SHEKHE Kishki Msaidieni Huyu Dada Mpeni Moyo wa Kujitolea na kwenda isoma Dini mbali na yeye shaurianeni na Mumewe mumsaidie biidhnillahi Allahu Ahad mpeni Moyo
Shetani anadanganya sana watu kwamba wakiwa dini basi wameshamaliza wangojee kwenda mbinguni, lakini ni yule atakaye yatenda mapenzi ya Mungu tu ndiye atakaye muona Mungu
ALLAH azidi kukuongoza katika njia zake za kheir na atujalie wote mabint wa Kislam kuongoka.. Mashallah mashallah ukhty snura nina kupenda kwa ajili ya ALLAH
Allah akitaka kukupa kheri hukuzindiua kwenye dini. Mashaa Allah dada yetu ametakiwa kheri na Allah muumba wake. Allah amjaalie Imaan na Yaqiin ya kuitambua dini yqke zaisi 🤲
Alhamdullilah Alhamdullilah wallah nmfrahiii sanaa zaidii ya sanaa kumuonaa dada yetuu kurudiii ktk dinii ykee na kuachana na mzikii Alhamdullilah yarabbi nkuombaa uwajaliee na waimbajee wengnee wacheee na watudii kwakoo na ss yarabbi tujaliee mwshoo mwemaa
Wasanii wote waislam wamfuate na washtuke kama huyu maisha ya dunia ni mafupi tuiogope hy siku ya malipo ya kuhesabiwa ili uingie peponi tuishi kwenye ukweli. Tusitafute riziki ya tamaa na ukapata majuto ya muda mrefu.ishi kwa kumfraisha mungu sio kuwafuraisha viumbe. Tunamuomba Allah atuongoze kwenye njia yake ishaallah.
Yaa Rabii Mola nakuomba dada yangu huu mjaaliye Kua namoyo waujasirii sheikh muwezeshenii Apate Mmajukumu Mfano kama msimamizii wajambo Fulani ladini Allah mpe moyo waujasirii
Masha Allah tabaraqallah Allah akuhifadhi akufanyie wepesi n akubarik Zaid moyo wa kuipend dini. Allah atujaalie toba ya kwely na shahada wkt wa maut n jannah iwe makaaz yetu amiin
Masha Allah wala usitiye waswas ndugiyetu madam niya yako iko thabit na umejutiya Allah atakusameh hongera sn na uwe na moyo huohuo usibadilike km mzee yusuf tubu sana Twaibatal Nasuha tuko pamoja na wewe mkono kwa mkono mpaka peponi
Shukran na pia hongera ushauri usifanye tena intaviyou endelea kumtumikiya Allah Allah atujaliye mwisho mwema kila hatua dua nakupenda kwa ajili ya Allah
Mashalaah jaman adi natamani namimi mungu anijaalie niache kusuka haya mnywere ya rasta niwe na swali ila ipo ck mungu atanifanyia wepesi nilikuwa na bandika makucha nimeshaacha na bado ntaacha tu kwa uwezo wamungu
Allah subhanahu wataala akubaarik snura akujaalie uwe miongoni mwawaja wa peponi na Allah subhanahu wataala akusameh makosa yako kwani Allah nimsamehemu kwa waja wake na anawapenda wale wanao muelekea , na uliyo waacha pia allah subhanahu wataala awaongoze ,amiin
Dada snura nakupenda kwa ajili ya Allah s.w. M.mungu atuongoze sote kwenye njia yake. Hakuna mkamilifu zaidi ya Allah s.w. na yeye anasameh madhambi yote. Allah s.w anasema tusikate tamaa na rehma zake.
Allah humuongoza amtakae. Alhamdulilah dada angu Snura namuomba Allah atupe hatma njema na sote tuendeleeni kusimamisha swala na kuipigania Dini yetu Allahuma Amiin.
