MASANJA AIGIZWA LIVE NAYE AKIWA HAPO HAPO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 29 дек 2024

Комментарии •

  • @soloartist_ivanvespalusind1609
    @soloartist_ivanvespalusind1609 3 года назад +11

    Da! Huyu jamaa nomaaa sana, nimemvulia kofia kuliko wote niliowahikuwasikia kwenye hii fani. Respect Bro

  • @evangelistbena3774
    @evangelistbena3774 4 года назад +3

    Hahaa, kweli watu wanazo vipaji kweli-kweli, evangelist benard from kenya..... I like this

  • @marianachristophory4916
    @marianachristophory4916 4 года назад +5

    Dahh yaaani Mungu utukuzwe kweli, maaana uumbaji wako niwaajabu. Asante Mungu.

  • @johnsonmushi4537
    @johnsonmushi4537 2 года назад +2

    Jamaa yuko vzr sana,,
    Big up brother

  • @MohamedibrahimMwatembo
    @MohamedibrahimMwatembo Месяц назад

    Mdogo wangu shafii mungu m/mungu akupe maisha marefu uendelee kuliburudisha taifa kwa kuendelea kuiga sauti za viongozi

  • @dennisjulius7206
    @dennisjulius7206 4 года назад +3

    Uyu jamaa anaweza kaka msaidie, usimtupe, 😘😘😍😍😀😀😁😂 masanja umebarikiwa sana Amen

  • @georginnathornhill4052
    @georginnathornhill4052 4 года назад +5

    Wooooow huyu jamaa ni nouma .brother una kipaji .love mingi from st Louis 🇺🇸

  • @presseg.6362
    @presseg.6362 5 лет назад +57

    Masanja na senga ndo anawezea zaidi jamani, dahhhhhhhhh, kila mtu na kipaji chake

  • @jojofaraula5202
    @jojofaraula5202 2 года назад +2

    You’re more than a million keep it up and God bless you

  • @johnmlabu5247
    @johnmlabu5247 4 года назад +3

    Jamaa anaweza sanaa masanja msaidie sana huyu ndugu.

  • @abedysteven4930
    @abedysteven4930 2 года назад +2

    Huyu jamaa n hatari xana Zaid ya xana!!!❤️❤️❤️❤️

  • @furahinimbwambo
    @furahinimbwambo 4 года назад +297

    Ambaye anamkubali huyu jamaa like zake hapa tafadhali

  • @ololengida7769
    @ololengida7769 4 года назад +11

    This guy is talented, big up brother

  • @ashuramhando5285
    @ashuramhando5285 4 года назад +3

    Dogo we mkali Sana Mungu akuongoze ktk kipaji chako Aamin🙏🙏🙏🙏

  • @gauedwin1960
    @gauedwin1960 5 лет назад +7

    Igwe Igwe 👏👏👏👏 masanja mwenyewe..how does he do it..amazing 🔥🔥🔥

  • @lusekelodaison8159
    @lusekelodaison8159 4 года назад +13

    Shafii Mungu akuongoze brother

  • @annakattoa7502
    @annakattoa7502 4 года назад +4

    Huyu jamaaa nihatari sanaaaaaaa hii talent marekani angekuwa tajiro maana angefanya Sana voice over

  • @salamanauthartanzania6301
    @salamanauthartanzania6301 4 года назад +2

    Kusema za ukweli jamani huyu kaka anakipaji sana. MUNGU Amuweke miaka 10000

  • @sylverhance3254
    @sylverhance3254 5 лет назад +70

    Huyu jamaa ni talented @fundi

  • @BensonKitalile
    @BensonKitalile 8 месяцев назад

    Sijajua Kama kila ulalapo unamshukuru Mungu kwa kipawa alichokupa! Big up Sana.

  • @cyrusmichael6906
    @cyrusmichael6906 4 года назад +11

    This man so talented i admire it!

