TIZAMA WALICHOKIFANYA WALINZI WA RAIS SAMIA ALIPOWASILI UWANJA WA NDEGE BAADA YA KUTOKA SAUDIA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 16 янв 2025

Комментарии • 321

  • @ismailiKibande
    @ismailiKibande Месяц назад +7

    Mwenyezi Mungu azidi kuwaongoza na kumsimamia rais Dr Samia na wasaidizi wake katika kutekeleza majukum yao

  • @johnmunene1887
    @johnmunene1887 Год назад +6

    Good job Samia president wa Tanzania njirani wa ngu kenya god bless you

  • @mishijuma-i7b
    @mishijuma-i7b Месяц назад +1

    Mashaallah Mashaallah.
    Mwenyewe Mungu akujaalie kila kheri
    na akufanyie wepesi ktk kazi zako

  • @hajiempire8541
    @hajiempire8541 Год назад +14

    Tanzania woye.. shukrani samia kwa uongozi,ustaarabu na kujistiri kiheshma

  • @PauloMhagama-ld8xq
    @PauloMhagama-ld8xq Месяц назад +1

    Asante Mama yetuDr.Samia Duniani tumeweka historia ya kuwa na Rais mwanamke Tz hoyee! Mama Samia safii

  • @osamahamisi8610
    @osamahamisi8610 2 года назад +35

    MashaAllah wamependeza na mavazi ya kiucha Mungu. Allah (SWT) Awahifadhi, Ameen.

    • @eshasalim5496
      @eshasalim5496 2 года назад

      Allahumma Amiin

    • @mhlnonno1995
      @mhlnonno1995 2 года назад

      Allahumma Ameen YAA RABB

    • @markwebale3201
      @markwebale3201 Год назад +4

      Si mavazi ya kiucha Mungu ni mavazi ya kidini,Nani alikwambia mavazi humcha Mungu

    • @khanifa6453
      @khanifa6453 Год назад

      Amiin

    • @khanifa6453
      @khanifa6453 Год назад +1

      ​@@markwebale3201 sahihi vazi halimuchi mungu ni sisi binadamu vazi walilolivaa Hawa walinzi ni La heshima✅

  • @kevinrugenza1769
    @kevinrugenza1769 2 года назад +10

    Pole na Safari mama Mama Samia, respect from🇷🇼🇷🇼🇷🇼

  • @afitaaxdekadaha4256
    @afitaaxdekadaha4256 2 года назад +7

    Masha Allah ❤ from 🇸🇴🇸🇴🇸🇴Somalia

  • @aminamkumba3549
    @aminamkumba3549 2 года назад +16

    Mashaa Allah Mama, ukawe nuru kwa watanzania wote

  • @NegrokhamisiFatuma-ve3bf
    @NegrokhamisiFatuma-ve3bf Год назад +5

    Mama umependeza sana na wafanya kazi wako mashallah

  • @fatumasugal2065
    @fatumasugal2065 11 месяцев назад +2

    MashaALLAH Tabarakallah

  • @mariamkhatib5386
    @mariamkhatib5386 11 месяцев назад +1

    ❤ mashaallah mashaallah mashaallah mashaallah Allah akudumishe ktk mavaz haya mazur jaman mumedamshi vijana tunasema

  • @BariisSamatar
    @BariisSamatar Месяц назад +1

    ❤MANSHALLAH ALLAH HAFID ❤

  • @eshasalim5496
    @eshasalim5496 2 года назад +3

    Maa Shaa ALLAH, Tabaaraka ALLAH. Welcome back

  • @johnwanjohi734
    @johnwanjohi734 29 дней назад

    Rais samia ako sawa kabisa MUNGU ambariki milele na milele Amina.

  • @browndebora2195
    @browndebora2195 Год назад +8

    mama nampenda huyu jamani Mungu akutunze Rais wangu

  • @awatifalghanim1106
    @awatifalghanim1106 2 года назад +19

    Mashaallah wamependeza sana. Mungu awahifadhi... siku tatu tuuu wamekuwa wazuri na wamenawiri...