Mashallah Allah azidi kukuongoza Dada angu Mashallah Mashallah Mashallah Allahumma barik Kwel umaweza ukachukia jambo kumbe lina kher na wewe na ukapenda jambo kuna Lina shar na wewe Allah atuongoz katika Njia iliyonyooka😢😢😢😭🤲
Mashaallah Uhkty Snura ALLAH akupe msimamo ulicho kikusudia na wale uliowaacha kule ALLAH awalete karib yako,Amiiin.
Amiin yarab
Allah azidi kumuongoza Dada yetu na sisi sote pia.... Aaamiin
AMEEN YAA RABB WA JAZAKALLAHU KHAIRAN.
@@fabssaleh7273 Aamiin yaa rabbal aalamiin
Aameen yaa Rabb
Amiin Amiin Amiin
Mashaallah Mashaallah
Allaah Akuongoze zaidi yani nikisikia maneno yako ndugu yangu nalia kwa furaha hakuna kama Allaah ❤
Hakika hakuna kama yy Allah Akbar Allah Akbar 😭
Nimemsikiliza Jana Alhamdulillah kuna kitu imebadilika ktk maisha yangu
ALLAH akuongeze amin
Na kishki T v mtizame huyo dada mumsaidie hata mawazo
@@fettiemaganza1484Allah atuongoze
SHEKHE Kishki Msaidieni Huyu Dada Mpeni Moyo wa Kujitolea na kwenda isoma Dini mbali na yeye shaurianeni na Mumewe mumsaidie biidhnillahi Allahu Ahad mpeni Moyo
Allah awaongezee Imani wote walionyuma na dini
Shk kishki atasaidia wa ngapi na sisi je??? Mwenye kutaka dini hangoji shk kishki aende madrasa tu
@@Azza-o8c MUISLAMU wewe ????
Wewe mwenyewe umesoma dini lakini unalipi
Shetani anadanganya sana watu kwamba wakiwa dini basi wameshamaliza wangojee kwenda mbinguni, lakini ni yule atakaye yatenda mapenzi ya Mungu tu ndiye atakaye muona Mungu
MashaAllaah tabarakaAllaah wa Alhamdulillaah
Allaah azidi kutuongoza kwa Neema zake na atupe mwisho mwema kwa huruma wake
Allah akupe mwisho mwema InshaAllah dada yetu katika iman ❤❤❤❤
MaashaaAllah MaashaaAllah MaashaaAllah ALLAH amuhifadh yeye pamoja nasi pia
Masikini snura hadi sauti imebadilika Allah akuongoze ndg yangu ❤❤
Mashallah Allah umuongoza amtakae na umuacha apotee amtakae, Allah amuongoze mashallah
Masha Allah ❤mungu amekuongoza huu ndo muda wa kuabudu na kuomba sana atusamehe madhambi yetu aaminy
Dada Snura Allah akusameh wewe na sisi na akupokee hadi kufa kwako
Amiin
Ila uyu dada kaongea ukweli mtupu Mwenyezi Mungu atupe mwisho mwema
Huyu katubia kweli kweli maana hata uso wake na macho yake unamuona tu anavongea...Allah akuongoze ww na sisi kwa ujumla
ALLAH azidi kukuongoza katika njia zake za kheir na atujalie wote mabint wa Kislam kuongoka.. Mashallah mashallah ukhty snura nina kupenda kwa ajili ya ALLAH
Allah akitaka kukupa kheri hukuzindiua kwenye dini. Mashaa Allah dada yetu ametakiwa kheri na Allah muumba wake. Allah amjaalie Imaan na Yaqiin ya kuitambua dini yqke zaisi 🤲
Allah atuongoze sote🇬🇧
Soooooo impressive Ma sha Allah 😢😢😢😢😢😢. Alhamdulilah ya Rabb. JazakiLLAH ya uqter❤❤❤
Pindi itakapokuja nusura ya meenyezimungu na ushindi🎉,utawaona watu wakiingia ktk dini ya Allah makundi kwa makundi
ALHAMDULILLAH 😢
Maneno matukufu ya Allah akimueleza Mtume wake Mohamed s.a.w
Ma'sha Allah mwenyezimungu anamuongoa amtakae
Alhamdullilah Alhamdullilah wallah nmfrahiii sanaa zaidii ya sanaa kumuonaa dada yetuu kurudiii ktk dinii ykee na kuachana na mzikii Alhamdullilah yarabbi nkuombaa uwajaliee na waimbajee wengnee wacheee na watudii kwakoo na ss yarabbi tujaliee mwshoo mwemaa
Maashallah Allah athibitishe moyo wake ktk dini na amfishe ktk imani yake iliyoko thabiti
Wasanii wote waislam wamfuate na washtuke kama huyu maisha ya dunia ni mafupi tuiogope hy siku ya malipo ya kuhesabiwa ili uingie peponi tuishi kwenye ukweli. Tusitafute riziki ya tamaa na ukapata majuto ya muda mrefu.ishi kwa kumfraisha mungu sio kuwafuraisha viumbe. Tunamuomba Allah atuongoze kwenye njia yake ishaallah.
