RC PAUL MAKONDA ASEMA! 'HATISHIKI' AENDELEA KUWAPIGA SPANA NA WALA HAOGOPI KITU.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 27 янв 2025

Комментарии • 130

  • @AlHamra-k4u
    @AlHamra-k4u 8 месяцев назад +22

    Safi sana Mh Makonda. Jeshi la mtu mmoja nguvu kazi 💪💪💪 Piga spana hao

    • @PoulMarwa
      @PoulMarwa 8 месяцев назад +3

      Namkubali sana namwona kuwa Rais wa miaka ijayo

    • @AlHamra-k4u
      @AlHamra-k4u 7 месяцев назад

      @@PoulMarwa Naam

  • @venancemalima1181
    @venancemalima1181 8 месяцев назад +4

    Safi sana Mh.Paul Makonda.Wengine wamelala na kupokea mishahara bila kuwahudumia Watanzania ipasavyo.Mh.Makonda achape kazi.

  • @GilgariMinistryTanzania
    @GilgariMinistryTanzania 8 месяцев назад +22

    Arusha imepata raisi wake hakika pamoto hatari Arusha

  • @AlHamra-k4u
    @AlHamra-k4u 8 месяцев назад +8

    Kitenge umezege mate😅😅😅😅😅 wallah nimecheka sana. Arusha imeanza kunawiri kwa nguvu ya Mh Makonda 🎉🎉🎉.

  • @oliashoo4675
    @oliashoo4675 8 месяцев назад +7

    Nawaza tu lakini
    Mh Raisi wetu mama Samia angempa nafasi mh, Makonda awape semina, Wakuu wote wa mikoa, wafanye kama afanyavyo yeye, Hakika taifa letu Mungu angeliinua zaidi.
    Eee Mungu Mlinde Raisi wetu, Mlinde Mh Paul Makonda
    Ilinde Tanzania
    Amen

    • @abidandastanmaliyatabu1373
      @abidandastanmaliyatabu1373 7 месяцев назад

      Wala hakuna mtu ambaye angeipinga ccm

    • @kilungahamis1270
      @kilungahamis1270 6 месяцев назад

      ​@@abidandastanmaliyatabu1373kabisa, kama watumishi wa serikali wote wangekuwa na moyo ka Makonda Tz tungekuwa mbali sana

    • @EucrineDshakafuswa
      @EucrineDshakafuswa 16 дней назад

      Naomba kutokana na authority/ mamlaka ya Raisi kama Yana ruhusu basi AMTEUE MH. PAUL MAKONDA AWE KIONGOZI WA WAKUU WA MIKOA YOTE na Apewe power yakutengua WAKUU hao endapo hata ridhishwa na utendaji wao.

  • @anoldamkumba3208
    @anoldamkumba3208 8 месяцев назад +5

    Makonda fanya kazi,Nakupenda na umewapa za uso.Hawana utetezi bali kiki ,Wanawake tunapigwa, tunabakwa,tunauwawa Sijasikia haki za binadamu,wala U WT nk.Wasimpunguzie kasi Makonda.PIGA SPANA Makonda.

  • @GilgariMinistryTanzania
    @GilgariMinistryTanzania 8 месяцев назад +11

    Arusha rahaaaaaaaaaa na Mh Makonda

  • @RachelLaizer-n2p
    @RachelLaizer-n2p 8 месяцев назад +3

    Kweli waje waongelee arusha waone halooo hakuna atakaewaelewa mama samia asante kutuletea makonda ubarikiwe sana

