Mheshimiwa Nape Asitetee Makampuni Pekee,Afahamu Makampuni Yanatuumiza Waziwazi. Haitoshi Mheshimiwa Nape Akumbuke Yeye ni MBUNGE WA KUCHAGULIWA Hivyo Asilale Kwenye Nafasi ya Waziri Pekee. (Kutekeleza Makato Bila Tangazo Halijabadilika Huo ni WIZI).
Tunaibiwa sana waziri badala akili kuwa atalifanyia kazi yeye nae Bado anawakingia kifua watu wa mitandao wanatuobia sana tumechoka paka tunamkumbuka baba etu magufuli angekuwepo angewanyoosha mana mama yeye nikama anawaogopa da,😭😭😭😭😭😭
Nilijiunga bado la wiki 1 nikaingia mtandaoni mida ya usiku nilitumia kama masaa 2 bado likakata nikatumiwa msg kua mb zangu zimekwisha hata mie nahisi tunapigwa kwenye mitandao nahakuna wa kututetea waziri mwenyewe anaitetea mitandao kua haiibi kunanini tena yeye hana shida nawala haimuasili kilichobaki kwa watanzania wanyonge ni mwenyezi Mungu tu atutetee Amin
Mh. Nape tunazungumzia bando si ticket ya kusafiria. Ukweli ni kwamba tunaibiwa wananchi. Utaratibu gani wa kuumizana na utaratibu unaweza kubadilishwa. Tusaidieni ndugu zetu wanaojali wananchi na Mungu awe nanyi tunawaombea🤲🏿
Nape anajikanyaga kanyaga tuu,,,, et ni utaratibu,,, hebu watuambie tofauti ya utaratibu na sheria mbn ipo wazi sheria ni utaratibu sasa aseme utaratibu n nn hahahhahaa,,, TULIA ACKSON I NEVER EXPECTED THE WONDERS U DOING ON BEHALF OF US,,,,,,
Spika🎉🎉. Hawa mawaziri nahisi hawatoshi kwenye kwenye maeneo wanapofanyakazi. Wengi wao wanalack listening skills ndio maana majibu yao yanakuwa km kukurupuka hivi wanajibu kujidefence wao ila sio kujibu kilichoulizwa
Wanatuibia sana kwa kweli..mtu unaunga bando wanakata unaweka bando wanakata ukiwapigia cm wanakwambia tatizo la kimtandao ukiuliza mtanirudishia bando langu maana sijatumia kabisa wanakwambia hairudi ila tutakufanyia setting unga tena .😢😢wanatukosea sana Yan sanaa kwakweli hope one day nikuwe na pawa nisaidie wa Tz wenzangu
MAKAMPUNI YA SIMU inaelekea wanatoa cha juu sana kwa baadhi ya viongozi wa serikali , kwa nini huu mfupa wa hii wizara unakuwa mgumu kiasi hiki? SINA IMANI NA HII WIZARA.
Ni kweli kuwa ni tatizo la ufahamau au ni kibri ya kuendekeza dhulma kwa faida ya binafsi. Kweli kwenye bundle za simu kuna wizi. Ukinunua LUKU unapata units za kiasi ulicho lipia. Lakini ifikapa mwezi mwengine zile units zilizo bakia huwa zipo kwenye Mita yako na utazitumia. Sasa kwa nini ninunuwe bando la wiki na ifikapo wiki hata ukiongeza kununuwa bando huunganishiwi kile kiasi ambacho hukutumia? WIZI KWENYE BANDO UPO.
Nape yupo sahihi! SEMA sisi watz tuna shida kidogo ya uelewa! Hizi bando unapoambiwa vigezo na masharti kutumika tujitahidi kuelewa hayo masharti na vigezo ni vipi ndipo ukubali kuingia biashara na huyu muuzaji
Makampuni ya simu yaliyopo Tanzania YAMETUIBIA SANA WATEJA.Serikali itatetea kwa sababu inanufaika kwa TOZO kwa kila kona kutoka kwa WATANZANIA WALALAHOI.
