Naapa kwa Yule anaemiliki nafsi yangu(ALLAH) furaha nilionayo ni kubwa mno mno,kila mumewangu aingiapao namuelezea kuhusu wewe SNURA,yaani story ni wewe hadi usiku wa jana kuamkia leo nimekuota kwa kwasababu yakunikaa sana kichwani…ALLAH atukutanishe peponi ndugu yangu Katika Iman yaani ndoto yako yakwenda hija nikama yangu kipenzi changu,Nakupenda ndugu yangu katika imaan.Hutojutia hata siku Moja njia ulio ichagua..jua yakwamba upo sehem sahihi(salama)Nakuombea ALLAH akuzidishie ilmu akuruzukie faham yako na akujaalie iman yenye kuingia Ktk Moyo
Tunawaombea dua wengine wafuate mfano wa dada yetu in shaa Allaah. Dada yangu fanya kwa wingi shukrani kwa Allaah sw na kumswalia sana Mtume Muhammad s.a.w in shaa Allaah
Ukht mzuri ukht mwema ukht wa kheri usikate tamaa na rehema za allah hakika allah anasemehe madhambi yote tawba ya kweli tawba ya moyoni tawba ya dhati ya moyo mashaallah
Ukht mwema allah akujaalie nuru katika sura yako nuru katika macho yako nuru katika masikio yako nuru katika midomo yako nuru katika mikono yako nuru katika miguu yako nuru juu yako nuru chini yako nuru kuliani kwako nuru kushotoni kwako nuru mwilini kwako mwili mzima autie nuru inshaallah
Sichoki kuskiliza hii habari nzuri ya snura mashaalla Alla anakupenda saana na inshaalla biidhinillah kabla alla hajakuhitaji kurudi kwake utafikka hijja na utakamilisha ibada na biidhinillah ataipokea
Alhamdulillah, Allah amzidishie uongofu Dada yetu na imani ikite moyoni mwake hadi mwisho wa maisha yake ya Dunia. Somo kubwa hapa ni sisi kuelewa kwamba uongofu wa Allah hauji tu hivi hivi bila ya wewe kuutafuta, ukiutafuta Allah atakuonesha njia yake kama Quran inavyo tuambia "Allah hawabadilishi watu mpaka tuanze wenyewe kujibadilishe nafsi zetu - - -" ndio Allah hapo atutilie taufiqi Yake. Guaranteed ukimuelekea Allah sincerely toa shaka Allah atakupokea kuliko vile ulivyo tarajia. Somo kwa sote wa islamu na wengineo tusikate tamaa kutokana na rehma ya Allah, ukiitaka dakika nukta yoyote uatipata madam una ikhlas moyoni mwako. Allah azidi kumuongoza Dada yetu na sisi pia. Ameen.
Allah akuzidishie uzidi kutenda kheri na akujaaliye uendelee kumlaani shetani usirudi tena kwenye laana ya muziki.. ningetamani kupata mke mwenye kujielewa kama wewe .. lakini ndo ushaolewa.. Mungu atulinde SNURA shikamana na dini yako .. dunia tunapita..
Jinsi maneno unavyosikia na kukusisimuwa ndio unajuwa kuwa kweli yanatoka katika moyo. Huyu dada maneno yanatoka moyoni. Ndio maana hata anayesikiliza anahisi yanamteka na kumgusa. Allah akuongoze katika kheri zaidi.
Alhamdulillah wakushukuliwa ni allah kwakumuongoza dd yetu snura kuludi ktk njia yake kweli hii ni njia yake qur an safi kabisa huyu ni mtoto wachuoni kweli
Kwa kweli huyu dada anastahiki pongezi Kwa kujuwa dini yake na mungu amjaalie awe ni miongoni mwa watu wa peponi na Allah asimjaalie kurudi kizani tena tumefurahi sana waislam
ALLAHU AKBAR......WALLAH ALLAH AKUHIFADHI DADA KIPENZI, WALLAH MACHOZI YANANITOKA!! ALLAH ANAKUPENDA SANA. NAKUONEA WIVU WALLAH DARJA LAKO KWA HATUA HII NI KUBWA MNO. ALLAH ATUJAALIE MWISHO MWEMA, HAKUNA MKAMILIFU KTK HII DUNIA ILA ALLAH. Allah atufanyie wepesi sote twende HIJJA In shaa Allah. TUNAKUPENDA!!!!
