Safi sana Jamal (The Professor). Uzuri wa Jamal anafanya utafiti mwenyewe kisha anatuletea hiyo hadithi kwa ustadi mkubwa wa kusimulia. Endelea kupambana Jamal, andika makala na vitabu, utafika mbali. Ukiandika makala mia ziunganishe kutengeneza kitabu. Mungu akupe afya njema, ucha Mungu, upendo, uchapa kazi, maisha marefu na mafanikio. Amina.
All I need in this world of sin its me and my boyfriend me and my boyfriend....... Down ride till every end Its me and my boyfriend me and my boyfriend.........
John herbert dillinger alikuwa na balaa uyu jamaa aliteka benk zaidi ya 24 na vituo 4 vya polisi na alikuwa kijana mdogo tu ila matukio aliyokuwa anayafanya sio ya kitoto mpaka kuna Dj bonga anajita JOHN DILLINGER alikuwa noma John dillinger...
Safi sana Jamal (The Professor). Uzuri wa Jamal anafanya utafiti mwenyewe kisha anatuletea hiyo hadithi kwa ustadi mkubwa wa kusimulia. Endelea kupambana Jamal, andika makala na vitabu, utafika mbali. Ukiandika makala mia ziunganishe kutengeneza kitabu. Mungu akupe afya njema, ucha Mungu, upendo, uchapa kazi, maisha marefu na mafanikio. Amina.
13
Nimakala ambayo tayari yapo kwakizungu anaitafsiri kiswahili gd job too
Jamani jamal...unavyoelezea ma hadithi unanibamba mbya...mob love from🏳️🏳️🇰🇪
Jamali nakupenda unavyo jichanganya nakila watu pia napenda story book zako jinsi unavyo simulia sauti yako mipaka uake ni gooood sana
Yote tisa, kumi ni Outro zako, huwa unafundsha sana...asomaye na afahamu...upate maisha marefu Jamal unadeserve crown ya best story teller!
Salute to you the only professor ,much love from 254🇰🇪
@peninah😙😙
@@christonchristian7448 😊🇰🇪
Creativity is on another level big up
PROF:nakukubali sana unatafuta historia kwa undani zaidi
Like za Jamal jmn hapa hata 10 tuu
😊😊
Umelipa ushuru kwanza
Mashallah professor umefanya mengi
Professor u are the best in this world
The only professor 🌍🔥
ruclips.net/video/PXTAr0xyse0/видео.html
This guy is a genius in this art and no one can beat him in this game.this stories have become therapy to my years🎉🎉🎉🎉.
Big up sana, tunafatilia sana stories zako. Tunapata maarifa.
Watched your stories for the 2nd time now .. WOW! Love it 👏🏼👏🏼. +61
I love the stories that are in the story book.. The swahili is just so awesome.. 🎯🎯
This is more than ingenious jamal
nakukubali sana yan kilasiku lazima nisikilize the story book 🥰
Fire
Ubarikiwe Sana professor Jamal 😍😍😍
Professor himself is 💥🔥💥🔥💥
Jamal April is the living professor 💪
This guy is very intelligent 👌
Professor 🔥🔥🔥🔥💯
Prof endelea na kazi poa.nipeni likes
Napenda unavyosimuliaa. Unasimuliaa vzur zaid. Kwa kina mpak kila mtu anaelewa... 🤘🤘🤘🇹🇿🇹🇿
I like ur stories 🇰🇪🇰🇪
Nawakubali ✊✊ Sana wasafi munatufanya tujuwe mengi 👂👂 Kama tuko wengi tunayo ikubali wasafi gonga like tujuwe the story book ni 💯💯💯💯💯💯
Jamali mpenzi naomba History za Utumwa jamani napenda utowajo wako wa Story huwa natulia Sijawahi kukosa kusikiliza 😔❤️🕊️
All I need in this world of sin its me and my boyfriend me and my boyfriend.......
Down ride till every end Its me and my boyfriend me and my boyfriend.........
All I need in this life of sin is me and my girlfriend me and my girlfriend
Meeet my girlfriend!!!!!
Nko apa beb
Dah then end of day Will breakup🤣🤣
ruclips.net/video/PXTAr0xyse0/видео.html
Tupac 👊🏼👊🏼 THUG LIFE
Unasema wewe una mtu wakufana wewe weeee..... Ukisikia wakufananae ndo hawa
Jamaa kazi yako njema brother
Hii iko kitofaut sana Big up professor
Jamaa NI creativity kinoumaa
ruclips.net/video/PXTAr0xyse0/видео.html
Napenda story zako sana....Nairobi kenya 🇰🇪 tuko locked 🔒
I real love this man jamarr
The story book weka like yako chini hapo!!!!!
