I'm From CONGO DRC; Kwaukweli TANZANIA Ni INCI ya Amani Na Uhuru;...Tazama RAÏS MUSTAFU alivyo Mupa Chavu RAÏS Mwenzake Kwakucheza! Kwaukweli DRC Tunampenda DIAMOND PLATNAMZ Na HARMONIZE tuna Wakubali Sana🎉🎉🎉🎉; MUNGU AILINDE TANZANIA Na INCHI yangu DRC...GOD BLESS.
Speed 120 kwenye Kona shaa g.hai allah east zuu a.k.a Mimi diamond platnumz Simba la masimba umetisha kinomanoma tunaenda mama yetu Samia suluhu hassan
Jamaa hili linajuwa kuwa kipindi hichi mvua nitavaa aje na kiangazi navaaje.anabadilika kulingana nauhitaji wawatu walipo na mazingira gani ni nini wanataka anawapatia.big up mond
Speed ile ile 120 g.hai allah east zuu a.k.a Mimi diamond platnumz mwamba unajua sana na mama yetu tunakupendaa sana❤❤❤mitano mingine miaka tunadunda na mama mpaka 2030
Yesu asifiwe, katika miezi miwili iliyopita, Mungu alifunua farasi mweusi ambaye alikimbia kwa kasi kuelekea duniani. Sauti ya Mungu ikasema kwamba wale watakaokolewa kutokana na maafa makubwa yatakayokumba dunia, watakimbilia kwenye mlima uitwao Betheli. Betheli inamaanisha Nyumba ya Mungu au mahali pa siri. Muwe macho, ndugu, kwa maana nyakati tunayozisogezamo zitajaa mashujaa. Ujumbe huu unaposomwa, mshirikishe mwenzako ili umwokoe roho yake. Barikiwa.
Mmh mwamsifu sana diamond kwa sababu ya umaarufu wake na ukubwa wake sasa ni vile huyu diamond hata afanye chafu gani hawezi kuja kuonekana mbaya kwa maana diamond ni tajiri mkubwa zaidi na ni msanii mkubwa sana hapa nchini TANZANIA .. si hivyo tu diamond ni msanii anayependwa sana diamond aisee unapiga mwingi sana saruti babaa..ila wanasemaga ishi ulaumiwe na kufa usifufiw huwezi jua sifa wanazokupa nn kinajiri nyuma yako au ni vip wana vyokukejeri sio unaecheka naye ndiye rafiki Rafiki yako Ndiye Adui yako thanks am finish ❤❤
duh, wwe bado ujajijatambua chama kinacho washitaki wabunge wake wakinyimwa posho wanamkataa eti sio mwanachama vijana tumeshtuka ccm oyeeeeee mitano tena kwa mama
Ameimba vizuri kuliko wasani wote number one dimond 💯
Wee ndio star mondy❤❤
I'm From CONGO DRC; Kwaukweli TANZANIA Ni INCI ya Amani Na Uhuru;...Tazama RAÏS MUSTAFU alivyo Mupa Chavu RAÏS Mwenzake Kwakucheza! Kwaukweli DRC Tunampenda DIAMOND PLATNAMZ Na HARMONIZE tuna Wakubali Sana🎉🎉🎉🎉; MUNGU AILINDE TANZANIA Na INCHI yangu DRC...GOD BLESS.
Amina ahsante na karibu sana jirani yetu mzuri
Mungu ibariki DRC
Mungu ibarik DRC,karibu Tz
Watanzania ni waoga,,, hakuna Amani
Karibu sana tza
Diamond always lead others follow our simba❤❤❤❤much love from Kenya.
Nimekaona kajoketi❤❤❤❤
Bonge la wimbo wa chama❤
Bro umetisha
Simba hapa nakupa 💯 umejuwa kuvaa kaka 🌹🌹
Wewe una fikiri ilo jina la Simba kaitwa bure bure tu au
😂
😂😂
Mzee Jakay ni motooo❤
Umependeza sn,na wimbo Mzr sn Mungu Azidi kuinua Kipaji chako Diamond❤❤
Umetisha Tanzania Ya Mama Samia inameremeta💚💛💚💛🎉🎉🎉🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Aise anaimba khaaaaaaa hd nimerudia marambili mbili👌
From Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Hongera sana Mama Samia Mungu azidi kukupa uwepesi katika safu yako❤
❤❤❤Amiin yaarab
Simba la Masimba dangote❤❤❤
Mond umtu atili sana só Albix from Mozambique
Ndo nn😅😅😅 karbu Tanzania
Speed 120 kwenye Kona shaa g.hai allah east zuu a.k.a Mimi diamond platnumz Simba la masimba umetisha kinomanoma tunaenda mama yetu Samia suluhu hassan
Tuache unafiki.
