Painful story R.I.P OUR GREAT DADY PRESIDENT 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩aaaaa Patrick lumbaa 😭muzungu niadui mukubwa wawatu weusi..ninani aliye tuloga jamani 😭 Jamal April professor napenda sana sauti yako 🥰sauti yako tu inatumaga ni fate sana the story book you deserve to be a journalist special the story book huna mupinzani baba nice voice bravo👏
Émeri patrisi Lumumba roi pour Réplique de mocratique du Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 I love you my king of my Heart Lumumba nitakukumbuka daima milele moyoni mwangu 👉🇨🇩
😭😭😭😭 hizi historia hatufundishwi zaidi tunaambiwa great economy depression ,first & second world war kumbe nyuma ya pazia kuna maumivu ya mateso ya watu walioipigania Africa tunayojivunia pole sana Nelson mandela , Julius nyelele ,Steven biko ,patrice lumumba na wengine wengi😭😭😭😭
Hadi mtu unaweza kukufuru. Mungu anakuwa wapi wakati wa mateso ya wazalendo? Ntajifunza Sasa kuwa hakuna maana ya kuwa mzalendo. Kwa Sababu mzalendo anaishi maisha ya stress kutetea wanyonge na mwisho wake ni mateso yanayoumiza nafsi na hatimaye kifo!😥☹️
Bila kuondoa fikra za kusema Makinikia lazima yaende kwa mabepari, tutaishia kutawaliwa...badala ya kununua Machine za kusafishia Makinikia ili tuwauzie dhahabu... mnadanganya wananchi. Daaaaaaah R.I.P MAGUFULI, R.I.P LUMUMBA na mashujaa waliotangulia.
RIP legendary Patrick Lumumba...the African hero. Africa will always remember you. You're in our heart forever and ever. We respect and value your patriotism. We appreciate your love for people of Africa. You are one in millions. We adore you. RIP dear friend of Africa
J'aime ce journaliste, nampenda uyu mwanabari, di mi kolangaka efulaaa, nasepeli na sango ya lelo , repose en paix notre patriote du cœur ❤, endelea kuchapa kazi Africa iendelee kuinuka. Nice job Master be blessed.
Magufulii walimua kama walivyowaua mashujaaa wenginee. Wazungu ni makatili sanaa kamwe usitegemee mazur kwa mtu aliyefanya hivi kizazi chako. Historia huwa unajirudia muda utaongea tuu
Duuuh Shujaa wa Afrika ila mtangazaji story umeipiga shot cut sana maana kuna vingi alifanya jamaa ujavigusa pia chanzo cha bifu la yy na hao wazungu ... Ningeomba ufanye uchunguzi Zaidi ili hii story irudiwe Pia Mungu akufanyie wepesi ili uzidi kutupatia ufahamu zaidi
Lumumba though he died in the most painful way, has been born everywhere in the African continent. The most prominent one is Prof PLO Lumumba of Kenya though not leader on the political scene his powerful speeches are an encouragement for the future generation of the African continent
All we need as Africans is change , a continent with peace where we use our own resources. this type of History is to remind us that our fore fathers want us to rescue Africa from the hands of corrupt leaders and under colonial government so that we can end poverty in Africa continent and we should be together to accomplish this, One Africa one love and One unity. God Bless Africa.
Africans should wake up now for faitting our lebaration through our past leaders like lumbumba, magufuri, nyerere, Nelson mandera and other strong leader we knowns in this Africa continet trust me we can unit now 🙏🏼🙏🏼
Hakika kizuri hakidumu aslan. Jina la Lumumba litakumbukwa daima na vizazi vingi. Africa, Africa, Africa hadi lini manyanyaso haya yatadumu? Maisha duni , elimu duni , uchumi duni, kuchonganishwa sisi kwa sisi na kugawanywa na mabeberu..........
