Dhikri saadiyah Masha Allah mwenyezimungu awarahamu masheikh zetu waliotangulia mbele ya haki na murid wote waliotangulia mbele ya haki,nasi atujaalie kila la kheir na atuepushe kwa kila lililobaya insha allah
Maashaa allaah, jamani naombeni mtutumie ile dhikri ya zamani inayosema sakaral mauti fanyeni mututumie kama mnayo japo ya audio , zaman nilikuwa naisikia kwenye Redio sauti ya tanzania zanzibar
ما شآء الله ! هذا من جملة وسائل الترفيه،،،، أظنه من مسلمي حجزائر تومباتوا! تصححوني إن خطأت🙏 اللهم صل وسلم وبارك على نبينا وحبيبنا محمد وعلى آله وصحبه أجمعين
@@Mawazobrand Kwa sababu huu ni upotofu wa hali ya juu. Hii si dini ya uislamu wala ishara ya kumkumbuka mola azzawajal. Ibada haina ngoma wala dansi na kuhema kama mwenda wazimu. Fanyeni tauba ndugu zangu na mufuate mwendo wa Nabii Muhammad kama tulivyoelezwa katika hadeeth. Yote mengine ni uzushi na kuchafua dini ya haki.
لاإله إلا الله ما اسرع هلكاتكم يا أمة محمد تحدثون في دين الله إن البدع شر وبلاء وأي بلاء, ومصيبا وأي مصييا, والله لن تفلحوا حتى تتوبوا الى ربكم فقد حذرناالنبى صلى الله عليه وسلم من البدع أشد تحذير فالبدع نهايتها الى النار والعياذ بالله
@Jumaa Mohamed. Wewe ulosoma twambie hizo dhikri katufundisha mtume gani? njoo na ushahidi kutoka ndani Qur ‘aan na hadithi za mtume Muhammad s.a.w huo ndo muongozo wa Muislaam. Tufundishe kwaajili yafaida kwetu sisi Waislaam ili nasisi tuyanoe makoo yetu tuanze kukohoa mpaka damu. Pindi tutakapo jua ukweli.
Dhikri ina faaa, tena ALLAH S W, ametusisitiza tumtaje sana,, na vile vile tumsalie MTUME MUHHAMAD S A W sana,, Tatizo ufahamu ,, Kila mmoja wetu ana ufahamu wake,, Kwa mujibu wa alivosomeshwa.
Hakika hii sio zikir....hivyo diyo bidaaa...dhikiri ni kumtaja mungu subhana alllah...ama hiyo ni kufuru...jamani nakuomeni muacheni hii ni kuchukuwa mazabi...mungu anashuhudiya niliyaandika
@@jumatano242 namshangaa .yaani wajifanya wapo xhihiii .hayo ya kukutana na watt wawatu kuwashka matiti yafaa ni girlfriend wake washenzi na mengii tu wayafanya lkni hawayaini kwamba ni haramu
kwani ubaya gani au umeona anakashifiwa mungu mtume na masahaba wake na uislam pia hebu sikiliza kinachosemwa than ndio utoe neno musiwe munataka kuharamisha kila kitu
@@idrissa09 Assalaam alaykum akhy. Mie nauliza tu nipate kuelimika. Sina uwezo wa kuharamisha wala kuhalalisha. Elimu yangu khafifu inanambia kuwa uislamu Allah aliukamilisha mwenyewe. Kwa kupitia kitabu chake na mtume wake SAW. Ndio nataka kujua hizi ibada za ziada zimetokea wapi?