Na siyo hivyo tu baadhi ya makapuni haya yamekuja na mbinu mpya za kuwaibia watu kupitia bima kuwa wao wanadai ukipata tatizo mfano kulazwa nk wanakupa fidia ukiwa umejiuunga tayari lakini ukishakuja kupata hiyo shida ama tatizo hilo hawakujali kwa lolote na huku ushalipa malipo yao ya mwezi mmoja mpka hata mitatu wakati mwingine
Ndoto yangu ilikuwa kuiongoza nchi nlipenda sana kuishi kifalme niitawale na watu wangu na watoto wangu wapate nafasi za juu za uongoz niwanyooshe watu wanaopenda kutetewa maana mm sio mtetezi wa wanyonge mm napenda utajiri kuliko haki hata nchi ikikosa manufaa ilimradi mi namiliki mali mm hanihusu jmn si mtachagua nikigombea hebu gonga like kama unaniunga mkono
Bando wananchi wananyonwa na mwenye nacho! Kodi mwananchi analipa kwa kila kitu hata mawasiliano analipia tozo ya bado ni kodi namba 2 kwa mwananchi inayotwa bada ya 1.kununua simu Kodi 2.Kupiga na kupokea au kuunga Internet ni kodi pia!
Wale ndio walileta matatizo makubwa ktk nchi hii, kunamtu anaitwa Music's alimwambia Jpm hivi, ( nanuku ningekua raisi ningefuta hii mtu akiweka vocha anapewa nabando ) baada kamaya wiki ukatolewa huu utalatibu, matatizo mengi yaliaza apo ikiwemo kikokotoo
Huyu jamaa anafungu lake hko kwenye makapuni ya simu! Apaswi hata kdg kuwa kiongozi huyu mzee wa 10%! Hawa ni wapiga dili ndo maana mzeee aliwapiga chini
Tunaibiwa sana mpaka leo tunaibiwa sana. Na huyo Nape ndiyo aliye wasiliana. Haja tufanyia haki Voda kuna mahali. Kwahiyo sisi tupoteze pesa kila wakati.ninyi wakina Wizara na wzkina Nape wanapewa chao.
Ni kweli kbsa tunaibiwa na istoshe kwa nn iwe bando la wiki halafu Linaisha siku moja????mh.nape huo sio mfano sahihi acha kutuwekea siasa kwenye ukweli
Nape hayupo sawa na ninamshauri kwenye mswala ya kizalendo hayahitaji siasa unadhani kati ya simu na vocha kipi hapo ambacho kinastaili kuwekewa ukomo wa kutumika hapo jamani na kumbuka mtiriko wa matumizi ya muda wa maongezi na upo kificho kwa mtumiaji kuona unavyo tumika
shida ya hawa walioanza kutumia simu miaka ya hivi karibuni 2010 wanashida sana turudi kutumia main tariff kwa mwezi hivi ndo watajua Pia hawa jamaa wanawekewa airtime wanataka bando zifutwe ili tuendelee kuwa na maisha magumu
Unanunua bando gb 2 unaperuzi nusu saa bila kupakua chochote unaona sms eti bando lako limeisha Vodacom na Airtel wezi sana serikali fuatilieni kipindi Cha Magufuli alifuatilia mambo yakawa sawa sasaivi tunaibiwa mno
Spika mungu akupe.imani...usipepese macho...mbeya wanakutegemea
Mhe. spika Nakuona Mbali Sana ,Ukigombea Urais Ntainuka Kukuombea Ushinde Ni Mwanamke Mwenye Misimamo Ya Kiume ,Hongera Sana
Mm pia na nitajitolea kumtangaza popote pale
Yeeeeeeees ❤
Nape nilikuwa naamini mwana mapinduzi lakini kwa hili, ameulizwa swali gumu, amejibu majibu mepesi mi sjamuelewa kabisa,
Nape kuna fungu lake katika mitandao ya kijamii sijaona akitetea wananchi hata sku 1 kwenye malalamiko ya mitandao
Kabisa
Inasikitisha sana sana kuona waziri mwenye dhamana anasimama kumtetea muwekezaji ambaye anaibia watu wa Taifa lake, nchi ngumu sana hii
MWESHIMIWA SPIKA MITANO TENA NAKUBL 🔥🌏🚀🙏
Kabisaaaaaa
Hi likikatwa linaendaga wapi?