Allah akuthibitishe kwenye dini na kizazi chako na waislamu wote amiin allah atupe mwisho mwema na allah awazidishie mawarda na rahma kwenye ndoa yako allahuma amiin
MashaAllah ❤❤❤ Allah akulipe jannah daa Snura, umetupa mawaidha mazuri sana ❤ kwa kila aliea kusikiliza kwa makini basi amefaidika na mengi , mimi mpaka nimelia
ALLAH AKUONGOZE KATIKA KHERI DADANGU. NA TABUA YA KUWA HIYO NIFURSA KUBWA AMBAYO ALLAH KAKUPA, MCHE ALLAH SANA. ALLAH AKUHIFADHI WW NA KIZAZI CHAKO. NA ILI IMAN IZIDI BAS JITAHID SANA KUISOMA DINI YAKO NA KUJITAHIDI SANA KUFANYA MAMB YA KHAIRAAT
Allah azidi kukupa nguvu na akufanyie sahal katika mambo yako ya kheri. Hakika Allah ( s.w) amesema katika Qur an kwamba: Haiwi maisha ya dunia isipokuwa starehe za muda mchache
Allah Akbar Allah akupokee kwa mikono miwili Alhamdulillah nimefurahia SanA hili naamini unayosema yanatoka moyoni mwako na niuamuzi mzuri Sana huu umefanya Alhamdulillah Alhamdulillah Alhamdulillah
Allah akufanyie wepes akuongoze na akupe uimara zaidi,nafurahi Sana na nackia raha jins ulivyobadlika na ukabadlika hasa,Allah atuongoze na sisi Inshallah,,,Snura Allah akupe wepes
Mashallah tabarakallah Allah azidi kukuhifadhi na imani thabit, ukimkabidhi Allah nafsi yako hewezi kurudi nyuma Inshaa Allah Allah akusmamie kw hilo na azidi kukuongoza dada Allah ndio muongozo wa haki. Na suala la kwenda Hajj kila ukiswali muombe Allah akuite na Inshaa Allah utafika Makkah. Jengine zidisha iadhkar sn na Inshaa Allah hilo lakua miziki yako ifutike kwenye mitandao Allah ataifuta yote
Masha Allah Allah amuongze yey na sisi ktk njia sahih...ila nlimsikia ambae inasemekn ni mama yake eet aimbe kaswida hkun kit km hicho mimi simshauri kufanya ivo......wabillah taufiiq
Mashaallah mashaallah hakika Allah ni mkubwa na anamiujiza yake mashaallah Mungu atakulinda akupe nguvu ya kusimama na imani yako mpaka atakapokuchukuwa mja wake tumefrahi sana kurudi kwa Allah kwa kujuwa ulipo hakukuwa sahihi nakupenda mnoo dua zangu unazo Allah asije kukubadilisha hatuziwezi adhabu za mwenyezmungu sio za dunia wala za kabr wala siku ya qiyama sikunya haqqi Allah atuongoze na awaongoze walio jikita na hii dunia mungu akupe barka snura
Alhamdulillah Alhamdulillah Alhamdulilla Allah atuongeze katika njia iliyonyooka hakika Allah nimuweza wa kila kitu Allah akujalie atimize ndoto yko ilobakia inshaallah
Mashallah Allah akuongoze ktk kher na atuongoze kwasote naatujaalie imani thabit yamkumtii yy pekee naatuepushe namaovu yote yakidunia...naatujalie nyoyo zetu ziwe ninyekumtegemea nakumtumain yy kwakilajambo.....
