RC Makonda: Wewe Niliagiza Ukamatwe Mbona Uko Hapa, Kuanzia Sssa Upo Chini ya Ulinzi, OCD Fanya H..

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 27 май 2024
  • RC Makonda: Wewe Niliagiza Ukamatwe Mbona Uko Hapa, Kuanzia Sssa Upo Chini ya Ulinzi, OCD Fanya H..
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    .
    #rcmakondaarumeru
    #ARUSHAYASIMAMA #MKASAWAKUSIKITISHA #RCMAKONDA #rcmakondamonduli #rcmakondamonduli #MAKONDALIVE #makonda #makondaleo #makondakaratu #karatu
  • РазвлеченияРазвлечения

Комментарии • 118

  • @kwayayamt.gemmakisongo7287
    @kwayayamt.gemmakisongo7287 28 дней назад +37

    Anaemiubali mkuu wetu po makonda aweke like nyingi hapa na tutahakikisha tunamuomba mama samia atuachie makonda weetu awe arusha miaka yoooote

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward 28 дней назад

      Ikifika wakati raia nchi mzima wakamchukulie form. Mtandao wala pesa hawezi kumwachia agombee labda kwa shinikizo la raia. Makonda bado anayo kazi ya kuonyesha ili tumwamini. Lazima hahakishe mifumo ya mamlaka ya raia inafanya kazi. Tangia ngazi ya mtaa mpaka ngazi ya mkoa. Aonnyeshe ushirikikiano na raia kuinua mapato, afya, elimu na uchumi wa watu kwanza.

    • @angellomarcel5677
      @angellomarcel5677 28 дней назад

      Makonda ni mtu na Nusu

  • @ZainabuFarijara-jf7rq
    @ZainabuFarijara-jf7rq 28 дней назад +10

    Kwakweli makonda yuko juu safi sana

  • @daudimwaipaja1734
    @daudimwaipaja1734 23 дня назад +1

    Mungu wa mbinguni aendelee kumbaliki huyu mheshimiwa makonda 🎉🎉

  • @emilianchibinda82
    @emilianchibinda82 28 дней назад +13

    Nyie mnaosema watu wanaaibishwa kwanini sasa wanaiba hela za kuwahudumia wananchi? Waache wizi basi!!?

  • @SolomonMlomo-fu5gs
    @SolomonMlomo-fu5gs 28 дней назад +9

    makonda arusha itakuwa kama peponi🙏🙏

  • @samwelntungi1111
    @samwelntungi1111 27 дней назад +4

    Mr. Makonda you're a good man

  • @abedysteven4930
    @abedysteven4930 28 дней назад +5

    Mungu a2pe uzima namuona makonda akiwa rais wa jamhur ya muungano wa Tanzania!!

  • @babadee4785
    @babadee4785 28 дней назад +8

    JPM aendelee kupumzika kwa amani. Angekuwepo huyu jamaa angefika mbali sana. Tatizo ni kwamba wapenda haki huwa hawapewi nafasi ya kudili na papa walio chini ya kina cha bahari.

  • @PeterMaonga
    @PeterMaonga 28 дней назад +11

    Viongozi wote wa Nchi hii wangekua kama Makonda watu wangenyooka

  • @charlesmnuo3292
    @charlesmnuo3292 27 дней назад +1

    Inanikumbusha waziri mkuu sokoine na mambo ya ndani mrema na mkuu wa mkoa makonda hongereni sana na mnataji mbinguni kwa kazi ya haki mtendayo

  • @YunusiAthuman-ep5mc
    @YunusiAthuman-ep5mc 27 дней назад +2

    Tunakuombea kwa mungu akujalie maisha marefu amina

  • @BeniJohn-xd3cn
    @BeniJohn-xd3cn 27 дней назад +3

    CCM mliyo wezi mtanyooka kwa kazi ya Makonda

  • @salumtitho1407
    @salumtitho1407 28 дней назад +3

    Uyu makondo uyo we nyie me naona raha wale spana awa jamaa mungu muongoze makonda

  • @masoudnzowa4608
    @masoudnzowa4608 28 дней назад +5

    huyu kweli ni mtoto wa magufuli!

