MBUNGE AZUA KIZAAZAA, AMWAMBIA MWIGULU "UMETUKANA WABUNGE", MWIGULU AMJIBU

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 5 фев 2025
  • MBUNGE AZUA KIZAAZAA, AMWAMBIA MWIGULU "UMETUKANA WABUNGE", MWIGULU AMJIBU
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

Комментарии • 255

  • @emmanuelcharles5613
    @emmanuelcharles5613 Год назад +16

    Mbunge tandaimba respect

  • @PriscahAlexy
    @PriscahAlexy 8 месяцев назад +6

    Asanteee sana baba mungu akupe maisha marefu ,kwa kutetea wakulima mungu akubariki mno ,na usimamie hayoo

  • @fundijambia8169
    @fundijambia8169 2 года назад +6

    Imekuelewa sanaaaa mh hongera kwakujitoa sadaka kwa ajiliya wakulimaa

  • @ndogoroedson199
    @ndogoroedson199 2 года назад +19

    Mwigulu acha kujitetea uliwatukana wabunge tukiwa tunasikia na siku zote umwkuwa na majibu ya hovyo kwa wananchi kupitia wabunge Wala c uongo na ulisema kwel kuwa ww umebobea uchumi wengine labda wajadili uganga wa kienyeji na cyo uchumi, ulisema.

  • @renatuswilson1577
    @renatuswilson1577 2 года назад +6

    Mwigu! Kwl unadharau. Hilo likowazi.

  • @charlesmanga1858
    @charlesmanga1858 2 года назад +8

    Mwiguru jitahidi kuwaheshimu wabunge wenzako hata pia hata kwa watanzania wote ,tafuta lugha rafiki ,kumekuwa Mara nyingi ambazo si rafiki ,watanzania tunaona na sasa zinaendelea Hadi ndani ya bunge.

    • @hamidaidd2567
      @hamidaidd2567 2 года назад

      HUYO MWIGULU ALISEMA ATAKAYE ONA TOZO IMEZIDI TUAMIE BURUNDI MWAKA 25 APATI UMBUGE KATUTESA SANA MASKIN

  • @KishaKisha-ux4ul
    @KishaKisha-ux4ul 5 месяцев назад

    Mh hongera Sanaa kwa kusema ukweli.

  • @WiliamMzava
    @WiliamMzava 5 месяцев назад

    Ubarikiwe mbunge.

  • @vumilialeonardi109
    @vumilialeonardi109 2 года назад +5

    Wakurima katika nchi yetu TWAFA

  • @SABRINASHAMSI-j4l
    @SABRINASHAMSI-j4l Месяц назад

    Congratulations MP👏

  • @stemarcely7493
    @stemarcely7493 2 года назад +21

    Mwigulu aondoke tuu...hafai kwa iyo nafasi

  • @dassustephen731
    @dassustephen731 2 года назад

    Mwigulu ujitafakari Sana kauli zako za dharau na kejeri Kwa watanzania na wabunge.Cheo dhamana tu

  • @MathewMwamgunda
    @MathewMwamgunda 7 месяцев назад

    Safi sana kiongozi,,,tunataka wabunge kam nyie,,mnaojua kuwatetea wanyongee

  • @IsmailLaiza
    @IsmailLaiza 2 месяца назад

    Mwigulu mwigulu wizard wizara ina shida Mungu aiweke mono wake kiliokilio kila kona

  • @bonimasero649
    @bonimasero649 8 месяцев назад

    Mwigulu muogope mungu

  • @adammbarouk4379
    @adammbarouk4379 2 года назад +2

    Hata hizo garden halimi wenyewe....wazo zuri jaribun km ulivyosema ndugu mbunge ...hongera sn.

