Mheshimiwa, hii kazi ya documentaries za aina hii ni utaalamu wa hali ya juu na husaidia sana jamii kufahamu historia, matukio nyeti kwenye jamii, na upanuzi wa demokrasia na uhuru wa taarifa katika jamii. Hongera sana, mheshima kwa taaluma hii haba katika nchi yetu. Hii ndiyo kwa kitaalamu huitwa forensic journalism. Ni.moja ya taaluma ambayo imechochea sana ukuaji wa demokrasia na maendeleo katika nchi nyingi zilizoendelea. Nakutia moyo ukuze kipaji hicho na kukiendekeza. Mwenyezi Mungu akupe kheri 🙏
Duh umenikumbusha mbali sana chanzo Mzee Tena mbali sana mchambuzi wa chanzo Shafiee KHAMIS so nice to remember that I still remember I was small boy on that time thks so much
Je,huyo Juma Zangira,alitumikia kifungo chake, bado yuko Hai,na hakuwa na Washirika katika ujasusi huu. Ningeshauri AFANDE MSIKA atengeneze Filamu ya tukio hilo
Huyo alikuwa haini kabisa wala hakuwa raia mwema na hakustahili kulitumikia taifa letu pendwa. Inastaajabisha na ni aibu kubwa sana walimjuaje kuwa anafanya hiyo kazi nyeti mpaka wakamtumia? Hatari sana.
HAMWOGOPI! HII ILIKUWA 1971-1977. JE,HAMWOGOPI KUWA KUTOKANA NA KUPEVUKA KWA TEKNOLOJIA KUMEPELEKEA KUKOMAA KWA UJASUSI WA VITENGO VYETU? TAKE CARE!!!!
Mheshimiwa, hii kazi ya documentaries za aina hii ni utaalamu wa hali ya juu na husaidia sana jamii kufahamu historia, matukio nyeti kwenye jamii, na upanuzi wa demokrasia na uhuru wa taarifa katika jamii.
Hongera sana, mheshima kwa taaluma hii haba katika nchi yetu. Hii ndiyo kwa kitaalamu huitwa forensic journalism. Ni.moja ya taaluma ambayo imechochea sana ukuaji wa demokrasia na maendeleo katika nchi nyingi zilizoendelea. Nakutia moyo ukuze kipaji hicho na kukiendekeza. Mwenyezi Mungu akupe kheri 🙏
Ameeen🙏🙏
P
Duh umenikumbusha mbali sana chanzo Mzee Tena mbali sana mchambuzi wa chanzo Shafiee KHAMIS so nice to remember that I still remember I was small boy on that time thks so much
Pamoja sana brother!
Sasa ndio zangira ashitakiwe et anauza Siri za inchi ya Tanzania Nini Tanzania inacho chakujivunia upuzii mtupu
@@SimonMwita-k8s 🤣🤣
🙏🙏
Duuuuu umenikumbusha mbali sanaaaa nikiwa mfanyakazi binti mdogo Nationalist Uhuru
Sharper man zangira, very iodiotic one
Duu#Bado yuko salama Zangira,,nimemlinda sana Butimba-Mwanza
Ameshatokaaa
Ahsante sana the chanzo
KAZI nzuri 🎉
saafi sana.
tu document historia na matukio ya nchi yetu
Hongera sana, Ndugu Shafii
KAMA HAUNA KARAMA HII UNAWEZA KWELI KUTOA MAELEZO YOOOOTE HAYA❤
Makala nzuri Sana, Ila sauti imetushika masikio 🔥🔥🔥🔥🔥
Africa tuna roho za ajabu sana yaani unadiliki kuisaliti nchi yako doh
Tuna akili nyingi sana hivyo hatuna maarifa
Makala nzuri
Mrugulu huyu alifeli sana
Hongera sana kamanda mssika
Dah ama kweli kuna umuhimu wa somo la historia ya Tanzania kufundishwa mashuleni
Mwamba Shafie Khamis anajua kushika masikio ya msikilizaji
Pamoja sana bro Elia
@@shafiihamisi1984TUPE STORI ILE BARUWA BOMU ILIO MUUWA MONDLANI NA KIJITI KILIENDELEZWA NA SAMORA MASHEL PLZ
Let's be patriotic as was during nyerere days
Great
Daraja la salenda kuna stori moja matata sana naiomba kwa sauti mkuu
Where is zangira now ??
Hilo ndio Swali zuri sana.
hawezi kuwa hai hata siku moja
Zangira alitumikia kifungo chake na alipomaliza alitoka akawa huru...baadae alifariki
@@shafiihamisi1984 Ooh,Asante kwa Taarifa🙏🙏
Je,huyo Juma Zangira,alitumikia kifungo chake, bado yuko Hai,na hakuwa na Washirika katika ujasusi huu. Ningeshauri AFANDE MSIKA atengeneze Filamu ya tukio hilo
Somo zuri kwa vizazi vyetu
Je zangira yupo hadi sikuhizi?
Huyo alikuwa haini kabisa wala hakuwa raia mwema na hakustahili kulitumikia taifa letu pendwa. Inastaajabisha na ni aibu kubwa sana walimjuaje kuwa anafanya hiyo kazi nyeti mpaka wakamtumia? Hatari sana.
Aah zangira , aah zangira why this?
🤣🤣🤣
Je alitoa hizo siri?...
HONGERENI WATUMISHI WOOOOOTE WA USALAMA WATAIFA WANA KAZI KUBWA SANA.
Huyuu ndio DOUBLE AGENT mkuu😂😂😂
NI KARAMA HIYOOO KUTOKA KWA MWENYEZI MUNGU
Yaani hakuna anaejua alipo Juma Zangira?
Mssika yupo hai mpaka leo
Yupo hai
Amehojiwa hivi karibuni AZAM TV( UTV) katika kipindi cha ZUMARI kinacho endeshwa na JAAFAR MPONDA
@@MinskBelarus-il2tl Kweli kabisa
HAMWOGOPI!
HII ILIKUWA 1971-1977.
JE,HAMWOGOPI KUWA KUTOKANA NA KUPEVUKA KWA TEKNOLOJIA KUMEPELEKEA KUKOMAA KWA UJASUSI WA VITENGO VYETU? TAKE CARE!!!!
Tz ilipanic tu,
Makachero
MUNGU AWALINDENI TU
Huyo hakuwa tena jasusi Bali kibaraka wa mabeberu, mhaini na msaliti wa Taifa !
Jua kwanza maana ya ujasusi..
✌️👍👊.
Yupo