  • @lucasmlowezi9214
    @lucasmlowezi9214 28 дней назад +10

    Mzee wa spana nakukubali balaa

  • @TitoRufizi-xb2ub
    @TitoRufizi-xb2ub 27 дней назад +2

    Safi sana makonda,ila nchi hii na viongozi wa juu wanapiga michogo je wao wanashugulikiwa na nani.sio kudili na watumishi wadogo huku wakubwa wanapiga michongo bila kuguswa

  • @sheyosquad5755
    @sheyosquad5755 28 дней назад +6

    Apewe uraisi jamaa

  • @mustafamandindi6434
    @mustafamandindi6434 27 дней назад +3

    Kila kukicha nakuombea kwa mungu akutunze na akuongoze uje kua rais wa nchi hi makamu wako aje kua jeli silaa kwani kwani mnajitoa sana kwa wananchi mungu awalinde

  • @zakariamakumba5042
    @zakariamakumba5042 27 дней назад +3

    Hongera Makonda,wakuu wa mikoa wote wangekuwa kama wewe,Rais angepumua angeifurahia nchi anayoiongoza

  • @kareem1182
    @kareem1182 13 дней назад

    Makonda makonda makonda
    Watakulogaaaa!!!

  • @BienvenueBisimwa-rn9rn
    @BienvenueBisimwa-rn9rn 25 дней назад +1

    Mungu akulinde,watu kama wewe wanachukiwana mabebero

  • @jumabonge8577
    @jumabonge8577 28 дней назад +11

    mipolisi kazi yao kushika wanyonge tuu ao

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward 28 дней назад

      Ni police, si mi police, hawa ni watoto wetu, wake au waume wetu na ni raia wenzentu na jamii au taifa linahaja nao, hawako kwa akili yao wenyewe. Kama wana mapungu wao kama sehemu yetu, basi wao ni kama kioo. Wao kama kioo wanatusadia tujione wenyewe. Lazima tujenge uwezo wa kufikiri zaidi. Kila kona tunasikia mambo ambayo hayasitahiri.

    • @angellomarcel5677
      @angellomarcel5677 28 дней назад

      Ma Police ni Waadilifu wanao waharibia Uwadilifu ni Raia wenyewe

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward 27 дней назад

      @@angellomarcel5677 Ndiyo na wakati mwingine mtu au raia anakwenda kituoni na pesa ili kumkomoa mwezaie. Na mara nyingi utasikia utanitambua. Ukifuatilia mfano Makonda unaona raia wenyewe tuna shida ya kunyanyasa kwa makusudi. Jamani maovu ni sisi wenyewe, hawa ni kioo tu cha kujiangalia. Ni sisi. Kipi ambacho hakitokani nasi. Kuna mambo ukiyatafari unalia mwenyewe kama vile ule wimbo wa machozi ya samaki. Tz haijulikani kama tunajua wote kwamba tunahitaji maendeleo. Na maendeleo hayana Dede au Lele mama. Kungetambua wote leo. Tusingecheleweshana hivi. Tungejiohoji kirafiki sana Kwa sera, hi na hi inafuaa au la. Kitabu cha Wimbo wa Lawino. Shairi Mbogo wa Umaskini anapoanguka. Mwenye kisu kikali anakata nyama kubwa. Tunakabiliwa na choyo kwenye jamii. Choyo chetu ndiyo shida. Sio idara gani watu wanafanya kazi. Ujinga ,choyo, wivu, hujuma kwa kujua au kutokujua.ujitokeza katika sura tunazokutana nazo