Namuomba allah amjalie snura awe kama khalid bin walid,ampe nguvu yakuupigania uislam zaid ya alivokua kabla yakurud katika njia ya allah yaarabbi mlinde dada huyu na umuongoze zaid katika haki yeye na sisi pia.
Jaman jamani snura mungu anayo makusud Nawewe Natamani sana maisha hayo uliyo yachagua ya kurudi Kwa Allah nalia kwa uchungu sana nikiskiliza unavyo jielezea ndivo inavyotakiwa umeweka uwazi mukubwa sana Basi tunakuombea Dua mashehe Wanakuombea dua na tunaamini hutorudi nyuma Ishallah
Naapa kwa Yule anaemiliki nafsi yangu(ALLAH) furaha nilionayo ni kubwa mno mno,kila mumewangu aingiapao namuelezea kuhusu wewe SNURA,yaani story ni wewe hadi usiku wa jana kuamkia leo nimekuota kwa kwasababu yakunikaa sana kichwani…ALLAH atukutanishe peponi ndugu yangu Katika Iman yaani ndoto yako yakwenda hija nikama yangu kipenzi changu,Nakupenda ndugu yangu katika imaan.Hutojutia hata siku Moja njia ulio ichagua..jua yakwamba upo sehem sahihi(salama)Nakuombea ALLAH akuzidishie ilmu akuruzukie faham yako na akujaalie iman yenye kuingia Ktk Moyo
Kama mimi nilimskilizisha mume yani kila mtu namuhadithia story yake. Allah amjalie thabati mpaka siku ya mwisho hata nilikuwa simjui
Allaahumma aamiin
Mpaka nimelia kwakweli Kwa furaha nliyonayo kumsikiliza huyu dada
Alhamdulillah. Mungu atuongoze njia za kheir zote inshaallah, Amin yarabbi l a'lamin 🤲🤲
Dada snura Allah azidi kukuongoza kukupa nguvu kushinda kila baya na ushawishi mbaya nakupenda kwa ajili ya Allah ❤❤❤❤❤❤❤
Soma ayatul kurysiyu kila siku asubuhi na jioni Allah akuepushe na sheitwani ubaki kwenye njia sahihi Inshallah kila la kheri dada yetu
Allah akufanyie wepesi ufike makka ufanye hija na utuombee na sisi tufike huko makka nakupenda sana snura natamani nikuone uso kwa uso
Ameen
Snura dada angu umeongea maneno mazito sana namuomba Allah aendelee kukuongoza Allahuma Amiin.
Ameen
tena mazito sana
Aamiin
Allaahumma aamin
Tunawaombea dua wengine wafuate mfano wa dada yetu in shaa Allaah. Dada yangu fanya kwa wingi shukrani kwa Allaah sw na kumswalia sana Mtume Muhammad s.a.w in shaa Allaah
MashaAllah dada Allah atuongoze na sisi.kwa kweli nimejifunza kitu kutoka kwako MashaAllah 😢
Allah akufanyie wepesi udumu katika imaan iliyo thabiti Amyn
MashaAllah. Ninamuomba Allah azidi kukufanyia wepesi pamoja nasi umati wake katika kufuata njia iliyonyooka ya dini yetu tukufu ya Uislam.
TAAKBIIIIIIIIIIR ALLAH AKUFANYIE WEPESI DADA YANGU KIPENZI NA DUAA ZOTE TUNASEMA AMIIN AMIIN AMIIN YARABIL ALAMINA INSHAALLAH
ALLAHU AKBAR
Allahuakbar allahuakbar allahuakbar
Allahu akbaru
Allahu Akbaru
Maashaallah.Maashaallah.
