MAKONDA AMBANANISHA INJINIA, HELA za UJENZI wa SHULE ya SAMIA ni KIZUNGUMKUTI,.🙌🙌

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 22 май 2024

Комментарии • 72

  • @user-ui3jn1hg3l
    @user-ui3jn1hg3l 21 день назад +4

    Huyu ni mbabaishaji na ni mwizi

  • @gastordominic410
    @gastordominic410 23 дня назад +5

    Huyu Dada yupo smart and confident

    • @GibsonNtamamilo
      @GibsonNtamamilo 22 дня назад +1

      Yes she is Confident but in wrong direction.

  • @user-vz4xv7lg3x
    @user-vz4xv7lg3x 21 день назад +1

    Dada Engineer ni full confidence....safi sana dada!!

  • @johnpapaking1497
    @johnpapaking1497 18 дней назад +1

    Headmaster wangu Leo kayatimba

  • @martinabayyo9982
    @martinabayyo9982 22 дня назад +4

    Makonda yupo sahihi, huyu dada kweli haongei ukweli, hela yote imefanya kazi gani jamani

  • @SaumuJuma-mu1my
    @SaumuJuma-mu1my 23 дня назад +3

    Injia yuko vizuri hongera sana

  • @aronmtui597
    @aronmtui597 19 дней назад +1

    Mwalimu yuko smart ni maswali mnamchanganya

  • @user-gx4jx4gv9l
    @user-gx4jx4gv9l 21 день назад +2

    Huo mradi kunawizi apo ndio maana mkuu wa mkoa anahoji sana.

  • @GibsonNtamamilo
    @GibsonNtamamilo 22 дня назад +3

    Eti ana Mwaka 1 na miezi 5 bado mgeni ofisini hawezi kusemea ya nyuma. 😂😂😂

  • @GibsonNtamamilo
    @GibsonNtamamilo 22 дня назад +2

    Ukimsiliza vizuri Mhandisi na Mkuu wa Shule ni wezi watakatifu wameongeza gharama nje ya sheria inavyowataka. Akiingia CAG anapita nao.

  • @eddakasela
    @eddakasela 22 дня назад +1

    Hujapitia shule dada umesoma kweli upo vizuri

  • @technicalgearboxenginebysc1360
    @technicalgearboxenginebysc1360 21 день назад +2

    Makonda hana shida sikiliza kwanza ndio utajua kulindana ndio linatufanya tuwe maskini

  • @andersonyona9004
    @andersonyona9004 24 дня назад +3

    Dada mhandisi wa ujenzi upo vizuri hongera

  • @user-yt5ue4vj5b
    @user-yt5ue4vj5b 21 день назад +1

    Dada yupo powa ❤❤❤

  • @karushakamusa5525
    @karushakamusa5525 23 дня назад

    Hongera madam engineer

  • @ludovickanael3426
    @ludovickanael3426 22 дня назад +2

    makonda umekutana na mtaalam, Rudi shule ukasome, umeshindwa kushawishi ktk hii clip, umechemka, huyu mwanamke ni shujaa, malkia WA Karne, vitu vingi unalazimisha, unajifanya Magufuli.unalazimisha saana mambo.

  • @MarryKabuje-xf9uf
    @MarryKabuje-xf9uf 21 день назад +1

    hongera mama

  • @user-id9ly8fe1w
    @user-id9ly8fe1w 19 дней назад +1

    Jeuri hili dada😢

  • @laurentndichaye1445
    @laurentndichaye1445 22 дня назад +2

    Makonda chapa KAZI mafanikio Yako tunayaona.

  • @martinabayyo9982
    @martinabayyo9982 22 дня назад +2

    Wabongo sijui wapoje , yaani kiongozi akiongea ukweli wanampigia vita, sasa hiyo hela inapanda mara kwa mara na bado mnamlaumu makonda, mnataka juficha maovu ndo maana hatupigi hatua

    • @CristinLyanga
      @CristinLyanga 20 дней назад

      Mama ataongezea hela,at??? Anakuzingua huyo dada. Aseme pesaro ipo wap? Yaan watumishi wa uma ndio mnaoongoza kuzulumu wa ananchi kwa sasa.

  • @lemmywanjeh4366
    @lemmywanjeh4366 10 дней назад

    Mnasema dada ako smart sioni smartness yake ya akili bali ni akili ya wizi
    #+254 following

  • @hermanmarunda8094
    @hermanmarunda8094 13 дней назад

    Dada ni Kichwa....mkuu wa mkoa kazidiwa akili na Engineer parefu sanaa.

