Upinzani ndo nini we nae! Mlishajiaminisha mtu kua mpinzani ndo anakua mkweli? Humo ndani huwaoni wabunge walio machachali kutetea wananchi? We unawaza upinzani tu, mpinzani ni mTanzania na hao CCM ni waTanzania
@@georgemassebu2083usifikili kuwa kila mtu anayesema wawepo na wapinzani ukahisi na yeye ni mpinzani. Inabidi uangalie mbali ni kwanini huyu mtu kasema hivyo. Ipo siku utakubaliana nami.
Asante madam Kama Jimbo letu la kibamba ni asilimia moja tu ya watu wanaopata maji asilimia 99 hatujui maji ya bomba tunatumia maji chumvi je uko vijijini si ndio kabisa
KUNAKITU NINAKIONA HAPA KIZURI SANA NAOMBA ENDELEA HIVYO HIVYO ILI UJE KUWA HAFITHI NZURI KATIKA TAIFA Ila utakuwa MWANAMKE wa 1 MZALENDO mpaka Sasa unakaribia Ila MUNGU akujalie kwa Imani yako mama angu hongera Ila ww NI MZALENDO unakaribia MUNGU akujalie usije ukawa upande wa hao majambazi hongera sana
Huu siyo u daktar wa darasani. Tuna madoctors wengii Tanzania. Huo ni udoctor wa damu. Anajua kutetea haki na ukweli bila kigugumizi. Hongera sana dada Yetu na Spika wa Bunge la 🇹🇿 Nimeupenda msimamo na hoja zake.🙏
Spika Dr. Tulia unakuwa wa kupoteza mda. Asilimia ya takwimu za maji kitaifa amwatajia. Tena akasema jimboni kwake kwa anayelalamikia maji aende kwa watu husika kuulizia yeye ana takwimu za kitaifa . Hapo atasema nini zaidi.
Hapo Sawa kila Mhimili ufanye kazi yake...Taarifa kama haipo Sawa kutoka Serikalini lazima isimwe haipo Sawa na hiyo ndo kazi ya Bunge na haki isipopatikana Mahakama Lazima isimamie haki ipatikane🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Tulia unafanya watu wajivunie watoto wa kike
Asante mheshimiwa spika. Taifa hili tunahitaji watu wakweli ili tufike. Dr. Tulia Mungu akutunze mama yangu😍...Msukuma tunakupa PhD nyingine tena😍
Mweshimiwa sipika sisi tunakushukuru kwa pointi
Wewe acha ujinga unatoa ela hizo ela ni zako wewe ela ni zetu za walipa kodi
Dr.Tulia Akson ..big up,so smart
Mh. Tulia wewe ni mlezi na mwenye haki moyoni mwako.
Hii ndio raha ya kuwa na Spika Daktari wa Sheria, Big up sana Mama Speaker, Uishi miaka mingi bungeni mama👏👏👏🙌🙌🙌🤝🤝🤝🙏🙏🙏
Raha ya kuwa na kiongozi mwanamke( mama🥰) anayejua uchungu wa kubeba ndoo
Nakupenda mpk naumwa🥰🥰
Hongera sana Mheshimiwa spika kwa elimu unayotowa mara kwa mara kwa mawaziri na wabunge wanaojifanya wajuaji!
Sijajua Mwigulu anashindwa wapi kumwelewa Spika
Mwigulu kaelewa ila hana jibu la uhakika
Huyu jamaa mchumi lakin 🫥 kabisa
Tulia sio kwa kumnyuka hivyo mwiguru😂😂atakuwa akikuona anatamani kulia😂😂
Acha alie
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Lazma aanze kumuogopa, maana siku zile alihojiwa hadi tukapata ile trab na trant...leo tena kajaa kwenye 18 tena
🤣🤣🤣🤣
@@allykamanga4366 haahaha
dada tulia mungu akulinde nakupenda tu
Mzimu wa magufuli umemuingia Tulia Acson . Big up mama
Hongera sana Mh. Spika kwa kutokukubali uongo wa baadhi ya mawaziri kama walivyozoea business as.....
