UTACHEKA! VITUKO Vya BARAKA MAGUFULI Kwenye KAMPENI ya MAMA SAMIA SULUHU, WATU Wote HOI...

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 20 дек 2024

Комментарии • 176

  • @frankzagarino3683
    @frankzagarino3683 4 года назад +12

    Kaka umeweza, hongera sana Kutoka 🇰🇪

  • @rajabuchina1527
    @rajabuchina1527 4 года назад +6

    Huyo jamaa anajua sana kaka ccm Namba liwani

  • @binbaya923
    @binbaya923 4 года назад +12

    Huyu jamaa kiboko. Respect bro

  • @rwandaafrika6173
    @rwandaafrika6173 4 года назад +12

    Ameen 💪✈🙏 C.C.M chama cha Mapinduzi ambao kinafa hamu haki ya binadamu na wanyonge

  • @peterkasenene5501
    @peterkasenene5501 4 года назад +3

    Japo anachekesha hua anaongea point

  • @mosesharerimana278
    @mosesharerimana278 4 года назад +17

    Huy braza huwa ananimalizaga sn😂😂

  • @wahiduitsverycommentmane5421
    @wahiduitsverycommentmane5421 4 года назад +9

    Hahahah adii raha jmn ccm ni noma sana nimefurah adii bas apewe ata udiwani jmn huenda atafanya mazuri Kama magufulii nimefurah alipo sema nchi za jirani zilitamani corona itufanye tuzagae na wamezagaa zagaa waooo hahahah kenya mpo au amjasikia iyo clips apoo hahhaha kenya oyeee Uhuru oyeee mtajijuuuu 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @queensjuma1832
    @queensjuma1832 4 года назад +2

    Jamani baba etu ebu mpeni japo kisehemu na yy apo ikulu yupo vzr huyu kaka km magufuli vile anavyoongea Jamani naipendaga sana 😄😄 sirudii m. B zangu CCM oyeeeeeeeeeeh 👍👍👍👍👍👍👍....

  • @safariautoservice7032
    @safariautoservice7032 3 года назад

    Yani jamaa anavuta shati kama MH Magufuli. Heehhh kali kweli

  • @EmannuelJohn-pj5mk
    @EmannuelJohn-pj5mk Год назад

    Hongera sana kaka

  • @djmeza411a58
    @djmeza411a58 4 года назад +16

    Barack magu oyeeee 🤣🤣🤣🤣🤣🇹🇿👏👏👏🙏🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🇹🇿

    • @rosedaudy2254
      @rosedaudy2254 4 года назад

      🇹🇿🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😋😋🤣🤣🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃

  • @BitiaMwalongo
    @BitiaMwalongo 8 месяцев назад

    Ulale Mahara pema peponi baba wa taifa ,mtani wangu magufuri😢😢😢😢

  • @VenasJoseph
    @VenasJoseph 7 месяцев назад

    Daa hivyo nimeipenda

  • @agiasaidi5294
    @agiasaidi5294 4 года назад +3

    MashaAllah

  • @japhetdaud3781
    @japhetdaud3781 4 года назад +6

    Baraka unawezay

  • @NoelSaramba
    @NoelSaramba Год назад

    Mtangazaji kamrushia baraka kwa kutumia lugha y kumpa Hali y tofauti na alivyokuwa awali...

  • @leonardmrope9528
    @leonardmrope9528 4 года назад

    Safi,,,,,Jamaa yuko sawa kbs

  • @iddmrimi6014
    @iddmrimi6014 8 месяцев назад

    Mwenyezi MUNGU akupunguzie Adhabu Kaburini Na akutoe mchanga machoni mwako JPM Ipo siku ttaona2 popote Duniani aminiiiiiii! Na Woteee waliotangulia mbele ya khaki mwenyezi mungu Makaburi yenu Yaww NURU Kwenu inshalla!