Reyvanny and Paula 💞💖💥
Hahah sema Bado wamekaa kimya wanasubirii kufanya matukio
ruclips.net/video/PXTAr0xyse0/видео.html
bro ntakujengea sanamu....proffesar ni 💥💥
WASAFI kwa CREATIVITY 2 SHKAMOO🤸🤸🤸🙌🙌
Wako juu, wasafi is the future of Africa media
Likes kwa prof Jamal
Nice story professor. I love this story keep it up
Creativity of this video 💯💯
Thanks professor hujawahi angusha watu
watching from 254......gonga like
Been waiting for this
All the way from Kenya 🇰🇪Love your story 😊
Mega Mind 🔥🔥🔥
i apriciate the story book from wasafi
with jamal april
John herbert dillinger alikuwa na balaa uyu jamaa aliteka benk zaidi ya 24 na vituo 4 vya polisi na alikuwa kijana mdogo tu ila matukio aliyokuwa anayafanya sio ya kitoto mpaka kuna Dj bonga anajita JOHN DILLINGER alikuwa noma John dillinger...
Amefirwa
Blessed jamal mtu na kipaji chake🙌🙌
Professor wewe ni noma na nusu ❤❤❤❤🔥🔥🔥🔥
Kipindi bora ndani ya wasafi
Profesa ni mmoja tuu Tanzania mzima,nae ni Kanali🔥
Kazi zako nazikubali sana kaka
RAY VAN &Paula 💞
Very Genius and Ever Talented man happen be4
mashallah Jamal Allah keep you
Ni balaa aisee gonga like wadau
Eti mi nilikuwa bize namba wimbo wa rayvanny... We are bonnie and Clyde.... Shindwa pepo
Jamani nilifikili mtu wa kwanza Ni Meja Kunta maana yeye kamruhusu mkewe kudanga kumbe yeye Ni namba 1000 duuu kweliii dunia hadaaaaa
🤣🤣🤣🤣🤣Yan nmechekaa atr
Unyama mwingi Sana humu ndan
Wapewe maua yao🎉🎉🎉!!!
J mtu makini sana and more creativet
Muuza chapati alinifungia chapati zangu kwenye gazeti la utopolo nafika nyumbani nakuta Sarpong amekula moja 😢😢
😆😆😆😆😆
🤣🤣🤣dah ila ww
😀😀😀😀😀
😀😀😀😀😀
😂 😂 😂 😂
I like the story when the story teller is #JamalApril
Rayvann na paula😂😂😂🙌
Ayiii
😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂
Bonnie and Clyde😍 Best Couple Ever‼
Sema itapendeza kuwa unagusia matini,makala,vitabu au website ili tuwe tuhakik yenye yana nenwa.
Daaaah noma sana
mi naomba the stori book ya mapigano ya afhagastan . big up sana
Iam watching from Buguruni City Centre Dar Tz
Jamali pro. Upo fire
Mbunifu sana huyu jamaa
Mr Jamal Aprill utengwe🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Uko vizuri kaka ,story nzuri
Kaka napenda san story zako Yan akuna iyo nipita kaka kazi nzur kaka
Ww ni professor 🔥💯
Umetisha sana jamali
We are together 💪
Kila juma 3 lzm nije hp kuangali pindi kali la the story book 🔥
Ahsante kwa story bruv weng tumeskia khs Bonnie&Clyde lkn hatukuwajua who thy are
Aiseeee kumbe ndo ilikuwa..
You are special🔥🔥🔥
Nimewahi leo😊
good story profesor april
Napenda sana histor zake
Yote tisa kumi nihapo kwenye kubakwa gerezani. Kumeharibu picha zima
thelme and lil weezy...nenda kwwnye nyimbo ya lil wayne start a firewantajwa ao bonnie and clide
kuna wimbo wa Ngwair pia kwa jina hili...amemshirikisha Jay dee
💯🌍🏇🇹🇿 professor Jamal
thank you very much professor for giving us interested stories
Wee jamaa kiboko💥🙏
Km umemuona kuna mwamba mmoja mgongo wake umempinda km mbee ya kusagia karanga tujuane kwa like hapa
Nakubal kaka
Paula ameshasema ndo gisi watakuwa yeye na Vanny boy yetu macho
bro Jamal tuomba utulete the story book ya Leonardo da vinci please tuifahamu historia zake
Walikiwa hatari sana jmn wazungu ni wazungu tu
The story book ibaki Milele...!!
Wamejipaga maisha magumu
Bless up prof
Bonnie and Clyde best couple forever ❤🥰🥰🥰🥰
you rare my legend big uo
Content
Watu wengi tumepata kuskia majina haya kupitia kwa #rayvanny na #Paula
wengine wetu sky from sns alitufananulia baada ya kugoogle pia.
kuna wimbo wa Ngwair ft Jay dee kwa jina hili
@@fredgrapher9838 Tusaidie kuujua bro, waitwaje?
Nyimbo ya jayz na beyonce Bonie & clyde
mi naskia bonae badala ya bony
From Congo Brazzaville watching now
Nishaingia mwenye nyumba like zenu jamani
Naweww una like wenzio
@@jamillahidriss2604 sana2