KIJANA ANAYEIGIZA SAUTI YA RAIS SAMIA AWAVUNJA MBAVU MKUTANONI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 фев 2025

Комментарии • 1,1 тыс.

  • @abdisalangure3599
    @abdisalangure3599 Год назад +57

    What a wonderful young man .really talented .As your kenyan neighbour I salute you young man .

  • @liandonatus8561
    @liandonatus8561 Год назад +146

    Ukisikia maajabu ya Dunia ndo haya Sasa. Huyu ni mwanaume lakini kaweza kuigiza sauti ya Samia. Hiki ni zaidi ya kipaji. Mungu akusimamie ili ukanufaike kupitia talent yako

    • @mariammalimi9551
      @mariammalimi9551 Год назад +5

      Hahahaa ni hatar sana

    • @JustaTz
      @JustaTz Год назад +1

      Dogo Anakipaj tu!
      Hongera Yake

    • @siamnyone8403
      @siamnyone8403 11 месяцев назад

      🤣🤣🤣saut aigizeee na vyoteeee zidii kumuombeaaaa

    • @itiamekimbui722
      @itiamekimbui722 11 месяцев назад +2

      ukisikiza bila kuangalia utaamini ni mama kweli

    • @exaverymakoye6026
      @exaverymakoye6026 10 месяцев назад

      ​@@siamnyone8403😂😂😂

  • @rollahngimbwa6978
    @rollahngimbwa6978 11 месяцев назад +10

    Good talent kaka👍👍
    Balikiwa mnooo mwenyz mngu akulinde na akuzidishie kipaji Zaid🙏🏽

    • @BedeDC
      @BedeDC 6 месяцев назад

      Balikiwa ❌ Barikiwa✅

  • @AntonyKibunguru-z5h
    @AntonyKibunguru-z5h Год назад +19

    Hongera sana kwa hotuba yako nzuri, serikali ikupe nafasi nzuri

  • @KM-hx8zy
    @KM-hx8zy Год назад +8

    Shukuru Mungu kijana ndo namna ya kubarikiwa, sasa ulienda kwa waganga kupata kipaji sawa na hicho!
    Mungu anabakia Mungu

  • @worldknowledge254
    @worldknowledge254 Год назад +25

    The voice, tone and rhythm is Samia's... watching from Kenya🇰🇪

  • @kizittohescary1213
    @kizittohescary1213 Год назад +50

    Jitahidi kwenye matamshi ya Ra na la,usimix ili uwe sawia na mama ,ila uko vzur sana its a pure talent

  • @salimnzomo1704
    @salimnzomo1704 Год назад +44

    Watching from Kenya, pure talent

    • @kuschprince3216
      @kuschprince3216 Месяц назад

      Lagini genya yetu natawalia na mwenta wasimu, mfisandi muuwachi, muogo!! Luto lasima akwede mbwa hii!!

  • @subirajohn728
    @subirajohn728 Год назад +101

    Umeweza kijana ! Mama mwenyewe akisikiwa❤️❤️❤️❤️

  • @mustaphabett5616
    @mustaphabett5616 Год назад +5

    Much love from Nairobi capital city of kenya...Greetings to you and all our neighbours raw talent

  • @zainabmaulid9637
    @zainabmaulid9637 Год назад +61

    Ww jamaa umetisha kuliko wote wanaoigiza sauti

  • @MonicaNgussa
    @MonicaNgussa Год назад +6

    Da Yuko vizuri jamani Mungu fundi

  • @JRN2612
    @JRN2612 10 месяцев назад +3

    Kila kitu on point ispokuwa herufi R na L.. Mama Samia hayuko na hiyo tatizo😅

    • @luciakabui3151
      @luciakabui3151 Месяц назад

      Tatizo yetu Wakikuyu hiyo. Never imagined the 'disease' can be beyond our borders.