  • @EstherZabron-m9y
    @EstherZabron-m9y 8 дней назад

    Mungu akupe uzima utuongize Tena mama yetu nakupenda sana

  • @hamisimuhammad6225
    @hamisimuhammad6225 2 года назад +4

    Mashaallah jazaka llahu lkhayra

  • @salehalzakwani3283
    @salehalzakwani3283 2 года назад +4

    Mashaallaah squad inatisha ndio inavo takiwa

  • @pastorcarolicarlostokunmbo826
    @pastorcarolicarlostokunmbo826 2 года назад +2

    ASANTE SANA MADAM PRESIDENT,GREAT JOB.YESU AENDELEE KUKUTUNZA AMIN

  • @alimuhamed1830
    @alimuhamed1830 2 года назад

    Aslio sikia raisi akiwamkia waliomzidi umri agonge like bas

  • @salahibrahim2798
    @salahibrahim2798 Год назад +5

    Maa shaa Allah, walinzi wapendeza
    Nice mheshimiwa Rais

  • @ghaidaabdulrahman1784
    @ghaidaabdulrahman1784 2 года назад +4

    Masha Allah

  • @sulaimankalisa7247
    @sulaimankalisa7247 Год назад +16

    Mashallah this is so wonderful @ Allah bless you madam president and your escorts

  • @iyakaremyepeaceerick3923
    @iyakaremyepeaceerick3923 21 день назад

    Ohhhhh na sisi tunakupenda mama ❤❤❤❤❤

  • @twalaataib7337
    @twalaataib7337 2 года назад +1

    Mashallah kwawalinzi wa Ma Samia kwa vazi Jazakallah kher Bless them all👍❤🤲

    • @elicanageorge1319
      @elicanageorge1319 2 года назад

      HEBU WEWE KAMA SHEKHE UNIFUNDISHE INAMAANA WAISLAMU WANAOSWALI NA WANAVAA NGUO ZA KAWAIDA TU SAFI HAWATAONA PEPO HADI WAVAE HIVYO HIO MOJA

    • @elicanageorge1319
      @elicanageorge1319 2 года назад

      PILI HILO NI VAZI LA WENZETU WAARABU AU KWA SABABU MTUME ALILITUMIA NA SISI TUVAE?

    • @elicanageorge1319
      @elicanageorge1319 2 года назад

      TATU UNAHISI HILO VAZI TUNAPOSEMA LA KUJISTIRI UNADHANI WATU HAWAINGII TAMAA HATA KAMA UMEVAA NIKABU?

    • @elicanageorge1319
      @elicanageorge1319 2 года назад

      TAMAA NI TAMAA TU INATEGEMEA UNAMUHESHIMUJE MWENYEZI MUNGU SUBUANAH WA TAALAH

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 2 года назад +1

      @@elicanageorge1319 Pepo zikonyingi sijui unasemea ipi

  • @ramadhanseif4178
    @ramadhanseif4178 Месяц назад

    Mwenyizi mungu awape maisha malfu raisi watu nawatu wake

  • @saidlucas1216
    @saidlucas1216 2 года назад +4

    Masha-allah

  • @Aishamzamilu
    @Aishamzamilu Месяц назад

    Mashaallah ❤

  • @nimohussein9781
    @nimohussein9781 2 года назад +18

    Mansha Allah my sisters are glowing with hijabs I am glad she didn’t shake their hands. Keep going sister and please treat all Tanzanians with respect because you will be ask the day you meet your creator Allah

    • @morganmosha9866
      @morganmosha9866 2 года назад +2

      True

    • @dijahmriri523
      @dijahmriri523 Год назад

      Ayo matumbo walivoyatanguliza Sasa afu wananchi tunateseka na tozo

    • @J_a_s_o_n
      @J_a_s_o_n Год назад

      What's wrong with shaking hands?

    • @nimohussein9781
      @nimohussein9781 Год назад +2

      @@J_a_s_o_n shaking hands to non Muharram someone who is not your brother,father or your husband is for forbidden in Islam for both men and women it’s our right to practice our religion we Muslims we obey the rules of our creator Allah. Secondly, shaking hands is where chemistry starts let’s be realistic. I believe maryam (cs) the mother of Jesus peace be upon him wouldn’t shake any man hands because she is a woman who has dignity and she is greatest women who have ever lived she is our role model and we dressed like her she is covered with hijab we covered with hijab we Muslims women follow her footsteps so brother I am inviting you to the religion of all the prophets from Adam to last prophet Mohammed peace be upon them which is Islam ☪️

    • @deborahanyango2258
      @deborahanyango2258 Год назад +1

      ​@@nimohussein9781 all this is nonsense

  • @hamidaalhabsi8568
    @hamidaalhabsi8568 2 года назад +4

    Maashallah maashallah mungu amijalie kila lakheli kwenye safari zenu inshallah yaarabi

