Mdada nimependa sana. Kwanza anaongea genuine yupo very open. SAfi sana nimependa interview. Kuna page moja nilisoma wazungu walikuwa wanalalamika wadada wa kibogo wanapenda sana kuomba pesa ..
Kuolewa na mzungu Tena,hakika pole sana Dadangu.haya majamaa yametutesa sana,BADO unalala nalo linaweza kukunyonga anytime.haramu kabisa,utumwa Tena dadeki.
Yaani America 🇺🇸, Europe , kulea mtoto hakuna wa kukusaidia , Kijedajeda tuu. Mie kilinikuta siku nimejifungua Tena kwa C-Section alafu siku narudi home kulikuwa na Party kwa shemeji yangu than Mama mkwe akamwambia Mume wangu eti mwambie mkeo apitie kw Kaka yako tuone mtoto, heee 🙄😭, nilijisikia vibaya nimefik home hakuna wakunipikia mana mume wangu alikuwa anaingia kazini mchana anatoka usikuu, nilipambana mwenyewe na Mume wangu hadi mwanangu kakua. It’s not eas for real
Napenda Kipindi chako Sister
Dada ni mrembo na anaeleza vizuri sana na kwa kiswahili 🙌🏾❤️
Mlivoo fanana warembo wa kitanzania❤❤❤❤
Mimi niko belgium, sema sio kwa kuolewa , na nina watoto 3 na ninatunza mwenyewe niko hapa miaka 20
Dada ni mcheshi Sana yaani dada shena uyo dada me nimempenda bure kwakweli i'la wantanzania niwazuri jamani acha wazungu wachanganyikiwe dada shena mauwa yenu mmenoga sana
Pole sana dear
@@NeemaKipande-hr9rz❤
❤UNATAKIWA KUTUMIA YOUR OWN VOICE❤❤Ni muhimu sana.
Shena hongera sana kwa hii channel nimekua naangalia sana lakini sijapata fursa ya ku comment. Interview nzuri sana na dada ate ameichangamsha sana.
Ahsante sana
Shukran
Mdada nimependa sana. Kwanza anaongea genuine yupo very open. SAfi sana nimependa interview. Kuna page moja nilisoma wazungu walikuwa wanalalamika wadada wa kibogo wanapenda sana kuomba pesa ..
hongera kwa kipindi wahoji pia wabongo wanaoishi hapa tz na east africa
Nimeipenda hii interview ni miongoni mwa wadau wako ambao nafuatilia kuna kitu najifunza sana kupitia interview zako
Ahsante sana
Shena tafadhali naomba no yako kunamambo nataka tuongee
Dada ungekua unataja hizo online dating! Hizo best apps ! Naomba utuambie
Uvumilivu na kujua unachotaka is the key. na mambo ya 50/50 ndio ukubali tu yaani kama wanavyo sema wenyewe what are you bringing to the table
Hii show ni real asanteni kwa upendo na kucheka nawapenda
Namjua Asha ni mtu charming mno. Nilisoma nae mzumbe morogoro
Kuolewa na mzungu Tena,hakika pole sana Dadangu.haya majamaa yametutesa sana,BADO unalala nalo linaweza kukunyonga anytime.haramu kabisa,utumwa Tena dadeki.
Hii ni comment ya Chuki na Ubaguzi
🤣
Shindwaaaaa
Nami napenda siku Moja tuongee.
Nipo TANZANIA.
Je, unafanya kipindi na sisi tunaokaa Tanzania
Wakina asha awajawai poaw
Shena mimi sitaki mume nataka kazi tu coz ninakipaji cha kusuka sana
Nawapenda sana huwa najifunza kitu dada❤
This is a great interview. I’m glad for interviewee’s openness and for her being very frank. Niko Marekani na ameeleza ukweli wa mambo mengi
Uyu dada sio mzima 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣eti kibonge alikuwa vizuri namshukuru Mungu
warembo wa kitanzania❤❤
Nakupenda sana kwa ubunifu wako
Mungu akubariki Shena
Naukizingatia ni mtoto wakiume wapekee na ni lastborn aloo😢😢
She is beautifull
Nakupenda bure Una maneno ya sukar
Mie da Asha nakukubali sana
😂😂😂is narudi for us😂😂❤❤.
Daah kulea huku jmn💞💞💞
Mnafanya jambo jema sana kwa Elimu hii , Good work!
Thank you so much 🙏
Keep it up na mwenyezi mungu atakufanyia wepesi
Amina n'a Pia na mimi nasubiri muujiza wangu shena.
Pokea my kwa jina la Yesu kristo 😍
Kama hitaji la moyo wako mama utapata. Endelea kujinenea mneno mazuri ya kuupata hicho unachohitaji Mungu akupiganie na kukuonekania
@@asharamadhani3462hahaha ndo mana nmeshangaa nilikuona maeneo ya msikitin apo baruti miaka hiyoo nyuma uko
IRENI NIMEPENDA SANAA NYELE ZAKO. UMEPENDEZA.