  • @OnesmoEmmanuel-xr2rf
    @OnesmoEmmanuel-xr2rf Год назад +35

    Mweee hii ndo Tanzania yetu kila kukicha ni mpya😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @professeurleonard685
    @professeurleonard685 Год назад +15

    Hongeraa Sana kijana,umeupiga mwingiii,sauti na namna ulivyopangilia hotuba yako....... great😊

  • @brownsebastianmwibi5647
    @brownsebastianmwibi5647 Год назад +42

    Tayaŕi kijana katoboa. Ni zamu yake hii baada ya Miso Misondo na wazee wa makoti kujipatia umarufu. Hongera sana kijana

    • @salimkhamis3638
      @salimkhamis3638 Год назад

      Samia hasemi Wazili bali ni Waziri

    • @frankhoffa8356
      @frankhoffa8356 Год назад +3

      Umeambiwa anaigiza sasa kuigiza huwezi kufaulu kilakitu

    • @ancyblix
      @ancyblix Год назад

      ​@@frankhoffa8356😂🤲🏾

    • @SporaJackson
      @SporaJackson 10 месяцев назад

      ​@@salimkhamis3638anaiga sauti sio matamshi bna

    • @ZulfaYussuf-b1r
      @ZulfaYussuf-b1r 4 месяца назад

      ​@@salimkhamis3638kaigiza sauti so lafudhi zingatia sauti brother

  • @mohamedkutwambi
    @mohamedkutwambi Год назад +37

    He is a very talented boy

  • @rizikirashid1199
    @rizikirashid1199 Год назад +2

    MashaALLAH mweshimiwa Rais Dr Samia Salim kuza talanta ya kijana

  • @carolyneaketch1653
    @carolyneaketch1653 Год назад +6

    Watching from Kenya. Raw talent!

  • @BellaTuyi-hd7tw
    @BellaTuyi-hd7tw 17 дней назад

    Hongera Sana kijana kwa kwel umeupga mwingi Sana ✊✊✊✊
    Asiyempenda mama mwambie Andika taraka mwenyewe achane na dunia..
    ✍️ Mabetu &Co

  • @MohamediUlaya
    @MohamediUlaya Год назад +6

    Jamaa anaweza sema ajitande achukue ualisia vizuri

    • @mustafamalik210
      @mustafamalik210 3 месяца назад

      Baada ya kujitanda utataka aige kengine zaidi😅

    • @zayanamshana268
      @zayanamshana268 3 месяца назад +1

      Si vyema kujitanda kwa mtoto wa kiume. Ameweza ameweza sana kama alivyo

    • @salehkheir6449
      @salehkheir6449 2 месяца назад

      Lafudh tu kdg

  • @JamesMwandoje
    @JamesMwandoje Год назад +43

    Wa2 wanatalanta ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉...mungu wa ajabu

  • @janeatjaneat6599
    @janeatjaneat6599 Год назад +3

    Watching from🇰🇪🇰🇪🇰🇪 good talent 👏👏👏😂😂😂

  • @timothynzioka3552
    @timothynzioka3552 Год назад +1

    Watching from Kenya,much love boy,umeweza

  • @christinemarura1944
    @christinemarura1944 Год назад +3

    Watching from Kenya...much love❤❤❤

  • @LooqmanAbdoul
    @LooqmanAbdoul Год назад +2

    Congratulation brather unaigiza vizuri sana🎉

  • @adamlalana7146
    @adamlalana7146 Год назад +21

    Nice boy ,uyo kijna anastahiki kupewa mauwa yake 🎉

  • @benadethacreophace2433
    @benadethacreophace2433 Год назад +1

    Hongera kijana.Kipaji unacho.❤❤❤.

  • @edwinndirangu778
    @edwinndirangu778 Год назад +31

    Watching from Kenya this is pure talent and it reminds me of Baraka Magufuli

  • @kaburaberchimas-n6l
    @kaburaberchimas-n6l Год назад +6

    Kweli upewe mauaaaaa🎉🎉🎉🎉! This is creativity

  • @kenyatop-notchnewstv.
    @kenyatop-notchnewstv. 4 месяца назад +2

    Greetings to our brothers of Tanzania, watching from Nairobi,Kenya.

  • @bettyisaya-km6mf
    @bettyisaya-km6mf Год назад +12

    Big up kwakwelii, kipaji amazing
    Nimependa❤️

  • @LennoxBugeraha
    @LennoxBugeraha Год назад +16

    😂😂😂, amempita mpaka mama samia mwenyewe..