Sema spika, nakuombea pepo kwa allah, hakika unatutetea sanaaa na serikali yako unaijua sanaa🙏🙏
Hakika tumuombee Tulia
Huyu my spika ana akili Sana
Wiziiiiiiii wakubwaa...Na Nape kwanzia kwa Magu nakutiliaa mashaka sanaa
Mheshimiwa Nape Asitetee Makampuni Pekee,Afahamu Makampuni Yanatuumiza Waziwazi.
Haitoshi Mheshimiwa Nape Akumbuke Yeye ni MBUNGE WA KUCHAGULIWA Hivyo Asilale Kwenye Nafasi ya Waziri Pekee.
(Kutekeleza Makato Bila Tangazo Halijabadilika Huo ni WIZI).
afu unamuitaje mh wakati hajiheshimu Kaka...tunaumizwa Sana na wizara yake
Hajasomea mitandao labda.
Tunaibiwa sana waziri badala akili kuwa atalifanyia kazi yeye nae Bado anawakingia kifua watu wa mitandao wanatuobia sana tumechoka paka tunamkumbuka baba etu magufuli angekuwepo angewanyoosha mana mama yeye nikama anawaogopa da,😭😭😭😭😭😭
Mbona Zambia bei Iko chini na makampuni ni hayo hayo, waziri tetea wananchi wako
Kichwa zero hyu anashndwa kutetea wananch wake
Fala mmbwa huyu Hana akili hata kidogo
Kuna pesa wanapata hawa viongozi siyo bure wanataka ifike mahali GB1 iwe elfu 10
Bunge hili Mh.Spika uko vizuri sana.
Spika unatupambania sana wananchi hongera
Jembe JPM mzalendo mwana Africa 🇹🇿💪🔥 lala salama
SPIKA UPO VIZURI SANA,TATIZO BAADHINYA MAWAZIRI WAKISHAPATA FURSA WANAJISAHAULISHA SANA kuwabwasingeingia bungeni bila sisi WAPIGAKURA walalahoi
Rip jpm mungu akupe raha ya milele yote haya uliyaona na ndio maana uliwablock watu kama hawa
Kweli kabisa ndio maana magu akumtaka huyu
@@andrewmanaku ni majizi makubwa
Kwel kabisa magufuli alikuwa hayataki haya majizi
Kwani magu si ndiye aliyewaweka hawa bungeni"
Asante Mbuge wangu 💪💪💪
Spika anaakili sana, congratulations my mom.
Nilijiunga bado la wiki 1 nikaingia mtandaoni mida ya usiku nilitumia kama masaa 2 bado likakata nikatumiwa msg kua mb zangu zimekwisha hata mie nahisi tunapigwa kwenye mitandao nahakuna wa kututetea waziri mwenyewe anaitetea mitandao kua haiibi kunanini tena yeye hana shida nawala haimuasili kilichobaki kwa watanzania wanyonge ni mwenyezi Mungu tu atutetee Amin
mimi nilijiunga bando la mwezi,ndani ya siku 4, likawa limeisha.