Yani wa africa kweli tuna rahana yani watu wakutesehe babu zako tena uhungane nao kutetea mazalimu,izi rahana azitatuacha salama. Sema jamar hii story ujaitendea haki kabisa umeacha mambo mengi ya muhimu
Jamal April nimepata kitu Leo kweny hii story book nimepata kugundua unawez a hata baba angu ameuliwaa kwa njamaa za mabepari ambao wako pamoja na Mimi like
Inauma Sana na inatia hasira vitu walivyofanyiwa watu walieteuliwa na mungu Kama funguo za mwafrika na hawa wazungu bado wanatunafkia na kutuona mambumbumbu ila mungu anayaona haya yote yalitotokea na yanayoendelea
Historia ya mwafrika haitapewa thamani na mzungu au mhindi au mchina au mwarabu bali mwafrika mwenyewe. Tufundisheni watoto wetu mashuleni jamani. Hatavkama ukweli unauma tutajofunza jinsi ya kusamehe na pia kujilinda na maadui wapya. Historia za mashujaa wa afrika apewe kipaumbele popote.
As long as poverty hunt African Sons and daughters. this thing will never end. people who defends our freedom, will always be their enemy. Though we should change this for a better African
Story za mashujaa wa Africa walioteswa na watu weupe huku waafrica wengine wakishangilia au kuona ni sawa huwa zinanitoa machozi siku zote. We've had great sons and daughters of Africa who were ready to die to see Africa truly independent but they never got full support from fellow Africans. So sad. Waafrica tubadilike.
Mwamba alikubali kufia watu wasio jielewa kabisa maana hata kama angerudi leo yeye mwenyewe ange washangaa kabisa watu walio sababisha yeye kukubali kuiacha familia yake,continue resting easy super hero.
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 hizi 😳😳😳😳😳 historia hatufundishwi 👩🏫👩🏫👩🏫 zaidi tunaambiwa 👩⚖️👩⚖️👩⚖️ great economy depression ,,,,, first & second would war kumbe nyuma ya paziya kuna maumivu ya mateso ya watu 👨👨👦👨👨👦👨👨👦 walioipigania Africa tunayojivunia pole sana Nelson Mandela . Julius Nyelele , Patrice Lumumba , Steven Niko na wengine wengi 😭😭😭😭😭😭😭
Shida ya sisi Waafrika ni waoga sana. Haya matukio tungekuwa tunafundishwa Mashuleni ili kutupa Hasira ya kupambana na Ukoloni maana bado upo ili tupate Uhuru wa kweli. Nadhani Wazungu, Wachina, Wahindi, Waarabu na wengine wengi wangetuheshimu. Ila tunaibiana wenyewe kwa wenyewe, tunauwana wenyewe kwa wenyewe yaani hujui shida ni nini kwenye Vichwa vyetu
*MIMI, KWA JINA LA WAKONGO WOTE NASEMA ASANTE KWA KUZUNGUMZIA HERO WETU LEGENDER PATRICE LUMUMBA*
🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🙏
Naombeniii like sijawah pata ata moja
Dah leo umeniletee mtu ninaempendaa maishani mwangu mwambaaa shujaa patrick lumumbaa never forget you
C’est patrice et non Patrick
Painful story R.I.P OUR GREAT DADY PRESIDENT 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩aaaaa Patrick lumbaa 😭muzungu niadui mukubwa wawatu weusi..ninani aliye tuloga jamani 😭
Jamal April professor napenda sana sauti yako 🥰sauti yako tu inatumaga ni fate sana the story book you deserve to be a journalist special the story book huna mupinzani baba nice voice bravo👏
Woooow p jamal yani bila hiii nisinge lala nmekaa kusubili mpk imeingia now nmekuwa wakwanza leo like znausika
ruclips.net/video/09mN40zZToA/видео.html
Émeri patrisi Lumumba roi pour Réplique de mocratique du Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
I love you my king of my Heart
Lumumba nitakukumbuka daima milele moyoni mwangu 👉🇨🇩
this guy is more than professor..respect.