  • @vumilialeonardi109
    @vumilialeonardi109 2 года назад +2

    Mwiguru umetutukana sisi wananchi wanyonge wariyo pinga kura sawa

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 7 месяцев назад

    Mwigulu amewadharau sana na kuwatukana sana. Yeye anajiona sana hata sisi huku tunaisikia

  • @filbertsungura5536
    @filbertsungura5536 8 месяцев назад

    Yes congratulation this is how society need being in position truth makes leader perfect

  • @bujikuwilliam7680
    @bujikuwilliam7680 2 года назад +1

    Good mbunge wangu katani

  • @FatnaAlly-go7yt
    @FatnaAlly-go7yt 9 месяцев назад

    Sema baba

  • @EstherKemba-hr2zr
    @EstherKemba-hr2zr 8 месяцев назад

    Mbunge uko vizuri sana

  • @jumawaziri5053
    @jumawaziri5053 Год назад

    Hapo sawa mkulima mteteeni

  • @FatnaAlly-go7yt
    @FatnaAlly-go7yt 9 месяцев назад +1

    Mashallah

  • @apostleagnes5769
    @apostleagnes5769 2 года назад +6

    Mwigulu mwigulu mimi mnyiramba mwenzio ninasema bora unyamaze

  • @selemanisabihi5994
    @selemanisabihi5994 7 месяцев назад

    Mwamba❤❤

  • @SianoNyangwa
    @SianoNyangwa 9 месяцев назад

    Safi sana wakulima tunaumia sana leo mbozi mahindi debe ts 4000

  • @ramadhankhatwib8561
    @ramadhankhatwib8561 2 года назад +11

    Huyu mbunge ingepaswa aongezewe muda hayo ndio maneno

  • @geophreymlelwa
    @geophreymlelwa 8 месяцев назад

    MUNGU AKUBARIKI SANA

  • @fadhilikyandofadhilikyando5666

    Safiii sanaaaa

  • @emmanuelmasele9585
    @emmanuelmasele9585 8 месяцев назад

    Hongera sana mh.Mbunge Katani.Mkulima huwa analima kwa kushindwa kukusanya stock tu

  • @KishaKisha-ux4ul
    @KishaKisha-ux4ul 5 месяцев назад

    Ubarikiwe Sanaa kwa kuongea ukweli na kuwatetea wakulima. Mahesanu ya CAG pesa inapigwa sanaaa

  • @willymtewele1869
    @willymtewele1869 Год назад

    Hawa ndiyo wabunge tunao wataka Jamani

  • @naturelle1097
    @naturelle1097 2 года назад

    This is my profeshen

  • @rithaurassa
    @rithaurassa 8 месяцев назад

    Huyu mmbunge apandishwe cheo anatetea san wakulima anayajua maisha aliyoishi.Wenngine wamejitoa ufaham.

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 9 месяцев назад

    Sema usiogope sema

  • @AnnoyedFlowerPot-mr2ps
    @AnnoyedFlowerPot-mr2ps 8 месяцев назад

    Hongera mbunge utetezi wako

  • @kawiche4911
    @kawiche4911 Год назад +1

    Mwigulu anamajibu ya kashfa kwa wananchi
    Sio sawa
    Sisi wananchi alituambia tuhame nchi tunde Burundi
    Jambo ambalo anatakiwa kujiuzulu maana hadhamini watu anaowaongoza.
    Na sis wananchi hatuna imani naye . Hatetei maslahi ya Tanzania

  • @devotamutayoba9373
    @devotamutayoba9373 9 месяцев назад

    Big up

  • @mohammedikingazi5109
    @mohammedikingazi5109 2 года назад +3

    Hawa nao kila muda taarifa taarifa hawa watoa taarifa wanazinguwa sana

  • @chichiry
    @chichiry 2 года назад +2

    Asalam allahkum

  • @justinec.ernestine-1093
    @justinec.ernestine-1093 Год назад

    Tuteteeni vijana wabunge wetu

  • @OmaryRamadan-m8v
    @OmaryRamadan-m8v 7 месяцев назад

    😢😢 mbunge kaongea pointi sana

  • @danielreuben4177
    @danielreuben4177 2 года назад +1

    Katana👍

  • @mariosigala8760
    @mariosigala8760 2 года назад +5

    Upo sahihi ndugu yetu

  • @HaulSidney
    @HaulSidney 7 месяцев назад

    Wabunge wanaojitambua ni wachache Sana

  • @mtanzaniahalisi1213
    @mtanzaniahalisi1213 2 года назад +6

    Huyu ndo mbunge anayeongea ya moyoni na kutetea raia, hawa wengine hovyo tu

  • @Zainabkhamis-d2s
    @Zainabkhamis-d2s 9 месяцев назад

    Raisi Samia ana kazi Ngumu sana kwa Nchi yetu Tanzania 🇹🇿 lkn M/mungu amsimamie tu lkn mtihani

