MAKONDA AWAJIBU WANAOSEMA ANADHALILISHA WATUMISHI.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 26 май 2024
  • #JAMBOTV
    ...........
    Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
    ►RUclips: / @jambotv908
    ►INSTAGRAM: / jambotv
    ►TWITTER: / jambotv_
    ►FACEBOOK: / jambotv
    ►WEBSITE: jambo.tz/

Комментарии • 90

  • @user-zj4ii6uf7t
    @user-zj4ii6uf7t 21 день назад +3

    Nakupenda sn Kaka yangu Makonda unanikumbusha enzi za mwenda zake,chapa kazi kwa kwenda mbele si kwa kurudi nyuma,sisi wananchi tunapenda sn kazi unayoifanya juu ya sisi wananchi,tulikuwa hatusikilizwi kero zetu,Sasa wewe u mkombozi wa kero za watu,Mungu wa mbinguni azidi kukutunza na kukuifadzi km Yona alivyomuhifathi kwenye tumbo la samaki.mungu akubariki sn Makonda, piga kazi,kaka mwenye jopu la uwongozi,wananchi tunataka Kiongozi watu km Makonda,ili Taifa lisimame imara.mungu akubariki sn Makonda

  • @user-ov3bt3pf1b
    @user-ov3bt3pf1b 21 день назад +9

    Hongera Mh Makonda. Chapa kazi yako usisikilize wanaokurudisha nyuma kuwa unadhalilisha.

    • @hamisimuhunzi7916
      @hamisimuhunzi7916 19 дней назад

      kwahiyo akizalilishwa Samia inakupa wewe uhalali wa kuzalilisha wengine?? kweli unaweza foji vyeti vya shule lakini huwezi foji akili na hekima..

  • @JuniorLema-vk8me
    @JuniorLema-vk8me 21 день назад +7

    Usiogope mwanangu chapa kazi Mungu Yuko pamoja nawe

  • @chalespamagila4783
    @chalespamagila4783 21 день назад +9

    Mama hawezi kutetea ujinga hata kama ni mama mama yangu samia naomba mwache makonda atupe nafasi ya kuamini serikali yetu wapo wawili makonda na chalamila

  • @JohnMalengua-jh6ps
    @JohnMalengua-jh6ps 21 день назад +5

    Piga kazi achana na hao wanaorudisha Tanzania nyuma go ahead

  • @SalomeKiduko
    @SalomeKiduko 17 дней назад

    Mungu akupe siku nyingi za kuishi MAKONDA,unafanya kazi nzuri sana.

  • @linusluka5358
    @linusluka5358 17 дней назад

    Hongera mh. Mkuu wetu wa mkoa upo sawa kusimamia mkoa

  • @YonaLaizer-hv9ip
    @YonaLaizer-hv9ip 21 день назад +4

    Mungu ndiye mtete wako Mkuu wa Mkoa Arusha Songa mbele usirudi nyuma wataisoma namba hao wazembe

  • @abdallahkihanza482
    @abdallahkihanza482 21 день назад +1

    Hongera sana, ufisadi kila pahala, si wanawake si wanaume kulwahed, upigaji kama kawa

  • @sabinajoseph9297
    @sabinajoseph9297 19 дней назад

    Mama Samia hoyee! Nakupongeza sanaa kutuletea mkombozi wetu mkoa wa Arusha. Ni jembe haswa na ni mtetezi wa wanyonge na haki za kila mtu. Mungu awabariki wote kwa utendaji uliotukuka si mwingine ni Makonda

  • @aloyceponela3249
    @aloyceponela3249 21 день назад +5

    Ndugu yangu piga kazi.watu wengi hawapendi maendeleo ya nchi. Piga kazi wananchi wanapenda maendeleo

  • @abdallahibrahim280
    @abdallahibrahim280 21 день назад +4

    Tanzania imecheleweshwa sana na wapigaji, wazembe, na machawa. Hakafu kina bakonda ni wachache Sanaa na vita wanavyopigwa ni vikali mno kisaikolojia na kwa kila hali, lkn hamna vinginevyo utu uwe mafanikio ya kazi tuu

  • @RoseMayige-gn9qb
    @RoseMayige-gn9qb 21 день назад +3

    Songa mbele Mtumishi wa Mungu, hizo ni hila za shetani coz hapendi kuona ukiwatumikia wananchi kwa upendo wa dhati, hivyo ameinua maajenti wake ili wakuvunje moyo wa kuwatumikia wananchi wanyonge.

