Yaani huyu Mchungaji Ana kipaji kikubwa saana, anachoelezea ni njia sahihi ya malezi , Nimejifunza mambo mengi saana kupitia vipindi vyake na mtu mwenye utu, Pastor wa uhakika na Mungu ambariki na kumpa maisha marefu kukomboa binadamu wengine 🙏
Alijibù maswali yote ila kwa style tofauti kabisa. Siyo hapo kwa hapo. Mfano: swali la safari yake ya kupambana bila hata passport kwenda South. Alikuja kujibu mwishonì kabisa baada ya kujibu swali la ilikuwaje akaingia kwenye Uchungaji. Jibu la kuingia kwenye Uchungaji ni baada ya kulelewa na Mchungaji mkarimu mazingira yale yalimpelekesha aipende kazi hiho. Kila swali alijibu ila kwa style ya kuichelewesha si ya papohapo.
Nime guduwa salama kajikaza sana hii interview angekimbia kila akiswali huwa hamutizami pastor nahisi angekuwa namutizama kwakila swali cheko ingemumaliza pole sana dada😀😀😀duuuh
Kwenye hii interview salama ulicheka sana niko naangalia huku sina mbavu sasa wewe ulikua nae karibu sini balaa tupu. Mungu amtunze sana mchungaji yuko vizuri.
Salama upo na mtu unayefanana nae.Hananja ndo wewe.kitabia na hulka.basi wewe ni noma sana Wajijua sana,una Sura tofauti tofauti,before sauti ilinifanya nikumbushe baibui swala Tano,nilivyokuona ndo balaa bonge la Package.Allah akujaalie Mutu na nusu.Da usizeeke we ni Mtu TZ.
Yaani huyu Mchungaji Ana kipaji kikubwa saana, anachoelezea ni njia sahihi ya malezi , Nimejifunza mambo mengi saana kupitia vipindi vyake na mtu mwenye utu, Pastor wa uhakika na Mungu ambariki na kumpa maisha marefu kukomboa binadamu wengine 🙏
Teh 😅 teh 😅 teh 😅🙌 tunaocheka huku tunajifunza tujuane👆😂salama anapiga swali moja majibu 10 chezea mchangaji wewe 🙌❤❤❤❤❤🥴
Anajua huyu mchungaji ni kiboko, kwakweli nimejifunza mengi sana! Asante sana kwa interview hii
Mchungaji Mungu akupe maisha marefu maana hicho kipaji kimetoka kwa Mungu, barikiwa Sana endelea kufanya kazi ya utume
Huyo mchungaji asizeeke kwanza tunakazi nae hapa tz.🔥🔥🔥
🤣🤣
🤣 Lmao 😂 😂😂, asubirikidogo, sio????😅
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Nakubalian na ww
Kabisa tupoSITE TUNAJAMBO NAE😂😂😂❤
tunacheka huku tunaelimika... hii ni full dozzz😄😄😄🔥💪💪💪 thank you pastor
Nnachopendea huyu baba, anatuburudisha sisi waKristo na ndugu zetu waislamu. 🙏🏾❤️😊
Salama umepata kiboko chako swali 5 majibu 1000 nakubali sana interview hii 🇿🇦🇿🇦
Ahaaa haaaaaa🤣🤣🤣🤣🤣
Yaani hadi hujui jibu ni lipi sasa katika haya🤗😄😄much love from Germany🇩🇪
Yaan,!
Ubongo wangu ukitait Sanaa huwa natafta video clip moja tu ya huyu baba..baada y muda nakaa sawa
Asante sana Salama kwa kumwalika Mchungaji! Amenifurahisha sana!! Misemo yake ni ya kicheshi sana!
Best interview, So far....Pastor Alikuja na majibu kabla ya interview yenyew, blessed...🔥
Alijibù maswali yote ila kwa style tofauti kabisa. Siyo hapo kwa hapo. Mfano: swali la safari yake ya kupambana bila hata passport kwenda South.
Alikuja kujibu mwishonì kabisa baada ya kujibu swali la ilikuwaje akaingia kwenye Uchungaji.
Jibu la kuingia kwenye Uchungaji ni baada ya kulelewa na Mchungaji mkarimu mazingira yale yalimpelekesha aipende kazi hiho. Kila swali alijibu ila kwa style ya kuichelewesha si ya papohapo.
amazing sanaa, majibu kabla ya interview, safi sana.
