Ifanye iwe ajira sasa na ikuingizie pesa Baraka.. Ikikupendeza waweza pita kwenye channel yangu napost mada mbali mbali za biashara na mafanikio uweze kujifunza jambo siku ya leo. Kwa pamoja tutafanikiwa!!
ninaamini raisi wetu haendi kufanya kampeni bali anaenda kusheherekea nawatanzania kwa kazi zilizofanyika kwa miaka mitano chini ya uongozi wake ndomaana mimi nimeamua niimbe harambee kwasababu hiki ni kipindi cha sherehe sio kampeni..sikilizeni hiyo hapo. t.co/qWKbJBgvGz
Wa kwanza jamani like zangu kwa Barack Magufuli
Wajumbe kwio umenifurahisha sana Mungu azidi kukuinua Baraka.
Dah sijawai comment Leo na comment baraka magufuli anajua sanaaa pia big up kwa Millard ayo kwa kazi NZURI
Huyu duuh yuko kama mh rais Wetu safi sana
Nimekuwa wa kwanza naomba like zenu
Kuna watu watu wanamuangalia vibaya huyu jamaa sababu wanaiona future yake ni mtu mkubwa sana apo mbeleni , ana uwezo
Duh kwa kuigiza kama magu ndio future😅😅😅
Noma sanaaa 👊 👊🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Mjini ni akili tu unapiga pesa nguvu ni kijijini hongera kwa ubunifu
Unajua kuvaa uhusika hongera Sana baraka
Pia ni mchekeshaji mzuri
Sauti iongoze uzito kiasi🤔🤔🤔
Yaaani waliokuwa hapa wamecheka mpaka machoz yanawatoka
Nami nimecheka sannaaaaa
Yani nimekaa namsiliza kabisa nimekubali kweli
Ifanye iwe ajira sasa na ikuingizie pesa Baraka.. Ikikupendeza waweza pita kwenye channel yangu napost mada mbali mbali za biashara na mafanikio uweze kujifunza jambo siku ya leo. Kwa pamoja tutafanikiwa!!
ninaamini raisi wetu haendi kufanya kampeni bali anaenda kusheherekea nawatanzania kwa kazi zilizofanyika kwa miaka mitano chini ya uongozi wake ndomaana mimi nimeamua niimbe harambee kwasababu hiki ni kipindi cha sherehe sio kampeni..sikilizeni hiyo hapo.
t.co/qWKbJBgvGz
Baraka asee hatari sana
Hahaha uyu jamaaa anawezaa
Huyu jamaa hatari sana
Nimekubali
Courage
Umetisha
Yupo vizuri
Nkbl Barack
hao wajumbe kwio😁😁😁😂😂😂
Hatari sana
Kwa wanafunzi wote pita KWENYE CHANNEL yangu yapo MENGI mazuri uta yapata
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Hapo sawa
Huyu mwamba mulemule
Hahaaaa eti wajumbe kwio😅😅😅
Safiiiiiii
Tz hooooyyoooooo
😂😂😂😂😂Hatari
Kaua
Mjinga yuko vizuri tuache utani aise!!
Hii kumbe ndo mipango ya Kenya na Tundulisu duh 👇👇👇
ruclips.net/video/U5Ca3QHTrfc/видео.html
😆😆😆😆😆🙌
😅😅😅😅😅😅😅
BINTI MWENYE SHAUKU YA KUONANA NA MHE RAIS MAGUFULI
LEO AMEVUNJA UKIMYAruclips.net/video/ptJpujJPLDo/видео.html
🤣🤣🤣🤣
Hii kumbe ndo mipango ya Kenya na Tundulisu duh 👇👇👇
ruclips.net/video/U5Ca3QHTrfc/видео.html