Amina mtumishi wa BWANA YESU, Ujumbe wako ni mzuri sana tena ni injiri ya kweli na ulivyoanza sivyo ulivyo sasa, nakuombea neema kwa BWANA YESU uendelee kunyenyekea mbele za YEHOVA.
nimeikubali injili hii,Mungu akupe kudumu katika kweli yake,isipokuwa kanisa limepotoka kwa kiwango kikubwa mno,cku hizi wachungaji wanaajiri hadi watu wafanye vituko kwa jina la miujiza,kizazi kilicholaaniwa,watoto wa majoka.watu wamekataa garama ya kumtafuta Mungu wanakimbilia undanganyifu wa shetani.
HAKIKA YESU aendelee kukunoa nmeipenda hii sifa na utukufu ni kwa Mungu Emanuel endelea kukaa barazan kwa Mungu tuendelee kupokea damu ya YESU iendelee kukutunza
To be honestly....Naelewa Sana Mahubiri ya Mtumishi anahubiri Kwa lugha nyepesi na inaeleweka vzr Sana. Sasaiv ni postor namba Moja Kwangu Kwa kumskiliza na kunisaidia kumjua Mungu
Hongera Sana Mtumishi. "Hizi shuhuda zinaua Kanisa la Kiroho na kujenga Kanisa la mwili" Maana yake tunaua Kiroho ambacho ndilo Kanisa la kweli la Kiroho na tunatoa shuhuda za uongo kujenga Kanisa la mwili yaani kujaza majengo yamakanisa yetu kupata sadaka nyingi na kupata sifa za wingi wa Watu katika madhehebu yetu.
Amen Mtumishi ubarikiwe sana kwa neno zuri hayo maigizo yanayoendelea yanaua mioyo ya watu wanaompenda Mungu. Kutokana Mtu anampenda Mungu vile alivyo na anatarajia kupokea lolote kutoka kwa Bwana na ndilo litakuwa sahihi kwakua Mungu anajibu kwa wakati wake na ndio sahihi lakini watumishi wasiowaaminifu hudanganya wengi kanakwamba wana ratiba ya Mungu matokeo yake watu wanaanza kutangatanga miaka hadi miaka hawajibiwi wengine mpaka wanakufa kwa udanganyifu.
aisee umetisha sana big point watu wanamchezea sana mungu makanisa yamekuwa nalamli zauganga wachungaji wanekuwa matapeli tu wanatafuta pesa kwakutapeli wajinga wanao jiita waumini wenye akili ndogo watu duniani wanaangamia kwakukosa maalifa
Siuondoke hapo kwenye hiyo madhabahu ndugu?, Yaani umeshajua kuna shida bado upo hapo?,utakuwa umefungwa,hapo siyo pa kukaa kimbia na naamini dodoma hapo kuna madhabahu nyingi za kweli.
Toa boriti kwenye jicho lako. Na wewe ni wale wale ushasema uongo tayari. Hakuna maneno, wingu dogo kama kaganja ka mtoto. Wewe ni muongo wa madhabahuni. Na madhabahu isemayo uongo ni ya shetani na wakala wake. 1Wafalme 18:44.
ASANTE MTUMISHI MAANA UMEPIGA PANAPOUMA, KUNA WATUMISHI HATA MIMI HUWA SIWAELEWI, SHUHUDA ZAO NA MAHUBIRI YAO NI MEPESI WANATUPULIZIA BILA KUKEMEA DHAMBI.
Asante sana, kwa injili ime ni jenga mtumishi wa MUNGU, ubarikiwe 🇨🇩
Safi sana somo limesomeka wenye sikio wamesikia
Amina mtumishi wa BWANA YESU, Ujumbe wako ni mzuri sana tena ni injiri ya kweli na ulivyoanza sivyo ulivyo sasa, nakuombea neema kwa BWANA YESU uendelee kunyenyekea mbele za YEHOVA.
Balikiwa sana Mutumishi na kufatiliya toka Congo Butembo 🎉🎉🎉
Hakika huu ni ujumbe mzuri Sana, MUNGU ambariki mtumishi wake❤❤
nimeikubali injili hii,Mungu akupe kudumu katika kweli yake,isipokuwa kanisa limepotoka kwa kiwango kikubwa mno,cku hizi wachungaji wanaajiri hadi watu wafanye vituko kwa jina la miujiza,kizazi kilicholaaniwa,watoto wa majoka.watu wamekataa garama ya kumtafuta Mungu wanakimbilia undanganyifu wa shetani.
