Mzee Lwaitwama:CHADEMA Tukijisambaratisha Watasherehekea, Yeyote Atakayeshinda Asiwe na Kiburi

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 12 янв 2025

Комментарии • 18

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 7 часов назад +5

    PALE WAZEE WANAPOZUNGUMZA MANENO YA HEKIMA NA BUSARA. CDM OYEEE IS 👏🏻👏🏻👏🏻🌷🌷🌷👊👊👊✌️

  • @TM-zs3rm
    @TM-zs3rm 2 часа назад

    Mzee umepiga spana safi sana. Asiyekuelewa hafsi kuvhaguliwa tena. Ni hapo mtu asiyekuwa sahihi atazidi kung’ang’ania bila aibu. Wazee wanajielewa sana nilidhani mzee mnayemwita busara angebadili msimamo na mwelekeo lakini kashindwa kabisa.
    Ni aibu isiyokifani. Ni aibu kubwa sana.

  • @Benj722
    @Benj722 7 часов назад +4

    Hahaha Mbowe hukubaliki broo😂😂😂😂

  • @HumphreyNyiti
    @HumphreyNyiti 3 часа назад +2

    Mbowe pumzika kwa heshima

  • @peteromary8764
    @peteromary8764 4 часа назад +2

    Mbowe pumzika

  • @josephmatiko4805
    @josephmatiko4805 6 часов назад +2

    Chadema, tukopamoja sana pamoja na misuguano, iliopo tunasema hio ndio demokeasia, cha msingi chama nichawatanzania, wote, leteni mema, maana tunaenda kwenyeuchafuzi, mkuu, jitahidini kuweka uchaguzu wahuru, nahaki ilitupate , wanamapambano, maana, saivisiasa inahiyaji msimamo usiolegalega, nguvu mpya, inatakiwa sasa!?

  • @JonhAlbinusmabusi
    @JonhAlbinusmabusi 6 часов назад +2

    Mboe toka shika tundulisu

  • @ramdanmbara8500
    @ramdanmbara8500 6 часов назад +2

    Mbowe inkitia dosari Chadema, kwanini uendelee kuwa king'ang'anizi?

  • @JosephatiKisinda
    @JosephatiKisinda 7 часов назад +1

    Mzee Jusaa Mzee wa Hovyoo sana Huyuu Mzee wa Udini

  • @ManenoAnthonyMachaku-dt4jm
    @ManenoAnthonyMachaku-dt4jm 3 часа назад +1

    Lwaitama kakosa koti saizi yake jaman khaa!! Mbona uzito umemuelemea.

  • @RUTACHCHURCH
    @RUTACHCHURCH 7 часов назад +3

    The Lord Jesus is Mighty

  • @KomboFaki-m4m
    @KomboFaki-m4m 6 часов назад

    shabbash! lissu amevaa bullet proof kwa ndani, kumbe ata uko baraza kuu salama hakuna

  • @DaviesChitumbula
    @DaviesChitumbula 7 часов назад +1

    Wamekuchoka wazee

  • @simonsadala2386
    @simonsadala2386 6 часов назад

    Kifo Cha mende Chadema mshaingia kwenye mfumo jahazi ndo linazama hivyoooo

  • @florianmodest6215
    @florianmodest6215 2 часа назад

    Mbowe mitano Tena!!..

  • @mailacamillius
    @mailacamillius 6 часов назад

    Yoyote atakayeshinda ASIWE NA KIBURI.
    Na nyie mashabiki MNATIA KIBURI MNAYEMTAKA.
    😂falsafa, inaonesha wazi dhamira anawasema watu wa LISSU na LISSU.

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 7 часов назад

    KIHEREHERE KIFEEEE