Mondi anajua Sana.🎉🎉🎉
From Rwanda we loved diamond
Viva,mama Samia,Allah lhe dá mais benção.🎉🎉🎉
Diamond always juu❤❤❤❤
I am from Kenya we love diomond
Broo umetisha ccm is number one❤
Am from 🇧🇮 but tunapenda 🇹🇿 sana🎉🎉🎉
Kikwete you was good president during your period 💚💚💛👍
Much ❤❤❤
Kwanza ana sauti nzuli kinoma ❤❤❤❤❤🎉🎉
Hogera sana yani wacha tu umemba vizuri sana haki barikiwa sana mm nimetoka Kenya 🇰🇪 ila nimependa sana
Umeua Simba piga kelele kwa Mondi❤❤❤
Oyoooooooo
Weweeeeeee
Mimi natoka kenya 🇰🇪 Tanzania ni inji ya amani kweli natamani kuhamia huku
Jamaa hili linajuwa kuwa kipindi hichi mvua nitavaa aje na kiangazi navaaje.anabadilika kulingana nauhitaji wawatu walipo na mazingira gani ni nini wanataka anawapatia.big up mond
Huyu ni bonge la msanii hongera sana diamond❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Diamond kaimba vizuri kuliko wasanii wote kwanza hajabadili nyimbo zake katunga Rasmi nyimbo mpya kwa ajili ya chama na zenye maudhui ya chama
Amependeza sana kuliko wote umo.ndani madhaallah simba kiboko yao
Diamond ni mmoja tu
la masimba lamaa much love❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
simbaaaa kama simbaaaa❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Huy ndo simbaa forever ❤❤❤
Mhe kikwete mambo ya Music ndio maradhi yake.Lazima Asisimkwe na Aanze kucheza
Salute to Daimond, your the best man. Let's not hide the truth, Samia 🥰🥰😘, CCM 😘🥰
Simba🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Umetisha kk❤❤
Kikwete hujitupi ktk kuwaunga vijana mkono step unazo mstaafu🎉🎉🎉🎉
Kazi zuri kaka ❤🎉🎉
Nyimbo nzuru sanaaaaa ❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂
King Diamond PLATUNAMZ ❤❤❤
Diamond ❤❤
Simba la masimba dangote ❤
Upovizury unaenda namatukio umetisha sana simba
The music is gospel oriented,good luck Mama presdnt
Umeona eeh? Kaimba pambio zote za gospel vile kaweka kisiasa😅😅😅😅😅
@@neemakingu4134 hahahahahaaaaaa
Tunapokezana miziki. Muziki wa dansi unapigwa kanisani na wa kanisani unapigwa kwenye dansi hahahaha
Mashallah wapendeza wasanii vaeni hv kila ck
Wah! Simba adi anaeza gospel aki🔥🔥
Hakuna jama mondi naana mondi ni mmoja tuuuu❤
Anaweza mpk anaweza tena vazi lake MASHAALLAH
huyu bwana anajua nini anafanya 🔥🔥
Simba uko vizuri mpende zuchu
Kanyimbo kuzuri ❤❤❤
Ndy mara ya kwanza kuipenda Nyimbo ya Chama 😊
Nilikuwa mpinzn ila huu wmbo nitaufikiria tena
Speed ile ile 120 g.hai allah east zuu a.k.a Mimi diamond platnumz mwamba unajua sana na mama yetu tunakupendaa sana❤❤❤mitano mingine miaka tunadunda na mama mpaka 2030
The angelic voice🔥 ❤❤much love from kenya 🇰🇪🇰🇪
Diamond kapendeza kuliko wasanii wote
❤❤❤❤
Dah....kweli kabisa simba la masimba lazima atishe🦁🦁
Ungeniona ungenipa maua yangu.
Kaziilisha ukubwa wake.
Uko sahihi kabisaa rafiki mpendwa, Sabina KimagaLa.
Ubarikiwe sana.