Maisha kiwanda. "Kiwanda changu domo langu. Uking'oa meno umeniua!" Mamae hahahaa nimecheka balaa!
I never been tired of listening to this guy! Ni mwalimu & philosophy👌
Umeonaeee my wangu. Nimefurahi hii kauli imetoka kwa muislam. 🙏🏾❤️😊😊
wonderful man,sio mnafiki he is real
My favourite pastor much love from 🇰🇪
From🇹🇿
Ila huyu mchungaji ndo maana nampenda wallah😂😂😂😂
I must say... this is prolly the most interesting episode.. ya salama na...
God bless this guy.. 🤲
Moja ya interview bora kabisa kuwahi kuiona
🤣🤣🤣🤣🤣🤣aiseee huyu mzee anaongea kuliko watu wote niliowahi kuwasikia anajambo kubwa sana ndani yake
Huyu mchungaji anani inspire sana huwa ananifurahisha sana😄
Kati ya top 10 ya ma interviews ya salama naa ambazo nilisha wai kuzitizama iyi moja ni number moja. Shukrani sana Salama kwa tu letea Mch Rich B.👏
I love how Salama let this Man talk, The only classic show in Tanzania🫶🏾❤
Mzeee kakiteka Kipindi salama mwenyewe anaburudika
Huyu mzee huwa Nampenda sana....safi sana..Salama kwa Kazi nzuri..Kunjua uso uishi
Angel umeelewa kweli
Mchungaji Rich ,mbengu nzuri haifii ..kijana asilaumiweee
Keeping it real. Kudos ! Legend. Nakuelewa Pastor. Thanks 🙏🏾
aiseee nimeipenda strory ubarikiwe mungu akuongeze miaka
Salama you're still doing great!!!
I Noted these,Changamoto zinazowakabili vijana ni vitu vitatu IMANI,UCHUMI Na Ndoa/ familia/ Mahusiano...
For real huyu pastor anatupa dawa sana wale wenye magonjwa ya kiroho, kimwili, kiakili nk. Mungu wa mbinguni azidi kumbariki sana.
Sanaaaaa😂😂
Mungu akupe maisha maref Rich B nakuelewa saaaaana
Hahaha nimecheka mpaka kwa nguvu,duuu safi Sana ,swali moja majibu elfu moja , salama umepatikana ,duuuu
Elimu ianzie Ngazi ya familia💪💪
Gonga like hapa wewe kama upo na salama
Kwakweli huyu Mzee hashoshi katika maongezi yake. Mwenyezi Mungu amlinde na kumtunza
Nakupenda mchungaji salama salama utarijua jiji ha ha haha 😄 😆 🤣 😂 😅 😜
Nime guduwa salama kajikaza sana hii interview angekimbia kila akiswali huwa hamutizami pastor nahisi angekuwa namutizama kwakila swali cheko ingemumaliza pole sana dada😀😀😀duuuh
Hahahahaha Salama kwel 2023 hii interview 🔥🔥 hahahahaha no kuboreka
Daaah aiseee katika interview hii kiboko nimecheka sana
Kweli kabisa maisha ya nyumba yalikuwa magumu mtu akivaa Jean's tunamwangalia vitu muhimu hakuna leo tofauti umesema sawa
This is the best interview 😁😁😁😁😁
🤣🤣 Salama leo umepatikana swali moja majibu 10 😉 ❤
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Mchungaji huyu burudan kwel
Yaniii hahahaa anafurahisha
😆😆😂😂😂😂😜😜😄🙏
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Na hapo Kaulizwa Hali take tuu kajibu adi suruali mita 4 hahaha uwiiii naenjoy
He is so talented, charming
Napenda alivo real huyu Mchungaji 👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿
Kwanza Salama leo amebid awe msikilizaji, amepatikana.
Kwenye hii interview salama ulicheka sana niko naangalia huku sina mbavu sasa wewe ulikua nae karibu sini balaa tupu. Mungu amtunze sana mchungaji yuko vizuri.