  • @fredchaki9591
    @fredchaki9591 5 лет назад +13

    Very talented boy tz is home talents

  • @ifgodsayyes.nobodycansayno1796
    @ifgodsayyes.nobodycansayno1796 4 года назад +1

    MR MAGUFULI SI MTU WA MCHEZO MCHEZO KAMA VIONGOZI WA KENYA BIG UP SANA MUNGU AKUPE MAISHA MAREFU 🇰🇪🇨🇿

  • @wailesdeus3764
    @wailesdeus3764 5 лет назад +9

    Hongera sana kwa kipaji sema kwa sauti ya magufuli bado tumuachie baraka magufuli 😂😂

  • @gm7045
    @gm7045 5 лет назад +6

    New Tanzanian king 👑 of comedians 🤣🤣😂😂👌👌🙌

  • @izackjonas458
    @izackjonas458 4 года назад

    Masanja na Senga,katoa kopi

  • @divaimafuru2394
    @divaimafuru2394 4 года назад +3

    Very talented brother 👏👏 God bless u

  • @megoj5179
    @megoj5179 2 года назад +1

    Wow 🤩 very talented impressionist!!!

  • @denisjonathan4919
    @denisjonathan4919 3 года назад +1

    Safi sana ***** five star zote zako mchekeshaji wetu.

  • @esnathjoseph4844
    @esnathjoseph4844 4 года назад +9

    Leo ndo nimekukubali, unaweza

  • @NR-ll4sr
    @NR-ll4sr 4 года назад +5

    He is very talented, God bless him

  • @theonestinaamandusi3140
    @theonestinaamandusi3140 4 года назад +2

    Kaka tunaweza hongera sana

  • @lamerckjesus5404
    @lamerckjesus5404 4 года назад +2

    Jamaa acha aitwe jamaa huyu jamaa anaweza kukuibia kiraiiiiiiiisi!

  • @dalmanutadalmanuta4102
    @dalmanutadalmanuta4102 3 года назад +1

    Daaah hongera saana bro

  • @lzacktz1170
    @lzacktz1170 4 года назад +4

    Hongela Sana upo vizuri kaka

  • @pierrecardin03
    @pierrecardin03 4 года назад +4

    100/1000 💪🏾🇧🇮 uyu jama nomaa kabisa.