  • @user-uw4pu9nm1u
    @user-uw4pu9nm1u 23 дня назад +2

    Huyo mama anapambana kwel

  • @mahmudumsuya3831
    @mahmudumsuya3831 23 дня назад +2

    Dada anakosa majibu

  • @AwaziRajab
    @AwaziRajab 22 дня назад +1

    Makonda Kwa Uyu Mdada Umechemka Ayo Mambo Ya Ofisini Kwenu

  • @GibsonNtamamilo
    @GibsonNtamamilo 22 дня назад +2

    Mhandisi kabadilisha fani kawa mhasibu sasa amrpotea porini😂😂😂

  • @muhammednassor3569
    @muhammednassor3569 21 день назад

    Mama big up

  • @msuhabaraka9049
    @msuhabaraka9049 21 день назад +1

    Mkuu wa shule kuna mda anavo angalia nabaki nacheka

  • @KakumbaKakumba
    @KakumbaKakumba 22 дня назад +1

    Mama nimefurahi ujibuji wako

  • @youthmediatv1
    @youthmediatv1 24 дня назад +2

    Nipo wakwanza,nipeni like zangu

  • @Aaron-nu7dv
    @Aaron-nu7dv 24 дня назад +2

    Engineer anajiamini na anajua sana

    • @GibsonNtamamilo
      @GibsonNtamamilo 22 дня назад

      Hajui kuna swali kaulizwa kama ipo kisheria kwa yeye Injinia kuandika kwenye barua kukata Kodi sio kazi yake. Hapo kuna fedha wamempiga mkandarasi.

  • @user-qo6qv6mc5p
    @user-qo6qv6mc5p 24 дня назад

    Madudu mengi sana kwakwel

  • @drtobias_
    @drtobias_ 23 дня назад +2

    MAKONDA Leo kwa Dada amegonga mwamba 😢😢😢

  • @RehemaKizeru
    @RehemaKizeru 22 дня назад +1

    Makonda nikiongozi

  • @gastordominic410
    @gastordominic410 23 дня назад +2

    Huyu mdada yupo smart sana

    • @GibsonNtamamilo
      @GibsonNtamamilo 22 дня назад

      Hakuna usmrt hapo ameongea kwa kujiamini tu lakini yuko nje ya utaratibu. Ndio maana anachokisema Mkuu wa Shule nitofauti na anachokijua Mhandisi. Kiufupi kuna upigaji Makonda ameshapenyezewa.

    • @user-id9ly8fe1w
      @user-id9ly8fe1w 19 дней назад

      U smart wa kauli za mwizi aliyebobea😅

    • @lemmywanjeh4366
      @lemmywanjeh4366 10 дней назад

      Mimi kama Mkenya nmefatilia sana huyu makonda
      Lakini mnasema dada ako smart lakini hakuna smart yoyote hapo ni wizi tu

  • @mwalimulossilamsuya1944
    @mwalimulossilamsuya1944 22 дня назад +1

    Style ya RC kitaalamu haifai kabisa....

  • @RamadhaniAthumani-qv9ci
    @RamadhaniAthumani-qv9ci 24 дня назад

    Dada unajua kujielezea

  • @maloshangaileyoutubechanne3859
    @maloshangaileyoutubechanne3859 24 дня назад

    Kazi kweli kweli.

  • @user-id9ly8fe1w
    @user-id9ly8fe1w 19 дней назад

    Lao moja hawa wezi walijiandaa ndio mana makonda anawabana sana😂

  • @user-yt5ue4vj5b
    @user-yt5ue4vj5b 21 день назад

    Uyu dada yup vizur hiki kitu kita mbeba ata panda juu

  • @faisalilutambi9912
    @faisalilutambi9912 23 дня назад

    Dada shule uliosomaa iko vizur

  • @ludovickanael3426
    @ludovickanael3426 22 дня назад +1

    Bwana makonda unamuuliza mwanamke maswali ya kumdhalilisha mwanamke,ACHA u babe.vitu vingine waachie watu wa mahakama, hata hivyo huyu na mwanamke mjanja kuliko wewe.

    • @mwakimedia291
      @mwakimedia291 21 день назад

      China mtu akichezea pesa za serikali ananyongwa huku kwetu akifokewa mara ooh Haki za binadamu ooh hana busara afrika tumepumbazwa ufisadi uwiz unazidi

    • @victaboy7273
      @victaboy7273 19 дней назад

      Hapa ni mwanamke au ni engineer?

