>State capture na resource capture ndiyo mfumo tyr uliopo! Pasipo kusikiliza matakwa ya umma kuwezesha uchaguzi huru utakaohakikisha kupatikana viongozi bora na siyo bora viongozi taifa lipo mashakani! >Padre Kitima amedadavua kwa ufasaha na kueleweka vzr sana!
@@albertkamala6843 hakika nchi hii bila ukombozi wa kifikra hatuta fika mbali tutazidi kuwa omba omba wa magharibi , mfano tunaardhi nzuri yenye rutuba halafu tunategemea mafuta ya kupikia na ngano na sukari nje ya nchi its so shame.
Father kitima Mwenyezi Mungu akubariki sana! Kwa kuwa unaona mbali kuliko waonavyo wao, wanawaza miaka mitano tuu! Ila hakika naona hata wananchi hawatajitokeza wengi Kwa sababu ya wizi wa kura! Wananchi watatafuta namna ya kujitawala kuliko kutawaliwa maana hakuna uongoz ulio na baraka na wananchi.
Mzee kitma kwa ccm hilo haliwezekani kufanya uchaguzi we huru hilo halitawezekana hatamfanyenini ccm wanachomeka ni kuongoza tu na kubadilisha uongozi. Yani ni hivi mzee kitma ulioyaona 2015 mpaka 2019 mpaka 2024 ndio utakayo yaona 2024 na kuendelea , msipoteze mda na ccm ( mitano tena 5 kwa CCM kikwete amesha sema. Mama mitano 5 tena.
Father kitima,Mungu akubariki wewe ni kiongozi bora sana! Unaongea ukweli,asante kwa maelezo mazuri na Elimu nzuri kwa Wananchi! Wananchi tuamke elimu hii ni nzuri itupe hamasa ya kuungana tuunganishe nguvu zetu pamoja tudai katiba mpya na tume huru ya uchaguzi, tuwakatae ccm kuanzia wenyeviti wa mitaa,vijiji, madiwani, wabunge na Rais,msíwachague ccm ni kuangamiza Taifa letu. Na mateso kwa wananchi!
Tumpate wapi mtu kama padri kitime, viongozi wa dini wenye hekima tanzania kama kitime ni wachache sana ana hekima busara, anajitambua, tofauti na wanaojiita viongozi wengi wao wanan'gan'gania madaraka na uwezo wa kuongoza hawana, na ndiyo watakao leta machavuko tanzania, na mateso na mauaji wanaofanya kwa raia damu za wote waliouwawa kwa hila na ujanjaujanja ziwe juu ya vichwa vyao
Ikumbukwe huyu anazungumza akiwa mwakilishi wa taasisi inayosimamia masuala ya kiroho na ustawi wa kimwili wa mtanzania na siyo mtu binafsi. Taasisi nyingine ni ndumilakuwili na vuguvugu ambao Mungu alisema "atawatapika"
@@pulikisia7963 asante kwa kunisahihisha muheshimiwa kitima, ni hazina kubwa ya taifa,, hata MUNGU siku akimchukua tutalia bila kuulizia kabila alilotoka, lakini wanaotuletea kila siku tozo MUNGU awachukue hata leo ni janga la taifa
Kama alivyo sema nyerere kuwa na chama kimoja alifanya makosa makubwa uwaminifu wake alidhani marais aliyo waachia mamulaka watafanya kama yeye matokeo kama mnavyo ona mikataba watumishi kutoka zanzibar wanapewa wizara ambazo siyo zamwungano hi hatari sana tusubiri nafasi nyeti zitakapo pewa na watu kutoka zanzibar ndipo hawo wanao sema tunafanya ubaguzi watakapo sema kumbe maneno yetu sahihi. subiri.
Kwa kweli naona shida kubwa kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa serikali inaendelea kurubuni watu kwa nini ikatae misaada ya kuboresha uelewa wa wananchi
Father ubarikiwe sana kwa haya uliyofunuliwa kunena. Lakini ikumbukwe kwamba tangu vyama vingi kuanza 1992, nchi hii haijawahi kufanya uchaguzi huru na wa haki. Vilevile hatuna sera moja ya kitaifa. Kwa ujumla nchi hii inaendeshwa kiimla😭😭.