Asante kiongoziii boraaa
Mh. Nape tunazungumzia bando si ticket ya kusafiria. Ukweli ni kwamba tunaibiwa wananchi. Utaratibu gani wa kuumizana na utaratibu unaweza kubadilishwa. Tusaidieni ndugu zetu wanaojali wananchi na Mungu awe nanyi tunawaombea🤲🏿
Mhe Spika hongera sana sana kwa kazi nzuri sana
Nyie ni wezi shida watanzania wengi hawamjui adui yao
Hongera sana Mh. Francis.
Nape anajikanyaga kanyaga tuu,,,, et ni utaratibu,,, hebu watuambie tofauti ya utaratibu na sheria mbn ipo wazi sheria ni utaratibu sasa aseme utaratibu n nn hahahhahaa,,, TULIA ACKSON I NEVER EXPECTED THE WONDERS U DOING ON BEHALF OF US,,,,,,
Spika🎉🎉. Hawa mawaziri nahisi hawatoshi kwenye kwenye maeneo wanapofanyakazi. Wengi wao wanalack listening skills ndio maana majibu yao yanakuwa km kukurupuka hivi wanajibu kujidefence wao ila sio kujibu kilichoulizwa
Wanatuibia sana kwa kweli..mtu unaunga bando wanakata unaweka bando wanakata ukiwapigia cm wanakwambia tatizo la kimtandao ukiuliza mtanirudishia bando langu maana sijatumia kabisa wanakwambia hairudi ila tutakufanyia setting unga tena .😢😢wanatukosea sana Yan sanaa kwakweli hope one day nikuwe na pawa nisaidie wa Tz wenzangu
Mimi zantel wamenichukulia 2000 hadi leo sijapata bando wapa pesa haijarud, ukiwapigia kila siku wao FANYA SUBRA INSHA ALLAH
😂😂😂😂mm airtel walibeba buku yangu mpk sas wako kimy tu na simu yangu awapikei
Huyu nape ndo maana alitumbuliwa Kwa mgufuri akili hana
R.I.P JPM
Yaani Kipindi Cha Magu 1000
GB 1 Dakika 100 Sms 100
Now 1000 Dakika 40 MB 350
Maninaa kabsaaa 😏😏😏😏
yani ni hatari😭
Kbs yaani kipindi cha magufuli walikua na adabu zao tu Hawa washenzi
Spika unaaaaakiiiliiiii sanaaaaaa spikaa
3000 dk 55 G1 kweli dah wanaona tuna pesa
Tatizo hata hiyo G1 inakwenda kama upepo...!
Tulia nimekukubali. Hongera kwa kulipigilia nyundo hilo
Wezi Sana mamangu waziri mzushi.
Waizii haooo pumbavuuu namtakufaaaa subili
MAKAMPUNI YA SIMU inaelekea wanatoa cha juu sana kwa baadhi ya viongozi wa serikali , kwa nini huu mfupa wa hii wizara unakuwa mgumu kiasi hiki? SINA IMANI NA HII WIZARA.
Always kk.
Huo ni ukweli kwa 175%
Kila.ariye.achwa.na.malehem..kwamba.hafai..hafai.kweli.
Shikilia hao hao mdikuma yumechoksa kuibiwa mungu akubariki
Waaaah nice
Sanaaa,tunatabu kubwa mno,kuhusu bandoo
Safi kabisa hii ni kweli kwa nini unipangie matumizi?
Wooow Wooow mh. Speaker 🙏🙏🙏🙏😁😁😁
Mbadilisheni kitengo waziri Nape sense wizara nyingine mama yetu Samia onamajibu yambunge wahabarinamichezo haleti ufumbuzi kuusu bando
Ni kweli kuwa ni tatizo la ufahamau au ni kibri ya kuendekeza dhulma kwa faida ya binafsi. Kweli kwenye bundle za simu kuna wizi. Ukinunua LUKU unapata units za kiasi ulicho lipia. Lakini ifikapa mwezi mwengine zile units zilizo bakia huwa zipo kwenye Mita yako na utazitumia. Sasa kwa nini ninunuwe bando la wiki na ifikapo wiki hata ukiongeza kununuwa bando huunganishiwi kile kiasi ambacho hukutumia? WIZI KWENYE BANDO UPO.