  • @MwariNancy
    @MwariNancy 29 дней назад

    Shukurani samia kwa uonhozi❤❤❤❤❤❤❤❤❤from kenya🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤🎉❤🎉🎉❤🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤🎉🎉

  • @jamilamchumila977
    @jamilamchumila977 10 месяцев назад

    Maashaallah 😍

  • @Muhamed_mo
    @Muhamed_mo Год назад +1

    Mheshimiwa jitahidi sana hili suala la kuwapa mikono wanaume, isiwe ktk Ramdn tu iwe kila siku kwako uweke mkono wako mbali na wanaume, ili uokoke na dhambi mheshimiwa wetu,

  • @noelnoel4916
    @noelnoel4916 Год назад +3

    I love this country

  • @AminaKanyika-k1y
    @AminaKanyika-k1y Месяц назад

    Allah akusimamie mama ktk kila jambo maana

  • @salehesalehe2967
    @salehesalehe2967 2 года назад +8

    Walinzi wanapendeza mashallah

  • @fathimamct232
    @fathimamct232 2 года назад +5

    Mashallah urithi wa mzee magu mungu amrehemu na amlipe kwa mema yake tunamuomba na mama aendeleze mradi huu wa ndege za Air Tanzania Amiiin 🤲 Amiin 🤲 Yaraby

    • @mwananchipress3569
      @mwananchipress3569 2 года назад

      hii ilinunuliwa kipindi cha Mkapa na Waziri Mramba, ni ndege ya Rais

    • @abuujuhaima5588
      @abuujuhaima5588 2 года назад +1

      @Fathima_Mct Kafiri haombewi Rahma wapata dhambi kufanya hivyo

    • @fathimamct232
      @fathimamct232 2 года назад

      @@abuujuhaima5588 kwa sababu gani

    • @abuujuhaima5588
      @abuujuhaima5588 2 года назад

      @Fathima hujui misingi ya uislamu kwani?

    • @fathimamct232
      @fathimamct232 2 года назад

      @@abuujuhaima5588 ndio mana nimekuuliza Ili unifahamishe sababu Kuna fungu la waja wema

  • @salamanauthar480
    @salamanauthar480 2 года назад +1

    Mashaallah kheri

  • @DuchiMtumwa
    @DuchiMtumwa 11 месяцев назад

    Nakupenda Sana mwaaaaaahhh kiongozi wetu mahiri kutoka kwetu Zanzibar

    • @mackjr5291
      @mackjr5291 11 месяцев назад +1

      Japo nyie hamtaki Rais atoke bara😅😅😅

  • @mohamohaze6993
    @mohamohaze6993 2 года назад +1

    Masha Allah uzuri na wema ya uislamu

    • @divaimafuru1334
      @divaimafuru1334 2 года назад

      Sasa hapo udini unatoka wapi?

    • @agyady6260
      @agyady6260 2 года назад

      @@divaimafuru1334 mwenyewe nashangaa

    • @NR-ll4sr
      @NR-ll4sr 2 года назад

      Acha unafik ww, sio kila muislam anafata uislam

  • @hawaamkubwa2020
    @hawaamkubwa2020 2 года назад +1

    mashaallah tabaraka Allah

  • @susanmachayo8845
    @susanmachayo8845 Год назад

    much love from ke🙏🙏🙏

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ 2 года назад +3

    Kazi kazi iendelee Wako vizuri mno, ukiwa mlinzi lazima uwe flexible, ila ulinzi ni taaluuma kubwa saaana , waeza kuta hadi Masheikh wamo kwenye list ya bodyguard , yaani ukisogea tu anafungua swala unachezea kichapo

  • @nassrasaif9148
    @nassrasaif9148 3 месяца назад

    We love you mummy❤❤❤❤❤

  • @elyanasser3914
    @elyanasser3914 2 года назад +6

    Mashallah well dressed

  • @ibrahimsule8734
    @ibrahimsule8734 11 месяцев назад +3

    Very impressive

  • @JumbaleBoy254
    @JumbaleBoy254 11 месяцев назад

    Mashalaahhh worderfull

  • @JabirYaro
    @JabirYaro 9 месяцев назад +1

    Good moumi ❤❤❤

  • @Kakaericbedaf
    @Kakaericbedaf 11 месяцев назад

    Mimi mpaka sasa sijaona walicho kifanya walinzi wa mwanamuke huyo. 😊😊😊

  • @HassanHassan-ix7cj
    @HassanHassan-ix7cj 2 года назад +1

    Ma Shaa'Allah

  • @zanzibartanzaniaitinerarie3026
    @zanzibartanzaniaitinerarie3026 2 года назад

    Raisi wa Zanzibar Mheshimiwa Hussein Mwinyi hakika ni Mnyeyekevu, very hable person.