Takbir Allah Akbar Takbir Allah Akbar MashaAllah Mwenyeez Mungu azidi kukuongoza na aipokee toba yako
Allah Akbar Allah Akbar Allah Akbar Allah ampe mwishomwema Dadayetu na familiyayake na waislam sote kwaujumla 🤲🏽🤲🏽🤲🏽
Amina
Aamini
Amiin yarabby 🤲
Amiin
Yaa Rabii Mola nakuomba dada yangu huu mjaaliye Kua namoyo waujasirii sheikh muwezeshenii Apate Mmajukumu Mfano kama msimamizii wajambo Fulani ladini Allah mpe moyo waujasirii
Naunga Mkono
Naunga Mkono
Wallah Alhamdhulillah,nilijua mumewe kachanganyika sanah na Familia ya kwa mume wake pia Nzurii walimpokea na kumpenda
Mashallah tabarakallah Allah atuongoz ummat muhammad
MashaAllah TabaraqaAllah ❤️
Hasbiyahllah waneemal wakeel❤
ALLAHU Akbaar 😭
Allah ni muweza wa kila jambo na humuongoza anaetaka kuongoka Alhamdulillah
Masha Allah tabaraqallah Allah akuhifadhi akufanyie wepesi n akubarik Zaid moyo wa kuipend dini. Allah atujaalie toba ya kwely na shahada wkt wa maut n jannah iwe makaaz yetu amiin
Namuomba Allah na Mimi anijaalie Toba
Mashallah minha querida Sunura,boa decisão, mais vida
Safi sana dada etu mungu akupe neema iyo usje kubadilika Tena nimepend mashalha
Allah akufanyie wepesi zaid dada uweze kufanikiwa na kumshinda sheytwan zaid
Maashallah hongera sana kwa kuweza mpk hapo Allah akupe nguvu zaid
Amin
Maashallah, You have really done something good, Allah azid kutusaidia tutubie kabla ya Mauti yetu. Amin Allahuma Amin ❤
Masha Allah Snura Mmungu akutangulie Dada. Wewe mungu kakuchagua. Hongera Dada
الحمد لله على هذه النعمة ، كثر الله أمثالك أختى ، WENGI watajifunza kupitia wewe
Mashaa الله kheri, alhamdulillahi.
