Shughuli nzima ya maziko ya hayati Magufuli

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 20 дек 2024

Комментарии •

  • @neemamalamla
    @neemamalamla Год назад +6

    Hatimaye Leo umetimiza miaka miwili baba mwenyezi Mungu akuangazie mwanga wa milele cku zote Amen

  • @VerdySam-wr8ix
    @VerdySam-wr8ix 7 месяцев назад +3

    Pumzikaa Baba umepigana vita mwendo umeumaliza Mungu aiweke Roho yako mahali pema peponi AMEN

  • @Raymondnoely
    @Raymondnoely 3 месяца назад +2

    Rais wa wanyonge umepambana sana wema akiba daima tunakuenzi❤❤❤❤

  • @JohnFrederick-n4t
    @JohnFrederick-n4t 11 месяцев назад +1

    Poleni sana watanzania wote na wa afrika wote kwakupotelewa na raisi wa afrika Dr.pombe joseph magufuli, Afrika nzima itahendelea kukukumbuka kwaazuri ulotufanyia. Mungu aluladhe salama

  • @FlorimondMpoyi
    @FlorimondMpoyi 3 месяца назад +2

    Mon Président que j'aimais beaucoup, repose en paix raisi. Depuis la 🇨🇩

  • @josephndali9584
    @josephndali9584 3 года назад +7

    Rais ambaye nilimkubali sana, kwa kazi nzr

  • @TarimoTarimo-pf5lo
    @TarimoTarimo-pf5lo 11 месяцев назад +4

    Kama ni mungu ndiyo kaya fanya haya nayapokea laiti Kama ni mikono ya wanadamu, watapata majibu yao mapigo zaidi ya farao

  • @VerdySam-wr8ix
    @VerdySam-wr8ix 7 месяцев назад +3

    Pumzika kwa Amani Baba magufuri Mwili umelala ROHO HAIJALALA BADO UNAISHII MIOYONI MWETU WATANZANIA WAKE KWA WAUME VIJANA WAZEE NA WATOTO PUMZIKA KWA AMANI..

  • @Changuboymuzarendotz
    @Changuboymuzarendotz 10 месяцев назад +1

    Baba lale mahari pema peponi kwani MUNGU ndiye mwamuzi WAKILA nafisi ya mwanadamu baba pumuzika kwa aamani ya, BWANA MUNGU akurinde daima,,,,, ❤

  • @sevelinakajuni7082
    @sevelinakajuni7082 3 года назад +3

    Bado unaishi ktk mioyo yetu Magufuli tunayaishi mengi uliyotutendea Mungu aendelee kukupumzisha kwa amani .Milele na milele amina

    • @twahambegu8065
      @twahambegu8065 3 года назад

      Jamani tunakukumbuka dsima mpendwa wetu rais was wanyonge

  • @EsterWaluye
    @EsterWaluye Месяц назад +1

    Apumzike Kwa amani kipenz8 Cha wa Tanzania.Hakika tutakukumbuka daima

  • @chantalkanyange2038
    @chantalkanyange2038 3 года назад +1

    Ulikua shujaa wa Africa nzima.roho yako Mungu ayilaze pahali pema.you'll respected for ever.

  • @OswadiSililo-wi8ig
    @OswadiSililo-wi8ig 11 месяцев назад +1

    Ulale pema baba.tutakukumbuka daima.AAMEN

  • @Changuboymuzarendotz
    @Changuboymuzarendotz 10 месяцев назад +1

    Pumuzika KWA amani na uupendo raisi wetu wa iinchi YAKO muheshi,miwa laisi docta joni pombe magufuri 🎉❤ tume kuku,mbuka baba yetu wa taiifa hiiri las tanzania

  • @kadirdhulfiqaar7820
    @kadirdhulfiqaar7820 9 месяцев назад +2

    😭asante Mungu kwa maisha yake

  • @mwannerajabu8688
    @mwannerajabu8688 3 года назад +1

    Endelea kupumzika baba💔. Ila wanajeshi sijui wanaamrishana Kupitia lugha gani au wenyewe waelewana🙌

  • @EstherThole-m6z
    @EstherThole-m6z Год назад +1

    May your gentle soul continue resting in peace your Excellency Dr.John Pombe Joseph Magufuli son of Africa.