    • @mariammalimi9551
      @mariammalimi9551 Год назад

      Hahahaaaa

    • @ajfanofly7944
      @ajfanofly7944 Год назад

      Umeona ee😂mm hapana hajampatia😂

    • @ajfanofly7944
      @ajfanofly7944 Год назад

      Kwanza rais Samia anazungumza kiswahili fasaha😂lkn uyu anaongea kama bata.

    • @nururaymond5
      @nururaymond5 3 месяца назад

      Anajitahidi ila akazane R na L asichanganya ​@@ajfanofly7944

    • @salamasaidi6620
      @salamasaidi6620 Месяц назад

      ​@@ajfanofly7944😂😂😂😂😂😂😂

  • @benedictachok6772
    @benedictachok6772 Год назад +1

    Hongera kwa kipaji hatari kweli. Watching from Kenya

  • @amisisongolo6652
    @amisisongolo6652 Год назад +20

    Kijana unaweza sana tena
    Mama lazima akufungulie TV

  • @kaberiawankaune6943
    @kaberiawankaune6943 Год назад +2

    🔥🔥🔥 Respect Large from Kenya

  • @YusufLubangula-yn6tq
    @YusufLubangula-yn6tq Год назад +4

    Anajitaidi Hanaukanjanja Huyu jamaa Nisauti ya Muheshimiwa kabisaa🤣🤣🤔

  • @bahatizena5417
    @bahatizena5417 Год назад +2

    Wow what a beautiful talent 👏👏👏👏👏👏👏👏

  • @nikodemmwahangila3334
    @nikodemmwahangila3334 Год назад +6

    Umeweza umetisha

  • @soloartist_ivanvespalusind1609
    @soloartist_ivanvespalusind1609 10 месяцев назад +1

    Watching from USA, this reminds me about Baraka Magufuli

  • @fettymilly7664
    @fettymilly7664 Год назад +34

    😂😂😂😂😂 kugeza saut ya mwanamke na ww n mwanaume ni ngumu wallah Ila ww umewezaaaaa bila vitaa❤❤❤

  • @SalamaNauthar
    @SalamaNauthar Год назад

    Watu Wana vipaji jamani'!!!!!' Mashaallah'❤️❤️❤️

  • @kingsweetbert
    @kingsweetbert Год назад +11

    So talented❤❤❤❤❤❤

  • @mustafakosovo5936
    @mustafakosovo5936 15 дней назад

    Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿❤❤❤❤

  • @hawaelymaricca7602
    @hawaelymaricca7602 Год назад +22

    Dogo umeweza sana mama anakuona atakuita kwenye mikutano huko

  • @leaherasto929
    @leaherasto929 10 месяцев назад

    Mwanaume kaigiza sauti yamwanamke PURE TALENT

  • @evansnyarib032
    @evansnyarib032 Год назад +5

    This is wonderful, very wonderful, mungu akubaliki zaidi na zaidi.

  • @brotherkevin4380
    @brotherkevin4380 Год назад +1

    Nime barikiwa sana❤❤❤❤❤

  • @salamaisayas8281
    @salamaisayas8281 Год назад +30

    Hongera sana kijana unaweza mnoooooo

  • @franklinpendo444
    @franklinpendo444 Год назад +1

    Kipaji kipo kweli. Hongera brother

  • @honestandakidemi2332
    @honestandakidemi2332 Год назад +17

    Hapo kwe( la) na (Ra)rekebisha,ila unajua aiseee👏👏👏👏👏👏

    • @josephineokama2200
      @josephineokama2200 Год назад +2

      jamani mfuatilie Rais mwenyewe ndo hua anaingea hivyo badala ya R A WEKA L

  • @isabellemande
    @isabellemande 9 месяцев назад +1

    Watching from Mombasa Kenya, congrats kijana wetu unastahili muigizaji shupavi, hata unadhania mama Samiya mwenyewe hongera sana

  • @atukuzwemarko6007
    @atukuzwemarko6007 Год назад +19

    Hongera kijana wetu unatuwakilisha vyema wanakilolo

  • @SammyKipkirui-u1g
    @SammyKipkirui-u1g 2 месяца назад

    Hongera hongera...talanta nzuri hiyo👏👏

  • @salamuushawji2044
    @salamuushawji2044 Год назад +6

    Hongera lakini jitahidi kutamka vizur R ikae sehemu yke....