  • @zwinaalhabsi664
    @zwinaalhabsi664 2 года назад +3

    Mashaallah

  • @User99359
    @User99359 11 месяцев назад

    Mashaallah a powerful muslim woman president❤❤❤😊

  • @shaamekhamis3081
    @shaamekhamis3081 2 года назад +7

    Mashaalah,hilo ndio vazi la mwanamke .

  • @saadiaHassan-we4np
    @saadiaHassan-we4np Год назад

    Masha allaah goòd❤❤❤❤

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 Год назад

    Rais wangu umependeza sana walinzi wako jamani👍👍👍👍❤❤❤

  • @sapikiwanga6154
    @sapikiwanga6154 2 года назад +3

    Mashaallah!

  • @alibilali9944
    @alibilali9944 2 года назад +1

    Mbona sijaona walichokifanya? Andikeni title inayoendana na tukio vinginevyo hiyo tilte mlioandika mnaongopa na kuongopa ni dhambi.

  • @saumusanjiama6991
    @saumusanjiama6991 2 года назад +1

    Mashaallah mashaallah mama

  • @cismaanxasan6555
    @cismaanxasan6555 Год назад

    masha allah baraka laaah mam

  • @marthamasue4009
    @marthamasue4009 Месяц назад

    Mungu haangalii mavazi anaangalia zaidi moyo tusiwahukumu watu kwa muonekano wa nje maana mtu anaweza kuvaa hivyo lakini ndani moyoni mwake ni hatari kabisaa

  • @thobiasluanda224
    @thobiasluanda224 2 года назад

    Wamevaa barakoa hongera sana

  • @Zuungu
    @Zuungu 2 месяца назад

    Tanzania yenye nuru

  • @aminasubira6591
    @aminasubira6591 2 года назад +1

    Mashaallah Wamependezaa wallah

  • @ameenamohammed4413
    @ameenamohammed4413 2 года назад

    Mashaallah mashaallah

  • @أنا-ر8ذ
    @أنا-ر8ذ 2 года назад +2

    Mashall

  • @yusufi.gwanda6903
    @yusufi.gwanda6903 2 года назад +2

    Very good lady. Keep it up pls. May Allah bless you

  • @ZainabuIddy-r1o
    @ZainabuIddy-r1o 11 месяцев назад

    Good luck ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @ANDREWKAZUNGU-gt7lb
    @ANDREWKAZUNGU-gt7lb Год назад +1

    Continue

  • @M.allyluqmanEtudiant
    @M.allyluqmanEtudiant Год назад +3

    Wonderful❤❤❤

  • @KyaloSengani-ou2hl
    @KyaloSengani-ou2hl 5 дней назад

    Igikuwa kenya mwamke president angekuwa. Na hard time

  • @moonermuhammad420
    @moonermuhammad420 Год назад

    Ma Shaa Allah! But why masks?

  • @cookwithme6660
    @cookwithme6660 Год назад

    MashAllah

  • @abbasmosi4481
    @abbasmosi4481 2 года назад +1

    Safari ijayo itakuwa ya wapi?

    • @aminakipande5645
      @aminakipande5645 2 года назад

      🤣🤣🤣pemba

    • @sultansallah8772
      @sultansallah8772 2 года назад

      Chato kuangalia airport isiyokua na faida

    • @awatifalghanim1106
      @awatifalghanim1106 2 года назад

      Wananchi saaanaa mnamfanyia dhihaka Rais Samia.. Alipo kuwa Magufuli mlikaa akili zenu sawa hamkusubuti dhihaka kwenye COMMENTS za kijinga..

  • @AthumaniHaidari
    @AthumaniHaidari 11 месяцев назад

    🎉 ishalh

  • @charlesmbui1696
    @charlesmbui1696 11 месяцев назад

    Wow, she's received by all these people? Nani alibaki nyumbani? But she's a great leader.

  • @abdallahjambia6596
    @abdallahjambia6596 2 года назад

    Maashallah

  • @nanciemungai3821
    @nanciemungai3821 Год назад

    mashalaa!!!