Kama huu ni uzushi bas uzushi sasa umetamalaki,haya mtume hakufanya,pia mashindano ya kuhifadhi qur aan ni uzushi maana mtume hakufanya!uislam mpya uliozuka miaka ya90 pia mtume hajauridhia na hakufanya.uislam mpya namaanisha uzushi wa mwezi wa kimataifa,nchi Moja Baba anaswali idd leo Mama anaswali idd kesho,dini hii ya mwezi wa kimataifa mtume pia hajakuwa nayo kwahyo ni bid aa
@@Ali-nl2du hata dini ya mwezi wa kimataifa mtume hakufanya,watu walifunga kwa kufuata matlay ya huko walipo, lakin xilipokuja television na cm,hapo ukazuka uislam mpya miaka ya90,hata mashindano ya kuhifadhi qur aan mtume hakufanya kwahyo pia ni uzushi,wajuzi mtujuze jaman huu uzushi wa mashindano ya kuhifadhi qur aan ibada hii imetoka wapi????na ibada ya kufunga kwa kuifuata saudia imetoka wapi? maana ibada hii imezuka miaka ya
@@yasinomary2147 Assalaam alaykum akhy. Asante sana kwa kunielimisha. Lengo langu ni kujua tu akhy. Hayo uliyoyataja tujaalie ni uzushi, je hii inakuwa sababu ya kuhalalisha dhikri kama hizi? Maana itakuwa uzushi mmoja unahalalisha uzushi mwengine. Basi si ingekuwa bora tuyawache yote tu, au vipi? Turejee kwenye dini ya Allah kama ilivyokuja kupitia kwa mtume wake SAW.
Elimu ni Bahari pana yenye kina kisicho na mwisho sheikhe wangu,, watu wengi wamesoma na hao hao wanatafautiana ufahamu wao,, kwaio usimdharau mtu na kumuona hajasoma , kisa tu hajafanana na ufahamu wako.
Umekaririshwa wewe😀wenzio wameisoma كل na wakaielewa.Nenda na wewe ukasomeshwe كل tu! Maana hapo ndiyo inayo kutia taabu. Ukielewa utaheshimu tu. Maana wewe umesomeshwa hiyo Hadith lakini hujafahamishwa kwa fani. Hivi kweli watu wote hao hapo wakusanyikie lisofaa? Kesha wewe pekeo ndiyo uwe umeelewa sana hiyo Hadith? Mtume asema? Umati wangu haukusanyiki juu ya upotevu!!!. Uko wapi wewe na mkusanyiko huu? Huu ujumbe unaotolewa ni mkubwa sana uchukue. Muhimu ni kusoma tu kila kitu ndiyo hukaa sawa sawa. Mungu atujaalie Elimu na Ufahamu.
Huu ni upotofu wa hali ya juu. Hii si dini ya uislamu wala ishara ya kumkumbuka mola azzawajal. Ibada haina ngoma wala dansi na kuhema kama mwenda wazimu. Fanyeni tauba ndugu zangu na mufuate mwendo wa Nabii Muhammad kama tulivyoelezwa katika hadeeth. Yote mengine ni uzushi na kuchafua dini ya haki.
Dhikri saadiyah Masha Allah mwenyezimungu awarahamu masheikh zetu waliotangulia mbele ya haki na murid wote waliotangulia mbele ya haki,nasi atujaalie kila la kheir na atuepushe kwa kila lililobaya insha allah
Mashaallah ujumbe mzuri sanaa mungu azidi kuwabariki na kuutangaza uislam kwa dhikri
Mashaallah mashaallah Allah awap kipaj zaid ❤
Lete vit maasha Allah ❤
Maashaa allaah, jamani naombeni mtutumie ile dhikri ya zamani inayosema sakaral mauti fanyeni mututumie kama mnayo japo ya audio , zaman nilikuwa naisikia kwenye Redio sauti ya tanzania zanzibar
Mashallah mashaalah M/Mungu awajaalie mema mazuri hapa duniani mpaka akhera awape nguvu na afya njema mashallah
Mashallah Allah awape nguvu mashehe wetu na umri mrefu
Mashaanlah Allah awajaze kila lakheri inshaanlah
Insha Allah siku Moja Allah swt anijaalie kuikanyaga ardhi ya kisiwa Cha tumbatu nikawatembelee ndugu zangu hawa wa qadiriyyah,
قال الله تعالى ﴿الَّذينَ آمَنوا وَتَطمَئِنُّ قُلوبُهُم بِذِكرِ اللَّهِ أَلا بِذِكرِ اللَّهِ تَطمَئِنُّ القُلوبُ﴾ [Ar-Ra‘d: 28]
Mashallah Allah amjaalie Kila la kheri huyu malimu na amuaepushe na Kila la shari, ampe umri mrefu wenye kheri na yeye
Mashaa Allah.....🇹🇿✅
Shukran
mashallah Allah awabariki
❤❤❤❤maashaa allah idhikri ni mzuri sana❤❤❤❤
Mashaallah mashaallah napenda dhiqr
Nitumie namba zako❤
0622467152
mashaallah mashaallah mashaallah
Mashallah shekhe makame mbalungulini
Mashalla allha awabariki
Mashaa Allah
Mashaallah fundi
Khutba ya kutosha MashaAllah
ما شآء الله !
