MPINA AIBUA 'VARANGATI' BUNGENI, AMTAJA WAZIRI MKUU, SPIKA Amtaka Alete USHAHIDI
HTML-код
- Опубликовано: 5 фев 2025
- MPINA AIBUA 'VARANGATI' BUNGENI, AMTAJA WAZIRI MKUU, SPIKA Amtaka Alete USHAHIDI
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm
Hongera Sanaa spika wetu Tanzania tuna spika mzurii mungu ambariki na Sisi pia atubarik.
Yaani speaker Tulia unajua sana na hongera sana upo vizuri sana ,yaani wewe dada upo vizuri sana nakupenda bure ,unajibu hoja vizuri sana
Mpina ni mbunge wangu
Wa jimbo la kisesa,
Hongera sana
Saizi ushakuwa jembe
Usiogope tuko nyuma yako❤❤
Hongera sana dr tulia.
Nafasi alokupa mungu inakustahili kabs, pia mpina mungu akuongezee confidence ulonayo kutetea wananchi
Bunge hili jmn kidg nitukane walah mungu nipe uvumiliv .
Limekuw bunge lakutetea viongoz na cy lakutetea wananchi . Mpina mungu akulinde sana upo sahihi
Hongera mbunge mplna tungewapa watano kama nyingi tuko mbali sana
Spika wetu nakupenda Sana asa unapotoa maelekezo nimempenda upivyomjibu jenista muagama huyu kazi yake ni kuwazuia wabunge kusema!!! Hongera mh spika wetu!!!
Dr Tulia is one of best speaker in this country big up madam ur right mauwa yako chukua una umakini ulio pitiliza mpina yupo right tulia yupo right ila hao wengine wame rukia gar kwa mbele na kukosa umakini hasa huyu jenista kwanza ana poteza mda😂😂😂😂😂
Hongera Mpina hapa wabunge wengine hata kufuatilia cho chote. Wanataka kuwa wachawa tu kwa kweli hali ya hili bunge lake ni dharau tu wanatutendea maovu mengi.
Hongera Mhe Mpina,
Hakika una uwezo mkubwa sana, umewapiga kwa hoja mpaka wametulia!
Na hongera kwa Mhe Spika wa Bunge, unachambua hoja vizuri sana!
Mpina kuna watu pia wanauwawa ngorongoro pia hao uwazungumzie hongera kwa mada yako
Kiukweli huyu spika akigombea urais naenda kupiga kura anatenda sana haki
Ndo nimegundua kuwa ili bunge limejaa wa kupiga makofi bila kuelewa Nini kinaongeleka
Hongera sana Mpina lkn Pia Speaker mtu makini sana salute kwako
Mpn Doo mmbunge peke yake
Yaani kama huyu
Anaejiita Jenister ni hovyoo kabisa
Mpina excellent
Hongera sana Mbunge Mpina.Tunahitaji kuwa wakweli na wawazi sio makofi tu.Haileti maana yoyote.Hatutajenga Taifa hili kwa style hiyo
Hapa nimemkubali sana Mh. Spika, kwanza ni msikilizaji mzuri sana, ilibidi nirudi nyuma kusikiliza hoja ya Mh.Mpina vizuri..She is so much brilliant. Yaani hoja ni moja tu kama kama maelekezo yalitolewa na Waziri Mkuu yamefatwa ama laa
Speaker,of course she's bright leader
Mungu akubariki Mh Mpina.
Wabunge wanafanya utoto😢😢😢
Mpina ubunge unautendea kazi mungu akubariki ,,,bila kksahau spika wa bungu you are so bright at all
Hongera Mh.sipika kwa uchambuzi wa kina
Professional speaker i love you my dear good day you stand with Tanzanias citizen
Jenista soma hata mitandaoni uone uachoeleza na Cha mpina, we unge tulia tyuuu mama angu, na Mungu akupe umri haraka haraka Ili.....
Huyo mama jenista kazi yake kubwa ni hii kweli...ameumia sana kuhusu kauli hiyo
Mh. Yuko sahihi ujawahi shindwa mungu akubariki
Mim ninaiman kunawabunge awajielewi na awajui majukum yao
Sasa kama waziri mkuu anatoa maagizo arafu hayatekerezeki na yeye nimmoja wao Kwenye tatizo ndomana ndomana hayatekelezeki🎉
Uko vizuri mama rais wa mabunge duniani is
Mpina upo vizuri hla nchi yetu hii utakufa mapema ukiwa na msimamo kama huo ndugu yangu ww chakufanya jaribu kula na kipovu kwasababu hao hao wanao piga makofi ndiyo wasaliti .
Haya makofi, yana maana gani?