Lakini pia police na wasimamizi waache kuibeba ccm wao wawe kama refa atakae shinda atangazwe tofauti nahapo uchaguzi umechangia vita kwe inchi za majirani tunawashukuru viongozi wa dini kuliona hili mungu akubariki padire kitima
Hawawezi kuwacha kwa kuwa Viongozi wakubwa wa vitengo hivyo wanatoa amri kwa maslahi yao kubaki kwenye nafasi za juu.Watanzania wote tunatakiwa .tudai Katiba mpya ili madaraka yapungue kwa Rais endapo itabaki Rais kuchagua Majaji Wakuu wa Polisi na Majeshi MaDc Rc na wengine wengi hapo tusahau tume huru tusahau uchaguzi huru. Katiba iliyopo Rais ni Mungu wa nchi
Mtumishi wa Mungu. We ombea. Taifa. Liwe na watu wenyekuzingatia Sheria za Mungu Kwanza. Mana. Watu wanataka madalaka. ili wapate. Unafuu. Wa maisha binafis tunaona. nakuhalibiana. Au kutengenezeana chuki viongoz wazuri. Wapo. na hawapati nafasi .
Akili kubwa kama hizi zinahitajika sana kwenye kuongoza serikali. Father hongera sana kwa uchambuzi ambao kila mtanzania, hata mwenye elimu ndogo anaelewa. Mungu akubariki sana.
Wajusika kila mmoja anawaza madaraka apate pa kutengenezea maisha yake. Hapa tumwombe Mungu mwingi wa huruma (1) atupatie viongozi wa chague lake viongozi wenye kujali wananchi wenye weledi na kuelewa uliobarikiwa. (2) wenye uwezo wa kuleta maendeleo badala ya tamaa ya kijishibisha kwa Kodi za wananchi huku wakiteseka.
Nimekubali , padri uko vizuri na uko huru. Ukitumiwa vizuri , unaweza kuwa wa miongoni wa watanzania wachache wenye uwezo wa kukomboa nchi yetu. Tuna watu wa ajabu sana walio juu nchi hii.
Hongera baba Kitime kwa kuliongelea hilo.Tuendelee kupigania haki.Hawa watawala ni walaghai na walafi zaidi ya nguruwe.Mafisadi wakubwa hawa na watakufa na dhambi zao.
this man needs to be one of our representative..the govt should hire him or launch a new ministry that involves this man with other individuals to represent the pple and let the executive commity hear him and implement. kwelli serikali yabidi kutengeneza ajira kwa vijana..tena kwa haraka sana ili mkusanyo wa kodi ambao ni wa huru na democrcia itumike na kuongea pato la taifa
Asante Father Kitima. Ubarikiwe kwa kuwa katika mengi u muwazi. Ila mtazamo wako kuhusu awamu ya 05(ya JPM). Ukweli ni kuwa unachokisinamia kuwa taifa linapaswa kujengwa katika kujiamini na kujitegemea ki maendeleo, mbona ndiyo ilikuwa SERA kuu ya awamu hiyo iliyo abort?
Dr, Toka Kwa Mungu,mkweli huogopi Wala sio chawa, hivi hawaoni Kenya ilivyofikia Iko siku hizi familia zilizojiufaisha zitapolwa Kila kitu na wananchi maskini ,vuguvugu limeanza
Mungu akubariki sana, umesema ukweli kabisa. Unastahili kua kiongozi wa nchi. Serikali yetu kipofu na haina masikio, tuna viongozi ambao hawataki kuambiwa ukweli. Miaka ya nyuma uchumi was China ulikua kama watanzania. Serikali ya China ikafanya mageuzi ya mitaala yao ya elimu kwenye maswala ya technologia. Serikali ya china ikawapeleka wananchi wake kusoma marekani na nchi nyingine za kiteknologia, ikiwemo kuwachukua wataalamu wa technologia wa kimarekani, kingereza n.k kuwafundisha wananchi wao nchini china. Leo hii china ni nchi yenye uchumi mzuri duniani. Sasa serikali ya TZ iamke, wananchi waamke. Uchaguzi lazima uwe wa huru na haki. Na utawala wa nchi uwe wa haki na unafuata sheria. Bunge, Polisi na Mahakama iwe mihimili huru katika kufanya kazi zao. Mtu yoyote yule akikamatwa ana hujumu rasilimali za nchi sheria ichukue mkondo wake.