  • @EmanuelMinja-fv9dn
    @EmanuelMinja-fv9dn 28 дней назад +11

    Huyu jmaa Ni jembe kweli kweli

  • @rahmazahor4333
    @rahmazahor4333 28 дней назад +5

    Kujipeleka mwenyewe 😂😂😂

  • @DominicKani-ri9le
    @DominicKani-ri9le 27 дней назад +2

    Makonda natafuta nauli nitoke Rorya nije angalau nipige story na wewe kwa dakika 10 tuu.Mola Akulinde

  • @taisonkalinga5711
    @taisonkalinga5711 28 дней назад +5

    Piga kazi baba

  • @wilsondotto9332
    @wilsondotto9332 28 дней назад +6

    Pita mikoa yote baba

  • @abdallahhassan3840
    @abdallahhassan3840 27 дней назад +1

    Wewe jamaa mungu akuongezee siku zakuishi kwakweli

  • @aidandamian2566
    @aidandamian2566 28 дней назад +6

    Makonda Mungu kakuleta

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 15 дней назад

    Watu wabaya msijaribu kumgusa Makonda wetu.msithubutu😮

  • @kabujeasukile5462
    @kabujeasukile5462 24 дня назад

    Piga kazi kaka mungu akupe afya njema na maisha marefu

  • @user-rf7ni6tr2o
    @user-rf7ni6tr2o 27 дней назад +3

    Magufuriiiii mtupuuuu

  • @MohamedIbrahim-vl7yr
    @MohamedIbrahim-vl7yr 27 дней назад +1

    Ee mungu unatufuta machiz ni kama magu kafufu Ka piga kaz brather

  • @MwanaishaShattry
    @MwanaishaShattry 27 дней назад +1

    Anaye sema Makonda anawaabisha watu na yeye mwizi na anaogopa kuadhirishwa. Kama ni bora watu waibiwe basi wewe leo waingie ajambazi kwako wakuibie uone raha ya kuibiwa.

  • @emilianchibinda82
    @emilianchibinda82 28 дней назад +4

    Afisa utumishi jibu swali

  • @user-sp7qc1kl1f
    @user-sp7qc1kl1f 28 дней назад +1

    kazi nzuri

  • @aloyceponela3249
    @aloyceponela3249 27 дней назад +1

    Makonda fanya kazi usiogope mtu.

  • @user-jy1cx6rl1m
    @user-jy1cx6rl1m 23 дня назад

    Brother akili nyingi sana mkuu heshima kwako

  • @user-wc8eb6nk6l
    @user-wc8eb6nk6l 27 дней назад

    Namkubari makonda natamani aje na morogoro

  • @melkizedekwiliam-hi7bz
    @melkizedekwiliam-hi7bz 28 дней назад +1

    Sawa sawa

  • @purchasesunshine2752
    @purchasesunshine2752 27 дней назад

    makonda you are the best always

  • @daslamonline4665
    @daslamonline4665 25 дней назад

    Arusha majizi aiseee

  • @florencemeza6540
    @florencemeza6540 28 дней назад +2

    Tena wanaiba kweeeeli

  • @frankmlinda1181
    @frankmlinda1181 26 дней назад

    Respect to u bro

  • @Mgema001
    @Mgema001 27 дней назад

    Kwenye historia YESU, alipata mateso na manyanyaso pamoja na masimango kutoka kwa viongozi na jeshi la kiyaundi,..lakini baada ya mateso yote waliompa YESU yupo mwanajeshi mmoja alisimama pale msarabani alipokua YESU na kukikri kwa kumtukuza MUNGU kuwa mtu yule alikua mwema,,,,ipo siku ntarudi tena ipo siku WAPINZANI watakiri yakua MAKONDA alikua mtu wa HAKI tupo hapa

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 15 дней назад

    Leo waondoke kazini😢

  • @pyelesyamwakatika540
    @pyelesyamwakatika540 24 дня назад

    Yan wakuu wengine hawaigi mazuri ya Mheshimiwa wapo kama hawapo wanajali maslahi yao tu tupa kule Rais tunataka wenye moto wa Makonda

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 27 дней назад

    Makonda unahangaika sana kuungana na wana CCM. Kwa sababu hata wanaccm ni wale wale kwa sababu wanapeana. Wanakula nao hao watu wa serikali.