RIP heroes LUMUMBA, Thomas SANKARA, Muammar Gaddafi, J P. Magufuli
jp magufuli ama fanya nn
dedan kimathi to
Ujakoseya aho njo mashuja wa africa😢😢
Jamali historia nasimulizi zote tunakupenda ulimwengu mzima jameni nnajivunia kuwa muafrica😘😘❤❤❤❤❤❤❤❤❤
😭😭😭😭 hizi historia hatufundishwi zaidi tunaambiwa great economy depression ,first & second world war kumbe nyuma ya pazia kuna maumivu ya mateso ya watu walioipigania Africa tunayojivunia pole sana Nelson mandela , Julius nyelele ,Steven biko ,patrice lumumba na wengine wengi😭😭😭😭
Hizi zinafundishwa topic ya 3 kidato cha nne
Kweli kabisa
Hadi mtu unaweza kukufuru. Mungu anakuwa wapi wakati wa mateso ya wazalendo? Ntajifunza Sasa kuwa hakuna maana ya kuwa mzalendo. Kwa Sababu mzalendo anaishi maisha ya stress kutetea wanyonge na mwisho wake ni mateso yanayoumiza nafsi na hatimaye kifo!😥☹️
Congo mboka na biso, mboka ya ba koko na biso, Congo inchi yetu🇨🇩
🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩❤️💪
Weeeeeeeeeh km unamkubaL professor gonga like 🔥🔥🔥👌
Pole sana congo 🇨🇩 umepoteza shujaa ndo maana unaendelea kuteseka 😢😢😢 RIP to the Hero of Africa
Bila kuondoa fikra za kusema Makinikia lazima yaende kwa mabepari, tutaishia kutawaliwa...badala ya kununua Machine za kusafishia Makinikia ili tuwauzie dhahabu... mnadanganya wananchi. Daaaaaaah R.I.P MAGUFULI, R.I.P LUMUMBA na mashujaa waliotangulia.
jpm na wenzawo Kama lumumba gadafi
ruclips.net/video/09mN40zZToA/видео.html
Lumumba ni shujaa sio alikuwa.
Umetisha mzee yaani umenikumbusha form 6
Bravo bravo bro
Vraiment c'est inoubliable dans notre vie nous les congolais, notre héros national Lumumba.
Meaning of English
Vous l'aviez sacrifie~ vous-meme et aujourdhui vous voulez nous dire que Kasavubu est un hero aussi
Oui oui
it is truly unforgettable in our life we Congolese, national hero Lumumba,
ruclips.net/video/09mN40zZToA/видео.html
Daah Mungu akubariki kutuletea storry za mtu tumpendae
Never forget you my Hero Lumumba🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
life goes on Lumumba never will u be forgotten in our heart forever
R.I.P lumumba unanipa uchungu sana lumumbaaaa nikuliye anje papa mungu akulinda 💔💔💔😭😭😭😭😭🇨🇳🇨🇩
Mungu ahilaze maala pema héros wetu vive
Tunakubar proffersor jamaly mustapha tuletee na resistance za Tanganyika 💪
Much respects Professor, thanks for Lumumba’s history
Nimeipenda
🙏 likes 10 kwa lumumba 😢
My hero E.P. Lumumba ,
Drc my country 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
I love Africa
🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
RIP legendary Patrick Lumumba...the African hero.
Africa will always remember you.
You're in our heart forever and ever.
We respect and value your patriotism. We appreciate your love for people of Africa. You are one in millions.
We adore you.
RIP dear friend of Africa
J'aime ce journaliste, nampenda uyu mwanabari, di mi kolangaka efulaaa, nasepeli na sango ya lelo , repose en paix notre patriote du cœur ❤, endelea kuchapa kazi Africa iendelee kuinuka. Nice job Master be blessed.
