Allah nakuomba kwabaracka za siku yaleo ijumaa huyu mzee huko aliko muekee mwanga na Nuru katka kabur lake na pia msamehe kwapale alipo kosea kwani wew ndoo unaye amua kusamehe au kuto kusamehe ameen😢😊
Akitokes tens rais wa watu Ka Anko Magu,gerations 3 zitakua zimepita! SIO Hili jizi levi tulilonalo! Mikutano ilikua burudani KULIKO matamasha na mpira,hasa ya Magu
Allah nakuomba kwabaracka za siku yaleo ijumaa huyu mzee huko aliko muekee mwanga na Nuru katka kabur lake na pia msamehe kwapale alipo kosea kwani wew ndoo unaye amua kusamehe au kuto kusamehe ameen😢😊
Amina
Dah namkumbuka sana mh.magu Mungu akulinde
Nilipenda sana
Ee Mwenyezi Mungu lala mahala pema peponi 🙏
Kizuri hakiduna Magufuli wetu jmn uliondoka kwa nini?❤ tunakuwaza dah🎉❤❤❤❤❤
Kwa nn baba yetu wanamwiga sana
Mashaallah tanzania muna vipaji
😅😅😅😅😅jama noma sanaa
Xx
Hmh
jamaa ana kipaji sana
Umetukumbusha mbili sana laiti kama babu angekuwepo angefurahi sana Mungu awa bariki sana
🤣🤣
nice job
Hii ilinipita, nimecheka saaana.
Mungu ibariki Tanzania.
Nam nimemkubal wew utaiinga hata saut yag duuu
Duh kizuri akidumu kaka umenikumbusha ancle magu
mungu akuweke mahali peponi
Hongera mr baraka
Jamaa ana akili mingi san changia uchumi wa nchi kupanda waziri mkuu majaliwa 🤝💯🙌🙌🙌🙌
Anakipaji anajua kuongea ongera sana barakha zote ziwe juu yako kama jina lako lilivyo barakha
Anaweza
Turimpenda sana lakin mungu kampenda zaid
Vraiment félicitations
Huyu jamaaa hatari duuuh
Brother acha bana unapiga mwingi
Mmmhiiii umetixhaaàaa brooooo
Noma xn huyu mkaliii
Jamani aaaaa
❤😊😊😊😊
Dah magufur baba😢😢😢
Kazi nzur kijana
Amazing 🥰🥰
Hahahahahahaa dogo bana hatar sana
My role model kakaaa
Unaingiza Sana bwana baraka
Gud guy
Best memory 1:54
Jaman😂❤❤
Oh mzee magu 😢😢😢❤❤❤❤❤❤😂
Namkumbuka bsba yng Magufuli
😂😂😂😂very tallented
Nchi ilikuwa burudani sana aisee,dunuiani tunapita
Pumzika Kwa aman baba yetu😢
Dah! na tunamkumbuka kweli kama alivyosema
Jamaa anaishi NDani yake mungu simama na huyu mtu
Hatariiii
Kijana hongela
Baba tumekumis sana
Hadi nimelia jamani
Dogo uko vzr big up
Kipaji hiki kilienda wapi
Kaka kipaji chako nipoa
Unajua baba
Haya wamejaza watoto jamani
Vizur kjana
Huyu jamaa uko funy sana
Huyuu jamaa anafaa siku ya kumbukumbu ya Makufuli kupanda jukwaani ili amshe watu
Akitokes tens rais wa watu Ka Anko Magu,gerations 3 zitakua zimepita! SIO Hili jizi levi tulilonalo! Mikutano ilikua burudani KULIKO matamasha na mpira,hasa ya Magu
Unakumbusha maumivu makubwa sana
❤❤❤
Uyu jamaa anajua kinyama nyama
Barack anakipaji Cha kuzaliw siyo kama yule jmaa hahahaaaaaaaaa
😁😁😁😁
Daa
Jpm atakunbukwa sana !
Jpm tutamkumbuka daima
Marudio ya mpira
Saizi cheñji haibaki
Jamaa unakipaji endelea kukitumia vizazi vyetu vije kujua kulikuwa na jembe kutoka chato
😅😅
Kwakweli ametukumbusha mbali huyu
Iike
Duuuh😂
😅😅😅😅😅😅😅😅
Rest and peace 😂😂😂😂😂😂😂
Ilikuwaga raha kweli
😂😂😂
Kama vile Magufuli
Hahahaha hahaha
❤❤❤