  • @mrok284
    @mrok284 2 года назад +6

    Kumbe ni wazuri hivi Hawa walinzi wa rais Samia? Du!!!!

  • @janetdaniely7945
    @janetdaniely7945 2 года назад +1

    Ubarikiwe mama yetu na viongozi wote Duniani 🥰🇹🇿

    • @mwanahamisiathumani7736
      @mwanahamisiathumani7736 2 года назад

      99999999999o999999999ò99ò9999999o999999o99999oo99999999999999999999999999o9999o99999999999o9òò999999999999999999999999999999999999999o99o99999999999999999999999o99999999999999999999999999999999999999999999999999999999999

    • @swaumuramathani9
      @swaumuramathani9 2 года назад

      Bora magu kFa umepata fursa alikujua Nani Kama so magu Basi mshukuri usingefika hapo

  • @MbuziiSekiondo
    @MbuziiSekiondo Месяц назад

    Nice

  • @sturbbornvideoz8547
    @sturbbornvideoz8547 Год назад

    I love this president dann!

  • @rizikinassor5618
    @rizikinassor5618 21 день назад

    Ndio hivyooo kislaam no hand shake kati ya mwanamume na mwanamke❤❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪💓💓💓💓💓💐💐💐💐💐🥰🥰🥰💓

  • @farijalakhalid5558
    @farijalakhalid5558 2 года назад +6

    Basi hayo maabaya wenye roho mbaya itakua ni story

  • @winsomeloosesome586
    @winsomeloosesome586 2 года назад

    Nothing out of the ordinary

  • @mukafumumukafumu6100
    @mukafumumukafumu6100 2 года назад

    Mmmmhhhh! Mungu anayajua

  • @dhuluufiklihassan537
    @dhuluufiklihassan537 Год назад

    Huyu mwanamke na barakoa....mnafiki mkubwa sana

  • @saidmasoud2200
    @saidmasoud2200 11 месяцев назад

    Our President is cool

  • @katwigayona8041
    @katwigayona8041 Год назад

    Watamzania kwa kusifia mambo hamjambo,,sasa hapo cha ajabu ni kitu gani ,,kwani hayo mavazi ndo wao wamevaa wa kwanza,,,au ukivaa hivyo ndo umegeuka kuwa malaika,,,nchi hii kazi kweli kweli

  • @AbdulhamidIdarous-wt5qx
    @AbdulhamidIdarous-wt5qx 11 месяцев назад

    Nimependa walinz nilivyovaa

  • @babyhamisi1437
    @babyhamisi1437 2 года назад +2

    MashaAllah tabarakaAllah

  • @martinkithekamunene4336
    @martinkithekamunene4336 10 месяцев назад

    Naona SERIKALI ya MAMA SAMIA IKO IMARA

  • @sayeedbinazan
    @sayeedbinazan 2 года назад

    Maa Shaa~Allaah, Ila mbona,hawashiki mikono?

    • @medimisi6930
      @medimisi6930 2 года назад

      Mama ni muislam na uislam hautaki kumshika mwanaume anaefaa kukuoa Yani AJNABI

    • @jumaramadhani5861
      @jumaramadhani5861 2 года назад

      @@medimisi6930 mbona kule Oman alishika na aliwashika mkono

    • @medimisi6930
      @medimisi6930 2 года назад

      @@jumaramadhani5861 yawezekana hapo Leo amekumbuka hilo Jambo ila elewa huo ndio uislamu.

  • @radhiambwana3353
    @radhiambwana3353 2 года назад

    Safi sana

  • @shemochieng3251
    @shemochieng3251 9 месяцев назад

  • @shaamekhamis3081
    @shaamekhamis3081 2 года назад +3

    Mwanamke anatakiwa kujistiri kama hivyoo

    • @elicanageorge1319
      @elicanageorge1319 2 года назад +1

      AJISTIRI KWELI LAKINI UNAHISI NDO TICKET YA KUIONA PEPO?

    • @shaamekhamis3081
      @shaamekhamis3081 2 года назад

      @@elicanageorge1319 Hapana ,ila stara ni muhimu hususan kwa wakina mama kwani amelaaniwa mwanamke asiyejistiri .

  • @nouraalharthy5509
    @nouraalharthy5509 11 месяцев назад

    Mie hizi ndege ndogo zafari za mbali mtihani😅😅

  • @AshaMwamba-v2o
    @AshaMwamba-v2o 10 месяцев назад

    Jamanii ndege raha Mara tu wameshafika sijui taipandagaaa kweliii mm