@MeshackMlack mi ni shabiki tu si mwanachama wa Chama chochote nilimpenda JPM nikampigia kura Yeye tu hawa wengine sujawaelewa bado so kupiga kura ni haki ya kila mmoja wetu naweza kumchagua Yoyote atakayejipanga kutatua shida Za wanyonge
ilitupate katiba mpya tume hulu tumpige chini kwanza mboe kwenyi iyo nafasi yeunyekiti kamamboe amujamtoa kwenyeicho cheo musahau katiba mpya na tumehulu
Powerforce show ground love chadema youth. Soon after lisu arive ubungo on chadema national youth meeting at ubungo in daresalama will be vary dificurt our national chareman freeman mbowe drive chadema but will be good for
Mnyonge mnyonge ila haki yake mpe; hongera mbowe kujenga chama shindani kilichojengeka kama taasisi.umoja,upendo na mshikamano.mengineyo ni matokeo ya demokrasia; maamuzi ya sanduku la kura yataamua
@JanethMwombeki-ph5vn usilete mihemko kwenye siasa. Wewe mchezo wa siasa huujui😂😂😂haumo kwenye siasa hujawahi kuwa hata KATIBU/mjumbe ktk Chama ko hujui rafu za siasa. Trh. 21 Si mbali MUDA UTAONGEA.
Unaumwa wewe wimbo wa uzalendo wa Tanzania huo jeshini tumeimba sana hapo wanabadilisha kwenye jina tu pale wengine ccm,chadema ila Huwa inatajwa Tanzania nitakulinda mpaka kufa
Woooow!!!!! ukisikia kibali ndo hiki sasa au nyota, Yesu akutunze mheshimiwa Lisu🙌
Lissu ni bora zaidi kwa siasa za wakati huu we need changes.
Hongereni bavicha lisu ndio kiongozi na rais wetu 2025
LISSU ✅✅✅
Lusu mungu akulinde babaaa wew tayari ni mwenyekiti kura yangu nakupa babaa
Viva tundulissu
Chadema....Mungu ibariki chadema
Mimi mwenyewe nawakubali sana kwa upinzani lisu oyeee
Lisu huna den chadema mungu akulinde
Viva lisu viva chadema mpya
We need change Hamna maridhiano mpaka kieleweke
Halafu anatokea mlezi mmoja anasema "Lissu anapendwa nje ya Chadema" hapo ni nje ya Chadema?
Chadema babkubwa🎉🎉
Lisu for change
Mbowe lazima Ang,oke
Naionea wivu Chadema kwa Kweli 😂😂😂
Wewe si mtanzania na kama wewe ni mtz ni chama gani? Usifikirie sana nijibu tu chap
@MeshackMlack mi ni shabiki tu si mwanachama wa Chama chochote nilimpenda JPM nikampigia kura Yeye tu hawa wengine sujawaelewa bado so kupiga kura ni haki ya kila mmoja wetu naweza kumchagua Yoyote atakayejipanga kutatua shida Za wanyonge
Jamaa namkubali hadi roho inauma
😂
Mm namshauri mbowe bora asalimu amri acje akafedheheka wakati umeshamuacha mkono!
Hatutaki Mwenyekiti aliezoea kushindwa
Kila kitabu na zama zake #lisu4life
Lisu mbele
We need LISSU
Hla nguo za chadema nzur 🎉
Shangwe kwa Tundu Lissu
Viva Lissu
Viva lisu
Very confident
Jamani vijana wrote hongereni wanangu mungu awalinde
Viva cdm
Tundu nmda wako wakulipeleka gurudumu hili kwenye nchi ya ahadi tunakuamin utatufikisha salama
ilitupate katiba mpya tume hulu tumpige chini kwanza mboe kwenyi iyo nafasi yeunyekiti kamamboe amujamtoa kwenyeicho cheo musahau katiba mpya na tumehulu
Hivi kujoin BAVICHA unafanyeje
Baba wewe ni chaguo LA mungu binadam Wana chelewesha tu
Umeandika nilivyosoma nimejikuta chozi linanidondoka na ndevu zangu. Umewaza mno
Hivi huyo Nkurunziz haoni hili shangwe kwa Tundu na Heche
Wimbo bora sana huu,katiba mpya ,tume huru ,muupige uwakolee vijana kila kona, utaleta hamasa kubwa nchini.