  • @TabiaSalim
    @TabiaSalim 4 месяца назад

    Huyo n yeye kabisa kkngu nkubali I congratulate you it's like ❤❤❤❤❤❤❤❤❤ mashallah tabarakallah Allah taala uko n kipaji kkngu

  • @VickIzaack
    @VickIzaack Год назад +24

    😂😂😂😂umeweza tena umeweza Big up kijana.

  • @sokomoko6757
    @sokomoko6757 Год назад +2

    Amejaribu, lakini rais hatamki i r kuwa l

  • @omanruwi5501
    @omanruwi5501 Год назад +8

    Masha Allah 🎉🎉🎉❤❤❤❤

  • @LinetMapenzi-sw2pt
    @LinetMapenzi-sw2pt Год назад +2

    Waaah hongera sana kaka 🇰🇪🇰🇪

  • @aidaikahimbi7056
    @aidaikahimbi7056 Год назад +5

    Dogo umetisha sana ❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @TherezaLimbe
    @TherezaLimbe 4 месяца назад

    ❤❤ mashaaalaah unaweza jazaka Laah🎉🎉

  • @sammykimilu-ms1lv
    @sammykimilu-ms1lv Год назад +5

    Wawawawa,He talks exactly like her.,.
    WOW

  • @SurprisedRetroCamera-kl8yx
    @SurprisedRetroCamera-kl8yx Год назад +1

    Ahahaaa😂😂😂🙏🙏🙏 Mungu akuinue zaidi

  • @zulfaissa7814
    @zulfaissa7814 Год назад +4

    Wallah umetisha maanshallah

  • @ConjesterKalyahi
    @ConjesterKalyahi 2 месяца назад

    Shda inafata maelekezo big up brother ❤❤❤❤

  • @MakoyeMakoye-i4h
    @MakoyeMakoye-i4h Год назад +11

    Hongera sana kijana wetu mtanzania

  • @alexsaidi3940
    @alexsaidi3940 12 дней назад

    This one tanzanian support this boy supper talent 😂😂🎉 exactly

  • @sadikjuma5519
    @sadikjuma5519 Год назад +9

    Talent hatari ❤

  • @BinSultan-t5g
    @BinSultan-t5g 2 дня назад

    Safi sana , ajiweke sawa kwenye R na L na H. Jamuuli = JAMUHURI

  • @everlineeverlinewamalwa243
    @everlineeverlinewamalwa243 Год назад +8

    Wow! Very talented guy

  • @sayedamohammed4641
    @sayedamohammed4641 2 месяца назад

    Jazakha Allahu khayrah ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤I

  • @Happypeter-r9q
    @Happypeter-r9q Год назад +4

    Kaka uko vizuri

  • @iaurentpanema68
    @iaurentpanema68 10 месяцев назад

    umetisha👋👋👋👋

  • @SelemanMuhamed-ir5zl
    @SelemanMuhamed-ir5zl Год назад +5

    He is talented ❤❤😊

  • @evanscalvine4637
    @evanscalvine4637 Год назад

    Wueeeee❤❤❤❤❤❤❤ kenya nimefurahi sana Kazimierz nzuri kijana

  • @josphatkariuki8457
    @josphatkariuki8457 Год назад +4

    Pure talent.
    Much love from Kenya.

  • @JoshuasolomonLaizer
    @JoshuasolomonLaizer 10 месяцев назад +1

    Hongera sana kaka, umetisha sana

  • @athumanishabani4800
    @athumanishabani4800 Год назад +5

    Upo vizuri ❤❤

  • @RabiaAlly-x3j
    @RabiaAlly-x3j 9 дней назад

    ❤❤❤❤❤❤ waoooo hongera umeipatia haswaaa

  • @mswakisaid2320
    @mswakisaid2320 Год назад +6

    Mmmmmmh kijana ni zaidi ya kipaji.
    Kwa kweli unastahili kupakuliwa minyama ya kutosha😅.
    Mama ukiwa na zarura inayokuzuia kufika, huyu kijana ataweza kukuwakilisha vizuri bila tofauti kwa sauti yako.

