Wema funga ndowa yakihalali yakisilam kisha inshinai pinga tomba sana kwa molawako futa sheri ya diniyako nina imani utapatamtoto kwa uwezo wa Allah ukipata usiche kuni tafuta 😊😊
Wema Mungu anajua hata kabla Mungu azidi kukutia moyo,Kuna ndugu yangu alifikisha miaka arobaini lakini alikuja akapata mtoto usiwe na shaka Mungu anajua alichokupangia
Masikini kataftia mtoto nje ya ndoa miaka mingi na mungu kamnyima bora ata angeolewaga tu huenda angebahatika sasa apo ata akilalamika sana tutamuonea huruma apate mtoto vipi na hajaolewa manake ukiachana na uislam ata ukristu haujaruhusu Zinaa sasa anadai vipi mtoto naktumia nguvu nyingi hali hana mme aaa unaboo cjui tuksaidiaje dada😢
Yuko Dodoma kwenye mambo ya chama anaulizwa mambo ya kupata mtoto. Mngewauliza hata mambo ya chama chao usikute hata hawajui wameenda kufanya nini Dodoma
Maswali Gani juu ya mtoto waandisheni acheni yanamuumiza huyo Binti,kwani Hanna maswali mengine nyinyi waandishi uchwara hovyoo,mukaulize maswali ya msingi kwani mbona vijijini Kuna habari nyingi
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
Wema funga ndowa yakihalali yakisilam kisha inshinai pinga tomba sana kwa molawako futa sheri ya diniyako nina imani utapatamtoto kwa uwezo wa Allah ukipata usiche kuni tafuta 😊😊
Kila mara mnamuuliza habari za mtt,muacheni Mwenyezi Mungu atatenda kwa wakati wake.
Utàsema Wema ñdo wakwanza kukosa mtoto!!relax Wema wangu!yote majaliwa ya Mwenyezi Mungu
Wema Mungu anajua hata kabla Mungu azidi kukutia moyo,Kuna ndugu yangu alifikisha miaka arobaini lakini alikuja akapata mtoto usiwe na shaka Mungu anajua alichokupangia
Wema mungu atakupa wakati sahihii
Hongera sana umeongea vizuri
❤❤❤Nakupenda bule wema unakuwaga mkweli mwingi🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Akijaaliwa kuolewa atajaaliwa mtoto inshaa Allah
Pole mdogo wangu Mwenyezi Mungu ni mwingi wa huruma usikate tamaa
Asante wema umeongea maneno mazuri yameniingia akilini imani ndiyo kila kitu
Wema upo sahihi,na muacheni aishi maisha yake
Masikini kataftia mtoto nje ya ndoa miaka mingi na mungu kamnyima bora ata angeolewaga tu huenda angebahatika sasa apo ata akilalamika sana tutamuonea huruma apate mtoto vipi na hajaolewa manake ukiachana na uislam ata ukristu haujaruhusu Zinaa sasa anadai vipi mtoto naktumia nguvu nyingi hali hana mme aaa unaboo cjui tuksaidiaje dada😢
Mungu atakusaidia ,,usikate tamaa
Mnakela sana kwann mnapenda kumuuliza swara La mtoto lakin😭
Allah akujaalie uzazi akuondolee hiyo dhana ya kutokupata InshaAllah .
Yuko Dodoma kwenye mambo ya chama anaulizwa mambo ya kupata mtoto. Mngewauliza hata mambo ya chama chao usikute hata hawajui wameenda kufanya nini Dodoma
Ndio maana vijitv vyenu havikuwi Kila umbea tu ,wema Hauna mtoto Hauna mtoto ,mtoto ni mungu anatoa sio binadamu hovyo
holywood imeshaungua
Usimalize maneno,mungu mkali
Tatizo huna msmamo wadini pia,,ati unapenda mbwa ,,dorooooo
hivo vipapy vinakazi yakumassage,bora uchukue hata watoto waliofiwa na mama zao hospital utunze
Usikate tamaa weme mungu anakuona
Si Tuishi Tunavyotaka. Tuishi Kwa Mujibu Wa Taratibu Za MOLA
Funga ndoa sister utapata mimba sio ufanye zinaa eti utarajie upate mtoto
Mungu hajashindwa. Unavyokiri ndivyo inavyokuwa. Jitamkie mema.
Wema toka nje ya tanzania njoo Ulaya unapandikiza na unazaaa... Vuka nje ya mipaka.
True
Hiyo hela anayo sasa? Wakatai hela ya gari alichangiwa
Kama mungu aishivyo utapakata wa tumbo lako Amini tuu
Hutakiwi kukata tamaa dada MUNGU uwa anampa mtu kwa wakati anao taka yeye bado unamda
Usikate tamaa Wema, sema itakuwa gharama kidogo, ila kupitia mwili wako inaonekana haiwezekani
Kivipi haiwezekani
@NeemaMasala-o7c
Haiwezikani kwa yeye kupata mimba, ila kama yai lake linatoka kila mwezi uwezekano upo, asingoje mpaka yaishe
Mwambie wema akue anaomba mugrupe ya kanguka ya mutumishi wa mungu anatokea Burundi anitwa ndikumana atapata mu toto
Wema acha bangi sauti imekua ya kiteja
Wakati unazitoa ulikuwa hujui yatakayotokea
Maswali Gani juu ya mtoto waandisheni acheni yanamuumiza huyo Binti,kwani Hanna maswali mengine nyinyi waandishi uchwara hovyoo,mukaulize maswali ya msingi kwani mbona vijijini Kuna habari nyingi
Hivi wewe ni mwislamu mbona huweleweki
jamani mbona leo uyu wema sauti yake iko ivi au nimesikia pekeangu?
Jamaniii itoshe waandishi acheni tena kumuuliza wema kuhusu kutopata mtoto nyinyi mnajali content tu ila muelewe mwenzenu anaumia sana jamani
kumbe uyu dada anajisauti baya jaman
MSIWE MNAULIZA SWALI KAMA HILO HADHARAN, MTOTO NI MAJALIWA
Una staili kuwa mkuu wa mkowa wema,ipo siku ,
Manunu amedogilava😂
Tusiwe tuna uliza maswali magum
Usikate tamaa wema mimi niko tiali kua surrogacy wako pls
Mmh dada umekomaa sura. Mwili hadi sauti shikamoo uzee
Uzee Kila mtu atauptia ni kawaida
😂🎉😂😂😂
Kila siku inapopita kila binadamu either anakuwa au anazeeka. Hongera wewe unayerudi nyuma badala ha kwenda mbele!
kumbe analingaga kutoa sauti ya kitoto anasauti kubwa mbaya
Anaongea kwa hasira apo
@@PrincessMaryam-c1ramna lolote sasa iyo ndio sauti yake
Sauti yako hiyo imekataaa
😂😂😂😂
me pia nashangaa sauti ya leo yakoroma sana
WEMA NAKUSHAULI NENDA KWA MWAMPOSA KAWE MTOTO UTAPATA WATU WANAFUNGYLIWA UZAZI KILA KUKICHA. HAKUNA KINACHOSHINDIKANA KWA MUNGU
😂😂😂😂😂
ACHA UPUUZI
UNAMUONA HUYU JAMAA WAKO NI MUNGU MTU
@@mokitaa8750 ametoa tu ushauri mbona povu linakutoka 😏
@@mokitaa8750 tulia nawewe katoa ushaul mimi nilikua sizai miaka kumi nimeenda kuombewa mwez wa kumi saiv nina mimba ya miez 3
@@AminaNzoka-i8q wewe kweli MUISLAM au munafiq