MAKONDA AWABANANISHA WASIMAMIZI wa UJENZI wa HOSPITALI ya WILAYA MONDULI ARUSHA,.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 26 май 2024

Комментарии • 60

  • @luckyhardson18
    @luckyhardson18 29 дней назад +8

    Makonda mnasema anaupungufu ok sawa nakubali si mmesema bana, ila sasa china, Korea na nchi zinajitambua kuacha wanaojifnya kujua demokrasia kumbe uhuni wangempa nafasi kubwa zaid na hao watumishi ambao wanafany mmbo kama vile nchi si yakwao wote daea yao n vitamzi tuu, tujaribu na wengin ambao watakua tayari kuweka Tanzania mbele kwanza........ Piga kazi makonda kikubwa asionewe mtu haki ikatamalaki💪❤

  • @user-rk5jf2lq3h
    @user-rk5jf2lq3h 29 дней назад +5

    Makondaaa wewe genius upo straight wanyoookeeeee haoooo,,,,,,,kama miujizaaaa ,,,,Arushaa watakula rahaa jamani ,,,,uzembe uvivu, kazini hautakuwapo

  • @aminielyusufu4351
    @aminielyusufu4351 29 дней назад +6

    Father,piga kazi. Mungu akulinde ndugu yangu. Tuko pamoja

  • @user-jf1sq7lk4g
    @user-jf1sq7lk4g 29 дней назад +3

    Mungu awe pamoja naww mh. Makonda

  • @mercyzakariah
    @mercyzakariah 29 дней назад +8

    Jembe letu usije uka tumia kipaza sauti chakupewa. Wahuni majizi. Wala rushwa. Hawafurahii wanaweza kutegea sumu. Tuka kupoteza pls, uwemakini,, jembe letu ila nakuamia wewe una akili saba 7 kifo chamagu kilitufungua macho,

  • @user-xk7vy4gb6g
    @user-xk7vy4gb6g 29 дней назад +6

    Safi sana Mh wabane hao wana rushwa. Pia kuwa makini na hivyo vupaza sauti. Nunua chako usitumie vyao Kuna wasio kupenda kwa hii kazi 🎉🎉🎉🎉🎉

    • @SAMPonda
      @SAMPonda 29 дней назад

      Ninaiman kabla ya kupewa kuvitumia vinapimwa kama kuna vipandikizi vya sumu

  • @kiwalejaphett5846
    @kiwalejaphett5846 29 дней назад +6

    Makonda piga kazi mti wenye matunda unapigwa mawe sana usiogope mungu yupo atakulinda

  • @GibsonNtamamilo
    @GibsonNtamamilo 29 дней назад +2

    Mara Pa, Mwamba huyu hapa. Nani MAKONDA😂😂😂

  • @ChristianSebastian-rh2fq
    @ChristianSebastian-rh2fq 29 дней назад +2

    Makonda uko sawa tumeanza kukuelew

  • @emmanuelmunuo7529
    @emmanuelmunuo7529 29 дней назад +1

    Hii ni safi sana maana kwa mtindo huu utafahamu aina ya watendaji wa mkoa na halimashauri zake.l pamoja na kuzifahamu kero za wananchi.
    Big up Makonda

  • @emanuelmwakikono3702
    @emanuelmwakikono3702 29 дней назад +1

    kazi kazi kiongozi

  • @personalitiesan9806
    @personalitiesan9806 29 дней назад +3

    Arusha Wana bahat mnoooo

  • @user-mc3du2rz8l
    @user-mc3du2rz8l 29 дней назад +1

    CHAPA KAZI MH, SHERIYA MSUMENO, HAKUNA CHA KUANGALIANA USONI, TAIFA LINAKUTEGEMEA NA KUKUAMINI. MAFISADI TU NDIYO WANATAFUTA UDHAIFU WAKO WANA ARUSHA TUMEKUELEWA. UZEMBE NO.

  • @theempire4058
    @theempire4058 29 дней назад +3

    Makonda kila sehemu anayowekwa lazima ahakikishe anawagusa wananchi, huu ndio uongozi unaotakiwa, shida unakuta jamaa anapiga kazi alafu kesho kaamishwa tena, awe tu mkuu wa mikoa yote asafishe nchi nzima, ikishindikana tumpe uraisi kabisa sijui tunakwama wapi wananchi. Hii nchi haiitaji mtu mpole bado maafisa wetu waliopewa nafasi za kuongoza wananchi wanaongoza kwa rushwa, ubadhirifu wa mali za umma na ukandamizaji wa haki za wananchi.