  • @umsulaiman7468
    @umsulaiman7468 Год назад +1

    Mama Samiya hasemi L kuita R hujamuiga vizuri hasemi kalibuni karibuni jaman

    • @innocentchristopher7571
      @innocentchristopher7571 4 месяца назад

      Muige ww sas tukuskie

    • @umsulaiman7468
      @umsulaiman7468 4 месяца назад

      @@innocentchristopher7571 wewe mjinga nenda huko mkiambiwa ukweli wenu mnaumia Kinga hovo

  • @trusttvtz
    @trusttvtz Год назад +15

    Kuna Kodi kanazipatia kweliiiii😂😂😂 kongole kwake kijana wetu

  • @JM-eo3wo
    @JM-eo3wo 18 дней назад

    From kenya hongera kijana

  • @bahatilaizer8706
    @bahatilaizer8706 Год назад +3

    Walahi kumbe Watu wako talented 😂😂😂😂

  • @CeciliaRichard-j3d
    @CeciliaRichard-j3d Месяц назад

    Mungu abariki kipaji chako hongera sana kaka

  • @trusttvtz
    @trusttvtz Год назад +6

    Leo ndio nimekuwa wa kwanza na mie kukomenti eeeh😊😂😂

  • @EnockWafula-l1l
    @EnockWafula-l1l 4 месяца назад

    Watching from Kenya wonderful voice

  • @rogoyassin5
    @rogoyassin5 Год назад +3

    🤣🤣🤣
    Umetisha Sana 🙏🤲

  • @NuruAbuBakr
    @NuruAbuBakr Год назад

    Watching from kenya pure talent,❤❤❤❤

  • @salmanyangasa1171
    @salmanyangasa1171 Год назад +4

    Anaweza Sana ila ajifunze tu kutofautisha R na L

  • @mercylinemotum
    @mercylinemotum 3 месяца назад

    Thanks 👍 preso akupe kazi

  • @yustgasper9079
    @yustgasper9079 Год назад +4

    Pamoja na changamoto za L na R. Ila umewezaa mno 🎉🎉🎉

    • @zeddyshindika9502
      @zeddyshindika9502 Год назад

      Ee bana eeh...hapo kwenye R...na... L....hata viongozi wengi sana hujipata wakiburuza wakienda....ni sawa na wanaosema zambi,,,instead of dhambi...nk...but bora tunaelewa😊😊...kijana yupo tu sawa,kipaji anacho....kongole kwake..

  • @DollaIbrahimDollaIbrahim-ro7yq
    @DollaIbrahimDollaIbrahim-ro7yq 5 месяцев назад

    Uko vizuri sana kaka angu❤❤❤❤❤ love

  • @hamidahamdun3646
    @hamidahamdun3646 Год назад +4

    Umeipatia kabisa sauti ya mama, ila rekebisha L, na R basi. Kwenye serekali usiweke selekali na baadhi ya maneno. Lakini kila kitu uko 🔥

  • @KimbilimaSocial-dy9cl
    @KimbilimaSocial-dy9cl Год назад +2

    AISEE WEWE KIPAJI UNACHO
    DAAAAA BONGE LA TALENTED
    Kweli vipaji mtaan vipo
    WEWE NI ZAIDI YA #JKCOMEDIAN ZAIDI YA #OSCAR #BARAKAMAGUFULI
    #NA WENGINEO

  • @littlelunie.7653
    @littlelunie.7653 Год назад +6

    😂😂😂😂 huyu jamaaa hatariii

  • @TwalibuIddy-f6m
    @TwalibuIddy-f6m Месяц назад

    Kaka hongera sana kwa talent

  • @masoudsalum
    @masoudsalum Год назад +9

    Jitahidi ila mzee Hafidhi akikusikia akikushika mkono utajijua

    • @khajumkhamis7910
      @khajumkhamis7910 Год назад

      😂😂😂😂 ila wazenj hatuna mambo ayo

    • @masoudsalum
      @masoudsalum Год назад

      @@khajumkhamis7910 Afande Hamza alishinda kesi mahakamani

  • @DominicMulwa-x5o
    @DominicMulwa-x5o 8 месяцев назад +1

    Watching from Nairobi Kenya