Magufulii walimua kama walivyowaua mashujaaa wenginee. Wazungu ni makatili sanaa kamwe usitegemee mazur kwa mtu aliyefanya hivi kizazi chako. Historia huwa unajirudia muda utaongea tuu
Duuuh
Shujaa wa Afrika ila mtangazaji story umeipiga shot cut sana maana kuna vingi alifanya jamaa ujavigusa pia chanzo cha bifu la yy na hao wazungu ...
Ningeomba ufanye uchunguzi Zaidi ili hii story irudiwe
Pia Mungu akufanyie wepesi ili uzidi kutupatia ufahamu zaidi
Wema hawana maisha,hatuna Tena viongozi wa namna hii katka Africa ya leo.rest in peace lumumba and JPM
Lumumba though he died in the most painful way, has been born everywhere in the African continent. The most prominent one is Prof PLO Lumumba of Kenya though not leader on the political scene his powerful speeches are an encouragement for the future generation of the African continent
Quite a painful and brutal killing. Continue to RIP Patrick Lumumba💔💔🙏🙏
Oh! Inchi yangu DRC🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Leo nimewahi naombeni like zangu
Jamal you need to a writer, a story teller, and you should own a great library and edition
ruclips.net/video/09mN40zZToA/видео.html
Asanti sana professor ndio naskiza story book sai nimechelewa lakini kabla nilale lazima niskize ndio nilale hongera sana professor
Lumumba was a great leader👏
Uko vizuri Sana kweli wewe proffesa
Africans Kings bila wao sisi leo tusingekuwa hapa tulipo ..Mungu awapumzishe mahali pema peponi
All we need as Africans is change , a continent with peace where we use our own resources. this type of History is to remind us that our fore fathers want us to rescue Africa from the hands of corrupt leaders and under colonial government so that we can end poverty in Africa continent and we should be together to accomplish this, One Africa one love and One unity. God Bless Africa.
God bless Africa
Africans should wake up now for faitting our lebaration through our past leaders like lumbumba, magufuri, nyerere, Nelson mandera and other strong leader we knowns in this Africa continet trust me we can unit now 🙏🏼🙏🏼
Surely
Good work wasafi media##Jamal na wingineo...I love the story book proffessor#
Le combattant de l’indépendance,notre héros national 🇨🇩🇨🇩😭😭
ruclips.net/video/09mN40zZToA/видео.html
Hooo mon pays🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩RDC Rip 😭😭😭😭😭😭pour notres Euro National
Paix à l'âme de notre héro national 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
ruclips.net/video/09mN40zZToA/видео.html
@@lupandesimukindje8170 Amen ❤️🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Inauma sana kabisa adi nimeria kwaucungu 😪😪😪😪
My hero to my country DRC🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Notre héros...tu resteras gravé dans nos coeur ♥
Asante sana my brother from another mother
Vizuri havidumu Hadi namkumbuka JPM Dah!😭😭😭
Happy Independence day to all Congolese people around the world 🇨🇩
ruclips.net/video/09mN40zZToA/видео.html
🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩💪❤️
Pamoja
@@chamangwanajack6772 à
Huyu jamali cjui nimuite nan cjui nimpe nn moyo wangu umejawa na mapenz sana juu ya huyu jamaa yan story zake zinanifanya nitokwe machoz😭😭😭
Mpe tu 🙄
Mmh makubwa mpe chocjote
WCB4lifeeeeeeeeeee
big up jamal
Aisee kazi yako inaeleweka na mzury bigup 💪💪
Hakika kizuri hakidumu aslan. Jina la Lumumba litakumbukwa daima na vizazi vingi. Africa, Africa, Africa hadi lini manyanyaso haya yatadumu? Maisha duni , elimu duni , uchumi duni, kuchonganishwa sisi kwa sisi na kugawanywa na mabeberu..........
Ukoloni na wakoloni ni washenzi . Vibaraka ndo sisi wenyewe maana gawanya tawala
Leo umelegeza Sana bro!
Vp history ya Lumumba ikose ule mstari wa "Sisi sio Nyani wenu tena"
Simulia ww basi
@@mwanjekeyz8671 Asante
Watu wanaogopa uongozi uliopo sasa..
