MCHUNGAJI KUTOKA NCHINI BURUNDI AFIKA ARUSHA KUMSAKA MAKONDA - ASEMA AMETUMWA na MUNGU....

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 24 май 2024
  • MCHUNGAJI KUTOKA NCHINI BURUNDI AFIKA ARUSHA KUMSAKA MAKONDA - ASEMA AMETUMWA na MUNGU....
    Jishindie Zawadi na Global TV
    Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
    👉🔥👉forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Комментарии • 121

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  22 дня назад +4

    Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7

  • @PeterStephen-on4zz
    @PeterStephen-on4zz 22 дня назад +14

    Mungu mlinde Uyu mchungaji kutoka Burundi 🙏🇹🇿🇹🇿🙏🙏🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @user-xk7vy4gb6g
    @user-xk7vy4gb6g 22 дня назад +11

    Mh Makonda Mungu akusimamie kila hatua Dua kwakweli tunakupenda Mungu akulinde

  • @KuwakuMalumba6895
    @KuwakuMalumba6895 22 дня назад +5

    Burundi 🇧🇮 Bujumbura ❤ best country in Africa 🌍 GOD bless Burundi 🇧🇮 and all Africa 🇧🇮 🇹🇿🇨🇩🇰🇪👍🏿🫵🏿👊🏿

  • @jackgodgivenzihindula
    @jackgodgivenzihindula 22 дня назад +12

    ❤❤❤
    Nawafata, from Drcongo 🇨🇩✅

  • @fhugghi4109
    @fhugghi4109 22 дня назад +9

    Makonda umeitangaza Arusha yetu 🌹

  • @mercyzakariah
    @mercyzakariah 22 дня назад +19

    Makonda ni jicho la tanzania pamoja na East Africa mashariki

    • @noahemanuel7015
      @noahemanuel7015 22 дня назад +1

      Tayari mumesahau Kama yule ni bashite aisee

    • @user-xk7vy4gb6g
      @user-xk7vy4gb6g 7 дней назад

      @@noahemanuel7015 Hilo jina mafisadi waliamua kumpa lkn si jina lake. Wapo viongozi wengi ambao wahujumu uchumi, mafisadi wala rushwa kwa kiwango cha lami lkn wapo serikalini hawafanyi kitu chochote. lkn kilasiku watu wenye chuki roho za husda wanamnenea mabaya Mh Makonda. Binafsi namuombea Mh Makonda Mungu azidi kumpa ubunifu

  • @daudpius130
    @daudpius130 22 дня назад +5

    Mwenyezi mungu aweze kukutanisha nae 🤝

  • @jumapiliissa4835
    @jumapiliissa4835 22 дня назад +6

    Umefanya vizuli sana mchungaji kwa ukweli uliosema hongera sanna

  • @jamesjahasa3348
    @jamesjahasa3348 21 день назад +4

    Nabii hakubaliki nyumbani wambari wanaona utumishi mwema wa makonda GOD bless makonda spirit of magufuli continue sasa !!!!

    • @berthatz
      @berthatz 21 день назад +1

      Kabisa..Ilikuwa hivyo kwa Magufuli..but ameondoka watu ndiyo wanagundua kuwa alikuwa kiongozi mzuri.

    • @section8ight174
      @section8ight174 20 дней назад

      *Wambali

    • @st.alvincollege6184
      @st.alvincollege6184 16 дней назад

      Wanaojua na kugundua umuhimu ni watu wa mbali aiseeee

  • @oswardjaphal-cd6np
    @oswardjaphal-cd6np 22 дня назад +18

    UKweli haufickiki makonda unapendwa sana

  • @bibianarugaimukamu4095
    @bibianarugaimukamu4095 4 дня назад

    Hongera na karibu sana mchungaji toka Burundi.

  • @Mapenzi2635
    @Mapenzi2635 22 дня назад +3

    Mwandishi wa habari uko vizuri sana. Kuhakiki vielelezo vyake ni umahiri Mkubwa . Ila , Mh. Paul Makonda awe makini na watu wa dini.