  • @mr.yahzadochuno7914
    @mr.yahzadochuno7914 8 месяцев назад +1

    I love makonda ❤ god protect him pls🙏🏿

  • @NeemaJuma-os6uo
    @NeemaJuma-os6uo 8 месяцев назад +3

    Safi sana tz tungepata watu kama hao 10 tu tungefika mbali Kwa kweli

  • @SongoloMgallah
    @SongoloMgallah 8 месяцев назад +7

    Sana na awapige TU hongera sana mhe makonda wewe ni tumaini la watanzania

  • @OmanOman-dn6dj
    @OmanOman-dn6dj 8 месяцев назад +5

    GO MAKONDA GOOOOO..WAPELEKEE MOTO...WABANE SPANA😂

  • @SalmaChaulembo
    @SalmaChaulembo 2 месяца назад +1

    Nakukubali makonda

  • @uredmwasembo8579
    @uredmwasembo8579 8 месяцев назад +2

    Makonda safi sana mama tunashukulu tunaomba mlinde sana makonda

  • @BeniJohn-xd3cn
    @BeniJohn-xd3cn 8 месяцев назад +1

    Masajii😂😂😂😂 upepo wa Arusha mkali Sana Masaji😂😂😂😂

  • @Re-Post1
    @Re-Post1 8 месяцев назад +1

    Makonda jembe 💪🏽💪🏽💪🏽💪🏽

  • @BeniJohn-xd3cn
    @BeniJohn-xd3cn 8 месяцев назад +2

    Mama anatukanwa mpo wapi 😂😂😂😂😂😂Makonda na wewe una sema naenda Arusha 😂😂😂😂😂

  • @emanuelmkama1325
    @emanuelmkama1325 8 месяцев назад +7

    Tunajua kitenge umpend makondq,ila najua ipo sku utamkubal tu

  • @wakushibandfrombushland
    @wakushibandfrombushland 8 месяцев назад +1

    ❤❤❤ hahaha tuko nae pamoja na makonda

  • @michaelkalamu4465
    @michaelkalamu4465 8 месяцев назад

    Mmetisha vijana wangu Gerard na kitenge

  • @SuleAmber-lw2tx
    @SuleAmber-lw2tx 8 месяцев назад +7

    Ila nyie jamaa 😂😂 sema Makonda ni mtu wa maana kbs hana baya baba wa watu apge kazii

  • @EneaMbogo
    @EneaMbogo 8 месяцев назад +7

    Mwamba anapiga kazi,,,,asisikilize polojo ili aendelee kuwatumikia wana Arusha 💪

  • @octiminja5260
    @octiminja5260 8 месяцев назад +1

    Mama SAMIA PLZZZ KUWA NA MSIMAMO THABITI KWA KIJANA WAKO WATENDAJI WAMEKUWA LEGE LEGE SAAAANA KAMA MILENDA WANA KUPIMA IMANI MH RAISI. Aaacha SINDANOOO YA CRISTAPEN IWAINGIE WAVIVU WALA RUSHWA WEZI WOTEE. DADA ZUUU FUMBA MASIKIO NA MACHO KWA WAPIGA KELELE WANAOMPINGA MAKONDA PLZZZZZ

  • @francismadirisha3511
    @francismadirisha3511 8 месяцев назад +8

    Sio Arusha Tu hata Sisi katavi tunamhitaji makonda

    • @JanethKavishe
      @JanethKavishe 8 месяцев назад

      Wee Kilimanjaro tumeshamuwahi ohoo

  • @disanatv4485
    @disanatv4485 8 месяцев назад

    Yani nafurahia Tu, Nitoshe kusema apo alipo anastaili.....SASA KWA MSAADA MUNGU WETU MAKONDA ANARUKA UKUTA, MUNGU AMESHAINGILIA VITA YAKE, KILA ANAYEINGILIA VITA YAKE, SAA HII KUPIGANA ANAKUFA.🙏🙏🔥🔥💐💐💐

  • @ShebbyTheparadiso-hf6fz
    @ShebbyTheparadiso-hf6fz 8 месяцев назад +2

    Habari ipo Arusha dar imelala

  • @mathiasduduru628
    @mathiasduduru628 8 месяцев назад +2

    Wazalendo wapo sema vita dhizi yao ni kubwa.Mungu msimamie Makondawise wadudu saivi mambo shwari na wanapiga doria kumlinda kijana mwenye upeo wa uongozi Makonda ni kiongozi na nusu.
    Mama muongezee nguvu mpe ukuu wa wilaya Lengai Ole Sabaya hawa vijana wakiungana Arusha na Tanzania kwa ujumla tutaona sura ya uongozi.