  • @EmmanuelMisalaba
    @EmmanuelMisalaba 19 дней назад

    wanyoshee wala rushwa siwapendi wanadhurumu haki za wanyonge

  • @hawaelymaricca7602
    @hawaelymaricca7602 28 дней назад +1

    watendaji wadhulumati tuu kuonea wanyonge,

  • @GodfreyOsward
    @GodfreyOsward 28 дней назад +1

    Biashara ngumu sana, viwanda hakuna, mashamba mkubwa hakuna. Sasa haya maendeleo ya watu binafsi chanzo nini? Utafutaji hawa bwana, wanachukuwa za umma

  • @user-ch2xi5zm8y
    @user-ch2xi5zm8y 28 дней назад

    Yeye anaweka komwe nama sururu , na yy pia hawezi kazi kabisa

  • @emilianchibinda82
    @emilianchibinda82 28 дней назад +1

    Afya shikamooo!?

  • @PetrolMwakyokola
    @PetrolMwakyokola 28 дней назад +1

    Na kama ni uongo je itakuaje

  • @BienvenueBisimwa-rn9rn
    @BienvenueBisimwa-rn9rn 25 дней назад +1

    Makonda kuya Congo,makonda ni mungu alikutuma Tanzanie,ilibidi uzaliwe Congo,ungizaliwaDRC labda ungitusaidiya🇨🇩🇨🇩

  • @BeniJohn-xd3cn
    @BeniJohn-xd3cn 27 дней назад +1

    Piga spana wote

  • @devisshirima6780
    @devisshirima6780 24 дня назад

    Ninajiuliza tuu hivi wakuu wa mikoa wengine hawana changamoto hizi? Na je wakuu wa mikoa wa Arusha waliopita walikuwa hawayaoni haya? Hii ni dhahiri dhuluma ni nyingi sana kwenye mikoa ya Tanzania na inaonekana viongozi wasio na msimamo kama wa Makomda wanakula tuu mishahara ya bure huku kuna watu katika mitaa yao hawana msaada wowote !! Kiukweli hatutaki watu wanajisifia tuu vyeo tunahitaji wetandaji wa kazi kwa vitendo kulingana na mamlaka waliyopewa na Rais !! Mh. Makonda wewe ni mfano wa kuigwa sio Tanzania tuu hata akibidi duniani kote, moja ya mission ya Mungu kuwaweka viongozi ni kuwatetea wale ambao hawawezi kujitetea pale wanapoonewa !! Mungu akufikishe mahali ambapo hutautetea mkoa tuu bali uitetee nchi na dunia nzima !! Viva Mh. Makonda Mungu akulinde na akusimamie

  • @josephinarobert3325
    @josephinarobert3325 27 дней назад

    Wanasema mama hiijuiwi ichi kwahiyo wanachukua2 hakuna wakufatiria

  • @user-sp2fu3wh6q
    @user-sp2fu3wh6q 27 дней назад

    Hapo umesema miheshimowa

  • @yassinchuwa8824
    @yassinchuwa8824 27 дней назад

    Alama ya Magufuli

  • @yassinchuwa8824
    @yassinchuwa8824 27 дней назад

    Mama Hana haya huyuu

  • @joycmsokile9220
    @joycmsokile9220 26 дней назад

    Ccm oyeee, yafaa huyu Rc Makonda awe either pm or vice president soon after the coming general election of 2025. anafaa,

  • @hajihassan5433
    @hajihassan5433 28 дней назад +4

    Napenda sana kazi ya Makonda LAKINI hivi namna anavyowashughulisha Polisi sio sawa. Mamlaka ya RC ni kwa Watumishi wa Serikali, Polisi ni chombo kingine.