Bila kua muongo nchi hii utateseka sana hongera Sana spika
I see the bright future for this woman...May God bless her
JPM yupo hai mioyoni mwa wengi, na siku zinavyoenda uhalisi unazidi uongo
Asante spika Tulia. Nimekukubali kwa kusimamia hoja. Keep it up💪💪👍
Big up sana Dr.Tulia Akson, speaker wa bunge la Tanzania. Tungepata pia na wabunge hata 7 wa upinzani ambao ni machachari hakika tungefika mbali sana.
Upinzani ndo nini we nae! Mlishajiaminisha mtu kua mpinzani ndo anakua mkweli? Humo ndani huwaoni wabunge walio machachali kutetea wananchi? We unawaza upinzani tu, mpinzani ni mTanzania na hao CCM ni waTanzania
@@georgemassebu2083usifikili kuwa kila mtu anayesema wawepo na wapinzani ukahisi na yeye ni mpinzani. Inabidi uangalie mbali ni kwanini huyu mtu kasema hivyo. Ipo siku utakubaliana nami.
Muda wote waliokuwemo mlifika wapi au unaleta ushabiki wa kitoto tu hapa
Ile kulewa mpaka kuvunjika miguu?
Unaona ee!!! big up sana asee!!!!
dr Tulia your the best and you deserve to be in that position
Huyo jamaa hakuna kitu kabisa
Alafu anajifanya mbishi anajua kila kitu ..
Mwakaaa huu ni wake
Huyu hadi ndanj kwa mkewe ni boya mpumbavu huyu
Tumtumbue et
TRAB NA TRAT😎🎼🎶🎵🎧
Akuna kitu hapo hyooo msanii tyu
🤣🤣
Nakumbuka Magufuli aliwahi kumpiga gwala toka siku ile ndio nikatambua kabisaa ya kwamba Magufuli anaona mbali sana 🤣🤣
Hapo ndiyo unafahamu kwamba spika ni msomi anasimamia haki hatetei ujinga
Asante madam Kama Jimbo letu la kibamba ni asilimia moja tu ya watu wanaopata maji asilimia 99 hatujui maji ya bomba tunatumia maji chumvi je uko vijijini si ndio kabisa
Mwigulu bwana!!! Hoja IPO wazi,,,,,msukuma anaweza kuwa mbunge no 1 kwa hoja ambazo Ni real
This Lady is future Head of State!!
Kweli ...hili ni jembe
Ubarikiwe sana Mhe.Spika Tulia Akson. Ninaiman na wewe kwa haki unayointenda katika nafasi yako.
Dr Tulia 🔥
Mwigulu ni tatizo sijuwi sijawahi kumwelewa kabisa
Mama amtoe huyu mtu watu wanamshambulia sana uwezo wake wa kutatua mambo ni mdogo
KUNAKITU NINAKIONA HAPA KIZURI SANA NAOMBA ENDELEA HIVYO HIVYO ILI UJE KUWA HAFITHI NZURI KATIKA TAIFA Ila utakuwa MWANAMKE wa 1 MZALENDO mpaka Sasa unakaribia Ila MUNGU akujalie kwa Imani yako mama angu hongera Ila ww NI MZALENDO unakaribia MUNGU akujalie usije ukawa upande wa hao majambazi hongera sana
Mzee wa trab na trat big up Dr Tulia unatufurahisha
TRAB na TRAT...🙄
Trab na trat imejaa longolongo😂😂😂
Yan mwaka huu, kiukwery aisee dah😥😥😥yan hata kwenye maj bado watu wanajing'ata ng'ata eeh mungu weeeeh😥😥😥
Tena mbunge na waziri mwenye dhamana kubwa.
Huyu mwizi huyu Yani Nchi Inaviongozi wa hovyo sana
Hongera sana mh tulia mana umetusaidia nasisi wananchi kujua/ kupata ufafanuzi zaidi ubalikiwe sana.
