EXCLUSIVE:MJUE LUHAGA MPINA MBUNGE MZALENDO ANAYEWASHAMBULIA MAWAZIRI na KUIKOSOA SERIKALI BILA UOGA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 фев 2025
  • Makala hii inalenga Maisha Halisi ya Mbunge wa Jimbo la kisesa Mhs; LUHAGA MPINA hapa utajua Yote usiyoyajua katika Maisha Yake , Vilevile utajua Kwanini anapigwa vita Sana na MAWAZIRI na wabunge mashuhuri Tanzania
    Fuatilia Makala hii mpaka mwisho Kisha Comment tuyafahamu mawazo yako kwenye hili
    #dullysantz #santzmedia #simulizinasauti #wasafimedia #cloudsmedia #exclusive #efm #history #dullysantz #millardayo #ccm #santzmedia
  • РазвлеченияРазвлечения

Комментарии • 231

  • @LaurentLushingemasanja
    @LaurentLushingemasanja 6 месяцев назад +21

    Wasukuma gonga like tujuane🎉🎉🎉

  • @wadeelegbogun3015
    @wadeelegbogun3015 7 месяцев назад +26

    Mpina oyeeeeeeee, your the best, time will tell.

  • @NicolasiLuhende
    @NicolasiLuhende 7 месяцев назад +31

    😢 hongera sana mheshimiwa mpina wewe ndiyo kiongozi wa kweli

    • @wadeelegbogun3015
      @wadeelegbogun3015 7 месяцев назад +1

      Kweli kabisa

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  7 месяцев назад

      Sahihi ☑️

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  7 месяцев назад

      🤝🇹🇿

    • @FredyKabotola
      @FredyKabotola 6 месяцев назад

      ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤​@@wadeelegbogun3015

  • @FrankoLugendo
    @FrankoLugendo 6 месяцев назад +4

    Mpina ❤❤❤❤❤ Mungu akutangulie sana ktk safari yako maisha

  • @hadijatwahadossa
    @hadijatwahadossa 7 месяцев назад +9

    Hongera mpina,,, hata ukiandamwa, ,wasema kweli selikarini tunawajua...endelea
    Mungu yupo pamoja na wewe

  • @Dominaevance
    @Dominaevance 7 месяцев назад +22

    Hongera Sana Mheshimiwa Luhaga Joelson Mpina, Uonevu WA Spika Juu Yako uko hadharani, Piga Moyo Konge Sisi kama Watanzania tumeona, Ni Bora wakufukuze kuliko kukubali Uonevu Huu WA hadharani.

    • @KhadijakassimMwaipaya
      @KhadijakassimMwaipaya 7 месяцев назад +1

      Mashaalah mungu akulinde

    • @marcokaroje8980
      @marcokaroje8980 7 месяцев назад +1

      Wapiga makofi hapo Bungeni na huyo spika wao 99% watabaki kupiga makofi mitaani 2025 hawawakilishi wananchi ila wanamwakilisha spika ambaye nae hakuchaguliwa na wananchi

  • @MusaJuma-jr7wb
    @MusaJuma-jr7wb 7 месяцев назад +18

    Jibu hoja Bashe mpina tunamfuatilia sana uko safi

  • @DeusMbalamwezi
    @DeusMbalamwezi 6 месяцев назад +1

    Mungu akurinde kwa kujitoa kusema ukeri ! Mungu akupiganie sana tunaomba

  • @Ambwene
    @Ambwene 7 месяцев назад +6

    Mpina ni Mwamba kuliko wapiga Makofi 💪 💪 💪 💪 💪 💪 💪 💪 💪 💪

  • @julianamasunga3458
    @julianamasunga3458 7 месяцев назад +8

    Acheni hizooo jibuni hoja zake,,,,mpina ❤

  • @yayananajota5838
    @yayananajota5838 7 месяцев назад +2

    It's great Men, let him be and God bless him and protect him,

  • @MzeeMkoloni
    @MzeeMkoloni 7 месяцев назад +6

    Viva LUHAGA MPINA

  • @manawamarco6511
    @manawamarco6511 7 месяцев назад +4

    viva luhanga mpina tunakuombea we ni jembe

  • @gracesage989
    @gracesage989 7 месяцев назад +1

    Mpina Mungu akubariki usikate tamaa songa mbele Mungu yuko na wewe.