  • @petroyohana1126
    @petroyohana1126 8 месяцев назад +6

    Hii nchi ilipofikia inabidi viongozi wa aina ya makonda waruhusiwe kutumia viboko kucharaza viongozi wapumbavu kama yule dada

    • @DeogratiusAndrew-zi7zv
      @DeogratiusAndrew-zi7zv 8 месяцев назад

      Umenifanya nicheke,mpaka napata wazo wananchi tuungane tuwakamate tuwachape wenye viboko hawa wapuuzi sana

    • @Goldenbutterfly-hk1hp
      @Goldenbutterfly-hk1hp 8 месяцев назад

      😂😂😂😂kabisa yani tuwapigee mbwaa awaa ​@@DeogratiusAndrew-zi7zv

    • @charlescharles6375
      @charlescharles6375 17 дней назад

      HASWAA MAANA WAPUMBAVU WAKO WENGI SANA.....

  • @ladislausmoris9638
    @ladislausmoris9638 8 месяцев назад +2

    Viva viva makonda

  • @JohnMalale-q6m
    @JohnMalale-q6m 8 месяцев назад +2

    Kitenge hongera sana

  • @petroyohana1126
    @petroyohana1126 8 месяцев назад +7

    Makonda tunakupenda,

  • @MrTop-wj7no
    @MrTop-wj7no 8 месяцев назад +1

    😂😂😂😂 NCHI imehamia ARUSHA

  • @RusanzuRubigo
    @RusanzuRubigo 8 месяцев назад +1

    😂😂😂 waende A town wakaongee hayo wanayo ongea waone moto wa raia wa Arusha😂😂

  • @yunuskizundu4707
    @yunuskizundu4707 8 месяцев назад

    😂😂😂😂😂😂
    eti wakaongelee Arusha

  • @petroyohana1126
    @petroyohana1126 8 месяцев назад +9

    Makonda saaafiii. Kile kibibi cha uwt ndio vilaza wanaoturudisha nyuma kama taifa, mizigo

  • @emmanuelfari8924
    @emmanuelfari8924 8 месяцев назад +1

    Ni heri kutolipunguza au kutoliongeza jambo! Hawa ndio waandishi wa sasa🙌

  • @CikeTanzania
    @CikeTanzania 8 месяцев назад +3

    Wanyooshe baba hawakufanyi chochote watu wanateseka nchini kwao.

    • @awadhally1052
      @awadhally1052 8 месяцев назад +1

      Kwel awanyoshee tu achane na hao wanafikii

  • @ibrahimomari2458
    @ibrahimomari2458 8 месяцев назад +1

    Hando anaongea kimzaha lakin anaongea lililo kwel...arusha akiondoka makonda ccm inahamia makumbusho kwa ajir ya watalii

  • @wenge4x423
    @wenge4x423 8 месяцев назад +2

    Kitenge ipo siku utagongwa bila parachute

    • @geey7893
      @geey7893 7 месяцев назад

      😂😂anawashea Mikundu saana

  • @khadejarajab8007
    @khadejarajab8007 8 месяцев назад +1

    Arusha pamoto hapakwepeki piga spana wote mpaka waseme hao wote😂😂😂😂😂😂

  • @maxmiliangunze8931
    @maxmiliangunze8931 8 месяцев назад +2

    Yaaaan nchi hii hakuna kuleana aisee kama kuleana ni miaka 60? Kwel? Nchi yenyew bado maskini,,, pesa inatumika vibaya kiongozi asiseme??? Tena makonda watamkoma

  • @JaziraMustafa-g9p
    @JaziraMustafa-g9p 8 месяцев назад

    KEEP IT UP MAKONDA

  • @BeniJohn-xd3cn
    @BeniJohn-xd3cn 8 месяцев назад

    Masajii hiyoooo 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @bbanyikwa
    @bbanyikwa 8 месяцев назад +2

    😂😂😂😂😂😂
    Hawa jamaa wamenichekesha
    Jamani mm nipo Arusha kiukweli watu wa Arusha hauwaambii kitu kuhusu makonda anapendwa na wananchi kuliko mtu yoyote

  • @NdayishimiyeAbdulkabir-u7c
    @NdayishimiyeAbdulkabir-u7c 8 месяцев назад

    Ameanza na wa dudu😭😭😭

  • @bellaseverua609
    @bellaseverua609 8 месяцев назад +1

    Mungu arena makonda .amen.