Yani magu alikua anamaana sana
Ohfh
Asante sana mungu akubariki
Mwizi.apigwe.mawe.adi.ave
Kwel hawa watu wa bado niwizi mkubwaa
Ni kweli bhanaaaaaa.
Rip JPM
Watu kama wakina nape hafai kuludi bungeni tena ni watu wa hovyo
Magufuli tunateseka baba yetu uku duniani jamaniii daaa😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Hii nchi tumeizoea, wizi njemje wala hawaogopi na wala hawana Hofu ya Mungu.
Niwizi huo mweshimiwa 😊
Huyu mbunge ana akili sana...Good presentation
Nape yupo sahihi! SEMA sisi watz tuna shida kidogo ya uelewa!
Hizi bando unapoambiwa vigezo na masharti kutumika tujitahidi kuelewa hayo masharti na vigezo ni vipi ndipo ukubali kuingia biashara na huyu muuzaji
Ww ndio zuzu
Upo sahihi, kabisa
Mmmh napita kazi kwenu
Saffi sanaaa spika wabunge kuhoji bando kwawananchi wanyonge wasiibiwe
Makampuni ya simu yaliyopo Tanzania YAMETUIBIA SANA WATEJA.Serikali itatetea kwa sababu inanufaika kwa TOZO kwa kila kona kutoka kwa WATANZANIA WALALAHOI.
Dah! Mhe. Spika Turia kuna wakati una Turia
Yaah yaah semaaa👍
Mimi mwenyewe nikuweka Hela wanakata miambili Kila nikuweka,nchi hii Kila mahali ni shida!! Tunaibiwa sana!!! Kunashida kwa viongozi wetu!!!
Safi sana spika kama vifurushi vya tv vinatunyonya
Kweli kabisaa
Mh spika vizuri Sana
Spika yupo vizuri mh nape badilisheni MFUMO wananchi tunapata pesa ktk mazingira magumu sana tuoneeni huruma na sisi ni binadamu
Na siyo hivyo tu baadhi ya makapuni haya yamekuja na mbinu mpya za kuwaibia watu kupitia bima kuwa wao wanadai ukipata tatizo mfano kulazwa nk wanakupa fidia ukiwa umejiuunga tayari lakini ukishakuja kupata hiyo shida ama tatizo hilo hawakujali kwa lolote na huku ushalipa malipo yao ya mwezi mmoja mpka hata mitatu wakati mwingine
Mheshimiwa spika uko vizuri ulikuwa wapi zaman
Uko vizur Mh. Mmbunge huo bado ni wizi mkubwa. Jee watu wadogo tufanyeje. kwa hiyo tuwaogope hao watu wakubwa?
Ndoto yangu ilikuwa kuiongoza nchi nlipenda sana kuishi kifalme niitawale na watu wangu na watoto wangu wapate nafasi za juu za uongoz niwanyooshe watu wanaopenda kutetewa maana mm sio mtetezi wa wanyonge mm napenda utajiri kuliko haki hata nchi ikikosa manufaa ilimradi mi namiliki mali mm hanihusu jmn si mtachagua nikigombea hebu gonga like kama unaniunga mkono
Bando wananchi wananyonwa na mwenye nacho! Kodi mwananchi analipa kwa kila kitu hata mawasiliano analipia tozo ya bado ni kodi namba 2 kwa mwananchi inayotwa bada ya 1.kununua simu Kodi
2.Kupiga na kupokea au kuunga Internet ni kodi pia!