  • @AmosKachatiro
    @AmosKachatiro 7 месяцев назад +4

    Nakukubali mheshimiwa

  • @salehesebeku
    @salehesebeku 3 месяца назад +1

    mpina ❤❤❤

  • @HenryKasaje-on4xq
    @HenryKasaje-on4xq 6 месяцев назад +1

    Mpina oyeee uko vizuri sana unatumia elimu yako vzr na una msimamo wewe mwanaume

  • @bahatidamiani561
    @bahatidamiani561 7 месяцев назад +1

    Viva Luhaga Mpina mzalendo wetu

  • @PhilipoLeonard-q5w
    @PhilipoLeonard-q5w 7 месяцев назад +13

    Mpina apewe nchi, awe rais

  • @shijandobehe4953
    @shijandobehe4953 7 месяцев назад +9

    Viva mpina Wewe ni mwamba

  • @Haroonlguo
    @Haroonlguo 6 месяцев назад +2

    Www utakuwa mtetezi wetu mpina

  • @GraceShayo-mj3oc
    @GraceShayo-mj3oc 6 месяцев назад +1

    Mungu akulinde na mabaya yote , na Mungu atakuinua sana

  • @ismailabdallah7853
    @ismailabdallah7853 6 месяцев назад +2

    Yani kwakweli naona mpina kua rais mwenye Maslayi ya nch mungu tutulindie kiongozi shupavu

  • @jumamayonga8914
    @jumamayonga8914 7 месяцев назад +4

    Namuomba mwenyezi Mungu yanayotokea kenya yasitokee kwetu. Lakini hali sivyo. Mpina anatetea wananchi

  • @babaabro8847
    @babaabro8847 16 дней назад +1

    Kama atahamia chadema litakuwa pigo kwa ccm wafanye wanavyoweza mwamba asiende 😮😮

  • @RehemaSalum-vp6rf
    @RehemaSalum-vp6rf 7 месяцев назад +4

    Mm nampenda kwasbb ni mapema kweli na anajalo maslah ya Nchi yake

  • @MussaBakar-p2p
    @MussaBakar-p2p 3 месяца назад +1

    Mpina jembe tunamuelewa sana mawaziri nadala ya kumjibu hojazake wanakasirika mjibuni mzalendo hiyo

  • @wanguwangu34
    @wanguwangu34 7 месяцев назад +15

    Tanzania nzima hakuña mbunge mwenye akili na uthubutu kama luhaga Mpina, yaani CCM yote hakuna

    • @frankmaeda4284
      @frankmaeda4284 7 месяцев назад +1

      Mpina the Great

    • @tumainimayala8187
      @tumainimayala8187 7 месяцев назад +1

      Hakuna..yamejaa machawa wakiongozwa na kupe wao Speaker🤯

    • @joshuaandrew386
      @joshuaandrew386 7 месяцев назад

      ​@@tumainimayala8187😂😂😂😂😂😂

    • @joshuaandrew386
      @joshuaandrew386 7 месяцев назад

      ​@@tumainimayala8187umetishaaa Sana et kupe wao spika😂

    • @joshuaandrew386
      @joshuaandrew386 7 месяцев назад

      ​@@tumainimayala8187umetishaaa Sana et kupe wao spika😂

  • @KelvinZegega
    @KelvinZegega 5 месяцев назад +2

    Mpina na makonda wanauzalendo wa dhati kwa taifa lao
    10:20

  • @EdwardKwiyanga
    @EdwardKwiyanga 7 месяцев назад +1

    Mpina ww ni kaka wa taifa mungu akutangulie

  • @asteriashios1852
    @asteriashios1852 7 месяцев назад +10

    Mpina Yuko vinzuri sana anaitetea haki na ndiye tunaempenda yaani anasema ukweli mtupu

  • @jumamayonga8914
    @jumamayonga8914 7 месяцев назад +3

    Mpina keep on

  • @josephheke9878
    @josephheke9878 6 месяцев назад +1

    Lete part two

  • @DiscowKajojo-no2up
    @DiscowKajojo-no2up 7 месяцев назад +1

    Well done

  • @ChristinaWengae-ps5jr
    @ChristinaWengae-ps5jr 7 месяцев назад +1

    Hongera sana kaka yangu mung akusaidie

  • @JohnShileMunisi
    @JohnShileMunisi 6 месяцев назад +1

    Mpina Ni mwiba was ccm hawajui tu.