هذا من جملة وسائل الترفيه،،،، أظنه من مسلمي حجزائر تومباتوا! تصححوني إن خطأت🙏
اللهم صل وسلم وبارك على نبينا وحبيبنا محمد وعلى آله وصحبه أجمعين
Shukran
Gooood
Subhannallah
Kwann
@@Mawazobrand Kwa sababu huu ni upotofu wa hali ya juu. Hii si dini ya uislamu wala ishara ya kumkumbuka mola azzawajal. Ibada haina ngoma wala dansi na kuhema kama mwenda wazimu. Fanyeni tauba ndugu zangu na mufuate mwendo wa Nabii Muhammad kama tulivyoelezwa katika hadeeth. Yote mengine ni uzushi na kuchafua dini ya haki.
@@tifu678 si zani kama unaelimu kiwango cha kutoa fatwa ndugu yangu tupambane na wasioamini nawwfanya unayoyaamini
Mash allah
Mashallah ❤
Rahaa sana mungu azidi wa bariki
نعرف الرجال بالحق ولا نعرف الحق بالرجال
Wale walopiga magoti kwa mashekhe zao wakelewa basi watakuwa wamenielewa
0:17
Tuache ushabiki kutoa kasoro y masaala y dini,kikubwa tusomeni tupate uyakinifu(TAALUMA)
ماشاالله
Mashallah
Shukran
mnaosema hayafai Kaeni bora mkemee miziki inawezekana watoto wenu wapo waoimba Mziki ila nmekaa kimyaaaa
Maswahaba wamefanyahiv
Uwislam tunauchukuwa kwanan 2spendeku kufuta ki2kamanz
❤❤❤
Utamu umezid wallah
Siku moja nilijichanganya kwenye dhikri mpaka asubuhi nilikaukwa na kifua sio powa kila ikikaribia alfajiri kitu ndiy kinanoga
Makame wewe Lete raha
MASHAA Allah
Shukran
Nadhira ujumbe huo uloutoa sio wa mwanadin kulaan watu mungu akusameh nataman ningepata namba yako nikuelimishe na uwe mke wangu kama una ndoa
Kwani umeambiw uyo nadhir ni mwanamke? Au unahangaishwa na shahwa tu
Acheni uzishi jameni...uislam umekamilika
❤
Unajua uzushi kasome kwanz ndo uropoke
لاإله إلا الله ما اسرع هلكاتكم يا أمة محمد تحدثون في دين الله إن البدع شر وبلاء وأي بلاء, ومصيبا وأي مصييا, والله لن تفلحوا حتى تتوبوا الى ربكم فقد حذرناالنبى صلى الله عليه وسلم من البدع أشد تحذير فالبدع نهايتها الى النار والعياذ بالله
خسارة وأي خسارة البدع شرها عظيم
@@abdulfattaahnassir8266 هذا رأيك نحن اهل الذكر والذكر بأي كيفية
Ewe Mola wetu tuelekeze kuliko ndiko
Hakuna dhikri hapo wallahi haya hakuyafundisha Mtume swalallahu alaihi wasalam .....Masufi wamezusha mambo mengi ambayo hayakufundishwa na Uislamu
Je kutumia RUclips ni Sunnah?
Pita kule
Yaliofundishwa yepi wayajua? Allah anasema mtajeni Allah Kwa namna yeyote ile
Katwalii
Wanafiki wa Uislamu, mmelaaniwa. Badala ya kusoma ukweli kwa ajili ya ukweli, unazusha ibada za kishetani kusema zinatoka kwa Mwenyezi Mungu
mmhhh unatoa hukumu unaingilia kazi ya Mungu unaweza kutoa ushahid wa hiyo laana au
Tupe elimu yako wewe mja wa laana uloaza kulaniwa ndani ya tumbo la mama yo ndo ukaweza kuwa lani wengine
Wewe ndio umelaaniwa soma babu elimu huna then unahukum watu !!! Soma mzee utajua
wacha ujinga
@Jumaa Mohamed. Wewe ulosoma twambie hizo dhikri katufundisha mtume gani? njoo na ushahidi kutoka ndani Qur ‘aan na hadithi za mtume Muhammad s.a.w huo ndo muongozo wa Muislaam. Tufundishe kwaajili yafaida kwetu sisi Waislaam ili nasisi tuyanoe makoo yetu tuanze kukohoa mpaka damu. Pindi tutakapo jua ukweli.