  • @Ibrahim-ne3in
    @Ibrahim-ne3in 29 дней назад +1

    Uyo mwenye tumbo kubwa hap pemben ndio mwizi😂😂😂😂

  • @wilsonmollel4317
    @wilsonmollel4317 29 дней назад +1

    Nimemuona babangu

  • @mercyzakariah
    @mercyzakariah 29 дней назад +5

    Huyu ndo kiongozi ambae amekivaa kiatu cha jembe letu hayati magufuli, samia oeeeee

  • @EmmanuelRazalo-qz5cr
    @EmmanuelRazalo-qz5cr 29 дней назад +3

    Mungu Akulinde kaka yangu mungu yupo nawewe 🤝🤝🤝🤝🤝

  • @japhetaverin-ou9rp
    @japhetaverin-ou9rp 29 дней назад +2

    Hiv mikoa mwingine viongoz wanafanya Kaz gan🤔🤔

  • @golebenson4597
    @golebenson4597 29 дней назад +1

    Huyu makonda sio bure anaakili nyingi hana papara anielekeze kwa mganga wake🙌🙌🙌

  • @LekuleKipuyo-gk4rq
    @LekuleKipuyo-gk4rq 27 дней назад

    Makonda komaa kukomesha uzembe wa bahazi ya viongozi hakuna kitu wanacho fanya ni kula kadi zetu tu bure monduli hiyo hakuna kitu shuka kijiji cha lashaine

  • @saiditasher8362
    @saiditasher8362 29 дней назад +1

    Alu yule dada aje kusema makonda anazalilisha watumishi dada kikubwa unachikijua ni kupanua kikuma tu mku pinga kazi

  • @EmmanuelRazalo-qz5cr
    @EmmanuelRazalo-qz5cr 29 дней назад +3

    Kaka unajuwa kumbana sana

  • @jacobmakono4399
    @jacobmakono4399 29 дней назад +1

    😂😂😂😂 Arusha mtasema kilichomnyoa kanga manyoya!!

  • @juliusjoseph6320
    @juliusjoseph6320 28 дней назад

    Huyu Makonda ndo mfano Bora kwa viongozi wa Tanzania Je nyie viongozi Mnafanyaje mbona hamsikiki au mnajaza matumbo na umalaya? Ndo maaana nchi imekwama sababu kumbe ni viongozi wa bovu Yani Makonda akifa nitajua HATA Magufuli ninyie😅nitawaroga

  • @user-gx4jx4gv9l
    @user-gx4jx4gv9l 29 дней назад

    😂😂😂hawakujui hao.

  • @rendiman2878
    @rendiman2878 29 дней назад

    Mifumo ya ki undugunization ya ccm ndio imetufikisha hapa. Bila kubadilis mifumo kwa katiba mpya hata aje yesu haya hataikwisha. Akiondoka Makonda tuu mafisadi yanarudi na nguvu mpya na ari mpya, muulizeni Magu. Si ameondka tuu yakaanza na kuuza bandari alizokataa kuuza? Msipoyaondoa mafisiem kwenye madaraka mtaendelea kucheza hii ngoma

  • @wilsonmollel4317
    @wilsonmollel4317 29 дней назад

    Loth molel father bigup lkn

  • @lovenessvisent9408
    @lovenessvisent9408 29 дней назад

    Mmbadilifu wa Mali ya serikali kwa makusudi au bahati mbaya hukumu iwe kifo sheria ya sasa ibadilishwe alafu muone kama kiila mtumishi wa serikali habadiliki, chukueni hii mtakuja kunishukuru kumuongoza mtu yataka ujasiri mkibwa

  • @AllyMaya-yj3xd
    @AllyMaya-yj3xd 29 дней назад +1

    MKONDA AKIFIKA SEHEMU SASA NI KAMA WAZIRI MKUU WATUMISHI WAPIGAJI AMBAO HAWAELEWEK.
    I😂😂😂😂 mjomba kaanza kujipiga mitama mwenyewe