  • @verynicemonyo8671
    @verynicemonyo8671 22 дня назад

    Mungu akubariki sana

  • @jenyyusuph4973
    @jenyyusuph4973 17 дней назад +1

    MUNGU wetu akuchunge sikuzote za maisha Yako mchungaji wetu

  • @janethmwihumbo1289
    @janethmwihumbo1289 22 дня назад

    Mungu awabariki watangazaji

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 22 дня назад +1

    Basi sawa

  • @simbamalala
    @simbamalala 20 дней назад

    Mungu Mbariki Makonda

  • @user-ur8ex5mq3l
    @user-ur8ex5mq3l 17 дней назад

    Makonda mdogo wangu Mungu akipenda sana. na atakuelusha na kila jambo kiukweli tunakipenda sana kama vile tulivyo mpenda Magufuli ila .kuheshimiwa Makonda nakuomba kaka mchungaji naweza sema ameguswa kutoka moyoni kutokana na kazi inayoifanya kizuri lakini hiyo zawadi apokee mtu mwingine afu ikafanyiwe uchuguzi tunakipenda Makonda Mungu akupe umli mrefu hapa duniani Asa nte🙏

  • @Vuvuzelaz1
    @Vuvuzelaz1 21 день назад +2

    Paul mdogo wangu usipokee kila kitu huwezi kujua nani ni nani msikilize agana nae

  • @emmanuelmayunga1518
    @emmanuelmayunga1518 22 дня назад +5

    To be honest Makonda ni anafanya kaz sio mnafiki,,yani ni mtu na nusu

  • @josephminja7953
    @josephminja7953 15 дней назад

    Ameeeeeeeeen ♥️

  • @MichaelKingazi-wm7xj
    @MichaelKingazi-wm7xj 21 день назад +2

    Shida tuliyo nayo ni kubwa sana, tunaoneana wivu wenyewe kwa wenyewe,chama kilekile nimeguswa sipendi, makonda ni binadamu ana. Madhaifu yake, hata wewe na mimi tuna madhaifu yetu, na kama Tunaona kuna jambo amefanya aitwe aonywe tena kwa upendo, chama chetu kina taratibu zake, za kuwatunza,watumishi, kitendo cha kumsema kiongozi anayeaminiwa na wananchi kwa kile mungu alichoweka ndani yake, ni kuwavunja moyo wale waliomuamini, hasa kwa mkoa. Mgumu kama huu wa arusha, hauhitaki kiongozi. Mwana siasa,

  • @hategekimanamariespeciose5701
    @hategekimanamariespeciose5701 19 дней назад

    Amen wa kwetu Burundi❤❤

  • @simbamalala
    @simbamalala 20 дней назад

  • @Hussein-gx4qu
    @Hussein-gx4qu 22 дня назад +1

    Makonda yuko vizuri

  • @samweli7985
    @samweli7985 17 дней назад

    Hakika ni Mungu na amegusa maisha ya watu wengi sana, na amenigusa sana.

  • @jamesmzaki6041
    @jamesmzaki6041 22 дня назад

    Mmmmh! Noma sana😂😂😂

  • @aloycelucas1823
    @aloycelucas1823 22 дня назад +1

    Hiyo zawadi ni sawa, ila itifaki izingatiwe, zawadi kama hizo zipitie maabara kabla hazijamfikia.

  • @geraldmakalala6091
    @geraldmakalala6091 22 дня назад +1

    Makonda ni mtu mzuri sana

  • @janethmwihumbo1289
    @janethmwihumbo1289 22 дня назад +1

    Mungu anaitangaza tz anahaja na nchi hii

  • @leahisaac928
    @leahisaac928 8 часов назад

    Mtetezi wa wanyonge Poro Makonda

  • @Veni584
    @Veni584 22 дня назад +3

    Mtuonyeshr pia anavyomuombea mtetezi wetu

  • @Elesciahmdugo
    @Elesciahmdugo 8 дней назад

    Ni lazima kuwa makini na wageni hao kwa usalama wa mh. Paul Makonda

  • @lunangabenjamin3121
    @lunangabenjamin3121 22 дня назад +4

    Mimi mwenyewe na mkubali majaliwa,ila makonda anakitu ukikitizama kiundani nizaidi sana najuwa kunawana siyaasa wazuri tena wasomi kumzidi makonda,ila jamaa anakitu tofauti na wengine wana siyasa.kuna mwana mama jana kamtabiriya makubwa jana.oneni huyu mchungaji kasafiri vilometa kazaa nazawadi.mpaka machozi,yaani makonda akiwa raisi atatemesha dunia sifa zake zinatambulika kimataifa.