  • @paschalfausitine7108
    @paschalfausitine7108 21 день назад +4

    Piga kazi mzee baba

  • @atutweve4160
    @atutweve4160 21 день назад +4

    TENA UAZE NA WALE WANASEMA WANADHALILISHWA NDO WAFUKUZWE WEZI KABISA WAKUBWA WA NCHI YETU

  • @halimamasai2234
    @halimamasai2234 21 день назад +2

    Safi sana Makonda ❤❤❤❤❤

  • @rashidmtafya9075
    @rashidmtafya9075 18 дней назад

    Piga kazi makonda mungu akulinde

  • @aloyceponela3249
    @aloyceponela3249 21 день назад +3

    Maoni yangu wabane kweli kweli.watumishi wanzembe.

  • @deviskisanga
    @deviskisanga 20 дней назад +1

    kazi iendelee

  • @Darian2550
    @Darian2550 21 день назад +3

    Makonda anapiga kazi tena sana, lakini anapaswa kuwa na nidhamu, nadhani kuna vikao vya ndani ambavyo angekuwa huru kuongea chochote lkn siyo mbele umati...

    • @tazrywiser5126
      @tazrywiser5126 21 день назад

      Ukiwalinda kwa sababu hiyo hawa watumishi hawawezi kuacha kuiba na kula rushwa sababu tutakuwa tunawapa heshima na kuwalinda wakati huo wamesababisha hasara kubwa kwa nchi wakidhalilishwa uenda wakapungua kwa kuwa na uoga wa kudhalilishwa au kubabanishwa,nchi ilipofikia inataka hivyo maana kama kulindwa huko nyuma walishalindwa sana na kuheshimiwa lakini kila mwaka madudu ni meengi sana

    • @NGUSSAPAULO-ll6gm
      @NGUSSAPAULO-ll6gm 21 день назад +1

      pumbavu wewe nizam ndo nn wewe unanizam gan muache magufuri wapil awanyooshe huyu bludoza

    • @Darian2550
      @Darian2550 20 дней назад +1

      @@tazrywiser5126 Nakubaliana na mtazamo wako wa kuwaadhibu viongozi wala rushwa na wabadhirifu wa mali za Umma ikibainika bila shaka, lkn Adhabu zitolewe na mfumo wa haki(mahakama) na siyo wanasiasa majukwaani.

  • @sambulugu9988
    @sambulugu9988 21 день назад +3

    😂😂😂 Makonda kuna watu wanakufatilia ukosee waongee! Ila wewe ndo kiboko yao! Wanafiki ni wengi sana! Tunakuombea kwa Mungu!

    • @user-ov3bt3pf1b
      @user-ov3bt3pf1b 21 день назад

      Wavivu wamezidi mikoani makonda na wala rushwa wsmezidi wskomeshe arisha

  • @user-iy8mq9ii8t
    @user-iy8mq9ii8t 21 день назад +2

    Mbele za Mungu kila mtu ana haki yake Bali moyo wenye hila kwake jaukubali

  • @davidmickidad6842
    @davidmickidad6842 21 день назад +1

    Chapa kazi mkuu wetu usisikilize kelele za wapumbavu. Ambao wananchi tunapopiganiwa wanachukia. Mazuri hawayasemi ikitokea kasoro wanapanua mamidomo yao ya kinafiki. MAKONDA WETU piga kazi

  • @chalespamagila4783
    @chalespamagila4783 21 день назад +3

    Mi naomba niulize ndugu zangu kwa hiyo watumishi waserikali wakifanya makosa wasiulizwe na makonda

    • @martinpanga
      @martinpanga 21 день назад +1

      Acha tu wanasema wanazalilishwa ila wananchi wanavyoteseka na haki zao ni sawa. Inasikitisha sana walahi.