  • @SalomeMlela-f9l
    @SalomeMlela-f9l 10 месяцев назад +2

    Haita jirudia Tena mungu amlaze pema

  • @RahelCosmas
    @RahelCosmas 4 месяца назад +1

    Mungu amlaze mahali pema

  • @paulomacha7981
    @paulomacha7981 Год назад +3

    Hakuna siku ambayo siiwezi kuisahau kama hiii 17/3/2021

  • @EliwadaKikoti
    @EliwadaKikoti 3 месяца назад +1

    E mungu wewe baba weee stakusahau maishan mwangu

  • @JoyceMichael-e7z
    @JoyceMichael-e7z 11 месяцев назад +1

    😢😢😢tutakukumbuka sana baba yetu

  • @DomiJohn-jz3ik
    @DomiJohn-jz3ik 7 месяцев назад +2

    Poaa 🙏🙏🙏😭😭😭🙏

  • @bedakatimba9524
    @bedakatimba9524 3 года назад +1

    Tuli mpenda sana lakin mungu kampenda zaidi apumzike kwa amani amina,!

  • @dd-yc1mw
    @dd-yc1mw 2 года назад +3

    Nitakukumbuka daima JPM

  • @mariamfritsi4943
    @mariamfritsi4943 2 года назад +1

    Mungu akampokee kwa amani na akupe furaha ya milele, Amiin.

  • @patriciamuka9435
    @patriciamuka9435 3 года назад +2

    Imana Imwakire kabisa, aruhukire mu mahoro aruta ya yandi yahaye igihugu.

  • @Charleshamisi-hi4nn
    @Charleshamisi-hi4nn 5 месяцев назад +2

    Bado twa kukumbuka😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @waontigo1234
    @waontigo1234 3 года назад +3

    I Hope J P Magufuli knew that he is a Jews and Israelite .SHALOM PAPA J.P.J.Magufuli🌷🌱🌺🌿🌼🌱🌴⛅ The sun will rise again

  • @kisengoabdallah1366
    @kisengoabdallah1366 3 года назад +3

    Tutakukumbuka sana 😭😭

  • @EstaMtandika
    @EstaMtandika 9 месяцев назад

    Mungu wangu watoto Waite nguvu pamoja na watanzania wote

  • @bedakatimba9524
    @bedakatimba9524 3 года назад +2

    Hakika ulikua kihoo cha watanzania jina lako liimidiwe amina

  • @JosephatChristopher-y5v
    @JosephatChristopher-y5v 11 месяцев назад

    Nitakukumbuka daima JPM rest internal peace😭😭😭😭😭😭

  • @judyncororo6140
    @judyncororo6140 3 года назад +1

    Let prayer together sisters and brothers in Jesus Christ God please i pray for joyful and peaceful and happiness Amen

  • @FaidhaIbrahimu
    @FaidhaIbrahimu 11 месяцев назад +2

    😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😢😢😢

  • @MufabiHotel
    @MufabiHotel 11 месяцев назад

    Ila kama ni wewe au mm kubuka mangu yupo kila laheli Baba wa taifa mungu akulide amina

  • @Mwana-d1u
    @Mwana-d1u 4 месяца назад +2

    Siku hii kama hukumwaga chozi lako basi weee ni zaidi ya mnyama

  • @mwaminibakari8260
    @mwaminibakari8260 10 месяцев назад +1

    Nami nakukumbaka sana baba usiku huu

  • @IreneCtz
    @IreneCtz 6 месяцев назад +5

    Bado tunakukumbuka

  • @jeremiemweze1525
    @jeremiemweze1525 3 года назад +2

    BWANA MUNGU AIWEKE ROHO YA RAISI MAGUFULI PEMBENI YAKE. RAISI ALIYE FAA SANA. HATUWEZI KUKUSAHAU. MAGUFULI HAKUWA RAISI WA TANZANIA TU ILA AFRIKA NZIMA ILIMUPENDA SANA