Mungu akujaalie kaka umri na afya, KWANI Hawa ccm ndio watakao let's vurugu nchi hii kwasababu wanazugumzia amani tuu mbona hawazungumzii haki KWANI haki ndiyo inayola amani waache poropaganda KWANI watanzania Sasa wanauelewa kiasi kikubwa mambumbumbu wanazidi kutoweka.
Anayedhani Padri kuzungumzia siasa ameingia pasipomhusu ni uthibitisho kamili wa umbumbu walio nao baadhi ya Watanganyika_siasa ya nchi inambeba kila raia aliyemo kwa njia moja au nyingine
Katibu wa CCM alisema na wewe unafikiri kuongea ukweli ni kuchanganya Dini na Siasa? Huwezi kuwahubiria watu bila kuwakomboa kifikra, kisiasa na kiuchumi Fr anaongea vizuri sana
UNAPOSEMA.ASICHANGANYE DINI NA SIASA MAANA YAKE NI NINI? YEYE ANAHUDUMIA UMA KWA IMANI YAKE KIROHO KIUCHUMI NA HATA KIAFYA. WAPI IMANI BORA BIRA AMANI? NCHI NI JAMII NA JAMII NDIYO HAO WATU WANAOHUDUMIWA NA VIONGOZI WA KIROHO. PADRI KITIMA YUPO MAHALI SAHIHI SANA KTK KUCHANGIA MAONI YAKE PEVU SANA. NINACHO MUOMBA MUNGU, VIONGOZI WETU WAJITATHIMINI NA KUKUMBUKA KUWA, KUNA KIPINDI WALKKUWA HAWAPO DUNIANI NA KUNA KIPINDI WATAKUWA HAWAPO. NA VYOOTE WANAVYOVIGOMBEA HAWATAKWENDA NAVYO. WATAONDOKA DUNIANI KAMA WALIVYOIINGIA. VIONGOZI WETU KUWENI NA UPENDO NA KURIDHIKA NA MLIVYO NAVYO.
Pamba masikioni fikiria mtu kama Nape mwigulu makamba mataper kama hao na wengine wengi hao hawajui kitu akilini mwao wanaangalia kuongoza nchi tu haojalishi wameshinda au wameshindwa wao wanataka kuongoza tu watanzania tujiandae kisaikorojia hawa jamaa watanyang'anya tu wamejaa madhambi tupu hawa viongozi au tungewauliza hawa kina Nape tuwachangie pesa kiasi gani tuwape watuachie nchi yetu tumechoka nao sn
mwaka huu wasifanye hvo mungu atawapiga pigo ambalo hawataamini mana walikuepo akina farao,nebukaduneza na mwanae wanajua kilichowapata na wao wawe na hofu ya mungu watende haki haki haipotei
Kiukweli viongozi wa dini simameni kwenye haki acheni dhambi kwa unayo yasema semeni hata makanisani mtaliponya taifa dhidi ya dhuluma na kupongeza Mungu alibariki usimame kwenye haki
Fr Kitima approach yako ni ya mlengo wa kati yenye uelewa wa hali ya juu. Inastahili watunga sera, watafiti, wanasiasa na wadau wa maendeleo wapitie hoja zako bila kujali kwamba ziwe za itikadi kali. Ningeomba utoe ushauri wa utekelezaji wa sera na mikakati kwa mustakabali mzima wa maendeleo ya jamii yetu, kwa mipango ya muda mfupi na muda mrefu. Na hii iguse jamii nzima ya watanzania walipa kodi
Baba Hawa viongozi tulionao asilimia kubwa wanaangalia matumbo Yao tu hawaangalii taifa kwanza ila tuwaombee tu kwa mungu labda kunasiku watalikumbuka taifa lao
Democracy is there to preserve not to exercise, acha kutumika ndugu padri , tunasubiria BRICS tu ikae sawa na mifumo ya international money transfer ikae vizuri , maana hawa wanajiona wana sauti saana na wanapenda kuingilia uchanguzi wa Nchi, furaha yao Chadema iingie madarakani , wanapenda kukimbilia kwa mabwana zao kulia lia , tunasubiria BRICS tu itengemae
Father!! Nyuma ya huo uwekezaji wa hao wachina na wengine, kuna watawala. Mzawa ukiwa na wazo tuu la kile unachotaka kukifanya, TRA hao. Wageni bure miaka 5.