allah atubariki tuzidi kuongoza kwenye njia iliyonyooka...kila la kheir dada etu snura
Maneno yanayotoka kwenye moyo,daima huingia kwenye mioyo ya wasikilizaji,ALLAH ATUJALIE MWISHO MWEMA na tupate ukumbusho kupitia matukio kama haya
Ukht mzuri ukht mwema ukht wa kheri usikate tamaa na rehema za allah hakika allah anasemehe madhambi yote tawba ya kweli tawba ya moyoni tawba ya dhati ya moyo mashaallah
Mashaa Allah Tabarak Rahman Allah akulinde na shettan na akuzidishie Imani
Da snura umenitoa machozi inshallah mm nasema hija utafika inshallah Maryam from Dubai
Ukht mwema allah akujaalie nuru katika sura yako nuru katika macho yako nuru katika masikio yako nuru katika midomo yako nuru katika mikono yako nuru katika miguu yako nuru juu yako nuru chini yako nuru kuliani kwako nuru kushotoni kwako nuru mwilini kwako mwili mzima autie nuru inshaallah
Ammina ya rabbill allamin allhuma amin kwa sote
Amiin yaa Rabii
Aaamiin thumma aaaminn 🤲
Allahumma Aamiyn kwa sote
Mashaallh Alhamundllh umpendza mashallh alaah ajali imani yarabilala mina ❤❤❤
Sichoki kuskiliza hii habari nzuri ya snura mashaalla Alla anakupenda saana na inshaalla biidhinillah kabla alla hajakuhitaji kurudi kwake utafikka hijja na utakamilisha ibada na biidhinillah ataipokea
Naamin hakuna kitu kinachoshindikana chini ya jua.
Snura ni bora kwa Allah.
Usirudi kweli. Allah akufanyie wepec
Inshaallah
Allah azidi kukuongoza dada namna unaisoma quran ni kwa masikitiko kabisa inaingia ndani ya nyoyo Mashallah❤❤❤
Allah akujalie dada yangu Snura Allah akbar❤❤❤❤❤❤
Alhamdulillah, Allah amzidishie uongofu Dada yetu na imani ikite moyoni mwake hadi mwisho wa maisha yake ya Dunia. Somo kubwa hapa ni sisi kuelewa kwamba uongofu wa Allah hauji tu hivi hivi bila ya wewe kuutafuta, ukiutafuta Allah atakuonesha njia yake kama Quran inavyo tuambia "Allah hawabadilishi watu mpaka tuanze wenyewe kujibadilishe nafsi zetu - - -" ndio Allah hapo atutilie taufiqi Yake. Guaranteed ukimuelekea Allah sincerely toa shaka Allah atakupokea kuliko vile ulivyo tarajia. Somo kwa sote wa islamu na wengineo tusikate tamaa kutokana na rehma ya Allah, ukiitaka dakika nukta yoyote uatipata madam una ikhlas moyoni mwako. Allah azidi kumuongoza Dada yetu na sisi pia. Ameen.
ALLAH azidi kukusimamia wewe na mume wako,
Awazidishie upendo zaidi muishi kufa na kuzikana mkiwa ktk ndoa yenu na upendo wenu
Allah akuzidishie uzidi kutenda kheri na akujaaliye uendelee kumlaani shetani usirudi tena kwenye laana ya muziki.. ningetamani kupata mke mwenye kujielewa kama wewe .. lakini ndo ushaolewa.. Mungu atulinde SNURA shikamana na dini yako .. dunia tunapita..
Jinsi maneno unavyosikia na kukusisimuwa ndio unajuwa kuwa kweli yanatoka katika moyo. Huyu dada maneno yanatoka moyoni. Ndio maana hata anayesikiliza anahisi yanamteka na kumgusa.
Allah akuongoze katika kheri zaidi.
Dada snura nakupenda sana mungu azidi kukuongoza ktk njia haki yaani hayo maneno unayoyasema Hadi Mimi yananitoa machozi mungu atazidi kukuongoza
Allaah akuongoze zaidi katika njia ya haki na akujaalie mwisho mwema dada Snura.