  • @eliamwankenja7087
    @eliamwankenja7087 7 месяцев назад

    Tupo wanaharakati mbeya tutawasha moto nakukubali sana

  • @OmmyJames-xn7ji
    @OmmyJames-xn7ji 8 месяцев назад

    SPANA❤

  • @gaspercharles2244
    @gaspercharles2244 8 месяцев назад +2

    Sasa hizi taasisi watumishi wakiiba wao huwa wanafanya nn? Na kama Wana wanachama wao basi wanapopoteza au kuiba fedha za serikali ninyi huwa mnaongea nao na kuwapa maonyo hadharani? Yaan mm niko na Makonda Benet Makonda nyoosha Arusha Upinzani Arusha kumbe ilikuwa ni kwa sababu ya mateso wananchi walio nayo

  • @GibsonNtamamilo
    @GibsonNtamamilo 8 месяцев назад

    Hii nchi viongozi wengi ni kama Mafgari mabovu nati zimeregea wanapaswa kupigwa spana mpaka wakae sawa.

  • @EsteR-dt9iw
    @EsteR-dt9iw 8 месяцев назад +1

    Mm muongeze Makonda ulinzi

  • @SongoloMgallah
    @SongoloMgallah 8 месяцев назад +2

    Wote hao wanakuwa wapi watu wanapokosa haki zao miaka nenda Rudi ingekuwa ni ndugu zao wanakosa haki hizo

    • @mrdeniskomba6199
      @mrdeniskomba6199 8 месяцев назад

      Kabisa... natamani kutemea mate... watu wanateseka wapo kimya eti leo wanaibuka

  • @kingngojea
    @kingngojea 8 месяцев назад +1

    Ao wanao pazisha saut kumupinga makonda watetez wa mafisad

  • @StevenKisanga
    @StevenKisanga 8 месяцев назад +1

    Arusha sa hiv Ni Paradise ndogo

  • @kamuliShija-rb6ju
    @kamuliShija-rb6ju 8 месяцев назад +1

    Nimefurahia na kipd hik

  • @MCNgakungaJunior
    @MCNgakungaJunior 8 месяцев назад

    😂😂😂 hawa jamaaa maneno yao bhana hatari sana.
    Makonda wamuache tu Silaha ya kivita ile.

  • @MariamWiliam-z8k
    @MariamWiliam-z8k 8 месяцев назад

    Mama samia ungejuwa huku mitaan ulivokuwavunachambwa kumbe viongo wako ndo walikuwa wanasababisha utukanwe mama wawatu huna baya, ungempa ruhusa makonda awe anawapa semina wakuu wenzie namna yautendaji kaz nahali za wananchi

  • @namaanwilson6467
    @namaanwilson6467 8 месяцев назад

    Jeladdi leo umenifurahisha

  • @dorahmushi-we6ts
    @dorahmushi-we6ts 8 месяцев назад

    Jana nilikua sina bando na sikopesheki😭mnaweza kuniambia Mhshmw na team yake walikua wapi?...

  • @AwaziRajab
    @AwaziRajab 8 месяцев назад

    Awa Nao Wanaongea Lakini Wamejaa Chuki Ushusha Kitenge

  • @abuilmailma3534
    @abuilmailma3534 8 месяцев назад +2

    Kama kuna mtangazaji mchunia tumbo Tanzania nzima ni huu kicha Kitenge.hiv anamchukia Makonda kwa sababu gani? Yaani hili lisenge likipata taarifa la kumshambulia Makonda yaani kwa Kitende ni cku ya furaha kama vile mke wake kajifunguwa