Hongera Luhaga lakini Msemakweli kwa tanzania yetu huwa hadumu angalia majambazi wezi watakuuwa
SAFI SANA SPIKA UKO SAHIHI.SIMAMIA HAKI NA UKWELI.MUNGU AKUBARIKI
Mpina wetu,Hongera sana!!!
Asante mh spika apo ni sawa
Muhagama anapoteza muda wa mh Mpina. Spika umeelewaka vizuri sana.
Uko vizuri sana Mhe.spika
Hongera Tulia Akson
Hongera mhe mpina kusimamia ukweli ni bora kuliko makofi mengi!
Safi sanaaa spikaa
Umeongea vzr.Lazima kuwatetea wabunge wanaotoa hoja nzr zina na hata km zinamgusa kiongozi ndio demokrasia hiyo tuvumilie
Wewe Ndumaro siku zote unapenda kuongerea kujipendekeza na wote ni wapiga makofi tu. Sasa hapa kuna bunge au ni vitu vya ajabu sana. Hata sisi wanainchi hatuoni kama tuna wabunge wakiwa hatuna wawakilishi wo wote. Mpina ndiye peke yake anakumbuka wanainchi waliowapeleka bungeni lakini wengine hamna habari na sisi wanainchi
Spika uko vizuri umemjibu vizuri jenesta muhagama. Jenesta muhagama anatetea kiti na si point. Mawaziri wameisha jijengea tabia ya kuteteana bila kujali matakwa ya inchi
Jenista anatetemeka jamani
damu za watanzania ni zito
Hongera ndugu mbunge Mpina
Waziri wa Mali Asili na Utalii alitakiwa kumpa Mbunge taarifa ya hoja...siyo kazi yake kumtetea Waziri Mkuu...waziri Mkuu analindwa na Kanuni.
Asante mh Spika kwa kukitendea haki kiti Ongera
Hongera sana Mh.Spika uko vizuri sana.
Mungu aipe Tanzania viongozi wakuwatetea watanzania. Kwa woga tulio nawo viongozi wengi hawafanyi Kazi zawo kwa faida ya watanzania, bali kutetea nafasi zawo na kujishibisha wenyewe. Wabunge walizko bungeni kwa kutetea haki za watanzania kimya. Hawana hata AIBU kupiga męża kumpinga Mpina mutetezi wa watanzania. Hawa jeśli tuwaite vyula viziwi.
Spika tulia maua yako 🎉 unajua mpina si mwamini sana lakini spika umetenda haki safi sana hongera
Asante mbunge kutusemea wafugaji
spika kwel kaiva kisawa sawa kwakwel nakubali sana
Hongera spika hongera mpina
😂😂😂😂😂 nicheke mie, eti bunge tukufuu!! Wote wezi watupu.
Ni mmoja ya mbuge ambaye wananchi wake wanajivunia kuwa na mbunge imara na mtulivu hongera saana damu ya kisukuma kwa utumishi mzur
Ahsante sana muheshiwa spika
Safi sana spika makini .
🎉yaani spika umepewe maua yako katika hila ,Jenesta Mungu anakuona
HONGERA SANA MH.TULIA KWA SASA UNAITENDEA HAKI TAALUMA YAKO HONGERA SANA!!! URAIS WAKO WA DUNIA UNAKUSTAHILI SANA.
Kabisa kaka
Mnalindana kisa vyeo mpeni lukusa mpina mpina hongera mungu akulinde
mpina na wanyama mtamkoma waulize wasukuma wa kwa joseph nyavu zao😂😂😂😂
Leo ndio imedhihirisha Wabunge wetu wengi hovyo ila Spika yupo vizuri sana
Asante sana sipika kuto kuwa na upande
Ubarikiwe sana spika
Kweli kabisa nakuelewa vizuri kwa sababu wabunge wengine wako kama wachawa tu. Kama ninyi mmetuchoka wanainchi ondokeni bungeni tuweke wengine kabisa. Sasa katika hayo tatizo la Mpina amekosea wapi?
Umo ndani kuna wabunge vichaaaa na chawa wa viongozi sasa tunalitumia bunge ujumbe tukutane mtaani 2025 mpina waache wakae wakijua mbabe bado yupo anachoongea mpina yupo sahihiiiiii
Tulia ni kiongozi bora sana
Sana!
Dhuluma haijengi haifai kudhulumu muogopeni mungu
namuona mheshimiwa mwigulu anavyopiga makofi kuona jamaa yake mpina anabanwa mbavuuu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂
mmm🙌🏿🙌🏿🙌🏿
Mpina usirudi nyuma, ni wengi mno tunaokuunga mkono
Big up sana kwako spikia kwa ufafanuzi huo nimekuelewa sana
Hongera kipenz Cha watu
SAFI MPINAAAA
Safi mpina
Moina ❤
Hongera spika nakufutilia kwa karibu sana hebu wamuache mpinaachngie jamani
Mh. spika Wabunge Waelewe Mpina Anazungumza Ukweli , Chaguzi Zetu Kama Waziri , Anajibizana na Mbunge Hoja Aslimia Kubwa Huku Mitaani kila Mtu Anafanya Kazi.