  • @OmanOman-dn6dj
    @OmanOman-dn6dj 21 день назад +1

    Go Makonda❤

  • @eliewardeneliewarden4069
    @eliewardeneliewarden4069 21 день назад +3

    Piga kazi

  • @GodfreyOsward
    @GodfreyOsward 21 день назад +2

    Fanya kazi ndugu ukosee kuliko kutofanya kabisa. Pambana ndugu.

  • @mganyizirubogorwa6932
    @mganyizirubogorwa6932 20 дней назад

    Hongera makonda piga kazi

  • @angonzamujunangoma8775
    @angonzamujunangoma8775 20 дней назад

    Piga kazi kaka yangu.Mungu yupo nawe

  • @azadinzunda4327
    @azadinzunda4327 21 день назад +1

    Wanaosema wamezalilishwa ndio watakao sema serikali hakuna inacho fanya kwa kuongopa kuwahoji watu waserikali

  • @peterkitivo2394
    @peterkitivo2394 21 день назад

    Mh.Makonda mm napenda sana utendajiwa wako pia nashauri wakuu wamikoa wangine watoke hazalani kutetea wanyonge!

  • @octiminja5260
    @octiminja5260 17 дней назад

    Jembeeeeee

  • @GodfreyMwaludede
    @GodfreyMwaludede 20 дней назад

    Makonda piga kazi mungu yupo nawewe

  • @user-zj4ii6uf7t
    @user-zj4ii6uf7t 21 день назад

    Chapa kazi Makonda wananchi tinakupenda sn tn sn, hawo wanao lalamika walizoeya kitupola wananchi Sasa wanaona kaa la mawe,achana nawo hawo ndiyo waliyotutesa sn wananchi, MUNGU akubariki sn Makonda

  • @mimutiemollel4538
    @mimutiemollel4538 21 день назад

    Mh Makonda chapa kazi watanzania wana imani nawe na unamsaidi vema Mh Rais katika utendaji wako mzuri wa kazi.

  • @user-zi1gp6dc2q
    @user-zi1gp6dc2q 15 дней назад

    Makonda mdogo wangu usisumbue ubongo kuwazia mijitu mijaza vyoo kama mery

  • @dennisngonyani1795
    @dennisngonyani1795 21 день назад +3

    BAADHI YETU TUMEJAA UJINGA MARA KWA MARA ANADHALILISHWA RAIS HATUSEMI KI2 LEO WATU WANABWATUKA 2 ETI MAKONDA KAMDHALILISAHA YULE DADA .... TUPUNGUZE MIHEMKO

  • @user-hk2oz2eg4j
    @user-hk2oz2eg4j 21 день назад +1

    Mange alisema hata kwa Rais Samia mbona hamjasema kitu. Unafiq tu mulionao. Makonda piga kazi wanyooshe weshazowea hao kusema serikalini hafukuzwi mtu. Kwahiyo wanafanya watakavyo. Kwahiyo kila anaefanya utumbo mshuhulikie awe mwanamke au mwanaume.

  • @GeorgeMwasibata
    @GeorgeMwasibata 16 дней назад

    Mama huyu mtu tuletee na huku kwetu mbeya maana tuna viongozi wazembe wanaojal matumbo Yaohawashuliki na shida za watu

  • @FilbertKalembe-fy4oq
    @FilbertKalembe-fy4oq 21 день назад +1

    Safi unasimamia haki wezi wapishe bana mpaka wanye

  • @elymollel
    @elymollel 21 день назад +1

    Piga kazi mkuu, achana na waliozoea business as usual.

  • @allyfutto8763
    @allyfutto8763 21 день назад +1

    Kulindana kubaya ndiko kunako hangamiza Tanzania wapo tayari wauwe ili usitende haki usiwe mkweli muwazi Taifa Jipya wamezshutumiwa kufanya Ugaidi ilihali UGAIDI MAMBOLEO UNADUMISHWA NA WALIO AMINIWA WHAT THE FUCK IS THIS YOU EXPECT???