Amina.Hiyo ndio injili ya kweli Mtumishi.Barikiwa
Ninampa Mungu utukufu kwa ujumbe huu. Mwenye dhamira ya mbingu ataelewa
Hongela masanja uko sawa hao watumishi waongo wapigwe kwa Nina la yesu
Amen ni kweli
HAKIKA YESU aendelee kukunoa nmeipenda hii sifa na utukufu ni kwa Mungu Emanuel endelea kukaa barazan kwa Mungu tuendelee kupokea damu ya YESU iendelee kukutunza
Ameen barikiwa San mtumishi
To be honestly....Naelewa Sana Mahubiri ya Mtumishi anahubiri Kwa lugha nyepesi na inaeleweka vzr Sana. Sasaiv ni postor namba Moja Kwangu Kwa kumskiliza na kunisaidia kumjua Mungu
Barikiwa Dady Mungu Akuinue
Very very unique leason
Unasema ukweli Mtumish wa mungu
da! nimecheka sana naa nimebarikiwa yan nimebarikiwa huku na enjoy asanteee my pastor
Ooh yes 💪, Mtumishi hana mbingu yakunipeleka,na hili swala la uongo Mungu ingilia kati maana uongo umezidi🙏
Amen pastor very true Mungu hasaidiwi kazi
Endelea masanja na injili ya kweli mungu akutie nguvu
Nimekuelewa sana mtumishi waambie hao wataka sifa na wapiga hela.
Safi sana Emmanuel, wewe siyo Masanja Mkandamizaji tena, Mungu amekubadilisha jina, Wewe ni Emmanuel Mungu pamoja nasi
Ni wakati wa kusema ukweli
Safi sanaaaaaa God bless you
Hongera Sana Mtumishi. "Hizi shuhuda zinaua Kanisa la Kiroho na kujenga Kanisa la mwili" Maana yake tunaua Kiroho ambacho ndilo Kanisa la kweli la Kiroho na tunatoa shuhuda za uongo kujenga Kanisa la mwili yaani kujaza majengo yamakanisa yetu kupata sadaka nyingi na kupata sifa za wingi wa Watu katika madhehebu yetu.
Asante kwa ujumbe mnzuri umenisaidia mengi
🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Umenena baba
God bless you❤
Amen Mtumishi ubarikiwe sana kwa neno zuri hayo maigizo yanayoendelea yanaua mioyo ya watu wanaompenda Mungu.
Kutokana Mtu anampenda Mungu vile alivyo na anatarajia kupokea lolote kutoka kwa Bwana na ndilo litakuwa sahihi kwakua Mungu anajibu kwa wakati wake na ndio sahihi lakini watumishi wasiowaaminifu hudanganya wengi kanakwamba wana ratiba ya Mungu matokeo yake watu wanaanza kutangatanga miaka hadi miaka hawajibiwi wengine mpaka wanakufa kwa udanganyifu.
Amen ubarikiwe mtumish wa Mungu
Amina mtumishi
aisee umetisha sana big point watu wanamchezea sana mungu makanisa yamekuwa nalamli zauganga wachungaji wanekuwa matapeli tu wanatafuta pesa kwakutapeli wajinga wanao jiita waumini wenye akili ndogo watu duniani wanaangamia kwakukosa maalifa
Glory to God leo nmepata kitu kikubwa Sana kwamba Mungu asaidiwi we need to live with the truth God bless you pastor
Masanja kagusa maeneo ya watu Mungu akulinde
Saafi mtumishi
Emmanuel
Barkiwa mtumishi wa mungu
Amina amina
neno zuri mno, sikutarajia kama ungefundisha hivi.. Mungu akubariki mno
Safiii Mtumishi Ubarikiwee saaaaana Masanja Nimekubarii Ubarikiwee mtumishiiii
Hakika Mungu anakutumia, Aman of God
Kuna watumishi Mungu anawatumia kwa viwango vya juu Sana na hao hawana muda wa kuongea Mambo ya wengine
Ujumbe ulionyooka kama rula ni ukweli mtupu
Uzidi kubarikiwa mtumishi kwa Jina la Yesu Kristo
Hii ya Leo kwinini. Imenikaa kisawa sawa. Umeningezea maarifa pastor masanja. Umenipa wimbo hapo nanitakuja nayo huko redio kwako. Amen😅
Injiri Hii Imenyoka Mtumishi Haijachakachuliwa Mungu Akutunze Saana Mtumishi
Yani sisi tunamchungaji mwongo kweli natamani hata ungekuwa na kanisa Dodoma ,ubarikiwe sana,🙏
Siuondoke hapo kwenye hiyo madhabahu ndugu?,
Yaani umeshajua kuna shida bado upo hapo?,utakuwa umefungwa,hapo siyo pa kukaa kimbia na naamini dodoma hapo kuna madhabahu nyingi za kweli.