  • @brunidamadege3747
    @brunidamadege3747 8 месяцев назад

    Ndioooo baba hatutetewi wakulima.

  • @AssumpterMshamaAssumpterM
    @AssumpterMshamaAssumpterM 7 месяцев назад

    Hela zipo acheni maasira

  • @manaseliberatus1347
    @manaseliberatus1347 2 года назад +2

    inauma sana

  • @fintanmkesha1077
    @fintanmkesha1077 2 года назад +2

    Uko sawa

  • @asteriashios1852
    @asteriashios1852 Год назад

    wabunge wetu mnapiga kelele lakini hamuwajali watanzania hao wenzake hawajawahi kulima ni wavivu tuu wanajua kuotesha maua tuu hawana lingine hata kufagia nje hawajui maana kazi ni namna ya kupata hela tuu na kati ya wabunge mwigullu ni hewa kabisaaa bora asiongee anakeraa huyu mwizii alieshindikana

  • @sempaysensey6486
    @sempaysensey6486 2 года назад

    Mwigulu we magufuli sialikutoa hinchi ni Mungu tu ndo atusimamie cz tunayumbishwa sana

  • @flyhigher5393
    @flyhigher5393 2 года назад +7

    Mwigulu kilaza

  • @rahmaamgoo7919
    @rahmaamgoo7919 2 года назад +9

    Wakulima sisi hatuna wakututetea tunaumia tunatumia nguvu nyingi shambani na mda lakini tunanyonywa 😭😭😭😭

    • @wilsonmkumbo
      @wilsonmkumbo 2 года назад

      Acheni bei ipande Moka mbinguni,ili mkulima afaidike,shida iko wapi?neno njaaaa linatoka wapi,chakula serikali iliruhusu kikatoka nje ya dunia,Leo kelele vipi?

    • @ramadhanitokwete8069
      @ramadhanitokwete8069 2 года назад +1

      Achana na kilimo fanya mishe zingine

    • @rahmaamgoo7919
      @rahmaamgoo7919 2 года назад

      @@ramadhanitokwete8069 haya nipe hiyo mishe niachane na kilimo

  • @rommyshabby3959
    @rommyshabby3959 2 года назад +8

    Kataa wahuni

  • @emmanuelmsuya8578
    @emmanuelmsuya8578 2 года назад +13

    Jamani sisi ambao ni wakulima tunaumia mno jamani

  • @erickchitumbi1308
    @erickchitumbi1308 2 года назад +1

    Balaa hili

  • @Ali.salimu
    @Ali.salimu 7 месяцев назад

    Asante. Hawajui. Kulima. Wajua. Kulatu. Ndio. Maana. Hawana. Uchungu. Naa. Wakulima. Maskin

  • @mtanzaniahalisi1213
    @mtanzaniahalisi1213 2 года назад +3

    Sijawahi kumwelewa mwigulu ni bora jiwe kwenye nafasi hii

  • @brucardkomba616
    @brucardkomba616 2 года назад +1

    Tundu kaliamsha bunge

  • @AyubuMsindo
    @AyubuMsindo 7 месяцев назад

    Yani watukama hawa respect

  • @maryhando227
    @maryhando227 8 месяцев назад

    Safi tunataka wabunge kama hao

  • @bashangegoogle6714
    @bashangegoogle6714 2 года назад +6

    Mwigulu Just step down For your own good and respect.