    • @stewartevara3582
      @stewartevara3582 3 года назад

      Pumzika Jemedari wetu Jembe letu Baba .pumzika kwa Amani

  • @fanueltarimo509
    @fanueltarimo509 3 года назад +3

    Mungu kwa nini yametokea haya!!!

  • @saidshaban9737
    @saidshaban9737 3 года назад +6

    Daaah sina neno umeondoka umetuacha imara nenda mzee nenda baba

  • @adamdotto3876
    @adamdotto3876 2 года назад +2

    Tunakubukababayetu magufuri

  • @EvodiaNkomola
    @EvodiaNkomola 10 месяцев назад +2

    Daima tutakukumbuka baba pumzka kwa amani tutaonana sku ya mwsho

  • @Phedester
    @Phedester 10 месяцев назад

    RIP babaa 10:20 10:20

  • @jdjjdjd3738
    @jdjjdjd3738 2 года назад

    Pole mungu akusaidie kwa mwendo

  • @ElikaBraison-yn1hm
    @ElikaBraison-yn1hm 6 месяцев назад +3

    Tulikupenda kipenz chet ila mung kakupenda zaid pumzika salama baba yet

  • @DamianiItandula
    @DamianiItandula 2 месяца назад +1

    Lala salama mkombozi wa wanyonge

  • @GemBoy-yw6cz
    @GemBoy-yw6cz 10 месяцев назад +1

    inaumaaa shujaaa

  • @steveathuman7795
    @steveathuman7795 3 года назад +1

    Ahimidiwe mungu

  • @idyharuna
    @idyharuna 9 месяцев назад

    Poleni xan

  • @arletteebene7128
    @arletteebene7128 3 года назад +3

    Mes sincères condoléances à tous les peuples Tanzaniens et à toutes la famille Présidentielle que Dieu vous fortifie, réconforte et vous console ds le nom de Jésus Christ. Paix à son âme.

  • @richardmwombeki8656
    @richardmwombeki8656 2 года назад +2

    Tumsifu yeye aliye juu

  • @NzeimwamiJustin
    @NzeimwamiJustin 4 месяца назад +1

    Mungu amupokeye

  • @IddyKusaga-k6e
    @IddyKusaga-k6e 22 дня назад

  • @Mwana-d1u
    @Mwana-d1u 4 месяца назад +1

    ßisi sote ni wa mola na kwake tutarejea ila duuu inauma sana😂😂😂😂😂😂😂

  • @saimonsimon9446
    @saimonsimon9446 3 года назад +1

    Mungu ampe mema yote mbingun

  • @paschalreuben4625
    @paschalreuben4625 3 года назад +2

    R.I.P pumzka baba kwa amani

  • @MeshackLukanda
    @MeshackLukanda Год назад

    mwamba,, sawa ,,,Ila inaumaa sanaa

  • @JustusMwania
    @JustusMwania 11 месяцев назад +1

    R I P HERO

  • @jafarimvutie9293
    @jafarimvutie9293 3 года назад +1

    Mama aliyejifungua kalunguyeye

  • @leoniasamwel6387
    @leoniasamwel6387 3 года назад +3

    Njikut naumia xna Hadi kulia nashindw

  • @jibrilrubain9944
    @jibrilrubain9944 3 года назад

    Vraiment paix à ton âme

  • @personcriticalthinking7162
    @personcriticalthinking7162 3 года назад +1

    😭😭

  • @TutindagaIsmail
    @TutindagaIsmail 10 месяцев назад

    😢😢😢

  • @katomusa7190
    @katomusa7190 Год назад

    Rip 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @honhonhaule9232
    @honhonhaule9232 3 года назад +1