Shena hongera kwa kipindi
Shukran 🙏🤝
Story nzuri sana❤
Dada umenichekesha hiyo ulitembea kwa miguu yaaani nimecheka sana 😂😂😂😂
Mremboooo Shennah nakupenda 👌
Hiyo nimeipenda mimi niko capetown
your good my darling. I like your interview
Thank you both of you warembo
Nimekupenda bure Dada Asha 😘
Nafurahia vipindi vyako ❤
Yani stori nzuri sana ninayo yangu na Mimi jamani waah
Karibu dear
Tutashukuru
+4367764790884 WhatsApp me please
Nice
Shena asante
Love you sis
Yaan maisha yake ya ndoa na mamamkwe ndo namm napitia na mkwe wangu yaan mda mwingine nawaza hata kurud kwetu tz
Duh pole
Mchungaji sheh omarijojo
Yes pride sio kitu kizuri,ndo kilimshusha lucifer
So acha Mungu hapendi
I love it!
Story tamu sana 😂😂😂
Shena umependeza
Hongera dada
Hongera dada interview nzuri
Nimependa msimamo wake
Hongera sana hadi raha
I wish one day nizae n mzungu
,,😂😂😂yaan huyu dada anachekeshaa, kwahyo dada yetu ukajikuta madamee mlipia bill🤣🤣🤣 inafurahisha Hadi raha
Nimependa kipindi chako nipo Malaysia
Nawapenda🥰🥰
Mie nafurahi tuu
Mm nimeolea na mdutch ni shida mbona wadada wengi ua wanaachana nao?
Kibonge alikuwa vzr 😂😂😂
Namm napitia hayo na mama mkwe wangu yaan nafikilia kurud kwet tz sometimes 😢
Mm naitwa Editha nina story yangu sijajua nafanyaje mpaka naongea masibu yangu
Tuandikie WhatsApp +4367764790884
Najifunza
Mzungu sio mchoyo, bali wanaishi 50/50 hawana utegemezi na uparasites . Inabidi ufanye kazi ili uwezi kuishi vizuri
😢😢😢
Nakufuatilia sema Leo niko maeneo fulani network sio nzur
❤❤❤❤❤
Ashaa ujaachaa uchiziii wakoo....😂😂😂😂
wow
Ilikuwa surprise nzuri sana❤
Hellow sister please Dada irine anatumia linki ipi you tube
Shena naomba namba yako ya waspu
🥰🥰🥰
❤️
Mesuma Bado ipo😆😆😆nmecheka sana
Kila siku nakosa live zako jmn😪
Ila Irene anachekeshaaa,kwahiyo ukashusha mzigoo 🤣🤣🤣🤣🤣
Napenda sana kipindi chako
Mdogo wangu wanaume ni watu wa ajabu tu mme akiacha mke ua anaongea vibaya aonekane mzuri tu
duh hapo kwenye ngumi hapo😁😁😁😂😂😂😂
Ninafurahia kipindi chako shena
Yaani America 🇺🇸, Europe , kulea mtoto hakuna wa kukusaidia , Kijedajeda tuu. Mie kilinikuta siku nimejifungua Tena kwa C-Section alafu siku narudi home kulikuwa na Party kwa shemeji yangu than Mama mkwe akamwambia Mume wangu eti mwambie mkeo apitie kw Kaka yako tuone mtoto, heee 🙄😭, nilijisikia vibaya nimefik home hakuna wakunipikia mana mume wangu alikuwa anaingia kazini mchana anatoka usikuu, nilipambana mwenyewe na Mume wangu hadi mwanangu kakua. It’s not eas for real
Pole dia wangu. Ndio tumechagua kuolewa mbali ni uvumilivu unahitajika ❤❤❤❤
Pole sana , ni kweli kabisa hakuna usaidizi wa watoto wa watoto mie nipo Texas miaka 20 sasa nimezaa watoto 3 na kulea wote mwenyewe
Mama mkwe katisha .. pole ni changamoto
Kweli kabisa
Woow Hongera sana
Jamani hii Experience ya 20 yrs Naomba tupate nondo hapa 🙏
Sasa mkipenda Wazungu tu sisi je?
Yani mtangazaji ana bonge la puaa
Mwe, na pua yangu inakuuma 🤦🏾♀️🤦🏾♀️
Acha ushamba apo ulipo ujui kuumba hata nzi sio vizur
huna adabu we yako tuonyeshe tuyoneee
Achana nae hana akili
Wee huna kasoro mwenzetu
Mama mkwe anagugu😅😅
😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂
Dada habali ?mimi ninashida na wewe kwasababu Nina hitaji ma elekezo kuhusu jambo fulani
😂
Ongea kishwahili
Shena naomba kuuliza katika mahojiono yote ambayo unafanya sijawahi kusikia swala la kupima UKIMWI kati ya wenza wanaokutana
Mahojiano na Patric alieleza hilo swala
Nakufuatilia sema Leo niko maeneo fulani network sio nzur
❤