  • @OmackKimbendo-r7l
    @OmackKimbendo-r7l 3 месяца назад +1

    Maker hapendwi na wezi

  • @hssanrubota3891
    @hssanrubota3891 7 месяцев назад +3

    Huyu ni Traule wa Tanzania

  • @awadhkannah6587
    @awadhkannah6587 7 месяцев назад +4

    Kweli kweli, watu unapinga kuingiza sukari kwa wingi wakati Wananchi wanahaha na sukari, alitaka tuendelee kununua bei ya juu, anatetea wafanya biashara wanaoficha sukari,, mzalendo wake upo wapi?

    • @allymusira2153
      @allymusira2153 7 месяцев назад

      Hapo hata mimi nashangaa mtu anayepinga kuingiza sukari kwa wingi ili bei ishuke anaonekana eti mzalendo ujinga mtupu

    • @EzekiaMtwale
      @EzekiaMtwale 7 месяцев назад

      Kuagiza sukari nje co shida, shida ni utaratibu uliotumika kuagiza umefuata utaratibu?! Au ni kwa faida ya wachache!!!

  • @jamesmboneko2952
    @jamesmboneko2952 7 месяцев назад +1

    Mpina uko juu sana. Watanzania tupo nyuma yako

  • @jumamayonga8914
    @jumamayonga8914 7 месяцев назад +2

    Mpina ni mzalendo, wasimpeze.

  • @abdallahmakange6173
    @abdallahmakange6173 7 месяцев назад +2

    Tanzania inchi ya ajabu sana mtu aneongea hukweli ndio mungo.😢😢muhongo ndio mkweli....😢😢😢😢

  • @Landisy
    @Landisy 7 месяцев назад +1

    Mweshiwa mpina tunakupenda Sana, ww Ni mbunge mzalendo mungu atakulinda

  • @deboniapeterkipake7391
    @deboniapeterkipake7391 6 месяцев назад +2

    Jambo la kuaminiwa kwamba uwezo wa Mpina ni mkubwa kulinganisha na spika Tulia, ujanja wa Hussein Bashe ni mkubwa sana unahitaji akili nyingi kama za Mpina.

  • @HeriDunia-i7m
    @HeriDunia-i7m 6 месяцев назад +1

    uongozi kaz sana eti ndo kiongozi spika africa sijui ndo duniani yan kiongozi anauzalendo ila elimu yupo vizur ndo nn sasa

  • @mwinyisaruni8974
    @mwinyisaruni8974 7 месяцев назад +1

    Haya bwana jembe pambana ulibakia ukiwapambania Tz mungu akutangulie,

  • @IddMsongo
    @IddMsongo 13 дней назад +1

    Tapeli ,mtu mwenye Phd huitwa Dr yeye mbona hana hivho vheo

  • @allyfutto8763
    @allyfutto8763 7 месяцев назад +3

    Spina atapigwavita vitality Sanaa kwakuwa mdadisi na watadharilika wengine kwa kumuhandama

  • @YahayaMussa-p5r
    @YahayaMussa-p5r 6 месяцев назад +1

    Mungu atakulinda mwehshimiwa mpina upo kwajili ya wanchi wanyonge na wasio wanyonge? Hkn Mt Amby anafanya kitu bila kuchungz nawrio wengi bungeni wapo Kwa juli ya maslhi Yao kwahy lazm upgwe mkwara ila usiogpe chcht mung yko naw!