Naona kiupande wangu dhikkir inafaa na c ktk shirk
Dini sio maoni bali ni dalili za kisheria
Dhikri ina faaa, tena ALLAH S W, ametusisitiza tumtaje sana,, na vile vile tumsalie MTUME MUHHAMAD S A W sana,, Tatizo ufahamu ,, Kila mmoja wetu ana ufahamu wake,, Kwa mujibu wa alivosomeshwa.
@@alijabiri9879 kwani Kuna aliyekuambia dhikr ni haraam mutwlaq,Bali hiyo dhikiri ya kukohoa hakuna ktk dini yetu hii
Eti na hii nayo inaitwa dhikr....
ههه ههه ههه
Hakika hii sio zikir....hivyo diyo bidaaa...dhikiri ni kumtaja mungu subhana alllah...ama hiyo ni kufuru...jamani nakuomeni muacheni hii ni kuchukuwa mazabi...mungu anashuhudiya niliyaandika
Kwenda zako hujui chochote ww ulitaka waimbe taarabu
Acha ubwege Kama hujui uliza
Daruesh😅
Hii ni shirk tuu hamna lolote hapa
Ni kwako upo kama mwanga
Kama haikufai wewe wenzako wanaridhika na Usikashfu
Mwalim nawez kupat mawasiliano yake
Utapata inshaallah
Mwalimu yupi unahitaji no zake?
Mwalimu yupi unahitaji no zake?
😅
Eti dhikiri 😁hamuna adabu kweli mwafikiri mtume (SAW) kaacha kitu
Acha kiburi
Ww hujasoma Hilo ndotatizo lako mtu alosoma hawezi kutusi watu kasome ww
Acha upumbav wew ulitaka waimbe singeli hii tunafikishiwa ujumbe mzur
Jamn hii ibada inatoka kwa Mtume gani
Watajuta siku ya kiyama wasipotubu
Ww una uhakika unapatia ??
@@jumatano242 namshangaa .yaani wajifanya wapo xhihiii .hayo ya kukutana na watt wawatu kuwashka matiti yafaa ni girlfriend wake washenzi na mengii tu wayafanya lkni hawayaini kwamba ni haramu
Wa kwanza niwewe huna lolot
sikiliza ujumbe tu ndugu yangu ni sahihi au la halafu uhukumu jinsi ulivyowasilishwa kwa hadhira
Ivi ndugu zangu kuna tofauti Kati ya ili Jambo na lile la waganga WA kienyeji
Ndio tafaut kubwa ipo sana
Lete iyo tofauti
Innamal A'maal binniat
Wengi wao katika hawa huwa ni waganga
Una ushahid gan
Haya mambo mtume wetu SAW hajayafanya. Masahaba zake hawajayafanya, sijui yameibukia wapi. Naona kama hayamo katika uisilamu. Wajuzi mtujuze tujuzike.
kwani ubaya gani au umeona anakashifiwa mungu mtume na masahaba wake na uislam pia hebu sikiliza kinachosemwa than ndio utoe neno musiwe munataka kuharamisha kila kitu
@@idrissa09 Assalaam alaykum akhy. Mie nauliza tu nipate kuelimika. Sina uwezo wa kuharamisha wala kuhalalisha. Elimu yangu khafifu inanambia kuwa uislamu Allah aliukamilisha mwenyewe. Kwa kupitia kitabu chake na mtume wake SAW. Ndio nataka kujua hizi ibada za ziada zimetokea wapi?