Umeongea Maneno mazito Kwa hisia Kali sana da Snura' ALLAH Atuongoze katika njia iliyonyooka' atujaalie mwisho Mwema Amin🤲
Allah aniongoze na akuongoze na kukusimamia ktk niya yako na awajaalie pepo bibi na babu yako katk malezi ya imaan.amiin
Alhamdulillah wakushukuliwa ni allah kwakumuongoza dd yetu snura kuludi ktk njia yake kweli hii ni njia yake qur an safi kabisa huyu ni mtoto wachuoni kweli
Ma Shaa Allah, Ma Shaa Allah sana nimefurahi na Allah akujaliye utimize ndoto yako. IN SHAA ALLAH UTAENDA HAJJ AMIN YARAB ❤
Takbir Allah akufanyie wepesi
Kwa kweli huyu dada anastahiki pongezi Kwa kujuwa dini yake na mungu amjaalie awe ni miongoni mwa watu wa peponi na Allah asimjaalie kurudi kizani tena tumefurahi sana waislam
ALLAHU AKBAR......WALLAH ALLAH AKUHIFADHI DADA KIPENZI, WALLAH MACHOZI YANANITOKA!! ALLAH ANAKUPENDA SANA. NAKUONEA WIVU WALLAH DARJA LAKO KWA HATUA HII NI KUBWA MNO. ALLAH ATUJAALIE MWISHO MWEMA, HAKUNA MKAMILIFU KTK HII DUNIA ILA ALLAH. Allah atufanyie wepesi sote twende HIJJA In shaa Allah. TUNAKUPENDA!!!!
Subhanallah..Yani nimeskiza Hadi nalia mm .... Allah Akbar Allah Akbar Allah Akbar.... Allah atuongoze saana
Mungu atujaalie safar njema yakukutana namola wetu mtukufu akiwaameturdhia Amina
Allaah akufanyiye wepesi akuepushe na mitihani ya Kila aina umerudi kwenye haki umenifurahisha sanaaaa❤❤❤
MashaAllah Allah akuongoze wew n sis ktk njia ya haki MashaAllah hasbunallah waniimalwakil❤
Huyu dada maneno yake ni mazito na ni mawaidha makubwa kwangu pia nimejifundisha mengi kupitia huyu dada Allah atungoze katika haki
Mashaallah allah akuzidishie kheri
Allah akupe nguvu ya kuwa mtii kwa alla pamoja nasi, atusamehe atuingize katika pepo yake iliyotukuka.
Maishaalla mungu akuongoze
Dada yangu mungu atakujaalia umefanya jambo kubwasana
ALLAH akulinde na akuhifadhi dada yetu na akujaalie mwisho mwema.
Sote mwisho mwema ameen
Maa shaa Allah tabaraka Rahman
Allah azidi kumuongoza
Allah akufanyee wepesi kwakila lenye kheri, akuepushe kila mazito.
Allahu Akbar Allah atuogoze sote yaa rabby
InshaAllah kher Allah azidi kukukuzia imani hiyo hiyo yakuludi kw MORA wetu allah akuhifazi akupe mwisho mwema
Allah akuongoze atuongoze soote dada yetu uturuzuku mwisho mwema allahumma Aamiin
Mashallah iyo ndo iman uishi na ukumbuke kesho utakufaaa
Allah akuthibitishe kwenye dini na kizazi chako na waislamu wote amiin allah atupe mwisho mwema na allah awazidishie mawarda na rahma kwenye ndoa yako allahuma amiin
Allah akufanyie wepesi inshaalah akuongoze na akusimamie inshaalah fildunia Wall akhera 🤲🤲🤲
Maashallah Allah akuongoze dada yangu
Nakupenda nakupenda nakupenda sana kwa ajili ya kutafuta radhi za allah
Duh da snura kumbe unaakili ivi...samahan yan unaongea point mpka dah..i am so proud of u..allah akudumishe kwake
Hongera snura unabusara sana umeongea vizur sana allah akusimamie mbaka mwisho wa uhai wako
