Mpina Aunguruma Baada ya Kusimamishwa Bunge, Asema Yupo Imara. Aahidi Kwenda Mahakamni Kudai Haki
HTML-код
- Опубликовано: 5 фев 2025
- Mbunge wa Kisesa kupitia CCM, Luhanga Mpina amezungumza kwa mara ya kwanza tangu asimamishwe kuhudhuria vikao 15 vya Bunge hadi Novemba 2024.
Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari Juni 29, 2024, Mpina amesema kuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Kamati ya Bunge haikumtendea haki katika sakata lilopelekea adhabu ya kusimamishwa Bungeni.
Mpina ameeleza kuwa atampeka pia Mahakamani Waziri wa Kilimo Hussein Bashe kwa madai ya kuvunja Sheria katika kutoa vibali vya kuagiza sukari nje ya nchi.
Katika hatua nyingine ameeleza kuwa, kitendo cha kusimamishwa ubunge hakijamvunja moyo na kusisitiza kuwa lazima mapambano yaendelee.
Unaweza kutufuatilia kupitia;
TWITTER: / thechanzo
INSTAGRAM: / thechanzo
FACEBOOK: / thechanzo
TIKTOK: www.tiktok.com....
Au tembelea tovuti yetu: www.thechanzo.com
Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved.
Hongera sana mpina, wananchi tupo na wewe. Adui zako wote Mungu atawaondoa....endelea
😢
Adui wa mpina ANATAKIWA kuwa adui wetu kwasababu adui wa rafiki ako ni adui yako
Maneno yakomupina yangekuwa Natijakama ungeongea kubadrisha katibampya pamoja nasheriambovu lakini kwavile watzwenginivilaza hawaelewi kinachoendelea
Namtabiria uraisi 🇹🇿❤❤❤
Mh Mpina uko vizuri sana tunakuunga mkono hatutakubali ufukuzwe ccm wengi wapigaji sana
Jipe moyo utashinda kaka yetu mpendwa Kila anaefanya kilicho chema Mungu yupo nae mda wote wala usikatee tamaa tunakupenda Kwa kazi zako nzuri
Mpina ni mbunge wa Jimbo langu la kisesa kwa kweli wananchi wa Jimbo la kisesa tumeonewa sana kwa kutuondolea mwakilishi wetu bungeni kwa kipondi hicho mungu ni mwema atakulinda utarudi bungeni kutuwakilisha wanakisesa kisesa oyeeeeeeees,mpina safiiiii
Daa nimekubali sana mheshimiwa
Ukoo vzr sana Mungu akutunze
Hongera tena niliona wabunge wote wa CCM
Walifurahia kusimamisha kwako, mpaka wabunge wengine waliongeza siku za kufungiwa kwako tena kwa makofi.
Hongera Sana mhe tuko pamoja
Pole sana tuko pamoja
ISHA ALLAH MUNGU YUPAMOJA NAWE HII NDIO DUNIA KUNA WATU WANAJIANGALIA WAO VYOTE TUTAACHA APAHAPA
Allah atakusimamia kaka
Uko sawa kabisa mweshimiwa
Pamoja sanaa kamanda
Stay strong 💪 MPINA, we are with you and keep living the truth ✌️
Pamoja sanaaa nakukubaliiii
Yaani mimi sijakubaliana yaani watanzania tuharibikiwe kwa sababu ya hiyo wanasema heshima ya bunge sisi wanainchi ndio tuliowapa heshima
Hongera sana mpina kwakutetea wananchi wako niviongoz wache kama wewe
Duuuuh hatar sana Spika badala awe refa anakuwa wa upande flan
Pambana upo pamoja na mungu
Pore sana mh penye ukweli uongo hujitenga usikate tamaaa endeleaaaa
Umeonewa sn bro pole sn
Mwachie mungu ndie mueza yote. Ataingilia kati mungu.
Nimekupenda bule kwa Hilo mpina
Jembe kabisa hili
Jamani nisaidieni mimi sina cha kufanya juu ya Mh.Mpina lakini nisaidieni ni namna gani 2025 nikampigie kura halafu nirudi jimboni kwangu
Mr mpina nakukubali tutetee watanzania tutajupa nini watanzania hongera san
Mzee pole sana
Hongera sana mh.mpina kweli wewe niMwana TANU halisi,kwani Viongozi wa TANU walikuwa kama wewe Wana TANU Walijali sana Masilahi ya Wananchi kwanza.Umewataja Bw.Yesu Mtume Mohamadi SAW umemsahau MAGUFULI Nae pia ni wakujifunza kwake.Pambana tupo pamoja ktk Kweli.Mungu akujaze NGUVU_:Amin
Acha kumuweka Magofuli na mitume Ya Allah hivi uyo Magofuli ww alikupa nn
Hatari sana
Simama na aki mtu mungu atakubariki wengi wako pale juu ya tumbo zhao
Mungu atakutetea
Wapiga kura kwa Mpiga hingereni sana kutuletea kijana huyu.Sasa wale wa Bashe na spika na wale wote waliyomsulubu kijana huyu watanzania tunawaangalia
Mpina uko sawa wapeleke mahakamani kaka
Mungu akulinde kiongozi ukweli utabaki kuwa kweli
Mpina mungu yupo
Aiseeee ni aibu 😢😢😢😢😢
Bashe hahusiki na tuhuma ya sukari,anayepaswa kuwajibishwa ni aliyekuwa waziri wa biashara na viwanda .
Toa namba tukutumie Hera walizokuta wanainchi tunakuelewa
Mimi nasema hii nchi itapigwa mnada kama ndugai alivyosema maana wezi ni wengi sana huko serekalini
hujakosea inch itapigwa mnada viongoz wakubwa wamekuwa maharani wa inch.ndio maana luhaga mpina kafanyiwa zengwe.