  • @mkwenyachristopher9310
    @mkwenyachristopher9310 4 года назад +10

    Masanja 100
    magufur 100
    kikwete 95
    nyerere 85
    senga 100

  • @berthamakortha8387
    @berthamakortha8387 Год назад

    Safiiiiii SANA UNAPATIAA WEEEE

  • @honorinamrema855
    @honorinamrema855 4 года назад +5

    Masanja 100%
    Senga 100%

  • @masundelwa
    @masundelwa 4 года назад +6

    Kipaji chake Cha sauti kimeficha SAUTI YAKE HALISI😂🤞🤣

  • @janengaga2928
    @janengaga2928 2 месяца назад

    Yupo vizuri .hongera zake

  • @pencelherrera1225
    @pencelherrera1225 5 лет назад +35

    Huyu jamaa ckujua kma ana kipaji hivii 😂😂

    • @chirstinaelia6847
      @chirstinaelia6847 4 года назад

      Anastahili kupewa uwaziri huyu jamaa ametishaaaa

    • @naomingoti9391
      @naomingoti9391 4 года назад +1

      Yani kanichekesha Sana yupo vizuri

  • @aginiweyessayakyando9855
    @aginiweyessayakyando9855 5 лет назад +6

    Kwa Kikwete na kwa masanja umetosha sanaaa tuu

  • @lyrics_forum
    @lyrics_forum 3 года назад +3

    Bw. Mkubwa Njoo Kenya Una Zawadi yangu kama Kigogo🔥

  • @anthonyjoseph4979
    @anthonyjoseph4979 5 лет назад +9

    Masanja Ndio Anampatia Kabisa Sauti Og

  • @ramadhanmolell2356
    @ramadhanmolell2356 4 года назад +2

    Hongera Dana uko vizuri mno

  • @godfreyjulius6661
    @godfreyjulius6661 4 года назад

    Hongera sna broo kwamasanaja na senga Umenifurahisha sna kaka

  • @izackjonas9002
    @izackjonas9002 4 года назад

    Huyu jamaa ni noma kwelikweli,yaan anatoa kopi ya Masanja,Magufuli na Kikwete

  • @Gra898
    @Gra898 3 года назад +4

    The guy gat talent

  • @kilongofilms
    @kilongofilms 4 года назад +3

    Nafurahi kuendelea kukuona unapasua mawimbi best... Ulipo toka ni mbali

  • @vincentauxerbius7554
    @vincentauxerbius7554 5 лет назад +46

    Huyu jamaa engeener wa sauti anastaili zawad 😂😂😂😂😂😂😂📣📣📣📣📣📢📢📢📢au volume haitosh

  • @amanimanase5794
    @amanimanase5794 5 лет назад +13

    Jamaa uko vzr yaani hutoki kweny point ya kila unaemwigiza

  • @enoshmhemakapaya
    @enoshmhemakapaya 4 года назад +83

    Masanja 100%
    Senga 100%
    Kikwete 98%
    Nyerere 90%
    Magufur 85%
    Pembe 70%

  • @haikapatrick3988
    @haikapatrick3988 2 года назад

    Unajua broh

  • @angellomarcel5677
    @angellomarcel5677 4 года назад

    huyu jamaa anaweza asee...ana sauti kibao big up sana kwake

  • @teebeka9117
    @teebeka9117 4 года назад +1

    Kauwa kabisa

  • @assab3167
    @assab3167 2 года назад

    Jamaa anakipaji sana

  • @gadiyemarciano1750
    @gadiyemarciano1750 4 года назад +7

    Dyuuu bro uko juu you are gifted

  • @fidesbernard4835
    @fidesbernard4835 2 года назад +1

    Hongera sana sana uko vizuri

  • @johnallen5238
    @johnallen5238 2 года назад

    Dah noma sana

  • @jayculture7744
    @jayculture7744 5 лет назад +5

    100+masanja
    100+joti
    100+macregani
    100+mawalim nyerer
    100+jk kikwete
    100+John pombe magufuli
    umetixha xana brother jk comedy

  • @barakamcharo6086
    @barakamcharo6086 4 года назад +24

    Kweli tunapoelekea viongozi watabakia ofisini nchi itaongozwa na waigizaji.