Kama huu ni uzushi bas uzushi sasa umetamalaki,haya mtume hakufanya,pia mashindano ya kuhifadhi qur aan ni uzushi maana mtume hakufanya!uislam mpya uliozuka miaka ya90 pia mtume hajauridhia na hakufanya.uislam mpya namaanisha uzushi wa mwezi wa kimataifa,nchi Moja Baba anaswali idd leo Mama anaswali idd kesho,dini hii ya mwezi wa kimataifa mtume pia hajakuwa nayo kwahyo ni bid aa
@@Ali-nl2du hata dini ya mwezi wa kimataifa mtume hakufanya,watu walifunga kwa kufuata matlay ya huko walipo, lakin xilipokuja television na cm,hapo ukazuka uislam mpya miaka ya90,hata mashindano ya kuhifadhi qur aan mtume hakufanya kwahyo pia ni uzushi,wajuzi mtujuze jaman huu uzushi wa mashindano ya kuhifadhi qur aan ibada hii imetoka wapi????na ibada ya kufunga kwa kuifuata saudia imetoka wapi? maana ibada hii imezuka miaka ya
@@yasinomary2147 Assalaam alaykum akhy. Asante sana kwa kunielimisha. Lengo langu ni kujua tu akhy. Hayo uliyoyataja tujaalie ni uzushi, je hii inakuwa sababu ya kuhalalisha dhikri kama hizi? Maana itakuwa uzushi mmoja unahalalisha uzushi mwengine. Basi si ingekuwa bora tuyawache yote tu, au vipi? Turejee kwenye dini ya Allah kama ilivyokuja kupitia kwa mtume wake SAW.
Kama bado hujaichimba elimu huruhusiwi kukoment jambo usilolijua undani wake utapata laana za bure urukwe na akili bila kujijua
Sio kweli, kukoment ni hhaki ya Kila anaesoma post,, kikubwa asitukane
Sio kweli, kukoment ni hhaki ya Kila anaesoma post,, kikubwa asitukane
Elimu ni Bahari pana yenye kina kisicho na mwisho sheikhe wangu,, watu wengi wamesoma na hao hao wanatafautiana ufahamu wao,, kwaio usimdharau mtu na kumuona hajasoma , kisa tu hajafanana na ufahamu wako.
Saf
Shkran
Safi mini UKu ni kuudhalilisha uslamu wetu msafi
@@shadhirimaalim9739 Imamu Mahdi amekuja kuondoa ikhitilaaf Kati ya waislam, na kuvunja msalaba, msihangaike bure!!!!
Mnaopinga .. kwan kuimba ni haramu??
كل محدثت بدعة وكل بدعة ضلالة وكل ضلالة في النار
Allah atuongoze sisi na wenzentu maskini
Waambie hao mawahabi wenzio wasojua kusoma Kama wewe,rudini mkazidi kulishwa vitango pori huko suudia mnapo pewa pesa
ما كل بدعة ضلالة في بدعة حسن
Wee pia ni bida'a utaingia motoni na ikiwa lugha huelew nyamaza
Umekaririshwa wewe😀wenzio wameisoma كل na wakaielewa.Nenda na wewe ukasomeshwe كل tu! Maana hapo ndiyo inayo kutia taabu.
Ukielewa utaheshimu tu.
Maana wewe umesomeshwa hiyo Hadith lakini hujafahamishwa kwa fani.
Hivi kweli watu wote hao hapo wakusanyikie lisofaa?
Kesha wewe pekeo ndiyo uwe umeelewa sana hiyo Hadith?
Mtume asema?
Umati wangu haukusanyiki juu ya upotevu!!!.
Uko wapi wewe na mkusanyiko huu?
Huu ujumbe unaotolewa ni mkubwa sana uchukue.
Muhimu ni kusoma tu kila kitu ndiyo hukaa sawa sawa.
Mungu atujaalie Elimu na Ufahamu.
Huu ni upotofu wa hali ya juu. Hii si dini ya uislamu wala ishara ya kumkumbuka mola azzawajal. Ibada haina ngoma wala dansi na kuhema kama mwenda wazimu. Fanyeni tauba ndugu zangu na mufuate mwendo wa Nabii Muhammad kama tulivyoelezwa katika hadeeth. Yote mengine ni uzushi na kuchafua dini ya haki.
Hii ni ibada au wanajifurahisha tu?
Kujfrahsha kwa kumsalia mtume (s.w.a) nijambo zur
Elimu yako ni ndogo wewe :::::: sheikh hauwezi kuelewa kitu tuwachie sisi wenyewe
Waulize waliosoma masheikh na maostadh sio wapiga porojo,
Utavo ona ndo ivo ivotu.
Utavo ona ndo ivo ivotu.
Masha Allah tabaraka Allah
Masha Allah
❤❤❤❤❤❤
Mashallah
Mashaallah
Mashaallah
Mashaallah