  • @godwinmalisa7119
    @godwinmalisa7119 23 дня назад +1

    Huyo mkuu ni mwizi tu fukuza mbali

  • @faisalilutambi9912
    @faisalilutambi9912 23 дня назад

    Hesabu za miradi ya ujenzi inaitaji uzoefu

  • @PauloAlfayo-qi1gn
    @PauloAlfayo-qi1gn 23 дня назад +2

    Huyo dada amekula rushwa ametoa wapi Hela ya kununulia miwani nzuri hivyo??

    • @CalsonMbisha-iw4co
      @CalsonMbisha-iw4co 22 дня назад

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @gastordominic410
    @gastordominic410 23 дня назад

    Hizi Pesa zina mitego kweli

  • @drtobias_
    @drtobias_ 23 дня назад +1

    Hivi Mongera huko anajisikiaje

  • @mwalimulossilamsuya1944
    @mwalimulossilamsuya1944 22 дня назад

    Mimi naona kuna SIASA NA UTENDAJI... KUNA VITU VINGINE VINAPASWA KUWEKWA SAWA KABLA YA KUVIWEKA HADHARANI.. NAAMINI HAKUNA TATIZO ILA MAWASILIANO NDI TATIZO... HALAFU MAMBO HAYAENDAGI HIVI... KUCHANGANYANA NI ZAIDI YA 90%..HI STYLE INAUDHALILISHAJI NDANI YAKE

  • @mwalimulossilamsuya1944
    @mwalimulossilamsuya1944 22 дня назад

    JE KILA SWALI NA HOJA ZINAZOIBULIWA JE HAWA WATUMISHI WALIJIANDAA NAZO?... MIMI NAONA MASWALI MENGINE HAYANA MAANA.. NA YANALENGA AU ZIMEKAA KISIASA

  • @AwaziRajab
    @AwaziRajab 22 дня назад

    Makonda Kwa Uyu Mdada Unatakiwa Umuombe Radhi Kwasababu Kwanza Anapambana Makonda Kwanza Umesema Unatetea Wanyonge Lakini Mladi Wa Uyu Mdada Ambae Unamtolea Maneno Ayo Ni Mfumo Wa Uko Kwenu Viongozi Angekua Amezulumu Wananchi2 Ambao Wewe Umesema Unawatetea Nibola Kuliko Kumbana Mdada Umpi Muda Wa Kujieleza Hi Sio Sawa Kwa Namna Moja Au Nyingine Kwasababu Gani Izo Pesa Zimetoka Kwa Serikali Nasio Kwa Wananchi Sasa Ayo Ni Mambo Ya Ndani Serikalini Sasa Kukaa Apo Na Kuanza Kutoleana Ndivo Sivo Sio Sawa Endana Na Kauli Zako Za Kutetea Watu Wanyonge Waliozulumiwa Kuliko Kupotez Muda Mwingi Kuongea Mambo Ambayo Yenu Uko Juu Kwenye Uma Unaokusubili Kutatua Haki Zao Tumia Muda Wako Vizuli Kwa Wananchi Wanakaa Juani Kutatua Shida Zao Sasa Muda Mwingi Unautumia Kwenye Mambo Yenu Ya Ndani Kwa Uma Na Wananchi Kubaki Na Mabango Yao Mkononi Hi Sio Sawa Ikiwa Uliwapa Ahadi Za Kuwasikiliza

  • @petersilas4234
    @petersilas4234 23 дня назад +2

    Huyu bwana Nina mashaka na busara zake za uongozi!!??! Haya mambo sio ya wao wenyewe kwa wenyewe. Serikali imara haifanyi mambo hivyo. Populism ikiendekezwa inazaa matatizo makubwa.

    • @mushumbaeric4916
      @mushumbaeric4916 23 дня назад

      Wewe kaanzishe utawala wako wa busara utakao fumbia maovu

    • @elishakayagwa9371
      @elishakayagwa9371 23 дня назад

      Hiyo bangi unayoivuta iache haraka sana

    • @petersilas4234
      @petersilas4234 23 дня назад

      ​Serikali zinazojielewa haziamui Shauri kwenye mkutano, kangaroo courts ​@@mushumbaeric4916

    • @GibsonNtamamilo
      @GibsonNtamamilo 22 дня назад

      Hamia Rwanda

    • @martinabayyo9982
      @martinabayyo9982 22 дня назад

      Na wasiwasi na ww labda ww mwenyewe mwizi au umehongwa

  • @EsterAlex-dn1dx
    @EsterAlex-dn1dx 23 дня назад

    Funge Hawa watu wanachezea hiii nnchi wajinga hawa

  • @GibsonNtamamilo
    @GibsonNtamamilo 22 дня назад

    Kisheria Mhandisi hawezi kutoza kodi. AMECHEMKA