How is it going to happen till we reach that stage of small group of people gain that ability of dominance of state capture? And you as religious leader what is ur advise to the Govt?
Father piga zoezi we bado ni kijana mdogo. 😅😅piga zoezi baba hadi kitambi kiishe. We need you Father katika mapambano haya tunataka uishi mamiaka mengi baba
Hongera father kitima , umekuwa miongoni mwa watetezi wa nchi yetu
>State capture na resource capture ndiyo mfumo tyr uliopo! Pasipo kusikiliza matakwa ya umma kuwezesha uchaguzi huru utakaohakikisha kupatikana viongozi bora na siyo bora viongozi taifa lipo mashakani!
>Padre Kitima amedadavua kwa ufasaha na kueleweka vzr sana!
@@albertkamala6843 hakika nchi hii bila ukombozi wa kifikra hatuta fika mbali tutazidi kuwa omba omba wa magharibi , mfano tunaardhi nzuri yenye rutuba halafu tunategemea mafuta ya kupikia na ngano na sukari nje ya nchi its so shame.
Kwa kweli inatia huruma 😢 Tanzania tunalekea pabaya sana tumeuzwa kila mahali!Fr Mungu akulinde
Umeuzwa wewe kwakuwa huna akili
Father kitima Kwa kweli uko makini sana nakupenda sana mungu akubaliki
Mwenyezi Mungu azidi kukubariki na azidi kukufunua kwa ajili ya wanyonge🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Father kitima Mwenyezi Mungu akubariki sana! Kwa kuwa unaona mbali kuliko waonavyo wao, wanawaza miaka mitano tuu! Ila hakika naona hata wananchi hawatajitokeza wengi Kwa sababu ya wizi wa kura! Wananchi watatafuta namna ya kujitawala kuliko kutawaliwa maana hakuna uongoz ulio na baraka na wananchi.
Ubaya wa kura kwa mujibu wa mfumo ni kwamba hata usiposhiriki huadhiri chochote, zaidi zaidi usipopiga kura ndio haswa umemchaguwa usiyempenda.
Safi sana kitima
Mzee kitma kwa ccm hilo haliwezekani kufanya uchaguzi we huru hilo halitawezekana hatamfanyenini ccm wanachomeka ni kuongoza tu na kubadilisha uongozi. Yani ni hivi mzee kitma ulioyaona 2015 mpaka 2019 mpaka 2024 ndio utakayo yaona 2024 na kuendelea , msipoteze mda na ccm ( mitano tena 5 kwa CCM kikwete amesha sema. Mama mitano 5 tena.
Kikwete yy na family yao Bado awatosheki mtt mama Bado awajashba huyo sio mfano wetu ktk viongozi.
Kitima hongera saana unafaa sana mungu akubariki sana
Padri Kitime ni mfano Bora kwa viongozi wadini. Hongera kwa hekima ya Mungu ndani yako
Hatuna haja na tume huru ya uchaguzi bali serikali isiibe kura na kunyanyasa watu
Duh! Asante padri wetu. Kweli umewiva pande zote. Nimefurahia sana gumzo lenu hadi mwisho
Asante sana Padre Kitima Mungu akubariki sana hujawahi kumung'unya maneno ila muarobain wa haya yote Katiba mpya ndo msingi
Father kitima,Mungu akubariki wewe ni kiongozi bora sana! Unaongea ukweli,asante kwa maelezo mazuri na Elimu nzuri kwa Wananchi! Wananchi tuamke elimu hii ni nzuri itupe hamasa ya kuungana tuunganishe nguvu zetu pamoja tudai katiba mpya na tume huru ya uchaguzi, tuwakatae ccm kuanzia wenyeviti wa mitaa,vijiji, madiwani, wabunge na Rais,msíwachague ccm ni kuangamiza Taifa letu. Na mateso kwa wananchi!