Jembe umeimba vizuri kuliko wasaniii wote❤❤❤❤....nimependa 🎉🎉🎉🎉🎉🎉....misss you mama samia wangu❤❤❤❤❤❤❤
Simba umeua❤we noma
Mondi umeuwa mwamba wewe somewhat ❤❤
Simba uyo 🎉🎉🎉
chibudeng Simba diamond platnumz m'kubwa 💪🏿 babalao 🇨🇩🇨🇩🇨🇩 goma Kayna 💔
Diamond nishujaa wa mziki❤ hakamatiki ni shangwe
Simba kiboko japokuwa Aishi majini
😅😅😅 nimeipenda hiyò
😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
😂
Wallahi 🎉🎉🎉🎉
Bongo msanii ni mmoja diamond 🔥🔥🔥
Diamonds ✅✅✅
Yesu asifiwe, katika miezi miwili iliyopita, Mungu alifunua farasi mweusi ambaye alikimbia kwa kasi kuelekea duniani. Sauti ya Mungu ikasema kwamba wale watakaokolewa kutokana na maafa makubwa yatakayokumba dunia, watakimbilia kwenye mlima uitwao Betheli. Betheli inamaanisha Nyumba ya Mungu au mahali pa siri. Muwe macho, ndugu, kwa maana nyakati tunayozisogezamo zitajaa mashujaa. Ujumbe huu unaposomwa, mshirikishe mwenzako ili umwokoe roho yake. Barikiwa.
😂😂😂😂
Kwa hili diamond kauwa plus rayvanny❤❤❤❤
Wamama wa Heshima kabisa Mh. Anne Makinda❤❤
Hello simba I,love you so much 💖💝nakuaminiya ongera sana bcoz lord is remember you pia akuongezee miaka mingi apaduniani❤️💖🙏
King of Bongo Diamond platinum 🔥🔥🔥nakupendasana tangu utotoni adileo umetisha sana bcoz uko namaadui but usiogope songa mbele 🔥🔥🔥💖💌¿?
Umetisha
Thank u broo mond mzuka sana
Songa mbere maman❤❤❤❤❤❤❤
Jamaa anaweza sans
Following from Nairobi Kenya 🇰🇪
Umetisha kak
Perfect diamond platinum ❤❤❤❤❤❤❤❤
Nzuriiiiiiiiiiiii💥
Simba aitwe simba🎉
Simba the big dans
Mmh mwamsifu sana diamond kwa sababu ya umaarufu wake na ukubwa wake sasa ni vile huyu diamond hata afanye chafu gani hawezi kuja kuonekana mbaya kwa maana diamond ni tajiri mkubwa zaidi na ni msanii mkubwa sana hapa nchini TANZANIA .. si hivyo tu diamond ni msanii anayependwa sana diamond aisee unapiga mwingi sana saruti babaa..ila wanasemaga ishi ulaumiwe na kufa usifufiw huwezi jua sifa wanazokupa nn kinajiri nyuma yako au ni vip wana vyokukejeri sio unaecheka naye ndiye rafiki Rafiki yako Ndiye Adui yako thanks am finish ❤❤
Amen Amen Amen Mama yetu Rasi 🙏🙏🙏🙏🔥🔥🔥❤️❤️❤️🇨🇩🇨🇩🇹🇿🇹🇿🇧🇻🇧🇻🇧🇻💯
Unajuwa ❤❤❤❤
Tulioona fujo za wadudu ARUSHA, gonga like😂😂
Waoooh umenijua kutfumba midomo 🔥🔥🔥
Simple song though message is very strong, Godbless you too.
ILA MOND 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Hongera Diamond
Kuna watu wakaanza kuimba nyimbo za Simba sijui hiyo ilikuwa ni simba day. Diamond atawabuluza sana
Unaima vizuri nakupenda angiye ungali mtoto una anza kuimba ,huna mpinzani Simba kama simba
Nomaaaaa mond nambaaa mojaaaaaaaaaaaaaaaaa
Nimemuona Ana makinda❤❤❤
Rayvanny Wakwanza Alikiba Harmonize Diamond Number 4
Fyuuuh😏😏
Samia tunakupenda huku Arusha 👍🔥🔥
Umeimba vizuri sana
Umependezaaa kavaaaa kii Nigeria ❤
duh, wwe bado ujajijatambua chama kinacho washitaki wabunge wake wakinyimwa posho wanamkataa eti sio mwanachama vijana tumeshtuka ccm oyeeeeee mitano tena kwa mama
Kapendeza kuliko wote wasabi💚💚💚💚💛💛💛