    • @mkamimtatiro3449
      @mkamimtatiro3449 28 дней назад

      Huyo ni mkuu wa usalama mkoa so wako chini yake

    • @user-yf9yn8ym3k
      @user-yf9yn8ym3k 28 дней назад

      Mkuu wa mkoa ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi ya mkoa. Ambayo majeshi yote ndani ya mkoa wake yako chini yake. Anamtuma RPC, na wakuu wengine wote kwa ngazi ya mkoa. Hope umepata kitu hapa

    • @GodfreyOsward
      @GodfreyOsward 28 дней назад

      ​@@user-yf9yn8ym3ksomo la uraia rudia tena ndugu. Huyu ndiye mkuu. Hata ni mwenyekiti wa maadili ya mahakama mkoani

    • @lucymtui8680
      @lucymtui8680 28 дней назад

      Polisi wenyeeewe wapo wapi???
      Au sio watumishi??

    • @jamesmzaki6041
      @jamesmzaki6041 27 дней назад

      Mkuu wa mkoa ni rais wa mkoa na ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama wa mkoa,,,Lolote linalotokea mkoani yeye ndo wa kwanza kuwajibika kwa waziri wa TAMISEMI,waziri mkuu au rais mwenyewe.

  • @user-jl5un4wf3u
    @user-jl5un4wf3u 28 дней назад

    Heisrunning while others aren't and doing humanitarian job in ourcountry

  • @BeniJohn-xd3cn
    @BeniJohn-xd3cn 27 дней назад

    Uyo polisi ajuwi kazi yake na sijuwi kapata wapi vyeo hivyo

  • @edisonpeter3894
    @edisonpeter3894 27 дней назад

    Bado sabaya. Namuombea nae aqnze

  • @angellomarcel5677
    @angellomarcel5677 28 дней назад

    Mwamba sijui kilichompeleka Mkutanoni ni Nini..?😅 Na Suti yake sasa leo anaenda kutapika Nyonga..😅

  • @lukomanomaliki5442
    @lukomanomaliki5442 28 дней назад +5

    Sasa kuna haja gani ya kumsema huyo jamaa mbele za watu.Huoni unamuaibisha, kwanini usingetoa maelekezo kimyakimya ashughulikiwe.

    • @lukafbbwebelof3874
      @lukafbbwebelof3874 28 дней назад +5

      Alimtarifu kimia kimia hakusikia, hauja sikia alihamuru asiendelee na kazi lakini amemkuta hapo!!! Hukulisikia Hilo? Mungehachana na kumchukia Makonda pia achaneni na ushabiki

    • @sundaystanley5322
      @sundaystanley5322 28 дней назад +5

      Wewe jamaa una matatizo,huwajui tu hawa watumishi wa serikali,wanaumiza sana watu

    • @user-uf6oe3qi6v
      @user-uf6oe3qi6v 28 дней назад +5

      Acha kulinda watu huyo mwizi

    • @aboubakarothman
      @aboubakarothman 28 дней назад +5

      Ha ha 😂 wewe ni mtanzania kweli au mhamiaji?
      Unataka asemwe kimya kimya😂😂😂

    • @simonmagembe7416
      @simonmagembe7416 28 дней назад +5

      Mwizi apewe maelekezo kimya kimya kweli?

  • @jumabonge8577
    @jumabonge8577 28 дней назад +1

    sio wezi ao ni watafutaji tuu

    • @emanuelmkama1325
      @emanuelmkama1325 27 дней назад

      Majiz yanaanzaga mdogo mdogo likipew nafas kubwa ndo lnakuw lipapa sas

  • @user-gy5en6cy8o
    @user-gy5en6cy8o 27 дней назад

    Makonda alindwe kwa gharama zote