  • @Wilbadi
    @Wilbadi 15 дней назад

    Watu wengi wanajificha na mungu ila sijui huyu ana nia gani na makonda mungu amtumie malik kila upande wamzunguke

  • @berthatz
    @berthatz 21 день назад

    Tanzania Mungu anatubariki sana viongozi wazuri…Watz wanaweza wasione hilo but nchi zingine wanaona hilo..Hata kama anamapingufu yake but Makonda ni kiongozi wa watu.

  • @mengiiblahim4215
    @mengiiblahim4215 22 дня назад

    Mpereke bwana unamhiji sana makonda ninabii wa wanyonge

  • @erickwanjarajr5707
    @erickwanjarajr5707 22 дня назад +1

    Akuna kingine zaidi ya kuwa Raisi ajaye,

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 16 дней назад

    Kweli Nabii hakubaliki kwao, watu kutoka Burundi wamempa Makonda heshima kubwa.

  • @barrynzeyimana6270
    @barrynzeyimana6270 22 дня назад

    Mungu hatumi viumbe baqda ya viumbe kua na viumbe vyao vya kwanza. Mungu angekua anafanya hivyo hapangekua na mgawanyiko wa watu na habari

  • @zainabumartin9520
    @zainabumartin9520 22 дня назад

    Jaman Jaman 😂😂😂

  • @justusmutembei2
    @justusmutembei2 11 дней назад

    nipo kenya na napenda makonda sana walai hua namfuatilia kila siku anakokwenda

  • @khadejarajab8007
    @khadejarajab8007 22 дня назад +5

    Nani tena.anapita mbele huyo😂😂😂😂😂😂

    • @bcozhenry2698
      @bcozhenry2698 22 дня назад

      Why between his interview she's passing around, I hate her 😂😂😂😂

    • @johnmatiko1108
      @johnmatiko1108 22 дня назад

      ​@@bcozhenry2698😂😂😂

    • @leylaruhabaye9017
      @leylaruhabaye9017 22 дня назад

      😅😅😅😅😅😅umenichekesha upo km mm nikisikia jambo zuri napenda nilisikie na nilione siyo kelele mtu anapita pita ata mm sipendi yani umenifurahisha.sana.

    • @khadejarajab8007
      @khadejarajab8007 22 дня назад

      @@leylaruhabaye9017 Hahahaha wakitukanwa watu wabaya

    • @kakak1245
      @kakak1245 22 дня назад

      Bodaboda😅

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 22 дня назад

    Viva Makonda

  • @KamwandaNzowa-eo4ur
    @KamwandaNzowa-eo4ur 22 дня назад

    Mmmmmm!!

  • @EliauMtishbi-os5ky
    @EliauMtishbi-os5ky 22 дня назад +1

    Makonda Mungu akuinue mar zaidi

  • @godsonbujuli9367
    @godsonbujuli9367 22 дня назад

    Chapa kazi mheshimiwa makonda MUNGU Yuko pamoja nawe, Kwa Afrika ukigusa haki unapigwa Vita sana.

  • @HeriEliya
    @HeriEliya 16 дней назад

    Mbona makabidhiano hayakuonyeshwa?

  • @emanuelleopod3949
    @emanuelleopod3949 22 дня назад +1

    Usikute katumwa dadeq manake watu siyo watu

  • @AlineZia-lk7rv
    @AlineZia-lk7rv 22 дня назад +2

    Niukweri kabsa tunampenda but think muhemiwa makonda hajui kua nimpendwa wawengi

  • @gervasmakalo1787
    @gervasmakalo1787 12 дней назад

    Kama ni makonda ni mtu safi kwa nini Marekani walimnyima haki ya kuingia taifa hilo nchi kama Marekani yenye intelijensia kubwa kumuona si mtu mzuri sisi tunashawishika vipi kumuona ni mtu safi

  • @charlesmwasi7646
    @charlesmwasi7646 22 дня назад

    Afya ya akili hiyo

    • @ndogoroedson199
      @ndogoroedson199 22 дня назад

      Nenda katibowe kwa mbowe maana ndyo kakuharibu

  • @zainabumartin9520
    @zainabumartin9520 22 дня назад

    Mbona hujamfikisha tukaona

  • @shammhagama2527
    @shammhagama2527 22 дня назад

    Kwa heshima na taadhima naomba mheshimiwa Makonda aonane na huyu mtumishi, maana ameshatumia Muda na gharama nyingi kumfuata muheshimiwa Makonda