Father kitima na sheikh ponda hawa watu mungu awabariki sanaaaaaaaaaaaa wao na familia zao
Tumpate wapi mtu kama padri kitime, viongozi wa dini wenye hekima tanzania kama kitime ni wachache sana ana hekima busara, anajitambua, tofauti na wanaojiita viongozi wengi wao wanan'gan'gania madaraka na uwezo wa kuongoza hawana, na ndiyo watakao leta machavuko tanzania, na mateso na mauaji wanaofanya kwa raia damu za wote waliouwawa kwa hila na ujanjaujanja ziwe juu ya vichwa vyao
Ikumbukwe huyu anazungumza akiwa mwakilishi wa taasisi inayosimamia masuala ya kiroho na ustawi wa kimwili wa mtanzania na siyo mtu binafsi. Taasisi nyingine ni ndumilakuwili na vuguvugu ambao Mungu alisema "atawatapika"
Anaitwa Kitima sio Kitime
@@pulikisia7963 asante kwa kunisahihisha muheshimiwa kitima, ni hazina kubwa ya taifa,, hata MUNGU siku akimchukua tutalia bila kuulizia kabila alilotoka, lakini wanaotuletea kila siku tozo MUNGU awachukue hata leo ni janga la taifa
Kizuri huigwa, Tanzania tukubali kujifunza kwa wenzetu wa Afrika Kusini,chaguzi zao ziko huru sana,
Ni bora Tanzania tuje tuongozwe na viongozi wa dini ...
Fr.Mungu akubariki sana,pia nakupa 100%
Kama alivyo sema nyerere kuwa na chama kimoja alifanya makosa makubwa uwaminifu wake alidhani marais aliyo waachia mamulaka watafanya kama yeye matokeo kama mnavyo ona mikataba watumishi kutoka zanzibar wanapewa wizara ambazo siyo zamwungano hi hatari sana tusubiri nafasi nyeti zitakapo pewa na watu kutoka zanzibar ndipo hawo wanao sema tunafanya ubaguzi watakapo sema kumbe maneno yetu sahihi. subiri.
Kwa kweli naona shida kubwa kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa serikali inaendelea kurubuni watu kwa nini ikatae misaada ya kuboresha uelewa wa wananchi
Father kitima, be blessed Tz nchi yetu inaenda wapi??????
Padri Kitima, Mwenyezi Mungu azidi kukubariki.
Thank you father for your outstanding opinions
Mungu akubariki sana
Asante Sana padri, akili kubwa Sana hii, wamasai wanatolewa ngorongoro na hawapewi elimu ya kwenda kuendesha maisha yao huko.
Father ubarikiwe sana kwa haya uliyofunuliwa kunena. Lakini ikumbukwe kwamba tangu vyama vingi kuanza 1992, nchi hii haijawahi kufanya uchaguzi huru na wa haki. Vilevile hatuna sera moja ya kitaifa. Kwa ujumla nchi hii inaendeshwa kiimla😭😭.
Hongera sana Fr.Kitima
Mungu akupe nguvu ,afya njema Father Kitima, kukemea Hawa mbedui wameharibu nchi .
Mimi msendo kahama baba kweli umeiva kabisa tunakupenda sana uko kama petro mwamba wa kanisa letu katoliki duniani mungu akulinde
Father mungu akutie nguvu Sana Wewe ndomkombozi wataifa ili.tusaidie baba mungu akulinde sana
Father ubalikiwe wewe nimfano wakuigwa🙏🙏🙏🌹
Lakini pia police na wasimamizi waache kuibeba ccm wao wawe kama refa atakae shinda atangazwe tofauti nahapo uchaguzi umechangia vita kwe inchi za majirani tunawashukuru viongozi wa dini kuliona hili mungu akubariki padire kitima
Hawawezi kuwacha kwa kuwa Viongozi wakubwa wa vitengo hivyo wanatoa amri kwa maslahi yao kubaki kwenye nafasi za juu.Watanzania wote tunatakiwa .tudai Katiba mpya ili madaraka yapungue kwa Rais endapo itabaki Rais kuchagua Majaji Wakuu wa Polisi na Majeshi MaDc Rc na wengine wengi hapo tusahau tume huru tusahau uchaguzi huru. Katiba iliyopo Rais ni Mungu wa nchi
Asante sana sana Padre kitima
Father umeongea jambo muhimu sana Mungu hawe nawe
Mtumishi wa Mungu. We ombea. Taifa. Liwe na watu wenyekuzingatia Sheria za Mungu Kwanza. Mana. Watu wanataka madalaka. ili wapate. Unafuu. Wa maisha binafis tunaona. nakuhalibiana. Au kutengenezeana chuki viongoz wazuri. Wapo. na hawapati nafasi .
