Hawaa ni zaidi ya wasafi ambao wanaimba imba tuu hovyoo bila kuangalia maudhui.... Kazi yao ni kuburudishaa tuu lakini kuelisha jamii Kama hawa jamaa hawaweziii... Big up Sana Wamwinuka band
Kama diamond amewachukua Hawa ataawahiribu kabisaaa 😎 hili kundi Ni Bora Sana la muzikiii wa kitanzania linafaa Sana linatambulisha utanzania wetu, diamond anatambulisha ushoga aawaachee hawaa😎
HUU NDO MZIKI SASA!! HUU MZIKI UPEWE PROMO, BASATA MKO WAPI KAMA MNAWEZA KUFUNGIA WASIO NA MAADILI KWENYE SANAA, BASI NAAMINI MNAWEZA KUWAPA PROMO WENYE MIZIKI YENYE MAANA KAMA HII IKIWEZEKANA WAPEWE TUZO!!
THESE ARE ORIGINAL AFRICAN MUSIC INSTRUMENTS AND WE WERE NOT BROUGHT TO US BY THE WHITES... MANY CENTURIES AGO OUR GRANDPARENTS USED THESE INSTRUMENTS TO PLAY MUSIC AND ENTERTAIN THEMSELVES EVEN BEFORE THE ARRIVAL OF THE WHITE INVADER FROM EUROPE. WHEN THE WHITE COLONISTS WERE USING GUITARS THEY BORROWED "THE OUD" INSTRUMENT FROM ARABIA, WE AFRICANS THROUGH OUR GRANDPARENTS ALREADY HAD ZEZE MALIMBA AND MANY INSTRUMENTS PLAYING SWEET MUSIC THAT ENTERTAINS THE HEART.
Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 blessed country with so many talents ❤
Wow Africa on top 🥰 much love from Uganda 🇺🇬 the pearl of Africa
From USA.u bros u always doing great 😅😅 kmmk
Safari, kilingeni na usizime mziki napenda sana ngoma xenu🙏🙏🙏, watching from Kenya
Pure talent,there's no need of auto tune
Thank you Wamwiduka band to remind parents to care about their families🙏🙏🙏
Hawaa ni zaidi ya wasafi ambao wanaimba imba tuu hovyoo bila kuangalia maudhui.... Kazi yao ni kuburudishaa tuu lakini kuelisha jamii Kama hawa jamaa hawaweziii... Big up Sana Wamwinuka band
😂 😂 😂 Nimeikumbuka hatia na pqnguso Jaman Kwan ndugu wa Jimmy mafufu hawaa😂🎉😮❤❤
Kama diamond amewachukua Hawa ataawahiribu kabisaaa 😎 hili kundi Ni Bora Sana la muzikiii wa kitanzania linafaa Sana linatambulisha utanzania wetu, diamond anatambulisha ushoga aawaachee hawaa😎
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Hawa jamaa wanaujumbe kuzidi wasanii wote ambao wako chini ya rebo ya Wasafi akiwemo diamond
100%
Ni kweli kabisa,mm mwenyewe nimewafumania mbona mpaka wamenimalizia MB zangu.
Mnooo😂❤❤
😅😅😅😅😅😅😅😅 eti nimewafumia 😅😅😅@@sosomacharles9920
😂😂😂Sasà ugomvi huo
Hello I really like your songs haki I'm congolese but i Liv in kenya NAIROBI
Mimi nawakubali sana wamwiduka band 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿❤
The man untd Jersey guy is feeling the vibes than the artists themselves.
Oyaa nyie maselaa mnajua achaneni na mond fanyeni sho zen wenyewe mbn mnaweza daaa.
Don't stop the music you will kill me.that is the message. The young man performed great
Sisi ndo wasafwa wenye mbeya yetu
Proud of my tribe my culture my nature
Iwala kwetu
Hawa jamaa mimi nawakubaligi sana, wana komfidensi sana ya kuimba.