    Vita umevipiga baba lala salama

  • @HurumaAntony
    @HurumaAntony 6 месяцев назад +2

    😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @uwasediane4191
    @uwasediane4191 3 года назад

    Poleni sana

  • @OmariSamy
    @OmariSamy Год назад

    C'est bon

  • @LucasMatumba
    @LucasMatumba Год назад +1

    Mzee kafa Ila Kaz zakebziendelee

  • @judyncororo6140
    @judyncororo6140 3 года назад

    Hi Mr president magufuil

  • @isacklugaila2341
    @isacklugaila2341 2 года назад +3

    Kweli baba ulilala vzr tutakukuta mbinguni

  • @mwanajumakibwana440
    @mwanajumakibwana440 3 года назад +3

    Mola amechukua chake, kalale pema mzee wetu

  • @unclesammykaniki1184
    @unclesammykaniki1184 Год назад

    Amen

  • @jonahthuranira9097
    @jonahthuranira9097 Год назад

    .... 😭😭😭😭

  • @jephiaschimunhu9897
    @jephiaschimunhu9897 2 года назад

    Goodbye my role model.

  • @Mkinga_Nyota_
    @Mkinga_Nyota_ 2 года назад +1

    🌲

  • @ibrahimukessy2356
    @ibrahimukessy2356 3 года назад

    Kabur la maguful

  • @msokesarah1543
    @msokesarah1543 3 года назад +2

    Endelea kupumzka baba ang Joseph John pombe magufuli

  • @joycekwayaya7537
    @joycekwayaya7537 3 года назад

    😭😭😭😭😭

  • @khamisikazungu9858
    @khamisikazungu9858 Год назад

    😂l liked his leadership style.rest n peace

  • @mamulucas9169
    @mamulucas9169 2 года назад

    R.i.p uncle magu

  • @EstaMtandika
    @EstaMtandika 9 месяцев назад +1

    Wàtie

  • @ndayikengurukiyevenerandav3576
    @ndayikengurukiyevenerandav3576 3 года назад

    ,😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭🙏

  • @harmoadamztzbtizzboy1515
    @harmoadamztzbtizzboy1515 3 года назад

    R.i.p

  • @sarumbalaka8294
    @sarumbalaka8294 3 года назад +1

    BH by xd Matangazo

  • @dianahgidion4748
    @dianahgidion4748 3 года назад

    Tutamkumbuka kwamengi manzuli mngu amlaze maalipema

  • @jenniferoloo6089
    @jenniferoloo6089 3 года назад

    La-la salama

  • @mambafupeter9582
    @mambafupeter9582 3 года назад

    Rip

  • @adamdotto3876
    @adamdotto3876 3 года назад +1

    Hakika bai

  • @obotemwasantembe1107
    @obotemwasantembe1107 3 года назад

    No CT boo think statistic rest

  • @adamdotto3876
    @adamdotto3876 3 года назад

    Poresanababayetu tunakukubukasana kwamemayako

  • @albertchilando419
    @albertchilando419 2 года назад

    Dec comedy

  • @abdallahshekibula3939
    @abdallahshekibula3939 3 года назад +2

    Tujifunze kwamakosa aliyotenda dikteta wademoklasya 😂😂😂😂😂

  • @kevimolel7449
    @kevimolel7449 3 года назад

    Uubby

  • @djunybaragais6042
    @djunybaragais6042 3 года назад

    Pono African

  • @KamugishaChris-t5f
    @KamugishaChris-t5f 11 месяцев назад

    Rip😂😂

  • @carholekalukama9204
    @carholekalukama9204 2 года назад

    Mpuzika kwa Amani Raisi

  • @JajiNobe
    @JajiNobe 10 месяцев назад

    Vdeox