Fanyeni collabo lakini ingieni kwa ngoma na hii style yenu maana hamfai kuiga. Maana nyie ndio wenyewe, wengine wataiga tu huu mtindo. I could relate with this beat because of my luhya cultural music in western Kenya. Napenda mnapoingiza chorus katikati ya song, daah! Sijui manasem "Liauna baba, Liauna baba×3 ama namna gani
I can dance ❤ although I don't understand the song but believe me I will travel from Nigeria to tanzania for my wedding reception for you guys to perform for me... niwewe
Tatizo Wasanii wakubwa wa Tanzania hawawakilishi Miziki yetu ya Asili wanawakilisha Miziki ya Matataifa mengini na wanaofanya Miziki ya Asili hawapewi support ya kutosha daaaah...
Mafundi wa mziki wa Asili Africa Kama unakubali gonga like na comment
Ahsante ndugu 🤛🏾🤛🏾
Exactly...
Fanyeni collabo lakini ingieni kwa ngoma na hii style yenu maana hamfai kuiga. Maana nyie ndio wenyewe, wengine wataiga tu huu mtindo. I could relate with this beat because of my luhya cultural music in western Kenya. Napenda mnapoingiza chorus katikati ya song, daah! Sijui manasem "Liauna baba, Liauna baba×3 ama namna gani
Uko sahihi
Safwa from mbeya to international level keep moving bro
Huu ndo mziki wetu sasa..lakini sijuhi kwanini watanzania hatuupi kipa umbele hawa jamaa walitakiwa kuwa wakubwa sana kuliko kawaida
If you from tiktok put a like ❤❤❤❤This guyz are just amazing
Nawapenda sana wamwiduka! Kila nikisikia nyimbo zenu nakumbuka mbeya yaan
Nimependa hii nzuri Sana pia inatia moyo sana
Safwa to the 🌎... mariam♥️
Wakuu, badilisheni content ya nyimbo zenu. Ikiwezekana uvisheni muziki wenu harakati za Kujitambu na Kujikomboa kwa Muafrika. Itafaa sana.
I can dance ❤ although I don't understand the song but believe me I will travel from Nigeria to tanzania for my wedding reception for you guys to perform for me... niwewe
thanks guys you're welcome Tanzania peacefully country
Wow Ngoma imeweza good job..huu ndio muziki......nawapenda sana salams kutoka Kenya East Africa..🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
From Angola. I liked These songs
Mungu azidi kuwanyoshea njia, Kutoka milima ya uporoto mpaka south hakika Mungu ni mwema.
Hatariiii Kalanzi ,uporoto , Hatarii
Nawakubali sana hawa jamaa,siku moja njoni mpige show huku Morogoro
With love from Kenya. Kazi nguzi🇰🇪🇰🇪🇰🇪
X video kenya
One love from Cameroon 🇨🇲💙🇹🇿.Viva Africa
wasafyaaaaaaaaa mwagonaaaaaaaaaaa
Really African voices wabantu east Africa oyee
Tisha sawa madogo zangu
Home boy from east africa much love❤
My tribe to the Global 💥💥💥💥
Mnatuwakilisha wasafwa ❤❤❤❤
This is awesome... Watching from kenya
Wasafi wachukueni wasafi festival mziki wao mtamu sana
Eh nasongwaaa!!! ne mwanangwaah✊🏾✊🏾 one love wajomba
I like to see them keep moving forward...from mbeya to dar zanzibar now international level
These kids are real...not fake
Exactly
Kazi nzuri
Lyomooo lyoooooo likholajeeeeew..
Lyabhunaaaaa ...
Hutanzania lyomo likholajeeeee
Tatizo Wasanii wakubwa wa Tanzania hawawakilishi Miziki yetu ya Asili wanawakilisha Miziki ya Matataifa mengini na wanaofanya Miziki ya Asili hawapewi support ya kutosha daaaah...