Kweli kabisa
Mh Francis ameuliza swali zuri mno
Nape hatoshi
Inauma sana
Wale ndio walileta matatizo makubwa ktk nchi hii, kunamtu anaitwa Music's alimwambia Jpm hivi, ( nanuku ningekua raisi ningefuta hii mtu akiweka vocha anapewa nabando ) baada kamaya wiki ukatolewa huu utalatibu, matatizo mengi yaliaza apo ikiwemo kikokotoo
Huyu jamaa anafungu lake hko kwenye makapuni ya simu! Apaswi hata kdg kuwa kiongozi huyu mzee wa 10%! Hawa ni wapiga dili ndo maana mzeee aliwapiga chini
Dada Tulia wewe ni bora kuliko Ndugai angalau unawabana hao wa 10,%
Tunaibiwa sana mpaka leo tunaibiwa sana. Na huyo Nape ndiyo aliye wasiliana. Haja tufanyia haki Voda kuna mahali. Kwahiyo sisi tupoteze pesa kila wakati.ninyi wakina Wizara na wzkina Nape wanapewa chao.
Spika makini sana ktk Bunge hili
Mbona waziri ni kama yupo upande wa makampuni hayo
Ni kweli kbsa tunaibiwa na istoshe kwa nn iwe bando la wiki halafu Linaisha siku moja????mh.nape huo sio mfano sahihi acha kutuwekea siasa kwenye ukweli
Jamani uwoni kweli?tunaibiwa sana
Nape aache kazi hawjibiki
Sio kweli,hizo udanganyifu tu
Nape hayupo sawa na ninamshauri kwenye mswala ya kizalendo hayahitaji siasa unadhani kati ya simu na vocha kipi hapo ambacho kinastaili kuwekewa ukomo wa kutumika hapo jamani na kumbuka mtiriko wa matumizi ya muda wa maongezi na upo kificho kwa mtumiaji kuona unavyo tumika
Well done
Magufri kayafukunza huyu mwanamke kawarudisha
Huyu Waziri hayupo tayari kutete watanzania zaidi Sana yupo kimasrai katika kuwaibia wananchi, maana hakuna jambo lisilo badilika.
Uwezo mdog Sana Baraza hili linapashwa kubadilishwa atulielew wananch apa
Tunaibiwa pesa zetu wazir abadilishwe atumtaki wananch
Tunaibiwa sana jamani tena sana Nape umechemka hata hutetei wananchi wako? Mie nimechoka nawaza kuitupa simu bora nikae bila mawasiliano
shida ya hawa walioanza kutumia simu miaka ya hivi karibuni 2010 wanashida sana
turudi kutumia main tariff kwa mwezi hivi ndo watajua
Pia hawa jamaa wanawekewa airtime wanataka bando zifutwe ili tuendelee kuwa na maisha magumu
Uko sahihi kwanini hawa wabunge wengine awasapoti maneno mwanainji wa maisha ya chini
Hivi mama hatusikii Wananchi au mbona Hawa mawaziri hawatumbui kila siku wanalalamikiwa lakn kimyaa ndio maana Hatuna imani na Wanasiasa
Hili bunge laccm tu linatuumiza Sana kwakweli
Unanunua bando gb 2 unaperuzi nusu saa bila kupakua chochote unaona sms eti bando lako limeisha Vodacom na Airtel wezi sana serikali fuatilieni kipindi Cha Magufuli alifuatilia mambo yakawa sawa sasaivi tunaibiwa mno
Hii serikali mimi sijawahi kuimaini kwachochote nahawa wanaojifanya mawaziri ndio wanao tuumiza tunajua ila watotowao wanakula maisha
Kweli kbisa
Bando lenyewe gali
Najivunia kuwa na kiongozi Kama huyu spika wetu wa jamhuri wa muungano wa Tanzania, sio Siri unafaa Sana Tena Sana Mama yangu, TULIA
Kweli bado zetu zibaki kama unit za umeme, naomba Bunge mliangalie kipekee.
Tunaibiwa sana
Jaman wanaiba kweli Tena bando linatafunwa sanaa
Tunateseka sana na mabando yanatumia ela nyingi mno nawanakata balaaa uelew limeishaje