Well said and stay blessed.
Kweli kabisa father, Mungu aendelee kukupa hekima, labda chura na watu wake. Watakusikia.
Akili kubwa kama hizi zinahitajika sana kwenye kuongoza serikali. Father hongera sana kwa uchambuzi ambao kila mtanzania, hata mwenye elimu ndogo anaelewa. Mungu akubariki sana.
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu kwa kusimamia haki
Wajusika kila mmoja anawaza madaraka apate pa kutengenezea maisha yake. Hapa tumwombe Mungu mwingi wa huruma (1) atupatie viongozi wa chague lake viongozi wenye kujali wananchi wenye weledi na kuelewa uliobarikiwa. (2) wenye uwezo wa kuleta maendeleo badala ya tamaa ya kijishibisha kwa Kodi za wananchi huku wakiteseka.
Kitma wewe mzarendo wa Tz hongera sana umeongea vizuri
Nimekubali , padri uko vizuri na uko huru.
Ukitumiwa vizuri , unaweza kuwa wa miongoni wa watanzania wachache wenye uwezo wa kukomboa nchi yetu.
Tuna watu wa ajabu sana walio juu nchi hii.
Asante,Tuulinde Uhuru wetu,tuache kukaribisha Ukoloni.
Dr wa ukweli ukweli wewe Tena mcha Mungu ,Asante nakupenda ktk kweli
Hongera baba Kitime kwa kuliongelea hilo.Tuendelee kupigania haki.Hawa watawala ni walaghai na walafi zaidi ya nguruwe.Mafisadi wakubwa hawa na watakufa na dhambi zao.
Fr,ubarikiwe sana,uko sahihi sana baba!
Hongera father.Mungu akubaliki sana
Democrasia ya kuyalinda majiz yn ingelikua mm hata uchaguzi ni kupoteza pesa watu hawana mahtaji ya msingi
this man needs to be one of our representative..the govt should hire him or launch a new ministry that involves this man with other individuals to represent the pple and let the executive commity hear him and implement. kwelli serikali yabidi kutengeneza ajira kwa vijana..tena kwa haraka sana ili mkusanyo wa kodi ambao ni wa huru na democrcia itumike na kuongea pato la taifa
Watumishi wa Mungu wenye kutetea haki ya wananchi kama Padri Kitima kuwapata hapa Tz kama kupata LULU. Hongera sana Father Kitima. Ubarikiwe.
Asante Father Kitima. Ubarikiwe kwa kuwa katika mengi u muwazi. Ila mtazamo wako kuhusu awamu ya 05(ya JPM). Ukweli ni kuwa unachokisinamia kuwa taifa linapaswa kujengwa katika kujiamini na kujitegemea ki maendeleo, mbona ndiyo ilikuwa SERA kuu ya awamu hiyo iliyo abort?
Imesema kweli padre
Hongera father kitima kwamfano form moja yamgombea urais wananchi wakawaida waumini wa chama husika wamehusishwa wakalizia
Dr, Toka Kwa Mungu,mkweli huogopi Wala sio chawa, hivi hawaoni Kenya ilivyofikia Iko siku hizi familia zilizojiufaisha zitapolwa Kila kitu na wananchi maskini ,vuguvugu limeanza
Mungu akubariki sana, umesema ukweli kabisa. Unastahili kua kiongozi wa nchi. Serikali yetu kipofu na haina masikio, tuna viongozi ambao hawataki kuambiwa ukweli.
Miaka ya nyuma uchumi was China ulikua kama watanzania. Serikali ya China ikafanya mageuzi ya mitaala yao ya elimu kwenye maswala ya technologia. Serikali ya china ikawapeleka wananchi wake kusoma marekani na nchi nyingine za kiteknologia, ikiwemo kuwachukua wataalamu wa technologia wa kimarekani, kingereza n.k kuwafundisha wananchi wao nchini china. Leo hii china ni nchi yenye uchumi mzuri duniani. Sasa serikali ya TZ iamke, wananchi waamke. Uchaguzi lazima uwe wa huru na haki. Na utawala wa nchi uwe wa haki na unafuata sheria. Bunge, Polisi na Mahakama iwe mihimili huru katika kufanya kazi zao. Mtu yoyote yule akikamatwa ana hujumu rasilimali za nchi sheria ichukue mkondo wake.