  • @octiminja5260
    @octiminja5260 17 дней назад

    VIJANA HATUOGOPI MAFISADI SEMA BROTHER

  • @user-us7rj5bv3r
    @user-us7rj5bv3r 19 дней назад

    Asiye fanya kaz na asile wanakula pesa bila kutoa jasho.wakimbize hao makonda.

  • @Joshuayusuphmahonge
    @Joshuayusuphmahonge 20 дней назад

    Chapa KAZI makonda humzalilishi mtu wanajizalilisha wenyewe makonda usicheke na kima utavuna mabua

  • @babuuriziq3243
    @babuuriziq3243 20 дней назад

    Usisikilize kenge yyte FANYA uwezavyo baba kegan

  • @abdallahkihanza482
    @abdallahkihanza482 21 день назад +1

    Hao ni wanafiki, wanatafuta Kiki, ww chapa KAZI, ningependa mama akimaliza muda wake upokee kijiti uwanyooShe ndio mafisadi wenyewe hawapendi kuelezwa ukweli

  • @user-zj3hn6eh1d
    @user-zj3hn6eh1d 20 дней назад

    Ila watu ni wanafiki mungu ana waonaaa

  • @IsayaMvanga
    @IsayaMvanga 15 дней назад

    Hilo nijeshi la mtu mmoja vyeka mapoli palikua Giza Sasa mwanga simama imala usiyumbe kiongozi

  • @masoudnzowa4608
    @masoudnzowa4608 20 дней назад

    piga kazi makonda binaaadamu huwa hawaeleweki musa mwenyewe hakuwaelewa

  • @miltonjohn9779
    @miltonjohn9779 21 день назад +1

    Alizalilishwa ndiyo kiswahili Gani.

  • @newbornhaule
    @newbornhaule 20 дней назад

    Kijana unayewaza kua kiongozi unachakujifunza apa

  • @user-gx4jx4gv9l
    @user-gx4jx4gv9l 21 день назад +3

    Fanya kazi kaka achana na mambo ya wanawake,uwt wanamuangusha raisi samia kisa kwa sababu mwanamke uongozi hauna mwanamke ukikosea unapaswa kukosolewa ama kufukuzwa kabisaa muda wa kubembelezana ushapita wanawake wapiga dili piga spana tu.

  • @listerwami6825
    @listerwami6825 21 день назад +1

    Wapigaji wanachachawa

  • @costantinejohn-xn6lw
    @costantinejohn-xn6lw 20 дней назад

    Hivi nauliza Tanzania nzima wakuu wa mikoa wako wa 2 ? Mbona wakuu wa mikoa wengine siwasikii utendaji wao kazi kwenye mikoa yao?au ndio wale wale Nini?

  • @DominikiKristiani
    @DominikiKristiani 16 дней назад

    mwana ana lindwa na jeshi

  • @user-zj4ii6uf7t
    @user-zj4ii6uf7t 21 день назад

    Yaani shida kubwa tuliyonayo watanganyika tumezoea kufunikwa,na kuambiwa nyuma ndiyo mbele ndo kinachotutesa watanganyika,tujifunze majibu mawili tu ni hapana na ndiyo

  • @SaidKinyota
    @SaidKinyota 21 день назад

    Brooo piga kazi watu wanapenda kufanya kazi kw kusumwa

  • @GeorgeMwasibata
    @GeorgeMwasibata 16 дней назад

    Wapige spana Mzee mpaka wanyoooooke balabala mtetezi yuhai tu

  • @SadiHassan-ob6nv
    @SadiHassan-ob6nv 19 дней назад

    Uyu dada ajitambui makonda piga kazi

  • @joakimualfonce3849
    @joakimualfonce3849 21 день назад

    Pinga kaz wonyoshe watumishi wazemb

  • @walinaziontime7300
    @walinaziontime7300 20 дней назад

    Wale wamama nafikiiii si waje wasome comeno waone wananchi wanaongea Nini....!!! Kuhusu huyu kamanda Makonda au wananchi wanafaidika vipi na makondaaa kama walikuwa hawafaham naomba muwaambie ..... Kuwa makonda akifika sehem ni Kama masahaa
    Makonda ma bunge ni Asili 69 ukimsikiliza Makonda utapata ufafaka wa jambo