  • @GizibetLameck
    @GizibetLameck 6 месяцев назад +1

    Ukimo wa ccm umefika kwahali hii

  • @benjaminjackson8567
    @benjaminjackson8567 5 месяцев назад +1

    Binadam huwa hataki ukweli daima ndo maana watu wapenda kuangali movie kuliko taarifa ya hanar

  • @SilahMasima-pi7bn
    @SilahMasima-pi7bn 6 месяцев назад +1

    Wabeja xana luhaga.

  • @AnithaLeonidas
    @AnithaLeonidas 6 месяцев назад +1

    Kwer ni mzarendo

  • @Mpondi260bahati-iy3hi
    @Mpondi260bahati-iy3hi 5 месяцев назад +1

    sugu 2010 broh

  • @RaphaelElikana
    @RaphaelElikana 7 месяцев назад +5

    Bunge lifanywe kuwa pango la wabunge kuwa chawa kwa ajili ya kujipatia kipato, kila atimize jukumu la kuwasemea wananchi kwa maslahi ya wote

  • @piusjaphet2760
    @piusjaphet2760 7 месяцев назад +1

    Visheria vya Tanzania ndio zinalitia umasikini wa mawazo na woga

  • @nyabahailani3169
    @nyabahailani3169 7 месяцев назад +7

    Luhanga mtu mzuri sana jembe sana yaani wewe spka hufai kabisa wewe puuu

  • @abdallahmakange6173
    @abdallahmakange6173 7 месяцев назад +1

    Ccm tumewachoka sasa hondokeni muhiba sana

  • @mwinyisaruni8974
    @mwinyisaruni8974 7 месяцев назад +4

    Hatuna chakukusaidia Ila tunakuombea jembe,

  • @SostenesMabala-tt8pt
    @SostenesMabala-tt8pt 6 месяцев назад +1

    Tukonae pamoja

  • @J.Anyauba
    @J.Anyauba 5 месяцев назад +1

    wabunge waige kwa mpina ili bunge lirejeshe nguvu yake kwenye serikali

  • @OscarKasalile-u4k
    @OscarKasalile-u4k 7 месяцев назад +4

    Hakika mpina ni mwanga wa Taifa ila bashe ipo siku tutakuwajibisha.

  • @AnabElmi-kx6ml
    @AnabElmi-kx6ml 7 месяцев назад +1

    Luhaga mpina amekosea kufuta sheria angepaswa asubiri maelekezo ya spika hivyo sheria ifuate mkondo kumpa adhabu anayostahili

  • @zabronmwaipungu2212
    @zabronmwaipungu2212 7 месяцев назад +2

    Hilo ndo bunge letu bwaana, hajasoma alicho kiwasilisha Mpina.

  • @ChiefHeke
    @ChiefHeke 5 месяцев назад +1

    Nchi hii ukiwa mzalendo tu umekwisha

  • @am2323tze
    @am2323tze 7 месяцев назад +2

    Uingereza hakuna chuo kikuyu kinachitwa Scotland.

  • @patiellulu6063
    @patiellulu6063 7 месяцев назад +1

    Chadema

  • @simonnaivasha6393
    @simonnaivasha6393 7 месяцев назад +1

    Mheshimiwa Mpina hatua wa(level of understanding) uelewa ni kubwa mno, ndiyo maana unapata shida wabunge kumuelewa, kwani wengi wale wa kujua kuso.a na kuandika tu.

  • @Aziz-p6s
    @Aziz-p6s 7 месяцев назад +1

    Mpina tunakupenda sana

  • @francisboydmwakyusa230
    @francisboydmwakyusa230 7 месяцев назад +2

    Ukirejea elimu yake, utajua kuwa masomo aliyosoma Mpina si masomo ya mtu mwenye akili ndogo, mtu mvivu na mtu mwenye afya mgogolo. Hivyo ili kumuelewa Mpina inakutaka uwe na vigezo sawa au zaidi ya vigezo nilivyo vitaja hapo juu. Wanasiasa wengi hawana vigezo hivyo na bahati Mbaya sana Nchi yetu haija zipa taasisi kuwa vinara wa taaluma na taaluma hizo kulindwa. Kinyume chake tuna haribu, dharirisha taaluma muhimu kwa maendeleo ya Nchi Kinyume na matarajio ya kitaalamu. Nchi ikielendelea kwa aina hii ya utendaji na utoaji maamuzi, ni vigumu kujikwamua ktk maendeleo shindanishi tuliyomo kama sehemu ya dunia. Sasa siasa ikiendeshwa kama porojo au funika jamvi twende, Tuna weka rehani maisha ya Vijana na viazazi vijacho. Pls STOP THIS FOR GOOD.