    • @daudimakarai1523
      @daudimakarai1523 2 года назад

      Iko sawa wakulima hatunamtetezi mnajua mfanyacho jengeni nchi hatuna amani tunautilivj pesa imeenda wapi?

  • @jenivedasto9056
    @jenivedasto9056 2 года назад +1

    Mwinguru ajiuzuru uyo amuna kitu,

  • @raiderking4637
    @raiderking4637 2 года назад +4

    Wafunge tu bunge

  • @LuganoMwakalinga-p3k
    @LuganoMwakalinga-p3k 7 месяцев назад

    Mh,Mwiguru aliteleza kusema tukishindwa kulipa kodi tuhamie Burundi,Burundi siyo kwetu kwetu hapa Tanzania

  • @allandavid752
    @allandavid752 2 года назад +1

    Nimemsikia mmoja anamwmbia katani usilie

  • @ridiazaliwa6172
    @ridiazaliwa6172 6 месяцев назад

    Kweli mbunge wewe unanijua Mungu ndio maana unajua shida ya mkulima

  • @khalifamembe1381
    @khalifamembe1381 2 года назад

    Katani umeongea point

  • @johnathelisha7297
    @johnathelisha7297 2 года назад

    Uyu mubunge ni fireee

  • @LucianSanga-q8j
    @LucianSanga-q8j 8 месяцев назад +1

    Jamani Apewe Maua yake Mwigulu Ana sema ukweli Mtupu Apongezwa Hakuna Mweshimiwa Anaye sema Wapungu ziwe Mishahara yao ili Tununue pembejeo kwa Wakulima

  • @verdianabanabi2205
    @verdianabanabi2205 7 месяцев назад

    Mwigulu hatufai yaani ameisha ona watanzania mabwege. Wanyonge tunazidi kuteseka anatuwekea matozo kibao hata ukitoka na mkungu wa ndizi unatozwa sh. 1000

  • @christinadominic980
    @christinadominic980 7 месяцев назад

    Wizara kilimo kweli bei ya mchele ipo chini mkulima hawezi kuendelea na pia wafsnyakazi wa ushirika motogoro mrcu toka mwaka 1995 hadi leo hatujalipwa mafao yetu na tuhakiki lakini hatuwi tutapata lini mara ya mwisho january 2024 hutujuwe tufikilien watumishi wa mrcu

  • @ShadrackMussa-ir1sv
    @ShadrackMussa-ir1sv 9 месяцев назад

    Ongezeko la mishahala

  • @chomasongidion6047
    @chomasongidion6047 2 года назад +5

    Mwigulu hawakupendi kabisa watanzania umepata laana,

    • @kunyaobelela4062
      @kunyaobelela4062 Год назад

      Ajiuzulu na ahame aende ubeligiji kwa tundu lisu

  • @AssumpterMshamaAssumpterM
    @AssumpterMshamaAssumpterM 7 месяцев назад

    Siyo kweli kwenye mkopo wa wakulima

  • @olembetonga7341
    @olembetonga7341 7 месяцев назад

    Mwigulu wa Tanzania tunakutizima, kumbuka hii nchi sio ya mamako

  • @fadhilikyandofadhilikyando5666

    Hhuyu mbunge kama mpinzaniiiii

  • @livinuskamugisha5296
    @livinuskamugisha5296 2 года назад +7

    Utakamatika tu mzee wa trat na trab umeanzia kutukana wananchi na kwa sasa umeamia kwa wabunge.

  • @sanyajuutv2679
    @sanyajuutv2679 2 года назад +8

    Kweli kabisa bunge hamengeya kitu kikubwa sana

    • @athumaniahamadi3812
      @athumaniahamadi3812 2 года назад +1

      Mfumuko wa bei ni mabadiliko ya Tabia ya nchi mvua Zina muda mrefu hazieleweki ,jadilini jinsi ya kutumia vyanzo vya Maui kuimarisha kilimo

  • @lilykarim8968
    @lilykarim8968 2 года назад +5

    Yaani huyu mwiguru ungepisha kiti tatizo unapenda uwaziri pia hata kujibu huwezi unajibu kwa hasila mara tuhamie burundi mara waganga wa kienyeji matusi hayo