  • @Veni584
    @Veni584 22 дня назад +1

    Mh. Msapoti huyo Mungu anafanya jambo

  • @user-wj6zj1ly4e
    @user-wj6zj1ly4e 22 дня назад +1

    Hv mungu yupi? Anaependa kumkashifu binadamu mwenzake? Acheni upuz wandishi wa habar mmempanga ili iweje? Mungu hadhihakiwi,
    Hv nani alietangaza lowasa amekataa mtoto wake, nani alienda cloud na kutisha watu kwa bunduki, nani aliesema ww syo mchumba wangu nina mke mzuri usenge hautaisha nchii hii

    • @fredyjeremia7074
      @fredyjeremia7074 22 дня назад

      Hawa jamaaa ni comedian kweli🤔 wameyasahau kweli hayo! Wanayafukia hayo yte kutusahaulisha Wabongo aise;!!

    • @section8ight174
      @section8ight174 20 дней назад

      Kila mwanadamu ana udhaifu!!

  • @bizomenyimanaelias5455
    @bizomenyimanaelias5455 22 дня назад +2

    rudia nyumbani Burundi bwana kwasababu nyinyi watumishi niwaongo bwana Hapa kwetu Burundi tunawatumishi wengi kama nyinyi

    • @ndogoroedson199
      @ndogoroedson199 22 дня назад

      Ww ndyo muongo mwache mtumishi akutane mh makonda ili afikishe ujumbe wake ndg yangu

    • @bizomenyimanaelias5455
      @bizomenyimanaelias5455 22 дня назад

      @@ndogoroedson199 ok

    • @mcback4384
      @mcback4384 22 дня назад

      Hapana amekuja kutoa ujumbe wa Mungu

  • @susananyasani6526
    @susananyasani6526 20 дней назад

    Mheshimiwa Makonda hufuatilia wongozi wa kutoka kwa Mheshimiwa Hayati Magufuli kusikiliza wanyonge

  • @obedmasaki3565
    @obedmasaki3565 19 дней назад

    Siamini kila kitu kama ninavyo kiona; lakini hii inaonyesha jinsi watu wa Afrika tulivyo na kiu na uongozi unaowajibika, tunawajua Viongozi tunaowataka.

  • @jozeeshirima9231
    @jozeeshirima9231 22 дня назад

    Yaah uyu mpendwa nimempenda bule nimnyenyekevu sana,so kuna kitu cha kujifunza apa

  • @AwaziRajab
    @AwaziRajab 22 дня назад

    Hata Intaneti Za Tz Zingekua Na Kasi Kama Ya Makonda Basi Nasi Tusingekua Tunaambiwa Dunia Ya Tatu Wenzetu Wanaenda Mwezini Sisi Intaneti Tabu Kupley Video RUclips

  • @user-sw7tf1ob1b
    @user-sw7tf1ob1b 22 дня назад +1

    Muheshimiwa mkuu mkoa makonda Fanya kazi na selikali selikali ya paullo kagame ukiludi tutajua kama ulaya

  • @AnoliasiKope
    @AnoliasiKope 19 дней назад

    raisi mama wetu tunaomba huyu makonda umulinde usikie maneno ya waizi mwache afanye kazi akikosea ongea naye

  • @user-gy5en6cy8o
    @user-gy5en6cy8o 22 дня назад

    Kkkkkk😂ana maono

  • @Mohaa4309
    @Mohaa4309 15 дней назад

    Asiwe muuaji huyo

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 22 дня назад

    Njaa mbaya jamani 😂😂😂

    • @ndogoroedson199
      @ndogoroedson199 22 дня назад +1

      Unaweza kuwa ww ndyo una njaaa! Mtu atoke burundi aje mpak a tz useme njaa wadangaji ninyi mnanuka shombo sana

    • @janethmwihumbo1289
      @janethmwihumbo1289 22 дня назад

      Rudi nyuma shetani

    • @HanifaOman-oo4pl
      @HanifaOman-oo4pl 21 день назад

      @@ndogoroedson199 ninanjaa. Wee unijuitu

    • @HanifaOman-oo4pl
      @HanifaOman-oo4pl 21 день назад

      @@janethmwihumbo1289 ww ndiyo sheitwani

  • @RehemaMtono
    @RehemaMtono 22 дня назад

    Mimi nataka kabisaaa makonda aje kuwa raisi atanyoosha mambo mengi mno

  • @user-gy5en6cy8o
    @user-gy5en6cy8o 22 дня назад

    Anataka kiki atoke ana kondoo 200tu anataka makonda amuongeze kondoo ili sadaka iendele kua kubwa😂😂😂😂😂