Mpina mmoja ni wa Wabunge 250😂😂
Mpina ni kinanda 😂😂😂😂 ina maana mbunge wa chadema ni mpina peke yakeee humo bungeniii😂😂😂
Jenista Umepuyanga kipumbavu mno
Spika uko vizuri
Kama hayo ni kweli mhe Mpina hakika uko sahihi na Mungu atakulipa.
MPINA😅😅😅😅😅😅😅😅
Wapinzani wanatuchelewesha🤣🤣🤣🤣🤣
Bunge fuata upepo, so sad kwa kweli 😮,hebu tuwe wakweli wananchi waliopo huku field ndo tunajua ukweli wa mambo,hv tuna mawaziri na wabunge wasiyojua kupambanua mambo kwa kiasi hiki!?
Asante sana Madam Speaker
Akina getere awa ni moja ya kazi mbaya iliofanywa na jpm kuleta wabunge ambao wapo tu,wafugaji wa nchi hii wanatumia Sana!!! Mpina yupo sahihi!!!
Mpina..unapingania..haki..ya..wanyonge .lakini..wengi..wenu..mnatunyoga..kona..mpina.kila.siku..wafugaji..wataifishwa..mfugo..yao..na..kubaki..masikini.😭😅😭😭🙏
Mpina hapo hakuna wabunge wapo maga tu😁😁
Waheshimiwa Wabunge Wetu , Anachorenga Mbunge , Hoja Ya Mpina Ni Ukweli Watendaji Walioko Huku Wamejikita Kwenye Utaratibu Wao , Hata Aridhi kunavitu Haviko Sawa Mpina Anacholengo Waziri Mkuu Amri Yake Watendeji Wanapuuza , Wanachofanya Wabunge Ni mambo Ya Hovyo Kwa Viongozi Tunaamini Unakinzana Kwa Fujo kumzuia Mtu Kuwakilisha Wanannchi
Kikubwa kinacho takiwa ni utekelezaji wa Maagizo ya viongozi wa juu Maagizo Yana tolewa Mhe waziri wetu Mkuu. Haya tekelezwi.
Mpina ni jembe, wengine humo ndani wapo wapo tuu, na ushabiki ambao hauna faida kwa wananchi hivi tutapata wapi wabunge kama mpina heche na musukuma hawa ndo wazalendo wenye uchungu, Mungu uwape maisha marefu hawa watu.
Huyu mama ni mnafiki sana na habadiliki ninafikiri unafiki huo alizaliwa nao
HakiKa mpina uko vizuli kwelikweli Upo makini na unaonesha ni kiongozi mahili usiye ogopa sula ya Mtu na unajikita Kwenye haki kwelikweli
Spika 🤝🙌🏽
Watu wengine wapo kama watu sijui kwa nini hao watu wapo
Watanzania hawajui kiingereza 😅😅😅😢
Jenista kikwazo sana. Kuna mawaziri shida na mizigo.
Nakwelewa sana mbunge wangu ww pekee ndo mtetezi wetu
Tanzani ya Samia imekuwa mateso kwa watu wa chini. Viongozi wetu ikiwa pamoja na wabunge hawawajali kabisa watu wa chini.
Mh. Spika wa bunge nakukubali sana
😮Mpina kawa Mwiba kwa ccm yao wenyewe!!
Mpina ndiye mbunge pekee aliyebaki mwenye ideology ya Magifuli ya kuwatetea wananchi.
Kabisa. Samahani nikisema karibu wabunge wote ni mazuzu. Hawako bungeni kutetea wananchi zaidi ya matumbo yawo
Hivi kwanini? Mpange kununua tugoma twangozi hamoni kwamba wengine wanaiga kupiga ngoma
😂😂😂😂😂
Shida sana Hawa,hiko ndo walichokiona,hapa mbona rahisi tu,kama rrais kakataza kwa cheo chake alichonacho,na kitu hiko bado kinafanyika basi raisi karuhusu,
Mm nawashangaa wabunge wa Tanzania wanashabikia ujinga
Spika anaakili sana
Mh mpina ili undelete kuwa vvip ktk bunge basi usikosoe ili tu upate uwazi or teuzi yeyote,fanya kazi ya utetezi kwa wananchi. Viongozi wa ngazi ya chini huwa wakishirikiana na watendaji kunyanyasa wananchi
Huyu ndiye Mbunge wa kweli kweli, wengi ni vilaza, Hawajami shida za wananchi kabisa. Mpina watanzania wakenya haki kwa wote wanakupenda. Endelea kutetea Tanzania na watu wake.