole jmn tumkumiss kweny move

  • @OlivaGara
    @OlivaGara 9 месяцев назад +1

    Nmemiss move zako mamy hasa ile ya patric na anjelo

  • @MwalimuShauri
    @MwalimuShauri 10 месяцев назад +2

    Mazungumzo mazuri ❤️

  • @MariahMnjeja
    @MariahMnjeja 9 месяцев назад +1

    Asante kwa elimu

  • @frankkiyaya
    @frankkiyaya 9 месяцев назад

    Safi sana

  • @neemashuma5595
    @neemashuma5595 10 месяцев назад +1

    Ooh such a humble lady

  • @TheTickingAges
    @TheTickingAges 10 месяцев назад +20

    baadhi ya waafrika wengi wakija ulaya wanakua wabaya kuliko wazungu wenyewe.

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 10 месяцев назад +1

    Huyu dada ana roho nzuri❤

  • @AgnethaKapinga
    @AgnethaKapinga 10 месяцев назад

    Nakupenda sana kipenzi chetu kwenye filam

  • @ReginaSolia
    @ReginaSolia 9 месяцев назад

    Nafurahi sana hata mm nindoto yangu ila bado haijafika mkipata mniambie ❤

  • @fortunathabarabara8471
    @fortunathabarabara8471 10 месяцев назад +2

    nilisubiri sana hii😢❤❤❤❤

  • @Serenawilson11
    @Serenawilson11 10 месяцев назад +2

    Wooow jaman dada Lucy komba ❤❤

  • @MadinaMalk-yd6kp
    @MadinaMalk-yd6kp 10 месяцев назад +1

    Nice interview da shena na da lucy

  • @mbonijabut1405
    @mbonijabut1405 9 месяцев назад +2

    Upo sahihi

  • @chumchum1526
    @chumchum1526 9 месяцев назад

    Nimependa interview❤

  • @Frank-b2d6u
    @Frank-b2d6u 9 месяцев назад +2

    Safi

  • @mamuvandermerwe485
    @mamuvandermerwe485 9 месяцев назад

    Wow this so true huyu dada ni kweli tena kweli 1000% Lucy alivyo ongea hiyo dada ndoo alikua rafiki yangu ameniaribia sana n me nilikua namchulilia hyo hyo dada rafiki yng huyu dada anaitwa fatuma aliniahindwa kwa kumwambia mwanaume akaanza kuroga kuroga…ukipata hyu demu ana kuaribia yaan huyu Lucy simjui but she speak very true

    • @sesilianjala3306
      @sesilianjala3306 9 месяцев назад +1

      Noma sana uyo dada. Lucy yuko true. Ila mwenye bahati ni mwenye bahati tu. aibu yake sasaivi uko aliko😅

    • @mamuvandermerwe485
      @mamuvandermerwe485 9 месяцев назад

      Kweli kabisa MUNGU akihuandikia akuna w kupinga ata waroge uchi…

  • @Tanganyika-w5p
    @Tanganyika-w5p 8 месяцев назад

    Aisee huyo mtangazaji anatabasamu vizuri sana aisee. Unavutia sana

  • @souksoukeventsandmarketing653
    @souksoukeventsandmarketing653 9 месяцев назад +1

    Lucy You are very beautiful what I like about you. When I saw your parent and siblings came to visit you

  • @fatmaismail7683
    @fatmaismail7683 9 месяцев назад +1

    Jmn natamani nipate mzungu Mungu nibariki siku moja nipate mume mzungu

    • @MtuSafi
      @MtuSafi 9 месяцев назад

      😂😂😂

  • @ZuhuraDuru
    @ZuhuraDuru 9 месяцев назад +1

    Nampendaga sana huyo dada

  • @chimamilion
    @chimamilion 9 месяцев назад +2

    Kuna mov yake iyo inaitwa heli ya ujinga kuliko fedhea htr sana iyo

  • @stellakiula3497
    @stellakiula3497 9 месяцев назад

    Loooo my roll moder kumbe ndo maana sikuonagi tenaaa

  • @sund2553
    @sund2553 10 месяцев назад +1

    Waooo Leo lucy kafikiwa

  • @sadihashimu4664
    @sadihashimu4664 9 месяцев назад +2

    Huyu mdada hanaga Mambo ya ajabu ajabu anajiheshimu Sana maashaallah ❤

  • @Zimwilishe
    @Zimwilishe 10 месяцев назад

    Asanteni sana dada zangu, tunaomba basi mtupe iyo dating site.

  • @ladyjoomahegga9407
    @ladyjoomahegga9407 9 месяцев назад +1

    Kiswahili yako bado iko vizuri kabisa ila kuna watu wakienda wiki mbili tu ht kiswahili hawajui tena

  • @Jessy-f9w
    @Jessy-f9w 10 месяцев назад

    Lucy yupo vizuri,na ameongea vitu halisi

  • @samwellwiza1098
    @samwellwiza1098 9 месяцев назад +1

    Lucy hujapoteza sauti yako ya upole...

  • @AmanaLulu-zx9id
    @AmanaLulu-zx9id 9 месяцев назад

    Nakuona nakuona kipenzi Lucy

  • @EmJesho
    @EmJesho 9 месяцев назад +1

    Dada Lucy kitambo sana ni kweli jamani watanzania wengi tunajua nchi za inje wanajua English lakini kumbe sio kweli

  • @pyelesyamwakatika540
    @pyelesyamwakatika540 8 месяцев назад

    Nikiwa na bando kesho niiangalie kwa kweli we miss you

  • @polloz77
    @polloz77 8 месяцев назад

    She’s funny yupo mkweli sana

  • @MariettaNyoni
    @MariettaNyoni 10 месяцев назад +3

    Ahaha Leo umeniweza uniletea mngoni wangu bs umenikamata ata video ya masaa kumi nitaitazama😅 Wacha nijikaze

  • @SuzanneMyles
    @SuzanneMyles 10 месяцев назад +3

    Smart and beautiful ❤❤❤

  • @jolierazia2432
    @jolierazia2432 9 месяцев назад

    My Lucie❤