  • @kilimoufugajipesatv5751
    @kilimoufugajipesatv5751 29 дней назад

    Wamemchokoza teenah

  • @EmmanuelRazalo-qz5cr
    @EmmanuelRazalo-qz5cr 29 дней назад

    Kazi kazi kaka wafinye kisawa sawa kaka

  • @athumanimawela3021
    @athumanimawela3021 29 дней назад

    Hawajasema yani mpaka waseme

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 29 дней назад

    msechu anafanya nini Arusha

  • @OmanOman-dn6dj
    @OmanOman-dn6dj 29 дней назад +1

    MAKONDA SAFIII❤❤❤

  • @petrobathorimeo639
    @petrobathorimeo639 29 дней назад

    Kumekucha watanyooka hao

  • @OmanOman-dn6dj
    @OmanOman-dn6dj 29 дней назад +1

    Eti Naam😅😅😅hajasikia au kiwewe

  • @user-oj3lv6et4n
    @user-oj3lv6et4n 29 дней назад

    Kwa kazi hii ya makonda ukute magufuri atafufuka kwa furaha aje ampe ukuu wa mikoa zote Tanzania 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 😂😂😂

  • @Kidd11168
    @Kidd11168 29 дней назад

    Mizigo hio Bw Makondo, utakutana nayo Sana, bado. Kwenye uajibikaji vigugumizi vya kutosha, Ila Kwa upigaji WA dili za fedha za miradi kama kasuku.

    • @GibsonNtamamilo
      @GibsonNtamamilo 29 дней назад

      😂😂😂😂 eti kama Kasuku 😂😂😂

    • @Kidd11168
      @Kidd11168 29 дней назад

      @@GibsonNtamamilo ndio ukweli huu, we cheki Wana vyo msomea makabrasha, nenda sasa kwenye utekelezaji wenyewe? Ni madudu mtindo mmoja, fuatilia utaona.

  • @user-mc3du2rz8l
    @user-mc3du2rz8l 29 дней назад

    Zz

  • @lanezboy7016
    @lanezboy7016 29 дней назад +1

    Afu anatokea mtu anasema makonda anadhalilisha watu shenz kabisa

    • @irenembise541
      @irenembise541 29 дней назад

      Shangaa wewe ndugu yangu
      Mtu anaulizwa maswali anajing'ata ng'ata,akisemeshwa kwa ukali eti anadhalilishwa mxiuuuu

    • @GibsonNtamamilo
      @GibsonNtamamilo 29 дней назад

      Ni hatari ndugu yangu. Tumtie moyo tu huyu mwamba Makonda

  • @MasterOil-qm6vw
    @MasterOil-qm6vw 29 дней назад

    Kaka makonda uko kazini kweli bali unafanya kazi na magenge ya wapigaji

  • @MasterOil-qm6vw
    @MasterOil-qm6vw 29 дней назад +2

    Wanyooshe kaka hakuna kuzalilisha yaani wale kodi halafu atokee mpuuzi aseme unawazalilisah waongo waongo sana haw kazi kuchezea kodi zetu

  • @yaredyndaga6483
    @yaredyndaga6483 29 дней назад +1

    soma hiyoooo (mwaniri na makonda the same )

  • @MasterOil-qm6vw
    @MasterOil-qm6vw 29 дней назад +1

    Maskini hata kujibu maswali hawajui eti wamepewa kazi kwa vyeti sasa wamesoma nn ujinga mtupu jamani

  • @britonkanumba6828
    @britonkanumba6828 29 дней назад +2

    Makonda wewe ni😂kiongozi

    • @mercyzakariah
      @mercyzakariah 29 дней назад +2

      Huyu NI magufuli kabisa yaani HUYU makonda amekivaa kiatu cha jembe letu hayati magufuli,

    • @mataypanga5262
      @mataypanga5262 29 дней назад

      ​@@mercyzakariahKama ni Magufuli ,atapotea bila habari😂

    • @irenembise541
      @irenembise541 29 дней назад

      @@mataypanga5262 daah hawakawii aisee😔

    • @petersilas4234
      @petersilas4234 29 дней назад

      Magufuli alikuwa makini, huyu bwana mtafuta umaarufu tu​@@mercyzakariah

  • @asajileraphael1951
    @asajileraphael1951 29 дней назад

    Chuma kiko kazn saf sanaaaaaaaa piga Kaz mkuu