  • @LucianSanga-q8j
    @LucianSanga-q8j 8 месяцев назад

    Mwi gulu yupo sawa Wanao shindwa kifikiri ni watunga sheria na sio TRA wao wana Tekeleza Mliyo ya Andaa na Maelekezo ya watunga sheria

  • @BoniphaceMbogoshi
    @BoniphaceMbogoshi 5 месяцев назад

    Kweli kabisa mkulima anateswa kwa bei ya mazao serikar jipangen vizur ili msimwangushe Mama ruhusuni masoko huria yatumike na mkayasimamie

  • @hamishamza1961
    @hamishamza1961 2 года назад

    Fact kbs

  • @sautiyangu1
    @sautiyangu1 Год назад

    🙏🙏🙏🙏

  • @jumaayusuph1307
    @jumaayusuph1307 2 года назад +1

    Wao go hao wanajifanya wakali chadema waja kasi wanajihami

  • @claudbusumilo3979
    @claudbusumilo3979 2 года назад +4

    WAZEEE WA GADENI WAKULIMA WA GADENI

  • @profs.a5412
    @profs.a5412 2 года назад +2

    Yani sio kuwatukana tu, kawavua nguo huyoo 🤣..... Yani mnaweza kujadiri mambo ya uganga tu. Afu anasimama anaongea kwa zarau , sipati picha mwigulu awe Raisi sijui watu tutaishije,...kwanza alisha sema cc tuhamie burundi😂😂

  • @emanuelmarco2445
    @emanuelmarco2445 2 года назад +4

    Yes big up ,tunataka wabunge kama hawa

  • @DaheerK
    @DaheerK 8 месяцев назад

    Kweli kabisa tunduru namba moja akuna bei mazao yetu nambunge watunduru sijui ninan

  • @nasrahassan7346
    @nasrahassan7346 2 года назад +1

    tabora tunanunua debe 23 adi 22 sijajuw mwezi huu ni shingapi wafanya biashara wanapandisha sana bei

    • @chichiry
      @chichiry 2 года назад

      Wakulima tuna teseka

  • @nardhismhagama6266
    @nardhismhagama6266 2 года назад +2

    Wagongameza wamechaluka wabunge wakalime halafu wakopwe na chama Cha ushilika harafu muone uchungu

  • @josephinamkono5183
    @josephinamkono5183 2 года назад +1

    Tatizo niuganga unadhani vingine havipandi nichakula tu naomba mjue maisha magumu

  • @Felix-e6t4m
    @Felix-e6t4m 9 месяцев назад

    asaante sana mmezoea kuwapiga taarifa wabuge wanatete wakuma tuna machungu na wabunge wasiojali wananchi wanamjali sana samia. wakati utafika samia apigi kura ni. Sisi tuna piga kura wenu ni simba sauti ya wanyonge

  • @sonnyr1899
    @sonnyr1899 2 года назад

    Waziri mtarajiwa Big up

  • @CharlesMafwimbo
    @CharlesMafwimbo 8 месяцев назад

    Kweli kabisa wakulima maskini wanateseka sana

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 8 месяцев назад +1

    Wewe mbunge ningekuwa nawewe kabisa. Lakini kwa kile mlichokifanya kawa Bandari zetu nawadharau wabunge wote wa CCM. Kama watanganyika watawapa Inchi ya Tanganyika kwa CCM watakuwa wanajinyonga wenyewe na huyo mama yenu akiendelea kwa miaka 5 tu Tanganyika itafutwa katika dunia!

  • @victormtani7170
    @victormtani7170 2 года назад +6

    Katani ebu mpe huyo Bashe ukweli......katani ndio Mtetezi wetu wakulima taarifa zenu ni za kitashi na ukweli wakulima wananyongwa sana wanauza debe 10000 na Wafanyabiashara mijini wanatuuzia debe 1 kwa shiling 23000. Hapo ndio mnatetea wakulima au mnatetea wezi wa Wafanyabiashara