  • @epimackjohn461
    @epimackjohn461 7 месяцев назад +2

    MPINA ni bingwa aliyebeba sifa kubwa sana kwa wananchi kwa UHODARI , wewe msomali BASHE unazungumza kwa kuremba na kakiingereza , lakini MPINA wengi wamemkubali . SPIKA ameenda mbio mno kumhukumu na ameonyesha woga wa kuumbuka kwa washirika wake .

  • @AnordErio
    @AnordErio 7 месяцев назад +3

    Wamebakia wachache sana hapa tanganyika

  • @NICOLASISACK-kg3mi
    @NICOLASISACK-kg3mi 6 месяцев назад +1

    Yuko vzuri

  • @SaruniChristophersabaya
    @SaruniChristophersabaya 7 месяцев назад +1

    Nyie watanzania ni makuma sana ukweli unauma

  • @DiwaniMwafongo
    @DiwaniMwafongo 7 месяцев назад +1

    " lt is very danger.." kiingereza cha Bashe.... Bashe say " lt is very dangerous........kweli watanzania hatujui kiingereza

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  7 месяцев назад +1

      😆😆

    • @josephlorri431
      @josephlorri431 7 месяцев назад +1

      Bashe ndo anajiona sana anajua lugha ya malikia..mara kwa mara huwa anaongea maneno ya kiingereza bila sababu yoyote.. lakini hawezi kutengeneza sentence ya kiingereza

  • @TinahFrank
    @TinahFrank 4 месяца назад +1

    Duuu

  • @janethpallangyo3855
    @janethpallangyo3855 7 месяцев назад +1

    ❤❤❤❤❤❤Mpina

  • @SanziNzige
    @SanziNzige 4 дня назад

    Hako la spika nako Nika wapi sijui.

  • @msafiriomary893
    @msafiriomary893 6 месяцев назад +1

    Yure hawezi mpenda timu mgufuli

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ 7 месяцев назад +2

    Uzalendo sio kutoa shutuma Kwa wenzio bila ushahid, Bunge sio sehem kuleta chuki, hasad, na wivu bila hoja, wako pale kuwakilisha Wananchi na kutunga Sheria sio majungu, adhabu aliopewa iwe fundisho Kwa wengine, leta hoja zenye mashiko sio mihemko, maana jamaa bado anaota awamu ya tano tu

    • @NdageKitahama
      @NdageKitahama 7 месяцев назад +3

      Ww ni pumba za mpunga hujui chochote maana Kama umeshindwa kuelewa hoja alizotoa mpina na ushahidi kautoa mbele ya bunge unataka ushahidi aina gani ww hata darasani unaonekana ilikuwa ziro

    • @JesusJesus-ny1sm
      @JesusJesus-ny1sm 7 месяцев назад +1

      Wapumbavu kama wewe ndiyo mmetufanya tuwe masikini maisha magumu Tanzania hii !!!! Km hujuwi kaa kimya, Pumbavu sana.

  • @SamwelWalwa
    @SamwelWalwa 7 месяцев назад +1

    Mpina bana Hadi penarty

  • @eleminapeter6921
    @eleminapeter6921 6 месяцев назад +1

    Wezi tu wanabebana hawa

  • @MartiniJohn-ew6us
    @MartiniJohn-ew6us 7 месяцев назад +1

    Mheshimiwa Mbunge Mpina tetea wafugaji na wakulima ndio walio kuchagua Mungu tu ndio asikufungie njia ya mbingu

  • @janiafaomaa5120
    @janiafaomaa5120 7 месяцев назад +2

    MPINA MZALEDO WA SAN TZ MEDIA ANATUMIWA NA MABEPARI WAKUBWA KILA MTU ANAJUWA LAKINI SASA HIVI KAKWAMA UJANJA UMEMUWISHIA

  • @florakweyunga4490
    @florakweyunga4490 7 месяцев назад +2

    Msema ukweli ni Mpz wa Mungu peke yake tu.ila Duniani Kwa sisi binadamu inakuwa ngumu.but Tumuachie Mungu ndo muweza wa yote.