  • @agaowajouniar
    @agaowajouniar 4 года назад +3

    Kikwete 💯 senga 💯 Masanja 💯

  • @naimumwahu7723
    @naimumwahu7723 4 года назад +8

    Hivi huyu jamaa saut yake og ni ipi🤣🤣🤣

  • @orestonjalika632
    @orestonjalika632 3 года назад

    Huyu kijana ni moto wa kuotea mbali, keep it up bro jk comedian

  • @atanasjisonge2538
    @atanasjisonge2538 4 года назад

    Umetisha sana mzee baba kwa masanja na senga

  • @augustinomwamasinga2200
    @augustinomwamasinga2200 4 года назад +3

    Masanja100%, senga100%,kikwete97%,magufuri,95% pembe80%

  • @zakayomoturi5953
    @zakayomoturi5953 3 года назад +1

    Huyu ni noma baraka asijisumbue

  • @rehemaradhid5716
    @rehemaradhid5716 5 лет назад +7

    😂😂😂😂😂100 kwa 100 uko huh sana usikanyage chini

  • @aristocresseverian6272
    @aristocresseverian6272 4 года назад

    Jamaa akifikaga kwa kikwete uwa ananyonga sana

  • @magejoseph9258
    @magejoseph9258 4 года назад

    Hongera kwake Mungu amjalie kipaji chake

  • @dannyleo7006
    @dannyleo7006 4 года назад +3

    More than all fantastic

  • @fatumaal4988
    @fatumaal4988 3 года назад +1

    So talented haki🤣🤣🤣🇰🇪

  • @josephathashimu1896
    @josephathashimu1896 5 лет назад +8

    Talented

  • @consolatamedard6593
    @consolatamedard6593 Год назад

    😂😂😂 umeweza kaka

  • @evaristaron6282
    @evaristaron6282 4 года назад +2

    Imekaa poa bonge la talent

  • @halimahalmaty6607
    @halimahalmaty6607 5 лет назад +9

    😂😂😂😂😂😂uwiiiiiii umejua kunfurahixha jmn khaaaa!!!!

  • @mdashirumbeo.6431
    @mdashirumbeo.6431 4 года назад +1

    . Mjomba umetisha sana!

  • @johwizboi4210
    @johwizboi4210 3 года назад +3

    Hvi anaikumbuka hata sauti yake kwel?😂😂

  • @juniorben3474
    @juniorben3474 4 года назад +5

    masanja 100%
    senga 100%
    nyerere90%
    kikwete 85%
    JPM 85%

  • @jannuary26
    @jannuary26 5 лет назад +5

    Kwa Masanja 🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼

  • @fausterkanyonga4366
    @fausterkanyonga4366 4 года назад +1

    umetisha knoma😀😀😀😀

  • @mctcher524
    @mctcher524 4 года назад +1

    Ako juu hongera kwake

  • @zaituniyusuph7250
    @zaituniyusuph7250 4 года назад

    Jaman huyu Kaka noma aiseee umetisha sana sauti umezipatia sana

  • @rahabuhuru3041
    @rahabuhuru3041 3 года назад +2

    Umeiweza sana ya magufuri

  • @meckngenzi1690
    @meckngenzi1690 3 года назад +3

    Very talented

  • @nicholausmaganga1180
    @nicholausmaganga1180 4 года назад +2

    Safi sana mzee

  • @nassibushemndolwa7521
    @nassibushemndolwa7521 2 года назад +1

    This man so talented i admire it

  • @jimmymberesero7350
    @jimmymberesero7350 4 года назад

    No 1 Tz .. Hatariiii

  • @dannyleo7006
    @dannyleo7006 4 года назад +4

    More Fantansic

  • @abdallahamad4682
    @abdallahamad4682 4 года назад +1

    We jamaa nomaa salute... I see totally Senga in you.

  • @agnesjoseph3790
    @agnesjoseph3790 4 года назад +11

    Kama unamkuli uyu jamaa like hapa👇👇👇

  • @agnesoqwaa9848
    @agnesoqwaa9848 4 года назад

    Umetisha kaka angu

  • @ridhiwanially6609
    @ridhiwanially6609 4 года назад +19

    Kikwete kampatia hadi swaga

    • @tinajoe5487
      @tinajoe5487 4 года назад

      Sana yani

    • @ismameki7355
      @ismameki7355 4 года назад +1

      Jamaa anajua kumuiga rais makufuli. Amempatia sana.

  • @violethroth9076
    @violethroth9076 4 года назад +2

    Duuh umenishinda tabia upo vzr

  • @BenMtweve-d1b
    @BenMtweve-d1b 4 года назад +8

    Huyu mwamba mbish😂😂😂

  • @dennislucas6998
    @dennislucas6998 2 года назад +1

    R.I.P JPM we are remember 4ever 🇹🇿🙏

  • @aidasamwely8820
    @aidasamwely8820 4 года назад +5

    He's talented for sure Tanzania up

  • @wenceslausmgegela8328
    @wenceslausmgegela8328 4 года назад +1

    Salute jamaa unajua aiseh

  • @queenmwasanguti2370
    @queenmwasanguti2370 4 года назад +1

    Umetisha, daa!