Masha Allah wala usitiye waswas ndugiyetu madam niya yako iko thabit na umejutiya Allah atakusameh hongera sn na uwe na moyo huohuo usibadilike km mzee yusuf tubu sana Twaibatal Nasuha tuko pamoja na wewe mkono kwa mkono mpaka peponi
Shukran na pia hongera ushauri usifanye tena intaviyou endelea kumtumikiya Allah Allah atujaliye mwisho mwema kila hatua dua nakupenda kwa ajili ya Allah
MashaaAllah mungu alikuingiza kumrudia na kuomba sana mda wake ndio sahihi Allah atujalie moyo wenye kumnyenyekea na kumuomba msamaha
Ooo ma'shaallah ndugu yangu Allah akuongoze ndugu yangu na waisilamu wote duniani na walio potea wote Allah awalejeshee amiiin
Hongera sana mpz allah akufanyie wepesi ktk safari hii yako mpya allahuakbar
Mashaallah ❤ allah amekiongoza na atuongoze sotee
MashaAllah MashaAllah MashaAllah TabarakAllah Allah amuhifadhi yy na Vzazi vyake Allah amsamehe kwa kosa Allah ampe Subra ktk hij Dunia na Akhera
Allah azidi kukusimamia usije fanana mzee yusuphu.omba sana dada Allah atakusimamia inshahllah
Mashalaah jaman adi natamani namimi mungu anijaalie niache kusuka haya mnywere ya rasta niwe na swali ila ipo ck mungu atanifanyia wepesi nilikuwa na bandika makucha nimeshaacha na bado ntaacha tu kwa uwezo wamungu
Allah subhanahu wataala akubaarik snura akujaalie uwe miongoni mwawaja wa peponi na Allah subhanahu wataala akusameh makosa yako kwani Allah nimsamehemu kwa waja wake na anawapenda wale wanao muelekea , na uliyo waacha pia allah subhanahu wataala awaongoze ,amiin
Snura mshukuru Allah muumba na muombe sana azidi kukuondoshea usheteni uliokukuta huko nyuma. Ubaki njia ya heri ya Allah
Manshallah dd snura mungu akuzidishiy Iman dd yangu mungu atupe mwisho mwma nasisiote allahuma amiin
JazakaAllahu khyran , inshaAllah , da snura Allah azidi kukupa muongozo zaidi yarrab🙏🙏🙏
MashaAllah ALLAH azidi kukuongoza Ukhty Yetu🤲🤎🤎
Takbiiiiiiir x3da snurah nakupenda kwaajili ya Allah tuombe mwisho mwema
Masha'Allah tabarakAllah malezi mazuri sio wengi wenye hio bahati, mwenzi mungu atuzidishie imani na atupe mwisho mwema ameen 🤲🏽
Dada snura nakupenda kwa ajili ya Allah s.w. M.mungu atuongoze sote kwenye njia yake. Hakuna mkamilifu zaidi ya Allah s.w. na yeye anasameh madhambi yote. Allah s.w anasema tusikate tamaa na rehma zake.
Mashaa Allah tabarakallah, Allah azidi kumuongoza, na sheikh kishk tunaomba mumsaidiye binti huyu
Tusiwatukane walio baki kule bali tuwaombee ipo siku Allah atawaongoa in sha Allah
Aamin 😭
Mashallah tabarakkallah Rahman
Allah akusimame ktk kheri
Alhamdulilah
.. hongera...
Allah humuongoza amtakae. Alhamdulilah dada angu Snura namuomba Allah atupe hatma njema na sote tuendeleeni kusimamisha swala na kuipigania Dini yetu Allahuma Amiin.