  • @BenjaminRajabu
    @BenjaminRajabu 9 месяцев назад

    Mr melick

  • @hassanmsipi4094
    @hassanmsipi4094 4 года назад +2

    Ila mzungumzaji wa kwanza amemtoa kwenye mood Baraka

  • @kiazikitamu3985
    @kiazikitamu3985 4 года назад +1

    Safi sana

  • @albertgilbert1664
    @albertgilbert1664 4 года назад +1

    Nice

  • @shukranitv2971
    @shukranitv2971 4 года назад +3

    Unajuuuaa kuupangilia maneno ya maguuu

  • @festoavither6065
    @festoavither6065 4 года назад +1

    Mwambaaa umetisha

  • @alfredjohn5693
    @alfredjohn5693 4 года назад +1

    Moja ya talent kubwa sana

  • @KINYONGATZTZkinyonga
    @KINYONGATZTZkinyonga 7 месяцев назад

    ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @SuperKibwana
    @SuperKibwana 4 года назад

    Safi sana aisee

  • @madiyaahmad7453
    @madiyaahmad7453 4 года назад +7

    Duniani wawili wawili yaani unanikosha kweli

  • @monicaluoga3112
    @monicaluoga3112 4 года назад +2

    Respect sana kwako 😂😂😂😂😂

  • @faithsaulo4289
    @faithsaulo4289 4 года назад +4

    Oyeee

  • @mustaphairunde7147
    @mustaphairunde7147 4 года назад +1

    Unawezaa brooo mdaburo juu

  • @menyajoseph9729
    @menyajoseph9729 4 года назад +1

    Kama JPM thanks for your comedy

  • @ericmbonabucha5790
    @ericmbonabucha5790 4 года назад +2

    hongeraaaaaaaaaa mzeee magu

  • @rosevalentin2330
    @rosevalentin2330 3 года назад

    waoooooo jaman uyu baba

  • @فاطمةسعيد-ث2ق
    @فاطمةسعيد-ث2ق 4 года назад

    Duu atali sana🤣🤣😁😁

  • @ThomasKaombwe
    @ThomasKaombwe Год назад

    Mtu huyu ajengewe Sanam pare stend ya mbz

  • @MeshackMsigwa-l3d
    @MeshackMsigwa-l3d 10 месяцев назад

    Hakuna watu hapo xaiz hamn xelikali wapigaj mtup

  • @zaitunimrisho1062
    @zaitunimrisho1062 4 года назад

    Duuh,huyu kweli Baraka Magufuli anaiga vizuri sauti ya Rais Magufuli

  • @zumbeshauri8114
    @zumbeshauri8114 4 года назад +2

    Huyu magu kabisa kiukweli

  • @suleimansmj9482
    @suleimansmj9482 4 года назад

    Ccm mm nawe dam dam daima ctokuangusha hakika nakupenda peke ako

  • @safari5774
    @safari5774 Год назад

    Uyu jamaa amefanana sana na gufuli kweli yuko na kipaji

  • @annelisejohns8777
    @annelisejohns8777 4 года назад +6

    Doctor pombe magufuri wakweli

  • @JumaShimende
    @JumaShimende Год назад

    Kiukweli watanzania tunafurahi sana Kwa kumkumbuka Mzee wetu magu.

  • @JumaShimende
    @JumaShimende Год назад

    Jamaa anaweza jaman mnatukumbusha mbali sana tumuenzi hayat magufuli Kwa Yale yake mazuri yote aliyo yaacha.