Haaahaaa haaaahaa sisi sio Nyani wenu tena.
Alikuwa amebakia mmoja ambaye naye alikuwa mzalendo wa ukweli sana lkn nashangaa pia wamemuua. Magufuli jmn hakika nitakukumbuka daima.
Yani wa africa kweli tuna rahana yani watu wakutesehe babu zako tena uhungane nao kutetea mazalimu,izi rahana azitatuacha salama.
Sema jamar hii story ujaitendea haki kabisa umeacha mambo mengi ya muhimu
Tatzo c yy bali ni mambo ni mengi muda ndo mchache
Asante sanakuwa patia story wale ambao hawaja wai sikia nashukuru sana🙏🙏🙏
Vive le congo vive independence 🇨🇩😢😢aliteswa Lubumba kwajili ya Congo
Hooooo Mon Dieu Paix à l'âme de Notre Héro national 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Differentiate between professor Patrick Lumumba from KENYA and legendary Patrice Lumumba from ZAIRE
Sometime I compare this man while there quite different
Plo anapenda kumquote patrice lumumba
What's the problem!?
Wa Kenya anaitwa Patrick Loch Otieo Lumumba,he named himself after Patrice Lumumba of Congo
Watu wa roho nzuri hawaishi , thank you brother jamal
Hawa jamaaa wanyama sana ndo maana magu aliwachykia mno. Xema2 ndo hvo wacha2tawala now 2nawaota wawekezaji. Hawakupaswa kukanyaga Africa
Upo vizuri bro katika kuwasirisha historia
😭😭😭😭😭😭😭 Lumumba wewe ni shujaa wakweli Africa tunapotezewa viongozi wetu na wanafiki weupe(wazungu)
I have watched this documentary five times,kazi nzuri sana Jamal. Am eagerly waiting the new story book 2023.
Patrick say hi to Thomas Sankara and tell him that we are still struggling
Mungu ailaze loho yake mahali pema peponi ameni
Ipo siku chanzo Cha kifo Cha Mzee wetu kitagundulika na waliohusika watakua wazi...sijui tutamzungumzia kwa upande upi..
😭😭😭
😭😭😭😭
Vraiment c'est inoubliable pour nous les Congolais 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
God bless my Africa, God bless my congo 🇨🇩…. Thank you so much our hero LUMUMBA for all you did 🙏🙏
Tunakupenda LUMUMBA😊
zion lion just flew away to his mystic resting place! !R.I.P my hero! !!
Jamal April nimepata kitu Leo kweny hii story book nimepata kugundua unawez a hata baba angu ameuliwaa kwa njamaa za mabepari ambao wako pamoja na Mimi like
Inauma Sana na inatia hasira vitu walivyofanyiwa watu walieteuliwa na mungu Kama funguo za mwafrika na hawa wazungu bado wanatunafkia na kutuona mambumbumbu ila mungu anayaona haya yote yalitotokea na yanayoendelea
Historia ya mwafrika haitapewa thamani na mzungu au mhindi au mchina au mwarabu bali mwafrika mwenyewe.
Tufundisheni watoto wetu mashuleni jamani. Hatavkama ukweli unauma tutajofunza jinsi ya kusamehe na pia kujilinda na maadui wapya. Historia za mashujaa wa afrika apewe kipaumbele popote.
As long as poverty hunt African Sons and daughters.
this thing will never end.
people who defends our freedom, will always be their enemy.
Though we should change this for a better African
Story za mashujaa wa Africa walioteswa na watu weupe huku waafrica wengine wakishangilia au kuona ni sawa huwa zinanitoa machozi siku zote. We've had great sons and daughters of Africa who were ready to die to see Africa truly independent but they never got full support from fellow Africans. So sad. Waafrica tubadilike.