UTUKUFU KWA BWANA ,,AMINA LEO NIMEPATA kikubwa Sana kwamba Mungu asaidiwi ,UONGO MBAYA SANA
Hiyo baba nakupa zote miamia ,wape neno
Safy ❤
Amina mtumishi MUNGU akubariki.
Hawo.wachungaji.wamafuta.wanasaidiwa.mafirimasoni.
Mwanangu uko vizuri
Glory Glory to God🙏
Pastor masanja nimekuelewa waambie Baba waache ukanjanja"
Nimekuelewa sana pastor
Mungu akuinue Mtumishi wa Mungu.
Asante mtumishi wa Mungu, uko juu
Ubarikiwe sana mchungaji
Amina sana baba umenitoa mahali Amen 🙏🙏
Sijawahi kuchoka kukusikiliza, Mungu aendelee kukupandisha juu zaidi, unabariki wengi.
Ubarikiwe sana kwa mahubiri ya kweli
Toka rwanda hapa tunawapata vizuri , tupe tu ukweli japo mchungu
Yes yes.. Amen.. man of God, hiz ndio nondo zinazotakiwa kwa kizazi cha leo
Masanja leoooooo...... Umefurumushaaaa
Chuma la JEHOVA 🙏
Baba ubarikiwe sana
Mungu akubariki kwa kweli maan unaongea ukweli kabisa
Kandamija Ng'wanawaneee
Sawa mtumishi ila ila hayo mavazi uliyo vaa sina uhakika kama kama unauelewa nayoo!!
Amina Mtumishi Sema Kweli
Masanja wewe nikomidiani lakini unachakifanya hapo kanisani mungu atakulipa kwa hiyo elimi unayoitoa binafsi nimekuelewa sana❤
Ubarikiwe sana
Afu we masanja ni comedian kanisani 😂😂😂😂
Amen amen barikiwa MTUMISHI
Seja abençoado pastor
Ameeen Ameeen Pastor.....
Nakuelewa.baba
Huyu anaweza kuwa mchungaji wangu,
Umenikumbusha mengi....iwe heri Kwa wengi
Kaa Imara unatangaza vita .
😂😂😂😂safiiiiii sanaaaaaaaaaa
Waongo hawaendi mbinguni
Ila hapa rafiki yangu hongera sana sana huyu ni Mungu amekutuma
Ni kweli kwa mahubili haya ni mungu anamtuma
Umenena mtumishi.
Amen kubwa
Preach preach pastor
Bishop tenaa???
Ameeen baba 🙏🙏🙏
Kama uongo wa kiislamu
Ameeeeeeen
Amen Amen
Ameni wewe nichuma vunja nondo mshua
Nguruvi aghukyinighake mlongovangu
Toa boriti kwenye jicho lako. Na wewe ni wale wale ushasema uongo tayari. Hakuna maneno, wingu dogo kama kaganja ka mtoto. Wewe ni muongo wa madhabahuni. Na madhabahu isemayo uongo ni ya shetani na wakala wake. 1Wafalme 18:44.
Kandamiza mkuu
Well said
Amen kaka
Aminaaaaa
Masanja huko kijana good
Ahsante
ASANTE MTUMISHI MAANA UMEPIGA PANAPOUMA, KUNA WATUMISHI HATA MIMI HUWA SIWAELEWI, SHUHUDA ZAO NA MAHUBIRI YAO NI MEPESI WANATUPULIZIA BILA KUKEMEA DHAMBI.