  • @vnhcstudios1943
    @vnhcstudios1943 4 года назад

    Aiseeeeh

  • @vumiliareonard4718
    @vumiliareonard4718 4 года назад

    Jamani ccm ni noma

  • @bonifaskalinga7381
    @bonifaskalinga7381 3 года назад

    namkubari Sana uyo jamaaa

  • @Konde255
    @Konde255 3 месяца назад

    Ingekewa nich za uraya huyu angerisi kiti Cha urais

  • @calvinkapinga8341
    @calvinkapinga8341 4 года назад +4

    kama yeye

  • @sniper93999
    @sniper93999 4 года назад

    Mbunge mteuliwa insha Allah 2020

  • @eliudimastertz3635
    @eliudimastertz3635 4 года назад

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂hatar sana

  • @jemimapamen4367
    @jemimapamen4367 4 года назад

    Good

  • @GloryMarwa
    @GloryMarwa 9 месяцев назад

    Anatisha

  • @athmanchihangu3384
    @athmanchihangu3384 4 года назад

    Jamaa anajua kuiga

  • @zenamilanzi1471
    @zenamilanzi1471 4 года назад +8

    Haaa wewe kiboko kwa sauti ya magu ongera

  • @rodrickgerald6151
    @rodrickgerald6151 4 года назад

    Baraka unaweza mbaka unaboa duuhh

  • @martinpatrickodhiambo2806
    @martinpatrickodhiambo2806 4 года назад +3

    Apo sasa. Ccm mbele magufuli tena

  • @hanscarlos4708
    @hanscarlos4708 4 года назад

    Keep it up BARAKA

  • @zaiiomary8970
    @zaiiomary8970 3 года назад

    Mama samia mpee kaz huyu hat yakuwa mshauri wako anauwezo na maono pia jamani

  • @salmaluhombero8466
    @salmaluhombero8466 3 года назад

    Eh kama magufuri

  • @aminamwangile4020
    @aminamwangile4020 4 года назад

    Steve nyerere kapata mwenza

  • @shukranitv2971
    @shukranitv2971 4 года назад

    Kaka wew unaweza Sana ila wankubania tu muda

  • @Georgekipusa
    @Georgekipusa 4 года назад

    Du jamani Mungu huyu

  • @suleimanali5270
    @suleimanali5270 4 года назад

    Umejitahidi ila baki kama Baraka igiza sauti na mengine ila nafasi na heshima yake

  • @KulwaGabliel
    @KulwaGabliel Год назад

    Soja

  • @babamimutye145
    @babamimutye145 4 года назад

    Jamaa kipaji

  • @geofreyjacob6452
    @geofreyjacob6452 4 года назад

    Nawakubali akuna watu wazuri kama viongoz wa CCM

  • @danielerasto8048
    @danielerasto8048 4 года назад

    Magufuri wa iringa sio mwanza BG up sana

  • @enockndesarioh9930
    @enockndesarioh9930 4 года назад +1

    Inapenzaje?

  • @nufantv5373
    @nufantv5373 4 года назад

    Naomba huyu mtu aendelezwe zaidi

  • @hajjimakame8584
    @hajjimakame8584 4 года назад

    Januar makamba

  • @Babu-vk9mo
    @Babu-vk9mo 6 месяцев назад

    Barbara mangufuli

  • @husnamfuko6136
    @husnamfuko6136 3 года назад

    Serekali yamagu impe kanafasi

  • @suleimanalisaid3178
    @suleimanalisaid3178 4 года назад +2

    Munachekeshwa na hao komedi hamna jipywa

    • @johnsport294
      @johnsport294 4 года назад

      Tatizo nn mkuu

    • @prettynesspastory3111
      @prettynesspastory3111 4 года назад

      Una tatizo gani kwani mkuu? Unaharisha tukuletee fragile au? Komed ulizofanya we ziko wapi tuzione

    • @rahmaoman5122
      @rahmaoman5122 4 года назад

      Ww kama hujacheka nn umeletwa huku?

    • @linahsemindu9575
      @linahsemindu9575 4 года назад +1

      @@prettynesspastory3111 achana kuwajibu mataila,ndugu yangu hao wanawivu wa chama😂

    • @jamillahmujungu2253
      @jamillahmujungu2253 4 года назад +1

      Pole ndugu. Kwani kampeni ni ugomvi. Unataka wanune. Au ulitaka waweke maji mdomoni? Hao wasanii ni watu wenye akili timamu na wanajitambua. Wanakubali na kutambua kazi kubwa ya kuijenga nchi aliyofanya Mhe Magufuli. Wameamua kufikisha ujumbe kupitia sanaa zao kumpongeza Rais wetu mpendwa. Mhe Rais.
      Nyinyi wapinzani "Mtakufa nacho kijiba cha Moyo"

  • @michaelsiweya6500
    @michaelsiweya6500 4 года назад

    ILa Baraka Magufuli kakosea kuchanua ndevu kwenye kidevu...Magu hawekagi hizo ndevu kivile

  • @salmadalaquimane2364
    @salmadalaquimane2364 4 года назад +1

    😀😀😀😀😀

  • @kennedymboma8268
    @kennedymboma8268 4 года назад

    Baba yupokazini

  • @lawaishekhestarboy657
    @lawaishekhestarboy657 4 года назад

    Ni yeye!!!!! Ni magu yuleyule

  • @ramajuma7880
    @ramajuma7880 4 года назад

    Balaka katisha atal

  • @elizasteven3558
    @elizasteven3558 4 года назад

    Rashidi msogoti

  • @hawahashimu7751
    @hawahashimu7751 4 года назад

    Oooo

  • @abdullahsultani4377
    @abdullahsultani4377 4 года назад

    Ilo choko iloo toka tala weeee njaaa tu

  • @xerxespersian1384
    @xerxespersian1384 4 года назад

    Sio mchezo

  • @allenudindo3803
    @allenudindo3803 4 года назад +6

    Haaaaaaahaaaaaa

  • @nurukitomary8087
    @nurukitomary8087 4 года назад +1

    😂😂😂

  • @abdullasuleiman4477
    @abdullasuleiman4477 4 года назад

    P

  • @theresiakamote883
    @theresiakamote883 4 года назад +1

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @boniphacedaudi7170
    @boniphacedaudi7170 4 года назад +2