Uyo waziri hafai kabisa
Congratulations sana mama yetu Dkt.Tulia, waziri ameshindwa kuelewa swali kabisa kabisa
Mwigulu has attended the class in a Parliament Meeting Hall. Congratulations Dr. Tulia Ackson
Huna uwezo kuwa sipka huna huruma
Msukuma😂😂😂😍
Mama yetu Dr. Tulia you have wisdom God bless you mum🇹🇿
Huyu mwigulu dah
You are so smart madam Speaker..all the best
Punguzeni Saisa nchi mnaitia hasara kubwa
Huyu Mwigulu atupishe kazi imemshinda
Nashangaa Raisi sijui kwa nini anambeba mtu hawezi kabisa
😂😂😂 Siku akiwa kwenye kiti Docter Tulia Nafurahi sana kulitazama Bunge Maana sio Spika Wamchongo hata kidogo
Unajua Haya majibu ya serikali lzm ya we yanajitosheleza. Naona Kama Waziri hayuko happy sana kubanwa hivyo.
Mzee wa TRAT na TRAB anazingua
Shauri yake kubanwa. Ndiyo maana kuwa waziri wa michongo. Mwigulu ni tunda bovu.
Dr tulia we ni fire sana
Huyu mama kiboko
Yaan huyu jamaa huwa simuelewi Haki ya Mungu asee huyu jamaaa liwekwe jiwe na yeye bora nichague jiwe kuliko huyu jamaa asee
Hata mimi sijawahi kumwelewa. Ni kilaza kufa mtu 😃😃😃😃
Huu siyo u daktar wa darasani. Tuna madoctors wengii Tanzania. Huo ni udoctor wa damu. Anajua kutetea haki na ukweli bila kigugumizi. Hongera sana dada Yetu na Spika wa Bunge la 🇹🇿 Nimeupenda msimamo na hoja zake.🙏
huyu mwanamke saiz kabadilika aiseee 🤣🤣🤣 ahsant sana 🙏
🤣🤣🤣
Tulia anaupiga mwingi kuliko mama yenu
Huyu akigombea urais nampigia kura
SURE 💯
....Trab na trat 😂😂😂😂
I like her. Give this woman the presidency.
Nafasi yake ni kubwa zaidi ya hiyo ya urais
Hongera spika uongo hauna nafasi
We we we usithubutu kabisa
Tulia huyu mhuuuuuh 😁😁😁😁😁😁😁😁atawanyoosha afu inaonekana anamalengo mapana kuliko hako kausipika
Yan Katka viongoz huyu mweshimiwa sjawaig kukuelewa.🙇🙇🙇🙇
mwigulu amezoea kutudanganya😂😂😂😂😂😂😂leo kapatikana,i appreciate you tulia ackson
Upinzani ulikua unachangamsha bunge bwana🤣🤣🤣🤣 hili bunge limepoa sana
😎tulia kama tulia💥
Real Name definition 🏋️
Mwigulu na Makamba hawaaminiwi na wananchi wengi
weka na nape hao watu ni wa mchongo...
Mheshimiwa Tulia Mungu wa mbinguni akutunze🙏
Safi sana Dr Tulia 🙏🙏🙏
Mwigulu mpaka umueleze vzr madame spika uwazir uliupataje pataje😎😎😂😂😂
😂
MAMA YENU HUYO KAMUWEKA KIJANA WAKE
Amesoma kweli huyo Mzee, au dhambi za watanzania inamsokota.
Spika endelea na mkazo wa namna hiyo ili wawe wanajibu hoja walengwa
tuwe tu wastaarabu jamani kwa suala la waziri wa fedha tumepigwa, naomba kuwasilisha.
Dr Tulia anaupiga mwingi sana
Huyu ni mbishi tu! Uhalisia wa takwimu za maji kitaifa sio sahihi!
Waziri bwana😂😂 mama Tulia Ackson ni 🔥🔥🎻🎷🎷🎷🎸
Tulia ajengewe Mnara pale Nyerere square pembeni 😊😊😊😊💥💥💥
Mh spika🔥🔥
hebu Mwigulu ifike mahali aache MBAMBAMBA katika maisha ya watu
Hafai huyu jamaa,Makamba,Nape hawafai hata kidogo
dah tunapigwa sana waziri hajui kit
Safi Sanaa Do Rulia umemwuliza swali gumu kwa mwugulu. Ana Cha kujibu.
