DHIKRI PUMZIKA KWA AMANI ALI HASSAN MWINYI RAIS MSTAAFU WA TANZANIA AWAMU YA 2

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 28 дек 2024

Комментарии • 34

  • @canoksancomprehensivelearn7182
    @canoksancomprehensivelearn7182 9 месяцев назад +2

    Subhaanallaah. Innaa lillahi wainnaa ilayhi raajiuun. Tujitahidini tusome sana dini ili tumfuate mtune S .A.W na maswahaba ibada tulizofundishwa tusije tukafnya yasokuwepo

    • @canoksancomprehensivelearn7182
      @canoksancomprehensivelearn7182 9 месяцев назад

      @@hamisimkoma7380 allah akuongoze ikiwa mie ni kafiri basi uwe muislam mzuri umfuate mtume S.A.W na Allah akujaalie ikiwa unayosema unayajua basi ufe kwa chuki kubwa sana dhidi ya haki moyo wako upasuke kabisa kuona dini hii inakuwa kama akivyoacha mtume S.A.W na kama ni ujinga akuondoshee

    • @canoksancomprehensivelearn7182
      @canoksancomprehensivelearn7182 9 месяцев назад

      Mwenye elimu hawezi kuleta matusi bila shaka mtu asokuwa na elimu silaha yake kubwa jazba na matusi maana anafuata matamanio ya nafsi yake na hakuna anayepotea kama anayefuata matamanio ya nafsi yake. Ukimwita mtu kafir kama siye basi kafiri utakuwa wewe kwa mujib wa hadithi ya mtume S.A W na nakuonea huruma maana umeshindwa kutumia hata kuzuia mdomo wako au kuketa hoja bali moyo una chuki sana na giza nene la kukosa hata chembe ya ilmu. Allah akuongoze mja wake ukasome japo hata umjue nani Allah na nini uislamu, nani Mtume S.A.W hapo ungeyajua tu kwa undani hungekuwa watamka ovyo yanayokujia katika moyo wako ya chuki maana shetan anayapenda hayo uyatamke na nafsi ni adui namba mbili baada ya shwtan

    • @canoksancomprehensivelearn7182
      @canoksancomprehensivelearn7182 9 месяцев назад

      @@hamisimkoma7380 Mwenye elimu hawezi kuleta matusi bila shaka mtu asokuwa na elimu silaha yake kubwa jazba na matusi maana anafuata matamanio ya nafsi yake na hakuna anayepotea kama anayefuata matamanio ya nafsi yake. Ukimwita mtu kafir kama siye basi kafiri utakuwa wewe kwa mujib wa hadithi ya mtume S.A W na nakuonea huruma maana umeshindwa kutumia hata kuzuia mdomo wako au kuketa hoja bali moyo una chuki sana na giza nene la kukosa hata chembe ya ilmu. Allah akuongoze mja wake ukasome japo hata umjue nani Allah na nini uislamu, nani Mtume S.A.W hapo ungeyajua tu kwa undani hungekuwa watamka ovyo yanayokujia katika moyo wako ya chuki maana shetan anayapenda hayo uyatamke na nafsi ni adui namba mbili baada ya shwtan

  • @WazirSembua
    @WazirSembua 9 месяцев назад +1

    Masha Allah

  • @الزغويالزغوي-ض3ن
    @الزغويالزغوي-ض3ن 9 месяцев назад

    إنا لله وإنا إليه راجعون أعظم الله أجركم وأحسن عزاءكم وغفر لميتكم وأسكنه فسيح جناته