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  7 месяцев назад

      Ahsante Sana kwa maoni yako Rafiki 🙏

  • @zacharialtd9519
    @zacharialtd9519 7 месяцев назад +1

    Mbona miaka mnamuwekea michache sana

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  7 месяцев назад +1

      Miaka gani Rafiki

  • @evaristjoseph8151
    @evaristjoseph8151 7 месяцев назад +1

    Unajua nakuelewa sana mpina ?

  • @MilloWamilonga-ft8ir
    @MilloWamilonga-ft8ir 7 месяцев назад +1

    Mpina hana ulaji ndio shida yote, mpeni uwaziri atulize kichwa chake cha ovyo.

  • @HeriDunia-i7m
    @HeriDunia-i7m 6 месяцев назад +1

    VIONGOZI NA KIONGOZI WAO SIO WAZALENDO MPINA KOSA LAKE LIKO WAP I HAPO YAN

  • @EliasSamwel-fw2po
    @EliasSamwel-fw2po 6 месяцев назад +1

    MC4

  • @francischaula5215
    @francischaula5215 7 месяцев назад +1

    Hoja za mh mpina zingewashilishwa na vyama pinzani serikali wangetafuta majibu Tatizo tumekaa bungeni sisi wenyewe ni mtazamo wangu kama kada wa ccm

  • @yahayahussein3224
    @yahayahussein3224 7 месяцев назад +1

    Hana uzalendo wowote zaidi ya kuwa Fitina

    • @bcozhenry2698
      @bcozhenry2698 7 месяцев назад

      😂😂😂fuvu lako halina uwezo wa kupima mambo ya kitaifa! Kula tu vya konakona

  • @Mima-cl2im
    @Mima-cl2im 7 месяцев назад +1

    Serikali ya CCM haitaki wabunge wasomi na wenye kuelewa. Wabunge wengi ueleo wawo ni mudogi sana. Kazi yao ni kukubali kila kitu kwa kusema NDIYO. Kwa kifupi watanzania hatuna wawakirishi. Na tuna chama cha siasa kimoja na demokrasia ya bandia.

  • @mosesfrancois752
    @mosesfrancois752 7 месяцев назад +1

    Kinachosikitisha wabunge wengi pamoja na spika ni watanzania ambao ndugu jamaa na marafiki ni watu wanaonunua sukari hiyohiyo ambayo inaletewa siasa...ubinadamu umeisha kweli, ni kama hawataki watu wanywe chai 😢

  • @jumamayonga8914
    @jumamayonga8914 7 месяцев назад +2

    Huo ushahidi aliouta mbona haukuwekwa wazi bungeni?

  • @AbdulMndizi-p8n
    @AbdulMndizi-p8n 7 месяцев назад +1

    Mpina ni mwamba pekee anaeishi

  • @LeonardSiasi
    @LeonardSiasi 7 месяцев назад +1

    Komaa 0:50

  • @msafirimaulidi5054
    @msafirimaulidi5054 7 месяцев назад +1

    Lkn uyu si alikuw wazir wa ccm

  • @hamismabula9934
    @hamismabula9934 7 месяцев назад +1

    Huwezi kufuata utaratibu ndani ya mwenendo usio na utaratibu!!!

  • @BozaDizamile-u1d
    @BozaDizamile-u1d 7 месяцев назад +2

    Luhaga Mpina Ni Mzalendo Wa Kwer Akutakiwa Kua Chama Cha Ccm Ccm Wezi Tu Hawapendi Wabunge Wanaowatetea WANANCHI MBONA WATANGANYIKA WOTE TUNAJUA