Da Allah akufanyie wepesi akufungulie kila unachokitaka yani mpaka nimelia Allahu Akbar
MashaAllah ❤❤❤ Allah akulipe jannah daa Snura, umetupa mawaidha mazuri sana ❤ kwa kila aliea kusikiliza kwa makini basi amefaidika na mengi , mimi mpaka nimelia
Allahu akbar allahu akbru allahu akbar laaaila haillallahu allau akbar,takbiir kwa dada yetu snura allau akbar
ALLAH AKUONGOZE KATIKA KHERI DADANGU. NA TABUA YA KUWA HIYO NIFURSA KUBWA AMBAYO ALLAH KAKUPA, MCHE ALLAH SANA. ALLAH AKUHIFADHI WW NA KIZAZI CHAKO. NA ILI IMAN IZIDI BAS JITAHID SANA KUISOMA DINI YAKO NA KUJITAHIDI SANA KUFANYA MAMB YA KHAIRAAT
Allah azidi kukupa nguvu na akufanyie sahal katika mambo yako ya kheri. Hakika Allah ( s.w) amesema katika Qur an kwamba: Haiwi maisha ya dunia isipokuwa starehe za muda mchache
Assalamualaikum warahmatullah wabarakatu.dada sunura.hakkika nafasi aliyokupa Allah (s.w) ni bonus kwako . sisima sana usiku dada .
Waalykum saalam warhmatulah wabarakatuh
Pole sana pole pole sana allah akukubalie na ukatakabalie tawba na msamaha wako aupokee inshaallah
Ma sha Allah Takbir! In sha Mungu Mungu akupe uamuzi thabit usilegelege In sha Allah😊
Mashallah ukhuth allah azidi kukuifadhi Nakupenda saana kwa ajiri ya allah kipenzi chetu
Kifupi nashukuru sana dada yangu uyo snura kwa kuyajua aya na kurejea kwa allah akika allah amuongoze na amjaalie awe mfano wa kuigwa 🙏
Hakika kwa Allah akuna kinachoshindikana maneno yako yamenikaa kichwani Mungu Atuongoza kwenye njia iliyonyoka Atujaalie mwisho mwema
MashaAllah dada snura kweli Allah humuongoza amtakaye.Nakuombea udumu kweny Imani Yako.
Masha Allah Mwenyezi Mungu atuzibitishe mwisho mwema.Amin
Allah akuongoze Ndugu yangu. Na atupe husnulkhatima sote pamoja na Mzee Yussuf.
Allah Akbar
Allah akupokee kwa mikono miwili
Alhamdulillah nimefurahia SanA hili naamini unayosema yanatoka moyoni mwako na niuamuzi mzuri Sana huu umefanya
Alhamdulillah
Alhamdulillah
Alhamdulillah
Masahallah nakupenda sana mdogo wangu alllah akuzidishie na akulinde
Mwenyezi mungu akupe mwisho mwema nasi pia inshallah
MashaAllah MashaAllah MashaAllah TabarakAllah Allah akuhifadhi dada yg na Vzazi vyako na Mume wko Allah akulinde ❤❤❤
Allah akuepushe na mtihani mizto na myepesi
Ameen
Allah Akulinde hutorudi nyuma amin
Allah akufanyie wepes akuongoze na akupe uimara zaidi,nafurahi Sana na nackia raha jins ulivyobadlika na ukabadlika hasa,Allah atuongoze na sisi Inshallah,,,Snura Allah akupe wepes
Ukht wangu mshukuru sana Allah kariim kwa kukutoa katk
Dada nakuombea kwa allah akuzidishie subra ktk mitihani ya dunia hii usirudi tena kufu aliyakuwa ni muisilam ili urthi pepo insha allah aaamini
Allah akuzidishie msimamo thabit na familia yako .Allah kakupenda sanna.Allah akuhifadhi nakila alolikataa Allah .Amina
Mungu akuongoze snura utuombee na ss tubadilike Kam wew
ALLAH SW akusamehe na akuongoze
Allahumma ameen ya rabby allah akupe hitajio la moyo wako habibty
Imani yako dada imesima iMara sana Allah azidi kukuongoza nimefrahi sana