Kweli kaka 👏🏽👏🏽 lazima ujumbe usambazwe kaka
@@Wamwiduka Na lazima watu waamshwe maana bado wamelala
waoooooo amaizing sound and better music I never experienced.... hongeren sana wazeeeee nawakubali sanaaaaaaa
usoha nyumbani nawapenda wasafwaaaaaaaaaa nomaaaaaaa
Sikujua mapenzi ulie nifundisha ni ww🔥🔥🔥👊
Good job
Wamwiduka unguluvi alinamwi yaani mkumbusya hutali saana safwa original
mariamuuuu ....nivushe to boder yatoshaaaaa🤣🎵💪
tanzaniaaaaa hoyeeeeeeeee mbeya hushileeeeeeeeeeee
Huu ndio mziki wa bongo sasa
NAJIVUNIA KUWA MSAFWA...
Exceptional
Wataelewa tuu 🔥🔥🔥🔥
Hadi Raha... Yaani Wana hawaelewi Kiswahili lakini wanafurahia tu... Muziki hauna lugha zaidi ya Upendo
Wonderful performance, much love from Nigeria☺️❤️🔥#Africatotheworld
Welcome to Tanzania
Karibu sana
This is so amazing, Safwa from mbeya
Wana wa hekaya......
Mlishinza sana
We amwiduka❤❤❤❤ 🇺🇸
Niliwahi kuwaona dodoma,,Aisee nawapenda Sana
Yaani mmetulia sana du..
Kama kawaida wamwiduka wanatisha ubunifu wakutosha pongezi sana kwenu safwa in the world
Yaani sijawahi kujuta kuwasililiza mnaimba vizuri Sanaa wamwiduka
Shukrani dada Asha
@@Wamwiduka 🥰🎶🎶keep good music alive
My favorite Tanzanian band.
Hapo sawa vuka Border
Nyie vijana mmenishinda tabia, Yani mambo ni fyekeeeee
Audio ya Moyo wakuu
Much Love to You. Verry Tallented African Boys
Moyo we moyo
NAOMBENI mike
Moyo mimi utaniweka matatani moyo
Reall sounds great
Tanzanian mbeya boys is 🔥🔥🔥 eeyooo..
Uburudisha mpaka bas
Nyie jamaa hatari na nusu mnatisha ile mbaya"salute
Utamu saaaana
I like it my culture from mbeya
Gush i love this song so much the sound is so soft and touching tanzania ooyaa ongera sana
Nilishawaona hawa jamaa mara nyingi daa wako vzr sana
Kp up
Nyinzaa mwanawitu
wamwiduka band nawakubalii xana
Kazi iendelee hongereni sana
Wamwiduka mko vzr ongeza kasi
Safi sana Wamwiduka mnatuwakilisha vema
God bless juhudi zenu wanangu
Ndagaaa
Amaizing show , big up home boyz 🔥🔥🔥
Pamoja sana Rama 🤛🏾🤛🏾🤛🏾
Pambeyeee pinzaaa
Mzic mtamu
Nawakubali sana aisee 💕
Good live music
This is awesome 👏🏾❣️
Ahsante miriam 🙏🙏
Nawakubali sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Such a wonderful band! ❤️
Thanks Tekla
Nice one band
Wamwiduka nawakubali 💯
Fireeee
Wonderfully
Hawa jamaaa ni hatari
Good song
👏👏👏 Hongereni sana
Ahsante Dania_nah
Hakika mnaweza
much love to you guys..👏👏👏
Safwa to the World
Dogo yuko wapi hapa
Nice
yule mtoto wa vibuyu simuoni yuko wapi🤔😕😕😕
mnaimba vizuri lakin mjitahid kuleta nyimbo mpya hizi ni mmetunga mda sana
Ilombo ihumwamini sana hujawainiangusha yaani sister yako wa Nado iduda hapa
Great
Mnajua kuimba sana ase.
Nawakubali. Hii Mariamu hakuna Audio yake?
ati twasafwa ipo weee manyi wewee
Jamani niri poteza namba zenu nitumieni