    • @gwakisakaswaga5249
      @gwakisakaswaga5249 8 месяцев назад +1

      Sioni mwandishi hapo Kitenge anachoweza ni fitina na sio habari. Tumbo lake linamtendesha dhambi mara nyingi sana

    • @fadhilidanieli1478
      @fadhilidanieli1478 8 месяцев назад

      Kipi alichomponda hapo

    • @silivestatesha9262
      @silivestatesha9262 8 месяцев назад

      Mwandishi raru kweli

    • @annemlay11
      @annemlay11 5 месяцев назад

      Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu.Wengi wanamkubali Makonda hivyo hata Mungu anamkubali.Wanaojitahidi kumkwamisha wanashindana na Mungu.

  • @asunigohagi5177
    @asunigohagi5177 8 месяцев назад

    Safiii makonda

  • @MathiasNiwandinda
    @MathiasNiwandinda 19 дней назад

    😊😊

  • @Muhammedramadhan-xl6yg
    @Muhammedramadhan-xl6yg 8 месяцев назад

    Maulidi wewe ni jamaa yahoo wakuda sana😂😂

  • @BeniJohn-xd3cn
    @BeniJohn-xd3cn 8 месяцев назад

    Na nyie mnamambo 😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @meryamabdullah2081
    @meryamabdullah2081 8 месяцев назад +4

    Mitano tena

  • @TWENZETUEDEN
    @TWENZETUEDEN 8 месяцев назад

    Huyu kiongozi wa Cwt amekurupuka hiyo nadhani sio kauri ya chama hebu afute kauli yake Ili chama kibaki salama, chama kinataka watu kama Makonda,Chalamila na wengine wanaosukiliza wanaNchi

  • @sponsor7882
    @sponsor7882 8 месяцев назад +1

    Hii media ya kisenge sna

  • @goodluckminja9101
    @goodluckminja9101 8 месяцев назад

    Zembwela wapi?

  • @mmassyferguson4959
    @mmassyferguson4959 8 месяцев назад

    Ngoja niungane na maulid kitenge na hando kuchekaaa 😂😂😂😂😂😂😂

  • @Mariam-c6b3o
    @Mariam-c6b3o 8 месяцев назад

    Wewe kitenge ata uongee kwa kukazia muacheni makonda afanye kazi yake tunajuwa kuwa wewe kitenge una bifu na makonda muache achape kazi yake kwa wewe nani yeye yupo kwenye aki na kuwatetea wananchi

  • @AliSalim-yu4mo
    @AliSalim-yu4mo 8 месяцев назад

    Nadhani Kama viongozi wote wa Tanzania watakuwa hivi hatuna haja ya upinzani haya ndio yanayofanya kuwebna upinzani

  • @BeniJohn-xd3cn
    @BeniJohn-xd3cn 8 месяцев назад

    Na wewe peponi😂😂😂😂

  • @SmilingBulldogPuppy-nb9ur
    @SmilingBulldogPuppy-nb9ur 8 месяцев назад +2

    Mnafki mkubwa na liupara lako hilo shoga maulidi kitengo bwana ako nape kakutuma,Paul CHRISTIAN makonda hamuwezi huna malinda kitenge maulid

  • @mnolamanyendi4956
    @mnolamanyendi4956 8 месяцев назад

    Hahaha Arusha pameanza kuchangamka Gaza makonda usiwasikirize wanawake haoo tupo nyuma yako