    • @GibsonNtamamilo
      @GibsonNtamamilo 20 дней назад

      Sasa na wewe akili ziro. Makonda anamuongezeaje kutoka Tanzania wakati Kanisa liko Burundi😂😂😂

    • @user-gy5en6cy8o
      @user-gy5en6cy8o 20 дней назад

      @@GibsonNtamamilo kwani huyo mchungaji anaka wapi ? Tumia akili siamemuona kwenye vyombo vya habar dunia ni ndog sana siku hizi Akili mtu wangu.mchungaji ataongeza kondooo siku akirudi kwao 🫣

  • @muhsinikoki4060
    @muhsinikoki4060 22 дня назад

    acheni uhuni makonda nani kwenye hinchi mnajidangamya nalolotenadanganyika nahuyujama waze sanukeni

  • @raphaelkessy7360
    @raphaelkessy7360 21 день назад

    Mchungaji longo longo huyo ana tafuta kiki

  • @oswardjaphal-cd6np
    @oswardjaphal-cd6np 22 дня назад +2

    Kama umeona wakwetu kutoka Burundi weka lik

  • @japhetringo7688
    @japhetringo7688 22 дня назад +3

    Hamna lolote apo imetenqenezwa

  • @AwaziRajab
    @AwaziRajab 22 дня назад +1

    Unajua Ubaya Wa Binadamu Mtu Akisema Kapata Ujumbe Wanajua Wenda Mtu Awe Na Mabawa Au Awe Mzungu Lakini Kumbe Ujumbe Kutoka Kwa Mungu Unaweza Kuletewa Hata Na Ndege Hata Mmbwa Kwaivo Binadamu Tuache Maneno Mengi Tujali Isia Za Mtu Cha Ajabu Wewe Unaezalau Watu Ukifungwa Jela Watu Kama Awa Utawaeshimu Kupitiliza Yani Bila Kikomo Jela Shida Nzizo Zinamfanya Binadamu Aeshimu Viongozi Wa Dini Mfano Wa Uyu Mtu Anakua Na Mwili Mdogo Sana Lakini Ndani Yake Anakua Na Kitu Kikubwa Sana Japo Tunajua Kiongozi Anaitaji Kulindwa Lakini Zawadi Utaifungua Wewe Na Kumpa Mana Hata Shetani Anatembea Kwa Maumbo Ya Binadamu

    • @IbrahimJoel-ks8nj
      @IbrahimJoel-ks8nj 20 дней назад

      Upo sahihi mtumishi Mungu sikuzote hutumia wanyonge sasa inabaki nikazi kwa Mhusika

  • @fredyjeremia7074
    @fredyjeremia7074 22 дня назад

    Comedy show..😂

  • @ismailradjabu3871
    @ismailradjabu3871 20 дней назад +1

    Hata mimi ni mcongo ambaye naishi South African,makonda ni mtu ambaye ana ni inspire saana. Na namfatiliya saaana

  • @issacklyandala7023
    @issacklyandala7023 День назад

    Usanii mtupu

  • @user-no4ny7ox2d
    @user-no4ny7ox2d 22 дня назад +1

    Hapo unatafutwa ugari😅😅

  • @issacklyandala7023
    @issacklyandala7023 День назад

    Pumbavu wewe

  • @melanialeonard4031
    @melanialeonard4031 22 дня назад

    Unatafuta pa kutokea 😏😏

  • @mercyzakariah
    @mercyzakariah 22 дня назад +2

    Makona ni rais ujae tz oeeeeeee

  • @user-gy5en6cy8o
    @user-gy5en6cy8o 22 дня назад

    Ana ujumbe kutoka kwa mungu 😅😂 dini hii raha sana yaan mungu anakutumia ujumbe uende arusha ukampe zawad makonda😂

    • @mcback4384
      @mcback4384 22 дня назад

      Ni kweli dini yetu Mungu anaongea nasi kupitia roho mtakatifu sio dini yenu ya majini

  • @oswardjaphal-cd6np
    @oswardjaphal-cd6np 22 дня назад +3

    UKweli haufickiki makonda unapendwa sana