This is the best band in Africa very natural from dressing, instruments ,name them this is now our africanism
Akili huna
Jamani watangazeni watoe shoow
Noma sana
Mimi nawakubali sana anzeni kutoa shoow mtangaze tujue
Dogo wa vibuyu katisha sana
African rythm at it's best. Ni baraka kubwa kuwa nimejaliwa kuwasikia hawa vijana. Shukran kwa wote waliowafikisha machoni na masikioni petu.
Wamwiduka band ....nyie mna talanta kweli....napenda vile mnajituma
Yule jamaa wa kutembea uchi na masuruali makubwa makubwa aje aone muziki wenye asili ya kiafrika
Sana Sana wadogo zangu
Tasafwaa humwanyaa proud from mbeya tz
nyie majaaa mnajuaa ii nyimbo nimeitafuta
Mchezaji pale nyuma kula tano.....umetisha sana
unyama mwingi chakunyumba 🎉🎉🎉❤
Mmetisha sanaa...
Huku timweli hoombwa❤❤
Wakali sana sana kuliko diamond na zuchu
Hatar na nusu baba
calabash guy🔥🔥
Wamwiduka band kileleni, mpenzi kutoka Kigali
Kaujumbe hako acha tu!
Kweli mkuu. Tujitahidi tule 700 tuchepue 300
Simply the best..natural voice..❤
🙏🙏
mmmmh jamaa wametisha sana
Kazi nzur
Ule wimbo msizime mziki iongezee mishororo kadhaaaaaa naipenda kweli
Kazi kazi wazee
Big up
Elewa sana hapo UNAKULA PADOGO😂😂😂
Ngoma Safi sana
Wazee wa msalato dodoma
Huyu mpiga manyanga anaitwaje?
Anajua sana
Thanks for you help and support you
Kweli kula padogo panawatesa wengi
Mama o❤❤❤❤❤❤❤
Yoli baba amwe
Asante kwa ujumbe holowane
Beautiful! Simply gracious!
Ilove the beats talented
Hawa jamaa nilikutana nao sumbawanga asee wanakamua live
HUU NDO MZIKI SASA!!
HUU MZIKI UPEWE PROMO,
BASATA MKO WAPI KAMA MNAWEZA KUFUNGIA WASIO NA MAADILI KWENYE SANAA, BASI NAAMINI MNAWEZA KUWAPA PROMO WENYE MIZIKI YENYE MAANA KAMA HII IKIWEZEKANA WAPEWE TUZO!!
This more Natural talents than those studio musicians 😂
Safiiiii
Hawa jamaa wanafaa kujiunga na wasafi
Kazi safi sana eti
Nipeni namba za wamwiduka.
THESE ARE ORIGINAL AFRICAN MUSIC INSTRUMENTS AND WE WERE NOT BROUGHT TO US BY THE WHITES... MANY CENTURIES AGO OUR GRANDPARENTS USED THESE INSTRUMENTS TO PLAY MUSIC AND ENTERTAIN THEMSELVES EVEN BEFORE THE ARRIVAL OF THE WHITE INVADER FROM EUROPE. WHEN THE WHITE COLONISTS WERE USING GUITARS THEY BORROWED "THE OUD" INSTRUMENT FROM ARABIA, WE AFRICANS THROUGH OUR GRANDPARENTS ALREADY HAD ZEZE MALIMBA AND MANY INSTRUMENTS PLAYING SWEET MUSIC THAT ENTERTAINS THE HEART.
🕺🕺🕺💃💃💃💃💃💯💯🔥🔥🔥🔥
Mi huwaga ananikosha mpiga many manyanga 😂😂😂😂😂
Mbona nyimbo nzuri hivyo alafu fupi eti😢
Uo ni ujumbe wanaufikisha ambao yapo
💕💯💯💯💯💯🙏
Muziki mutamu😢 w😢
I really love your music but I don’t understand the language. Especially the guy shaking the tambourine