  • @KhubeybJandaal-uz4oo
    @KhubeybJandaal-uz4oo 10 месяцев назад +2

    Pumbav zenu

  • @tausiferuzi9098
    @tausiferuzi9098 10 месяцев назад

    Mashallah 😢😢

  • @abdillahirj8237
    @abdillahirj8237 10 месяцев назад +1

    mashallh

  • @Rajabu-nh4dm
    @Rajabu-nh4dm 9 месяцев назад

    Mungu ampe kauli sabiti

  • @JumaabedNzota
    @JumaabedNzota 10 месяцев назад +2

    Hakika huu niuwendaazim

  • @Baaqir-g8e
    @Baaqir-g8e 9 месяцев назад

    Maashah

  • @TahilaRamadhan-hz3pd
    @TahilaRamadhan-hz3pd 9 месяцев назад

    Mmmhhhhh

  • @khatimabdallah8143
    @khatimabdallah8143 10 месяцев назад

    😭😭😭😭😭💔💔💔💔

  • @HussainMaula-d1g
    @HussainMaula-d1g 10 месяцев назад

    😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @AsdDsa-fi5qk
    @AsdDsa-fi5qk 10 месяцев назад

    🙏

  • @SuleimanSule-t6q
    @SuleimanSule-t6q 9 месяцев назад +1

    Someni kwanza acheni ujinga

  • @fatmamuhammed9713
    @fatmamuhammed9713 10 месяцев назад +1

    Taakbir

  • @SuleimanSule-t6q
    @SuleimanSule-t6q 9 месяцев назад +1

    Fanyeni kitu ambacho kitaweletea faida kabla ya kufa na baada ya kufa kwenu yy mzee mwinyi ana yake mbali

  • @MerabaqshAbdulaziz
    @MerabaqshAbdulaziz 9 месяцев назад

    Sio Bid aa Wala Haramu Dhikri Hio .Shida kubwa Hamusomi Nyie Mawahabi.

  • @kibwanabadi601
    @kibwanabadi601 10 месяцев назад

    Wezee,zefeee.tuko,pamoja., inshallah

  • @SuleimanSule-t6q
    @SuleimanSule-t6q 9 месяцев назад

    Huo ni ujinga t ndo unaowasumbua adhikar alizofundisha mtume co hizi

  • @AbdullaSeifKhamis-tv4zq
    @AbdullaSeifKhamis-tv4zq 10 месяцев назад

    Sijaonapo haya Pemba wala hatuwezi tushazika halafu tunyanyuke huku tukicheza kigoma cha mdomo. Mumefika mbali Kielimu wenzetu 😢😢😢

  • @Nuruyasunnah.official_tv
    @Nuruyasunnah.official_tv 9 месяцев назад

    hizo vikohozi mmetowa wapi wadauu??? 😮

  • @AhmedMohamedMadaiMadai
    @AhmedMohamedMadaiMadai 10 месяцев назад

    Kil ukion mwenzk anafany jmb ukaon ww ujing hakik ww ndo unakuw mjinga mfate ukamchallenge na kuweka mdahalo nae bachu Sasa hv knymz kmy

  • @mtumwenikassim5245
    @mtumwenikassim5245 9 месяцев назад

    Asojua maana katu usimfundishe maana Ikiwa haram, bidaa, uzushi ataa iwee Vipi Ahlu Dhikri(Jumuiya zawiyatul kadiria, shadhili na kadiria nyengine), hatutowacha asili tukasiliiza propaga za walala hoiiii

    • @AmerinhoAmour
      @AmerinhoAmour 7 месяцев назад

      Hata washirikina wa makka walisema hawatoacha mila za mababu zao kumfuata mtume Allaah amfikishie rehema na amani

  • @MikidadiChande-wh4ur
    @MikidadiChande-wh4ur 9 месяцев назад

    Huu ni upumbavu

  • @SwalehSaleh
    @SwalehSaleh 10 месяцев назад

    Huu ni ujinga mtupu

    • @ismailmsangule1380
      @ismailmsangule1380 9 месяцев назад

      Swahih Muslim 2255

    • @ismailmsangule1380
      @ismailmsangule1380 9 месяцев назад

      (سنن ابن ماجة)
      3758 حدثنا أبو بكر بن أبي شيبة حدثنا عيسى بن يونس عن عبد الله بن عبد الرحمن بن يعلى عن عمرو بن الشريد عن أبيه قال أنشدت رسول الله صلى الله عليه وسلم مائة قافية من شعر أمية بن أبي الصلت يقول بين كل قافية هيه وقال كاد أن يسلم

  • @WazirSembua
    @WazirSembua 9 месяцев назад +1

    Masha Allah