TUndu
Akishinda nakua mwanachama kabisa sasa🤗
MBOWE KAKA MKUBWA MIAKA 20 INAKUTOSHA SANA
Ukumbi umejaa sana
Tunakwenda na lissu
😂😂😂vibe la kule sio kama hili
Lissu+Heche=chadema itaongeza wanachama wapya wengi
Afu unakutana na muhuni anakwambia lissu hafai😂
Sio Siri chadema wamepata mshauri wa Mambo ya siasa wa ukweli jamaa wameishika tz mpaka vijijini ccm mkae chonjo yajayo yanafurahisha
Lisu ni mwamba mbowe kwa sasa simwamini kabisa
Natamani kuwa chadema dah kanani hiyo
Chama chama cha wakiristo wanaimba mapambio sio cha siasa tuwe makini
1:11
Huyu ndiye
Bonge la music
Powerforce show ground love chadema youth. Soon after lisu arive ubungo on chadema national youth meeting at ubungo in daresalama will be vary dificurt our national chareman freeman mbowe drive chadema but will be good for
Chadema ikienda hivi ina pendeza na kuna siku tuta chukua dola
Sandalend mkorofi sana ametuvisha simba jez za chadema
Mpaka mseme
HECHE NDO RAISI NA WATU NDO WAMEMSHANGIRIAAAA
Mnyonge mnyonge ila haki yake mpe; hongera mbowe kujenga chama shindani kilichojengeka kama taasisi.umoja,upendo na mshikamano.mengineyo ni matokeo ya demokrasia; maamuzi ya sanduku la kura yataamua
Kawimbo katamu mbarikiwe
😂😂😂 kawimbo katamu
Nimelala natingisha kidole gumba kanyimbo kanakuna haswaa😂😂
@@fatmafatu1128 hahahahaa
@@AlbinMsechu 😂😂
@@fatmafatu1128 enjoy 😉 ✨️
Chadema wamezingua huwezi kuweka chembe ya ukabila katika chama na wanachama ni watanzania wenye akili wataelewa
Kimbunga!!!!
Mihemko tu inawaendesha
Lisu bado kwa sasa.
Ni cha maneno sana hana sera hana jipya zaidi ya kuzungumzia risasi 16 mwilini mwake na kumponda magufuli
Sera gani unataka?
Kama itifaki haijaka sawa hapo
nguvu ya soda mower anachukua kiti cake tena
Mbooooooo we ACHA TU pumzika wanaume wa mjini waingie kazini
tumekuwa hatuna shukran
Leo mbowe anaonekana hana maana mmesahau yotw aliyoyafanya?
Hakuna aliyesema hafai Ila tunataka mabadiliko
Aridhike na miaka aliongoza
Akubali demokrasia ya kuachiana vijiti
Sosopi mbonde la pawaga tunakukubali
Siasa iache kabisa, upepo utabadilika kwenye maboksi ya kura watu hawataamini. Mitandao haipigi kura
Wewe ni tahira
@JanethMwombeki-ph5vn usilete mihemko kwenye siasa. Wewe mchezo wa siasa huujui😂😂😂haumo kwenye siasa hujawahi kuwa hata KATIBU/mjumbe ktk Chama ko hujui rafu za siasa.
Trh. 21 Si mbali MUDA UTAONGEA.
😂❤
Uyo ndomkombozi
Wimbo wa ccm huo mnakopi
Huo wimbo ni wimbo wanautumia Jwtz au Jeshi lolote wakiwa kwenye majukumu Yao siyo wa CCM
Unaumwa wewe wimbo wa uzalendo wa Tanzania huo jeshini tumeimba sana hapo wanabadilisha kwenye jina tu pale wengine ccm,chadema ila Huwa inatajwa Tanzania nitakulinda mpaka kufa
Wew huo wimbo haujaimbwa na ccm bwege ww.
Huo wimbo uliimbwa na jeshi