Kaka mpina naimani allah ashindwi na chochote atakusimamia.tunaumia sana watanzania ila allah atatenda kazi yake kwa hao wanaojiona tanzania ni yao.
Wa unge wote wange kua kama mpina kwkwel taifa lisinge kua Lina ibiwa asilimali za taifa
Mpina umekosea sana hiya sio samaria uliyo pima kwa yule aliyo pima samaria kwa rula
Mzalendo sana huyu jamaa
Wamekuonea!!...lazima uwahoji ili wajibu..hawana hoja wamekuonea
Nakukubali sana mpina unaupiga mwingi km maguguli unaitetea nchi
Kama jambo hilo ni la haku Kwa watanzania basi Mungu hatasimama
Nimnafiki wameona utawaumbua wapigaji mpina mungu anakulinda
Makufuri mpya
Mpina umeropoka ujinga unastahili kabisa hiyo adhabu
Pole sana mtumishi wetu lakini wachana na hao machawa choo chadema ndio tuwasumbue kwasababu ww unaweza kutetea wanyonge
Wanyooshe wezi haooo
Spika hatuna
Fact sana
Serikali yetu imezoeawizi
Mi niko Dsm ila naomba uzima 2025 niende jimboni kwa Mpina nikampigie kura arudi
Mbele kwa mbelr
Mungu ahusike na wabunge wa namna kama Tulia
Bado areas zsngu na nauli za mizigo mm Mstaafu
CCM nzima mbunge ni mmoja tu mpina wengine ni wapambe hawana hoja kazi kubwa wanayofanya ni kusifia
Mm ni chadema damu lkn watu kama mpina wanaotetea nchi nawakubali sana kama magufuli alivyokua hataki kuwapa wazungu ama waraabu kupewa mali zetu na wakati cc tupo hoi
Mpeleke huko chagadema atawasaidia
Tunaomba namba yako tukutumie hela ya maji mungu akupiganie
Huyu ccm kwel au ni mpizani ongera kaka
Mpina pambana kk ukweli hua hautakiwi na wengene maana utawahalibiakuala
Ummmm
Nyinyi ccm wajanja tu hamna lolote😊
Yani inauma sana kufukuza mbunge
Tatzo Spika hatuna...
Waburuze mahakani hats mm nitachangia Mia yangu mafisadi wakubwa
Mpina Bima ya Afya kama alivyoshauri Mh Shabby Moro shaurini
Nenda kaka ccm Hawa watu wanasaidia chama chenu kuleta maendeleo
Hao ndivyo walivyo wanasimamia matumbo yao
Huyo ni mzalendo wa nchi hii.
Hivi inawezekana kupiga Kura jingine? Mm Niko tayari kwenda Kisesa nikampigie Kura ,nipe jibu
Kuna siku mheshimiwa bwege alisema ipo siku bunge litakuwa halina upinzani Mtasokolana wenyewe kwa wenyewe
Aisee bwege aliona mbali sana,Sasa wanasokorana wenyewe
Hata samia hana lolote atawafukuza hata watu wakigoma ulizeni watu wakia na ngororo mungu wangu
Kutabiri kwa lemA kumetimia tayari, SASA ngoja tuone watakavyozidi kutafunana eemungu tusaidiye utujariye umakini ktk nchihii
Mungu mkubwa ipo siku yataisha tuwe na subra tu
Tulia alikua kipind cha magufur na dhan tulia yule ame ondoka na magufur sasa ukiwa na pesa uko na haki zote😢😢
Mpina tuko pamoja nawe na ulionewa sana huyu mama ni mchawa wa serikali hasa mama yake, Mwigulu kwa hii Tulia yeye yupo kwa ajili ya mafisadi.
Ok
Una hoja za Msingi za kuliokoa Taifa,,,, ila tunasikitika Bunge letu limekuwa la ndio mzee.
Yani huyo spika anatuboa wananchi, kwa hiyo anataka tuwakilishwe na ndugu zake, huyo spika andoke au ajuzulu.
Mpina hii awamu ya sita ni ufisadi tu,hata useme nini, mafisadi ndiyo wanalindwa, RIP JPM
Pole Mzee tutakuwa pamoja
Mpina endelea kupambana tunakuunga mkono MUNGU naakupiganiye sana
Mpina uko viziri, ndiomaana ulipendwa na Magufuli
Spika hana shida ni Wa mbunge wezako
Wabuluze hao wote mahakani kama ni pesa za kuendesha kesi tutakuchangia.
Narejea tana maneno ya wa2 wazima kuwepo kwa wabunge wa cmm pekee bungeni bc watalana wenyewe kwa wenyewe
Mpina taja nambayako tukutumie pesa blaza kwa kututetea watanzania wengi apo mabogas
Acha unafiki ulikuwa waziri nn kilikutoa
Kweli Bongo ikaitwa Bongo😅😅
Hapa ukitumia tafakari ya kina kuna kitu kinagundulika ambacho kimekuwa kikitokea kila inapokalibia mwaka wa uchaguzi.
KITU AU SIRI HII ITAONEKANA MUDA MFUPI UJAO.
Umefuata nini CCM na bado
Hii nnchi ningumu
Mm sikusapoti hata kidogo uliumiza sana wavuvi
wagonjwa wengi wanaenda kwenye maombi dawa ni ghali sana
Mpina kumbuka kwenye msafala wa mamba hata kenge wp
AAccm siyo baba yako au mama yako toka huko unamkumbuka kolimba? 3:17
Nenda chadema
Au itisha maandamano