  • @user-iy8mq9ii8t
    @user-iy8mq9ii8t 21 день назад

    Haukubali

  • @user-jj7qv7kh2s
    @user-jj7qv7kh2s 16 дней назад

    Makonda piga kazi achana na hao wahuni tuu.

  • @SaidKinyota
    @SaidKinyota 21 день назад

    Mkuu piga kazi acha na wanasiasa uchara

  • @mimutiemollel4538
    @mimutiemollel4538 21 день назад

    Mh kuna changamoto kubwa ya maji, barabara na umeme wa REA kwenye Kata na Vijiji vingi vya Wilaya ya Monduli. Miradi haikamiliki muda mrefu na wakati mwingine ubora mdogo ni changamoto kubwa.

  • @Mariam99-ld4gw
    @Mariam99-ld4gw 21 день назад +1

    Piga piga 😂

  • @PeterAndrew-ji1kr
    @PeterAndrew-ji1kr 21 день назад

    Arusha imempata Mkuu wa mkoa tangu Uhuru makonda ndo test one

  • @mayrfrimi4759
    @mayrfrimi4759 21 день назад

    Mtoto wa mama huyo jamani , mwacheni apige kazi, kudalilisha hilo ni neno tu , na maneno hayavunji mfupa, wala hayaondoki na kiungo cha mtu, , wa Tz ss tunataka kujidai sisi ni malaika, kashfa kidogo wanahaha, eti kwann, kwann, asietaka makasiriko apae aende mbinguni akaishi na malaika huko, mwacheni makonda apige kazi.

  • @shabana.j.seleman8071
    @shabana.j.seleman8071 21 день назад

    Usipofanya Kazi utakutana na moto wetu😂mim😂😂pigwa spana Barabara,😂

  • @bellaseverua609
    @bellaseverua609 21 день назад +1

    😂😂

  • @user-zi1gp6dc2q
    @user-zi1gp6dc2q 15 дней назад

    Uyo mery ushuz ulimbana wajinga wenzie wanapopiga vigelegele lenyewe linabinuatako kujamba mumkome mtt wa mwanamke mwenzenu achape kaz mijambaz mikubwa

  • @rterentius
    @rterentius 21 день назад

    Piga kazi kijana. Piga kazi.

  • @user-op7vm9mr3z
    @user-op7vm9mr3z 21 день назад

    Hakuna mtu anaepinga utendaji kazi ila udhalilishaji na lugha yako ndilo swala hapa. Viongozi wote wangekuwa na lugha ya udhalilishaji nchi ingekuwa ya aina gani.

  • @asingizibwejacobkalokola7351
    @asingizibwejacobkalokola7351 21 день назад +1

    Piga kazi

  • @dignakanje4508
    @dignakanje4508 21 день назад +1

    Wivu hwana lolote.Hwa ndio wale wanaopewa kazi wanajikuta wako juu hwajui kusikiliza watanzania,wanabadilika kujiona wao ndio wao,ndiomana wameweza kutoa hizo kauli

  • @RoseMayige-gn9qb
    @RoseMayige-gn9qb 21 день назад

    Kukosea ni kawaida yetu wanadamu wote! Nyie ambao hamkosei basi si binadamu wa kawaida nyie, jichunguzeni!

  • @user-zi1gp6dc2q
    @user-zi1gp6dc2q 15 дней назад

    Uyo mery ushuz ulimbana wajinga wenzie wanapopiga vigelegele lenyewe linabinuatako kujamba mumkome mtt wa mwanamke mwenzenu achape kaz mijambaz mikubwa

  • @beinafuu6219
    @beinafuu6219 21 день назад

    Piga kazi