  • @MohamedMangongo-n9t
    @MohamedMangongo-n9t 8 месяцев назад

    Tena endelea kufukua makabuli mpaka waelewe tu

  • @kilogreek4050
    @kilogreek4050 8 месяцев назад

    SASA SIO AKAE MKOA MIAKA 5 ACHUKUE NCHI MIAKA 5 ULAYA YOTE UTAZIZIMA WATAJUA MTOTO WA MAKUFULI KACHUKUA URAISI 😂😂😂

  • @felixkamkala3303
    @felixkamkala3303 8 месяцев назад

    Ahaaa ahaaa

  • @vincentcharles4385
    @vincentcharles4385 8 месяцев назад

    Kitenge unaanza kuboa

  • @broka_genius3615
    @broka_genius3615 8 месяцев назад +1

    Mitano tena 😂

  • @Gehohamis
    @Gehohamis 8 месяцев назад

    Acha awapige spana had waelewe umuhimu wa kuhudumia wananchi

  • @ellyemily4234
    @ellyemily4234 8 месяцев назад

    Mmmh mbona hicho chama kisipige vita kikokotooo... mtu wa hovyo

  • @simonmalegesi414
    @simonmalegesi414 8 месяцев назад

    Mbona mjachambua aliposema mama katukanwa na hawakusema chochote mjaongelea nanyinyi walewale wanafiki tu nyinyi.

    • @Ambwene
      @Ambwene 8 месяцев назад

      Kasema broo sikiliza vizuri

  • @paulsibu5770
    @paulsibu5770 8 месяцев назад

    Wakuu wa Mikoa Wengine Wafanye Vivyo Hivyo

  • @Ommybabaa47
    @Ommybabaa47 8 месяцев назад

    Tunatia ubani uwe na afya njema kamanda makonda piga spana kodi zetu zinaliwa tuu Arusha kama Dubai sasa watu hoyoooooo

  • @davidmickidad6842
    @davidmickidad6842 8 месяцев назад +5

    Mtuache na makonda wetu. Tunampenda na tunamwamin. Achen propaganda zenu

  • @davidgeorge9324
    @davidgeorge9324 8 месяцев назад

    Ngoja awanyoshe kwasababu yeye ndoo kabak mwenyetimamu wakuu wamikoa wengine hawajielewi wanajifungia ofisin tu

  • @AboubakarRashid
    @AboubakarRashid 8 месяцев назад +1

    Makondo jembe tena nchi zma hakuna kama makondo

  • @ThomasiMichael
    @ThomasiMichael 8 месяцев назад

    Ww kitenge nimbeambea

  • @simongwandu7392
    @simongwandu7392 8 месяцев назад

    Mtangazaji acha Fitina.

  • @mussakimaro5588
    @mussakimaro5588 8 месяцев назад

    wale wamama hatuwataki kwenye nchi yetu ya Arusha tena wanyamaze kabisa

  • @RachelLaizer-n2p
    @RachelLaizer-n2p 8 месяцев назад

    Uwt kaeni msifuge waizi hasa wanawake ni aibu

  • @ErickJuma-e6j
    @ErickJuma-e6j 8 месяцев назад +1

    Wewe mtangazaji acha kukuza jambo dogo,,mtuachie makondo wetu ashulike na wazembe,wala rushwa,,,, kwahiyo nyie mnaona hizo milioni 460 ni kidgo???kwanza hyo Eng afukuzwe kazi na kupelekwa mahakamani takukuru ifanye kazi yake,,,dont talk much about makonda

  • @FideMgonja-u6u
    @FideMgonja-u6u 8 месяцев назад

    Ukiona unapgwa vita ujue umewashika wezi pabaya

  • @robertzamani5612
    @robertzamani5612 8 месяцев назад

    We kitenge acha uongo Makanda hajasema hiyo kauli uliyoitoa ww ya kwamba hakuna (hakuna mtu yeyote atakae mfanya chchote)

    • @wangaeliwilfred2919
      @wangaeliwilfred2919 8 месяцев назад

      Makonda mwenyewe katamka ataendelea kuwapiga spana😢

  • @kingngojea
    @kingngojea 8 месяцев назад

    Makonda hakuna kulala ikilala ngonjwa wanyoooooshe mzeee mpaka wakojoe dagaa

  • @HemedRajab-v3i
    @HemedRajab-v3i 7 месяцев назад

    Mukimgusa mako tuandamana kudai aki

  • @Re-Post1
    @Re-Post1 8 месяцев назад

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @WazirJuma-gd5oo
    @WazirJuma-gd5oo 8 месяцев назад

    Na anawapiga spana kweli wamekalia kutii kavu

  • @PoulMarwa
    @PoulMarwa 8 месяцев назад +1

    Hiyo imeenda chezea makonda wewe