Hahaaaaaaaa Dada salama Leo umepatikana nampenda huyu mchungaji
Yaani SALAMA leo umepatikana swali Moja unapewa jibu 100 tunakupenda sana mchungaji wetu MUNGU akulinde daima
Daah ni kweliii jamaniii
ha ha ha haaa
Wapy furaha kwa Host wetu🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂
Salama since umeanza hii kazy leo Leo umefika daraja la Prof.......😂😂🤣🤣🤣
Well done Sister Big interview ever.
aisee Moja ya kipindi Bora sana salama Asante
Interview ina maswali 15 majibu 1,000 😂😂😂 mpara Raha sana Eeeeh
Salama Leo ume-enjoy ujapata tabu Sana father yeye anafungua TU aisee huyu father namkubaligi Sana
Akili nyingi sana,. Ubarikiwee sanaa
Nadhan hii ndio best interview
Imani,uchumi na mahusiano vinawatesa sana vinaja 🤝🤝
Imani
Mahusiano
Uchumi
Leo mzee wetu kamkamata dada yetu salaama
😅😅😅😅😅😅😅
Ndio amemuweka kwenye vaisi
Mchung Rich Nakukubali Sana Unanipa furaha tele😂😂😂
Wangapi wamerudia mara ya pili kama mie🤣😂
Barikiwa umri mrefu na afya njema mtumishi, tuzidi kufurahia na kuelimika
Salama nimecheka Kwa sauti kubwaaa ,,,,from now on tunataka interview kama izii bhana😁😁😁😁
Huyu mchungaji anatakiwa aingie kwenye stand comedy dah!
Pastor Tony Kapola tunaomba ufanye naye interview 🙏🙏
Much love from Kenya
salama kapatikana leo...kuna tafuta ya jawabu na jibu😀😀
Salama upo na mtu unayefanana nae.Hananja ndo wewe.kitabia na hulka.basi wewe ni noma sana Wajijua sana,una Sura tofauti tofauti,before sauti ilinifanya nikumbushe baibui swala Tano,nilivyokuona ndo balaa bonge la Package.Allah akujaalie Mutu na nusu.Da usizeeke we ni Mtu TZ.
Salam hongera sana leo kazi yako nyepesi hakuna kuhoji san kidogo 2 mwenyewe anatiririka hongera sna❤
One of the best interview 🤩😁😁
Daaaaah nimechekaaa sanaaa swali maji majibu
Yuko vzr huyu mzee we2 mungu azidi kumbark
From time salama you working this jobs you meet big guys
Hakuna miss mfupi kama Mimi tumbo hpo hpo kiuno hpo hpo😅😅😅😅😅😅😅😅
😂😂😂😂salama anapigiwa story kazi yake leo kuitikia tu Mmmmh🤣🤣🤣🤣🤣
Big up mchungaji...
Hahaa! salama kazi unayo kwenye hii interview😢
🤣🤣🤣🤣🤣😅😅😅😅😅😅 daaah Huyu Mzee MUNGU ampe maisha marefu daima
He reflect really life situation
Haaha madini tupu .. haaha mi ni muislamu ila huyu mchungaji namkubali
Huyu mchungaji alikuwa na hamu sana ya kujieleza nafsi yake lakini anasema maneno mengi yana maana na mafundisho
Good interview
Ahsnte Kwa Pastor Rich B🙏
🤣🤣🤣Dah huyu jamaa ni noma, philosophy zake ni nyeupe kama seluji 🙌🏾🙌🏾🙌🏾
😅😅😅🤣🤣🤣🤣mtumishi wa makavu live
Daahh...!!! Nimefurahi kinoma hatari na nusu😂😂😂🤣🤣🤣
Tyson mkaanga chips😂😂🙌🏾
Nampenda mchungaji.
Nimejifunz mengi katoka kwakomchungaji mungu anakupa kutokan naunachokifanya mungu awe nawe daima
Best interview ever
Swali moja majibu 50, maelezo ya laki 5 😂😂😂😂😂
Nimefurahi sana
Mcunganji anacana 😂😂 na mwana penda sana 😊😊😅❤
Angekua muislamu huyu mzee ,ingependeza sana
Mchungaji Leo ametoa majibu ya AFTATU 🤭😂😂😂
Nilisubiri sana mahojiano na Pastor Richard 😅😅😅
Salama kwenye interview hii amejikuta anakuwa msikilizaji zaidi badala ya muuliza maswali. Anacheka mwenyewe tu na story za mchungaji.
Moja ya mzungumzaji bora Tz 🙌🏻🙌🏻🙌🏻
Dada Leo umenyamazishwa 😅 swali Moja majibu kumi ,ushaidi na vibwgizo usipime ,mwenyewe umeongez uhai hapooo😅😅😅😅😅
Nampenda sana huyo baba
Masterclass.
Nimejifunza kuipa nafsi yangu uhuru🤣🤣🤣🤣