Mashaallah tabarakallah allah akuhifadhi akujalie ni uamzi mzuri allah endelea hivo hivo
Mashaallah Allah akulinde na akuhifadhi dada una sauti nzuri yakusima Quran mashaallah ❤
Mola akuongoze na atuongoze na sisi mola humuongoza amtakae yaa Rabb mola azidi kukuongoza ❤
Amin
MASHAA ALLAH
ALHAMDULILA
ALLAH azidi kukuzidua kwa hili n'a jengine na ss kwa ujumla ALLAH atupe mwisho mwema kwa sote THUMMA AMIN 🤲🏼
Amiin amiin amiin habibty
Amiin Amiin Amiin
Mashaallah tabarika allah dd allah akuogoze
Kwaza allah akuhifadhi ❤❤duniyani umependa msamaha kwa allah akusamehe❤❤❤❤ atakusamehi ❤❤❤ hiyo ni toba❤❤❤ hitorudiya tena❤❤❤
Mashallah jazakallah kheri je umeolewa kama hujaolewa tukustiri
Hongera sana dadaangu Allah akuzidishie kher nyingi dadaangu
ALLAH aendeleye kumuongoza ❤❤❤
Yarrab tusamehe makosa yetu tujalie mwish mwem inshallah 🤲🤲
Amiina
Amiin
Amen
Allahumma Amiin
Mansha' Allah tabarakallah ya Allah zidi kuwaokowa wajaa wako mana mjaa kuokoka si kwa ujanja wake bali ni kwa uwezo wako Allah
Maashaallaah Allaah akupe mwisho mwema na udumu ktk hiki ulicho kikusudia
Maashallah Inapendeza Sana, Allah akusamehe wewe na sisi pia. Aaamin 🤲
Takbirrrr
Allah Akbar
Allah atuswamehe sote uma wa mtume s.a.w tufuate njia sahii ya Allah
MashaAllah. Kwel mungu umupngoza amtakae
Mashaaallah Allah akuongoze atuongoze na sisi ❤
Mashaallah Allah azidi kutuongoza In Shaa Allah ili tufate njia ilokuwa sahihi
Ma Shaa Allah Tabarakallah kaswida kumbe wajua vzr kuimba a🤲Allah awaongozee na ss sote in sha Allah
Mashallah Dada Allah Akupe mahitaji yako na baraka
Maashaallah maashaallah maashaallah Allah Subhanahu Wataala akuhifadhi wewe na familia yako na akuongoze ktk njia iliyonyooka biidhinillah
MashsAllah Allah akuongoze sister I.a❤
Mashallah allah azidi kukuongoza kwenye swiratl mustaq❤❤❤❤❤❤
Mwenyezi mungu akupe mwisho mwema
Mashallah tabarakallah allah azidi ku muongoza yy na cc yarabiy
Masshaallwa Allah akuongoze ktk kheri Dada yangu pia Allah akulipe kheri in shaa Allah
Mashaallah. Tabaraqallah. Mungu. Akuongoze. Nduguyangu. Inshaallah
Maamshaallah Allah akuwekey wepsi na akubali toba yako kwa uruma wake amiiiin
Mashallah mungu akuongoze ila yasije kutokea yale ya Mzee Yussuf chonde chonde
Maashaa allaah tunamuomba allaah akusaidie
Mashallah mashallah Allah azidi kumuongoza 🌹❤️
Mashaallah namuomba Allah atupe mwisho mwema sote waumin kama wema walopita
Allah subhanahu wataala akuzidishie iimaan akudumishe katika uislam
Allah Akbar ,All1h akuongoze dada yangu akupe na ujasiri mana vishawishi ni vingi saana,Allah akupe subra na akuhifadh kwa huruma wake
Mashaallah mashaallah mashaallah nimekupenda sana
Mashallah allah akuzidishie iman zaid
Mwenyezi mungu Akujaalie uwe mmoja Kati ya wanawake wema
Masharaha m.munguu amuongoze
Ma Shaa Allah Allah amuongoze ktk iman thabit🤲
Mashaallah ❤ love from Zanzibar. May Allah accept you sister
Mashallah Allah azidi kukuongoza Dada angu Mashallah Mashallah Mashallah Allahumma barik Kwel umaweza ukachukia jambo kumbe lina kher na wewe na ukapenda jambo kuna Lina shar na wewe Allah atuongoz katika Njia iliyonyooka😢😢😢😭🤲
MashaAllah tabarakallah
Allah aithibishe nia yako.
Alhamdullillah mabrouk Sanura Allah atakuhifadhi na kukutoa ktk ushaytwan
Assalaam alaykum, alhamdulillah ujumbe uloukusudia umeshaufikisha Dada,Allah azidi kukusimamia, ninakushauri ukae mbali na vyombo vya Habari na mitandao, vitakupotezea muda, Nami ninakhofu visijevikakutoa ktk muelekeo, !!!