Mpaka Leo watu masinich bado wapo sanaa ndugu yng wengi tuuu
Ukiwa mzalendo lazima ulie
Nawakubali Sana wasafi munatufanya tujuwe mengi Kama tuko wengi tunayo ikubali wasafi gonga like tujuwe the story book ni 💯💯💯💯💯💯💯
🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩😭😭😭RIP P.E.L SHUJAA
Nampongeza sana kamanda wa gunea
Hi I am watching from Buguruni city centre Tz Dar
R.I.P jpm mtetezi wa wanyonge Mungu atajibu ubaya waliokufanyia
Siku zote ukitenda mema jina lako haliwezi kufutika😭 atakama wamchoma Moto bado jina lake linadumu milele😭😭😭 Wazungu sio watu wazuri
Dah!! Huwa nakuelewa story zako sana..
Daima Mungu atasimama na damu ya Lumumba itajibu ndo maana kongo haitulii...hii dhambi lazima idai
Rest well legend much love from Kenya 🇰🇪
Shuleni tume ndanganyiwa ku usu kifo chake 😭😭
Mwamba alikubali kufia watu wasio jielewa kabisa maana hata kama angerudi leo yeye mwenyewe ange washangaa kabisa watu walio sababisha yeye kukubali kuiacha familia yake,continue resting easy super hero.
Waah alisikia ujungu sana apumsike kwaimani😭😭😭
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 hizi 😳😳😳😳😳 historia hatufundishwi 👩🏫👩🏫👩🏫 zaidi tunaambiwa 👩⚖️👩⚖️👩⚖️ great economy depression ,,,,, first & second would war kumbe nyuma ya paziya kuna maumivu ya mateso ya watu 👨👨👦👨👨👦👨👨👦 walioipigania Africa tunayojivunia pole sana Nelson Mandela . Julius Nyelele , Patrice Lumumba , Steven Niko na wengine wengi 😭😭😭😭😭😭😭
KITABU CHA HISTORIA ✅
Kinauzwa xhngp na wp
ruclips.net/video/09mN40zZToA/видео.html
The Congo-Kinshasa shall never be settled in its entirely leadership & peace until Patrice Lumumba comes Again in his reborn!
Never
Unaweza sana prof
Ila wazungu wanafiki wanangata na kupuliza sio watu wazuri kwa mwafrika
Jamani!ingekuwa sisi ndo tulifanya sina uhakika kwamba tungekuwa tunakanyaga kwao
The people who were doing that were your own people been used
Shida ya sisi Waafrika ni waoga sana. Haya matukio tungekuwa tunafundishwa Mashuleni ili kutupa Hasira ya kupambana na Ukoloni maana bado upo ili tupate Uhuru wa kweli. Nadhani Wazungu, Wachina, Wahindi, Waarabu na wengine wengi wangetuheshimu. Ila tunaibiana wenyewe kwa wenyewe, tunauwana wenyewe kwa wenyewe yaani hujui shida ni nini kwenye Vichwa vyetu
Africa ni shida sana inauma sana hii history
Waaah....malipo ni duniani na waliomtesa marehemu Patrick walikufa vibaya...
Fanya story kuhusu shujaa Dedan kimathi wa Kenya ama general baimungi tafathali
Lumumba was an Afican hero
💪🔥💯
Damu ya Lumumba na iko juu ya DRC Hadi hii Leo usaliti wao hauwezi kuwaacha kamwe
Tu namukubali huyo
🇨🇩🇨🇩🇨🇩😭😭😭😭 Congolese only
ruclips.net/video/09mN40zZToA/видео.html
Our hero, tous jour in our hearts
ruclips.net/video/09mN40zZToA/видео.html
Hii ndo Africa yani mpaka mtu anayepigania haki zetu afe ndipo tujue thamani yake😢😢
MTU anakumbukwa hale mazuri anayofanya kulingana na Angle zake..Nenda samaki samaki kauze K kama tutakuenzi
@@amirhamis1422 tatizo hujielew ndo man at ulicho andika akieleki