Mwigulu awe waziri wa Nchi za mchongo tu kwanza Jeuri sana huyo na kauli zake zakejili kwa raia
Tulia umejuwa kumnyuka huyu mpuuzi mwigulu vizuri sana... Anaongea off point ajui anachokiongea kabisaa
Haelewi hojaa😂😂😂 au anajizima date
Jiziiii😂
Spika Dr. Tulia unakuwa wa kupoteza mda. Asilimia ya takwimu za maji kitaifa amwatajia. Tena akasema jimboni kwake kwa anayelalamikia maji aende kwa watu husika kuulizia yeye ana takwimu za kitaifa . Hapo atasema nini zaidi.
Asante xana spika mh. Tulia ackson kwa kuendelea kuendexha bunge la jamhur ya muungano ya Tanzania. Kazi iendeleee🙏🙏🙏🙏🙏
Hatuna waziri wafedha tanzania
Hongera sana Spika wetu. Unasimamia ukweli. Hicho kiti kinakutosha sana. 👏👏👏👏
Du! Nimeamin kweli tulia ni zaidi ya NDUGAI
Mama Tulia acksoni hongera Kwa kazi nzuri ,mungu akujalie maisha marefu yenye heri na baraka uendelee kulifanyia kazi taifa la Tanzania
KWELI TUNAPIGWA AISE😭😭😭😭😭😭😭😭
Tulia Trust I respect you
Huyu waziri ni zero!
ivi uyu tulia ame olewa jaman
Tuliaa aksoni ,,,RAIS 2025🙌🙌🙌
sawa sana spika,mwigulu anakawaida ya kujibu kipuuzi
Mwigulu kama jipu vile yaani huwa simuelewagi kabisa.
yaan mwigulu hanaga point tu na ndoo maana sngda tunaaswa tuuuuu
Daah ila huyu Waziri😅😅😅😅Asante Speaker🎉
Kama Jimbo la nkasi wananchi wanahali mbaya maji hakuna kabisa
Mheshimiwa Raisi mtoe huyu Waziri wa Fedha hafai hata kidogo kwa nini unamngangania nini?anakutia aibu tu kwani msomi ni yeye tu
Shkamoo mh spika nakuombea sana wasije wakakuuwa
Asante Spika. Uko sawa kabisa
Tulia ndio kiongozi tunaowataka sio zungu mpigaji tu na hana faida yeyote bungeni afukuzwe
Anaubabe wa kjnga kwanza zungu
Daaaa kweli huyu ni Dr.Tulia Yuko vizuri Sana
MWIGULU UNACHEMKA, WAKATI WENZAKO WANAWATETEA WANANCHI WEWE UNATETEA MASLAHI YAKO BINAFSI UTAFIKIRI KIJIJINI KWENU HAWANA SHIDA KABISA....Yaani kila kitu kwako ni "TRAB & TRAT" tu.
Big up mama uko vizuri👏👏
Mbegu yamagufur
Hatari Sana hwa Mawaziri
Huyu dada tulia anajua xana pia ni anajielewa sana
Huyu mwingulu nasemaga kila siku hakunaga kitu kwenye kichwa chake nakama anajua achokifanya Basi huyu ni mwanasiasa
Yan Dr tulia anaakili Sana Mungu akubariki Sana ! Huyo mwingine anajiita dokta wa hesabu ona sasa udaktar wake sasa zero plus
Nakubali Sana huyu mama
Kwa kweli waziri Mwigulu unachemka sana katika kila jambo
Hapo Sawa kila Mhimili ufanye kazi yake...Taarifa kama haipo Sawa kutoka Serikalini lazima isimwe haipo Sawa na hiyo ndo kazi ya Bunge na haki isipopatikana Mahakama Lazima isimamie haki ipatikane🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Madame speaker your doing an amazing job na hongera sana kwa kweli.
Mh .Spika barikiwa Sana hawa mawazir hawatatufikisha
Ukweli Spika uko vzr xana big up
Tulia very smart!! 😊
Je ni kwel mwigulu anafaa kuwa waziri wa fedha hata kujielezea na kujitetea kweli anashindwa congratulations 👏 Dr. Tulia super woman
Hafai kbsa,kazi yake kutupiga wananch
Uwezo wake wa kuanalyse mambo ni mdogo sana.
Hafai
Hapo Dr Tulia umeonesha wewe ni bora kuliko huyu waziri
Sema waziri, mmh, hv unashindwa kumuelewesha spika wako, hiv asa unatusikilizaje wananch wako, 😥
I love you mama