    Kwanini,mmekula lambilambi za tetemeko kagela

  • @suleimanalisaid3178
    @suleimanalisaid3178 4 года назад +1

    Tumewachoka ccm mutaendea na hizo comed zenu tu

  • @Dm-yd1tl
    @Dm-yd1tl 4 года назад

    Fungulakimi empty

    • @frediricknandonde1690
      @frediricknandonde1690 4 года назад

      😂😂😂

    • @jarsaduba2626
      @jarsaduba2626 4 года назад

      Unajuaa fungu la kumi sio lazima anampa mtu hadharani so usifurahi kwa maana ametoka empty bro hajui kiloshofata na watu kama wewe dio wale wanatumia mwezako akifanikiwa du

    • @jarsaduba2626
      @jarsaduba2626 4 года назад

      @@frediricknandonde1690 unasheka nini sasa

    • @frediricknandonde1690
      @frediricknandonde1690 4 года назад

      @@jarsaduba2626 maanake mikutano yake mingi alizoea kupata hilo fungu la kumi na aliona leo mafungu yangekua makubwa 😁😁

    • @Dm-yd1tl
      @Dm-yd1tl 4 года назад +1

      @@jarsaduba2626 hahaha mskilize vzur misinamaana hio. Najua kashalipwa hawezi vamiatuu shuhuli nahawezi itwatuu Kama wemyeshuhuli hawatambui uwepowake. Usiwe mvivu wakufikiria sikuana maanahio. Msikilizevzuri nauwemwepesi wakuelewa kinamahali alilitaka hilofungu aliongea kwanukta Kwa fumbo.

  • @eliamwasomola5074
    @eliamwasomola5074 4 года назад

    Unachefua ukidhani sifa kumbe uchafu

  • @abdullahsultani4377
    @abdullahsultani4377 4 года назад +1

    Mi nasemaga majitu yanayoipeda ccm nimataaira cmaliona hili choko

    • @paulmaziku240
      @paulmaziku240 4 года назад +1

      Na yanayoichukia ni malofa

    • @suleimansmj9482
      @suleimansmj9482 4 года назад

      @@paulmaziku240 hahaaaaaaaaaaaaa naam mbona watapata tabu sanna ccm baba letu Mimi kuihama ccm labda kufa bila hivyo nitaendelea nayo

  • @evansmlalo4049
    @evansmlalo4049 4 года назад

    CCM NA RUSHWA ZENU MKIPONA SAFARI HII MBELE YA CHADEMA NA ACT WAZALENDO NITAAMINI NYIE WACHAWI NA CCM MKILETA ZA KULETA MUMEWAKARIBISHA G10 na G20 KUJA KUTOA MAAMUZI.

    • @malaikamushi6032
      @malaikamushi6032 4 года назад +2

      Kwani miaka yote hao hawakuwepo 5 mingine ccm hoyeeeeeeee nakukera tuu

    • @mwlelishamathayo6528
      @mwlelishamathayo6528 4 года назад +1

      Utasubir sana G10 watafanya maamuzi kwako

    • @monicaluoga3112
      @monicaluoga3112 4 года назад

      Kwn unateseka?

    • @saimonbagwanya7052
      @saimonbagwanya7052 4 года назад

      Umefilisika kimawazo ww hoja uliyoitoa niyakimaskini njoo ujifunze ccm

    • @suleimansmj9482
      @suleimansmj9482 4 года назад

      @@saimonbagwanya7052 hahaaaaaaaaaahaaahaaa

  • @jamespeter2639
    @jamespeter2639 4 года назад +3

    Mmebaki hivyohivyo ndo mnatufanya watanzania Kama Midori mtuchekeshe wakati njaa mpaka mifukoni

  • @leonardmrope9528
    @leonardmrope9528 4 года назад

    Safi,,,,,Jamaa yuko sawa kbs