Umeongea kama mm vzr
Hongera Sana father tuko pamoja
HongeraaaaaaaaaaakitimA
Mungu akujaalie kaka umri na afya, KWANI Hawa ccm ndio watakao let's vurugu nchi hii kwasababu wanazugumzia amani tuu mbona hawazungumzii haki KWANI haki ndiyo inayola amani waache poropaganda KWANI watanzania Sasa wanauelewa kiasi kikubwa mambumbumbu wanazidi kutoweka.
Perfect 👍 🎉🎉🎉🎉
Hongera father k
Ni kweli fatha kitima hekima kubwa Sana. Unatumia. Mungu akubariki
Anayedhani Padri kuzungumzia siasa ameingia pasipomhusu ni uthibitisho kamili wa umbumbu walio nao baadhi ya Watanganyika_siasa ya nchi inambeba kila raia aliyemo kwa njia moja au nyingine
Mbona katibu wa ccm alisema usichanganye dini na siasa mbona wanawaalika viongozi wa dini? Yaani kiongozi wa dini akiikosoa serikali ni kosa duuuu
Katibu wa CCM alisema na wewe unafikiri kuongea ukweli ni kuchanganya Dini na Siasa? Huwezi kuwahubiria watu bila kuwakomboa kifikra, kisiasa na kiuchumi Fr anaongea vizuri sana
UNAPOSEMA.ASICHANGANYE DINI NA SIASA MAANA YAKE NI NINI?
YEYE ANAHUDUMIA UMA KWA IMANI YAKE KIROHO KIUCHUMI NA HATA KIAFYA. WAPI IMANI BORA BIRA AMANI? NCHI NI JAMII NA JAMII NDIYO HAO WATU WANAOHUDUMIWA NA VIONGOZI WA KIROHO. PADRI KITIMA YUPO MAHALI SAHIHI SANA KTK KUCHANGIA MAONI YAKE PEVU SANA.
NINACHO MUOMBA MUNGU, VIONGOZI WETU WAJITATHIMINI NA KUKUMBUKA KUWA, KUNA KIPINDI WALKKUWA HAWAPO DUNIANI NA KUNA KIPINDI WATAKUWA HAWAPO. NA VYOOTE WANAVYOVIGOMBEA HAWATAKWENDA NAVYO. WATAONDOKA DUNIANI KAMA WALIVYOIINGIA. VIONGOZI WETU KUWENI NA UPENDO NA KURIDHIKA NA MLIVYO NAVYO.
Mzee wangu kitima mungu akubariki kwa kuongea ukweli juu ya yanayoendelea nchini petu
Mtumishi wa mungu ni jicho la taifa
God bless you father
Good leader
🙏🙏✔️asate nimekueliewa mkuu
Hongera sana baba Kwa kutoa maoni mazuri tunaomba wenye mamlaka waheshim maamuzi ya wananchi
Father mmeingizwa mjini. Hawa wanawadhihaki wananchi kwa maulaghai yao. Hawajawahi kuwa serious
Akili kubwa sana
User siku zingine upo vizuri sana BIG UP
Pamba masikioni fikiria mtu kama Nape mwigulu makamba mataper kama hao na wengine wengi hao hawajui kitu akilini mwao wanaangalia kuongoza nchi tu haojalishi wameshinda au wameshindwa wao wanataka kuongoza tu watanzania tujiandae kisaikorojia hawa jamaa watanyang'anya tu wamejaa madhambi tupu hawa viongozi au tungewauliza hawa kina Nape tuwachangie pesa kiasi gani tuwape watuachie nchi yetu tumechoka nao sn
Hongera mtumishi wa 5:32 Mungu
mwaka huu wasifanye hvo mungu atawapiga pigo ambalo hawataamini mana walikuepo akina farao,nebukaduneza na mwanae wanajua kilichowapata na wao wawe na hofu ya mungu watende haki haki haipotei
Imekaa vzr
ASANTE Mhe Katibu Kitime Nyie ndiyo jicho letu Mungu akubariki
Kiukweli viongozi wa dini simameni kwenye haki acheni dhambi kwa unayo yasema semeni hata makanisani mtaliponya taifa dhidi ya dhuluma na kupongeza Mungu alibariki usimame kwenye haki
Asante sana father kitima, simameni nyie maana mmmh!