Masha Allah. Dada snura wallah umenitoa machoz. Allah. Akuongoze na Atuongoze na sisi turudi kwa Allah. Ukweli wa kurudi. Nakupenda kwaajil ya. Allah
Yaani hata mimi
nimepata hisia ndani ya
moyo machozi yamenitoka
hakika
Allah akubaru yarab mjalie uyu dada pamoja nasi na nafusi zetu amin
Mashaa Allah..Allah .akuongoze kwenye kheri
Ukhti wangu mshukuru sana Allah kariim kwa kukutoa pembezoni katika moto was jahannam
Mashallah tabarakallah Allah azidi kukuhifadhi na imani thabit, ukimkabidhi Allah nafsi yako hewezi kurudi nyuma Inshaa Allah Allah akusmamie kw hilo na azidi kukuongoza dada Allah ndio muongozo wa haki. Na suala la kwenda Hajj kila ukiswali muombe Allah akuite na Inshaa Allah utafika Makkah. Jengine zidisha iadhkar sn na Inshaa Allah hilo lakua miziki yako ifutike kwenye mitandao Allah ataifuta yote
Masha Allah Allah amuongze yey na sisi ktk njia sahih...ila nlimsikia ambae inasemekn ni mama yake eet aimbe kaswida hkun kit km hicho mimi simshauri kufanya ivo......wabillah taufiiq
Mashaallah mashaallah hakika Allah ni mkubwa na anamiujiza yake mashaallah Mungu atakulinda akupe nguvu ya kusimama na imani yako mpaka atakapokuchukuwa mja wake tumefrahi sana kurudi kwa Allah kwa kujuwa ulipo hakukuwa sahihi nakupenda mnoo dua zangu unazo Allah asije kukubadilisha hatuziwezi adhabu za mwenyezmungu sio za dunia wala za kabr wala siku ya qiyama sikunya haqqi Allah atuongoze na awaongoze walio jikita na hii dunia mungu akupe barka snura
Maashallaah nakuelewa sana sanaaaaaa wallah ni Mungu t ndo anajua kilipo mioyon mwetu lhusnulkhaatima yaa raabb
Alhamdulillah Alhamdulillah Alhamdulilla Allah atuongeze katika njia iliyonyooka hakika Allah nimuweza wa kila kitu Allah akujalie atimize ndoto yko ilobakia inshaallah
Allah ampe kila moja atakalo na pia akupe moyo huo huo na akuzidishie imaan na akulinde na kila ovu ameen
Masha Allah. Nakupenda kwa Ajili ya Allah. Allah akujaalie HIJJA MABRUR. WASAAYA MASHKUR. WADHANBA MAGHFUR. WATIJARA LANTABIUR.
Mashallah naomba na mimi nipate mume mwenye dini na imani aniongozee
Ameen ameen ameen...
Inshaallah
Me nipo wewe upo wapi
Uko serious kwel au watania ?
Amiiin Amiiin Amiiin. Assalaam Alaykum
Masha Allah, Allah atupe mwisho mwema.. Tumuombee na zuhura au zuchu Allah amuongoze, awe kama wewe.. Aamin
❤Sinura hapo ulipo ndipo shikilia hapo hapo
Mashallah Allah akuongoze ktk kher na atuongoze kwasote naatujaalie imani thabit yamkumtii yy pekee naatuepushe namaovu yote yakidunia...naatujalie nyoyo zetu ziwe ninyekumtegemea nakumtumain yy kwakilajambo.....
Allah akuhifadhi
Mashaallah tabaraq Rahman Allah akusimamie dada yangu nimekupenda kwa jili ya Allah
Namuomba allah amjalie snura awe kama khalid bin walid,ampe nguvu yakuupigania uislam zaid ya alivokua kabla yakurud katika njia ya allah
yaarabbi mlinde dada huyu na umuongoze zaid katika haki yeye na sisi pia.
Asante, ALLAH akuhifadhi