Fr Kitima approach yako ni ya mlengo wa kati yenye uelewa wa hali ya juu. Inastahili watunga sera, watafiti, wanasiasa na wadau wa maendeleo wapitie hoja zako bila kujali kwamba ziwe za itikadi kali. Ningeomba utoe ushauri wa utekelezaji wa sera na mikakati kwa mustakabali mzima wa maendeleo ya jamii yetu, kwa mipango ya muda mfupi na muda mrefu. Na hii iguse jamii nzima ya watanzania walipa kodi
Fr hongera sana
Watanzania wamekata tamaa juuu ya mamboyanayofanyika kuhusu uchaguzi
Upo sawa unaongea vizuri sana muumba akubariki na awape nguvu mtetee ilo jambo mpaka haki itendeke
Nimekuelewa vizursana father
Maneno huumba hasa yanapotoka ktk vinywa vya watumishi wa Mungu. Sauti ya watu sauti ya Mungu.
Tungepata Watu10 kama padiri kitima tanzania ingekuwa mbali. Sana. Anaongea point. Anaongea bila kumungunya maneno.
Mbona watu wanakuwa viziw sana, tunaomba tuiombe tume ya taifa ya uchaguz isiende kuvuruga amani ya muda mref ya nchi yetu
Hong era Sana... Chama hii... CCM imekufa kifikira....
Baba tumsifu Yesu Kristo! Umesema ukweli mtupu!
Baba Hawa viongozi tulionao asilimia kubwa wanaangalia matumbo Yao tu hawaangalii taifa kwanza ila tuwaombee tu kwa mungu labda kunasiku watalikumbuka taifa lao
hazina ya taifa. keep it up Father.
Hapo kwenye uchumi upo vizuri sana uwezi kusema unalima mbaazi zakutegemea mvua
Democracy is there to preserve not to exercise, acha kutumika ndugu padri , tunasubiria BRICS tu ikae sawa na mifumo ya international money transfer ikae vizuri , maana hawa wanajiona wana sauti saana na wanapenda kuingilia uchanguzi wa Nchi, furaha yao Chadema iingie madarakani , wanapenda kukimbilia kwa mabwana zao kulia lia , tunasubiria BRICS tu itengemae
Mwandishi ,Father akielezea tatizo pia muambie atoe Suluhisho lake ! Kwa sababu wasomi wengi tunajua kuelezea Matatizo ila majibu hatuna !
Suluhisho anatoa,msikulize vzr
We unatafuta pointi ya kuanza kupinga tuu wakati kila kitu kinaelezwa sawasawa.
Kaa kimya wewe
Si utulize mshono ukae umskilize father vizur.mxiiiuuuu
Ndo amekutaja wewe chawa mbona unaumiaaa??
Padri barikiwa sana
Uwezo na uelewa wa mambo wa huyu mtu hautokani na upadre wake ni kipaji chake kutoka kwa Mungu
Watumishi wa Mungu pazeni Sauti msiache kusema ndio Utume wenyewe
Father Kitima anazungumza hujuma na mapungufu yote yaliyoko kwenye uchaguzi,lakini bado anaambia watu wawe na Imani na serikali...
Mungu awe nawe .
Father!! Nyuma ya huo uwekezaji wa hao wachina na wengine, kuna watawala. Mzawa ukiwa na wazo tuu la kile unachotaka kukifanya, TRA hao. Wageni bure miaka 5.
Mngu akubariki sanaa
Safi doctor kitima
How is it going to happen till we reach that stage of small group of people gain that ability of dominance of state capture? And you as religious leader what is ur advise to the Govt?
Laaana kwa viongozi wa ccm
Serikali yetu inajiwekeza zaidi kubaki madarakani. Nguvu inayotumika kuhakikisha wanabaki madarakani ni zaidi ya viwanda 100000

Good kitima.